Search This Blog

Wednesday, April 21, 2021

JAMANI ANKO - 2

  



Chombezo : Jamani Anko

Sehemu Ya Pili (2)


Joshua Aliongea kwa msisitizo ili mwanamke huyo amuelewe,...

"ok nimekuelewa joshua... Naomba nikubusu kisha nikushushe kwenye mapaja yangu, kuanzia sasa nitakua nakuheshim kauli yako yeyote"

Aliongea mwanamke huyo huku joshua akiwa katulia tu,.. Mama sudi akapeleka mdomo mdomoni mwa joshua na kumnyonya denda moja matata, joshua alikua katulia kana kwamba kakubali... Sasa ile anamaliza tu, na anataka kumshusha, ndio mama joshua akatokea,.. Yaani ilikua kiduchu tu, akutwe wanakulana mate... Mama joshua alipo ingia, ndio mama sudi akajibalaguza kumshusha joshua kwenye mapaja yake, ndio mama joshua akamuita mama sudi nje waongee kwa ile hali ya kumpakata mtoto wake katika mapaja yake... Kama angeona lile denda sijui ingelikuaje...


Sasa hayo ndio yaliojiri kabla ya kufumaniwa, sasa tuendelee tulipo ishia


"ingia usiogope, nataka nifunge kioo tafadhali"

Mama Joshua aliingia kisha akakaa kwenye siti huku akiogopa, mkwara wote kwisha

"uuuuuuwiiiiii"


Ilisikika sauti ya mama joshua akipiga kelele kama vile kuna kitu kaonyeshwa

"apo vipi?"

Aliongea mama sudi huku akitabasamu

"inamana unataka nikubali kumuuza mwanangu





Tukija huku kwa akina mama sudi na mama joshua wakiwa ndio wanakunja pale mnarani kushika rafurodi kama miata 500 hivi...

"nataka nimnunulie mpenzi wangu chipsi kuku"

Aliongea mama sudi,.. Mama joshua hapendi kusikia hivyo,.. Bora angelikua lika lake.... Ilimuuma lakini akanyamaza tu

"Samahani kaka, nitengenezee chips kuku kausha vizuri kabisa"

"sawa dada"

Basi mama sudi akawa kasimama mbele ya shoo ya chipsi, akisubiri chipsi za mpenzi wake... Mara ghafla Jessica nae huyo... Kashushwa na bajaji sasa kabaki kuuliza tu... Saa ngapi hajafika mpaka pale kwenye chipsi..

"samahani kaka"

Alianza Jessica ila jamaa akajibu

"naomba utasubiri kidogo nimtoe huyu dada"

Jamaa alijua Jessica anataka chipsi

"hapana mimi sihitaji chochote naomba nikuulize tu"

"ok.. Unaweza kuuliza bila shaka"

"hivi kaka unamfahamu joshua?"

Kabla jamaa hajajibu... Mama sudi kadakia

"joshua?? We unamjuaje joshua wewe"




Mama sudi hua hataki kuskia joshua ana kimwanamke chochote kile,... Hataki kusikia jambo hilo, sasa leo kujitokeza mwanamke anamuulizia joshua, tena msichana mdogo kabisa lika la joshua tena mzuri haswa..... Mama sudi alichanganyikiwa kuskia joshua anauliziwa, japo hajui ni joshua gani lakini kapayuka akijua ni joshua wake.. Na ni kweli ni joshua wake...


"ok.. Unaweza kuuliza bila shaka"

"hivi kaka unamfahamu joshua?"

Kabla jamaa hajajibu... Mama sudi kadakia

"joshua?? We unamjuaje joshua wewe"


Mama sudi aliuliza ila Jessica hakua na wasiwasi hata kidogo kwasababu yeye ni mwalimu tu


"kwanini wewe ni mama yake?.. Basi anaendeleaje"

Jessica aliongea hivyo huku mama sudi akawa mpole kidogo na kumuuliza

"wewe ni nani yake unamuulizia"

"mimi ni mwalimu wake... Jana aliumia"

Mama sudi kusikia hivyo akajua kweli huenda ni mwalimu wake... Ila akimwangalia, ni mdogo sana anawezaje kuwa mwalimu


"unasema wewe ni nani yake"

"mwalimu wake"

"wewe una umri gani"

"nina miaka 25"

"ulianza shule ukiwa na miaka mingapi"

"kwanini unaniuliza hivyo mama... Naomba nikamuone mwanafunzi wangu.. Samahani lakini"

"nyie sio wapenzi nyie ukaniharibia mwanangu"

Mama sudi alinifanya kama ni mama yake joshua ili amtege, mana visichana kwa kuropoka havijambo... Sasa Jessica kweli alitaka kuropoka kua anampenda...

"ni kwe"

Kabla hajamaliza kusema ni kweli... Ghafla akakatishwa na jamaa wa chipsi

"dada chipsi zipo tayari"

"ok ni shingapi"

"elfu nane"

"ok shika..... Twende we mwalimu"

Kama bahati vile yani Jessica huyooo akaingia kwenye gari..


"ina maana kwa akina joshua ni matajiri hivi"

Jessica alijisemea kwenye moyo wake


"mama Joshua... Huyo binti ni mwalimu wa joshua.. Alikua anaulizia kwa joshua"

"ooohhhh bahari yako binti"

"salama shikamoo mama"

"Marahaba, ujambo"

"sijambo... Nimekuja kumjulia hali mwanafunzi wangu"

"ooohhh karibu mimi ndio mama yake"



Upande wa pili


****




"joshua joshua please, naomba nipige hata uniue hapa hapa.. Ili hata nikifa nijue umenisamehe"

"sina haja ya kuumiza mikono yangu kwa kupiga mwanamke asio na heshima"

Aliongea joshua kisha akapiga hatua... Jessica alishika mguu wa joshua akiwa palepale kapiga magoti..

"naomba radhi, nisamehe joshua.. Nitafanya chochote utakacho"

Aliongea Jessica huku akiwa kashikilia mguu wa joshua, kana kwamba joshua hawezi tena kutoa mguu... Sasa joshua akaona atajaza watu bila sababu...

"haya amka kwanza"

"Niambie kama umenisamehe"

"ndio.. Amka"

Basi Jessica aliamka na kumkumbatia joshua

"nakupenda joshua, nakupenda sana, wewe ni mwanaume wangu wa kwanza, sitakuacha Kwakweli, na sitakukosea tena"

"ok poa... Sasa nadhani tutawasiliana"

"hapana, kwanza nina swali naomba nikuulize"

"umeanza ujinga wako tena"

"samahani basi, yaishe"

"twende sasa"

Basi wakaanza kuongozana haooo


Tukija huku maeneo ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani... Ghafla anaonekana kijana Kipenga na Alionekana nadhifu na mwenye maisha safi kwa namna alivyo valia mkanda nje





Unajua siku zote thamani ya mtu huonekana pale uwepo wake unapo kuwepo, lakini akitoweka ndani ya mazingira hayo ndipo utakapo jua umuhimu wake, siku zote ukiona mtu hana umuhimu... Kabla hujamuondosha, anaza kufikiri yale ayafanyayo, je akiondoka utakupunguzia nini?


SASA HAPA TUNARUDI NYUMA KABISA WIKI MBILI ZILIZOPITA ILI TUJUE KIPENGA ALIFANYAJE MPAKA KUTOKA LUMANDE NA ILIKUAJE MPAKA SASA ANA KAZI, NA TUJUE PIA KWA UPANDE WA MAMA YAKE...


TUANZIE KESHO YAKE BAADA YA KIPENGA KUKAMATWA PALE STENDI


Huku nyumbani kwa mama Kipenga baada ya kuamka asubuhi, alimkuta kidundo sebuleni akiendelea kujisomea, ilikua kama nyakati za saa nne hivi,.. Yaani kalala utadhani ni tajiri fulani hivi

"shikamoo mama"

Kidundo alimsalimia mama yake na mama yake aliitika

"Marahaba ujambo"

"sijambo mama"

"hivi kaka yako jana karudi saa ngapi"

Mama aliuliza akidhani labda Kipenga jana alirudi, kumbe ndio kwanza jana usiku Kipenga alikamatwa na askari waliokuwa doria usiku wa jana maeneo ya stendi kuu...

"hajarudi mama"

"ati nini"

Mama Kipenga alishtuka kuskia hajarudi mana kuna wakati jana Kipenga alisema anaondoka, na mama Kipenga akamwambia aondoke kabisa... Sasa kashtuka sana kuskia kaondoka

"hajarudi"

"ni lini ameanza kiburi cha kulala nje"

Mama kipe alijibalaguza kusema hivyo ila anajua Kipenga akiwa hayupo humu ndani, kutakua na uzito wa kupata riziki...

"lakini alisema atarudi"

Aliongea kidundo huku mama akijifariji kurudi kwa Kipenga

"sawa"


Tukija huku maeneo ya stendi, yule jamaa aliosababisha kipenga kukamatwa alikua anafungua duka lake.. Lakini aliona box pale nje ya mlango wake.. Box ambalo lilitandikwa mfano wa mtu anataka kulala.. Ndio akakumbuka jana kuna alikamatwa hapo... Aliendelea kufungua mlango kisha akatulia katika kiti chake,... Ilikua ni booking office za mabasi yaendayo mikoani, hivyo alikua akiangalia vitabu vya tiketi zilizokatwa leo, mana kuna watu huja kufungua alfajiri kwa ajili ya kufanya kazi ya kukatisha tiketi... Sasa alikua akitazama chati ya leo... Huyu jamaa ni mmiliki wa mabasi yaendayo mikoani, lakini kila akiwa anasoma chati hio, akili yake ilikua ilikua ikiingiliwa na yale maneno ya jana ya kipenga


"kaka, utanipoteza bure, nimefukuzwa nyumbani, sina pakuishi, hapa nilipo nina njaa.. Tena waniitia polisi kaka, kuwa na huruma basi,.. Basi naondoka kwenye biashara yako"


Aliyakumbuka maneno hayo, akajifikiria huku akisema

"mbona sikuibiwa chochote na nimemsabishia mtu kuteseka ndani"

Alijisemea huku akifunga kitabu cha tiketi na kusema kuwa

"hapana, wacha nikamtoe, kwani sijatenda haki, hajaniibia chochote kile"

Jamaa alitoka akawasha gari yake kuelekea kituoni,


"habari zenu afande"

"aaahhh mr Zube"

"ndio mimi bwana"

"karibu sana bwana jiskie huru"

Aliongea kamanda wa polisi mmoja wapo huku mr zube akikaa kitako huku akiulizwa

"enheee, tuambie, wamekamata gari namba ngapo na ni mkoa gani"

Aliongea afande huyo mana zube, magari yake yakishikiliwa huko barabarani, anakuja tu huku kwa wakubwa anaongea nao,.. Gari linaachiwa... Sasa afande alijua zube kaja kwa ajili ya gari

"hapana leo sikuletwa na matatizo yetu yale... Bali kuna kijana alikamatwa jana maeneo ya stendi.. Hebu namuombeni huyu kijana"

"ooihhh wapo vijana kama sita hivi walikamatwa stendi sasa sijui wewe unamzungumzia nani, au anaitwa nani"

"aaaahh Kwakweli simfahamu jina lake ila mimi ndie niliwaita polisi wamkamate, kitu ambacho hakikua sahihi, hivyo nataka nimtoe"

"sasa tutamjuaje? Hebu ngoja niwaite askari wa jana waliokua doria"

"hapana.. Ila kijana huyo kwa sura namjua"

"basi njoo hapa"

Zube na afande waliingia sero na kweli zube kamuona Kipenga..

"ni huyu hapa"

"ooihh haya toka,.. Upo huru sasa"

Kipenga haamini kuskia neno yupo huru kwa sasa mana alijua keshapotea katika ulimwengu huu kwasababu siku zote ukiingia jela, kutoka kwake ni pesa, sasa anajua familia yake yeye ndio jembe, hivyo hakuna msaada juu yake...

Zube alitoka na Kipenga mpaka kwenye gari yake

"habari yako kijana"

"salama mzee shikamoo"

"Marahaba... Vp unanikumbuka"

"ndio, lakini mimi sijaiba na sijawahi kuiba"

"na ndio mana nimekuja kukutoa... Kwanza kabisa nisamehe kwa kukusababishia matatizo kama haya"

"hakuna shida mzee wangu, kwanza nashukuru sana kutoka huku ndani"

Aliongea Kipenga na hapo akili yake ni kurudi tu nyumbani mana usiku mmoja tu, kapata balaa kama hilo, je? Akikaa hio wiki itakuaje.. Aliona hio wiki mbali acha arudi nyumbani tu...

"ok.. Unaitwa nani kijana"

"naitwa Kipenga"

"jana ulisema umefukuzwa kwenu na ulikua na njaaa... Kwanza umekula"

"hapana, toka jana sijala"

"ok.. Twende ukale Kwanza... Enheee nijibu swali langu"

"Kiukweli mzee ni stori ndefu sana mimi na mama yangu.. Ananitukana sana, kiasi kwamba nimeshindwa kuendelea kuvumilia nikaona wacha nikae nje ya nyumba hio angalau wiki tu.. Sasa ndio kwanza usiku wa kwanza... Ndio nakamatwa"

"ooohhh pole sana... Na utanisamehe kwakweli bwana kipenga"

"hakuna shaka"

"unafanya kazi gani"

"sina kazi mzee... Na matusi yote toka kwa mama yangu, ni kwasababu sina kipato kizuri"

Aliongea Kipenga lakini wakati huo wapo hostelini wameshafika





"ok basi kula chakula hapa ushibe.. Ukimaliza utakuja kwenye gari"

"sawa mzee asante sana"


Baada ya Kipenga kumaliza kula alikwenda katika gari, na kumkuta mr zube katulia tu..

"ooohh ushamaliza?"

"ndio mzee nishamaliza"

"sasa.... Nitakupa kazi, ila nataka urudi nyumbani kwa mama uishi nae"

"sawa mzee nitashukuru sana na mama yangu atafurahi pia"

"nitakuweka kwenye gari moja uwe mkusanya pesa... Wewe ndio utapokea pesa za abiria wote wa kwenye hilo basi"

"sawa mzee, nitafanya kazi kwa umakini na kwa uaminifu mkubwa"

"sawa, kwa sasa rudi nyumbani... Kesho alfajiri saa kumi na moja njoo pale stendi tulipokutana jana"

"sawa mzee, nitafika mapema sana"

"sawa.. Chukua hii elfu 20, itakusadia leo nyumbani"

"asante sana mzee, nashukuru sana."


Basi hivyo ndivyo Kipenga alivyopata kazi ya kutembea na mabasi na sasa atakua na kazi nzuri sana tena kitengo cha pesa


Lakini Kipenga yeye, bado imani yake ni ili mama ajue uwepo wake, hivyo alipotoka kwa yule mzee, aliingia mtaani na asifike kwao... Masaa yalisonga na hatimaye usiku ukaingia


"wewe, kaka yako hajaja tu"

Mama alianza kuuliza kwa kidundo na wakati huo ni saa tatu usiku, Kipenga bado haonekani...

"hajaja"

"mungu wangu mwanangu..."

Aliongea mama huyo huku akijutia maneno yake machafu,...


Kesho yake nyakati za mchana... Mama Kipenga alikua ndani kwa mama joshua

"haya nini wewe"

Mama joshua alimuuliza mama Kipenga,

"mama Joshua,... Nimemkosea sana mtoto wangu, ni siku ya pili sasa haonekani nyumbani"

Aliongea mama Kipenga

"kwani umemfanya nini"


"kwanza kabisa naomba unisamehe mama joshua,.. Nilikua nakuonea wivu sana maisha yako yalivyo badilika... Nilikushauri mtoto wako aachane na huyo mwanamke ili tuwe sawa kwenye maisha... Hivyo nikajikuta namshawishi kipenga apite njia za joshua ampate huyo mwanamke,... Lakini Kipenga hakufanikiwa, hivyo nikajikuta namtukana matusi mazito sana... Sasa imefikia hatua kipenga kaondoka nyumbani.. Mama joshua, kweli kipenga ndip tegemezi langu, alikua analeta pesa kidogo lakini ilitutosha... Sasa hakuna hata mia ndani.. Hata unga sina mama joshua... Nateseka sana"


Leo mama kipenga kafunguka waziwazi mbele ya mama joshua,


"mmhhhh Kiukweli pole sana, ila mimi nilikua najua una chuki na maendeleo ya watu, na nilipo ona hivyo ndio nikakubali tu joshua aendelee na mtu wake... Ila najua wewe ni mwanamke mwenzangu,.. Kiukweli umemkosea sana mtoto wako.. Kumbuka riziki anatoa mungu na sio mtoto wako... Fanya juu chini mwanao arudi, laa sivyo utadhalilika mama kipenga... "


Aliongea mama Joshua huku mama kipenga akisema kuwa

"sio nita... Ndio tayari hivi nadhalilika.. Hata unga sina.. Kwakweli leo ndio naona umuhimu wa kipenga"

"ok... Wala usijali... Chukua hicho kindoo kidogo, chota unga hapo saizi yako... Chukua hii elfu kumi itakusukuma mpaka mwanao atakapo rudi"

Aliongea mama Joshua huku mama Kipenga asiamini macho yake, ndipo akajua kweli roho mbaya haina faida duniani... Alipewa unga kilo kumi kwenye kindoo,...

"mama joshua? Nijaze kindoo"

"jaza wala usijali"

"Kiukweli mpaka najihisi mwenye dhambi juu yako mama joshua... Sikutegemea kumbe utakuja kuwa msaada kwangu, ama kweli ya leo sio ya kesho... Kweli kabisa kuna LEO NA KESHO... asante sana mama joshua"

Mama Kipenga alishukuru mara dufu na kutoa chuki zake juu ya familia hio,...


BAADA YA WIKI MOJA KUPITA


Joshua yeye alishapona mkono wake na shule aliendelea kama kawaida yake, na alikutana na mama sudi lakini hawakuwahi kufanya mapenzi bado kabisa...


"mama joshua"

"abeeeee... Ooohh mama kipe karibu"

"asante shoga angu habari yako"

"salama tu, vipi joshua anaendeleaje"

"mmmhh hajambo, na keshaenda shule"

"weeee kumbe kapona kabisa"

"ndio... Sasa yuko vizuri"

"hivi ile flemu uliosema unatafuta ulisha pata"

"nilipata moja hivi lakini hakuna mzunguko wa watu.. Natafuta kwenye mzunguko wa watu"

"Ooohhhh Nikajua ulipata"

Basi walipiga stori pale, hatimae akaingiza na shida zake... Anataka unga tena... Mama joshua hakumnyima kama kawaida akampa....

"kwahio taarifa za kipenga hujazipata kabisa"

"mama joshua, unanikumbusha mwanangu... Hata sijui anaishije.. Namuomba mungu amlete mwanangu tule shida zetu, nateseka sana ma joshua.. Alipo kuwepo Kipenga sijawahi kumuomba mtu unga... Ona leo, yaani wewe ndio unatulea hapa mjini..."

"sasa na kidundo kuhusu masomo yake"

"ndio ameanza shule jana, Anasema anaenda shule na hafukuzwi... Nikakubali tu acha aende"

"ada kalipiwa na nani"

"hakuna aliolipa... Ila hafukuzwi shule"

"heeeeee bahati yenyewe hio"

"mmmhhh haya acha nikapike akirudi apate kula"

"sawa mama Kipenga"

"sawa asante mama joshua, unatuokoa sana"

"usijali nami nafanya hivi mana kuna kesho nitakua sina nawewe unacho, natumai sitakufa njaa"

"mmmhhh mimi nifanikiwe? Sidhani"

"wala usijali mungu yukaribu nasi"


BAADA YA WIKI NYINGINE KUPITA

(Ni wiki mbili toka Kipenga kutoka kwao)


Tukija huku maeneo ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani... anaonekana kijana Kipenga na Alionekana nadhifu na mwenye maisha safi kwa namna alivyo valia mkanda nje


Siku zote maisha ni kupanda na kushuka, ukikosa leo, kesho utapata tu kua karibu na mungu wako tu... Hatimaye Kipenga amepata kazi nzuri na anaingiza kipato kikubwa tu


"kipenga wapi sasa"

"naenda kuonana na boss"

"lete tutoe pesa zetu zakula basi"

"si umeshakula milo yote wewe sasa hela gani tena.. Unacheza na kazi wewe"

Heeeee joshua kawa mshika hela sijui kwa kazi gani,...


"ndio boss"

"habari yako kipenga"

"salama kabisa, shkamoo"

"Marahaba... Leo gari imechelewa kidogo, kulitokea nini njiani"

Aliuliza mr zube huku Kipenga akijibu bila wasiwasi kabisa,

"tulipata pancha maeneo ya magugu pale, hivyo wakati wa kufunga spea ikabidi abiria wakapate chakula"

"ohoooo, basi sawa vp hesabu ya leo"

"hii hapa boss"

"ooooohhh moja mbiliiii, tatu... Eeehh ok, sawa kabisa, kazi nzuri.. Chukua hii pata maji"

"asante sana boss, nashukuru sana"

"sawa.. Hakikisha gari inakwenda kaoshi kisha ita mkaguzi, akague ili iwe tayari kwa safari ya kesho"

"sawa boss nitafanya hivyo"

Aliongea Kipenga kisha akatoka nje ya ofisi yao... Lakini kuangalia mbele, hakuamini macho yake kwa mtu alie muona mbele yake



ENDELEA..........


Siku zote hakuna furaha kama kuwa karibu na ndugu zako, hua ni furaha sana, lakini itakua furaha kama maelewano nao yapo, ila kama huna maelewano na ndugu zako, basi siku zote utaona marafiki ni bora kuliko ndugu, ila ndugu atabaki kuwa ndugu na rafiki ni rafiki tu, japo wapo ndugu wabaya kuliko rafiki,... Yupo mtu anatamani rafiki yake awe ndugu yake wa damu kutokana na upendo walio nao...


Waki moja tu baada ya Kipenga kupata kazi, alimtafuta mdogo wake kwa kumvizia njia za shuleni na kukutana nae, na akaanza kulipa ada kwa mdogo wake huyo, shule ikaendelea kunoga kwa kidundo, mpaka mama yake hajui kidundo analipiwa ada na nani.. Lakini Kipenga ndio kafanya yote hayo...


Leo Kipenga akiwa anatoka ofisini kwa boss wake, kukabidhi kiasi cha pesa,.. Alipokua mlangoni alimwona mdogo wake akiwa anatoka tuisheni... Alifurahi kumwona ndugu yake, na kumkimbilia...


"shkamoo kaka"

"Marahaba vipi hali"

"safi tu"

"saa 12 hii giza linaingia hujarudi nyumbani"

"nilipotoka shule niliunganisha tuisheni moja kwa moja"

"ooihhh vipi masomo yako lakini"

"ah ah, sasa hivi nina imani ya kuiona sekondari bila wasiwasi"

"ukweli au unanifariji tu apa"

"kweli kaka"

"basi vizuri... Mi nadhani sasa urudi nyumbani, kuna kazi nakwenda kufanya mara moja... Shika hii buku ya nauli... Na hii elfu tano, kampe mama, ila kama kawaida, mwambie umeokota"

Aliongea Kipenga kana kwamba anampaga hela akampe mama yake ila aseme ameokota...

"sawa... Lakini kaka? Kwanini usirudi nyumbani... Uliniahidi wiki moja tu, lakini sasa ni wiki ya pili... Na mama keshajifunza, hawezi tena kukutukana kaka"

Aliongea kidundo huku Kipenga akijibu

"ni kweli, najua hawezi nitukana, ila nikizoea kwenye macho yake, atarudia tena"

"sasa kaka, nyumba ipo.. Kwanini ulale kwenye magari... Naomba rudi nyumbani kaka, mama kuacha kisirani chake, na anakuhitaji sana.. Utamuua mama etu"

Aliongea kidundo tena kwa uchungu sana

"basi wacha nifikiri zaidi"

"kaka?? Rudi nyumbani, kwa sasa tumekua ombaomba... Yaani kama sio familia ya akina joshua, tungelikufa njaa"

"lakini yote hayo kayataka mama"

"keshajifunza, nansasa anakuhitaji hata kama huna kazi"

"weeeeeeee anasema tu hivyo.. Kama naleta elfu tano elfu tatu... Ananiona kama mavi, leo sina kazi anione halua.. Weeee labda sio mama angu ninaemjua"

"basi rudi..."

"usijali, ukija kwa wakati mwingine.. Tutaongea vizuri"

"sawa, mi nakwenda ila fikiria kuishi na familia yako karibu kaka"

Aliongea kidundo huku Kipenga akiwaza sana, aliona ni kweli anastahili kurudi nyumbani, kwani boma lile aliachiwa yeye


Tukija huku kwa akina joshua akiwa nyumbani kwao baada ya kutoka shule,.. Akiwa na mama yake hapo sebuleni...

"hivi yule binti alikuja siku ile hapa, ni mwalimu wako kweli au ndio kama vile"

Aliuliza mama joshua, huku joshua akitabasam tu huku akijibu

"Yule ni mwalimu kweli, ila ananipenda nami nampenda pia na natamani sana awe mkweo lakini nahofia mama sudi"

Aliongea joshua, mama yake akashangaa

"hivi utakua vizuri kimasomo we joshua?.. Mama sudi, bado kuna huyo binti.. Hivi unasoma kweli wewe"

"mamaaaa, kwanini nisisome"

"sasa mbona unamiliki wanawake wengi hivyo"

"hamna mama, huyu ni mwalimu tu, japo ananipenda"

"yaani mitoto ya kiume bwana aijui mpoje"

Aliongea mama jishua kisha akaingia ndani


"winiiii"

Joshua alimwita mdogo wake baada ya mama yake kuondoka

"abee kaka"

"lete midaftari yako hapa nikague, usikute unazingua tu shule wewe"

Aliongea hivyo joshua, mana kama yeye hatafanikiwa kwenda mbele basi ahakikishe mdogo wake anakwenda mbele zaidi kimasomo


Tukija huku kwa mama sudi, akiwa nyumbani kwake, alimkumbuka joshua japo siku ya jana alikua naye, na hawakuwahi kufanya tendo... Mama huyo alishika simu yake na kumpigia joshua wake... Simu iliita ikapokelewa

"Hallo Kipenzi joshua, mambo"

"poa mamy shkamoo"

"mjinga wewe, msalimie mama joshua sio mimi"

"lakini unastahili"

"ninachohitaji kwako, Kiukweli sistahili kuhehimiwa nawewe"

"sasa nikusalimieje"

"Niambie mambo vipi mrembo"

"duuuuuu wewe uyo"

"kwahio mimi sio mrembo..."

"ni mrembo tena haswaa zaidi ya msichana, ila tatizo namba"

"hata wewe namba unazo,... Sikia leo ni ijumaa, kama una Homework Fanya leo na kesho Jumamosi... Jumapili nataka twende Dar es Salaam"

"Dar es Salaam?? Weweeeee si twende kesho"

"acha haraka,.. Tunakwenda kuinjoi tu, wala siendi kikazi"

"lakini tukienda tunarudi lini, mana Jumatatu shule na ndio mana nakwambia twende kesho"

"tutakwenda na ndege"

"eeeeeeehhh... Ndege kabisa"

"joshua nawewe, ina maana hujui au"

"najua ila sijawahi"

"ndio hivyo basi.. Kwahio jiandae... Ila"

Aliongea mama sudi akaishia ila

"ila nini tena"

Wakati joshua anauliza hivyo, mama yake yupo hapo sebuleni,

"Jumapili usije ukaniacha kule Dar"

"aaahhh mamy siwezi kukuacha.. Na nakuacha mimi niende wapi"

"sio kiivyo... Nataka penzi la kwanza ukanigongee Dar"

Mama sudi aliongea, afu kama vile mama joshua kasikia kwa mbaliii... Ilimuuma mpaka akaondoka pale sebuleni, anajua tu siku hio ya Jumapili joshua atakua kwenye kibarua kizito...

"mmmmhhh sawa, kwa hilo usijali"

"sawa nashukuru kwa kukubali"

"sawa usiku mwema"

"nawe pia"

Yaani mama sudi, saa zingine anaona aibu kumuomba joshua gemu, ila moyo unamfosi kwasababu anakapenda sana tena sana... Na anakumbuka siku moja mama sudi aliambiwa na mama segeda kuwa

"je? Ukikuta hasimamishi?"

Mama sudi akajibu... Atamsomesha tu


Sasa mama joshua kaenda jikoni karudi hapo sebuleni kashika nazi, karanga..

"ukiwa unaendelea kumkagua mdogo wako.. Tupia tupia kuchangamsha mdomo"

Aisew ukipata mama kama huyu, safi sana.. Keshajua mtoto wake atakua na kazi nzito sana.. Kukumbatia jimama kubwa ambalo sio lika lake

"mama, sasa hivi vitu vyanini?"

"we kula vitu kama hivyo ninakupa afya.. Kula vitu vya asili mwanangu"

Basi joshua alianza kutupia karanga huku akila na nazi.. Afu kwa pembeni kuna muhogo mbichi ulio kauka kidogo,.. Joshua yeye bado hajajua kapewa hivyo vitu kwasababu gani, ila akajua labda ni upendo wa mama yake...


Ila mama joshua alikumbuka kipindi akiwa na mume wake, yaani baba yake joshua.. Mzee Joakim alikua akimtaka mkewe amuwekee karanga, mihogo na nazi pia akipata dafu itakua poa... Lakini siku moja mkewe akamuuliza..

"mbona hivi vitu unavipenda sana, na ukila hua hutaki kula chakula nachopika"

Aliongea mke wa mzew Joakim

"mke wangu, hivi vitu unaniongezea hamu na uwezo wa kula mzigo"

Aliongea mzee huyo lakini mama joshua alikua bado hajaelewa....

"una maana gani.. Mana kama inakuongezea hamu ya kula.. Mbona hulagi sasa"

"sio kula chakula.... Ni kula mzigo mama joshua nawewe huelewi... Namaanisha nipate ngumu ya kukukwea wewe"

"waaaaaaaah mi nikajua unaongea cha maana kumbe ni huo uhuni wako"

"ahahahahahahahaha... We ulizani unavyougulia ulijua natumia umeme au"

"kwenda uko"


Basi mama jishua alikumbuka enzi za mume wake, na leo anampa mtoto wake kwasababu kasikia ana mpango wa kulala na mama sudi.... Mama joshua ana roho ngumu kinoma, yaani yeye ndio anafanya maandalizi ya mtoto wake na joshua nae, anajua thamani ya hivyo vitu, ila hakufikiria mbali kuwa anapewa kwasababu ya kwenda kulala na mama sudi


Tukija huku kwa mama Kipenga, kidundo akiwa ndio anafika nyumbani kwao,

"afu hii tabia ya kurudi usiku sitaki kusikia, mshenzi wewe"

"samahani mama.. Si natoka tuisheni"

"tuisheni najua unatoka saa 12 kamili jioni, sasa hii saa moja na nusu inakujaje"

"basi samahani... Nilipita kule nakookota hela"

Aliongea kidundo huku mama akitoa macho

"enheee, na leo umeokota tena.. Umeokota shingapi leo"

"leo nimeokota ndogo.. Elfu tano"

"aahh kubwa mwanangu.. Itakua mungu anatupa riziki kwa njia hio... Tumshukuru mungu mwanangu"

Aliongea mama Kipenga huku akiwa anambusu mtoto wake, na wakati huo machozi yao hutoka kwa wakati mmoja.. Kidundo yeye analia kwa kumuona mama yake anateseka sana... Na mama analia kwakua kafanya makosa mengi sana kwa watoto wake, hivyo anahisi ni malipo yake

"kaka yako namkumbuka sana.. Ni wiki mbili tu, lakini nahisi ni miezi kumi toka ameondoka"

"usijali mama, kaka atarudi tu"

"sidhani kama atarudi, ila hata asiporudi, simlaumu, mana makosa ni yangu... Kiukweli sitarudia tena kwako... Sitaki nawewe unikimbie mwanangu, usije ukaniacha kama kaka yako"

Aliongea mama Kipenga huku akikumbatiana na mtoto wake

"hapana mama, sitakukimbia"


Tukija huku kwa Kipenga akiwa kajinyoosha kwenye siti za gari huku kwenye siti za mwisho kabisa,.. Na alikua yeye na shuka lake,... Pembezoni mwa sehemu za kuwekea mabegi ya abiria... Lilionekana begi moja, kana kwamba maisha ya Kipenga ni hapa kwenye hili basi,... Na tajiri hajui kama Kipenga analala huku kwenye gari...


Usiku huo huku kwa Jessica, alikua akikosa usingizi kabisa kwasababu, mahusiano yake na jishua yamerudi upya, hivyo anajiskia mwenye furaha sana,.. Jessica ni mkubwa kwa joshua.. Amemzidi kama miaka mitatu, ila uzuri wa Jessica, anajua thamani ya mume, lazima amheshim hata kama ni mdogo ila Jessica hajui kama yeye na joshua wana utofauti wa miaka, kila mmoja anajua wapo sawa... Jessica alishika simu na kumtumia meseji mpenzi wake huyo

"joshua wangu, nashindwa kulala, nakuwaza tu,... Naomba kesho uje nyumbani tushinde wote"

Aliandika Jessica, huku joshua akijibu

"hapana, kesho nuna Homework za kufanya, labda wiki ijayo"

Alijibu joshua lakini Jessica alishtuka

"wiki ijayo kivipi mpenzi... Kama kesho una homework, sawa.. Ila Jumapili si utakua huna homework?"

"Jumapili sitakuepo, nitakwenda Dar es Salaam na binamu yangu"

"binamu yako?? Binamu yako nani... Na je? Shule jumatatu hutakuja?"

"binamu yangu yule wa siku ile aliotaka kukupeleka polisi"

"uuuuuuwiiiiii, kumbe ni binamu yako yule? Ndio mana akakuita baby... Basi niliku natafakari atakua nani yako yule? Kumbe ni binamu yako?"

"ndio"

"sasa shule je"

"tunakwenda kwa ndege"

"mmmmhhhh saivi unainjoi kweli, sawa, ila Jumatatu utachelewa kurudi nyumbani ili ukitoka shule twende kwangu.. Nimemisi eti"

"unataka uje unipige vibao tena??.. Sitakuja kama unataka penzi, basi tusubiri kuoana"

Joshua aliongea hivyo, mpaka Jessica akashtuka, mana asilimia kubwa wanaosema kusubiri kuoana ni wanawake, sasa huyu mwanaume anasubirije kuoana

"joshuaaaaaaa... Kwanini unanifanyia hivyo... Saivi hata ufanyeje, sitakugusa.. Ila nawe una mb** kubwa sana, kwanini nisiumie joshuuu"

"tutapanga vizuri basi wiki ijayo acha Kulia lia"

"sawa mpenzi, nakupenda sana..."

"nakupenda pia"

"nisalimie mama mkwe hapo"

"sawa salamu zimefika"


Siku zote Masaa hayagandi... Ilikua ni saa tatu usiku, na sasa ni saa 12 asubuhi, tukiwa katika nyumba ya akina Kipenga.. Mama Kipenga alipatwa na ndoto iliokua ikimtaka ajiulize kuhusu pesa anazoletewa na kidundo...

"wewe mwanamke, ke, ke, ke, ke... Unafurahi kuletewa pesa za kuokota na mwanao mdogo je? Unajua anakozipata, pata, pata, pata, pata, pata.... Umempoteza mqanao mkubwa kwa ujinga wako, wako, wako, wako, wako,.... Na sasa unampoteza mwanao mdogo ten kwa ujinga wako, wako, wako, wako, wako.... Je? Unajua anachofanyiwa mtoto wako, wako, wako, wako, wako"


"Uuuuuuwiiiiii hapanaaaaa.. Mwanangu"

Mama Kipenga alishtuka usingizini baada ya ndoto hio, alitoka mbio akiwa na chupi peke yake, na anaelekea chumbani kwa mtoto wake wa kiume, yaani hakujali jinsi alivyo mtupu, na mwili wake wote, nguo aliovaa ni chupi peke yake, na ni nyakati za saa 12 asubuhi,... Alipofika aliona mlango umefungwa, aligonga

"kidundo fungua mwanangu"

"kidundoooo..."

"kidundo funguaaaaa..."

"nataka nikuulize pesa unatoa wapi mwanangu fungua"


Mama Kipenga alianza kuwa na wasiwasi, kwani sio kawaida ya mtoto wake kukaa kimya kiasi hicho.. Kama anagongaga mlango wa nje na anasikiaga, sembuse huo wa hapo chumbani kwake...

"kidundo?? Kidundo mwanangu?"

Lakini akiwa anagonga mlango wa chumbani kwa mtoto wake kidundo,... Ghafla mlango mkubwa unafunguliwa bila hodi na mtu kaingia ndani....



ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

BLOG