Search This Blog

Sunday, May 31, 2020

MAHABA NIUE SEHEMU YA 8/10



MAHABA NIUE
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)
AGE…(18+)
WatsApp…+255718 862176
SEHEMU YA 8 KATI YA 10
*******
 *******


Baada ya wiki tatu kufika Ramsey alifika akiwa na baba yake mzee Felix alipaki gari aina ya
HARRIER nje ya ofisi ya mkuu wa shule na moja kwa moja kuingia ofisini,
"habari yako mkuu"!?
"salama Mr, Felix za kazi"?
"Mungu ana saidia, nime ona barua yako mkuu, sema ina tubidi tuongee kidogo"

Mr, Felix aliongea huku akiweka tai yake vizuri shingoni na kuendelea,
na kushusha pumzi
"nime toka Dar leo na huyu kijana wako RAmsey mli msimamisha kwa miezi kadha"
"ndio miezi miwili"
" unajua , hawa watoto bwana ina bidi tuongee, kipindi cha miezi miwili kijana kukaa nyumbani , ni kipindi kirefu sana, isitoshe! anaweza akajihusisha na mambo ya mibangi huko mitaani, kwaio nili kua naomba bwana umrudishe shuleni kwa kweli"
"una jua Mzee ina kua vigumu sana kutokana na Bodi ya shule hawa toelewa alafu kesi yake si una ijua"?
"naelewa, na huyo Matron yuko wapi"?
"hayupo hapa tena, any way, kwa kuwa umefunga safari kutoka DAr, kuja huku haita kua busara kuku ruhusu uende nae tena DAr,"
"sema kabla ya kumruhusu aingie darasani namimi ninge penda nimu adhibu mbele ya wana funzi wenzake kama mzazi"

baada ya sekunde kadhaa mwalimu mkuu alimuita time keeper apige kengele,

kweli wana funzi wali kusanyika na kuonekana wenye furaha sana kumuon Ramsey tena mbele yao.

"shika hapo"

Mzee Felix alimwambia RAmsey ashike chini, palepale alianza kumtandika viboko mpka fimbo ika vunjika hakuishia hapo, ali mpiga makofi mengi sana kumfanya RAmsey adondoke chini.

"mimi nalipa ada, una fanya ushenzi, una fanya umalaya, bulshit takataka njoo hapa,"
mr, Felix ali fura kwa hasira sana huku akiwa amelowa jasho kwa hasira na kuzidi kumchapa makofi

baada ya hapo aliongea na wana funzi akiwa sisitiza wasome na kumuomba Ramsey waongozane. walienda mpka nje ya ofisi ya mwalimu mkuu,

" una pocket money?"

ALiuliza mzee felix huku akitoa pochi mfuko wa nyuma kwa sauti ya upole, upande mwingine alimpenda sana mwanae ila hakupenda afanye upuuzi, alimuadhibu pale ina postaili.

" hapana iliisha baba"
"ila mwanangu usome sana dada yako Loydah yupo India, mimi na mama yako tutaenda huko kesho kutwa kwenda kumuangalia, kama nilivyo kwambia, uki faulu vizuri nawewe nita kupeleka ukasome nje, sitaki tena siku nyingine nije shuleni hapa kusikiliza upuuzi wako"

Mr, Felix alitoa burungutu la elfu kumi kumi na kumkabidhi Ramsey

"laki tatu izo, kuwa makini na pesa izo. iyo pia ndo nauli yako ya kuja Dar ipo hapo hapo, shika hii elfu hamsini uta mpa mwalimu mkuu, mwambie nilikua nina haraka sana"

kitendo kile cha kupewa pesa SAbrina ana kiona ambapo alikua akipita pembeni kuelekea dukani, kweli zilikua ni ela nyingi sana kwa mwana funzi kupewa,
"kuna la ziada mwanangu"?
"hakuna baba asante"
"usome, usome, usome"

Sabrina alipita mbele kidogo huku wakiangaliana na Ramsey ambapo baba Yake RAmsey aliingia ndani ya gari baada ya mazungumzo kuisha na kutoa mbio sababu alikua na haraka sana....


Tayari kengele ya masomo kuisha ili gongwa saa nane na nusu ili sikika ndani ya shule iyo, ivyo wana funzi walianza kuta wanyika kwenda mabwenini, kwa wale waliosikia njaa sana walichukua sahani zao na kuelekea jikoni kufuata chakula,

ndani ya bweni la wasichana kelele zili sikika nyingi sana hasa walipo jua kuwa RAmsey karudi shule, hata kwa SAbrina nayeye alifurahi moyoni japokuwa hakujua kwanini ana furaha. muda wote Veronica alikua mwenye furaha

sana baada kugundua kuwa RAmsey karudi ivyo ana kua sana na hamu ya kumuona ramsey kuliko kitu kingine chochote kile

"Leo lazima nimuone Ramsey wangu"

aliongea Vero huku akiwa na rafiki yake Devotha Matimbe ambae pia nayeye moyoni aliapia amuone RAmsey, bila kujua kuwa wana shea mwanaume mmoja.
"jamani watu na mapenzi yao"
"ila lazima nimseme kakosa nini kwangu mpaka aende kwa matron, ndo maana izi siku za katikati alikua akini chukia yule Matron, kumbe khaaa jamani jamani,"
"we naweee, ila twende tuka chukue msosi ina wezekana tuka mkuta huko"
"nichukulie sahani yangu hapo juu ya tranka"

walichukua sahani zao pamoja na vijiko na kuungana na wana funzi wenzao moja kwa moja mpaka jikoni na kupanga foleni ya chakula.
"Ramsey yule pale"

Aliropoka DEvotha baada ya kumuona ramsey kashika sahani ya chakula anaelekea bwenini.
"Raam ,,,Raaaam"

Alipayuka vero na kuchomoka kwenye mstari kama mkuki, alishindwa kuji zuia na kuji kuta ana kumbatia RAmsey pale pale, haikua shida kwa wana funzi wengine sababu walijua mahusiano hayo ya Vero na Ramsey, ivyo ndivyo ilivyo kua

"Nimekumiss Ram mpenzi wangu"
"mimi pia, Vero wangu, ndo mimi nimerudi"
"tuna weza tukaongea kidogo"?
"sasa hivi NO , mida mida ivi, ya jioni Vero usijali, kengele ya chakula cha usiku saa kumi na mbili iki gongwa nikukute madarasa ya fom four kule"
"sawa baby ake mie, nita fanya ivyo"

Baada ya hapo Ramsey aliji toa na kuelekea bwenini na kukutana na marafiki zake ambao wengine wali mpongeza kwa kitendo cha kumla Matron Magreth ila waliokua wana mfukizia wali anza kumchukia,

"hivi Ram. una kizizi nini mwana, nasisi tupe iyo dawa"
"sina kizizi chochote kile,labda nyota huwezi jua,"
"ah wapi una dawa wewe sio bure jombaa, mi sikuelewi mpaka unipe hiyo dawa una yotumia, wallah tena"
"sina Dawa, Gilbert, sumu tu basi hilo tu, ila sina dawa wala nini kaka"

Gilberto mwana funzi ambae alikua amemzidi kidato ili bidi amfate Ramsey ili ajue siri iyo sababu nayeye kwa kipindi kirefu alimfukuzia Matron huyo bila mafanikio yoyote ila ana shangazwa mtoto mdogo amempata.

Ramsey alipanga kila kitu chake vizuri kwa ajili ya kesho darasani akiweka kitanda chake vizuri, na kuji tupa kitandani kulala mchana huo,

kilichomuamsha ili kua kengele ila aliji tupa tena kitandani na kuipuuzia kengele hiyo ya saa kumi na mbili sababu bado alikua na usingizi mzito,

"wewe malaya, twenzetu msosi tayari kule,"
kama kawaida ili kua ni sauti ya SAlumu akimtisha Ramsey kwa nguvu akimuamsha.
"alafu nili kwambiaje wewe kalio, usiwe una niamsha ivyo ku** nina zako, niamshe kistaarabu mku*** wewe"
"twende malaya uliye kubuhu"
"Msen*** nini"

SAlumu alimvuta swahiba wake na wote kwenda kupanga foleni, baada ya kuchukua chakula wali rudi bwenini na RAmsey kumuomba SAlumu akiweke chakula chake washuke madarasani,

"sasa kuna nini huku ma class"?
"twende baba, wewe twende"
"umeanza una enda kula nyama nini"?
"ndo maanake"
"demu gani"?
"vero vero, twende uka nichekie soo"

Kweli walianza kushuka madarasani huku wakiwaacha wana funzi wengi kwenye mstari jioni hiyo, walishuka mpaka chini na kumuomba SAlumu akae pembeni ya mti ili amlindie kama kuna walimu wana kuja,

kweli baada ya Ramsey kuingia Darasani ana muona Vero kesha fika bila kuchelewa ali mfuata na kuanza kumnyonya denda huku akianza kumshika kiuno chake ambapo pale pale, alitoa kifungo cha sketi ya vero na kuzamisha mkono

ndani ya sketi na moja kwa moja kuiguza CHACHANDU ya vero taratibu sana, huku akiendelea kuzungusha ulimi wake ndani ya mdomo wa vero, na kumfanya Vero atoe miguno hasa baada ya kushikwa juu ya CHACHANDU kwenye stata ambapo kuna kitu kama kiarage kidogo,

RAmsey alikua na kazi moja tu kuchezea stata ya Vero ili awashe piki piki hiyo. Vero nae haku taka kuonekana mzembe alifungua Zipu ya RAmsey na kutoa GIA ya Ramsey na kuanza kucheza nayo huku akiwa ana ichua taratibu sana,

Ramsey alishuka na kuanza kumnyonya shingo Vero ambae tayari alianza kutoa miguno ya raha huku akiiitoa sauti yake puani,

"Ram,,, iiingize"
"mmmmh ingiza mwenyewe"

Vero baada ya kusikia Vile alihisi kuchanganyikiwa maanaa alipandisha sketi yake kwa juu na kutemrisha chupi yake chini na kugeuka na kushika meza moja wapo kati ya nyingi zili zoku wa darasani hapo,

alikamata gia ya Ramsey na kuitumbukiza mwenyewe ndani ya mzinga wake, na vurugu mechi kuanza,Ramsey hakukumbuka tena kwammba siku chache alifukuzwa shule sababu hiyo hiyo ya kufanya mapenzi ambapo ni kinyume na shule,

akili yake sasa hivi ili kua katika dunia nyingine dunia ya raha sana, pengine alidhani yupo sayari ya jupita
"aaaaah mmmh sshss Ram,, tia yyootee, mmhh aahhh paka mate"

Ramsey alitoa gia yake na kupaka mate kidogo na kuirudisha ndani ya mzinga wa Vero ambapo vurugu mechi ilianza huku akiwa ameshika meza hiyo, nayeye akiji tahidi kuka tika,

pata shika lili zidi kueendelea na meza aliyo shika vero kudondoka na kumfanya akose muhimili wa kusimama alivyotaka kudondoka Ramsey alimuwahi kwa kumshika kiuno chake na kumsogeza ukutani,

ambapo Vero alishika ukuta kwa mikono miwili na kash kash lile kuendelea, mpaka Vero alipoanza kulalamika kuwa ana karibia kufika kilele cha mlima kilimanjaro, Ramsey alizidi kuji kunja akitoa huduma ile, na wote kufika mlima kili manjaro tena kileleni kwa pamoja,

jasho jingi sana lililowanisha uso wa Vero huku akionekana amechoka sana kupita maelezo,

"Vero!"
"abee"
"una jisikiaje"?
"fresh. nasikia kizungu zungu"

Vero aliongea huku akipitisha mguu mmoja ndani ya chupi yake na kuji weka vizuri akivaa

"ina bidi nika pumzike"
"poa baby kesho mi naenda prepo"

Ramsey alitoka na kumkuta SAlumu bado yupo kwenye mti amekasirika sana huku akiwa ame kunja ndita
"ukinuna una fanana na mama yako kweli yaaani Salumu"
"fala nini, wewe una tom**** kama upo nyumbani, ku** una jisahau sana, vipi lakini, nili kua nasikia vishindo , nika juan leo kuna kazi, "
"hahahahah, daa si meza ili dondoka kaka, ila mtoto nika mdaka, usha wahi kuona kinyonga anavyodaka nzi"?
"hahahahahahahahahahahahaha"
"ndo ilivyo kua leo mule ndani, ile ana taka kudondoka, nika muwahi, pale pale nika muweka tena kwenye ukuta, wall to wall hiyo ilikua ya Chris Brown"

WAlipiga stori nyingi na swaiba wake huyo na kurudi bwenini kitendo cha kufika tu kengele ya prepo ilisikika kuashiria kuwa wana takiwa tena madarasani kuji somea usiku huo..

"oya sasa msosi ndo hatuli"?
"kausha , salumu, nita mtuma masai nje, kisha poa chakula, nita mtuma masai, aka tuletee chips"
"haina noma, twende tuka pige buku"

kama kawaida walichukua madaftari yao na kushuka madarasani taratibu ambapo waliungana na kikundi cha wana funzi wenzao na kuelekea madarasani kujisomea...

baada ya kufika kila mtu alikaa upande wake wa kuji somea, na ukkimnya kutawala sana,

"NIME KUMISS SANA, HAVE A NICE PREP.
TS ME SABRY"

yalikua ni maandishi juu ya kikaratasi kidogo ambapo alikisoma mara mbili mbili kikaratasi hiko Ramsey,
"we dogo"
"nani mimi"?
"ndio, njoo mara moja"

Mtoto yule wa kiume wa kidato cha kwanza ambaye aliye leta ile karatasi na kumkabidhi Ramsey aliitwa
"hii nani, nani, nani kakupa?"
"dada mmoja hivi mweupe mweupe"
"yuko wapi"?
"yuko darasani kwao sijui ana soma,"
"sasa sikia nataka nikutume kwake"
"aaaah blazza mimi naogopa kweli tena ningeenda, niki kutwa kule, nita chapwa na mwalimu Onkonko"
"wewe sikia, subiri hapo doglas"

Ramsey alichana karatasi na kuandika ujumbe juu ya karatasi ile na kumkabidhi yule mtoto, na kumpa shilingi elfu mbili,

"daa blazza, ngoja basi prepo iishe"
"dogo nita kunyang'anya iyo ela, nenda sasa hivi kajanja"

Mtoto yule hakua na jinsi ili bidi aende tu japo kua alionesha kuogopa sana ila alishuka kwenye madarasa ya wasichana,

"TS OKAY, TUTAONANA BAADA YA PREP, BE CAREFUL"

dogo yule alirudisha majibu na kumfanya Ramsey awe mwenye furaha sana kupita kiasi kuona kajibiwa ombi lake., mara kwa mara alikua akiangalia saa yake ya
mkononi na kuona kama masaa haya sogei hata kidogo...

muda ulienda na kengele ya kulala kupigwa ila Ramsey alishuka kwa wasichana huku pia wavulana wengine walishuka usiku huo ili mradi kila mmoja aka muone mpenzi wake,

kwa mbali alimuona SAbrina kasimama chini ya mti na RAmsey kumfuata na kumziba macho.
"Ramsey huyu"
"duu ume nijuaje"?
"perfume yako naijua sana, yaani tangu una kuja nika hisi sema siku taka kugeuka, vipi lakini, how is books(kitabu kina semaje)"?
"poa tu, kila siku una zidi kuwa mzuri,"
"ha! ha! ha!,, umeanza , but pole sana kwa yaliyo kukuta Ramsey, nili kuonea huruma pale, hivi yule ni baba yako"?
"ndio baba yangu kabisaa"
"mmmh, ujue nili dhani anakuuwa pale, yaani ninge kua na uwezo, ninge mpiga siku ile ngumi"

sAbrina aliongea huku akiwa amekunja ngumi akimpiga ngumi kidogo ya tumbo RAmsey huku akicheka, kweli SAbrina alizidi kuwa mzuri hasa alipo kua akicheka, alicheka kwa mapozi sana.
"miye yusho tu yule mzee, sema ana hasira mbaya sana,"
"Ramsey nili kumiss tu, nime kuona nime furahi sana ujue"
"huja nimiss muuongo, dhihirisha, prove it kama kweli ume nimiss"
"fumba macho"

Ramsey alifummba macho kwa kuibia ibia huku akichungulia,
"huja fumba, fumba macho"

Ramsey alifumba macho bila kujua nini ana chotaka kufanyiwa, ila alihisi ana pigwa busu la mdomoni, ila baada ya kufumbua macho alimuona Sabrina ana potelea mbali akitembea haraka huku akigeuka geuka nyuma,

Ramsey hakuamini kitendo kile cha SAbrina kumbusu mdomoni alijiona ,mshindi sana, alimsindikiza SAbrina kwa macho, mpaka akaishia bwenini kwao
.
"yeeees!"
Ramsey alifurahi na kuanza kurudi darasani na kubeba madaftari yake na kurudi bwenini...

**********

"Leo tuna fanya marudio ya mambo yaliyo pita, Mwinyi njoo ufute ubao"

alikua ni mwalimu Lang'o tayari yupo darasani akifundisha ambapo kulikua na ukimnya wa hali ya juu sana, baada ya ubao ule kufutwa, anaanza kuandika akitumia chaki na kufundisha ila macho yake yana ganda kwa RAmsey na kumwangalia kwa kitambo.

"nani kakuruhusu kuingia shule"?
"head master"!
"toka darasani kwangu"
"sir, headmaster kaniruhusu kuingia"
"mbona sina taarifa hiyo, nakuuliza wewe mbona sina taarifa hiyo"?
"mimi sielewi"
"toka nje sasa hivi sitaki kukuona, siku tambui, wewe sio mwana funzi wa shule hii, mimi sijawahi kufundisha wahuni darasani, na sifundishi wahuni mimi, toka nje"

Ramsey bila kujibu chochote alifunga madaftari yake bila kujibu na kutoka nje ambapo aliinyosha moja kwa moja mpaka ofisi ya mwalimu mkuu na kuingia ndani, na kumuelezea kile kilichotokea,

Mwalimu mkuu alitoa simu yake na kumuita mwalimu Lang'o ofisini kwake ambapo baada ya dakika chachea nayeye anaingia,

"nini kina endelea"?
"shasha huyu mkuu si ame fukuzwa shule?"
"mwache aingie darasani mimi nawewe tutaongea"
"lakini mk..."
"Ramsey nenda darasani,"

Mwalimu mkuu alitoa kauli hiyo na rAmsey kusimama akielekea darasani,,
kitendo kile kina muuma sana Mwalimu Lang'o ila hakua na cha kusema zaidi kukubali amri hiyo kutoka kwa bosi wake

**********

Tayari jioni ili fika na kuitwa bweni la wasichana na Matron mwingine aliyeitwa Juddith, ambapo alimsihi sana amuone kwani kuna mazungumzo wana taka kuongea,

kweli Ramsey alifika na kumkuta yupo na wagonjwa,

"chukua simu hii uta mbip Matron magreth ana taka kuongea nawewe"

RAmsey alichukua simu ile na kwenda nayo nje ambapo baadae alirudisha simu hiyo na kumrudishia jUddith simu yake, ambapo alikuta wagonjwa wote wamesha ondoka na kubaki juddith mwenyewe, akiwa ameva kanga pekee yake.

" usha ongea nae"?
"ndio Matron"
"hivi, ulimpa vitu gani Magreth, mbona ana kupenda sana, yaani kila kukicha haishi kukuulizia, hata kipindi kile ume fukuzwa alikua ana ulizia namba yako ya simu"
"hapana sija wahi kumpa kitu chochote, Matron naomba niende nika some"
"hatuja maliza kuongea"
" nataka nika some , huu ni muda wa kusoma sio wa kuongea"
"kwani una ogopa nini"?

Matron Juddith alisimama na kuuendea mlango na kuufunga na funguo na kumgeukia Ramsey ambae alikua amekaa kitandani,..
"nataka namimi unipe ulichokuwa una mpa matron magreth, mpaka akadata na kudiriki kukutorosha shule"

Matron huyo aliongea huku akimsogelea Ramsey..

"huyu nae ana taka kuni fukuzisha shule"

Aliwaza Ramsey huku akimuangalia Matron JUddith ambae alikua ana kuja usawa wake taratibu......


Matron JUddith alimsogelea Ramsey na kumshika kidevu huku akimpelekea mdomo lakini Ramsey aliupeleka mdomo wake pembeni na kusimama kutoka kitandani alipokua amekaa

"lakini Matron, mimi nime kwambia sitaki"
"sasa hutaki nini? kwani mimi nataka kufanya nini"?
"hiko hiko una chotaka kukifanya mimi sipo tayari, fungua mlango niondoke, sitaki siwezi"
"embu acha mapozi, njoo bwana"

Matron jUddith tena alimsogelea Ramsey lakini hali ili kua ile ile Ramsey hakuwa tayari kufanya ngono na matron huyo ambae alikua mnene kiasi, akiwa juu ya kanga moja ambae tayari alikua na moto sana wa kuonja mshidede wa Ramsey.
"nifungulie basi"
"au joogoo apandi mtungi"?
"ndio hapandi, nifungulie niende"

Matron ili bidi afungue kanga yake na kudondoka na kubaki na chupi pamoja na sidiria na kumfanya Ramsey abaki ameduwaa, kweli damu yake ili anza kumwenda mbio sana na mapigo ya moyo kuzidi kuji piga kwa kasi, ndani ya

nafsi yake alikidhana na nafsi mbili, nyingine ili kua iki mshawishi amle Matron huyo huku nyingine iki kataa,

"LAkini matr..."

alishindwa kumalizia neno lake baada ya matron huyo kumvaa mdomoni na kuanza kumla denda Ramsey.

mkono mmoja aliupeleka mpka juu ya makaliao ya Matron na kuanza kuya binya binya, aliingiza mkono mmoja ndani ya chupi ya Matron na kuanza kucheza na ikulu huku akimnyonya Matron shingo, baada ya kuona kalegea alimsukumiza kitandani,

Aliangalia pembeni na kuona funguo za mlango haraka haraka alifungua kitasa na kutoka nje

"Ramsey ,,,,,Ramseeeey, unaenda wapi sasa"?
"naenda kusoma"

Ramsey alijibu huku akibamiza mlango ule kwa nguvu na kumfanya Matron yule abaki katika miyemko ya hali ya juu, alicho fanya alianza kuji chezea juu ya ikulu yake huku akivuta picha ya Ramsey kicchwani, huku akiingiza vidole ndani ya ikulu yake na wakati mwingine kuji shika shika maziwa yake, mpka alijirisha mwenyewe.

********

"oya Ram eeeh"
"nambie salumu"
"yule demu mbona ana kuletea dharau"?
"demu gani huyo"?
ilibidi Ramsey aache shughuli ya kufua na kumsikiliza vizuri Salumu huku akimuangalia machoni
"demu yupi wewe. nambie"?
"si yule jaqlin , una jua kaniambiaje kuhusu wewe"?
"nakusikiliza"
"etii oooh., wewe hujui kitu mara sijui ange kua Matron Magreth wala asinge kupa mchezo, yaani kaongea shombo babuu, daa, sasa aka niambbiaje kuna wakati, eti hata akikupa huto mfikisha , mambo kibao mwanangu, yule ana taka tu mashine, we mbabue tu"
"hahahahahahaha, ili kuaje mpaka mkaanza kuni zungumzia"?
"kani kuta nasoma pale, tulianza tu kupiga stori za kawaida nini,aka niuliza kuhusu mahusiano yako na matron yalianza anza je. mi nika mwambia hata sijui ndo akaasema hayo maneno"
"sasa sikia nikwambie kitu, kuna kitu nita kifanya hiko ata juta,"
"kitu gani hiko kaka, nipe mtonyo"
"wewe kausha"
"niambie mimi mwanao"
"yule sasa, namgonga alafu ile chupi yake ile, nakuja kuiweka domu B PALE juu pale, ili aache dharau, alafu nili kua namuheshimu sana yule demu. nilikuwa namuheshimu kichizi asikwambie mtu"
"fanya ivyo ili asilete dharau"

waliongea mengi siku hiyo baada ya kufua Ramsey alianika nguo zake na kurudi bwenini kupiga stori mbili tatu na rafiki zake huku waki subiri kengele ya chakula cha jioni igongwe

******

"hallooo halloooo, kana jifanya kazuriiii, Ram hakutakii uta jibeba, una jipendekezaaa,"

ili kua ni sauti ya vero na wasichana wenzake wakimsinda Sabrina ambae alizungukwa na kundi la wasichana hao huku wengine wakimsula na vidole kichwani na kumzunguka duara. na kufanya kelele nyingi
"mimi sitembei na Ram.."

SAbrina alilia kwa kwikwi sana baada ya karibia nusu domu kumtenga kwa kitendo cha kila mwanaume kumzungumzia, kwelia alijikuta akilia machozi sana, na kujutia kwanini alijenga mazoea ya ghafla na Ramsey alijilaumu sana kupita maelezo,

alishuhudia msichana mwingine akienda kitandani kwake na kumwaga maji juu ya godoro lake
"sasa nitalala wapi mimi Eliza"?
"hhehehehehe uta jiju, utalala wapi?, shutuuu, kaone kwanza, leo utalala chini, na humu ndani hakuna mtu kulala na huyu shetwani, kazi kuchukua mabwana za watu, uli tumwa, vero shosti huyu dawa yake niachie mimi. Na wee nisikuone ukithubutu kuongea na bwana angu Naida, ndo utajua moto wake, yaani usijaribu kabisa"

Eliza aliachia misunyo mikali huku akimnyali Sabrina na kuzidi kupayuka kwa sauti huku akijizungusha zungusha mbele ya Sabrina,Hakuendana kabisa na maneno yake sababu ya mwili wake mdomo ila alikua ni mwingi wa maneno
, mwili wake mdogo hata ukimpiga ngumi moja angeweza kuzimia kama sio kufa ila alikua anaongea sana kupita msichana yoyote yule katika bweni la wasichana hakuna msichana yoyote asiye mjua Eliza.

Siku nzima SAbrina alilia kwa sauti sana, japo kua alilia ila bado uzuri wake uliiongezeka mara mia, uso wake tayari ulikua mwekundu sana.

"Sabrina mbona unalia"?
ili kua ni sauti ya rafiki yake kipenzi Miriam
baada ya kutoka darasani alimkuta rafiki yake huyo analia, alimchukua na kumpeleka mpaka bwenini kwao na kumkalisha kitako ili amuadithie kwanini alikua analia.

"nataka nihame shule, nataka nimpigie simu baba aje kuni chukua leo"

aliongea sabrina akiwa na kwikwi la hasira
"kwani ime kauje?"
kweli SAbrina alianza kumuadithia kila kitu bila kumficha chochote kile, miriam alim fariji na kumwambia siku hiyo angelala bwenini kwake

********

"oyaa Ram, kafanye mambo Jaq yule pale kabaki peke yake, "
ili kua ni sauti ya salumu bado akiwa mnoko sana kitendo kile cha dharau kufanyiwa swahiba wake hakupenda hata kidogo, nia yake alitaka jaq avuliwe chupi ili aache dharau.
"yuko wapi"?
"yule pale, mse*** nini humuoni"?
" sio yeye bwana"
"angalia vizuri, huoni bichwa lake. alafu yupo peke yake sasa, shuka fasta, mimi nakuchekia soo"

ili kua usiku baada ya kumaliza prepo, kupitia dirishani waliweza kuwaona wasichana kwa chini ivyo wana muona Jaqlin na RAmsey pale pale kumpa madaftari yake SAlumu nayeyey kushuka kwenye madarasa ya wasichana huku akinyata.

kitendo cha kufika darasani alimtekenya Jaq kwa nyuma na kuruka sana juu, baada ya kushuka chini alimshika kiuno chake na kumnyonya shingo.

"Jamani Ram mbona mgomvi"?
"sshss tulia wewe"
"nini tena jamani?"!

Ramsey hakutaka kupoteza muda alimchukua na kumuweka ukutani, jaq alija ribu kujitoa Lakini RAmsey alimbana ukutani na kuanza kumnyonya shingo na midomo yake kwa nguvu, pata shika lile liliendelea huku jaq
akiwa bado mbishi lakini alitulia baada ya Ramsey kuingiza mkono wake mmoja ndani ya ziwa la Jaq na ndo hapo jaq alitulia tuli,

na mwenyewe kuomba kinywa cha Ramsey, bila kuchelewa walianza kupigana mate kwa fujo zote huku Jaq akipeleka mkono wake kwenye zipu ya RAmsey na kutoa MKONGA wa Ramsey nje na kuanza kuuchua taratibu,

Ramsey nayeye kwa fujo alipandisha tishrt ya Jaq na kuanza kumnyonya maziwa na kufanya demu huyo mwenye macho makubwa kiasi kuanza kurembua sana, pata shika iliendelea huku RAmsey akipitisha mkono wake chini ya

sketi ya Jaq na kuitoa chupi ya Jaq, kweli aliitoa na kuuiweka mfukoni na ndo hayo yalikua mahesabu yake kichwani,

alizidi kumnyonya maziwa mrembo huyo, na kuanza kumpima oil taratibu.

"aaaaah Raaaam iingiza"
"subiri"

Patashika lilii endelea huku RAmsey akimshika demu huyo kila idara, na mwishowe Jaq kushinda goli tena hata kabla ya kucheza mechi, Ramsey hakutaka kufanya chochote, alifunga zipu yake bila kuaga akiondoka, kitendo kile kina mshangaza sana Jaq,

Haraka haraka Ramsey alitembea mpaka kwa Salumu na kutoa chupi ile mfukoni na kumpa
"ku***** amae, Ramsey, wewe ni noma kaka, duuuuu, yaani wewe mjamaa, una dawa au"?
"kazi yako nisha ifanya, kunguni wewe, sisi ndo sisi ooooooh ooooh"
"wengine mafisi"

njia nzima walikua wakiimba huku waki furahi sana, hasa kwa SAlumu, moja kwa moja alivyo fika bwenini aliiweka juu ya mlango chupi ile na kila aliye pita alipewa simulizi kuwa ile chupi ni ya Jaqlin.

*****

bado Ramsey aliendelea kumsumbua Sabrina baada ya kumwambia hisia zake, kila siku hakuacha kumuandikia ujumbe mfupi kila akienda kulala na kuamka, ila sabrina haku taka kujibu zaidi zaidi alipunguza mazoea nae ili ajiepushe na mabalaa ya bwenini kwao,

jambo lile lina muumiza sana kichwa Ramsey na kutoelewa kwanini urafiki wao ume kata ghafla, hakutaka kuvunjika moyo, siku hiyo ili kua j,mosi shule ime tulia sana, kutokana na karibia shule nzima, ili toka kuangalia mechi ivyo ili yokuwa ikichezwa na shule jirani..

Ramsey alimuomba sana SAbrina siku hiyo asitoke nje ili waweze kuongea mawili matatu.

ana furahishwa sana baada ya Sabrina kukubali ombi lake mchana huo, kweli walita futa darasa lililo jificha na kukutana,

" Nashindwa kukuelewa siku izi Sabrina, mbona una ni fanyia ivyo,? usini fanyie ivyo"
"hapana Ramsey, lakini wewe si una girl wako,kwanini usi tulie nae"?
"nisha kwambia tayari kuhusu hilo,"
"hata kama, ukiachana nae, wata jenga chuki tu namimi, cha kufanya wewe niache tu"

Ramsey alimuangalia SAbrina machoni kwa kipindi kirefu sana

"Sabrina najua una nipenda sana, naelewa hilo, kupitia macho yako,usidanganye nafsi yako, usiji tese, niruhusu niwe mpenzi wako"
"nani amekwambia"?
Ramsey aliweka mikono yake juu ya mikono ya Sabrina kuanza kuipapasa taratibu sana
"una mikono laini sana,"
"Asante"

ramsey alizidi kukaza na kumshawishi Sabrina mwishowe alijikuta ana kubali., na RAmsey kumpiga denda pale pale la kama sekunde tatu
"Ramsey, naomba nikupe jina ambalo, nitakua nakuita mwenyewe"
"woow, jina gani hilo"?
"ume kubali kwanza"
"ndio mpenzi wangu"
"nita kua nakuita RAUL"
"RAUL tena"?
"ndio DARLING RAUL"
"duu, kwanini sasa?"
"basi tu nime lipenda, alafu nime ongea na baba yangu atakuja kesho nili taka nihame shule ila nimeghair nataka nibaki na Raul wangu"
"aaah kwanini uhame "?

ILIbidi SAbrina aanze kumuhadithia kila kitu mpaka kilichotokea siku chache zilizopita, bila kumficha na kumueleza ndo maana alikua hakutaka kuwa na mawasiliano nae, jambo lile lili mshtua sana RAmsey na kuingiwa na hasira sana dhidi ya wasichana walio mfanya kitu kibaya SAbrina

"POle Sabrina"
"pole ya nini wakati uli sababisha wewe, baba yangu ni mwanajeshi tena ana cheo sana, ange kuja kufanya fujo hapa"
"kwani uli mwambia, alafu kumbe natembea mtoto wa mjeda"?
"hapana siku mwambia, ndio shauri yako alafu hapendi mambo ya kijinga ya kuwa na boyfrend ana nichunga huyo"

Ramsey aliomba mdomo na kuru husiwa na pale pale kuanza kunyonyana ndimi, Ramsey alikitupa kiti pembeni na kusimama huku SAbrina nayeye kusimama.

Ramsey kweli damu ili muenda mbio sana siku hiyo kuliko kawaida na kuji kuta ana mnyonya mdomo mrembo huyo kwa fujo sana huku akimshika maziwa yake yaliyo kuwa madogo kiasi,

alishuka mpaka kwenye sketi chini ya kitovu ila SAbrina alizuia mkono ule sababu hakutaka ikulu yake ishikwe,

alimnyonya shingo na mwishowe kupandisha tshrt ya SAbrina na kuanza kumnyonya maziwa hususani chuchu na kumfanya SAbrina aanze kufumba macho huku akihema kwa juu sana, alihema juu juuu huku mara kadha akitaja jina la RAmsey.

"Raul....aaaashhhhs mmhs, nipo kwenye siku za hatari"

Ramsey alizidi kuendeleza kasi ile na kuya puuzia maneno yale kwa wakati alikua na kitu kimoja tu amvue chupi mtoto huyo mzuri ambae siku nyingi alimpangia hesabu,

pata shika liliendelea na Ramsey kuanza kushika mgodi huo, na baadae kuvua chupi na kuingiza DUDE ndani ya mgodi wa Sabrina...

*****************************************************************

Mwanajeshi yule alizidi kumsogelea Ramsey, Ramsey alimtambua sana alikua ni baba yake na Sabrina ambae alikua akimuwinda siku nyingi sana baada ya kumpa binti yake Sabrina mimba na kufukuzwa shule,

Ramsey alizidi kuchanja mbunga, akitembea haraka haraka

"we kijana simama kabla sija kuiutia mwizi"
aliongea Mwanajeshi huyo

Ramsey alihiisi jasho jembamba liki mtoka alihisi tumbo lina muuma hasa baada ya kupokea ujumbe kutoka kwa Josephine, mudda mchache ulio pita,

alibaki akiganda bado na kuji uliza maswali akimbie au abaki, alimuangalia baba yake Sabrina ambae alikua akimkaribia alivyo geuka nyuma alimuona mtu wa boda boda na haraka haraka kupanda.

"washa boda fanya upesi, twende kariakoo"
"unasema"?
"nipeleke kariakoo"

Boda boda ili washwa haraka haraka na kutimua mbio huku akizidi kumuangalia mwanajeshi yule
ambae alisimama akimuangalia kwa hasira

***

"bosi, tume mkosa yule kijana ila hapa kuna binti tume mkuta, ndo alikua nae"
yalikua ni maongezi ya simu ya mmoja wa watu walio tumwa na Mwasha.
"Mleteni, ata tusaidia kumpata"

Naike akiwa hajui kina choendelea aliamriwa mara moja avae nguo,

"jamani kuna nini"?
"vaa nguo binti, uta jua mbele ya safari. tena fanya upesi"

mijitu hiyo haikua na masihala hata kidogo, Kweli naike alivaa nguo zake huku akiwa mwenye wasi wasi sana, hakujua kinachoendelea, hakujua watu wale wametokea wapi, kweli machozi yalianza kumlenga na kujutia kwanini alimruhusu
shetani atalawe hisia zake na kuku bali afanye ngono na Ramsey.

waliingia nae ndani ya gari na safari ya kwenda kwa Mwasha kuanza..

"Halloo Naike"

ili kua ni sauti ya Ramsey akiwa yupo tayari karikoo na Prosper kweli alionekana kuchanganyikiwa sana kupita kiasi huku jasho liki mtoka
"Ramsey upo wapi naomba uje"
"wewe uko wapi"?
"mimi ni nininini nipo bado chumbani nakusubiri baby wangu"
"mmmh kweli? hakuna watu walio kufuata huko chumbani"?
"hahahaa kuna beiby"
"mbona kama unalia sasa"?
"hapana nina mafua tu yameanza ghafla"
"sasa sikiliza, umesema bado upo Room, mmmh njoo pale Sinza paki stani pale, kuna mambo nita kuambia,"
"ndo uta kua hapo"?
"ndio mimi nakuja, nili toka mara moja , tafadhali tuku tane hapo, "

baada ya kukata ile simu Ramsey ana shusha pumzi ndefu ila bado alionekana kuchanganyikiwa hakuelewa kinachoendelea, bado akili yake haiku kaa sawa kabisa,
"kumbe huyu Josephine alikua ana nitania , hapa yaani ili kua nisepe Mwanzaaaa leo hii nikate tiketi, mpumbavu sana Josephine, alafu yule maza ana penda kuniweka roho juu"

"hahahahahahahaa, ila mmmh, usiende Ramsey,"
"kwanini sasa"?
"basi tu, potezea kwani lazima umuone huyo demu leo"?
"weeeee, huyo mtoto leo lazima nile nyama ile, mi naenda , alafu huyu josephine kafanya mpaka gari nimeacha bana"

Ramsey aliongea huku akifungua mlango wa dukani bila kuelewa chochote.
akielekea sinza kukutana na Naike

*****

Mwasha akiwa ameshika bastola mkononi na kumuwekea Naike akimwambia kuwa ampigie simu Ramsey ili waonane baada ya kuka matwa aliongea kwa hasira za wazi wazi ambazo zili fanya kila mtu aogope,

kweli macho ya Mr, mwasha yali badilika rangi na kuwa mekundu sana, kweli NAIke alijua angeenda kinyume ange uliwa, mpaka wakati huo hakuelewa kina choendelea, hakujua wale ni akina nani, na kwanini wana mtaka RAmsey, ila alichofanya ni kutii masharti na si vinginevyo
,
"fanya ivyo binti, hio ndio ita kua tiketi yako ya kutoka hapa ndani la sivyo nakuuwa, una itwa nani?"
"NAnanana NAike Naike, tafadhali usiniue, nampigia simu"

Josephine akiwa pembeni amepiga magoti akiomba msamaha kwa mume wake ila aliambulia kofi na kudondoka chini
mzima mzima
"shut up, una ona huyo malaya Ramsey, kakutwa na huyu binti hotelini, hivi mke wangu, una jua kwamba kuna ukimwi, hapo katembea na huyu, unajua ana wana wake wangapi wengine.. yaani leo hiii ndo uta juta......Naike mpigie Ramsey mwambie arudi chumbani ,mkutane, na ukienda kinyume HAKI AMUNGU NAKUUWA HAPA HAPA, "

kweli Naike alipiga ile simu na kuiweka LOud spika na kufanya sauti ya Ramsey isikike kwa kila mtu, aliongea akitetemeka sana sababu alikua amewekewa bastola utosini na kufanya aongee huku akilia kwa kwikwi,

Ramsey ana jikuta anaingia mdomoni mwa mamba baada ya kukubali wakutane sinza na simu ile kukatwa.
"naweza nikaenda"?
"bado kazi yako haija isha, twende sinza pale wote, kazi yako ita isha pale nita kapo mtia mikononi, Josephine simama twende malaya mkubwa wewe, simama kabla sija kupiga bastola ya kiuno"

mwasha aliongea kwa hasira huku akiweka bastola yake kiunoni na kutoka njee na kuingia na watu wake ndani ya gari, na safari ya kwenda sinza kumkamata Ramsey kuanza...


"hivi mke wangu nini ulikosa kutoka kwangu?'"
aliuliza Mr, mwasha akiwa siti ya nyuma ambapo alikaa kati kati kushoto alikaa Naike na kulia kwake alikaa josephime mke wake huku mbele akiwa amekaa kijana wake pamoja na dereva, vile vile nyuma kulikua kuna gari nyingine ya watu wake iki wafuata,
kweli Mr, mwasha kitendo cha kumegewa mke wake kili muuma sana, mwana mke ambae alimuamini pengine kuzidi hata Mama yake mzazi aliye mbeba miezi tisa tumboni.

mwanamke ambae alipewa kila aina ya vitu vya thamani leo hii ana shindwa kuamini kilicho tokea, hakuwahi kuwaza kama ipo siku mke wake atakuja kumsaliti na kumvulia nguo mwanaume mwingine ili kua ni aibu sana na fedhea hasa kwa watu waliojua wadhifa wake.
"nisamehee mume wangu!."
"nime kuuliza swali, kipi kili kufanya utembee na yule kijana"?
"ni shetani"

Mr, mwasha alitupa kofi aina ya kelbu lililo tua juu ya mdomo wa JOsephine na kumfanya aanze kulia kwa uchungu, kweli alijutia kitendo cha kumsaliti mume wake, hakustaili kusalitiwa, hakustaili kumvulia chupi Ramsey ambae leo hii vile vile alikutwa na mwamke mwingine gest,

wakati huo Naike alikua akilia machozi sana, hakuelewa nini hatma yake, hakuelewa mwisho ungeishia vipi, safari

nzima alikua akilia kwa kwikwi akiomba msamaha sababu hakujua nini kinaendelea na kutojua watu wale ni akina nani, fikra yake ili mtuma kuwa wale watu ni hatari sana ni wabaya, ila maongezi aliyokua akiongea mwasha yali fanya apate picha na kuanza kujua kila kitu,

"mke wangu, nime kupa gari nzuri ya kutembelea,kampuni nime kukabidhi nzuri, haya ndo malipo!, siku tegemea kabisa, ona navyo aibika leo hii, ona unavyo dhalilika , hivi Enock akijua izi habari unadhani ata kuchuliaje, si atakudharau, naongea nawewe malaya mbwa, Hivi ulikosa nini kwangu, yaaani....."

Mr, mwasha aliongea kwa hisia kali hasa huku machozi ya hasira yaki mlenga lenga, moyo wake ulimuuma sana kupita kiasi, alihisi kama mkuki umetua ndani ya moyo wake tena wenye moto, na kuapia endapo ata muweka Ramsey mikononi ata mfanya kitu kibaya kabla ya kumuuwa,

tayari gari izo zili fika maeneo ya shekilango likikata kona, kuelekea sinza

"sikia Abubakari, usifike pakistani kabisa, uta simama mbali kidogo na hiyo sehemu, alafu huyu binti ashuke, binti naomba usiende kinyume, maana nita kuua, usalama wako wa kuishi upo mikononi mwako sasa hivi!, mwenyewe uta chagua kifo au uhai"
"ni mekuelewa"!
"nataka Ramsey nimkamate, endapo utafanya makosa yoyote yale, wewe uta chukua adhabu ya RAmsey"

aliongea Mr, Mwasha huku akimtolea macho Naike, kweli yalikua ni maneno ya kutisha sana, yalikua ni maneno ya kuogopesha kupita maelezo, Naike jasho lilianza kumtoka na kuwa na wakati mgumu sana, ila hakuwa na jinsi alichotaka yeye ni kuya nusuru maisha yake ni si vinginevyo,



*******
ENDELEA KUSOMA HADITHI NA SIMULIZI ZA MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER)

1 comment:

  1. Enter your comment...yani we mtunzi upo og kinomanoma i give u big up salute on u man


    ReplyDelete

BLOG