Search This Blog

Saturday, February 26, 2022

KILIO CHANGU - 2

   

Simulizi : Kilio Changu

Sehemu Ya Pili (2)


upande wapili akajibu mamaa !mamaa !!mamaaa!! nakufaa na mimi kama kweli wamemuua ile sauti iliongea huku akilia


.mama jeni akiwa ana hofu akauliza mwanangu kuna nini ? ,jeni jeni jeni aliita ila sim ya upande wapili ilikua imeshakatwa mama jeni aligeuza gari upesi akazamisha mkono kwenye pochi akatoa kifungu cha pesa akampa babu ili ziwasaidie kumuuguza mgojwa kisha yeye akaondoka.


Musa akaendelea kuwaza je huyu ni mama yake jeni mbona kama vile alikua ana ongea na jen musa aliwaza akashitushwa na babu baada ya kumwita na kumwambia aingie ndani basi aliingia kwenye hio nyumba ukweli babu alikua anaishi maisha ya hali ya chini musw aliweza kuona chumba cha babu ambacho alikua katandika godoro dogo chin .


musa kwa kuwa hakuwa na mahali pa kulala basi Hapo ndipo maisha yalianza kuishi na yule babu.


tukija upande wa pili tunamwona bibie amina na subira wakiwa wamekaa hakika hawa watoto ni balaa amina kavalia ki gauni kifupi kinaishia juu ya magoti huku subira kavaa kimini hatari walikua maeneo ya kp ni baa kubwa tabata bima .


sikia shoga yangu nikuambie leo nikifanikiwa kuondoka na twalibu ntahakikisha namwibia pesa zake zote mimi ndio amina cha utundu ntamfilisi amina aliongea akimwambia shoga yake subira.


subira nae akacheka kisha akasema mimi yeyote akijitokeza ninae chamsingi pesaa asa sikia hapa nilipo sijavaa hata nguo ya ndani asa subiri unawaona wale vijana masharo wale subiri niwatege tuwachune pesa sasa hivi .subira akiwa na kimini chake aliinama akageuzia makalio yake yaliyo nona mahali waliko wale vijana .


subira kajifanya anafuta miguu wakati huo wamesimama kwenye maegesho ya magari hakika subira ni shida kile kimini kilipanda kwa juu makalio yakaonekanika .we juma cheki yule mtoto hajavaa kitu hakika simwachi upaja mweupee ivi wale vijana waligeukia mahali wamesimama amina na subira.


hamisi we tulia mi niwatokee hapa mfukoni nina laki wakitaka vinywaji tutaruka nao mpaka kieleweke ni maneno aliyoongea hamisi ambae tayari washaingia kwenye mtego hamisi alijijamba midomo baada ya kumwangalia amina aliyevalia gauni na kufanya saa sita zisimame vyema. Hamisi na juma masharobaro wakaamua kuwatokea amina na subira ambao biashara zao wanajiuza.


Hawakua mbali waliweza kuwafikia.mambo zenu warembo "hamisi alianza kusalimia"

"poa" amina alijibu huku akiweka mapozi ya kuwateka wale wakaka ili wapate pesa subira nae akaitikia .


Jamani watoto wazuri kama ninyi kwanini mmesimama huku mbali mnaonaje tukapate vinywaji wote pamoja tupeane kampani na warembo kama ninyi ,hamisi alizidi kuwapa swaga ,juma macho yake yàlikua yametua kifuani mwa amina akiangalia chuchu zilizo simama vyema na kumfanya juma mate yamjae mdomoni.


Hiii we mkaka mbona unaangalia sana chuchu zangu umezipenda ee sema basi kama umezipenda amina alimwambia juma tu baada ya kukutanisha macho na kukuta anaangalia chuchu zake amina alivyo na makusudi hakuvaa sidiria akatoa ziwa moja nje,pale pale juma akachanganyikiwa na kujikuta anamkumbatia amina .


wakati subira kashikwa mkono wanaelekea akaunta wakanywe bia wote walifuatana ,waliagiza vinywaji wakaanza kunywa yote hayo yanafanyika mchana kweupe saa tisa hakika dar es salaam kuna mambo. Baby nisindikize nikakojoe ni sauti ya amina alimwambia hamisi baada ya pombe kuanza kumkolea ,hamisi wala hakuleta kipingamizi ikabidi amsindikize ,amina akiwa katangulia alianza kutingisha makalio yake maksudi na kumfanya jongoo wa hamisi asimame ile wanafika toileti hamisi alimshika amina kiuno na kufanya mwili wa amina usisimuke


aasssssssh jamani beby mmmmmh amina aliguna kimahaba ,tayari hamisi ashapeleka mkono kwenye sehemu nyeti bibie akaanza kupekenyua maeneo ya ikulu "ikulu ya bibi imenona hamisi alijisemea huku akionesha akiwa na uchu mno mmmmmmmmmmh amina alianza kuguna hamisi alipandisha kimini cha amina na kumwinamisha style ya chuma matembele hamisi akagungua zipu ili afanye alichokusudia maana akili yake ya kilevi inawwza kufanya mapenzi ,kutokana na kumtamani sana amina basi hata ungemchanja hamisi mwili mzima hata asingesia maumiwu yeye anachotaka kufanya mapenzi ,fasta amina akaziba eneo lote la ikulu na kumwwmbia hamisi " mi staki nipe elfu kumi kwanza ndio nikupe uwanja ufanye show yako na unafunga goli moja tu.hamisi akiwa kachanganyikiwa akauliza elfu kumi? ndio.wataka?

