Search This Blog

Saturday, February 26, 2022

KILIO CHANGU - 1

  

IMEANDIKWA NA : MOGY SHINE 

********************************************************************************

Simulizi : Kilio Changu

Sehemu Ya Kwanza (1)


kweli misha ukiyaendea pupa kwa Kuigaga kuishi kama mtu Fulani hakika lazima yatakutesa .


Napenda kuwaambia kitu kimoja wapenzi wasomaji wa him story ya kusisimua Na iliyojaa majonzi nasimanzi kubwa japo vingine vinafurahisha ila ndio maisha ambayo wanaandam wanayapitia .nisiwachoshe kwa maneno mengi tufuatilie him story kwa makini tujue nini maudhui ya story Na dhamira take

SONGA NAYO

Ni alfajiri ikiwa ni siku tulivu kabisa ndani ya jiji La dar pakiwa na shamra shamra za hapa Na pale .maeneo ya Tabata kimanga darajani kuna kijana mmoja kakaa kwenye Kingo za barabara , kijana Huyo alikua amejiinamia


koh!! koh koh!! koh !! saut ya juu ilisikika akikohoa kwa nguvu yule kijana.alikohoa kwa Muda mrefu hakika kikohozi kilizidi kumwandama

Anavyokohoa hamna mtu aliyempa pole kwa wakati ule japo watembea kwa miguu wengi walimpita na kumtizama tu. Naweza sema huenda nguo zake chafu zinatema harufu ya uvundu ndio zilifanya watu wajue labda ni kichaa au chokoraa tu wa mitaan .


kijana Huyo alizid kukohoa sijui pumzi zilimwishia gafla alidondoka chini puu tena alidondoke Na kuubamiza mdomo pembezoni kwa lami hatimae yule kijana alianza kutetemeka mwili kisha kajinyosha taratibu kama MTU ambae Tayar kakata rohoo yule kijana akawa kimya


Kuna wadada watatu wakiwa wanapiga story zao huku wakiwa wanatembea Mwendo wa taratibu pasina haraka wala shaka huku wakila mahindi ya kuchoma wakitokea kimanga wanateremka darajani wakielekea tabata bima uelekeo wa ule barahara ,waliweza kufika alipo yule kijina baada ya kudondoka damu zilianza kumtoka puani Na mdomon

Walifika pale wale wadada walishangaa na kuuliza jamani " kafanyeje huyu Mkaka mbona dam zinamtoka mdomoni ?"


Binti mrembo aitwae JENI aliwauliza wenzake Amina Na Subir jibu walilimpa kwa pwmoja " wee achana nae hiz pombe za asubuh tu unatoa msaada utawasaidia wangapi kwenye hili jiji? " Amina akamvuta jeni ili waondoke maana alionekana kutaka kutoa msaada subira nae akaunga mkono kumvuta jeni na kumwambia kwa msisitizo "hebu twendeni Jeni "


Sijui kitu gani kilimwingia mwanadada jeni aliwaambia hebu subirini ,nao wakamwachia taratibu jeni akamsogelea yule mkaka kisha kainama Na kumtikisa huku akiita "we mkaka anko! ankooo !! "


Ila yule mkaka alikua kimya mapigo ya moyo yalikua yakidunda kwa mbali mno


"Tumsaidien jaman mkaka wa watu" jeni alitoa wazo lakin amina Na subira walimwambia jeni kwa ukali "unawazimu nini hebu twende achana nae Huyo MTU unamjua ? au unataka kujifanya msamaria mwema,?"


Amina aliongea huku akionesha amechukia lakin jeni Hakuwaunga mkono waondoke na kumwacha yule kijana ambae hata hawajui nini kinamsumbua kupelekea kuwa katika ile hali ,wala hajui anaitwa nani ,kwakuwa wapo kando na eneo la barabara gafla bajaji ilipita Jeni aliipiga mkono ikasimama "we mkaka plz njoo nisaidie" jeni aliongea akimwambia yule dereva wa bajaji


Dereva nae aliuliza nini kimetokea amegongwa na gari au pikipiki?Jeni akajibu "Hata sijui tumemkuta yupo kwenye hii" hali naomba tumpakize huyu kijana tumpeleke hospital ."


Unamjuaa ?"dereva alimuuliza"

simjui "jeni alijibu" ila ni binadam mwenzetu Tumsaidie leo yeye yupo hivi huwezi jua siku nyingine nani atakuwa hivi "Tumsaidie tu jeni alijibu".


Dereva Hakuwa Na kipingamizi alimwendea yule kijana chini ambae alikua kapoteza faham walimbeba huku wakisaidiana Na jeni pembeni subira Na amina wala hawakua hata na mda wa kusaidia "we jeni unaenda wapi ?" Amina alimuuliza


Baada yakuona jeni kupanda kwenye bajaji ,Jeni kwa upole na ukarimu akawajibu marafiki zake " nampeleka hospital akapatiwe matibabu so mnaona Hal Yake .


Nyooooooooo ebu acha ujinga ujue tunasubiriwa eti ebu twenden kwenye mambo yetu ambayo tulikua tumeyapanga aliongea amina huku akimtaka jeni ashuke kwenye ile bajaji .


Ntakuja jeni aliwajibu wakati huo dereva tayari ashawasha bajaji kaweka Na gia kabisa bajaji ilianza safari.


Weeee jeniii weee jeniii mbona hivoo ni maneno ya subira aliongea akimwambia jeni, ila tayari bajaji ilishaondoka Na kuanza kupandisha kilima kuelekea tabata bima wakiamini yule kijana anaweza kupata matibabu.


Mazungumzo ya subira Na amina yaliendelea Kumsema jeni kwa kitendo alicho kifanya cha kumsaidia Huy kijana ambae hata hawamjui .kama ujuavyo wanawake wakiwa zaidi ya mmoja lazima wamtete mtu walianza


"Jeni anajifanya msamaria mwemaa ndio maana hapatagi bwana Na ukiherehere wake huo kaniboa mno yaani tumepanga vizur mambo yetu ona anavuruga mipango ni maneno alioongea amina"


jeni Siku zote anazingua hebu cheki juzi tumempatia bwana ana mihela ila kamkataa yani jeni mjinga sijui amelogwa ,ila mimi ninaa mpango wa Kuvunja urafiki mi sitakagi watu wasio eleweka ni maneno ya amina

Aliongea na kuonekana kukerwa na uamuzi wlioufanya jeni kumsaidia yule kijana."


Tukirudi upande wa pili ndani ya hospitl Mona IPO maeneo ya magengen yule kijana alianza kufanyiwa matibabu alipimwa mapigo ya moyo Na vipimo vingine dokta alikua makin mn Huku nje ya hospital tunamwona jeni amekaa kwenye bechi akatoa simu Yake kubwa kisha akaanza kutachi Mara akaweka cm sikioni alionekanika kumpigia mtu , simu ilianza kuita Mara baada ya mda ikapokelewa upende wa pili ila sauti ilikua ya kiume


"Halo mwanangu "

ooh baba shikamoo alisalimia jeni

"marhabaaa mwanangu "upande wa pill iliitikia

Baba nashida Na hela laki moja kama unayo naomba unitumie kuna kitu nataka kununua aliongea Jeni kwa unyenyekevu


Upande wa pill akajibu aya nakutumia mwanangu maana alikuwa ni baba yake na jeni

baada ya kujibiwa vile sim ikakatwa jeni hakuwa na maneno mengi hata baba yake hakudadisi nini wala nini


Baada ya dakiki kadhaa Mara mlio wa SMS ukasikika kwanye sim ya jeni

Jeni aliangalia alikuta ni kweli. Baba yake amemtumia hela jeni alitabasam Nakusema "Nakupenda baba "


kisha akajisemesha ngoja niwapigie akaina amina alibofya sim kisha aliwapigia ila wote hawakupokea cm yake


Jeni wala akapotezea akaanza kuperuz sim yake tu.

Ilikua mida ya SAA sita mchana yalipita Massa mawili baada ya kumpeleka yule kijana hospital


Mara mlango wa dokta ulifunguliwa kisha dokta alingaza macho yake akaset miwan yake vizuri aliweza kumwona jeni alimwita


jeni akaenda upesi

Dokta akameza fundo Moja La mate kisha akakohoa kidogo oooh mgonjwa wako ameshazinduka Na yuko vyema sasa ila kilichomsibu inaonesha alikosa pumzi Na inaonesha alikua Na kikohozi ambacho kilimpelekea had kua vile pia mdomo alijibamiza chini ndio lips za chin zikapasuka Na kupelekea dam kutoka puan ila kwa sasa waweza kwenda kumuona tu yuko sawa


"Dokta alimwambia jeni"kisha jeni aliinuka Na kuelekea chumba aliko yule kijana

Wakati akitembea dokta alimtizama jeni kwa nyuma alivyokua akitingisha chura waKe wa wastani aliyetulia vyema kwenye suruali aliyeivalia jeni Na kufanya dokta ameze mate kwa mpigo Na kuonesha amemtamani sana jeni.

Ukweli jen alikua kaumbika balaa

Jeni aliweza kuingia chumba alichokua yule kijana


"Habari yako ewe kaka" ,jeni alisalimia yule kijana akiwa amevimba mdomo kwa kua aliubamiza kwenye lami ndio maana ukawa ivo


Yule kijana akiwa amewekewe bandeji alikohoa kidogo ilionesha dhahiri sauti yake ilikua imekauka .


Alimjibu jeni "habari zangu nzuri namshukuru mungu" Ongea yake yule kijana sauti ilikua inasikika kwa mbalii mno.


Kutokanana koo kumkaukia ,jeni alimuuliza tena saiv unajisikiaje? Yule kijana alitizama mwili wake kwa sekunde kadhaa Kisha akamjibu jeni "najisikia vizuri ingawa koon nasikia kama vile panawaka moto "


yule kijana alijibu

OK, pole sana jeni alimwambia kisha yule kijana akaitikia "ASANTE"


Yule kijana aliuliza nani ambae kanilete hapa jeni alijibu ni Mimi ndio nimekuleta yule kijana akasema asente kwa msaada wako,


Ukimya ulitawala kidogo kisha jeni akauliza "unaitwa nani"?

Yule kijana alimtazama jeni kisha akamwambia Mimi naitwa mu mu musa .

Alionge yule kijana alijitambulisha kua anaitwa Musa kikohozi kikamrudia tena akaanza kukohoa kwa uchungu kisha akafumba macho huku akipiga piga kifua inaonesha maukivu ni mwkali hadi machozi yanamtoka


Mara akayumba ile anadondoka Tatar jen aliwai akamdaka musa ,jeni alivyomtizama machoni wlishangaa kuona musa anazidi kutoa macho maangavu kama mtu anaekaribia kukata roho .

Jeni akaita doktaaaaaaaaaaaaa kwa nguvu Musa povu likaanza kumtoka mdomoni mwili ukatapakaa jasho

Musa ninii kinakusibu ?"jeni aliuliza " Lakin musa hakuweza hata kufungua kinywA chake.

Je mini kitaendelea???

Musa anasumbuliwa Na ugonjwa gan??




Dokta baada ya kusikia sauti inamwita dokta aliinuka upes Na kuwai mahal walipo akina jen

"Kuna nini dokta?" aliuliza huku akiwa anaset miwan yake vizur huku akimwangalia musa ambae alikua kakodoa macho.


Fasta dokta alisaidiana Na jen kisha wakamlaza kitandani dokta alianza kumpatia tena matibabu na kumwomba jen atoke nje


Jen nae alifanya kama alivyo ambiwa na dokta

Matibabu hayakuchukua mda sanaa nusu saa tu tayar musa akarudi katika hali yake ya kawaida .


Dokt a alijitahidi kutumia uzoefu wake aliyoubobea lakini hakufanikiwa kugundua musa anasumbuliwa na ugonjwa gani zaidi ya kukohoa tu .


Dokta aliweza kumuweka vyema musw ili aweze kumuhoji juu ya ugonjwa unao msibu tofaut na kikohoz . mmmh inaonekana kaka una ugonjwa wa kurithi ambao unakusumbua ila usijali utapona tyu .

Ni maneno ya dokta ambae alimwambia musa .


Musa akakohoa kidogo ili kuweka koo vyema sauti iweze kutoka kisha akaanza kuongea n"Dokta mi mzima ila huu ugonjwa huw a unanikuta kwa mwaka mara moja na lazima nidondoke mara mbili "


Huu ugonjwa unao nisibu si wa kuponeshwa na madawa ya kisasa au kwa waganga wa kienyeji huu ugonjwa bibi ndiye aliyekua anajua kila kitu na aliahidi kua ataniambia chanzo cha ugonjwa unao ni sumbua ila kazi ya mola haina makosa ameshatangulia kwenye makaz yake ya kudum na hakufanikiwa kuniambia nini chanzo cha huu ugonjwa wala huu ogonjwa unaitweje ,musa aliongea na kufanya machoz yake ya legelege kwenye mboni yake .


Musa aliigusa bandeji yake iliyopo mdomoni alionesha huzuni alikua kanyongea sana ,Dokta aliinuka na kuelekea kuliko mlango huku mkononi simu yake ilikua ikiita alitoka nje na kwenda kuipokea lakini kabla hajaipokea alimwita jeni na kumwambia aje aongee na mgonjwa wake tayari amepata nafuu wakati huo ilikua saa saba mchana


Jeni aliingia mkononi kashika mfuko maarufu kama rambo

Oooh musa unaendeleaje jeni alimuuliza musa.


musa alitabasamu ili kumfanya jeni ajisikie vibaya basi alitabwswmu japo mdomo umefugwa bandeji " aah naendelea vyema musa alijibu"


pole sana ewe kaka yangu musa jeni aliongea nae wkitabasamu nashukuru musa liitikia baada ya kupewa pole na jeni.


Mmmh nimekuletea chakula jen alimwambia musa .musa alimeza mate huku akijinyonga huku tumbo lake likinguruma joroooooo ikionesha utumbo upo mweupe pee .


"Ulisema unaitwa nani musa alimuuliza"

ha ha jeni alicheka na kumwambia musa ",we mgonjwa vipi mie sijajitambulishw kwwko haya naitwa JENI .


MUSA akashusha pumzii ndefuuu na kusema "aa nikweli hujajitambulisha jeni jeni , wakati huo jeni kafungua mfuko akatoa chombo aina ya selfu kontena ni chombo cha kuhifadhia chakula ambacho hakipoi kwa mda mfupi tyu .kisha akatoa na kijiko sambamba na chupa mbili za maji

Musa alipewa kile chakula akakipokea na kufungua kile kikontena alikutana na pilau nyama musa alitabasamu japo mdomo wake ulikua umevimba ila tabasam.


musa alishukuru kisha akaanza kula

Wakati musq anaendelea kula jen alitoa cm na kumpigia amina haikuchukua mda amina alipokea.


