Search This Blog

Wednesday, April 21, 2021

JAMANI ANKO - 3

  



Chombezo : Jamani Anko

Sehemu Ya Tatu (3)




Mama Kipenga alirudisha upendo wake kwa watoto wake, aliona tamaa za maisha ni mapito, kila mmoja hupewa riziki yake kwa wakati wake, pengine kwa upande wao bado wakati wao wa kubarikiwa riziki kubwa kubwa, hivyo kwa sasa mama Kipenga kakubaliana na hali ya maisha yao yalivyo, kwani awali alikua hakubaliani nayo kabisa, akihisi labda Kipenga anazembea katika utafutaji, kumbe ni mipango ya riziki ndivyo ilivyo pangwa na mwenyezi Mungu


Leo mama Kipenga aliweza kuota ndoto fulani kutokana na pesa anazoletewa na mtoto wake mdogo,.. Kwani kaletewa kama mara tano hivi, elfu kumi kumi, elfu tano tano, na kila kidundo akileta anasema kaokota na mama anaridhika akidhani huenda ni kweli, na akaona labda mungu anawapa riziki kwa njia hio... Sasa ndoto alio iota asubuhi ya leo, ilimfungua masikio mama Kipenga, kuwa kila siku analetewa pesa na mtoto wake mdogo wa kiume na asijue anatoa wapi... Kwanini akubali kirahisi kuwa ni pesa za kuokota...


Mama Kipenga akakurupuka huko na wenge lake la usingizi jumlisha ndoto, na hapo alipo ana vazi la chupi tu...


"kidundo?? Kidundo mwanangu?"

Lakini akiwa anagonga mlango wa chumbani kwa mtoto wake kidundo,... Ghafla mlango mkubwa unafunguliwa bila hodi na mtu kaingia ndani


Alishangaa mama kidundo huku akiwa kimyaa kashika matiti yake chini ana chupi

"wewe ni nani"

Mama kidundo aliuliza, mara akachungulia mtu

"ufyuuuuuuuuuu... Mama joshua kumbe niwewe, umenitisha"

Aliongea mama Kipenga kumbe alikua ni mama joshua ndio alisukuma mlango kisha akarudi nyuma....

"mama Kipenga,.. Napita huko nje natoka kumpeleka wini shule.. Nasikia unalia huku unagonga mlango... Ndio nikaja nikasema hebu nisukume mlango kwanza ndio nikafanya hivyo.... Haya na chupi tu chumbani kwa kidundo,.. Mama Kipenga, ina maana unalala na watoto wako"

"nagonga mlango kipenga afungue lakini hafungui"

"mama Kipenga utakua ushakua chizi wewe... Ina maana huoni kama huo mlango umefungwa kwa nje"

Aliongea mama joshua,... Heeee kweli mama kipenga kuangalia vizuri, ni kweli mlango ulikua umefungwa kwa nje, kana kwamba Kipenga hayupo keshaenda shule, na ndio mana hata mlango mkubwa upo wazi...

"sasa je kama joshua angelikua ndani na hivyo ulivyo"

Aliongea mama joshua, huku mama Kipenga akijiangalia, heeeee... Ndio anashtuka kuwa ana chupi,.. Alikimbia ndani kisha akaenda kufunga kanga... Kisha akarudi hapo sebuleni

"samahani sana mama joshua"

"nimekuuliza, unafanya mapenzi na watoto wako mama Kipenga"

"mama joshua, mbona unanitusi kiasi hicho... Nawezaje kufanya hivyo"

"sasa umewezaje kufika pale na nguo ya ndani, hivi mtoto wako angetoka je ingekuwaje"

"kweli mama joshua, ingelikua ni aibu sana"

"Haya kimekukuta nini mpaka ukawa hivyo"

Mama joshua alimuuliza mama Kipenga, na mama Kipenga akaanza kumpa stori nzima

"Unajua mama?... kidundo wiki nzima hii alikua anakuja na pesa tofauti tofauti.. Siku nyingine elfu kumi na tano, siku nyingine elfu kumi, siku nyingine elfu tano