Amina akatabaswmu na kusema akininionesha pesa nyingi huyu kaenda na maji mimi ndio kahaba nioiyekubuhu .



Basi amina alibinua makalio kwa ustadi wa hali ya juu na kufanya uwanja uonekane wazi na kumfanya mchezaji kuanza kucheza amina nae ni fundi haijalishi yupo mwzingirw gwni nae hakuwa kama gogo alijishughulisha kweli ,Baby suguuuuuuuuuuua ni kelele za bibie amina akilalamika kwa utamu ,ile amina na hamisi wanamaliza kupeana mapenzi walivyotoka tu pembeni kulikua na ua kubwa basi juma na bibie subira nao walikua wwnajishughulisha kweli hakika amina na subira wanamichezo michafu.


Juma kaweka mguu wa subira begani na kufanya apate nafasi nzuri za kumchezesha sebene sauti za miguno ya chini chini ilisikika eneo lile


kugugumia utamu mwendo wa dakika tano tayari juma ahamalizw kinyama chake cha bamu bao lake la kwanza subira alishusha kigàuni na kushikilia nguo yw ndani mkononi basi wakarudi tena akaunta ili wakaendelee na pombe .


bas waliongozana juma na subira wakati amina na hamisi nao washafika akaunta lakini amina alimwambia baby wake hamis "baby subiri " amina aliongea na kubeba pochi yake ndogo.


amina alivyotoka tu nje ya baa alimpigia subira simu ,subira uko wapi njooo fasta nishamaliza kazi

subira akaulizw upo wapi.nipo nje amina aliongea huku akiwa anawasiwasi upande wa pil subira alijibu ñakuja nisubiri , subira alitoka fasta na pochi yake bila kuchelewa. Alikutana na amina wakapeana ishara waondoke. Basi fasta wakapiga hatua upesi wakachukua boda boda na kuelekea nyumbani kimanga.


Tukirudi baa tunamwona hamisi anajisachi walet yake yenye hela haipo mmmmmh mbona mfuko huu hamna eeeeh mbona sina waleti yangu hamisi aliongea huku akijisachi na kuelekea chooni alikotoka na bibie amina chooni kucheki hamna kitu hamisi akaanza kuchanganyikiwa ,juma nae anajisachi haon pesa zake. Hakika ni kizungu mkuti wote tayari washaibiwa waleti zao juma na hamisi walitoka nje ya baa ila hawakufanikiwa kuwaona amina na subira washaondoka kitambo .


hamisi ikabidi warudi. Nyumbani kwa mguu saa sita usiku toka tabata hadi kiwalani bahati nzuri akauntà waliku washalipa wee ulikua na shilingi ngapi hamis alimuuliza juma , juma kwa masikitiko makubwa akajibu laki mbili na arobain elfu


baada ya amina na subira kufika kwenye geto lao walizimwaga pesa walizowaibia. Juma na hamisi na kuzihesabh jumla ilikua laki nne na elfu kumi na mbili .


Amina alicheka na kujilaza kitandani na kufanya kigaun chake kipande juu na kufanya ikulu kikaonekana maana haku vaa chupi sikia shoga yangu wakati yule boya anahangaika kunisugua niliingiza mkono kwenye suruali yake mfuko wa nyuma nikaichomoa waleti kiulain maana alikua ashalewa nilivyo ichomoa nikaiweka kwenye maziwa nikaibana na sidiria nikakausha na kuendelea kumkatia viuno hadi akalainika ni maneno ya bibie amina akimsimulia shoga yake jinsi alivyoiba pesa.


Subira alitabasamu na kujisemea acha nichekage mwenzangu yule mwanaume alinipa vitu vitamu kwanza alichukua mguu wangu na kuupandisha begani mwake sasa ili mimi nisianguke nilimshikilia suruali nimazamisha mkono mfukoni twaa nikachomoa tukaendelea kupeana mavitu. Hakika amina na subira usiosmbe ukutane nao utajutaaa basi walilàlia hela walizo iba hadi asubuhi na hio ndio tabia yao ,


Siku ilianza upya tukirudi kwa akina jeni ,asubuhi jeni aliamka mapema na kuwaza hivi niliyeona kwenye tv musa amepigwa maeneo ya mwenge ni yeye au nimefananisha.


Lakini kwanini wamempiga mkaka wa watu au itakua ni yeye ?

jeni aliwaza na kupelekea machozi yanamdondoka haiwezeken wamuue watamuuaje ???????

Jeni aliongea kwa nguvu huku akilia kwa uchungu ,jamani kweli wamekuua musa? jeni alijiongelesha mwenyewe eti kaangalia tv jana na kujionea mwizi kapigwa maeneo ya mwenge hadi kupoteza maisha .


hapana hapana hapana musa hajafa jen alizidi kuwaza mara mama yake jeni katokea sebuleni na kumkuta jeni analia.