"Haloo we mpuuuz" ndio kauli aliyeiongea amina.

jeni aliguna kidogo" mmmmmh "

"nimekua mpuuz mie alijibu"

wewe unajishongodoa kisa baba ako ana vihela basi unaringaaa asa sikia we rafiki msaliti hapa niko na mpenzi wangu subiri tupeane vitu kwanza unitafute badae usiku

Amina aliongea kisha akakata sim ,jeni alitikisa kichwa kuashiria kusikitishwa nw mwneno wliyoongea amina wao wako wwnadwnga kwa lugha nyepesi ,jeni aliendelea kusachi majina kwenye cm yake na kumpigia subira.


Simu ya subira weee haikupokelewa sio kwamba subira hajasikia ,kasikia ila alikua Yupo kwenye shughuli ya kiutu uzima alikua kakunjwa na jamaa mmoja ambae kajazia mwili kwa mazoezi wakiwa wanapeana mahaba ,ki ufupi subira na amina ni wadwngaji na hizo ndio kazi zao mjini .


Basi subira alipanua miguu yake vyema na kuruhusu yule jamaa afanye mapenzi hadi tani yake ,na kuhakikisha anapata pesa ,mungu kwmtunuku subirira kiuno laini basi alikatika kiuno na miguno ya kila nmna ilisikika,kwa wanaojua miguno ya kimahaba basi naimani mmemuelewa subira wawatu.mtoto wakike alizidi kulia kitandani huku wakibadili kila style wwnazozijua

Aaaaaaaaaaaaaaah asssssssssss oooooooooooooh babyyyyyy tamuuuuuu nipeeeee yoteeee varangati lile lilienda muda wa lisaa limoja ,subira alikuwa hoi kafika kileleni hadi hana hamu tena , jamaa alikua mtundu nae alimwinua subira na kubadilisha staili ya kifo cha mende hakika shughuli ilikuwa si yakitoto .


Tukirudi hospitalini baada ya musa kumaliza kula alishiba vyema akashushia na maji safi ya sayona musa alisimama na kusema anajisikia vyema mara dokta aliingia na kukuta musa kasimama huku anapiga story na jeni.


Oooh kijana dokta aliongea " unajisikiaje saiv "?

niko vyema "musa alijibu"

basi dokta alimwambia jeni amfuate ili wakafanye malipo ,jeni nae akatiii hadi kwenye ofisi ya dokta.


Aaah kwa matibabu tuliyfanya unatakiwa ulipe kiasi cha shilingi elfu ishirini na nane pamoja na dawa .

Basi jeni wala hakubisha alifungua pochi na kumpatia dokta hizo pesa


Dokta alimwambia jeni nipe namba yako endapo mgonjwa wako atapata tatizo basi atampa taarifa Dokta anataka namba kwa kusudio lake ashamtamani jeni kwa uzuri alionao na shapu nzuri ,basi jeni nae hakubisha alimwambia dokta nitajie ya kwako basi dokta alitaja namba jeni akaandika kisha akabipu simu ya dokta ikaita


ooh ndo hii inayoishia na 47 "dokta aliuliza "

Jeni nae akajibu ndio

Basi kama kutakua na tatizo mnijulishe na shika hii karatasi mpite pale phamacy muchukue dawa jeni alipokea na kumshukuru dokta kwa msaada ama matibabu jeni alinyanyuka kwenye kiti na kumwaga dokta na kuanza kupiga hatua za kuondoka mwendo wake wakuonya tena alivyojaza nyumaa singida dodoma hakika kila hatua aipigayo jeni sehem za nyuma alizitingisha kwa madaha na kumfanya dokta aseti miwani yake vyema na kujisemeaa jamani mtoto kaumbika ila nina namba yake hakuna kitakacho haribika dokta aliongea huku suruali yake kwa mbele imeanza kutuna.

lengo la dokta alikua anataka apate tu namba ya jeni tu. Basi jeni alimchukua musa wakapita phamacy wakachukua dawa kisha walivyotoka njee jeni alimuuliza musa et wew unaishi sehemu ganii? Musa alijibu naishi tu pale tabata bima mtaa wa ubaya ubaya


.ok sasa kama ulivyopewa maelekezo na nes kuusu kumeza dawa usisahau asubuhi na jioni sawa ee musa ,


musa alitikisa kichw kuashiria kua ameelewa alichoelezwa Na nyumbani unaishi na wazazi wako ama umepangaa jeni alizidi kumuuliza musw maswali mimi naishi kwa marafiki zangu na mimi wazazi wangu sijui waliko


"eee hujui waliko? "

Jeni aliuliza kwa mshangao , mmmh musa akaguna na kusema tuyaache tu hayo mambo ila tokea nilivyokua mdogo nimelelewa na bibi sikuwahi kuwaona hao wazazi wangu


.mmmmh jeni nae aliguna na kumwambia musa pole kisha kafungua pochi na kutoa noti tatu nyekunduuu shilingi elfu 30 na kumpatia musa haya shika hizi hela utatumia kwenye chakula maana unatakiwa ule ushibe ili umeze dawa maana maisha ya geto kawaida msosi unakuaga wa juu kwa juu jeni aliongea huku akitabasam.


Mmh hapana dada yangu izo hela hapana inatosha maana umenisaidia sana umenilipia hospitalini usafir asante sana jeni.wema ulionifanyia ni mkubwa ila sina cha kukulipa ila mungu akubariki sana musa aliongea kwa hisia za huzun huku kanyongea.


we chukua tu zitakusaidia usijali chukua jeni alimlazimisha musa hatimae mogy akakubali basi jeni aliita bajaji na kumwambia musa panda uende geto ukapumzike pia chukua namba yangu unitafute ili nijue unaendeleaje jeni alimpa musa kikaratasi chenye namba .


musa alipokea wakaagana kila mmoja akaenda kwao.

Mudy aliweza kufika getoni kwa rafiki yake alishuka kwenye bajaji nakuelekea kilipo chumba cha rafiki yake kabla hajafika mlangoni sauti za vicheko vya wapangaji walicheka baada ya kumwona musa kavimba mdomo.


Musa akageuka kuwatazama wale wapangaji wenzao akaweza kumwona rafiki yake .musa aliwasalimia ila kila mmoja hakuitikia walimcheka sana kisa kavimba mdomo wanamdharau sababu hajijali mchafu yaani yupo yupo tu.

oya adrano naomba funguo mwanangu musa alimwomba rafiki. Yake funguo cha ajabu rafiki yake alisimama na kusema oya musa kuanzia leo sikutaki kwenye chumb chumba changu nimeamini maneno ya watu wavyokusema mtaan hapa wewe mwiz , kibaka asa leo nimeamini.


mwanangu sifugi wezi mie tambaa na domo lako lililovimba siwesi kushare chumba na wewe ,makufadhili kumbe mwezi ni maneno ambae kayazungumza rafiki yake musa ambae anaitwa adrano tena yuko siriazi akamwangalia jicho baya,musa akameza mate na kujisemea kimoyo moyo,kila siku majanga sasa huyu adrano nae ananikataa na ananifukuza nitaenda wapi?,machozi yakanza kumdondoka akatamani bibi yake angalikuwa hai asikie kilio chake.

Adrano akamwambia "oya musa acha kujiliza wewe ni mwizi tambaa sitaki kukuona mtaani na nikikuona nitakufanyia kitu kibaya



Ooyaa hunielewi au unazingu mwana tambaa nishaseme kwanza subiri nikupe miozo yako ya nguo usepe sitaki wez mie adrano aliongea huku akiingiza mkono mfukoni atoe fungue ili atoe nguo za musa ambazo anasema ni miozo


musa alimwangalia adrano kisha akatingisha kichwa na kujisemea kimoyo moyo ,mbona na mkos mimi laiti wazazi wangu wangelikuepo nisinge itwa mwiz Musa akakunja ngumi kwa hasira ila hakuchukua uamuzi wa kupigana unaitwa mwizi mbele ya wapangaji hakika ingelikuwa mimi mwandishi nisingevumilia basi


musa akiwa anawaza wapangaji wengine walianza kumcheka na kumwita mwiziii l,eo kapigwa lione jitu zima linashidwa kufanya kazi linakimbilia kuiba na bado utachomwa moto mbwa wewe ,unasura nzuri ila unaiba ni maneno ya mama mmoja bonge aliongea huku akinyanyuka akatizama maharage yake aliyobandika kwenye jiko la mkaa kama yameiva


mara mwingine kadakia sikia mama bonge kila siku napoteza chupi nikianika zinapotea mara suruali zangu mara madera kumbe ndo anatuibiaga aende zake huko ni maneno ya mama mmoja akiongea huku ameshikilia chanua na kufumua mabutu ya nywele.zake zilizofubaa na kudumaa,uso wake uliodunda mekapu ila maisha ya uswahilini raha jamani


maneno hayakuishia hapo mara mwingine kadakia tena hapa nilipo nimetafuta kimini changu cha rangi ya pinki sion sijui nitavaa nini maana naenda kwa mchepuko wangu .

yule mdada aliongea na kufanya wote wacheke ha hah hah hah. Ha


wakati wamama wale wanaongea kumbe adrano aliingia ndani na kukusanya nguo za musa kisha akamtupia nje puuu tena kwenye vumbi .musq akamwangalia adrano kwa anayo mfanyia akabaki kuumia.


Rafiki yangu adrano mimi sio mwizi ndugu yangu kwanini unanifanyia hivi .musa aliongea kwa unyonge tena kwa ukarimu sema adrano wala hakujibu alibana mlango wake na kufuli kaweka funguo mfukoni kisha akaondoka zake. Musa alivuta pumzi ndefu na kutikisa kichwa kisha akakusanya nguo zake wale wapangaji wengine walianza kucheka tena wakati mogy anamalizia kukusanya nguo zake mara akashangaa nguo zikamwagiwa kitu kama maji .mogy akastaajabu na kuinua macho kumtazama nani aliyefanya kitendo kile ,daaaah kumbe alikua adrano kaja na jemba tatu walimwagia nguo zake mafuta ya taaa wakapiga kibetiti musa alishuhudia nguo zake zikiteketea na moto .


musa aliiambia nafsi yake Eeeeeh mola kipi nimekosa ama nimewakosea hawa waja wako kumbe musa asira zilipanda akamwendea adrano akampiga ngumi ya uso gafla musa akajikuta kadondoka chini baada ya kupigwa mtama na vijana wawil ambao adrano aliwaleta .musa alishangaa akatandikwa vibao vya nguvu shingoni pa pa pa!! hadi bandeji ikatoka ambayo alifungiwa mdomo aliko umia .


damu zikaanza kumchuruzika musa tena .oyaa arafati mwache tu liondoke ni kauli ya adrano alimwamuru arafati aache kumpiga


musa akatapakaa damu kwenye shati lake potea potea hapa kabla sijakugeuza chapati arafati aliongea kwa ukali akimtaka musa aondoke eneo hilo. musa alijizoa zoa chini na kuondoka huku akiwa analia


musa kijana tu mdogo mwenye umri wa miaka kumi na tisa sema jinsi maisha yalivyomwendea kombo alionekana kama vile kakomaa ,basi aliondoka haraka moyoni akiwa na simanzi alivua shati lake lililo fubaa na kuloa damu alijifuta damu vyema kisha akalitupa akiwa maeneo ya tabata relini akiwa amefuata reli akielekea mwanaichi sijui anaenda kufuata nini .


musa alibaki na vest alitembea umbali mrefu kwa mguu hadi mwanaichi alifika sehemu moja akakuta machinga wanauza nguo za mitumba alichagua tishet moja alivyorizika nayo walipatana bei na muuzaji akainunua kwa kua alipewa hela na bibie jeni.


musa hakua na simu alizidi kuchanganyikiwa na kujihisi yeye hana thamani ya kuishi kwenye hii sayari , alianza kujutia kwanini alikuja jijin dar kwani hapafai watu si watu japo wengine wana wema ila wengine ni simbaa ,basi alitembea hadi ubungo riva saidi huko alienda kumtafuta rafiki yake mwingine ili amweleze kama atakua na uwezekano basi amustiri akae kwa muda , alifika pale stedi ya dala dala kwa madereva boda boda alimuulizia rafiki yake. "Oya wapi boy" ni kauli ya dereva bodaboda alimuuliza musa


musa akatikisa kichwa ishara kua yeye haendi popote ,poa mani yule jamaa alimjibu lakini samahani kuna rafiki yangu anaitwa maliki leo kaja hapa kijiweni ? musa alivyotaja tu jina maliki madereva wote wa boda boda walimwangalia huku kila mmoja akasema malik????? nakuweka alama ya kiulizo. Musa nae akajibu "ndio namtafuta maliki.


"oyaaaa jombaa inamana hujui au unatuchora tu ?"maana watu tunamachungu hapa ni maneno ya dereva mmoja alimwambia musa.


musa nae akajibu "kwani kunanini ?"

yule jamaa akaonesha sura ya huzuni kwani hujui jamaa yetu tulimzika jana?


dereva yule wa boda boda alimwambia musa hivyo .

mmmmh mmemzika jana ? "Musa nae aliuliza"

ndio jana tumemzika juzi aligongwa na semi trela na pikipiki yake maliki alipoteza maisha pale pale maana aligongwa vibaya semi trela imempitia juu hakika rafiki yetu dereva mwenzetu kafa kifo kibaya alisagwa nyang'a nyang'a ila tuache hio maada maana nikifikiria mwili wangu unasisimuka.


" yule dereva boda boda alimsimulia musa kisha akatoa cm yake aina ya huawei kisha akamwambia si unamuulizia huyu malik ama kunamwingine alimuonesha picha kwenye simu


musa aliangalia kww makin ,akajikuta kashtuka baada ya kuthibitisha kweli ndio huyo rafiki yake. jamaa yule alimuoneshe picha zote za maliki alivyopata ajali hakika aliziangalia na kufanya mboni zake kumwaga machoz .


musq alivyomaliza kuangalia picha alimwaga yule bodaboda kisha akaanza kuondoka kichwa kilijaa mambo mengi kwanza sehemu ya kulala japo hela ya kula anayo mogy alizidi kukata mitaa hajui afanye nini hadi mida ya saa moja usiku alikua tayari ashafika mwenge kaz hana pakulala hakuna maisha ya mogy ni mtihani ilitimiaa saa mbili usiku aliweza kwenda kupata chakula kwa mama ntilie alivyomaliza kula alikumbuka kumeza dawa .


musa akiwa amepumzika kwenye mgahawa ule mara kuna mteja alikuja akaagiza chakula kisha kakaa karibu yake ,aliendelea kula ubwabwa maharage huku musa amekaa katulia akiwaza leo atalala wapi ,kusema ukweli mdomo wa mogy ulikua umevimba na istoshe kapigwa makofi na arafat halafu katembea umbali mtefu toka tabata hadi mwange basi alijihisi kichwa kinamuuma.


Yule jamaa aliyekua anakula kakaa karibu na musw alikifakamia chakula fasta dakika tatu sahani nyeupe akamwita muhudumuuu " nakujaa boss muhudum aliitikia", kisha kaenda karibu na yule jamaa nimekuja mhudumu alisema .

"unanidai shilingi ngapi yule jamaa akauliza "

,buku jero tu baba yangu muhudumu alijibu .

yule jamaa akaanza kujisachi hela mifukoni kila akiingiza hakuna ela vp mbona unajisachi sana muhudumu alimuuliza yule jamaa .


oya we jomba umeniibia hela zangu elfu 20 wakati naingia mgahawani zilikwepo asa sizion yule jamaa alimwambia musa maana walikuwa wamekaa karibu

Musa akasema "mi sijakuibia hela blaza "


jamaa kamjia musa juu " we umeniibia hela nimekaa nakaribu na wewe asa sioni hela zangu hebu sogea nikusachi haiwezekani kabisa yule jamaa alisema kwa upole alivyokua nao musw na mnyonge hapendi maneno akasimama na kusema mimi nina elfu 25 hizi hapa sijaiba hela ya mtu mie ,musw alizitoa pesa zake na kumuruhusu amsachi kama anahisi kamwibia.Kumbe kosa musw alivyotoa elfu 25.


Jinga wewe sasa hii elfu kumi kumi mbili umeniibià mimi shenzi nawatafutaga watu kama ninyi mnaopenda maisha mterero mwiz mkubwa wewe lete pesa zangu hakika yule jamaa aling'aka na kumkwida musa shati pale pale kivumbi kikaanza.


Musa alijaribu kujitetea wala hakufua dafu kelele zikasikika mwiz mwiz musa akanyang'anywa hela zake alizopewa na bibie jen na kipigo juu


Watu walivyosikia tu mwizi walijazana pale mgahawani na kuanza kumpiga musa puu puuu paaah sijaibaa jamaniii mimi musa alijitetea ila alizidi kupewa kupigwa ,


Gafla yule jamaa alinyanyua stuli akaitua moja kwa moja ikaenda kutua kichwani mwa musa paaaaaà pale pale musa akayumba na kudondoka chini puuuuuuuuuuuuuh huku akipiga yowe la maumivu ile anatua chini akakandamizwa na buti zito tumboni pale pale musa àlijinyoosha na kuwa kimyaaaa.


Watu baada ya kumpiga mpaka akawa kimya walisitisha kumpiga ikabidi jamaa mmoja ambae alikua kashikilia ubao aliuliza nani kaibiwa watu wote wakaangaliana kumbe hata huyo jamaa baada ya kuchukua pesa za musq alisepa na kutoweka eneo lile, kumbe wala hakuwa na hela alitumia njia ya kumsingizia musa ili apate pesa kweli mjini akili ,ila akili za watu wengine wanazitumia na zinaathiri maisha ya watu wengine hasa wanyonge


Muhudumu nani kaibiwa watu walizidi kuuliza ili wajue maana watu wamefuata mkumbo na kuanza kumshambulia musa ,Koh! koho !koho! musa alikohoa na kutema damu kisha akaonge


sgdhjdhdhsjjshsgsgdjsnbvvdvdhdhsklsjsgsjskjsvdv

lugha haikueleweka. Hata kidogo mwishowe kawa kimyaaaaa.

watu wakaulizana, huyu mwizi kaongea lugha gani, kabila gani au katutukana?

mzee mmoja akatoa jicho na kusema hio lugha aliyoiongea sijawahi kuisikia najuw lugha za makabila mengi ila hio lugha si ya kawaida

watu wote wakamwangalia musa, wakiwa na hofu ,huyu ni nani?





Ilichukua muda kidogo akiwa kimyaaa,Watu walianza kumuuliza aliyeibiwa yuko wapi ila hawakuweza kumwona maana alishaondoka eneo la tukio mapemaaa.


Polisi walipewa taarifa kua kunamwizi kaiba maeneo ya mwenge kona sheli polisi nae walijibu kama mshampiga chomeni moto tu afe ,kusema ukweli musa alikua anamkosi watu walimuburuza na kumtoa nje ya huo mgahawa kama ujuavyo watu wakiwa wengi . Basi wengine wanasema chomeni moto wengine piga ua hakika kuna mtu alijitolea akanunua dumu la petroli akasema tafuteni tairi tumvishe tumchome moto ,fasta matairi yalitafutwa yakaletwa haraka haraka musa alivishwa petrol ikamwagiwa wakati huo musa hajitambui safari yake ya kaburuni inaandaliwa na watu wasio na huruma ,akiwa hajitambui

Kelele zilizid wapo waliofurahia na wapo walio chukizwa kiberiti kililetwa jamaa akapiga njiti ikawaka ikarushwa mahali musa aliko ,sheria walizo jiwekea watu ,kwamba mwizi akikamatwa kama polisi hawajafika watakuta ashachomwa na ndio kitu ambacho musa anakitendewa .


Hakika mungu ni mkubwa kuna babu mmoja mkogwe alivua koti lake lililo chakaa wakati njiti ya kiberiti imerushwa kwenda kwa musa yule babu aliweza kuipiga hewani na koti lake chakavu na kupelekea ile njiti ikazimika.Na watu huw wanasema kama mungu hajaamua ufe basi utabaki hai, pia watu wengi wamekariri basi malaika wa kheri ni weupe na wazuri ,basi nikujuze ndugu msomaji ,pia kama nitakuwa napotosha vitabu vya dini mnisamehe ,basi mtu anapokuepusha na kifo kwa upande wangu naona kama malaikw ,basi nikurudishe kwenye hadithi.


Watu wote wakamwangalia yule babu ambae muonekano wake ni wamakamo muno babu alikohoa kidogo akaanza kuongea.


Tutambue sisi wote ni binadamu sasa huyu mwizi mshampiga hadi kafa halafu mnataka mmchome moto kwahio mnataka mkazike majivu yule babu aliongea kwa uchungu huku ameshausogelea mwili wa musa, ambao ulikua umeviringishiwa matairi "wee babu unazingua tutakuanzishia na wewe kipigo sasa ivi " Ni kauli ya kijana mmoja aliyevalia kaushi yenye rangi ya chui chui.babu kwa kujiamini akasema nipigeni hata sasa hivi nife nishakula chumvi sana na istoshe saivi maisha yamekua magumu mkiniua mtakua mmenipunguzia mzigo babu aliongea hatu machozi yakamtoka.


Watu wote walibaki kimya kila mtu akawa anazungumza lake we babu unazingua na hatukupigi pambana na hali yako unatafuta tiketi ya kaburi kisa hali ya anko magu imekaza vyuma vimekaza na utazeeka vizuri awamu hii ni maneno aliyeongea jamaa ambae alipiga njiti ili amchome musa.


watu walianza kutawanyika na kumwacha musa na yule babu haya ushazeeka kamzike huyo mwizi mwenyewe babu alisusiwa na kumwachiwa musa ,watu walitawanyika wote. Gafla kuna gari aina ya prado ilikuja kwa kasi na kufunga breki alishuka mwanamama mmoja fasta na kwenda mbio mahali musa kalala sijui ndo kafa au kazimia "we babu vip huyu kagogwa na gari ama kafanyeje mbona petroli inanuka?"


yule mama alimuuliza yule babu ,bas8 babu alimweleza kila kitu kwa haraka haraka yule mama alimpakia musa kwenye gari yake pamoja na yule babu .


mama aliendesha gari kwa mwendo wa ajabu safari yake hadi mbezi beach ndani ya hospitali ya massana walipokelewa vyema haraka haraka mwili wa musq ulipelekwa kwenye chumba cha watu mahututi dokta alianza matibabu upesi alipima mapigo ya moyo hakika musa alikua bado yuko hai mapigo yalikua yanadunda kwa mbaliii. Akawekewa oxygeni ,akawekewa dripu ya damu maana ilionekanika damu imepungua


matibabu yaliendelea usiku hadi mida ya saa sita musa alipiga chafya akafungua machooo .hakika mungu mkubwa musa alianza kupumua bila kutumia mpira. Hakika ni miujiza ya mungu kufikia asubuhi musw akawa anauwezo wa kuongea na anaendelea vizuri, alikaa hospitalini siku mbili ya tatu akatoka yule mama alimlipia hela na wala hawafahamiani ,kww upande mwingine musa anapata zali ,licha ya matatizo mengi kumwanda


"ehe wewe babu umesema unaondoka na huyu kijana? "Yule mama alimuuliza babu ,

"ndio naondoka nae nikakae nae hadi hali yake ikitengaa maa vyema tutajua cha kufanya "

babu alijibu kisha yule mama aliendelea kuongea mimi ni mama jeni naishi tabata kimanga ila saiv nimehamia sinza kwa hio kama kutakua na tatizo lingine basi mtanitafuta mi niko sinza ukifika kona baa ulizia mama jeni utaletwa hadi nyumbani .


mama jeni alijitambulisha wakati huo mudy anawaza wakiwa ndani ya gari wanaelekea tegeta mahali babu yule anaishi musa kila akimwangalia mama jeni ukweli walikua wanafanana na jeni ambae alimsaidia kule tabata .


musw akawa anataka kumuuliza mama jeni je anamjua jeni ambae ambae yule jeni alimpa namba ,musa alifikiria wee sema akaigopa kuuliza akaamua akipige kimya tuu.Hatimae waliweza kufika maeneo ya tegeta nyuki mitaa ya ndani ndani waliweza kuona nyumba chakavu ambae inaonekana aliyeijenga alishidwa kuimalizia maana ilikua ishaanza kuweka nyufa maditisha hakuna ukweli ilikua nyumba imechoka tayari


"we babu ndo unaishi hapa mama jeni aliuliza huku akiwa katika hali ya mshangao .!!".

babu alitabasamu naam hapa ndo naishi mimi peke yangu sina mke wala mtoto sasa ningeishi wapi babu alisema huku wanashuka kwenye gari musa nae alishuka akiwa kafugwa bandeji kichwani mguuni usoni mdomoni yaan alikua anatia huruma.


Mama jeni aliguna alitaka kuzungumza kitu gafla simu yake ikaita akaipokea na kuanza kuongea ."haloo "


ITAENDELEA

2 comments:

  1. Hii story ni nzuri ila ina spelling error nyingi mpaka inakata vibe ya kusoma. Iko very interesting ila inakata hamu mahali pengi sana. Second verson itakuwa bomba nahisi

    ReplyDelete
  2. Next chapter please

    ReplyDelete

BLOG