Sasa kila akija nazo anasema kapita mahali kwenye duka la wahindi anaokota. Basi mimi nikamwambia ni riziki yetu,.. Mama joshua kulingana na hali yetu ya kimaisha, Kiukweli sikuweza kumhoji sana kuhusiana na pesa hizo... Na ni kila siku anakuja na pesa,... Lakini sasa leo asubuhi hii, nikajiwa na ndoto, tena sura ya mume wangu... Akaniambia napokea tu pesa sijui zinatoka wapi, narizika tu kuambiwa pesa za kuokota... Je unajua mtoto wako anafanyiwa nini mpaka anatapa hizo pesa...... Kiukweli mama joshua nilishtuka kwenye hio ndoto moja kwa moja nakuja kwa kidundo nimuulize hela anatoa wapi, isije ikawa kakutana na vijana wa kihindi huko wanamfanyia vibaya mtoto wangu... Kiukweli hio ndio sababu nikatoka bila kujitambua mpaka hapa chumbani kwa kidundo.. Na hata sikuangalia kama mlango umefungwa kwa nje, yaani usingekuja ingelikua mpaka sasa nagonga mlango.... Kiukweli hayo ndio yalionikuta mama joshua"


Mama Kipenga alimaliza kumpa stori nzima jinsi ilivyokua...

"kweli ni haki yako kutoka hivyo... Sasa naamini umerudisha upendo kwa watoto wako,... Ila kama anakwambia kaokota kwanini usiamini hivyo tu"

"mama Joshua, hata mwanzo niliamini hivyo na ningeendelea kuamini... Ila hii ndoto ya asubuhi Kwakweli ndio imenifanya nisiamini, Kwakweli ole wake leo aje na pesa"

"lakini leo ni Jumamosi, sasa kaenda shule gani"

"amekwenda tuisheni"

"eeehh kumbe ndio mana hata wini wangu kasema nimuwahishe, mana wapo wengi wanaingia kwa awamu tofauti"

"ndio hata kidundo pia kaenda tuisheni"

"haya vipi, hujapata habari za kipenga"

"aaahh mama joshua unanikumbusha mtoto wangu"

"lakini kwani kafa au kapotea?? Si katoka kwa akili zake? Na atarudi tu yule ni mtu mzima wala huna haja ya kuumiza kichwa kwasababu sio mtoto yule"

"najua mama joshua, ila mtoto ni mtoto tu hata akue vipi"

"muombe mungu atarudi tu"


Wakati huo huku stendi ya mabasi,.. Kipenga ndio anaanza Safari ya kuelekea singida, kana kwamba akifika kule anapakia tena abiria kisha anarudi kwahio gari yao hailali Singida,..

Gari ikiwa inatembea Kipenga alikua akisinzia, mana usingizi wa kwenye gari siku zote hauishi,...

"kipenga vipi, mbona kama unalala na safari ndio kwanza tupo kisongo hapa"

Aliongea konda mwenzake mwenye jinsia ya kike,...

"rose? Unajua nikiwa nyumbani nakosa kabisa usingizi"

Aliongea hivyo Kipenga, mana kulala kwenye gari ni siri yake hakuna mtu anajua kuwa Kipenga analalaga kwenye gari, mana yeye anakuja na dereva,.. Dereva anawahi kuondoka Kipenga yeye anabaki kwenye gari kufuta futa siti za gari, lakini lengo lake ni kwasababu analala hapo na hio kazi ya kufuta siti za gari wala sio yake.. Ila anafanya hivyo kwasababu analala hapo hapo.. Na wafanyakazi wote wanamkutaga wakwanza, na hawajajua kama analalaga hapo....

"kwanini sasa unakosa usingizi ukiwa nyumbani au watoto wanasumbua"

"hapana, basi tu hua silalagi vizuri"

"au wifi yangu anasumbua usiku"

"aahhh rose acha utani.. Si nishakwambia bado sijaoa"

"ooohh nilisahau... Ila nataka wiki nikapaone nyumani kwako"

Aliongea rose huku Kipenga akishtuka,

"kwangu?"

"ndio, kwani ni vibaya mfanyakazi mwenzio kukutembelea"

"aahh hapana.. Sio vibaya ila mimi bado nipo nyumbani"

"heeeeeeee mkubwa ivyo"

"mama ndio hataki bwana"

"basi utakua mtoto wa mwisho wewe"

"hapana, yupo mdogo wangu kidundo ndio wamwisho, tuko wawili tu kwenye familia yetu"

"ooohhh basi nitakuja kwenu kuwaona"

"sawa karibu"

Aliongea Kipenga lakini hakua na mzuka huo kwasababu anajijua hayupo nyumbani na hana mpango wa kurudi hivi karibuni,... Ila rose alionekana kumpenda kipenga, lakini Kipenga hakua na huo mzuka kabisa, kwasababu ana mambo mengi kichwani ambayo anataka kuyatekeleza, hivyo anahisi akiwa na mwanamke, anaweza kuvuruga na kazi hii inamlipa vizuri sana, anapata marupurupu mshahara mzuri, sio kazi ya kuteseka kuumiza kichwa...


Tukija huku kwa Jessica, akiwa nyumbani kwake, mida kama saa nne hivi, akiwa anapika chai baada ya kumaliza usafi wa nyumba, alishika simu yake na kumkumbuka mpenzi wake ampendaye, alipiga simu kwa joshua,

"Tiiii tiii.... Tiii..tiii...tiiii tiiii... Eehh hallo mume wangu, shkamo"

Jessica alimsalimia joshua

"mmmhh shikamoo zimeanza lini tena"

"lakini mke si lazima amuheshim mume wake, naomba iwe hivyo tafadhali..."

"mmmhhh ok Marahaba ujambo"

"sijambo mme wangu... Naomba basi uje unywe chai"

"aaahhh jana si nilikwambia labda Jumatatu"

"nataka uje unywe chai tu"

"chai na nini"

"Niambie unataka nini ukikute"

"tengeneza chapati mayai nije"

"kingine"

"hapana hivyo tu"

"basi naomba chukua pikipiki uje fasta ntalipa mimi hio pikipiki"

Aliongea Jessica huku joshua alikua kalala, mana saivi ana vihela vya jimama kwahio hawazi kuamka asubuhi mana ishu za kijiweni hayupo tena...

"kazi kulala tu"

Mama joshua alianza kumlaukia mtoto wake

"sasa mama nifanyeje, niende wapi... Sina homework yeyote, si nalala niweke akili vizuri"

"kwahio akili inatengenezwa kwa kulala"

"hapana... Ila ukipumzika vyakutosha, unaweka mwili na akili sawa"

Aliongea joshua huku mama akiwa hataki hata kubishana naye,... Basi joshua aliendelea kupiga mswaki, huku akiandaliwa chai na mama yake....

"achana na chai,.. Mimi nakwenda kijiweni"

"kijiweni? Unakwenda kufanya nini huko"

"aaahhh kule kuna ndugu jamaa na marafiki, na ikumbukwe nilipokua na hali mbaya walinipokea kama mdogo wao, sasa niache kuwasalimia"

"ok sawa namimi ndio natoka hivi nakwenda dukani, kurudi ni mpaka jioni... Kwahio hakikisha unarudi mapema hapa wini atarudi saa nane... Hakikisha uwe hapa ili mtoto ale"

"kwahio unataka kusema funguo unaniachia mimi"

"hapana, funguo Naweka pale pasikuzote, ili wini akija asipate shida."

"oooohhh sawa, nikajua lazima mi nije nile nae"

"ukitaka utakula nae usipotaka basi... Mimi natoka zangu"

Basi mama joshua aliondoka zake mana kama unakumbuka tayari keshafungua duka la nguo kama alivyokua amepanga, na anapambana ili mtoto wake aachane na yule mwanamke


Mama joshua alipotoka tu,.. Na joshua naye hakuchukua muda akatoka, ikiwa ni siku ya Jumamosi tulivu kabisa... Joshua alipitia kijiweni kweli, mana alipamisi sana

"ah ah... Joshua... Mbona umeng'aaa hivyo"

Alikua ni mmoja kati ya wanakijiwe ambao wanamjua joshua...

"nimeng'aaa nimekua mzungu nini?"

"we hujioni... Ivi unaweza kusukuma mkokoteni tena wewe"

"aahhhhh hizo kazi za kawaida sana"


"joshuaaaaaaa"

"naaam kaka"

"naskia skuizi una sponsa"

"aaaaaaahh ushaanza majungu broo"

"ahahahahaa, sio majungu... Kwani uongo"

"ni kweli kaka"

"sasa ulikataa nini"

"hahahahahaha sawa bwana... Niambie wakuuu, naona kama hali ya kijiweni sio mbaya"

Aliongea joshua kwani washkaji zake wote wako vizuri...

"ndio... Aisee mnatoka taratibu tu,..."

"kwani nani mwingine katoka"

Joshua aliuliza nani mwingine katoka

"si Kipenga... Kipenga ana wiki ya pili mzee hatumuoni... Ivi mnapatia wapi machimbo wazee tuambieni"

Alionge Jackson ambae ni mmoja wa wana kijiwe

"hakuna kitu... Afu kweli Kipenga muda sana sijamuona.. Ila hata kwao hayupo uyu jamaa"

"ni kweli,.. Hata maza ake alikuja apa kumuulizia, lakini hatujui mishe za Kipenga"

"daaahhhh mshkaji sjui kaenda kwenye migodi"

"inawezekana si mwanaume bwana acha akapambane.... Sasa wakuu, mi nawaacha"

"aaaahhh joshua unatuachaje sasa wanakijwe wenzio"

"daaaahhh... Sasa.. Lipo teni hapa tupige ata fegi tu au sio wazee"

"apo umemaliza dogo letu, we tembea kwa amani"

"poa poa wakuu....aisee soja nikimbize basi apo mtaa wa pili"

Aliongea joshua, huku jamaa huyo alieitwa soja akawasha pikipiki yake kisha akala kichwa....

Basi joshua aliwaachia elfu kumi wana kijiwe wenzake ambao alisha wahi kuwa nao, tena ilibaki kidogo tu aache shule, yaani amshukuru huyo mama sudi ndio kama kumbusti....


"niache hapa hapa soja"

Aliongea, joshua kisha akatoa buku akampa soja kama malipo yake...

"basi poa joshua"

"aina noma kaka"

Akiwa hapo kabla hajapiga hatua mara simu inaita, kuangalia, alikua ni mama sudi

"Hallo mpenzi mambo"

Joshua alianza kutoa hio salamu kitu ambacho mama sudi alifurahi kuona joshua anaanza kitoa aibu juu yake

"poa honey Niambie"

"safi vipi umenimisi"

"sanaaaaaa... Ndio nataka nije kwenu"

"mmmhhh, hapana, nyumbani hakuna mtu.. Mimi nimekwenda tuisheni, na mama katoka kwenye shughuli zake"

"ooohhhh, basi poa, ila kesho weka akilini kuna safari mpenzi"

"najua wala usiweze kwa hilo"

"ok poa mpenzi"

"poa baby"

Sasa wakati simu inakata tu, ikaita tena

"hallow, mume wangu mbona hufiki"

"mbona nipo nje, nashangaa nagonga hufungui"

"jamaaaaaani mume wangu mbona sijaskia"

Jessica alilalamika kwa kitendo cha kuchelewa kumfungulia joshua lakini joshua alimzingua tu, bado alikua yupo mbali na mlango....

"nyooooo kumbe upo mbali hivyo"

Aliongea Jessica huku akikata simu,...


Ilikua ni furaha baina yao,.. Heee mama sudi akijua hili hapa hapatatosha,..

Joahua alipokaa tu, aliletewa kifungua kinywa, Kiukweli Jessica kaamua moja, anamtaka joshua na yupo tayari kwa lolote,....

"naomba nikulishe basi"

Aliongea Jessica huku joshua akikataa ile staki nataka,...

Alifanikiwa na wakati huo jessica kakaa juu ya mapaja ya joshua, na hapo katupia kanga tu,... Nina imani jessica anataka kupigwa mzigo,

"basi amka ninywe chai.. Sijui umeiweka limbwata"

Aliongea joshua huku jessica alipo amka, akaacha kanga pale mapaja akabaki na chupi tu...

"nilijua tu yani, ndio mana sikutaka kuja"

"joshuaaaaaaaa, mimi kukaa uchi kunakusumbua nini"

"ona nimesha simamisha tayari ebu vaa kanga"

"akuuuu... Hapa sipo na kaka yangu, bali nina mpenzi wangu.. Ukitaka ntakupa usipotaka basi kunywa chai, tupige stori mpaka utakapo ondoka"

Aliongea Jessica huku huku akirudi kukaa kwenye kochi akiwa na chupi tu, mana keshamjua joshua anasisimuka kwa chupi

"daaaahhh nitakunywa chai kwa tabu"

"kama vipi nipige kimoja mume wangu, kwani lazima unywe chai"

Aliongea Jessica kabla hajajibiwa na joshua,... Jessica kakimbilia zipu,

"Hapana sitaki nikumezee mate kiasi hicho.."