Mwanangu kunanini mbona sikuelewi toka jana umenipigia cm ukasema haiwezekani kama kweli wamemuua na wewe unajiua nimerudi nakuambia ukaniambia eti ulikua unaota mwanangu najua kunatatizo naomba uniweke waz


Mama limwambia hivo mwanae jeni alifuta machozi akafikiria nikimwambia mama kuna mwanaume nilikutana nae jana mchana alafu jion nimemuona kwenye tv kapigwa hadi kufa kisa mwiz mama hatonielewa.


Wewe unanini? Sauti ya mamayake ikamshitua jeni akaamua amdanganye mama yake ili mambo yaishi ibaki siri yake mwenyewe.


Jeni alianza kumweleza mama yake mama mimi kweli nahitaji unishauri kuna mkaka nimetokea kumpenda sasa nilikua nataka anioe sasa najua nikimwambia baba atanichapa ndio maana nakosa raha mama.


jeni alidanganya ivo mama yake alishusha pumzi kisha akaanza kuongea mwanangu kweli sasa hivi kuolewa bado kwanza unatakiwa uende uingereza ukamalizie kozi yako na ukisha maliza hapo tutakuruhusu uolewe .ila mwanangu nakuomba vumilia kidogo tyu mama alimsihi mwanae ,jeni hakutaka kubishana kwakua alimdanganya basi alimwambia mama nimekuelewa nitavumilia miaka miwili sio mingi ,jeni àlimjibu Mama yake na kumfanya atabasamu basi walikumbatiana kisha wakaelekea jikoni kuandaa kifungua kinywa.


Jeni akiwa jikoni akipika chapati ile video ya tukio aliloliona kwenye television kua mwizi aliyepigwa mwenge lilimjia kichwani na kumfanya asahau kama kaweka chapati kwenye jiko mawazo yakatawala

"weeeee jeni mbona chapati inaungua halafu umesimama hapo?" Ni sauti ya mama ndio ilimshtua jeni na kuangalia jikoni alikuta chapati ishaungua.



Basi siku hio jeni alishinda hana amani ilipofika saa tisa jeni alishidwa kuvumilia alikumbuka kua musa alimwambia anakaa maeneo ya tabata mtaa wa ubaya ubaya jeni alitoroka nyumbani hadi mtaa wa ubaya ubaya aliweza kukuta vijana wengi wamekaa kijiweni. Wakicheza drafti jeni aliwasogela kwa kujiamin akiwasalimia , habari zenu jamani wale vijana walivyosikia sauti nyororo ya bibie jen kila mmoja alinyanyua kichwa kuangalia nani kasalimia alikua ni mrembo jeni


"nzuri mtoto mzuri adrano aliitikia "ambae ndie alikua rafiki yake musa ila jana kamfukuza arafati aliacha kucheza drafti akasema hawa watoto wazuri wazuri ndo sisi ,tumeumbiwa kisha akamsogela jeni nambie mrembo ,"jeni hakupenda kupoteza muda aliwaambia samahani kuna kijana mmoja anaitwa musa aliniambia anaishi mitaa hii sijui mnamjua jen alivyouliza vile vijana wote waliangaliana adrano akadakia "usiseme mudy sema mwizi maana yule jamaa alikua mwizi najua kama hajakuibia pochi basi kakutapeli huyo mudy leo ni marehemu jana kaiba hela mwenge kapigwa hadikufa hujaangalia tv? "Adrano alimwambia jen"


Jen alijihisi mwili wake kukosa nguvu akauliza ni kweli ndio yeye alipigwa hadi kupoteza maishaa ?

"ndio vijana wote walimjibu"

"ok", nashukuru jeni aliongea huku machozi yanamtoka akaondoka zake na kurudi nyumbani


Jen alipitiliza hadi chumbani mwake na kujifungia akaanza kumuwaza musa haiwezekani yule kijana mpole ivo awe mwizi haiwezekaniii jeni alilia sana mwishowe usingizi ukampitia.


Hatimae wiki ilikatiaka musw akiwa anaendelea na dozi yake wakiwa pamoja na babu ,musw alianza kupona baadhi ya majeraha siku hio mida ya mchana kuna gari mbili zilikuja walishuka wanaume wawil kisha wakaanza kupanga bei ya lile jengo ambalo babu na musa ndio wamefanya sehemu ya makazi lile jengo mwenye nalo akaliuza kwa tajiri mwenye pesa zake ,babu inabidi leo mhame kesho tunakuja kuvunja hili jengo lote ili nijenge nyumba mpya yule tajiri alimwambia babu kisha wakaondoka.


Babu na musa wataenda wapi hawana ndugu wala rafiki usiku huo walilala ambapo pakipambazuka tu jengo litakuja kubomolewa .siku hio musa alipitia na usingizi wa ajabu musa aliota yupo kwenye pori nene huku sauti ya binti àkilia akiomba msaada


musa kwa ujasiri alikimbilia kunako zile kelele zinatokea musa baada ya kufika lile eneo alihamaki akaona msichana akiwa kàviringishiwa mwili mzima na nyoka mkubwa nyoka akapanua mdomo ili ammeze yule msichana musa kwa ujasiri aliwai na kuchukua jiwe kubwa alirusha haraka likaenda moja kwa moja kuzaba mdomoni puuu yule nyoka aliruka hewani na kumwachia yule binti musa akawai fasta ili akamchukue yule msichana waondoke eneo hilo upes , alivyomwangalia uson ile sura haikua ngeni alikua ni bibie jeni .


musa kwa mshangao akaita jeni jeni mara gafla yule nyoka akapotea musa akashtuka akawai kumkumbatia jeni ile anapeleka mikono jeni nae akapoteaa.


