Search This Blog

Sunday, May 31, 2020

TRUE VENGEANCE SEHEMU YA 3/10


TRUE VENGEANCE
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
Watchstrap…+255718 862176
SEHEMU YA 3 KATI YA 10
*******
 *******

Aliongea Alex mkuu wa kikosi hiko.

wakati huo wote Witness alikua ame kaa kimnya akiangalia jinsi bonde lilivyo refu kwa kwenda
chini.

"hivi kwanini tuna bishana hivi hapa cha kufanya tupumzike alafu asubuhi tuanze hiyo safari nyingine"
"poa. tuta pumzika hapa. tuta weka frequency na kuweka sawa kamera .Witness anza kuweka frequence kuwa siliana na Amina Bulembo makao makuu akutumie picha nzima kwenye GPS"
"sawa Mkuu"

witness alijibu huku akifungua begi na kutoa camera pamoja na mitambo mitambo mingine ya kutega ili makao makuu wajue wapi walipo.

zoezi lili fanyika na kila kitu kwenda sawa na mitambo hiyo kutegwa kila wali lotaka litegwe. na wote kupumzika.

"hei amka hei. kume kucha tayari. unalala vipi kama mwana mke"
"niamshe vizuri bana. namna gani wewe nime kusikia. sawa naamka"
Humprey alikunja baada ya kukerwa sana na kitendo kile isinge kua ni mkuu wake ange mtandika hata ngumi ya koo

"embu hamka kamata mtutu twende"

"sawa"

kila mtu ali kamata mtutu wake begani na kuanza kushuka katika kilima hiko kikali kimnya kimnya..

wali tembea umbali mrefu kidogo bila kupumzika na kwa mbali walianza kuona kijiji hiko ambacho wali agizwa . witness alitoa darubini yake ambayo yenye lenzi kali na kufanya aweze kuwavuta watu kiu karibu zaidi.

"naona watu sita wana mitutu., kuna mateka pia. upande waa juu kabisa kuna walinzi pia wana silaha"
witness aliongea kile alicho kiona.

"Mike uta kaa na sniper kule juu kabisa. usi pige mpka ruksa yangu. tuna ingia kimnya kimnya bila kutumia silaha kwanza.,Witness uta pitia nyuma kule kimnya kimnya."
"sawa Mkuuu. nime kuelewa"

taratibu witness alianza kutembea akitumia tahadhari kubwa sana.

alifika kwenye kijij hiko na kumuona mlinzi mmoja. huyo alimfuata na kuuzungusha mkono wake shingoni huku akiukaza kwa nguvu. alivyo hakikisha mtu yule kaishiwa nguvu alivunja shingo yake.

aligeuka upande wa pili na kuwapa ishara kwa kutumia mkono kua kila kitu kipo sawa.

alitoa kidude kinacho fanana na kibomba na kuiweka mbele ya bastola yaani silencer kifaa hiki husaidia kuepusha kelele za bastola.
"Hei"
witnes aliimuita mlinzi huyo na kitendo cha kugeuka alikua tayari maiti hii ni kutokana na kuchomwa kisu shingoni.

Witnes alisonga mbele akiwa makini kuliko kawaida , huku mkononi akiwa ameshika mtutu vizuri kabisa. alimuona mtu ana kuja mbele yake na kumpiga kitako cha bunduki.
alivyo chungulia upande wa pili tayari aliona jeshi la Humprey lisha ingia ndani. ulikua ni ukimnya wa ajabu sana.

kweli waliwa punguza waarabu hao kimnya kimnya na safari hii ilikua ime baki kazi moja ngumu kuingia ndani ya ngome iyo na kumchukua Saidi Bin Laden.

"put your gun down now slowly"(weka silaha yako sasa hivi taratibu)"

sauti hio ili sikika nyuma ya kisogo cha Witness huku akihisi chuma cha moto juu ya utosi wake.
"Do it(fanya ivyo)"
"okay.Fine"(sawa hakuna tabu)"

witness aliweka silaha chini taratibu huku aki subiri nini kinge fuata kifo au uhai.
"move."(songa)

witness alianza kuongoza akiwekwa mateka huku mikono yake yote miwili ikiwa juu.

ila cha kushangaza alihisi kishindo cha mtu ame dondoka nyuma yake na ukimya kuta wala ili mbidi ageuze shingo ili kujua nini kime tokea.

alimuona Stuwart ndo ana malizia kuchomoa kisu juu ya kifua cha mwarabu yule aliye muweka mateka muda mfupi.

"Asante Stuwart"
"usijali. uko poa?"

"yeah niko poa"
"okay twenzetu pita kule. kua makini wity"
"usijali"

Witness alishika mtutu wake na kuendelea kusonga mbele.

