Search This Blog

Monday, March 23, 2020

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 10 MWISHO


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 10 KATI YA 10 MWISHO


Waziri mkuu kasanga akiwa chumbani alianza kuserebuka na kuanza kucheza kwa furaha sana, huku akiwa na glass ya wine, jambo hilo lina mshangaza sana mke wake.
"Sasa nina Amani, Raisi amekufa"
Aliji kuta anasema maneno hayo mwenyewe na kufanya Flora akae kitako na kubaki akimshangaa

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 9/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 9 KATI YA 10


"sasa ndo nini kusimama ivyo kama mshumaa wa pasaka? , si uje ulale"

Ili kua ni sauti ya Flora akiwa kitandani baada ya kumuona Mume wake waziri mkuu Joseph Partson Kasanga akiwa dirishani amesimama kama namba moja akionekana akitafakari na kuonekana mwenye wasi wasi kupindukia.
"Lala"

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 8/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 8 KATI YA 10


Baadae wali fika Nyumbani kwa Amina ,
hawa kua na muda wa kupoteza Alfred alichukua begi lake dogo lenye silaha, na kuanza kujiandaa pamoja na Amney vile vile. walimshukuru sana Amina na kumwambia atoe taarifa polisi juu ya maiti

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 7/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 7 KATI YA 10


Maneno aliyo kua anaongea Flora haya kuendana na mwili wake mdogo , ambao hata akipigwa kofi moja anaweza akazimia mara moja, alikua na mwili mdogo ila mwingi wa maneno.
Waziri mkuu kasanga alibakia kumwangalia tu na kutomjibu chochote maana ali mzoea mke wake kwaio hilo hali kumpa shida.

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 6/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 6 KATI YA 10

Alfred alivya tua risasi ingine ambayo ilipenya kati kati ya kichwa chake na Joyla kukata kauli pale pale,

Alfred aliitazama kwa muda maiti ya Joyla na kuingalia saa yake ya mkononi ambayo ili onesha ni saa tano za usiku,

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 5/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 5 KATI YA 10


Siku iyo alichelewa sana kutoka ofisini kwake mpka saa tano usiku ika mkuta.
Ki uchovu aliisimama na kutoka huku akiiendea gari yake,
Aliingia na kuanza safari ya kurudi nyumbani kwake, ila baada ya kufika jangwani anaona piki piki za mapolisi ziki mpita na kusimama mbele yake waki mpa ishara kuwa asimame kwani kuna tatizo,

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 4/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 4 KATI YA 10


Mpka kuna kucha Alfred alizidi kumsaka Mujuni na kuingia katikati ya kipori kidogo,
Ali mrukia Mujuni na wote kudondoka chini,
Aliinuka haraka haraka na kumpiga ngumi puani, hakuchelewa ali mfuata na kumpiga teke aina ya round kick lili mfanya Mujuni ayumbe kidogo,

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 3/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 3 KATI YA 10


Alfred alizidi kusikilizia kile kishindo mpka kilivyo fika karibu yake na kika tulia huku aki subiri kinacho fata,
Ghafla tena alihisi mtu huyo anasogea tena safari hii aki zunguka upande alipo ili waweze kuonana uso kwa uso.
"Who are you,(wewe ni nani)?"

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 2/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 2 KATI YA 10


Alfred alikanyaga cluch na kubadili gia safari hii alibadili na kufikia gia namba tano, na gari hiyo kuwa katika kasi ya ajabu, kutokana na kutokua na magari katika bara bara hio ili mfanya iwe rahisi kutamba bara barani kama gari ya mashindano, akiwa juu ya usukani akiushikilia kwa mikono yote

THE PAINFULL SECRET SEHEMU YA 1/10


THE PAINFULL SECRET
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
 SEHEMU YA 1 KATI YA 10

Giza totoro lilianza kuingia, hii ni kutokana na jioni kuingia na jua taratibu kuanza kuzama.
Hali ya hewa ya mji huo wa Dar es salaam, kidogo ilikua nzuri kutokana na manyunyu ya mvua yaliyoanza kudondoka kuashiria muda mfupi mvua ingenyesha,wingu zito lili zidi kutawala juu ya

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 10 MWISHO


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 10 KATI YA 10 MWISHO
*******

Familia nzima na baadhi ya ndugu wa Yusrath waliendelea kusota rumande na walishafikisha siku kumi na mbili bila kuachiwa huru ama kupata dhamana,walilia na kusaga meno huku wakimlaani Yusrath popote alipo lakini hilo halikuweza kubadilisha chochote kile kilichotokea,ilikuwa ni lazima waseme ni wapi Yusrath alipo ama wataje walipozificha milioni Mia tano za Bilionea George