Wakati musa kapitiwa na usingizi mzito kumbe nje pameshakucha tayari gari ya kubomoa nyumba ishagika babu alistuka toka usingizini akajaribu kumuamsha musa hakuamka wale walokuja kubomoa wala hawakuwa na mda ya kucheki kama watu ndani wamelala wao waliwnza kazi yao ya kubomoa tena mahali aliko lala musq gari la bomoa bomoa lilianza kazi ya kubomoa huku ndani musa kapitiwa na usingizi mzito babu aliona nyumba inatikisika akatoka mbio na kumwacha musw bado kalala yaani kalala usingizi wa ajabu babu ile anatoa mguu mlangoni tayari ukuta ukamwangukia babu puuu kichwa kikapasuka pale pale ukuta mwingine ukadondokea mahali aliko lala musa puuu.


Haa wale wabomoaji ndo wakagundua kua watu ndani walikuemo baada ya kumwona babu alivyodondokewa na kupasuliwa kichwaa paaa.ukuta mwingine umemdondokea musa

Je nini kitaendelea?



Tulipoishia jana baada ya kuona wale wabomoaji wa lile jengo kudamka mapema saa kumi na moja alfajiri na kuanza kubomoa jengo kiholela bila ya kuangalia ndani kama kuna watu.


Wabomoaji wakiwa bize na kaz yao ya kubomoa ndani musw na babu wanaendelea kuuvuta usingizi wa alfajiri mara babu àlinyanyuka baada ya kusikia kelele za gari (pawa tila ) babu akamwamusha mogy sema mogy akawa bado amekolea usingizi babu akawa anajiandaa atoke nje ili akaangalie ni akinanani hao wanaongea huko nje


Babu kufika tu mlangoni ukuta mkubwa kuamdondokea puuuh! Tofali la block likachomoka juu kwenye ukuta mwingine ulio salia na kutua kichwani mwa babu paaa pale pale ubongo ukaruka juuu damu ikamwagika tayari babu kichwa kimepasuka ibaya mno hatamaniki.


Ukuta mwingine ukadondokea mahali aliko mogy puuu chumba kizima pakawa kimya .Gafla wale wabomoaji walipigwa na butwaa baada ya kuuona ule mwili wa babu .haa kumbe kulikua na watu humu.


Ni kauli ya mkandarasi aliongea huku akiwaamuru wabomoaji watulie waje washuhudie kua wameshaua mtu wale wabomoaji wakaenda na kumwona babu hatamaniki.


Wakiwa bado wanamshangaa babu mara kelele zikasikika nakuufaaa nisaidieniii wote waligeuka mahali zinakotoka zile kelele, ashii alikua na musa kabanwa na ukuta balaa anàhangaika kujiokoa ni kichwa na kifua ndo kimesalia mwili mzima umebanwa na matofali .


Wale wabomoaji waliwai na kuweza kumsaidia musa akatoka alikua hatamaniki kabondwa kichwa na kutoneshwa vidonda vyake

Baada ya wale wabomoaji kumtoa nje alijaribu kumsimamisha bahati mbaya hakuweza kusimama alikua kateguka kiuno mguu na mkono ikabidi wamlaze chini.sijui balaa ama mkosi gani unamwwndama musa na kuna wakati akizidiwa sana huwa anaongeo lugha isiyoeleweka ,sijajua musa ni mtu ama kiumbe gani ndugu msomaji.


Babuuuuu babuu uko wapi nakufa "musa alimwita babu huku analia kwa maumivu anayoyapata "

Musa aliyang'amua macho na kubaki kakodoa alipigwa na mshituko usio wakawaida baada ya kuuona mwili wa babu ukiwa umelala na kukandamizwa na ukuta kichwa kimepasukaaa,yaani mtu ambae hamfahamiani amenitolea kuishi nawe hata siku tatu hazijapita anapoteza maisha mbele ya macho hako ,hakika unatia huzuni mno.


Musa aliita "babuuu" japo sauti yake ilitoka kwa shida pale pale musa akawa kimya akapoteza fahamu kabisa.


Mkandarasi aliwaita wafanya kazi wajue namna ya kufanya ili wajiepushe na maada ya mauaji. Makandarasi aliwaza upesi sasa hapa bila kupoteza mda chimbeni shimo hapa hapa tuwazike hawa watu kabla watu hawajaamka maana huu utakua msala ,mkandarasi aliongew huku akiweka kofia yake ngumu vyema kwenye kichwa chake.


Wabomoaji waliunga mkono wazo la mkandarasi mkuu hawakuchelewasha sana wazo lao la kuwafukia babu na musa bila ,walichimba shimo walimchukua babu wakamrushia ndani ya shimo kama mtu anatupa kuku aliyejifia kwenye banda lake .