"griii griiiiii"
milio ya risasi ili anza kurindima kila kona hii ni kutokana na tayari waarabu hao wali jua tayari wali sha vamiwa. kila mtu alitoka na mtutu wake na risasi kuanza kurushwa kila mahali.

"RPG(kombola)"

Alex aliongea kwa sauti hasa alipoona mwarabu aliye kaa upande wa pili ameshika kombola. ivyo kila mtu alisambaratika na kuji tupa alipoona pana faa .Muda mchache tayari kijumba kimoja kili kua kime vunjwa vunjwa na kombora hilo.

risasi zili zidi kurushwa na safari hii Alex alipigwa risasi ya kichwa na kupoteza maisha papo hapo.

majibizano ya risasi yali zidi baina ya pande izo mbili huku waaarabu hao waki onekana kuwa zidi nguvu sababu ya kutumia silaha kali sana.

kwa mbali sana Witness aliona wenzake wote wame tekwa nyara na kila mmoja akipigwa risasi ya kichwa na kupoteza maisha., alipigwa Humphrey risasi ya kichwa na waarabu hao ambao hawa kua na chembe ya masihala.

roho ili muuma sana hasa alipo muona Stuwart ime fika zamu yake huku akiwekwa mbele. haku taka kuruhusu jambo lile.
"paaaaaaaa"

risasi moja iliyo penya kati kati ya ubongo wa mwarabu aliyekua ame shika bastola na kumfanya adondoke chini, na kufanya waarabu wengine waanze kutupa risasi bila kumuona nani aliye piga risasi ile.

witness alihama upande na bastola vizuri mkononi huku akipima aki tumia jicho moja vizuri kwa ujuzi wa hali ya juu aliivya tua tena bastola ambayo ili mpata mwarabu mwingine, waarabu wale walianza kuongea kwa lugha ya kiarabu huku wakionekana kama wame changanyikiwa sana.

aliendelea kuwa punguza mmoja baada ya mmoja na wote kuwa maliza alivyo hakikisha hilo ali mfata Stuwart ambae wakati huo hakua mini kama ame pona.

ali mfungua Stuwart kamba na kumkabidhi bastola.

"paaa paaaa"

risasi mbili zili penya ndani ya mguu wa Stuwart kutoka kwa mwarabu mmoja ambae alikuja na wenzake na kuwa weka wote chini ya ulinzi.

wali amriwa waweke silaha chini na kikundi cha waaarabu kuanza kuingia. Macho ya witnes yali gongana na Said Osama bin Laden ambae ndie waliye ambiwa wampeleke akiwa hai.

 ukubwa wa picha ya ukutani nyeusi ya Raisi Barack Obama na bendera kubwa ya marekani ili fanya dhahiri kujuli kane kuwa ndani humo ni ofisi ya raisi huyo aliye julikana kama ni raisi wa dunia.

,ana zidi kuumiza sana kichwa kuchanganyikwa hii ni kutokana na mtoto wa dada yake Lolinnah Marcel kutekwa nyara nchini Nigeria akiwa ana talii na kikundi kinacho fahamika kama

BOKOHARAMU,ambapo kikundi hiko kime teka takribani wasichana elfu tatu huku wengine mia moja kuuwawa.

baadae kikundi hiko kilichopo magharibi mwa nchi ya Nigeria nje kidogo ya mji wa LAGOS.
kina gundua kuwa Lolinnah Marcel ana uhu siano na raisi huyo Barack Obama na kuhitaji kihasi cha pesa dolla billioni thelathini za kimarekani

hofu ina zidi kutanda sana na kumfanya Raisi Barack Obamma ashindwe nini cha kufanya.

siku iyo akiwa ofisini kwake ambamo ndani ya ofisi hiyo kulikua na watu kumi na tatu akiwemo kanari mkuu wa majeshi .

Ghafla ana letewa simu mezani na kuambiwa kuwa ni BokoHARAMU wali kua wana hitaji kuongea nae tena.
"put him on speaker"(weka kwa sauti kubwa).

Aliongea Raisi Barrack Obama na mtu yule aliye valia suti nyeusi na kuweka simu mezani huku akibonyeza kitufe ambacho kiliruhusu sauti ya upande wa pili isikike na watu wote.

"This is president Barack
Obamma"(mimi ni raisi Barack obama)"
"Good afternoon mr.president,this is going to be a shot conversation,you know i have innocent girls.what i want now is to convince you,that i have no desire to harm innocent girls(habari za mchana mh Raisi,haya yata kua maongezi mafupi.una jua nina wasichana wasio kua na hatia.nachotaka sasa hivi ni kukusha wishi kwamba sina haja ya kuwa dhuru wasichana wasio na hatia).

"and yet you killed more than hundrend innocent girls(wakati ume uea zaidi ya wasichana mia moja)
"but you should listen to me . what am asking is simple i need third billion dollars,and remember i have your niece,(lakini unatakiwa kuni sikiliza nataka kitu rahisi. nataka dola bilioni thelathini. na kumbuka nina mpwa wako).
""what? that will never happen(nini hilo haliwezekani")
""you have exactly ten hours to change your mind mr President, mr president the clock starts now"

yali kua ni maongezi mazito baina ya pande izo mbili baada ya simu ile kukatwa..

ambapo maongezi hayo yali penya kwenye kila sikio la kila mtu ndani ya ofisi hiyo ya Obamma,
alishusha pumzi ndefu na kumwangalia kila mmoja wao.Kweli Raisi obama hakuwahi kuchanganyikiwa kiasi hiko na kumfanya ashindwe kuongea chochote na kukaa kimnya kwa kitambo.

"How many innocent girls are there?."
aliuliza Raisi Obbama
"more than thousands sir"(zaidi ya elfu moja)
"tell FBI about the threat and milliraty"

aliongea raisi akimpa maagizo mkuu wa majeshi ambaye alikua ame simama pembeni yake.
"but mr president"(lakini mheshimiwa.)
"what Jacobs"?
"what am saying we should take that alternative"
"what alternative Jacobs?"
"jus give them those money, bacause they are going to kill those innocent girls"
"jacobs i cant belive you are saying these'"

alida kia mwingine ambae alionekana kuchukizwa sana na kauli ya jacobs na kufanya raisi Obama akae kimnya.

"listen"(sikiliza)

aliongea Raisi Obama huku akisimama kwa hasira sana na kupiga meza kwa mikono miwili
" this is America we don't negotiate with terrorist.and we have seven hours to find these bustards and i belive we will.Why. because that is how we do.
Americans don't stay down we rise up together in times of crisis. is that clear?"

Raisi Obama aliongea na kweli alimaanisha kile anacho kiongea. aligeuka nyuma na mlango mkubwa uki funguliwa na walinzi ambapo alitoka nje na kuacha maongezi yana endelea ndani ya ofisi ile.

***********
alimuangalia Saidi Bin Laden kwa umakini sana ambae wakati huo ali kua ameshika panga na mkono mwingine bastola

hapo ali toa amri moja tu wapelekwe na kufungwa kamba.
agizo hilo lili telekezwa mara moja na Safari tayari witness alifungwa kichwa chini miguu juu bila kujua hatma yake mwisho ita kuaje.

alimuangalia Stuwart kwa wakati huo ambae wakati huo nayeye alifungwa vivyo ivyo huku damu nyingi zikiwa zina mvuja mguuni ambapo ndo kulipo kua na majeraha aliyo pigwa na risasi.

"stuwart. stuwart."

witness alimuita.
"naam"
"tuta toka humu usijali"
"hapana hatuwezi"
"niamini Stuwart usijali"
"tuta toka toka vipi humu?,nani ata kuja kututoa?"
"nina kisu ndani ya kiatu changu."
"sasa uta kitoaje?"
"subiri Stuwart"

Witnes alivuta mikono yake juu kwa nguvu na kugusa buti lake ambapo alijaribu kuki papasa kisu hiko. ila alivyo karibia kukivuta alihisi kuna mtu ana kuja na kutulia.Mwarabu mmoja aliingia na kuwa tazama kwa kitambo na kutoka nje.

witness haraka haraka alichomoa kisu kile ndani ya buti na kuanza kukata kamba kwa kutumia nguvu alidondoka chini na kuji fungua mikono yake.

alimuona mwarabu yule kaingia na kushtushwa ila alivyo taka kushika bastola.
witness alikaza vizuri mkono wake na kukirusha kisu kile ambapo kili tua kifuani na kumfanya mwarabu yule adondoke chini na kuanza kuaga dunia taratibu.

bila kupoteza muda ali mfungulia Stuwart na kuchukua silaha alizo kua nazo mwarabu yule.

alimsachi mfukoni na kumkuta ana funguo za gari.
jambo hilo lili mfurahisha sana. ali beba begi lake na kumficha Stuwart., baadae ana rudi na kuingia nae ndani ya gari huku aki toa kasi ya ajabu aki tumia gari iyo aina ya PRADO.

"shit"
"nini tena wity"?
"angalia nyuma."
Stuwart ana geuza shingo nyuma na kuona magari matatu yana kuja kwa kasi huku waki rushiwa risasi na kufanya vioo vya nyuma vya gari iyo vianze kupa suka.

Witnes alizidi kukanyaga mafuta. Alifungua begi lake na kutoa bomu dogo mithili ya kiazi na kulitupa kwa nyuma kwa nguvu sana.

tayari gari lili lokua nyuma yao lili kua lime rushwa kama bati la nyuma na kuli puka.

kwa ghafla ali kanyaga breki na kupandisha HAND BREK huku mikono iki zungusha usukani ambapo kwa ghafla gari ile PRADO ili zunguka na kukaa upande iliyo tokea hapo witness ali toa mtutu na kuanza kuzi mininia gari izo kwenye matairi na kuya fanya yapoteze uelekeo.

alivyo hakikisha kamaliza gari zote za watu wale..ali geuza gari na kuendelea na safari.
baadae ana simamisha gari huku akimwangalia Stuwart ambae hali yake ili kua sio nzuri kutokana na damu nyingi kumwagika.

"Stuwart.. jifiche hapo mimi nita rudi. shika hii simu piga makao makuu. na bastola kamata ujilinde"
"hapana Witness una enda wapi?"
"nisubiri hapa. naenda kumfuata Saidi Bin Laden. ndo tulivyo tumwa. "
"uta kufa Witness"
"wacha niende Stuwart"
"il...."
stuwart alishindwa kumalizia anachotaka kusema baada ya Witness kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni kwa sekunde kadhaa.
"nakupenda Stuwart..Kama nisipo tokea zaidi ya dakika thelathini jua nisha kufa. anza safari ya kurejea"

Stuwart ali shuka ndani ya gari na Witnes kutokomea na gari.

matarajio ya witness kurudi haya kuwepo tena hii ni kutokana na tayari dakika thelathini zili pita tayari alicho fanya alichukua kitu kama kiba ruti na kuki fungua ambao hapo ulitoa moshi mwekundu uliokua una enda hewani kuashiria kwamba helikopta iweze kushuka maeneo yale ambao ali wasiliana nao muda mfupi.

kweli kwa mbali alisikia mlio wa helikopta unalia na helikopta kutua pale alipo kuepo.

wana kuja kumchukua wenzake jeshi la anga . ila kitu ambacho haku kitegemea ni baadaa ya kumuona Witnees kwa mbali ana kuja huku mbele akiwa ame muweka Said Bin Laden.
kila mtu ali baki kumshangaa witnes kwa kufanya kitendo kama kile cha kija siri tena mtoto wa kike.

aliingia ndani ya Helkopta hiyo ambayo ilianza kuruka angani.

"witnes hongera sana'
"asante '
"ila kuna kazi nyingine"
"kazi gani?"
"America. Nakuteua uende huko kuna kazi ya Raisi obama wa Marekani?"
"sija kuelewa mkuu,"
" uta nielewa tuki fika nita kueleza vizuri"

mapanga boi ya helikopta iyo yalizidi kukata mawingu na kuendelea na safari huku Witness kafifi akizidi kuta fakari kazi iyo aliyo teuliwa kwenda kuifanya nchini Marekani.


Helikopta iyo kubwa ambapo mlangoni alikaa mlinzi aliye valia nguo za jeshi akiwa ameshika Mtutu mkubwa aina ya AK 47 akiuelekezea chini kuangalia usalama na kuji hami kwa chochote kile.

Madaktari wa huduma ya kwanza hawa kucheza mbali na Stuwart wali mshambulia huku waki mpa huduma ya kwanza.
"Relax Mr Stuwart"

aliongea mmoja wa madaktari huku akisa fisha vidonda vya risasi katika mguu wa Stuwart.

Witness alimpa tabasamu Stuwart kuashiria kuwa kila kitu kitaenda sawa kabisa.

Helkopta hiyo taratibu ilianza kushuka chini juu ya Meli kubwa iliyo kua kati kati ya Bahari hiyo.

ambayo pembeni yake kulikua na ndege nyingine ndogo.

hapo wali shuka na Witness kuanza kupewa huduma ya kwanza waki mkagua kila mahali kama ana jeraha lolote lile.

"nipo sawa msijali"
"acha tukuangalie"
"nime sema nipo sawa"
Witness alifoka na kusimama kutoka juu ya kitanda huku akimuulizia Stuwart alipo. kweli alipelekwa mpaka chumba alicho lazwa Stuwart na kumkuta bado amelala hakutaka kuondoka alicho fanya alikaa pembeni ya kiti kikubwa na kusubiri mpka pale ata kapo fumbua macho

"Wii...ty"
"Stuwart"

Witness aliku rupuka haraka haraka na kumuendea Stuwart kitandani pale ambae wakati huo tayari alikua kasha fumbua macho
"Stuwart unaendeleaje?"
"Sasa hivi afadhali sio kama awali"
"Utapona sawa Stuwart"
"Nakupenda sana Witness. nakupenda sana"
Witnes alimuangalia kwa Kitambo na kushusha pumzi ndefu kiasi na kukohoa kidogo.
"Stuwart"
"Naa...am"
"hata mimi nakupenda ila moyo wangu una sita sana"
"kwanini?"
"sijui"
"lak....."

alishindwa kumalizia maneno baada ya captain kuingia na kutoa ishara ya mkono akimuita witness nje.
pale pale alimpa taarifa na kumkumbusha kuwa ana masaa mawili tu ndege ita kuja kumchukua na kumpeleka nchini Marekani.
ivyo aweze kujiandaa ila ana omba dakika nyingine ili aweze kuongea na Stuwart na kumuaga