Jessica alimkumbatia jishua huku akimgusa na chuchu zake kaliii katika kifua chake,... Mmmhhhh joshua ubabe ulimshinda,.. Alijikuta anatomasa makalio ya jessica, na jessica nae sauti zikaanza kumtoka bila mpangilio... Dakika mbili nyingi, joshua hana hata nguo moja ya dawa... Jessica yeye alishavua hata kabla joshua hajaja

"joshuaaaaaaaa.... Ni nini lakini"

Jessica alishtuka na kumwambia joshua hivyo, sasa sijui kaguswa wapi

"kwani nini"

"Anko unampeleka wapi uko"

"aaahhh kawaida"

"weeee yesu atakuadhibu"

Aliongea Jessica huku wakiwa katika sofa reeefu, ila jishua kuna shetani kama anamjia hivi...

"bwana joshuaaaaaaaa... Mbona kama unataka kwenda kinyume na taratibu za mungu alizoweka lakini"

Jessica alilalamilka kuona joshua kama anazidi kutaka pasipo takiwa....

"uuuuuuwiiiiii, aaahhhhhh... Aaiiiiiii... Usiingize yote jishua, hapo hapo basi inatosha"

Aliongea Jessica lakini joshua yeye yupo kimyaaa....

"joshuaaaaaaaa jamani mume wangu, ni kwamba unakosea au unakusudia?"




Mapenzi ya watu wawili wanaopendana inakuwa raha sana, unajua hata joshua anampenda sana Jessica, sema tu alikasirika kitendo cha kupigwa vibao...


Joshua alikua akimtania Jessica kwa kukosea kuingiza, ilimradi tu kuibua michezo ya hapa na pale, na wakati huo joshua bado hajanywa chai, mana alipoanza tu kunywa, Jessica akaanza kusudi zake za mitego ya kimapenzi kitu ambacho joshua alishindwa kuvumilia,..


"joshuaaaaaaaa jamani mume wangu, ni kwamba unakosea au unakusudia?"

"ahahahahahahaha... Kumbe unaogopa"

Aliongea joshua huku Jessica akiishika zakari ya joshua na kuipeleka mahala sahihi,

"apo sasa joshu wangu, ushindwe mwenyewe kipenzi cha roho yangu"

Aliongea Jessica huku joshua akimueka sawa Jessica katika sofa,.. Hapo hawahitaji kwenda kitandani, kwani mapenzi ni popote ilimradi kila mmoja aridhie na location iliipo... Ilikua ni mara ya pili jessica kuingiliwa kimwili, alisumbua kidogo lakini alikuja kutulia...


Alibonyezwa vizuri sana, mpaka anakuja kuachiwa, alibaki kumtazama joshua tu usoni na asimmalize kumtazama...

"ushanifanya mimi TV... Niache nikaoge"

"hapana.. Nakubandikia maji"

"naogaga ya baridi"

"basi twende wote"

Basi jessica na mpenzi wake waliongozana mpaka bafuni,... Jessica yeye kashikilia zakaria tu, eti anaiosha

"tayari nishang'aaaa... Sogea nitoke"

"umeng'aaa wewe, ila hii mali yangu bado"

"ishike shike tu, ikisimama nitakapo ingiza usinilaumu"

Aliongea joshua,.. Jessica kuskia hivyo akaacha, mana anavyompenda joshua,.. Hataweza kukataa kama atataka huko akutakako...

"basi haya twende"


Masaa yalisonga, na sasa ni nyakati za mchana kama saa sita hivi... Ikiwa ni mkoani Singida,..

"rose? Wacha nikatafute chumba nipumzike, hata nipunguze huu usingizi"

"poa, gari ikijaa nitakushtua"

"ok poa"

Basi Kipenga alitoka katika gari na kuelekea gest, alipata chumba, alioga kisha akajitupia kitandani, haikuchukua muda alilala....


Wakati huo huku kwa Rose, ametokea kumpenda kipenga, ni mchapakazi, afu yupo siriasi wakati wote,..

"nina nyumba, naishi peke angu, Kipenga nampenda, ila bado sijaonyesha hisia zangu kwake... Ufyuuuuuu.... Nifanyeje"

Aliongea rose huku akichoka bila majibu.. Rose anamiliki kibanda chake kidogo, ila anatamani kuwa na mume, kwani hata yeye ni wakati wake, na akimwangalia Kipenga ni lika lake kabisa.... Rose alishika simu na kumpigia... Iliita simu bila kupokelewa

"daahhhh kweli kachoka sana"

Akajaribu tena, safari hii ilipokelewa

"Hallo kipe"

"eeehh nakuja nakuja, navaa shati"

"No, No, Gari ndio kwanza ina abiria wanne..."

"aaaaaagggghhh, sasa kwanini umepiga rose jamani"

"samahani kipe, upo gest gani"

"Manyoni gest house"

"chumba namba ngapi, mana umeondoka bila kupiga hesabu ya abiria tuliokuja nao"

"nitapiga nikiwa kwenye gari rose"

"hapana Bwana Niambie chumba namba ngapi nije tupige mara moja"

"namba nane"

Aliongea kupenda lakini alikasirika sana, kwani alikua tayari keshanogewa na usingizi, na pumziko lilikua muruaaaa...


Haikuchukua hata dakika mbili rose huyoo, kaja na vitabu vyake

"daaahhh, yani rose wewe"

"vaa shati basi, sasa kifua wazi ivyo"

"ebu njoo bwana tupige hesabu uondoke"

Aliongea Kipenga na hapo rose akajua kweli Kipenga kakasirika kwani kamkatia usingizi wake,...

"ok we endelea kupiga hesabu namu nitoe jasho"

Yaani rose anaongea hivyo huku anavua nguo, heeeee hata Kipenga haamini...

"unafanya nini rose, ina mana hata huogopi uwepo wangu hapa... Mbona unanichukulia kama mwanamke mwenzio"

Aliongea Kipenga lakini rose ndio haelewi kabisa... Yaani mwanamke akipenda, ni tabu tupu yani, hata subra hana...

Rose alichukua shuka kisha akajifunika akavua sketi yake na taiti, akabakiwa na chupi tu, na hilo shuka alilojizungusha nalo.. Yaani hakutaka kuchelewa kuwa na Kipenga, anamtaka.... Rose aliingia bafuni Kiukweli bafuni ni kama alikwenda kujimwagia maji tu na kutoka... Mana hata dakika haijaisha eti anatoka kaloa maji, shuk limeganda mwilini... Kipenga alikumbuka kauli za mama yake kama mbili hivi zisemazo

"wenzako wanatumia ndude zao kwa faida, wewe unanimalizia sabuni tu humu ndani"

Akakumbuka na nyingine tena isemayo

"au husimamishi nini"

Hizo zote ni kauli alipewa na mama yake mzazi,.... Akaona sasa hii ni too much,.. Itafikia rose nae atamtukana...

"Kipenga, Kipenga unataka kufanya nini lakini"

Kipenga alikwenda kumkama kiuno, rose alihisi kutetemeka kwa kushikwa na kipenga,... Shuka lilivutwa likatupwa huko

"kipengaaaaaaa,... Ndio nini sasa kuniacha uchi"

Rose anaongea mwenyewe peke yake, Kipenga yeye ni vitendo... Mara kashika matako

"kipengaaaa, niheshim basi"

Alimkamata kiuno kisha akawa anampelekea rose mdomo kana kwamba anataka kumnyonya denda... Rose alifumba macho kana kwamba kakubali..

Dakika mbili zilikua nyingi, chupi ya rose ilichanwa kabisa, yaani ilichanwa sio kuvuliwa... Kipenga nae alikua mzuri sana kimapenzi, Rose alijiachia mwili wake wote afanywe anavyotaka Kipenga..


Mwanamke alie na muda hakufanya mapenzi, siku akiotewa na fundi... Hachukui dakika nyingi, chepechepe...

"uuuuuuuuunnnhhhhhh"

Rose alipiga ukelele wakati zakari inaingia kwa tabu.... Sasa hata kabla Kipenga hajaanza kwenda juu chini... Simu iliita, kuangalia, alikua ni dereva

"Hallo, suka Niambie kaka"

"oya gari imejaa... Rose haonekani, wewe huonekani.. Njoo bwana abiria wanalalamika gari haiondoki"

"sawa kaka nakuja"

Kipenga alikata simu kisha akachomoa zakari yake... Yaani ni kama kachomeka na kuchomoa

"nani kakupigia mpenzi wangu"

"achana na mambo ya upenzi gari imejaa"

"sasa unaogopa nini"

"naogopa nini?? Bila kazi hata wewe hutanitaka"

Aliongea Kipenga wakati huo anamalizia kuvaa shati, yeye rose hata nguo moja hajaanza anabaki kuuliza tu...