Mleteni nahuyo sijui kazimia au kafa mdumbukizeni humu tuwafukie tupoteze kesi mkandarasi aliwaamuru wafanya kazi wake ,musa akabebwa mkuku mkuku akiwa hajitambui walikaribia kwenye shimo kabwa hawaja mrushia jamaa mmoja akatoa wazo bosi huyu tusimfukie kwakua mimi naenda bagamoyo kucheki ile gorofa sasa inabidi huyu nikamtupe kwenye msitu wa bagamoyo jamaa mmoja mwenye asili ya kiarabu sijui ndio shombe shombe basi wazo lake waliliunga mkono fasta musa aliingizwa kwenye gari akiwa hajitambui .


Gari ikatekenywa kitu kikawaka safari ya kuelekea bagamoyo ikaanza palikua pashaapambazuka toka tegeta hadi bagamoyo msituni alichukua lisaa limoja na nusu yule jamaa aliingia ndani ndan msituni kwakua palikua na uwazi wa kuweza kupenya na gari .


Alifika mahali dereva huyo alishuka upesi akageuka kulia kushoto mbele na nyuma alivyobaini hamna mtu ,alimteremsha musa na kumwaga kama gunia la mahindi puu !!!!! ,wala hakujali kama ni binadamu mwenzio kisha akapanda kwenye gari yake na akaondoka kwenye eneo hilo na kumwacha musa akiwa katika ile hali . Vile vile kazimia sijui ndio kapoteza maisha mie sijui.


Tukirudi tegeta mahali alikozikwa babu kwenye hilo jengo lililobomolewa wale wabomoaji wala hawakua na wasi wasi tena wakawa wanajipongeza kwa kazi nzuri waliyo fanya kwa muda ule.


Sasa hii nyumba tushafanya zindiko la babu atakae kaa hii nyumba kuna mawili kutokewa na mzimu wa babu au kutokewa na vitu vya ajabu labda huyu babu, kama hàkua mchawi watapona ila kama mchawi wanalo ni maneno ya mkandarasi alikua akiwaambia wenzake basi wote walicheka huku wakiendelea na shughuli zao.


Tukirudi maeneo ya bagamoyo ndani ya msitu mahali aliko tupwa musa bado alikua kalala vile vile huku akiwa na bandeji zake alizopigwaga maeneo ya mwenge alivyosingiziwa yeye ni mwizi halafu bado haitoshi kadondokewa na ukuta.


Hadi mida ya saa saba bado kazimia mapigo ya moyo yakipiga kwa mbal siku hio palikua pametanda wingu zito mda wowote mvua inaweza kunyesha hadi mida ya saa nane anga lote lilifungwa na mawingu mazito pyaaa pyaaaaah! Musa alipiga chafya mara mbili alifungua macho ila hakuweza kuona chochote zaidi ya kuona marue rue alijitahidi kufumbua macho ila bado alikua haelewi yupo sayari gani ,alipoteza kumbu kumbu kabisa aliweza kupata nguvu akajaribu kujinyanyua walau asimame ila hakufanikiwa kwakua hapo alipo kateguka kiuno mguu na mkono wa kushoto ,mtihani anaoupitia musa ni mgumu mno, alisikia maumivu makali mwilini, kilikua kilio chake peke yake dhidi ya mateso na mitihani inayomkabili .


Musa akiwa hajielewi yupo wapi mbona hawezi kunyanyuka mara mvua ikaanza kunyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo ilianza kumnyeshea musa, alijaribu kupiga yowe walau kuomba msaada kwa alie karibu na lile eneo ila hakufanikiwa kabisa ,sauti yake ilikua inatoka kwa shida, mvua iliendelea kumnyeshea huku mwili wake ukiwa namajeraha makubwa , kila akikohoa lazima anatema damu yote sababu alipigwa sanaa pia ukuta nao ulimdondokea .musa alivyoona mvua inazidi kuongezeka na kuzidi kuumia kwa maumivu aliyokua nayo alianza kujiburuza na makalio hadi kwenye shina kubwa la mti , alijibanza huku akiwa kaloa chapa chapa , alianza kulia taratibu kwa maumivu ya kuteguka kiuno miguu na mkono pia majeraha yalikua yanauma pia .


Musa akaanza kutetemeka na baridi mithili ya vifaranga Vya kuku vilivyopitiwa na mdondo , mvuà ilinyesha masaa mawili kisha ikakatika

Kumbe mahali musa kajibanza kwenye shina la mti pembeni yake palikua na shimo na hilo shimo palikuwemo nyoka mweusi mkubwa baada ya mvua kunyesha maji yaliingia kwenyelile shimo .na kufànya yule nyokà ashidwe kustahimili uwepo ma waji ndani ya shimo ,nyoka alianza kutoka taratibu musa akiwa amejiinamia alipigwa na machale kuna kitu cha hatari kinakuja musa aligeuka yalaaa !!! uso kwa uso wakakutanisha na lile Joka ,kawida ya huyo nyoka ukikutana nae mda wote anajihami mapema kama hata kuuma basi atakutemea mate na anasumu kali hatari.


Maskini wa mungu yule ,nyoka akamtemea musa mate usoni,musa hakuweza kunyanyuka akimbie musa alijiburuza na makalio walau kuokoa nafsi yake nyoka nae alivyomtemea mate alikimbia na kupotelea mbali.