"Stuwart mi naenda muda ushafika, tutaongea nikirudi"

"kila raheri"
Witnes aliinama na kumpiga busu juu la paji la uso na kuondoka kwenda kujiandaa.

alienda bafuni na kuji mwagia maji haraka haraka na kuanza kuvaa

alibeba kila kitu kilicho staili kubebwa.

huku akiandaa chakula ila alipo taka kuweka kijiko cha kwanza mdomoni alishtushwa na hodi ya mlango kwa Captain aki ambiwa kuwa tayari ndege ime shatua na ana hitajika muda huo.
hakua nacha kufanya aliacha chakula na kutoka nje ambapo aliiona ndege yenye ukubwa kiasi ikiwa imeegeshwa.

alipewa maelekezo kidogo na ndege hiyo taratibu kuanza kupaa angani huku ndani yake kukiwa na ngozi nyeupe yaani wama rekani ukimnya uli tawala ndani ya ndege hiyo mpaka walipotua jijini Los angeles na wote kushuka ambapo hapo zili kuja gari nyeusi aina ya FORD takribani tano zikiwa na vioo vyeusi ya tinted.

Witness alishuka na wenzake na moja kwa moja mwana mke mrefu mweupe kumfuata pale alipo.

"Njoo kwenye gari hili Witness?"
Msichana yule aliongea kiswahili kizuri tena cha kitanzania.
"una ongea Kiswahili?"
"ndio mimi ni mtanzania naitwa Jullita Shayo.nafanya kazi ofisi ya Raisi nime ambiwa nije kuku pokea. nafurahi kukuona hapa"
"namimi pia"
witness ali mfuata nyuma Julli shayo na kufunguliwa mlango ambapo baada ya wote kuingia ..
gari zile zilianza kutembea kwa kasi sana na kufuatana kana kwamba kuna msafara wa raisi.

"tunaenda wapi:?"
Witness alimgeukia Juliita Shayo na kumuuliza.
"ikulu Kwa raisi ana mazungumzo nawewe kidogo"
"juu ya kitu gani?"
"usijali Wity uta jua huko huko tuki fika usiwe na wasi wasi"
"ume sema una itwa Juliita?"
"ndio"
"upo huku Marekanibkwa muda gani?"
""huu mwaka wa ishirini sasa"

Gari zili zidi kwenda kwa kasi mpka walipo fika njee ya nyumba kubwa nyeupe iliyo zungushiwa camera maalumu kila mahali.
Sio ivyo tu bali na polisi wali tanda kila eneo la sehemu hiyo.

Gari izo zilipita baada ya kuka guliwa na kuingia moja kwa moja ikulu na kusimama ambapo watu maalumu wali wafungulia milango na wote kushuka huku witness aki mfuata Jullita shayo nyuma.

"i want to talk to mr.President(nahitaji kuongea na Raisi)
aliongea Jullita akimwambia mlinzi uyo aliye kua mlangoni.

Mlinzi huyo mzungu aligusa sikio lake ambapo ili tumika kama simu na kuonekana akiongea na kama mtu aliye kua ndani ya ofisi.

"get in(ingia ndani)"
mlinzi huyo alijibu na Jullita shayo kuingia na Witness ndani ya ofisi hiyo ya Raisi Barrack obama.

Moyo ulianza kumuenda mbio Witness na kuanza kutetemeka hii ni kutokana na mtu aliye muona mbele yake raisi Barrack obama. wakati mwingine alijua ana ota kitendo cha kuku tana na raisi hakuwahi kuwaza hata siku moja. alibaki akimshangaa na kushindwa kuongea chochote.

"usiwe na wasi wasi Witnes"
Aliongea Julli Shayo kwa sauti ya chini.

"Thank you for coming Witness. Welcome to America. How is Africa?( asante kwa kuja witness. karibu Marekani. Africa inaendeleaje?"

aliongea Raisi Barack Obama huku akimpa mkono Witnes na kumruhusu akae pembeni.

Raisi Barack Obama hakutaka kuongea mengi pale pale alianza kumwambia kile alichomuitia na kumwambia kila kitu.

Alibonyeza bonyeza simu yake mezani na kuanza kuita aki subiri ipokelewe.

" i need general Adolf in my office"
"okay sir"

simu iyo ili katwa na baada ya dakika chache alionekana pande la mtu lenye misuli mingi lime-ingia ndani ya ofisi hiyo moja kwa moja wali jua ni Adolf.

Aliambiwa amchukue Witness waondoke nae kuelekea nchini Nigeria.

haraka kitendo kile kili fanyika na Witnes kuingizwa ndani ya chumba kikubwa ambapo kulikua kuna kila aina ya silaha. Aliingizwa bafuni na kumwagiwa maji nacwafanyakazi maalumu wa mule ndanu.
na baada ya hapo aliingizwa ndani ya chumba kingine ambapo alitobolewa mkononi na kuingizwa kifaa cha GPS tracker.

Alivuta begi na kuanza kupakia kile alicho kiona kina mfaa na kuweka ndani ya begi huku waki pewa maelekezo madogo madogo.

alichukua bastola na kuiweka nyuma ya kiuno ivyo ivyo alichukua nyingine na kuichomeka pembeni ya mkanda bila kusahau kisu ndani ya buti.

"i'm Miriam"

msichana huyo wa kizungu ambaye nayeye alikua mmoja wa kundi hilo lina loenda alimsalimia Witness.
"Witness.Call me Witnes"

"i'm happy to see you here with us.i'm Fuc****ng happy. let's go and show those motherfuck**** "

aliongea Miriam huku akikoki bastola ndogo na kuweka magazine ndani ya begi lake Witness haku taka kuongea chochote.

"Okay let's go boys."

Aliongea Mkuu wa kikosi hiko Adolf Radcliff na wote kuanza kutoka nje . ili timu saa kumi na moja jioni tayari.

baada ya kutoka nje wali kuta Hammer mbili za kijeshi zime egeshwa waliingia ndani ya Hammer izo za kijeshi na safari ya kuelekea uwanja wa ndege wa kijeshi kuanza ambapo huko wange panda Helikopta ingine mpaka Nigeria....


.

Hammer zilizo beba kikosi cha jeshi zilizidi kutembea huku Witnes akiwa ndani ya gari ya pili. hakuacha kumuwaza Stuwart ambae ali muacha kitandani ana ugulia maumivu.

Hammer izo za kijeshi ziliegeshwa nje ya uwanja mkubwa wa ndege ambapo wali shuka na kuanza kuingia ndani ya helikopta iliyo kua kubwa.

kwa Mara ya kwanza Witness kuona helikopta kubwa sana tena ya kivita ambayo ili kua na mapangaboi matatu yanayo zunguka huku kila upande kuna silaha kali.

helikopta hiyo ya kivita ilizidi kutoa mlio mkali sana.

wana jeshi wote waliingia ndani ya helikopta iyo na tararibu kuanza kuruka angani tayari ilikua ime timu usiku wa saa tano ambapo wali tembea usiku kucha angani bila kufika anga ya Afrika nchini Nigeria.

kwa kutumia ujuzi rubani wa helikopta hiyo aliigadisha juu ikiwa ina elea huku wana jeshi hao wakianza kushuka kwa mpangilio mmoja baada ya mmoja huku waki tumia kamba.

baada ya wote kushuka mkuu wa kikosi General Adolf anatoa ishara kua helkopta ina weza kwenda.

mwanga hafifu kwa mbali ulianza kuchomoza japo kua wali kua kati kati ya msitu miti hio haikuweza kuzuia juaa la saa kumi na mbili asubuhi.

kulikua tayari kumepambazuka Wakizidi kutembea ndani ya pori hilo zito lililokua kaskazini mwa nchi ya Nigeria.

"All unit,do you read me. one two one two"
(wote mnanisoma moja mbili moja mbili)

Aliongea Adolf huku akijaribu redio hizo upepo za kijeshi ambazo hukaa mgongoni juu ya begi kubwa.
"copy"
"copy"
"copy"
Wote waliitikia kuashiria kila kitu kipo sawa na wote kuendelea kusonga mbele waki pandisha milima na kushusha.

huku mkononi kila mtu akiwa na ramani pamoja na mtutu wake.

walipita kijiji baada ya kijiji huku wana kijiji hao wakiwa shangaa wakiongea lugha za kwao.
mwishowe waliingia tena ndani ya msitu mwingine ambapo hapo ili walazimu warushe kamba zao zina se kama nanga kutokana na mlima kuwa mkali sana wajivuta kwa juu wakitumia kama ngumu sana

wana fanikiwa kupita vizuri na mwishowe kuingia ndani ya msitu mwingine mzito sana wenye miti mingi. kilicho kua kina sikika ni sauti za ndege mwitu

"Hey Hey"

Adolf alimuita mtu aliye muona mbele yake aki toka huku akikimbia. ali mkimbiza na kumzuia
.
"Do you speak english?(unaongea kiingereza)

ila mtu huyo alibaki kumwangalia Adolf machoni bila kusema chochote
"I said do you speak english?"
"Talk to me son of a bitch"

Mtu yule alizidi kumwangalia Adolf bila kujibu chochote.
"Sir lets go"
Aliongea Kelvin baada ya kuona hali ile na kupoteza muda.
"No until i know who he is?"*(hapana mpaka nijue huyu ni nani)
"but sir he does'nt speak English"

Kelvin alianza kulumbana na Adolf na wote kuanza kupandishiana. huku Kelvin akitoa bastola ndogo iliyo kua kiunoni na kumuelekezea Mkuu wake Adolf na kufanya wanajeshi wale wote wabaki kushangaa na kutaka kujua nini kinge toa mwisho.

"Kelvin you wanna shoot me haaah??,Pull the trigga. ( kelvin una taka kunivya tua nivya tue")

Adolf alizidi kumsogelea Kelvin na kuishika bastola ya kelvin huku akijiwekea kichwani aki taka afyatuliwe.

"pull the trigger, come on do it"

Adolf aliongea kwa hasira huku aki bana meno yake

"Paaa paaaaa"

Ulikua ni mlio wa risasi iliyo fyatuliwa na kumshtua kila mtu katika eneo hilo.

ila cha kusha ngaza hakuna aliye dondoka.
"Stop fighting guys,we ain't finish this"
Aliiongea Witness huku akiwa na bastola aliyoifyatua hewani baada ya kuona fujo zile.

Cha kushangaza hawa kumuona tena mtu yule wali yemkamata muda mchache uliopita.

wali mtafuta kila mahali ila wali mkosa.

Wana mpuuzia na wote wana amuua kusonga mbele waki watafuta watoto wa kike waliotekwa na kikundi cha BOKOHARAM kweli kwa mbali wanaona kijiji hiko ambapo wali amini ndipo walipo wateka watoto hao , ila hawa kuamini baada ya kuona wame zungukwa na kikundi cha watu walio jiziba nyuso zao na mikononi wakiwa wame shika silaha.

"Put down your weapons"

waliongea wana jeshi hao huku waki zidi kuwa sogelea.

ila kilicho washangaza zaidi ni kitendo cha Adolf kuwageuzia mitutu wana jeshi wenzake na kwenda upande wa majambazi wale walioziba nyuso zao

"Put your weapons down"
Alirudia tena safari hii aliongea Adolf na kufanya kila mtu asiweze kuamini kama ame wageuka....., Aliye kua wa kwanza kuweka mtutu chini alikua ni Witness aki watizama maadui wale kwa umakini akiwemo Adolf ambae waliye tokea kumuamini ila hawataki kuamini kama ana wageuka

 "paaaaa"
Adolf alimpiga risasi ya kichwa mwana jeshi mmoja na kumfanya adondoke chini pale pale na kupoteza maisha.
"jesus"

aliropoka Witness baada ya kumuona mwenzake yupo chini akivuja damu kichwani huku ubongo ukiwa nje.
"i said put your weapons down nicely . i don't want to do this. don't force my hands"

Safari jii Adolf alimuwekea bastola Miriam ambae alikua bado kashika mtutu wake .

"Adolf what is wrong with you?"(Adolf una tatizo gani")?

Alihoji Kelvin bado akiwa hataki kuamini kama kweli Adolf kawa geuka.

hawa kua na jinsi zaidi ya kusalimu amri na kuweka silaha zao zote chini na kusubiri nini kinge fuata

pale pale wali amriwa waweke mikono juu.

"i'm imprest, call captain tell him we have the children and every thing is okay. don't do anything stupid(nimevutiwa. mpigie mkuu. mwambie tuna watoto na kila kitu kipo sawa. na usijaribu kufanya ujinga wowote ule)"

Aliwekewa bastola kelvin usawa wa kichwa na kupewa radio upepo ili aweze kutoa taarifa hiyo makao makuu. kuwa kila kitu kipo sawa.

"whaat? this is crazy"
"Do it Kelvin"
Witness kiupole alimwambia Kelvin afanye kila kitu tena bila kubisha.
maana ange uwawa
alichukua redio upepo ile na kuanza kutoa taarifa.
ile ambayo ili kua ya uwongo .baada ya kila kitu kwenda sawa wote wali amriwa waongoze mbele huku wakiwa mikono juu.

wali tembea takribani dakika ishirini na kufika katika kambi kubwa ambayo ili kua ime tandwa na ulinzi mkali sana.

mijitu myeusi yenye misuli ilitanda kila kona ya sehemu hiyo wali pelekwa mpaka ndani ambapo Witness alionekana kuchunguza kila sehemu kwa mbali sana aliona nyumba nyingine kubwa na kuwaona watoto hao wa kike wakiwa wame kusanywa ndani.

Waliingizwa ndani ya chumba kidogo na chumba kile kufungwa kwa nje.

Baadae Adolf ana ingia na kuanza kuwakagua.
baada ya hapo ali watoa GPS tracker walizo ekewa walivyo kua Marekani.

"you son of bitch Adolf, you gona die asshole, how could you do this?"

Aliongea Miriam kwa hasira huku aki taka kuinuka ila ana tulizwa baada ya kuwekewa bastola kichwani.
"Don't make this to be worse than it is Miriam SEAT DOWN BITCH"

Aliongea Adolf na Miriam kukaa chini kwa hasira.

Adolf alitoka nje na kuwaacha tena ndani.

ila baadae wakina witnes wana sikia mtu ana kuja na Witness kuji ficha nyuma ya mlango.

aliingia mtu wa kwanza.
alivyo hakikisha wa pili kaingia alimpiga yule wa kwanza teke la mgongoni na mwingine ali mchoma kisu alicho kua nacho ndani ya buti.

Miriam ali mfuata yule aliye kua chini na kumkaba shingo na baadae kumvunja..

Witness haraka haraka alichungulia dirishani ili kuangalia usalama.
"clear"

Witness aliwaambia wenzake kuwa kila kitu kipo sawa na kuanza kuokota mitutu .

walichungulia huku na kule na wote kutoka nje huku Witness akiwaendea watoto waliotekwa nyara na BOKOHARAM

"hands up"
ni sauti nzito iliyo sikika nyuma ya Witnes na taratibu kuweka silaha chini ila baadae alige uka na teke lililo fanya silaha ya adui yule idondoke mbali na Witness pale pale kukunja ngumi.

aliona ngumi ina kuja na kuizuia kwa mkono ambapo ana tumia fursa hiyo kurusha ngumi ya mkono mwingine,
adui yule alirusha teke ila Witness aliinama chini na kumpiga ngumi adui huyo sehemu za siri na hapo hapo kupata nafasi ya kutoa kisu na kumchoma adui yule shingoni.
alivyo hakikisha jambo lile limeenda sawa.

alizidi kusonga mbele mpaka alipo fika nje ya nyumba iyo ambapo ndani yake kulikua na watoto wa kike walio tekwa huku pembeni kidogo kulikua na walinzi zaidi ya kumi.

Alitoa magazine na kuka gua kama ina risasi ya kutosha.
"shiiit"
kitendo kile kili mkera sana hasa baada ya kukuta risasi zipo tatu

 Pale pale risasi zilianza kurushwa huku na kule walinzi wale walianza kuji gawa kila mahali na kutambua kuwa tayari wame vamiwa ndani ya kambi hiyo.

Witness alichukua mtutu na kumfyatua mmoja wa walinzi wale ambae alikua mbali kidogo na mlinzi yule kudondoka
.
alivyo angalia pembeni yake alimuona Kelvin anajibu masha mbulizi yale akiendelea kuwapiga huku akiwa amelala chini.

"Kelvin. i want to get to the other side(Kelvin nataka niende upande wa pili).
Aliongea Witness huku akiwa nyuma ya jiwe kubwa ambapo alikua analengwa na risasi zina shindwa kupenya
.
"No that is a suicide play Witness. it is very risk"(Huo ni mchezo hatari )
"Listen i want you to cover me( nisikilize nataka uni linde)
"griii griiii"
Kelvin alianza kupiga risasi upande walio kua wale maadui huku Witness akipita haraka haraka mpka kufikia kwa yule mlinzi aliye dondoka na kuchukua mtutu wake na Magazine zote huku akiziweka mfukoni.

alikaa sawa na kuanza kuwa piga risasi ambapo alikua sana hodari katika suala zima la ulengaji na kuanza kuwa punguza mmoja baada ya mmoja.

alibadili upande na kubadili magazine kweli aliwa punguza .

Alishangaa baada ya kugeuza shingo yake nyuma na kumuona Kelvin yupo chini anavuja damu kifuani.

alikimbia sehemu aliyo lala kelvin na kumuinua kichwa chake.
"Kelvin..No No stay with me. stay with me kelvin

."
aliongea witnes huku akimkandamiza kifuani akimpa huduma ya kwanza .

ila kelvin alikohoa huku akitoa damu mdomoni na pale pale kutulia.

aliinamisha kichwa chake mpka juu ya kifua cha kelvin ili asikilize mapigo ya Moyo ya Kelvin ila haya kua yanatembea.
"He is gone Lets go Witness(ame eenda. tuondoke Witnes)
Witnes alivyo sikia vile haraka alitoa bastola ila aliirudisha baada ya kugundua ni Miriam.

Alicho fanya alimfumba macho Kelvin akiwa amekufa kwa kutumia mkono wake na kukoki bastola yake kwa hasira huku akiya bana meno yake na kutengeneza mishipa shingoni.

kwa mbali sana alimuona Adolf na baadhi ya wenzake waki waingiza watoto wale

wadogo ndani ya Lori kubwa waki jaribu kuwaahamisha wakitaka kuwapeleka sehemu nyingine Witness pale pale alipiga risasi na mmoja wao kuanguka ambapo na wengine walianza kurusha risasi huku wakiingia ndani ya Magari.


0 comments:

Post a Comment

BLOG