"ok... Skia Kipenga... Naomba leo uje ulale kwangu... Nakuomba sana.. Nipo chini ya miguu yako... Ona uume wako haulali inaonekana bado una hamu... Afadhali mimi ushanikojolesha na vidole.. Ila nakuonea huruma wewe"

"sawa nimekuelewa... Sasa skia... Wewe ukitoka hapa, chukua pikipiki... Nenda kasubirie gari kule mwenge... Tusitoke pamoja watatushtukia"

"kwanini sasa.. Hapana bwana"

"rose, unabiahana na mimi"

"basi sawa, nitaenda huko mwenge"

"ok poa, tukutane kwenye gari"

"ok poa.... Kipe?"

"nini tena mbona hunalizi maneno"

"nakupenda"

"aaahhhhh bwana, badae"

Kipenga anajali kazi sana... Kwasababu hata kutukanwa kwake na mama yake, ni kwasababu ya kukosa kipato kizuri,...

Basi rose alianza kuavaa nguo zake..

"heeeee ivi chupi alichana kabisa... Ana moto huyu"

Aliongea rose huku akitabasamu kwani ndio mwanaume ampendae.....


Tukija huku mjini Arusha, Joshua akiwa bado yupo kwa jessica tena walikua wamelala fofofo kabisa,... Ghafla mlango unagongwa... Joshua akashtuka na kumuamsha Jessica

"wewe... Wewe.... Wewe"

"abeee mume wangu"

"mlango unagongwa huko"

"ooohh atakua ni mama angu"

"mama ako? Sasa itakuaje"

"ina mana unamuogopa mama ako mkwe"

"Jessicaaaaaaa, sio kila jambo uchukulie kirahisi tu"

"ndio vizuri akuone"

"sasa si uvae nguo vizuri Jessica,.."

Jessica alikwenda kufungua mlango wakati huo joshua yeye kavaa vizuri nguo zake... Kweli alikua ni mama yake, na inaonekana alikua na taarifa naye...

"shkamoo mama"

Jessica alimsalimia mama yake,... Mama alishtuka kumuona mwanaume humo ndani....

"Shikamoo mama"

"Marahaba baba ujambo"

"sijambo mama, karibu"

"asanteni"

"mama... Huyu anaitwa joshua,... Ni mchumba wangu, nampenda sana"

"ooohhh sasa kwanini hujamleta nyumbani"

"ndio tulikua na huo mpango, hivyo ni kama bahati tu umekuja"

"joshua?? Huyu ndio mama angu mpendwa"

"Oooohhh nashukuru kumfahamu"


Tukija huku nyumbani kwa mama Kipenga akiwa na mawazo kichwani mwake,... Ndoto alio iota asubuhi ya leo, inampa mawazo sana,.. Anakumbuka zile kauli kwenye ndoto

"Unajua anacho fanyiwa mtoto wako, wako, wako, wako"

Kila akiikumbuka hio sauti anakosa amani, na sasa ni saa kumi... Mtoto wake bado hajarudi,..

"kidundo mwanangu, tuisheni tu mpaka saa hizi"

Alijisemea mama kidundo huku akiwa na mawazo, na wakati huo anaiangalia ile elfu tano ya jana alio ambiwa imeokotwa,

"wewe hela, hebu sema umetokea wapi.. Umeokotwa kweli au"

Aliongea, yaani mama Kipenga ni kama chizi sasa mana mpaka anafikia kuiuliza hela kama imeokotwa au laaaaa...


Tukija huku kwa akina Jessica na joshua pamoja na mama mkwe....

"Kijana unafanya kazi gani"


Joshua alishtuka na hata Jessica alishtuka sana, na Jessica alishtuka kwasababu joshua akikosea tu kisema basi imeisha hio.... Mana ni mwanafunzi

"aaahhh namiliki duka la nguo mjini pale.. Na pia nina pikipiki tatu, na bajaji moja"


Chaaaaaaa... Hata Jessica haamini kwa huo uongo uliochapwa na joshua.. Mpaka Jessica akapumua kwa nguvu

"uuuufyuuuuuuuu"

"oooohhh kumbe unaweza kuishi na mwanangu vizuri.... Lengo lenu kuanzia sasa ni nini"

"aahhhh tunaweka mipango sawa kwasababu swala la ndoa sio la kukurupuka mama angu, na mwenzangu pia ameona tujiwekeze vizuri kibiashara ndipo tuingie ndoani"

"ooohhh malengo mazuri, sio mabaya"

"asante mama nashukuru"

"Jessica??"

"abeee mama"

"umekubali kuolewa na joshua"

"ndio mama.. Tena sina hata hofu wala chembe ya pingamizi"

"mwanangu, ndoa haitaki mchezo inatakiwa mridhiane wote wawili"

"mama kwa hilo ondoa shaka,... Tumeridhiana"


Tukija huku kwa akina Kipenga wakiwa ndani ya basi, na wapo katika ya safari, walisha iacha Singida mbali sana...

"Rose?? Mbona unatetemesha hivyo.. Hebu funga kanga"

Aliongea Kipenga, wivu ulianza kumtawala

"we si ulichana chupi yangu"

"si unajua mzuka tena... Ebu funga kanga kabsa, kila mtu aone unatetemesha humu ndani"

Aliongea Kipenga, na rose hana budi kufuata amri ya ampendae, na ndio raha ya kupendana hio, kutii asemacho mumeo


Wakati huo huku stendi kuu, Kidundo alikua kakaa mahala akisubiri kaka yake, ina maana katoka tuisheni muda mrefu sana lakini hakua na mudi ya kurudi nyumbani, amekuja kumuona kaka yake


Sasa huku kwa mama Jessica... Kupiga jicho chini ya meza, aliona chupi.... Daahh mama Jessica akajua mtoto wake kesha gegedwa tayari...

"Jessica??"

"abee mama"

"njooo"

Jessica alisogea mpaka kwa mama yake, kisha mama akamwambia

"hebu toa hio nguo hapo chini ya meza"

Jessica aliogopa sana... Joshua yeye alijiskia aibuu...

"Jessica, naomba niwaage tutaonana Jumatatu shu...."

Sasa joshua akataka kusema shuleni,.. Jessica akawahi haraka, na kumkatisha huku akisema

"shugulini, nitakuja tu"

"ooihh nitashukuru sana"

Mama Jessica akawa ameweka alama ya kuuliza...

"sawa tutawasiliana"

"ok poa.... Mama kwaheri"

"haya baba"

Jessica akawa anapeleka chupi bafuni, akaitwa haraka...

"wewe?? Njoo hapa"

Jessica aliogopa kweli

"mama ngoja nipeleke hii nguo.. Niliisahau jana"

"unataka kunidanganya hata mimi mama yako"

"hapana mama"

"rudi hapa na uniambie ukweli"

Jessica alirudi kwa uoga wa hali ya juu

"mama?"

"naomba uniambie ukweli... Hii chupi ni ya jana au leo"

"ni leo mama"

"kwahio ushagegedwa tayari"

Mama katumia neno la kihuni... Jessica alikosa jibu, mana ni kweli kesha gegedwa tayari...

"si nakuuliza wewe"

Jessica alitikisa kichwa kuashiria ndio kagegedwa muda sio mrefu....

"mtoto ni mshenzi wewe... Tulikubaliana nini kua uolewe na Bikira yako... Hivi mbona we mtoto malaya wewe... Dada zako hakuna alie olewa na bikra.. Nawewe pia"

"mama, nisamehe mama angu.. Nampenda joshua, nisingeweza kumyima mama.. Mana nimehofia nikimnyima atatafuta mwingine namimi nampenda"

Aliongea Jessica, na mama yake akakasirika na kuondoka kwa hasira kali...


Masaa yalisogea na hatimaye ni saa mbili usiku,... Mama Kipenga akiwa nyumbani kwa mama joshua...

"mama joshua, hivi utaamini mwanangu hajarudi... Ile ndoto ilikua yakweli mama joshua"

Aliongea mama Kipenga huku mama joshua akimfariji

"acha kumuombea mtoto mabaya mama Kipenga.."

"sasa haijawahi kutokea Tuisheni achelewe namna hii"

"usijali... Mimi mbona joshua bado hajarudi"

"joshua ni mkubwa huezi kumfananisha na kidundo"

"ni kweli, ila hawa watoto wewe ndio chanzo mama Kipenga"

"mama Joshua, acha kusema hivyo, unanikumbusha ingali nimesha sahau"

"basi muombe mungu"

"sitaki kuamini kama na Kidundo kapotelea huko"


Mama Kipenga alirudi zake nyumbani na kulala kabisa, mana hana wakumpokea

Lakini akiwa usingizi umempitia ghafla mlango uligongwa....

"ngo, ngo, ngo, ngo"

Mama Kipenga alishtuka kuskia mlango unagongwa,... Alikurupuka kama kawaida yake ila Safari hii alikua na mavazi ya heshima...

"nani unagonga"

"mimi Kidundo mama"

Mama Kipenga alifungua mlango haraka haraka kweli alikua ni Kidundo....


ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

BLOG