Daa hakika yale mate ya yule nyoka ni sumu tupu macho ya musa yalianza kutoa machozi na kuwa mekundu makamasi nayo yalitoka

Musa akajihisi ukakasi kwenye mdomo mate yote alivyotemewa na yule nyoka mweus musa akaanza kutokwa na povu mdomoni macho yakaanza kumvimbia.


Haikuchukua mda mrefu hali ya musa ikawa mbaya kuongea hawez kuona haoni macho yamevimba yote ,akawa anahaha hajui wapi mashariki wala magharibi akajikuta anagara gara chini Kilikuwa ni Kilio cha aina yake ,kilio pasina msaada ,nani ataniokoa hiki ni kilio changu?,swali gumu musa hakupata jawabu kabisa.


Kwa mbali kuna binti mmoja kavalia nguo za ki mjini suruali na blauzi yuko na bib wakiwa wanatembea huku nguo zao zimeloa bila shaka wamenyeshewa na mvua na wao yule binti alianza kumuongelesha bibi yake .Sasa bibi huwa unakuja peke yako humu msituni kutafuta dawa?


"Ndio nakujaga mie bado ninanguvu za kutembea japo nishaanza kuzeeka sasa nisipo kuja peke yangu ntakuja na nani na unajua kua nipo peke yangu " bibi alimjibu mjukuu wake.


Mara gafla waliweza kufika mahali aliko musa yule bint aliogopa bibiii bibii hiki kitu gani huyu ni mtu ,kafa au mzima ,ni maswali aliulisw mfululizo yule binti


Bibi aliweza kumwambia hebu twende tumsogelee tuone kakubwa na nini bibi na mjukuu wake walisogea na kumwona musa akigara gara uso umevimba mdomoni anatoa povu ,yule bint akiwa anaogopa alisema "bibi tuondoke anakufa huyuuu".


Bibi akamwambia mjukuu wake huyu katemewa mate na nyoka weusi maana unaona hili povu na macho yalivyomvimba.

Yule binti alimwangalia musa,lakin alishtuka ,alisema hii sura kama naijua bibi .akajisemea kimoyomoyo ,inamana yule ambae niliambiwa kauliwa mwenge kisa kaiba mmmh, hapana huyu sio musa kweli, yule bint aliwaza baada ya kumwangalia musa usoni na kumwona anabandeji .


Alianza kuita musaaaa musaaaa musaaa ,Mimi ni jeniiii kulikoni umepatwa na nini kumbe yule binti ni jeni sijui kafikaje ,ila mungu akiamua kukuoatia msaada mwa hali yeyote ile atakusaidia hatima yao inaomekana ,basi aliweza kumtambua musa.


Jeni alizidi kuita jina la musa ,ila musa hata hakuwa na sauti hakuweza kuongea tayari ulimi ilikua umevimba na sumu ya nyoka.


Bibi wewe si mtaalamu wa tiba za asili mitishamba huyu mkaka wawatu tutamsaidiaje jeni aliongeaa huku akiwa anaonesha kuogopa na hofu hali ya musa aliyokuwa nayo.


Hu hu hu ha ha ha hi hi "haa bibi alicheka " ,na kumwambia mjukuu wangu jeni dawa yake mkamulie maziwa yako usoni kwenye macho na mdomoni atapona bibi alimwambia hivyo .


Jeni wala hakuchelewa alivua blau na kutoa maziwa yake yaliyo simama vyema saa sita kama wanavyoita vijana wa siku hizi .

Jeni alijaribu kukamlia maziwa yake machoni mwa musa hayakutoka maziwa hata chembe bibi alicheka kisha akasema lini umesikia mtu ambae hajazaa maziwa yanatokaga hebu nipishe mimi nimkamilie bibi alimwambia jen.

Bibi alisogea mahali musa anagara gara kwa maumivu alitoa ziwa lake alimkamulia musa machoni kwakua bibi ashazeeka maziwa yake yalitoa kidogo mno tena si maziwa ni maji maji meupe .


Mjukuu wangu mi nishazeeka maziwa hayatoki

Tutafute njia nyingine jeni alimwambia bibi yake naenda nyumbani kuchukua gari nije nimchukue nimuwahishe hospitalini jeni aliongea hivyo huku akimalizia kuvaa kiatu chake alitimua mbio kutwfuta usafir.


We jeni utapotea mjukuu wangu sasa nyumbani unakujua "bibi alimwambia mjukuu wake" sema jeni alikua ashafika mbali jeni alikimbia nà kukatisha msitu.


Bibi alibaki na musa mmh tunahangaika sana kuna mti unaitwa msanja matree huu mti nikiupata halafu nikampa atafune atapona haraka bibi aliwaza kwakua yeye ni mtaalamu wa miti shamba basi bibi alinyanyukà ili akautafute huo mti aje ampe musa aweze kupona kwakua wapo msituni bibi alipiga hatua kadhaa wala hakufika mbali alipiga kelele za kuomba msaada nakufaaaa mungu wangu bibi aliruka akadondoka na kuinuka upesi baada ya kumkanyaga nyoka aliyemtemea musa mate kumbe hakua mbali safari hii bibi aling'atwa mguuni kisha nyoka akakimbia na kuondoka kabisa eneo lile ,bibi alirudi upesi aliko musa alivua kitambaa akakichana na kutengeneza kamba ndogo aliufunga mguu ulio ng'atwa juu ili kuzuia sumu isipande mwilini na kusambaa bibi alichukua kijiti alichokonoa sehemu aliko umwa bibi na nyoka akafanikiwa kutoa meno mawili ya nyoka.