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 9/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 9 KATI YA 10
*******

Mapenzi ya kweli aliyokuwa nayo moyoni ilimfanya ndani ya sekunde tatu afike mshindo lakini hilo halikufanya mechi hiyo iishe!Hajrath alikuwa bado mwenye kiu ndiyo maana akashika koki ya bomba vizuri na kuendelea kukizungusha kiuno chake ili afike tena kileleni.Lakini kabla ya kufika

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 8/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 8 KATI YA 10
*******

******

Nyumba ya bilionea George Charles,ilizingirwa na gari mbili moja Landcruiser V8 nyingine gari ndogo aina ya Corrola!Ndani ya magari hayo walikuwemo maaskari sita!Wote waliteremka ndani ya magari wakiwa na jezi zao!Miongoni mwa maaskari waliokuwemo ni Kamishna wa polisi wilaya ya

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 7/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 7 KATI YA 10
*******

Kelele alizopiga Hajrath akiwa hospitali ziliwashtua wauguzi na wagonjwa waliokuwa kwenye benchi,hiyo ni kutokana na ndoto mbaya aliyoota kwamba Ahmed tayari amefariki dunia,akatizama wodi alilolazwa Ahmed akamuona daktari anatoka,akasimama na kumuendea kwa kasi.

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 6/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 6 KATI YA 10
*******

Muhimili wa maisha ya Ahmed uliyumba kwa kiasi cha kutosha,kila kitu kwake kilikuwa kimevurugika.Kuanzia maisha mpaka ndoa yake kwa ujumla,mwanamke aliyemuamini katika maisha yake yote, akaamua kumuoa na kumuweka ndani,ndiye aliyemuumiza mtima.Bado hakutaka kuamini kilichotokea,akatamani siku zirudi nyuma abadilishe kila kitu lakini hilo lisingewezekana hata

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 5/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 5 KATI YA 10
*******

Mguu mmoja wa Yusrath,ulikuwa begani kwa Sameer!Yupo kama alivyozaliwa,anahema ndani kwa ndani huku akitoa miguno ambayo watoto wa kike hutoa wakiwa katikati ya mchezo huo,usiohitaji hasira.Kila kitu kwake kilikuwa kimebadilika,akasahau kwamba siku hiyo mchana alipigwa makofi

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 4/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 4 KATI YA 10
*******

Shinikizo la ndoa ya Ahmed lilipelekwa mputa mputa,nyuma ya yote haya kulikuwa na mwanamke huyu Yusrath ambaye hakutaka kujifungua akiwa nyumbani kwao.Licha ya hayo tumbo lake lilikua kubwa tayari,haikuwa siri kama ilivyokuwa hapo awali,hata Baba yake mzazi alilijua

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 3/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 3 KATI YA 10
*******

Uzuri na muonekano wa kuvutia wa msichana Yusrath ulizidi kuunyanyasa mtima wa Mtoto wa Bilionea George Charles,ambaye kwenye mamilionea waliokuwa kwenye chati pia kijana huyo mdogo aliwekwa.Lakini wachache sana waliijua sura yake,pesa alizokuwa nazo na mali alizomiliki

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 2/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 2 KATI YA 10
*******

‘Hi Ahmed,Mimi Hajrath.Usiku mwema,Love you’
Simu ya Hajrath,ilikuwa mikononi mwa Florian,alifanya makusudi kutuma ujumbe ili ategue kitendawili, kilichokuwa kinamtesa kwa siku nyingi,moyo wake haukuwa wa chuma.Alianza kuhisi wivu na kuchezwa na machale ya kwamba ipo siku Hajrath atamtema kwani dalili za mvua ni

ABEE SHEMEJI SEHEMU YA 1/10


ABEE SHEMEJI
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 1 KATI YA 10
*******
 *******
“No Kassim.Hapana!Si..wezi,Mungu wangu….”
“Hajrath,nisikilize.Huwezi kufanya nini?Ndio ishatokea sasa”
“Ni mme wangu lakini”
“Namimi ni Kaka yangu,Hajrath.Niangalie usoni”
“N..o Siwezi,Eeeh Mungu wangu.Ahmed Ahmed amka basi”
Kila mtu alionekana kupigwa na butwaa usiku wa siku hiyo,siyo Hajrath wala Kassim.Kila mtu alipagawa vya kutosha.Lakini mmoja wapo kati ya watu hao wawili, alionekana kuchanganyikiwa zaidi,huyu ni Hajrath alikuwa mara azunguke mara ashike hiki.Hakuamini kama mme wake wa ndoa

BLOG