
SIN SEASON 2WRITER…………………………………………EDDAZARIA G.MSULWAWEBSITE………………………………………… www.storyzaeddytz.comCONTACT……………………………………….. 0657072588/0768516188AGE……………..18+SEHEMU YA 10 KATI YA 10Nabii Sanga alimuuliza mke wake mara baada ya kumuona akiwa mikono mitupu.“Baba Julieth hata sijui niseme nini?”“Useme nini nini?”“Mwanao ana dai kwamba faili...