Search This Blog

Tuesday, April 13, 2021

KIFO CHA MENDE - 1

 


IMEANDIKWA NA : MOHAMMED JAY

*********************************************************************************

Chombezo : Kifo Cha Mende 

Sehemu Ya Kwanza (1)


*Kutoka Mombasa*

 *Mwanzoooooooooo*

Asubuhi iliwadia huku jua likiwa lachomoza miyale yake ya kila siku, Halima akiwa na mume wake Rajabu kitandani wakiwa bado wanavuta usingizi. Gafla kuu ya mshtuko wa Halima aliamua kumuamsha mume wake ili awanie kazini, Bwana Rajabu aliamka kwa machovu makuu kisha kumwambia mke wake Halima... "Mke wangu mbona wanisumbua sana wewe, niache nilale"

 Mke wake Halima akamwambia "Mume wangu wachelewa kazini, kila siku hutaki kunielewa basi amka unipe kimoja nina hamu mwenzio". Kwa maneno hayo Rajabu aliyapuuzia kwa mke wake akitikiswa lakini wapi. Hili lilimtesa sana Halima mpaka mwisho kujisemea kimoyoyo "Huyu mwanaume hata sijui nimfanyeje ananitesa sana kihisia lakini sawa". 

Baada ya dakika mbili, kengele ya kwenye simu ya Rajabu ikaita kwa masaa aliyotegea yeye mwenyewe. Rajabu akaamka kutazama upande wa kushoto hakumuona mke wake Halima, akaelekea bafuni kwenda kujiandaa kuoga ili atoke. Kufika bafuni alistaajabu sana kumsikia mke wake Halima akitoa miguno ya ajabu ndani ya bafuni humo, "Aaaaaaaaaiiiisssssss..ooouuuuiiiiiiiisssss....mmmmmhhh....aaaaasssshhh...ooooopppssss... " Halima alikuwa na hamu yenye kunyegeka, lakini Rajabu akamshtua mke wake Halima "Wewe mke wangu nini unafanya sasa, maliza utoke unipishe na mimi nioge" Halima kusikia sauti ya mume wake, aliacha mara moja kisha akamaliza na kutoka hili lilimfanya Halima kuchukia sana na kuanza kujiuliza maswali mengi mengi akilini "Kwanini hataki kunipa haki yangu?". 

Lakini maswali yake yaliambulia patupu Halima aliingia chumbani na kuvalia dera lake lilivyomtoa vyema kabisa. Inasemekana Halima ni mtoto wa kimanga mwenye mchanganyiko wa pemba na uwarabuni na Rajabu ni asili ya mwarabu mazima mazima. Ndoa yao iliingia hadi miezi mitatu sasa na bado hawaja jaaliwa na mtoto hata mmoja, mbali na hayo uwezo wa mali na pesa wako nao na wakiwa ndani ya jumba la kifahari. 

Halima, akiwa sebuleni akamuita mfanyi kazi wake wa kike jina akiitwa Husna. 

Halima akimuita... "Husnaa.... 

Husna akaitika "Abee mam nimekuja" Halima akamwambia "Umeshamuandalia mzee wako chai?" Husna akajibu "Ndio mam tayari ndio nataka niilete hapa mezani" Husna akaenda jikoni kuchukua chai na kuiweka mezani. Husna nae sio alikuwa na vitisho ndani ya nyumba hiyo, kwani Halima alihisi kwamba Husna anatembea na mume wake ndio maana anakoseshwa utamu mara kwa mara. Kwani Husna ni mtoto wa kitanga aliyejaaliwa na umbo zuri na lenye kuvutia kuanzia juu hadi unyayoni, mtoto mwenye msambwanda wa kuzaliwa nao na kiuno chake mithili ya kinu na kwa sura tu ilimpa wasiwasi mwingi Halima nadhani walikuwa wanashindana nani anampiku mwenzake lakini wazo hilo kwa Husna halikuwepo akilini mwake. 

Bwana Rajabu kumaliza kuoga na kuvaa mavazi yake sawia, alikwenda moja kwa moja mpaka sebuleni akakuta ameshaandaliwa kila kitu mezani. 