Licha ya bibi kuwai kupunguza sumu ili isipande lahasha sumu ilianza kusambaa mwilini taratibu mwili wa bibi ulianza kulegea baada ya mda bibi alianza kutokwa na povu mdomoni hali ya bibi ikazidi kuwa mbaya na yeye na wako msituni.


Mda ukazidi kuyoyoma jeni hakutokea hali ya musa inazidi kuwa mbaya bibi nae inazidi kuwa na hali mbaya zaidi ioichukua muda ndipo jeni aliweza kuwadia na gari ili kutoa msaada ,aliweza kufika mahali waliko. akakuta bibi povu linamtoka mdomoni .


Bibi bibi nini kimekupata jeni alimuuliza bibi yake .mjukuu wangu nimengal'atwa na nyoka bibi alijibu kwa kubabaika


"Sheeeet" , jeni alijisemea akafungua milango ya gari akaanza kuhangaika kuwapandisha maana wote ni mahututi jeni alifanikiwa aliwasha gari ili kuwawahisha hospitalini gari ilipigwa mwendo na jeni huku akikwepa miti

Dakika chache jeni aliingia barabara kuu ile anafika tu lami gari ikaisha mafuta ikawa haiwaki gari ikazimika na bado kuna kaumbali hadi kufika kituo cha mafuta.


Jeni alimtazama bibi yake ameshaanza kubadilika rangi kamtazama musa mapigo ya moyo yanadunda kwa mbali jeni akapiga usukani ngumi na kuanza kulia nitafanyeje mimiiiii




Jeni alimtazama bibi yake ameanza kubadilika rangi na kuwa mweusi kama yule nyoka musa nae mapigo ya moyo yanapiga mbal yote kutokana na sumu ya nyoka kutambaa mwilini


Jeni alizidi kuchanganyikiwa gari imeisha mafuta

Songa Nayo....................


Jeni alijaribu kusimamisha gari ili aombe msaada ila gari zilimpita kama vile hazimuoni .kunaboda boda moja inakuja kwa kasi jen aliipungia mkono cha ajabu ilimpita kama upepo

Siku zote katika kundi la watu wabaya mmoja wapo lazima awe na roho ya huruma jeni kwakua alikua msichana mrembo na anavutia alijaribu kupungia magari mkono yasimame ili awaombe msaada lakini alipitwa kama vile hawajamuona sio kwamba watu wanashidwa kumsaidia jeni hapana watu walikua wanaogopa gari ya jeni ilipaki vibaya kando kando ya msitu watu walishidwa kumsaidia wakihiisi huo ni mtego wanaufanya majambazi wameamua kumuweka msichana mrembo ili kama mtu yeyote mwanye gari angeshuka ili amsaidie basi wangempora gari lake ndio kitu walichohofia kutoa msaada ,bahati nzuri kunakijana mwenye baiskeli alipita karibu na gari la jeni jeni akamwomba msaada ili akachukue mafuta ya gari yake yule kijana alikubali na kumwambia jeni apande kwenye baiskeli yake ili ampeleke kwenye kituo cha mafuta hakikua mbali sana kivile ,kwa mguu ungetembea nusuu saa.


jeni aliridhia ule usafiri akapandishwa kwenye kiti cha nyuma yule kijana nae alianza kuendesha hawakuchukua muda saana chache ni dakika baiskel ikakatika mnyororo .kwahio safari imekwama jeni kwa uchungu akaanza kulia akijua fika bibi yake na musa watafia mikononi mwake .


Jeni hakukubali kukata tamaa lilikuja lori kubwa akalipiga mkono likashuka jeni alizunguka upesi upande wa pili ambako dereva aliko jeni akiwa kajaa simanzi na majonzi jeni alimweleza yule dereva kila kitu yule derevà hakuwa na kinyongo alikua na mafuta ya petroli lita tano kwenye dumu dogo yule dereva alimpatia yale mafuta na kumwambia wawahishe hao watu hospitali upesi .


Jenj alifurahi aliwai kwenye gari yake akaweka yale mafuta na kufunga vizuri gari ,jeni alichomoa elfu kumi kwenye pochi alimpa yule kijana wa baiskeli ambayo ilikatika mnyororo pia jane alitoa elfu 10, akampa yule dereva wa lori .

Dada yangu mimi mafuta nimekupa bure kabisa wawahishe tu hospitali yule dereva alimwambia jeni hivyo jeni akarudisha pesa kwenye pochi jeni hakupenda kuchelewesha aliwasha gali akapiga honi pipi pipi kumaanisha asante jeni aliondoka na gia zote na kufika bagamoyo mjini aliwawahisha hospitalini .


Bibi na musa walipokelewa hospitalini ila hali zao zilikua mbaya sana jeni hajui afanye nini jeni alichanganyikiwa


Wote waliwahishwa kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi wàlianza matibabu ,Hadi saa moja jion hakuna alie pata nafuu

Dokta alimwita jeni ofisini kweke ,"dokta nimekuja "jeni aliitikia wito.


Aaah hawa wagonjwa wako imeshindikana kabisa kuwatibu maana inaonesha nyoka aliyemuuma bibi anasumu kali na sumu ishatambaa mwili mzima na tumeangalia moyo ushakua mweusi kwahio bibi yako kabakisha dakika 20 tu apoteze maisha cha msingi kama utapata waganga wanao tumia dawa za miti shamba bibi ataweza kupona au ukipata jiwe la nyoka hilo jiwe linanyonyaga sumu zote bibi yako hapo ataweza kunusurika lasivyo tutampoteza ila yule kijana hajadhurika sana atapona "yule dokta alimweleza jeni hivo".


Jeni akiwa analia alichekecha akili yake upesi na kukumbuka bibi yake ni mtaalamu wa tiba za miti shamba lazima atakua na hili jiwe la nyoka sasa nitamuulizaje hali ya kua hawezi kuongea jen aliwaza haraka.


Basi alitoka chumba cha daktari na kwenda moja kwa moja kwenye gari yake aliwasha na kuelekea nyumbani kwa bibi mwendo wa dakika nane ashafika bibi alikua kafunga nyumba jeni alihisi kuchanganyikiwa alichukua jiwe kubwa na kwenda kuipiga kufuli na kuuharibu mlango jeni aliweza kuingia ndani ya nyumba lengo lake apate jiwe la nyoka .


hilo jiwe ni kiboko ukilipata ukishaumwa unaweka tu lenyewe linavuta sumu yote

Jeni alipekua makopo ya bibi hatimae alikutana na kopo lina mawe matatu moja la daki blue lingine jeupe na jeusi jeni aliyabeba yote fasta akatoka na kuwasha gari alitudi kwa mwendo kasi aliweza kufika hospitalini na zilikua zimesalia dakika chache bibi aage dunia jeni alimwita dokta na kumpatia yale mawe matatu dokta na yeye hakua mtaalafu wa kuweza kugundua lipi ndio jiwe sahihi alichokifanya yale mawe aliyaweka kwenye jeraha ambalo ndio sehemu aliyong'atwa na nyoka mguuni.


Jiwe moja jeusi lilinasa mengine yalidondoka basi dokta alitabasamu hili jeusi ndio lenyewe "alisema hivyo" jeni akauliza na yeye "ni kweli hili jiwe linaweza kuokoa maisha ya bibi?

Dokta akasema "ni kweli kabisa bibi yako atapona".

Maana hilo jiwe ukiweka tu linanasa basi taratibu lilianza kuivuta ile sumu

Asikuambie mtu ,uking'atwa na nyoka haufi pale pale unaweza ukakaa siku saba kama atapatikana mtaalamu anaejua kutibu ukiumwa na nyoka basi ataweza kukutibu na kupona kabisa ila daktari anaweza kukupima na kusema tayari ushapoteza maisha kumbe ni moyo ndio umefunikwa na sumu tu na kushidwa kusukuma damu.


Ndio inavyokuwaga ,Chumba alichokua musa alikua ashaanza kuona japo kwa mbali na kuongea alikua bado hawezi ila mapigo ya moyo yasharudi vyema musa aliwekewa dawa machoni kisha akadugwa sindano ya usingizi moja kwa moja akaillala fofofo.


Lile jiwe la kutoa sumu ya nyoka lilifanya kazi yake vyema hadi saa tano usiku bibi alikua ashapona anaongea vizuri kabisa ila jiwe lilikua bado halijadondoka.


Jeni alitabasamu baada ya kuona hali ya bibi imetengamaa ndipo akampigia mama yake na kumueleza kila kitu mama yake jeni alifurahi kwa alichokifanya jeni .


Mama nitumie laki tano za matibabu jeni aliweza kumwomba mama yake hela kwakua maisha ya kwa kina jeni sio mabaya sana basi alitumiwa hio hela upesi tu ,kutokana na uaminifu wa jeni na wwzazi wake ,si kama akina sisi ukiomba hata elfu mbili mzazi anakuuambia sina hela ya kuchezea nikupe elfumbili haoafu uka BET mmmh sahau.


Bibi alilala hospitalini na musa alilala hospitalini jeni nae alikaa karibu na bibi yake hadi asubuhi

Dokta asubuhi alienda chumba cha musw alikuta amekaa kitandani akiwa anaona vizuri.


"Vip kijana dokta àlimwongelesha musa"

Poa we musa alijibu na kumwangalia dokta usoni ,dokta alitabasamu na kumwambia ,saivi unaona vizur?

musa aliitikia "ndio naona vizuri wewe ni nani na niko wapi hapa?"

"dokta akashusha pumzi na kugundua musa hana kumbu kumbu maana vazi alilolivaa ni rahisi mtu kutambua kuwa ni dokta ila kwa musw imekuwa tofauti hatambui kitu.


Musa alijaribu kunyanyuka alishidwa kutokana na kuteguka kiuno na mguu alivyodondokewa na nyumba dokta aliweza kuona hali ya musa akamuuliza kulikoni mbona unashidwa kuinuka.


Musa alimwambia hata mimi sijui naona kiuno na mguu umeteguka


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG