Search This Blog

Saturday, February 26, 2022

KILIO CHANGU - 5

  

Simulizi : Kilio Changu

Sehemu Ya Tano (5)


Yule kiumbe alicheka kwa nguvu saut yake ilikua kali sana hadi dula akaziba masikio hakika watu wote waishie maeneo ya kawe waliweza kusikia kile kicheko Cha yule kiumbe wa kutisha ,kila mtu alijiuliza kicheko cha nani huyo mbona kikali hivyo?.


Mimi nimetumwa na bibi kanambia maneno haya kwa sasa umepata msaidizi mwenye uwezo mkubwa kukuzidi wewe na huyo msaidizi unatembea nae pia huyo msaidizi wako ana alama "m" mgongoni kama ilivyokuwa wewe sasa tayari leo usiku tutampandikiza nguvu za kupambana na tutamrudisha kumbu kumbu za utoto wake pia atamkumbuka mama yake aliko .


Maana huyo kijana tulimwiba angali mchanga tulimchukua na kumpeleka chini ya bahari kwenye jeshi la majin weupe ambao hilo jeshi lilikufunza wewe namna ya kupigana hivyo sasa tunakupa kazi kamfundishe musa kupigana ndio atakua msaidizi wako kwenye mapambano ya kusaidia wanyonge .


Yule kiumbe kiliongea huku kikifuka moshi mzito kwenye masikio na mdomo dula wala hakuogopa .


Gafla kile kiumbe kilipotea dula.alicheka na kusema yule musa hawezi nizidi nguvu mie kwenza mie nina utalam mwingi dula aliongea na kurudi nyumbani.


Ilikua tayari ishafika saa tano usiku musa alikua ashalala tena alipitiwa na usingizi mzito si wa kawaida.

Musa alianza kurusha rusha miguu kitandani huku akishikilia kifua alijaribu kuita lakini sauti haikutoka.


Musa alikua akiota ndoto mbaya sana

Yupo kwenye makorongo huku kafugwa kamba na viumbe wa kutisha wenye pembe alijaribu kuitoa ile Kamba lakin hakuweza


Musa alitazama chini ya hilo korongo aliona kisima chenye maji ya blue musa akiwa amefugwa kamba mara ile kamba ikakatika alishuka na kudumbukia kwenye kile kisima puuu.


Kisha akazama hadi chini cha ajabu alikua bado anaona vizuri tu, kuna nyoka mkubwa anaeishi kwenye kisima hicho alipanua mdomo huku akionekanekanika mwenye njaa kali musa aliziba macho yake na viganja vya mikono hakutaka kushuhudia akimezwa na lile joka.


Yule nyoka alirusha ulimi wake mrefu na kuuzamisha kwenye matundu ya pua za musa ,

Musa alizidiwa nguvu akiwa ndani ya maji alikosa pumzi yule nyoka akaanza kufyonza ubongo pale pale musa akapoteza fahamu.


Alikuja kuzinduka akajikuta yupo kwenye pango la kutisha kuna mwanga hafifu pembeni yake alikaa msichana mrembo aliyevalia gauni refuu

Musa akihisi maumivu makali kwenye matundu ya pua , alikohoa akatema damu yule msichana mrembo akatabasamu baada ya musa kutema damu


Yule msichana alinyoosha mkono wake na kuchovya ile damu na kidole kisha akailamba ,lips zake nene na za kuvutia

Musa alitoa macho ,akishangaa yule msichana mrembo iweje alambe damu yake na kuimeza tana akitabasamu wakati wote huo wala hakuniongelesha.


akamuuliza "wewe nani "? yule msichana hakujibu kitu alianza kubadilika baada ya kulamba ile damu sura ya usichana ilitoka na kuwa bibi kizee

Musa alijaribu kuinuka walau amkimbie yule kiumbe anayemtesa hakuweza musa aliishia kurusha tusha miguuu.


Yule bibi hakuwa mgeni kwake ndio yule yule aliyemwota jana mara kachomwa na msumari mguuni mara kachomwa na kisu shingoni

Safari hii alikua mzima.


Yule bibi aliongea maneno kwa lugha ambae kwa musa haikua rahisi kuielewa macho ya yule bibi yalibadilika yakawa mekundu kama kaa la moto muew aliogopa sana.


Musa akiwa anawasi wasi. Yule bibi alimtemea damu usoni puuuh!

Kisha yule bibi akatoweka gafla.


Mara musa alizinduka usingizin kumbe yote hayo alikua akiota musa alikua akihema kwa kasi huku jasho likimtoka mara dula nae akafika kwenye geto lake akakuta mlango upo waz dula aliingia akawasha taa


dula alishtuka baada ya kumkuta musa uso umejaa damu ,"we musa mbona uso unadamu dula wliuliz".

musa alipeleka mkono wake kwenye uso wake Huku akitetemeka ukweli alikutana na damu tena mbichi ametemewa ,akasema hii inwkuweje ndoto niliyoota iwe kweli.


Musa alijawa na woga ,dula alimwambia tuliza presha hayo ni mambo ya kawaida cha msingi chukua maji ukaoge .


Kaka mie siwez enda kuoga maana maisha yangu mkosi sikuizi naota ndoto ya ukweli nimeota nasumbuliwa na majin kuna kibibi kimenitemea hii damu musw aliongea huku analia, aliendelea kuongea.


twende tukamtafute shekhe aje asome dua kuondoa haya mapepo yanayonikabili musa wlisema


dula alikua akijua kila kitu alimwambia , ondoa hofu tutamleta shekhe kesho.

Musa alikubali akachota maji kwenye kikombe alitoka nje akaosha ile damu ambayo ipo usoni.

Kisha walipiga story kidogo wakalala


Zile ndoto hazikumrejea musa asubuhi palikucha alfajiri dula alimwamusha musa na kumwambia amsindikize mahal musa hakuwa na kipingamizi alikubali waliongozana hadi maeneo ya ufukwe wa bahari dula alimweleza lengo la mumleta hapa ufukweni ni kumfundisha kupigana.

kwa upande wa musa ilikuwa kichekesho mtu dhaifu kama yeye ajue kupiganq ila aliwaza endapo atajua kupigana basi utakuwa mwisho wa mateso yake hapo ndipo


alitabasam na kuruka ruka na kusema , kaka leo ndio umezungumza neno tam ukweli natamani kujua walau kurusha ngumi maana me kila hatua naambulia kipigo nifundishe niwe kama wewe .


Basi mazoezi yalianza musa alifundishwa njinsi style za kukabiliana na adui namna ya kumkwepa adui hakika musw alikua shapu kuelewa wakaanza kurusha ngumi musw alikua yupo shapu kukwepa ngumi za dulq ,hata lile wazo la kutafuta shekhe wakusoma ili kuondoa mapepo kwenye njozi halikuwepo tena.


dula alirusha mateke akaruka kila stlye lakin musw vyote alivikwepa

dulq aliamini maneno ya yule kiumbe kua musa atakua hatari kupigana zaidi yake. Sababu nguvu alizonazo ni nyingi ,dula hakutaka kukubali waliingia tena ulingoni.


dula alimwambia musa uko tayari ? ,musa aliitikia yaa nipo tayari


dula aliruka hewani akadunda na kumkwatua musw mateke ya tumbo musa alirushwa mbali na kudondoka chini dula alitabasamu na kusema hamna kiumbe atakae nizidi uwezo mie wakupambana .


Musa alipigwa vibaya alilala pale pale dula alienda akamwinua na kumwambia upo vizuri kila siku nitakufunza hadi utakapo iva.


Musa aliitikia kwa unyonge kisha wakarudi nyumbani ikawa kila siku alfajiri wanaenda kwenye mazoezi mwendo wa wiki mbili musa akawa balaa yaani anapiga si mchezo dula alifurahi kupata msaidizi.

bado nyuma ya pazia inaonesha kuna mrorongo mrefu hadi dula kumiliki hizo nguvu na hicho chama chao cha kishetani kwa nini kinapandikiza nguvu zisizo za kawaida kwa musa ,labda unyonge aliokuwa nae ama kitu gani, ndugu msomaji tuendelee kufuatilia.


Ilikua siku njema kabisa mida ya saa saba bibie jeni alimtembelea musa siku hiyo hakuja na gari alitaka watoke na musa wakazungumze mambo flani musa hakuwa kabisa na kipingamizi alikubali akavaa nguo safi waliondoka na kumwacha dula na nasra wakipeana utamu.


Musa walitembea na jeni taratibu walipita karibu na kwa akina irene walikuta irene nae alikua anatoka aende kwa musa


"Musa nilikua nakuja kwako kumbe leo jeni kaniwai " aliongea irene ,

jeni alitabasamu na kumwambia basi twende tukapoteze masaa irene wote ,irene nae aliunga msururu wakawa watatu, alikubali wote wakaanza safari sijui wanaenda wapi.


Jeni na irene wakiwa wanabonyeza simu zao za tachi musa hakuwa hata na kisimu cha batani yeye aliingiza mikono mfukoni mdogo mdogo wako wanatembea .


Mara irene anapiga self na mogy mara jeni hakika musa alipata bahati ya kutembea na wasichana warembo na wenye pesa,kwa imani zetu ,basi naweza sema mzizi anaoutumia muss sio wa kawwida .


Kila wakipita vijana waliwatolea macho irene na jeni kwa uzuri walio nao


Musa kichwani ,alikua anawaza maneno aliyoambiwaga na irene huenda jeni sio binadamu wa kawaida akawa ni jini musa alimwangalia jeni sana siku hio nafsi moja inasema jeni yaweza kuwa ni jini nafsi nyingine inasema hapana jeni sio jini.


walizidi kukata mitaa ya sinza mara wakatokea baa moja inaitwa kona baa,Tayari ilishatimu saa kumi watu walianza kujirusha musw alikatiza warembo wakali wamemshikilia bega mwingine mkono kwa upande wa musa ilikuwa ni sawa kutamba hata kama hujafanya nao mapenzi kutembea nao tu ni ushindi bas ,aliringa mbaya.


Oya suma mwone yule boya anatembea na warembo wakali wakati sie leo tupo singo kama vipi twendeni tukamletee noma tuwachukue wale warembo ni maneno ya vijana flani walikua wamesimama sehemu ya kupaki magari walikua saba walipanga wakamnyang'anye musa madem ambae ni jeni na irene.


Hawakuchukua mda wale vijana wakijikusanya na kuungana wakawachukue akina jeni .ubabe upo kila mahali ukiwa na kitu kizuri basi watu hutamani kiwe cha kwao.


Musa akiwa haelewi chochote wamesimama kwenye barabara wanasubiri magari yapite ili wapate upenyo wakuvuka barabara.


Mara wakaja vijana saba wakiwa wamekunja sura ya kibabe wawili waliwashika irene na jeni mikono kila mmoja.


Kuna kijana mmoja sijui ndio suma alienda kumpiga musa kibega ama kikumbo cha ajabu badala Ya musa apepesuke yule jamaa alipepesuka na kuyumba kidogo agongwe na gari.


Wale jamaa wengine walimwambia musa ,"we boya potea kabla hatujakufanya kitu mbaya".


Musa hakujibu alimshika jeni na irene mikono ili awachukue ,kuna jamaa mmoja alirusha ngumi ili ampige musa

Bahati mbaya kwake ,musa alikua shapu alikwepa yule jamaa alienda mzima mzima na kukitwanga kioo cha gari ngumiii puuuh!.


Kikapasuka kila mtu alishangaa na kusema piga huyoo

Musa aliwaambia wale vijana msijitafutie balaa sasa ivi



Hali iliyopelekea watu wajazane na kuangalia nini hiko

Yule jamaa alikatwa mkono na kioo mbaya musa aliongea kwa upole naombeni muondoke msijitafutie matatizo bure ,yaan musa kujua kupigana imekuwa shida na anajibu kwa kujiamin.


Jeni na irene walianza kulia hofu yao wakijua musa hataweza kupambana na wale vijana

Mungu wangu mkosi gani huu naomba uniachie bibie jeni aliongea na kujinasua mikononi mwa kijana mmoja mwenye rasta zilizofubaa kwa jasho jeni alitoa simu ili ampigie dula, maana anajua dula ni hatari aje atoe msaada.


Kitendo cha kutoa simu yake kubwa ilinyakuliwa na kijana mmoja mfupi kama kisiki ila kajazia balaa sijui anasukumaga mkokoten

Kitendo tu cha yule kijana kuchukua cm ya jeni kilimfanya musa apandwe na hasira.


Musa alimwambia yule kijana rudisha hio sim kwa sauti ya juu,

Yule kijana si akatoa panga ili amtishe musa ,kumbe musa alishabadilika hataki tena masihara alimwendea yule jamaa aliyechukua simu ,ile anamkaribia yule jamaa alirusha panga alitaka kumkata musa.


Musa aliruka ,juu akarusha teke panga lilitua kwenye kisigino cha raba ya musa bahati nzuri lilikua butu .

Musa aliruka kwa manjonjo akadunda kwenye gari akaachia mateke mawili ya double kiki yule shotii alirushwa hewani akaachia simu musa aliruka na kuidaka yule jamaa alienda kudondokea kwenye lami puu akawa kimya..


Vijana wote si wakamvamia musa dozi ilitembezwa pole pole mmoja alitoa nondo akarusha musa alikwepa ile nondo ikaenda kutua mdomon mwa sumaa Paaaaaaah meno yote akayatema pwaaah akabaki na damu zinachuruzika musa alipiga sarakasi ya kizembe akaachia mateke ya double double vijana wanne walipigwa vifuani wakarushwa mbali mmoja alijibamiza kwenye ringi la gari taya zikapishana mwingine alidondoka mkono ukavunjika

Musa alimwendea kiongozi wao akawa anapangua kila akirusha, jamaa si alichoka

musa alichokifanya ni kumalizia mchezo, alirusha makonde mawili yaloshiba ya ngumi yalimpata usoni paa paa

Kwa kweli sura ya yule jamaa haikutamanika tena uso wote damu tyu pua nayo ilipinda.


Sijui itaenda kunyoshwa wapi Vijana wote walikua wanagara gara chini jeni na irene hawakuamini kitu alichokifanya musa,

Musa aliwashika mikono jeni na irene akavuka barabara kila mtu alimshangaa musa.


sio watu tu peke yake hata musa alijishangaa uwezo wake wa kupambana miaka yote alikuwa mtu wa kuonea lakin kwa sasa anaweza kumpiga mtu yeyote

.

Kila mtu alisema lake ooh huyu jamaa hajazaliwa tanzania maana anavyopiga kama tunaangalia muvii ,ni maneno aliyekua anaongea muuza maji barabarani.


Hakika musa aliweka heshima watu walimpongeza na kuwaponda wale vijana maana ndio kazj yao kupora watu cm wakilewa pale baa leo wamenyooshwa .


Jeni ilibidi akodi bajaji walipanda wote watatu safari yao hadi mlimani city jeni akiwa na furaha kuona uwezo wa musa kujua kupigana


Kabla hawjnashuka kwenye bajaji irene alimuuliza musa "ni nani kakufundisha huo ujuzi wa kupigan"?

musa hakuficha aliwaeleza kila kitu kua mwalimu wake ni dula ndio kamfundisha kupigana .


Jeni alifurahi kila mara kamshika musa mkono waliingia mlimani city moja kwa moja hadi sehemu wanako uza simu.


Jeni alimwambia musa chagua cm unayotaka ,unaambiwa jeni mtoto wa kishua na irene ni mtoto wa kishua sasa wamekutana

Musa aliangalia simuu Kiukweli hakuwa mzoefu wa simu alichagua nokia ya tochi .


Hakika kitendo cha musa kuchagua nokia ya tochi jeni na irene walicheka mbaya "We musa acha ushamba sasa hii nokia utaifanyia nn?"


Musa alitabasamu akajibu nitatumia kwenye mazungumzo irene alimwambia chagua sim ya wasapu tuwe tunakuona bana hizi simu zilipedwa

Musa alisema yeye hawezi kutumia simu ya wasapu ivyo hataki hizo simu wala hazipendi


Japo irene na jeni walimlazimisha ila musa alikataa kata kata ikabidi wamnunulie simu anayoipenda


Wakivyomaliza kununua simu waliingia shop ya vipodozi

Jeni alimtafutia musa mafuta mazuri ya kupakaa ili atoe makovu mwilini

Ki ukweli mwili wake ulikua una makovu yote sababu changamoto na mateso waliyopitia.

Wifanya manunuzi kibao kisha wakarudi zao nyumbani ,Wakiwa wapo kwenye bajaji wakikatiza maeneo ya sinza walisikia kelele za mtoto mchanga akilia tena akilia hadi sauti imejikaukia .


Musa akisema anaombwa ashushwe kichwa chake kimemcheza machale akacheki kwanini huyo mtoto analia ,mama yake yuko wapi.


Ukweli hio nyumba ilikua na geti waligonga ila hawakufunguliwa

Jeni na irene wao walibaki kwenye bajaji wakiendelea kuchati.


Musa hakupenda yule mtoto mchanga anavyolia vile alitaka akaangalie nini chanzo .kujua kupambana kww musa anaanza kutoa msaada.


Musa alivyogonga geti akaona hamna anae fungua ,alisema liwalo na liwe naruka ukuta wakiniitia mwizi wakinipiga nikafa nitakuwa nimekufa kishujaa musa alijisemea huku akirudi nyuma aliliendea lile geti alikanyaga ukuta akajiviringisha juu na kwenda kutua ndani ya ile nyumba bila hata kuumia .


Musa ikabidi atazame lile geti akasema "hapana kweli mie nimeruka hili geti "? ,ama naota mbona sikufundishwa hii style ukweli musa alikua na uwezo wa ajabu.


Aliingia kwenye ile nyumba cha ajabu alivyofika mlangoni musa alikuta damu mbichi imemwagika musa ikabidi akawa makini.


Aligonga mlango ila hakuna aliyefungua lakin yule mtoto mchanga aliendelea kulia musa kengele ya hatari ikamgonga kichwani musa aliusukuma ule mlango kwa tahadhari uoe mlango ukafunguka taratibu.


Musa ,akajikuta anatumbua macho baada ya kukuta tailizi zikiwa zimeloa damu musa akabidi atembee kwa uangalifu .Alitupa jicho kwenye meza ya kulia chakula.


Musa alikuta kanga nyeupe ikiwa imeloa damu,Tena damu bado mbichi aliangaza macho kwa hofu yule mtoto aliacha kulia mogy akaita wenyeweee mpoo? kimya kilitawala


mara mtoto akalia chumbani musa aliwai kwenye hicho chumba alikuta mlango umefugwa musa aligonga ule mlango lakin haukufunguliwa na mtoto aliendelea kulia.


Musa alicheki akakuta funguo ipo kwenye kitasa lakin mlangoni kulikua na michirizi ya damu.,Moyyo ukaenda kasi ,Hii nyumba kuna nini au nimeingia nyumba waishio viumbe wa kutisha ? musa alijisemea huku hofu kubwa imetanda .


wazo lilimjia atoke kwenye hio nyumba maana hapana usalama musa taratibu akaanza kurudi nyuma

Mara tena mtoto machanga alilia sauti yake ilikua imeisha inafifia naweza sema.


Ile hali ilimuhuzunisha musa na kujipa moyo acha nifungue mlango nijue kuna nini

Musa alishika ile funguo ambayo ipo kwenye kitasa alinyonga taratibu mlango ulifunguka.


Masikini ooooh!!! , akajikuta anatamka hivo huku akitumbua macho

Alichokiona ni heri ingebaki siri lakini si vyema ikabaki siri .


Musa alichokiona alishidwa kuvumilia kutazama maajabu ama maovu yaliyokuwemo kwenye hicho chumba.

Musa alitoka mbio kwenye hio nyumba huku machozi yakimtoka alifungua geti upesi aliwaita akina jeni na irene waje kushuhudia.


Jeni na irene hawakubisha walitoka kwenye bajaji upesi wakaingia kwenye kwenye Nyumba ile michirizi ya damu mbichi ili washtua sana akina jeni ,musw alitembea haraka haraka na kuwapeleka kwenye kile chumba.


Irene na jeni walishidwa na wao kujizuia wakaanza kulia

Kitandani kulikua na mtoto mwenye umri wa miaka tano akiwa amechinjwa shingo kichwa kimewekwa pembeni na kiwili wili kiko pemben damu zimetapakaa chini.


Chini alikuwepo mama mmoja aliyefanyiwa unyama sijui na nani

Kisu kulikua kimekitwa kifuani, kisu kikubwa tena

Mama huyo alikua kalala chini kwenye tailiz damu zikimtoka mdomoni alikua yupo kimya.


Kibaya zaidi alikua na mtoto mchanga yawezakana ana wiki moja huyo mtoto.Masikin kale katoto kalikua kamevunjwa mguu halafu kakawekwa kifuani mwa yule mama.


Kalikua kananyonya

Mguu wa huo mtoto mchanga umevunjwa


Musq alivimba kwa hasira na kuapa aliyefanya huu unyama atakula nae sahani moja


Musa alimwangalia yule mama kwa mbali aliona bado akihema musa hakusubiri kale katoto kachanga ambacho kalikua kamechafuka na damu iliyokua ikitoka kwa mama yake alimpa jeni na yeye alimbeba yule mama wakaanza kutoka kwenye ile nyumba ili wawahishe hospitali

Ile wanafika getin.


Kuna gari nyeusi ilikuja kwa kasi ikafunga breki zikashuka njemba tatu wanaume washoka


Uso kwa uso musa akakutana na hao watu akiwa kamubeba yule mwanamke aliyechomwa kisu mkifuani huku irene kabeba kile kitoto kichanga kilikua bado kina lia yote sababu ya maumivu ya kuvunjwa mguu.




Nyie nani kawapa mamlaka ya kuingia kwangu yule jamaa aliongea na kumnyoshea musa bastola.


NJembo nyingine ilidakia na kusema niga hapa hatuna mda wakupoteza piga shaba wote wamejitakia wenyewe kuingia choo cha kike,


Musa aliona hapa nikizubaa tunaangamia wote

Musa aliwaambia jeni na irene kaeni mbali kisha alimshusha yule mwanamke taratibu na kusimama bila shaka .


yule njemba ambae alikua kamnyoshea bastola sindano alimdharau musa kwa udogo aliokua nao akamwambia siwezi kuharibu risasi zangu ili nikuue wewe ninacho fanya nakunyonga na mkono mmoja wewe dagaa shenzi kabisa .


Yule jamaa aliongea na kumwendea musa alifika akiwa na hasira alirusha ngumi nzito musa alijitahidi kuikinga ila ilimzidi uzito musw alipigwa na kupepesuka, kablaa hajakaa sawa jamaa alimsukumiza kwa teke musa alichukua makonde ya ngumi hadi akadondoka chini .


Musa aliuma meno na kujipa moyo lazima huyu mwanaharamu nimpeleke polis akiwa hai siwez muua .

Musa aliinuka akapiga sarakasi za tufua tufua kisha akasimama na mguu mmoja wale njemba wakacheka kisha mmoja akasema we dogo jinga kabisa yaani vikareti vyako vya kukopi kwenye mabanda ya video unaonesha kwetu .


Niga ua hio takataka amri ilitolewa musw apigwe Niga si akaenda kwa musa akaruusha ngumi musa anakwepa mara alijinyonga kwa style zake akamtwanga kichwa niga tena kampiga kwenye jicho la kushoto damu ziliruka juu .


Niga alijishika kichwa akachuchumaa maana alitwagwa kichwa ya aina yake kabla hajakaa sawa musa aliruka akadunda akapaa hewani alinyosha vidole viwili na kwenda kuvikita machoni mwa niga puuu.


Pale pale niga alipiga yowe la maumivu akalala chali ,Tayari musa alishamtoboa macho yote mawili tayari keshakua kipofu musa alichukua ubao mmoja ulikua upo pale getini alimponda yule niga magoti puu

Miguu yote miwili akaivunja .


Wale njemba wawili walobaki si wakatoa sime walimwendea musa ni kosa kubwa walilofanya musa aliwaweka kati .


Akazunguka chini akajibinua kwa style yake na kuwapa mateke matakatifu tumbon wale jamaa waliyumba bala kabla hawajakaa sawa musa aliruka hewani akadunda chini alimtandika jamaa mmoja ngumi ya shavuni jamaa alitema makonde ya damu na baadhi ya magego yalitoka .


Yule jamaa alichukia alinyanyua sime ili amkate musa halafu na jamaa mwingine kajiandaa amkite musa sime ya tumbo.


Musa alisoma mchezo aliwazingua kidogo si wakaja wote kwa pamoja musa alilala chali .

Wale jamaa wakafyekana wenyewe kwa wenyewe na mapanga mmoja alimkata mwezio shingo na mwingine alimkita mwenzio tumboni

Walidondoka wote chini puuh! Kama gunia .


Ndio ikawa mwisho wao ,musa alimaliza kaz akawaacha wanafurukuta kwa maumivu ile musa anamnyanyua yule mama ampeleke hospitalini gafla maaskari polis walimuweka musa chini ya ulinzi .


Musa alitii amri alimshusha yule mama kwa heshima tena taratibu polis walimsachi mogy wakakuta hana silaha .


Wakaanza kumuhoji hawa watu nani kawapiga maana ni hatari sisi wenyewe tumewashidwa musa alijibu mimi nimewapiga polis walimdharau musa, kwamba kwa udogo aliokua nao hawezi kuwapiga wale wahalifu .gafla polis alimtandika musa kofi na kumwambia aseme nani kawapiga hawa watu .


Polisi walihisi musa anaficha ushahidi kwa udogo wake na kazi aliyofanya kuwapiga hao watu haiendani nae,basi musa alipakiwa kwenye difenda yule mama ambae bado kisu kipo kifuani nae akachukuliwa

Na wale njemba walipelekwa hospitali wakatibiwe ili waje wahojiwe.


Jeni na irene wao waliachwa wala kusumbuliwa ila mtoto alichukuliwa


Musa hakupenda kuanzisha vita baina yake na polic

Alipelekwa kituo cha polis pale sinza mabatin kumbe huku nyuma irene na jeni walimfuata musa kwa nyuma na ile bajaji yao waliyokuwa nao nyuma

Musa aliingizwa polisi huku akipigwa virungu musa alivumilia tu sio kwamba hawez kuwathibiti ila yeye alijua ipo siku watamwelewa yeye ni nani.


Ile anaigizwa kituoni jeni na irene waliingia kumbe dereva wa bajaji wakati musa anawapa kisago wale njemba yule dereva alirekodi video kama ushaidi.


kabla musa hajahojiwa jeni walienda kwa mkuu wa kituo hicho walimweleza kila kitu wakampa na ile video iliyoliyorekodiwa na dereva wa bajaji

Mkuu wa kituo aliita polis waliyeenda kumkamata musa na wale wahalifu akiwawekea ile video.


Walianza kuangalia jinsi musa kawapiga watu wenye silaha kali bila ya kutumia hata kisu baadhi ya askari walitokwa na jasho baada ya kuona style za ajabu musa alivyozitumia baada ya ile video kuisha kuna afande alianza kuongea kwa huzuni.


Sasa sio tulijifanya wababe tunampiga huyu kijana virungu kumbe ametochora na vigobore vyetu angeamua na sie leo tunge uonja ufalme wa kuzimu maana anavyopiga kwa sisi polis level zetu za kupiga wala hatujamfikia.


Hakika yule polic alijilaumu kumpiga musa virungu bila ya hatia

Amri ilitolewa musa aachiwe haraka sana basi kwa heshima aliachiwa ili aondoke lakin musa kabla hajaondoka .


Aliwaambia polic nionesheni yule mama mmempoleka hospitali gani polic hawakumficha walimwambia ukwel kua tumempeleka lugalo kambi ya jeshi ila yupo kwa usalama zaidi musa aliwaambia polis nendeni mkachukue mwili wa mtoto kwenye nyumba ya yule mama kuna mtoto nilimwona amechinjwa yupo kitandani.


Musa alitoa maelezo polis walijigawa wengine wakaufuata huo mwili wa mtoto alochinjwa kwa ajili ya uchunguzi


musa , ireni na jeni walirudi majumbani,Jeni alienda kwao tabata na irene nae alienda kwao musa taratibu alitembea kwa unyonge akiwa na hofu juu ya yule mama aliyechomwa kisu alitaka kujua kwa nini hadi kuwa katika hali ile musa alifika geto alikuta Dula amefunga na yeye hakuwa na funguo ikabidi akae pale mlangoni.


Akiwa kajiinamia ,Siku hio hapakuwa na wapangaji nyumba ilikua kimyaa yote sababu kwa jiran kulikua na sherehe watu walienda kuburudika pale


Musa alikaa kibarazan akajiinamia kichwa kikiwa na mawazo

Kuna msichana mrembo balaa ni mpangaji mwenza alivyomwona musa kajiinamia alitaka kujua musa labda anaumwa .

Huyo mrembo akiwa kajifunga kanga moja tu tena laini alienda kwa musa. alimgusa kichwa musa ,kisha musw aliinuka taratibu


"Mambo kaka yule mdada alisalimia"

musa akaitikia " poa"

"Vp kaka kila siku twapishana hapa lakini sijui hata jina lako"

musw hakupenda maneno mengi alimtajia jina lake .

"waoo yule mdada alikipenda jina musa na yeye alisema anaitwa "salma ".


Musa alimjibu poa lakin yule dada aliendelea kumwongelesha musa.

"Samahani musa" naomba unanisaidie kushusha beseni juu ya kabati nimeshidwa kulishusha ni zito halafu kuna kitu nataka nichukue kwenye hilo beseni,ni mtihani ambao huho dada alianza kumtega musa,sijui kwa ni i musa ana nyota ya kutamaniwa na wanawake hana mwili wa mazoez kama watu wa gym.


basi Musa alikubaliana aliongozana hadi kwenye chumba cha yule dada waliingia ndqni "ukweli musa alioneshwa lile beseni ,alilishusha ila beseni halikua na kitu kama awali salma alivyosema kuna kitu.sijui alimaanisha kitu gani.


"Salma mbona wasema besen zito halafu halina kitu "?musa aliuliza.

Salma alicheka na kumwambia hamna kuna kitu nataka unisaidie ila ilikua sio hili biseni.


"Musa akauliza kitu gani?"

Salma alisimama akamwambia musa nisaidie kufungua hili fundo la kanga nilofunga rubega nimeshidwa kulifungua.


Musa aliguna akajua huyu mdada anamtega anataka ampe mambo.

Fasta yule mdada alisimama na musa akasimama akaanza kufungua lile fundo

Salma alikua na makusudi alibinua makalio yake na kuyasogeza kiunoni kwa musa

musa alifungua ile kanga cha ajabu yule salma aliiachia ikadondoka chini yote,ni mtego mgumu sana kwa wanaume kama huna msimamo basi dhambi inakuhusu.


hivyo ndivyo inamtokea muss , akabaki anatumbua macho tu.mtoto salma alikua uchi kumbe hakuvaa kitu hata kimoja.

Taratibu mtalimbo wa musa ukaanza kusimama taratibu hakuwa na uvumilivu ukiangalia salma kabarikiwa kila kitu.


swlma akamgeukia musa akamwambia "plz nisaidie nina hamu ya kufanya mapenz nisaidie yule dada aliongea huku kamkumbatia musa uso wake ukionesha mtu aliyekolea mahaba hajiwezi kazidiwa na bamu.


Musa akaguswa na chuchu saa sita za salma ,2anasemaga mkate kwenye chai haunaga uvumu wowote, basi musa alisisimuka mbaya na kumfakamia salma na kuanza kuzinyonya chuchu ,huo ndio ugonnjwa wa wake

Aaaaaaaaaaaaaaah

Asssssssssss oooooooooooh mmmmmmmmmmmmmogy salma aliguna huku akijinyonga nyonga kwa utamu.


Musa taratibu aliendelea kucheza na vichuguu kwa ustadi huku mkono ukitalii baadhi ya maeneo ya mwili wa salma.


Musa alishusha mkono chini ya kitovu alikigusa mahali patakatifu tayari kisima hakina tena ukame ,kimefurika maji , kwa utamu huku kikitema majimaji.


Musa alikipekenyua kisima taratibu na kuanza kuchezea maji hakutaka maji yatuame yatulie basi vidole vilichezea kisima mno miguno ilionesha kipimo tosha wawili wote wameshachemka kwa mihemko.sauti za mahaba mchana kweupe zilitawala chumba kile

Aaaaaaaaaaaaah oooooh

Mmmmmmmmm assssssssss


Musa alivyoona salma kalainika hata macho yamebadilika yanaonesha ishara yanataka tu nyoka mtukutu aingie pangoni ,basi alimtupa kitandani

Akaanza kufungua suruali yake ili ampe kitu roho inapenda.


Musa aliutoa mguu wa mtoto ile anataka kuuzamisha kwenye kisima kilichojaa utelezi wa kutosha ,bibie salma nae akizidi kulamba lipsi zake na kuhema kimahaba ,salma alivyoona musa anazamisha mtwlimbo kwenye kisima akafumba macho akapanua wanja aache mtalimbo uzamishwe kisiman


Go go go go!!!!!!sauti ya mlango uligongwa na sauti ikisema "we salma fungua mlango unieleze upo na malaya gani mpuuzi wee ilikua ni sauti ya mama yake salma "


amewakuta ndani ya chumba leo mama yake karudi , naua mtu ni sauti ya kiume ilisikika ikiongea bila shaka atakua baba yake salama

Musa akiwa na hofu alimtizama salma ambae alikua hajui nini cha kufanya.

Salma machozi yakamtoka alimning'oneza musa baba yangu mkali atakuua.show hajafanya na wamekutwa sijui itakuweje



**********MWISHO***********


0 comments:

Post a Comment

BLOG