Rajabu hakuwa mtu wa kupakia sana, hadi kuvimbiwa. Aligusa gusa na kuacha kisha akaamuaga mke wake Halima na kuuliza "Sasa mke wangu muda ndio huu wa kutoka, au unataka kuniambia chochote? " Halima huku akijitolea tabasamu na kumjibu "Hapana mume wangu, nakutakia kazi njema". Rajabu kusikia hivyo hakupoteza muda bali aliondoka maeneo hayo, na kupanda gari lake aina ya BMW alilingurumisha kisha akafunguliwa geti na mlinzi na kutoweka maeneo hayo. 

Halima akiwa bado anawaza sana akilini mwake na kujisemea "Ni mwanaume gani atakaye nimalizia hamu yangu mimi jamani". Hii ni ndoto moja ya mwanamke mwenye kutopewa utamu uliokolea. 

Ilipita siku mbili, baada ya siku na masiku Halima akiwa anaendesha gari lake sehemu ya kijijini kunakoitwa MASARARE na ndani ya gari humo akiwa na Husna. Huku mvua kali ikiwa inanyesha, Halima akiwa anaelekea kutazama shamba lake katika kijiji hicho kwa gafla ya kupita pita gari likakwama katika matope yaliofundana kwa nguvu. Halima na Husna hawakuwa na lakufanya kwani wote ni wanawake Halima alililazimisha gari kutoka lakini hakufaulu, matope yalishika kweli kweli. 

Kujaribu kumpigia simu mume wake, hakuwa hewani jasho jembamba lilimtoka kutazama huku na kule hakukuwa na msaada wowote. Kweli Mungu sio Athumani, baada ya dakika kumi kuisha huku Halima akikata tamaa. 

Kulikuja gari aina ya Land cruiser, gari ambalo lapita sehemu yoyote ile wala halisumbuki. Halima kutazama mbele akaona gari inakuja akashukuru sana kujua wazi atahitaji msaada akaanza kunyoosha mkono kwamba anahitaji msaada, na walikuwa hawawezi kushuka kwani gari lilikuwa katikati ya matope. 

Katika gari hilo jengine, ndani kulikuwa na kijana mtanashati akijiita Hemedi. Kijana yule alishuka kwenye gari lake kisha akaeleka ili kumsikiliza asaidiwe na nini. 

Kufika kijana huyo Hemed, Halima akamwambia kwa kulalamika. "Kaka tafadhali twaomba utusaidie kututoa hapa, tumekwama". Kijana Hemed akawaambia "Musijali nitawasaidia tu. 

Kijana Hemed, alirudi kwenye gari lake kisha akuvua shati lake jeupe ili lisichafuke kwa matope. Alichukua kamba ndefu yenye unene wa inchi tano, kwa haraka haraka Halima alianza kumtazama Hemedi kifuani mpaka kwenye tumbo kwa matamanio. Kifua cha Hemedi kilijazana kimazoezi na mkono wa tembo uliojaa vyema kabisa. Wakati Hemedi akiunganisha kamba yake, Halima alizidi kupagawa kwa Hemed na fikra kumpeleka kwa ngono.. 

Lakini Hemedi hakuwa akimuona vizuri Halima, ila alimuonea kwa ndani na kuzibwa zibwa na kioo cha gari. 

Hemedi aliingia katika matope huku jasho likimchuruzika, kwani alikuwa ni mwanaume mwenye nguvu na misuli mikubwa ya kiume. Hili lilimpagawisha Halima na kuanza kummezea mate kijana wa watu. 

Hemedi, baada ya kuunganisha na gari lake, aliingia ndani ya gari lake na kuanza kulivuta taratibu huku Halima akijitahidi. Na hatimaye gari likatoka matopeni, Halima alishukuru sana kisha akashuka katika gari na kumfuata Hemedi. 

Hemedi kumtazama vizuri Halima akiwa anakuja upande wake, Hemedi alivua miwani yake ili amtazame vizuri Halima jinsi alivyoiviana. Halima alipofika kwa kijana Hemedi, akamwambia huku akizitengeneza nywele zake ndefu... "Kaka asante sana, maana nilikata tamaa kwamba sitaweza kutoka pale Mungu akubariki"

Hemedi akamwambia.. "Usijali kila jambo kusaidiana sawa". Kisha Halima akamtolea hela Hemedi kumpatia lakini Hemed alikataa na kusema. "Asante sana, nimetenda wema na sihitaji pesa, samahani lakini" Halima akiwa bado anamtazama vyema Hemedi jinsi mwanaume alivyokuwa imara na mwenye misuli yakumvutia. 

Halima aliamua kumuacha kwani aliogopa kumwambia kile anachotaka kwa Hemedi, na mwisho akamwambia "Ok, but thanks, kwaheri."... 

Halima aligeuka, baada ya kumuaga Hemedi. 

Ila Hemedi aliona mshindo wa msambwanda jinsi unavyotikisika kwa mishindo tofauti tofauti kwa Halima. Kweli Halima alikuwa mtoto laini bado ameiva kuanzia chini hadi juu, kwa sauti ilimfanya akili ya Hemedi kusimama kwanza na kumsikiliza. Hemed hakuwa na haraka hivyo, kwani ipo siku watakutana tena. 

Kisha kila mmoja wakaeleka sehemu tofauti..... 

Kipi kitaendelea.... 




Halima alifika shambani kwake, na kutazama shamba hilo linalopandwa miti na maua tofauti tofauti na kuuza kwa ujumla kwa maduka. 

Hii ndio kazi yake anayoitegemea mbali na mume wake Rajabu, kufikia jioni Halima alirudi nyumbani pamoja na Husna wakiwa wamechoka kweli hata kupika hawakupata nafasi Halima akamwambia kijakazi wake Husna, "Usipike kama umechoka na baba yako akija mwambie mimi ndio nimekwambia sawa!!!" 

Husna akamjibu... "Sawa mam nimekusikia"

Husna akaingia chumbani kwake taratibu, hatimaye bwana Rajabu anaingia nyumbani kutoka kazini. Huku Halima akimkimbilia mume wake na kumpa kumbatio la mahaba, hapo Halima alishtuka sana alipomkumbatia na kuona madoadoa ya mchuzi kwenye shati lake. Halima akaamua kumuuliza "Mume wangu umekula wapi wewe?" Rajabu akashangaa sana kwa swali hilo analoulizwa kwani hata yeye mwenyewe hajui kama amejitosa michuzi kwenye shati. Rajabu akaamua kumjibu "Mke wangu, si wajua sisi tukialikwa kwenye shughuli na marafiki zetu. Huwa hatuna budi kwenda, ni kala mpaka nikajisahau". Mke wake Halima, akashukuru sana aliposikia mume wake ashakula kwani alikuwa na wasiwasi mithili ya jaka. 

Ilifika usiku wa saa saba, kila mmoja akiwa katika usingizi. Halima aliamka kwa nyege zake mtoto na kuanza kumuamsha Rajabu kwa kumsukasuka huku na kule. Lakini Rajabu hakuwa mwenye kushtuka, Halima akaanza mbinu ya kumpapasa mume wake Rajabu kifuani mpaka kushuka chini hapo ndipo Rajabu akaamka kwa mshtuko wa kupapaswa na mke wake Halima. 

Halima akiwa amelegeza macho utadhani amemeza kungumanga, na kutoa sauti ya mdeko "Mume wangu, najisikia na wewe aaaaaaaaaiiiisssssss..ooouuuuiiiiiiiisssss....oooouuuuuiiisssss...." Rajabu kwa vile ni bonge na mwenye tumbo kubwa, akalala chali na mke wake Halima akampandia kwa juu mume wake kwa usiku huo. Halima akijihukumu mwenyewe taratibu kitu ndani kimepenya, Halima akaanza kuzungusha mauno ya kipemba na asili ya kiarabu huku akisindikishwa kwa miguno.... "Aaaaaaaaaiiiisssssss..ooouuuuiiiiiiiisssss mmmmmmmmnnnhhh.... Ooooouuiiiisssss.. Mume wangu...mmmmmmmnh... Aaaaaaaah.... baby uuuuuussssssss....aaaaaah.. " Halima akaendelea kumkatikia mauno feni mume wake, mpaka mwisho kumwaga wazungu Rajabu.. Kimoja chali, looh...!! Hili lilimkera sana Halima lakini hakuweza kumwambia mume wake kwani inaweza leta tafrani baadae. 

Halima alikwenda kuoga na kumuacha mume wake akiwa bado yupo kitandani, kurudi akamkuta mume wake ashalala na kutekwa na usingizi. 

Kwa kudura za mkahawini, ilifika asubuhi saa mbili. Kwa wakati muafaka wa bwana Rajabu kuelekea kazini kama kawaida yake, na kumuacha mke wake nyumbani pamoja na Husna kijakazi wa nyumbani. Kwa Halima ilikuwa nadra sana kutoka nje ovyo kwani alikuwa ana heshimu ndoa yake lakini hisia ndio zinazidi kumtesa. 

Ilifika wakati wa saa nane za mchana jua likiwa kali kwa miyale yake. Husna akatumwa sokoni kununua mboga zakupika jioni, Husna akavaa gauni lake lililomtoa hipsi na makalio yake yalivyotoshana na umbo lake. Sura yake nzuri na ilikuwa yakuvutia, Husna alifika sokoni mara moja kwani hakukuwa mbali kiasi hicho. Alikuwa ni mwenye haya nyingi kila anapozungumza neno moja lazima atazame chini au pembeni, wakati akiwa anarudi nyumbani  akakutana na kijana mmoja njiani kijana huyo akiwa anamfahamu vyema Husna lakini Husna hakuwa na habari nae wala kumjua. Kijana huyo kuona Husna anataka kumvuka bila hata kumtazama na salamu akamshika mkono gafla, Husna akashtuka kwa kushikwa mkono wake. Kijana huyo hakuwa na wasiwasi akamsalimia "Husna mambo vipi?. Husna akamtazama usoni kijana huyo ndipo akamtambua na kumtolea tabasamu la kumjibu..

Husna "Poa, hali yako?. 

Kijana huyo akamjibu na kujitambulisha.. "Sijambo, ila mimi naitwa Mo Jay nadhani unanifahamu Husna"

Husna, akamwambia na kumjibu... "Mmnh.. Mimi sijakufahamu kwakweli"

Kijana, akamjibu.. "Aaah... Husna mbona mimi nakujua, mtu hawezi kutaja jina lako kama hakufahamu"

Husna, akiwa anashika kiuno chake kipana utadhani ni kinu na ufupi wake. Na kumjibu.. "Sawa nakuelewa Mo Jay, ila nitajuaje kama umeulizia mtu kwa mfano.."

Kijana, hakukata tamaa akaamua kumwambia. "Ila Husna, japo haukubali kunikumbuka basi mimi nakukumbuka. Na jinsi ulivyojaaliwa uzuri huo utashindwaje kunisahau mwenzio."

Husna, kwakweli hakuwa ni jeuri ila alimwambia kijana wa watu.. "Basi sawa, naomba namba yako tuwe tukiwawiliana"

Kijana Mo Jay, hakuzubaa kwa nafasi hiyo, alimuandikia namba kwenye tunda la papai kwani hakukuwa na karatasi ila kalamu alikuwa nayo mfukoni. 

Husna, akamwambia.. "Asante, tutakuwa twawasiliana" Kisha Husna akaelekea nyumbani. Huku nyuma akimuachia majanga Mo Jay, kwa jinsi anavyotembea kwa mwendo wa twiga huku zigo likichachamaa kwa kuachiwa kushoto na kulia. 

Husna, alifika nyumbani baada ya kuachana na Mo Jay. Halima alimshangaa sana Husna na kuanza kumuliza "Mam mbona leo umechelewa sana hivyo?. Husna akamjibu Halima.  "Hapana mam sema kuliku na watu wengi sana ndio maana nikachelewa, samahani". 

Halima akamjibu "Sawa nimekuelewa na usirudie tena kuchelewasha. Husna akamjibu"Sawa mam nimekusikia..... 



Jamaa huyo akautoa mshedede na kuanza kuupigisha kwenye makalio ya Husna. 

Ile kutaka kuingiza ndani, mlango ukagongwa kwa nguvu. Husna kushtuka imefika asubuhi na kujikuta kitu anachofanyiwa sio ukweli kumbe ilikuwa ndoto tu, huku mlango ukiwa unagongwa na kuita jina "Husna.. Husnaaa.. Husnaa.." Sauti ya mam Halima ilisikika nje ya mlango. 

Husna akaitika na kuvalia kanga yake... "Abee mam nakuja sasahivi". 



  Husna akatoka kwa haraka sana bila ya kuchelewa. Kufika akamkuta mam Halima akiwa amevalia lebasi nzuri zenye kumtoa vyema kabisa, Husna akashangaa sana kwa mam Halima akamsalimia. Akaamua kumuuliza, "Mam leo safari ya wapi tena?" 

Mam Halima, akamjibu "Twaenda matembezi na baba yako. Si wajua leo ni siku ya mapumziko" Husna akataka na yeye aende "Na mimi nijiandae, maana umenikurupusha usingizini mam Halima" Mam Halima akamwambia "Hapana, sikukuamsha kwa hilo nimekuamsha ili nikupe maagizo kwani tunaweza kuja usiku wa manane". Husna hakufurahia kwa kutoka pekeyao na yeye atabakia na nani. 

Husna akiwa amesimama na kanga yake mwilini, akasubiria apewe maagizo na mzee Rajabu. Mzee Rajabu nae ndio anatoka chumbani akiwa amevalia nadhifu, Husna akamsalimia mzee Rajabu kwa heshima "Shikamoo mjomba?" 

Mzee Rajabu akaitika.. "Marahabaa umeamkaje na hali? " Husna akajibu "Nimeamka vyema mjomba". Kisha akapewa maagizo na mzee Rajabu, "Sasa sisi tutakuacha pekeyako kwa masaa kadhaa kisha tutarudi, kwahiyo usimruhusu mtu kuingia humu ndani". Husna akaitika "Sawa mjomba, sitoruhusu mtu kuingia humu ndani". 

Baada ya kupewa maagizi, Husna akawasindikiza mpaka nje. Halima na mume wake Rajabu wakapanda gari kisha wakaondoka huku Husna akiwapungia mkono wa safari njema, Husna sasa ameachiwa nyumba pekeyake. Ila katika akili yake bado anawaza kile alichokiota ndotoni, Husna akaamua kumtazama Mo Jay kama yupo online. Kwa bahati akamuona online, akamtupia salamu. 

Husna.... "Hellow Mo...? "

Mo Jay... "Hellow Husna, umeamkaje sweet". 

Husna akaonyesha tabasamu la gafla, kisha akamjibu.. "Nimeamka vyema kabisa, nahisi leo hamu imenijia kwako". 

Mo Jay, akiwa chumbani kwake na yeye kuonyesha tabasamu. Kisha akamjibu "Kama hamu imekuingia basi unaruhusiwa kuja kwangu". 

Husna akiendelea kujinyonya vidole na kumjibu.. "Eeeeh.. Naogopa kuja huko kwako, nisije pigwa na mkeo". 

Mo Jay, akajua wazi Husna ana hamu sana na mimi. Akamjibu kwa haraka sana... "Hakuna mtu, njoo kwanza nimekuwekea zawadi yako". 

Husna, hakutaka kujua zawadi gani akamjibu. "Subiria nimalize kazi nioge kisha nitakuja". Mo Jay akamjibu "Sawa usichelewe sweet love". 

Mawasiliano ya jumbe, yakakatika kila mmoja akaendelea na shughuli zake. 

Kwa upande mwengine. 

Halima, na mume wake mzee Rajabu. Walifika katika Hotel inayoitwa "FURAHA YETU". Hoteli hiyo inaingia watu wanaojiweza kifedha kikweli kweli sio mimi na wewe tunaoingia kwa mama pima. Walionyeshwa sehemu moja ya kupaki gari lao na kijana mmoja wa kihindi, walipo paki gari lao inaonyesha ni sehemu ya usalama. Waliingia mpaka ndani na kukaribishwa kwenye viti vilivyokuwa na muonekano mzuri wakupendeza. Walikaa bila shuruti, huku halaiki ya kila aina ya watu walikuwepo ilikuwa ni hoteli kubwa yenye kuaminika kwa kila kitu. Kimandhari mpaka kwa kuogelea watu watoto kwa wazee. 

Kabla ya kupoteza muda, kulikuja muhudumu wa kiume na muhudumu mwenyewe alikuwa ni Hemedi alivalia mavazi ya kuhudumia na kofia yake ya chepeo iliyokuwa imeandikwa Boyz. Kwa gafla ya Halima alimuona Hemedi ndiye muhudumu na ndiye anawakilisha kuwahudumia wao. 

Hemedi alipofika akawakaribisha... "Karibuni wageni wetu, eheee semeni niwasaidie na nini mkipendacho niwaletee". 

Hemedi, alimtazama Halima kwa jicho la haraka kisha akalieuza pembeni mithili ya kinyonga. Mzee Rajabu akamwambia, "Kijana mimi niletee juice ya mango na kababi mbili na vibanzi kwenye sahani". 

Hemedi, akataka kumsikiliza Halima atakachosema. Lakini mzee Rajabu akakataa na kumwambia "Mletee kile nilichokuagiza mimi". 

Hemedi, akasema.. "Boss ndio ashasema, kwahiyo nisubirieni mara moja". 

Kwa upande wa pili. 

Husna, akamaliza kazi zake zote za nyumbani kisha akaoga vizuri na kuvalia mavazi yake mazuri ya kiislamu baibui lake lililomshika vyema umbo lake. Na kujipulizia marashi ya kipemba ambayo kila atakapopita lazima awaachie harufu ya kuvutia. 

Kisha akampigia simu Mo na kumwambia "Nakuja kwako kukusalimia.". Mo Jay, akamjibu "Sawa njoo mara moja". 

Husna, akatoka nje alipofika kwenye geti mlinzi geti akamzuia na kumwambia.. "Boss kasema usitoke nje ubakie ndani, halafu sio kwa manukato hayo mazuri. Au waenda kwa....." Husna akadakia kwa neno lake "Naenda kwa nani, hebu acha mambo yako". 

Mlinzi geti, akawa hataki Husna asitoke nje kwani ameambiwa hivyo kwamba asitoke. "Wewe mtoto vipi, boss amesema sio ruhusa kutoka nje wewe unatoka unakwenda wapi!!". Husna akamwambia kwa jeuri. "Hebu niache wewe vipi?.... Tangu ulipoambiwa ulipata pesa ngapi, ulinzi tu usio tafuta kazi ukafanya kukaa tu bure" Mlinzi geti akamwambia. "Unanijibu mom jeuri sio, boss akija naja mueleza yote hayo."

Husna aliposikia hivyo, ikabidi arudi kuwa mdogo kama piritoni kisha akatoa pochi lake, na kutoa Elfu ishirini akamwambia.. "Chukua hizi hela, niachie basi kidogo nakuja sasahivi na usimwambie boss wako".  Mlinzi geti akaishiwa ujanja, kwa hela tu kanywea na kuachia. 

Husna, akatoka mtoto wa kike. Huku Mo Jay, akimsubiria kwa hamu na hamamu. Kwa mwendo wake wa twiga vijana waligeuza shingo zao kwa jinsi mtoto anavyopeperusha kalio utadhani hakuumbiwa mfupa kiunoni, lakini hapakuwa mbali na hapo. 

Alifika mara moja, na kumpigia simu Mo Jay. Kisha akaambiwa aingie ndani zaidi, 

Mo Jay, alishikwa na mshangao pale alipomuona Husna kwa jinsi anavyometameta utadhani ndio kashushwa sasahivi. Husna akamwambia 

"Mo Jay, sitaki story nyingi ninachotaka ni penzi lako na hakuna mtu nyumbani". 

Mo Jay, hakuzubaa kizembe alimkaribia Husna, na kuanza kumpa denda la gafla na Husna akakubali kulipokea. Mambo yakawa msodoma, Husna nguvu tayari kumushia akavua nguo zake na kubakia kama alivyozaliwa. 


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG