Search This Blog

Sunday, April 18, 2021

RAHA YA DAFU UCHOKONOLEWE - 1

 


IMEANDIKWA NA : KIZARO MWAKOBA

*********************************************************************************

Chombezo : Raha Ya Dafu Uchokonolewe 

Sehemu Ya Kwanza (1)


Mingoni mwa wanaume ambao waliwahi kuukonga mtiwa wa Msichana Sarah alikuwa ni pamoja na Mwalimu James. Alijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuzuia hisia zake dhidi ya mwalimu huyo lakini alishindwa kupambana na msukumo wa moyo wake.

 “Unatafuta nini huku?” Mwalimu James alihoji kwa sautu nzito lakini iliyokuwa imejaa upendo na hekima. 

 “Shikamoo Mwalimu” Sarah alisalimia.

 “Muda wa masomo umekwisha unatafuta nini huku?” Mwalimu James akahoji tena kwa msisitizo. 

 “Nilkuwa…nilikuwa…” Sarah akajikuta anashindwa kuzungumza.

 “Hebu nifuate ofisini” Mwalimu James alizungumza na kuvuta hatua kuelekea ofisini kwake ambako wakati huo walimu wengine walikuwa wameshaondoka.

 Sarah alikuwa kama vile haamini maneno yale kutoka kwa Mwalimu James. Mapigo ya moyo wake yalienda mbio huku akihisi fursa aliyokuwa akiinyemelea kwa muda mrefu bila mafanikio hatimaye anaelekea kuipata.

 Sarah aliingia ofisini kwa Mwalimu James kwa kutembea mwendo wa twiga huku akiuma uma midomo yake kwa mapozi ya kutega. Alimkuta mwalimu ameketi juu ya meza akimtazama alipokuwa akiingia. 

Sara alipeleka mkono wake wa kushoto tumboni na kupandisha blauzi huku akilipapasa taratibu tumbo lake akimtazama mwalimu usoni kwa macho mlegezo na midomo yake akiendelea kuiuma uma utafikiri anatafuna jojo.

  Mwalimu James alitulia pale kwenye meza akimtazama binti yule jinsi alivyokuwa akijinyumbulisha mbele ya macho yake. Hakika tumbo la Sarah lililokuwa na ngozi laini na kitovu kilichozama ndani vilimfanya awe na mvuto zaidi kwa mtazamaji. Mwalimu James alimeza funda la mate na kuramba midomo yake kama mjusi.

 Sarah alipoona jitihada zake bado zinachelewa alijisogeza kwenye kiti cha jirani na alikuwa ameketi Mwalimu na kupandisha mguu wa kuume kwenye kiti hicho. Aliachia tabasamu la mahaba huku akivuta sketi juu na kupapasa taratibu ngozi laini ya paja lake jeupe lillokuwa limenakshiwa vyema na Muumba. Hakika Sarah alikuwa ni msichana mzuri na mwenye mvuto wa hali ya juu.

 Mwalimu James alitoa pumzi ndefu na kuvuta hatua kuelekea upande aliokuwa amesimama Sarah. Masikini mtoto wa watu akahisi mwili ukimsisimka na yale macho yake yakazidi kulegea na kuwa kama vile mlevi wa kokeni. Hata hivyo ilikuwa kinyume kabisa na matarajio yake kwasababu mwalimu James alimpita na kwenda kuketi kwenye kiti chake. Sarah akatoa pumzi ndefu na kufumba macho kwa sekunde chache kama vile mtu aliyepoteza matumaini.

 Mwalimu James alivuta droo ya meza na kuchomoa bahasha kisha akaiweka juu ya meza. Sarah alipoona bahasha ile alipata matumaini na kubaini kube mpango wake ulikuwa bado unandelea vizuri.

 Mwalimu James alimtazama usoni Sarah kwa sekunde chahe kisha akaweka mkono wake juu ya ile bahasha na kuisukumia upande wa Sarah.

 “Kamata hii” Alisema Mwalimu James kwa sauti yake ya upole.

 “Woow! Asanteeee” Sarah akatembea kwa mwendo wa kimisi huku akiishika ile bahasha kwa mbwembwe utafikiri imetoka kwa mchuchu wake.

 “Naomba nisaidie Sarah. Tafadhali nipo chini ya miguu yako” Mwalimu James alizungumza huku akimtazama Sarah usoni.

 Macho ya Saraha yalipoitazama vizuri bahasha ile akabaini kuwa haikuwa yakwake. Ilikuwa imeandikwa jina la mtu mwingine.

 “Ooooh Farida!” Sarah akazungumza kwa nyodo huku akibenjua midomo yake kwa kebehi.

 “Tafadhali naomba umfikishie huo mzigo Farida” Alizungumza mwalimu James kwa kusihi.

 “Kwanini Farida, , kila siku Farida, Kila kitu Farda. Farida! Farida! Yaani amekuwa Farida, nimekuwa sina amani kwasababu ya Farida!” Saraha akazungumza kwa Jazba huku akiitupa ile bahasha mezani.

 “Sarah, mimi nampenda sana Farida” Mwalimu James akazungumza kwa msisitizo.

 “Wooow! Vizuri sana. Mimi nitakusaidia kama unavyotaka” Sarah akazungumza huku mkono mmoja ameuweka kiunoni na mwingine akipapasa tumbo lake huku amefunua shati.

 “Thanks! Nitafurahi sana Sarah. Hakika nitakupa Chochote utakachokihitaji” Mwalimu James alizungumza kwa hamasa kubwa. 

 “Good! Sasa inakubidi utimize sharti langu kwanza ndipo nikusaidie” Alizungumza Sarah huku akitazama dirishani kama vile kulikuwa na kitu anakiangalia nje ya ofisi ile.

 “Okay sawa!....Sawa sema chochote nitafanya?”

 “Kwanza kabisa….Unatakiwa…Kunipa……Ile kitu nameswa na ingine” Saraha alizungumza kwa mapozi huku akimsogelea mwalimu James na mikono yake ikifungua kifungo cha juu cha blauzi yake. Alipofika akaweka mguu mmoja kwenye paja la Mwalimu na mikono yake akaisusia kwenye mabega.

 “Unataka kufanya nini Sarah?” Mwalimu James akahoji kwa kuhamaki.

 “Hata kama angekuwa mtoto mchanga aliyezaliwa leo tayari angeshafahamu nahitaji nini” Alizungumza Sarah huku akisogeza kifua chake kilichokuwa wazi karibu kabisa na uso wa Mwalimu James.




“Lakini wewe ni mwanafunzi wangu Sarah” Mwalimu James alizungumza kwa tahadhari huku macho yake yakishuhudia jinsi madafu yaliyotuna kwenye kifua cha Sarah yalivyokuwa yamenona na kuvutia.

“Kwani Farida ni mwalimu wako? Hata yeye ni mwanafunzi wako! Au unajisahaulisha?” Alizungumza Sarah huku akisogeza uso wake karibu kabisa na uso wa Mwalimu James. Pua zao zikawa zinabadilishana pumzi.

Saraha aliukamata mkono wa mwalimu James na kuupachika kwenye kifua chake na kwa kushitukiza akaunasa mdomo wa mwalimu James na kuanza kupiga pafu mithili ya mvuta sigara.

Tayari uzalendo ulikuwa umemshinda Mwalimu James na kujikuta akitomasa tomasa madafu ya mwanafunzi wake huku akitoa ushirikiano kule kwenye midomo iliyokuwa ikisalimiana na kukumbatiana.

“Ooomh…mnhmm!” Saraha aligugumia kutokana na raha alizokuwa akizipata.

Mikono ya Mwalimu James ilitoa ushirikiano mkubwa katika zoezi ile kwa kufungua vifungo vya blauzi ya Sarah na kufanikiwa kuivua kabisa na kuitupia pembeni. Akamchota na kumuweka juu ya meza kisha midomo yake ikanasa kama sumaku kwenye yale madafu yaliyokuwa yametuna vyema kwenye kifua cha Sarah.

“Asssshcss…Aaaah Mwalimu tamu, hii ni tamu mwalimuuuuuu” Sarah alilalamika kwa sauti ya Mahaba wakati Mwalimu James alipokuwa akishughulika na madafu yake.

“Hata wewe ni mrembo Sarah, kumbe Farida akikataa nitabaki na wewe” Mwalimu James akazungumza pasipo kujielewa.

“Nipende mimi mwalimu, nitakupa utamu..wa…wa..wakila ainaaaaa!” Sarah akalalamika huku akifungua kifungo cha suruali ya Mwalimu James.

Baada ya muda mfupi wawili wale walikuwa wanafanana huku wakiendelea kupeanda na kufurahia maumbile waliyokuwa wametofautiana. Hakika ilikuwa ni siku ambayo Sarah hatokuja kuisahau katika maisha yake yote hasa kwa kukipata kitu ambaho alikuwa akikitamani kwa muda mrefu.

*****

Kwa jina naitwa Farida, ni mtoto wa pili kuzaliwa Katika familia ya mzee Abdalla Ndumi. Baada ya kuzaliwa mimi walizaliwa wadogo zangu wengine wawaili ambao wote ni wakiume. Aliyekuwa ametutangulia katika uzao wetu alikuwa ni Mwanaume pia, kwa maana hiyo katika familia yetu mtoto wa kike nilikuwa mimi pekeyangu.

Upekee wa jinsia katika familia yetu ulipelekea nipendwe sana na wazazi wangu pamoja na ndugu zangu. Nami niliringa sana kuwa na ndugu pamoja na wazazi waliokuwa wakinipenda kuitiiza.

Urembo ambao nilikuwa nimebarikiwa na mwenyezi, nao ulizidi kuniongezea amani ndani ya nafsi yangu na kunifanya nihisi kuwa sikuwa na kasoro yoyote maishani mwangu, Mara nyingi nilikuwa nikiutumia muda wangu mwingi kujitazama kwenye kioo na kujifurahia mwenyewe kwa uzuri wangu wa sura pamoja na umbo nilivyobarikiwa.

Kwa upande mwingine urembo wangu ulikuwa ni mzigo mzito sana kwangu mwenyewe, nazungumza hivyo kwasababu urembo huo ndio ulionifanya nikumbane na changamoto nzito sana katika maisha yangu.

Nilipokuwa na umri wa miaka kumi na tisa nilikuwa nikiishi na wazazi wangu maeneo ya Mwananyamala hapa jijini Dar Es Salaam. Wazazi wangu walikuwa na maisha ya kawaida ambayo hayakuwa ya juu sana wala hayakuwa ya chini sana. Kwa namna hiyo visenti vya kubadilishia mboga vilikuwepo.

Umri wangu huo mdogo haukuwa unawiana na umbo langu kabisa. Mwili wangu mkubwa ulinifanya niwe na mvuto hasa kwa wanaume. Nilikuwa nikisumbuliwa sana na wanaume ambao walikuwa wakinihitaji kimapenzi. Niliogopa sana kwasababu katika maisha yangu sikuwa nimewahi kufanya mapenzi, na mara nyingi nilikuwa nikisikia watu wakizungumza kuwa mapenzi ni silaha iliyojitegeza kumuangamiza mtu yoyote ambaye angejipendekeza. Hivyo niliogopa sana na kujikuta nikiwa makini sana na wanaume.

Wakati huo nakumbuka nilikuwa nikisoma kidato cha tatu katika shule moja ya bweni iliyopo hapa jijini Dar es Salaam maarufu kama St. Chriss. Shule hii ilikuwa ni ya wasichana tu. Wazazi wangu waliamua kunipeleka katika shule hiyo kwasababu walikuwa wanatambua urembo wangu, hivyo walikuwa na lengo la kuniepusha na usumbufu kutoka kwa wanaume.

Sarah alikuwa ni msichana mmoja ambaye tulikuwa tukisoma pamoja na kuishi bweni moja. Nilimpenda sana binti yule kwasababu hakuwa mtu mwenye majivuno. Pia tuliendana kwasababu sote wawili tulikuwa warembo ingawa mimi nilikuwa mrembo zaidi. Sio kwamba najisifia, bali huo ndio ukweli.

Nakumbuka siku moja Sarah alitoweka darasani kwa masaa kadhaa. Nilihisi labda alikuwa amekwenda msalani pasipo mimi kumuona, lakini muda ulizidi kwenda pasipo kuonekana na vipindi viliendelea paspo yeye kuwepo. Nilipatwa na wasiwasi na kuhisi pengine kulikuwa na tatizo.

Muda wa mapumziko ulipofika tu nilichomoka mbio na kuelekea bwenini kuhakikisha kama kweli shoga yangu alikuwa huko. Nilipoingia ni kweli nikamkuta Sarah amejilaza kifudifudi kitandani huku amekumbatia mto.

“We Sarah…” Nikaita.

“Abee…” Sarah aliitika kwa kushituka.

“Una tatizo gani?” Nikahoji huku nikiwa nimesimama pembeni yake kwa wasiwasi.

“Naumwa Farida”

“Umekwenda dispensary?”

“Dispensary hakuna dawa za tatizo langu”

“Hakuna dawa za tatizo lako?” Nikahoji kwa mshangao

“Hata kwenye maduka ya dawa pia hazipo” Sarah alizungumza huku akiukumbatia zaidi mto uliokuwa kifuani mwake.

“Kwani unaumwa nini?” Nikahoji kwa wasiwasi zaidi.

“Mapenzi”

“What! Unaumwa nini?”

“Ndio ninaumwa mapenzi” Sarah alizungumza kwa msisitizo.

“No Sarah, you can’t be serious! Unasema unaumwa nini?” Nikazidi kuhoji kwa mshangao zaidi. Sikuwa nimemuelewa Sarah alichokuwa anakikusudia.

“Unabisha kwani we ndo unaumwa?”

“Okay, huo ndio ugonjwa gani sasa?” Nikahoji huku nikijiweka kitandani.

“Farida wewe ni mtu mzima. Wala usijichetue hapo”

“Sarah, hebu wacha masihara. Nambie unaumwa nini mie nataka kurudi darasani”

“Sarah Kuna mwanaume nampenda sana lakini yeye anampenda mwanamke mwingine kabisaa! Yani nashindwa hata kuendelea vizuri na masomo” Sarah alizungumza kwa hisia.

Nilimtazama Sarah kwa sekunde kadhaa kisha nikahisi donge la hasira likinisokota rohoni. Nilitamani nimvae na kumtandika makofi mengi pale kitandani, lakini sikuwa naweza kufanya vurugu.

“Sarah unajua hapa shule umekuja kufanya nini?” Nikahoji kwa jazba.

“Najua nimekuja hapa kutafuta maisha. Maisha yenyewe ni yangu mimi pamoja na mwanaume ninayempenda”

“Umekuja kutafuta maisha yako na ya mwanaume unayempenda!” Nikazungumza kwa kebehi.

“Pamoja na watoto wetu tutakaowazaa” Akaongezea.

“Kwahiyo hayo maisha ndio unayatafuta humu bwenini pasipo kwenda darasani?”

“Nawaza ni kwanamna gani nitaweza kumuangamiza mwanamke anayeniharibia mipango yangu”

“Nahisi umechanganyikiwa Sarah” Nikazungumza huku nikijiinua kutoka pale kitandani.

“Kwakweli nimechanganyikiwa shoga yangu, unajua nampenda sana mwanaume yule” Sarah alizungumza huku akijibwibwishua kwa nyodo na maringo.

Hasira zilizidi kunipanda na kutamani hata kummeza. Nilitikisa kichwa kumsikitikia huku nikimtazama namna alivyokuwa anazungumza kwa msisitizo.

“Hovyoo!” Nilisema.

“Utajiju shost, kama vipi Kantangaze!”

“Wala sikutangazi utajitangaza mwenyewe” Nilizungumza na kugeuka.

Nilipotaka kutoka alifika Anita msichana ambaye alikuwa analala kitanda cha jirani na kile cha kwetu. Msichana yule alikuwa analia, ingawa alijitahidi kujizuia asitoe sauti lakini alikuwa analia sana. Nilimsogelea kwa haraka sana kwenye kitanda chake ambapo aliketi.

“We Anita una nini?” Nlihoji kwa msisitizo na hamasa ya kutaka kujua kilichokuwa kinaendelea.

Saraha ambaye alikuwa mahututi kitandani akiugulia gonjwa lake la mapenzi alipata nguvu na kusogea pale kitandani kwa Anita.

“Shost nini tena?” Alihoji Sarah.

“Sarah siamini, siamini mimi Farida” Anita alizungumza kwa sauti ya chini ili wasisikike na watu wa nje ya bweni.

“Umepatwa na nini Anita?” Nilihoji kwa huruma kutokana na ambavyo alikuwa anaonekana binti yule.

“Mapenzi jamani!......Mapenzi mwenzenu mie” Anita alizungumza huku akilia kwa kwikwi.

“My God! Mapenzi!......Mapenzi!.....Kila mtu Mapenzi! Ni madude gani hayo Mapenzi Jamani?” Nilijikuta nikizungumza kwa jazba na hasira.

Sarah alivuta pumzi na kuzishusha kisha akanitupia jicho kali lililokuwa limejaa chuki na hasira kutokana na namna nilivyolipokea suala lile la mapenzi.

“Farida, hebu wacha mambo yako ya kipuuzi hapa! Huyu mwenzetu anatatizo” Alizungumza Sarah.

“Tatizo! Mapenzi ni tatizo?” Nikahoji kwa kebehi na dharau.

“Sikiliza Farida, kama unahisi huwezi kutoa msaada ni afadhali uondoke kwasababu ukiongeza neno moja tu naweza nikakuchafua hapahapa” Alizungumza Sarah kwa msisitizo huku akionekana hakuwa amependa maneno yangu.

“Mbona kama tunafokeana?” Nikahoji kwa msisitizo.

“Nakufokea ndio kwani vipi?”

“Tusitishiane maisha bwana. Kama ni nguvu kila mtu anazo” Nikazungumza kwa msisitizo na kujiamini. Nilikuwa nimeshachoshwa na vitishovyake vya kila mara.

“Unasemaje we kunguni? Ngojanikuonjeshe kidogo ili tuheshimiane” Sarah alizungumza huku akivuta hatua kunifuata pale nilipokuwa nimesimama.



“Okay, naombeni mnisamehe. Sikuwa na nia mbaya” nikazungumza kwa sauti ya chini baada ya kumuona Sarah amepanda kuliko nilivyokuwa nimepanda mimi.

“Chunga dogo! Usijione Babu Kubwa kwasababu umeanza kutongozwa na walimu” Akazungumza huku akinielekezea kidole cha onyo.

“Nimekubali Mama. Naomba nisamehewe” Nikazungumza kwa upole.

“Kwa taarifa yako mimi ninauwezo wa kupita na walimu wote bila hata kutongozwa. We umetongozwa na kimwalimu kimoja tu unaanza kujiona Bab kuuubwa!” Akazungumza Sarah huku akirejea pale alipokuwa mesimama awali.

“Tuangalie kwanza tatizo la mwenzetu dada Sarah” Nikazungumza kwa kusihi na sauti ya chini iliyojaa upole na unyenyekevu.

“Nini kimetokea Anita?” Saraha alihoji huku akiwa amemshika Anita kwenye mabega kumuoneshea ukaribu zaidi na kumfariji.

“Dullah ameniacha” Alizungumza Anita na kuanza kulia tena kwa sauti.

“No Anita, usilie kwa sauti Matron atasikia halafu iwe soo” alizungumza Sarah na kumfanaya Anita kupunguza munkari.

“We umekutana naye wapi huyo Dullah?” Nikahoji.

“Amenitumia meseji wakati nilipokuwa darasani” Alizungumza Anita kwa uchungu.

“Anita unakwenda na simu darasani?” nikahoji kwa mshangao, kwasababu simu hazikuwa zinaruhusiwa shuleni pale. Wanafunzi walikuwa wanazitumia kimakosa tena bwenini. Sasa nikashangaa kusikia heti Anita amekwenda na simu darasani. Jamani nyie kuna watoto Nunda!

“Farida, hebu wachana na maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Tuzungumzie kwanza hili tatizo la mwenzetu” Alizungumza Sarah.

“Kwa upande wangu sijaona tatizo lolote, kwani wewe Anita huwezi kuishi pasipo na huyo Dullah wako?” Nikahoji huku nikiwa mkavu usoni.

“Ondoka Farida!” Saraha alizungumza kwa hasira.

“Naondoka ila mwenzako akinyolewa zako tia maji” Nikazungumza na kuvuta hatua kuanza kuondoka.

“Dawa yako inachemka, nitakufundisha dunia inakwendaje!” Sarah akazungumza kwa hasira.

“Kabla ya dunia kunifunza mimi itaanza kukukanyaga wewe kwanza!”

“Ushindwe na ulegee mwanga mkubwa we! Kama hautongozwi nenda ukaoge maji ya baharini uondoe gundu” Alizungumza Sarah kwa jazba.

Maneno ya Sarah wala hayakunisumbua akili yangu kwasababu suala la kutongozwa kwangu lilikuwa ni la kawaida sana. Tena nilikuwa natongozwa na wanaume wa rika mbali mbali, wakiwemo vijana, wazee na hata watoto. Sasa wao walikuwa wanafikiri mimi kutokuwa na mwanaume basi ndio sitongozwi. Hovyooo!

****

Nikiwa nimelala kwenye kitanda changu nikisoma kitabu cha Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe kile kilichoandikwa na Edwin Semzaba. Sarah alifika na kuketi kitandani kwangu huku akinitazama kwa tabasamu. Nikajifanya kama vile sikumuona na kuendelea na kusoma.

“Farida!” Aliita Sarah kwa msisitizo.

Niliteremsha kitabu na kumtazama huku nikiwa nimejilaza chali.

“Hayo sio mambo shoga”

“Kuna nini?” Nikahoji kwa sauti ya upole.

“Ndio nini mie nakuja unanichunia kama vile hunioni?”

“Sijakuona nilikuwa bize na kitabu”

“Sawa bwana, lakini kumbuka kuwa sisi ni marafiki”

“Mimi nalitambua hilo, sijui wewe”

“Mnh, shost ukiamua kuchuna wewe!” Sarah alizungumza kwa mashauzi huku akijichekesha kinafki.

Nilimtazama Sarah pasipo kuzungumza neno lolote. Katika akili yangu nikabaini kuwa hapakuwa na lolote isipokuwa kulikuwa na lake jambo ambalo alikuwa analitafuta kutoka kwangu.

“Inamana bado umekasirika?” Akaniuliza.

“Mimi nipo kawaida, wasiwasi wako tu” Nilimwambia huku sura yangu ikikosa hata chembe ya tabasamu.

“Sasa mbona umenuna?’

“Nipo sawa Sarah” Nilizungumza kwa msisitizo.

“Kama upo sawa basi vizuri, hapa juu kuna mzigo wako” Saraha alizungumza huku akipanda ngazi kuelekea kwenye kitanda chake kilichokuwa juu ya kitanda changu.

“Mzigo gani?” Nikahoji kwa wasiwasi.

“Shaka ondoa Mamaaa” Alizungumza Sarah huku akichukua kitu kutoka kitandani na kuteremka nacho. Alikuwa ameshika bahasha ya kaki.

“Haya Mama chukua mzigo wako” Sarah alizungfumza huku akinikabidhi bahasha ile.

Nilisita kuipokea na kuitazama kwa sekunde kadhaa kisha nikamtazama Sarah usoni kwa kitambo kidogo pasipo kuchukua uamuzi wowote.

“Farida, nipokee basi mwenzio mkono utakufa ganzi” Alizungumza Sarah kwa sauti ya kubembeleza huku amkono wake uliokuwa umeshikilia bahasha ukiwa umeelekea kwangu.

Nilivuta pumzi kisha kwa wasiwasi nikaupokea mzigo ule na kuufungua haraka kuweza kuona kilichokuwemo ndani yake. Macho yangu yaliweza kuona maua, kadi za mapenzi pamoja na simu ya Iphone aina ya Sumsung Galax A20s.

Nilivitoa na kuvitazama kwa makini kisha nikavirudisha kwenye bahasha na kuifunga kama ilivyokuwa. Nika nyoosha mkono kumkabidhi Sarah.

“Asante, nashukuru kuona” Nikazungumza huku nikimkabidhi bahasha yake.

“Huo mzigo ni wakwako wewe sio wangu” Alisema Sarah huku akitabasamu.

“Aaaa…..nashukuru, lakini kwa sasa sihitaji” Nilizungumza kwa kebehi huku nikiwa nimeushika mfuko ule kwa pozi la dharau.

“Sasa mbona hata huulizi ulipotoka jamani Farida?”

“Sihitaji kujua”

“Kwahiyo unampa nani?’ Sarha alihoji kwa kiburi.

“We si ndio umekuja nao?”

“Na wewe si ndio mwenye nao?”

“Bwana Sarah chukua takataka zako” Nikazungumza kwa msisitizo na ukali kidogo.

“Sasa utajiju na huo mzigo, mie siuchukui” Alizungumza Sarah huku akirejea kwenye kitanda chake.

“Sasa nataka nikuoneshe mimi ni nani” Nikazungumza kwa hasira huku nikijiinua kutoka kitandani.



“Utanifanya nini wewe?” Sarah alizungumza kwa dharau.

“Hizi takataka zako nazipeleka ofisini, utakuja kuzichukulia huko” Nilizungumza huku nikijiweka sawa nguo yangu tayari kwa kutoka nje kushitaki ofisini kwa Matroni.

“We Farida acha upuuzi” Sarah aliruka kutoka kitandani kwake hadi chini na kunipora ile bahasha.

“Acha ushamba wewe, utaendelea kukibania hadi lini?” Sarah alizungumza kwa kebehi.

“Sikuja kufanya biashara ya mapenzi hapa” Nilizungumza huku nikirejea kitandani kwangu na kuketi kwa kuegemea ukutani na kunyoosha miguu.

“Kwenda zako huna lolote, tena nyie ndio mnaoishia kubakwa” Alisema Saraha huku akipanda tena kitandani kwake.

“Naomba tuheshimiane Sarah, ohoo” nikazungumza kwa hasira.

“Hunitishi wewe, tena kuanzia leo usinijue”

“Unafikiri nimekuja na wewe hapa shule” Namimi nikajibu jeuri.

“We jishaue tu, umekuja mshamba sasahivi unajifanya unajua. Dawa yako ipo jikoni”

“Hunipati ngooo’!” Nikazungumza kwa msisitizo.

Nilichukua kitabu changu na kuendelea kusoma, hata hivyo akili yangu tayari ilikuwa imekisha kuvurugika kutokana na maneno ya Sarah. Nilikitupa kitandasni kitabu kile kisha nikajilaza kifudifudi.

Anita alifika na kutukuta kila mtu akiwa katika pozi lake kwenye kitanda chake. Hakuweza kuuliza wala kushangaa kwasababu alikuwa anafahamu kuwa mimi na Sarah tayari tulikuwa kama paka na panya.

Anita alinitazama kwa sekunde kadhaa kisha akanisogelea pale kitandani pangu.

“Farida” aliita Anita kwa sauti ya upole.

Niliinua kichwa kumtazama pasipo kuitika. Sikuwa najisikia kuzungumza na mtu yoyote yule kwa wakati ule.

“Unaitwa” alisema Anita.

“Na nani?” Nilihoji kwa sauti yangu ambayo bado ilikuwa na hasira zilizotokana na kuvurugwa na Sarah.

“He kwani ugomvi mwenzangu?” Alisema Anita kutokana na namna nilivyo hoji.

“Samahani Anita, naitwa na nani?” Nilizungumza kwa upole.

“Unaitwa na Mwalimu James” Alisema Anita.

“Yuko wapi?”

“Yupo ofisini”

“Mnh! Leo Jumapili ofisi zimefunguliwa?” Nilihoji kwa mshangao kwasababu nilichokuwa nakifahamu mimi, siku za Jumapili ofisi za walimu hazikuwa zinafunguliwa. Ofisi pekee iliyokuwa wazi ilikuwa ni ofisi ya Matroni tu.

“Mi sijui, nadhani maswali mengine ungekwenda kumuuliza mwenyewe”

Nilijiinua kutoka kitandani na kujiweka sawa tayari kwa kwenda ofisini kuonana na mwalimu aliyekuwa ameniita.

“We kibanie tu, utakiachia mwenyewe!” Sarah aliyekuwa amejilaza kwenye kitanda cha juu alidakia.

“Hee we Sarah! Akibanie kinini sasa?” Anita alihoji huku akitabasamu.

“Kidubwana!” Alisema Sarah na kumfanya Anita kuangua kicheko cha kinafki.

Niliinua macho yangu na kumtazama kwa chuki Sarah ambaye alikuwa amejilaza kwenye kitanda cha juu. Nilitamani nimrukie na kumvuta chini kwanguvu kutokana na hasira nilizokuwa nazo. Hata hivyo nilimalizia hasira zangu kwa kutoa msonyo kisha nikatoka.

“Kipeleke kule!” Alisema Sarah kwa sauti kunisindikiza kwa ujumbe wa kebehi.

Sikujali pamoja na kwamba nilikuwa nimemsikia vizuri sana alipotoa maneno yake hayo ya kipuuzi. Nikatoka na kuwaacha.

****

Wito ule wa Mwalimu James ulinikosesha amani kabisa. Halikuwa jambo la kawaida kwa walimu wa kawaida kuwa ofisini siku ya Jumapili. Hata hivyo nilijipa moja na kusonga mbele.

Madarasa na ofisi za walimu zilitenganishwa na mabweni yetu kwa geti katikati ambapo kulikuwa na mlinzi. Haikuwa rahisi mtu kupita katika geti hilo wakati ambao haukuwa umepangwa. Kwamfano wakati wa asubhuhi wanafunzi wote walikuwa wanatakiwa kupita kwenye geti hilo hadi saa moja kamili. Baada ya hapo mlinzi aliwazuia wanafunzi wote waliokuwa wanachelewa na kuwaripoti kwa mwalimu husika.

Vilevile muda ambao tulikuwa tunatakiwa kuwa bwenini ilikuwa ni vigumu kupita kuelekea madarasani. Siku ambayo ilikuwa na uhuru ilikuwa ni Jumapili tu, ingawa mlinzi alikuwepo kwaajili ya kuangalia usalama wa wanafunzi.

Nilipofika pale getini nilimkuta yule mlinzi ambaye alikuwa ni mtu mzima kidogo amejipumzisha kwenye kiti chake.

“Shikamoo Babu Makwacha” Nilisalimia kwa heshima kabla sijapita.

“Marahaba mtoto mzuri hujambo weye?” Babu Makwacha ambaye alikuwa mlinzi aliitika.

“Sijambo babu, napita” Nikazungumza Kwa sauti ya upole iliyojaa heshima.

“Unakwenda wapi?”

“Nafika hapo ofisini”

“Leo Jumapili kuna ofisi kweli?” Alihoji kwa mshangao Babu Makwacha.

“Yupo Sir. James” Nilizungumza bila wasiwasi.

Babu Makwacha alinitazama kwa sekunde chache pasipo kunisemasha kitu chochote. Nikavuta hatua kutaka kuondoka.

“Hebu njoo mara moja” Alisema babu Makwacha.

Nilirejea pale alipokuwa ameketi Babu Makwacha na kusimama hatua chache.



“Kwani waitwaje weye?” Alihoji kwa lafundhi yake ya kitanga.

“Naitwa Farida” Nilijibu kwa heshima zote.

“Ahaa, sio baya jina lako lakini” Alizungumza babu Makwacha huku akicheka.

“Haya asante babu, basi ngoja mie niwahi” Nikazungumza huku nikivuta hatua kuondoka.

“Ngoja, angalia Farida!” Alizungumza babu makwacha kwa sauti ndogo.

Niligeuka na kumtazama huku nikionekana kuwa na haraka ya kule nilikokuwa naelekea. Babu akanitazama tena kisha akatoa tabasabu.

“Bwana Babu mi ngoja niwahi mwenzio nitachapwa” Nilizungumza huku nikitabasamu.

“Nilikuwa nakwambia hivi….” Alisema babu.

“Enhee….” Nikaitika huku nikirudi kinyume nyume kuondoka.

“Kuwa makini na wanaume” Alizungumza kwa sauti ya kunong’ona lakini iliyosikika vizuri kwenye masikio yangu.

“Haa babu wewe” Nikazungumza huku nikikimbia na kumuacha akinikodolea macho nilivyokuwa nikidondosha moja moja ile mizigo yangu ya madafu.

****

Sarah alitazamana na Anita kisha wakaachia kicheko cha sauti kilichokuwa kimejaa kejeli.

“Mwalimu James aking’ang’ania lake huwa ameng’ang’ania” Alizungumza Anita huku akiketi kwenye kitanda chake.

“Nakwambia mwanaume kama luba” Sarah aliongezea.

“Sijui hata amempendea nini”

“Yaani kila siku ananipigia kelele heti nimtongozee Farida”

“Angemjua binti mwenyewe wala asingejihangaisha”

“Hana lolote yule ni mashauzi tu, unafikiri kwa Sir. James atachomoa?” Sarah alizungumza huku akijiinua na kuteremsha ngazi. Alikwenda kuchukua kitabu cha Ngoswe kilichokuwa kwenye kitanda changu. Alikifungua na kuketi kitandani kwangu.

“Kanajifanya kasoomi, kumbe hakana lolote” Sarah alizungumza huku akijilaza pale kitandani pangu.

“Mwache mwenzio asome, pengine ametumwa na kijiji” Alisema Anita.

“Aliyekwambia, kuishi bila ya mpenzi ndio unafauru ni nani?” Alihoji Sarah kwa dharau.

“Lakini watu wengi ndivyo wanavyosema”

“Hakuna lolote, wangapi tumewaona wameishi bila ya kuwa na boyfriend lakini bado wamepata mabuyu kwenye mitihani yao” Alizungumza Sarah huku akifunua kurasa za kitabu kama vile alikuwa anatafuta sehemu aliyokuwa ameishia kusoma.

“Mnh mwenzangu kweli, wengi wamesoma na wapenzi wao lakini wamefanya vizuri darasani. Na wale wanaojifanya wakina Farida visomo wameambulia masufuri kama unavyosema” alisema anita.

“Lakini leo naamini yatatimia, farida hawezi kuchomoa kwa Sir. James” Alisema sarah.

“Nitafurahi sana kama, Sir. James atafanikiwa kuchukua mzigo ule”

“Sikiliza Anita nikwambie, yule mwanaume ni hatari. Siku moja niliingia kwenye kumi na nane zake unafikiri nilipona…..”

“Mnh Sarah unapenda misifa wewe”

“Sio masifa Anita. Nakwambia siku hiyo niliingia ofisini tena nakumbuka ilikuwa wikiendi hivihivi…..”

“Haya nipe udaku…..” Anita alizungumza huku akiinua shingo yake kuweza kumsikiliza vizuri Sarah.

“Basi nakwambia ile naingia tu ofisini, mwanaume akaanza kushuka mistari. Tena ana swaga zilizokwenda shule. Mtoto wa kike nikajifanya kuvunga vunga pale ili nisionekane mteremko” Alizungumza Sarah huku akitikisa mguu wake wa kulia uliokuwa ukining’inia kwenye kitanda changu.

“Kwahiyo unataka kusema amekula mzigo?” Sara akahoji.

“Alaa! Unauliza manundu ulingoni, unafikiri hata nilipata nafasi ya kujitetea basi. Ile najishauri tu, mwanaume alikwisha fika na kunibeba juujuu utafikiri katoto ka miezi mitatu, akanikalisha mezani” Sarah alieleza huku akionesha vitendo kwa mikono yake.

“Nawewe ukakaa?”

“Ohooo…..nakwambia hapo hapakuwa na kujishauri, mana ile kunitua tu tayari midomo yake ilikwisha kufika kwenye kinywa changu na mikono yake ikawa inatembea kiunoni na kunisababishia mihemko kibao.

“Sasa kwanini usipige kelele?” Anita alizungumza huku akionekana kuguswa na habari ile.

“We Anita kumbe humjui Sir. James. Yaani yule akikutia mikononi mwake huchomoki. Kwanza anajua engo zote za kumpagawisha mwanamke, pili kwa mtu kama Farida ambaye amekumbatia furushi la hamu ndio hachukui hata raundi moja” alisema Sarah kwa msisitizo.

“Lakini bado hujajibu swali langu, kwanini usipige kelele?” Alihoji anita kwa msisitizo.

“Kwanini nipige kelele wakati nilikwisha kupagawa” Alisema Sarah huku akijiinua na kupanda ngazi kuelekea kwenye kitanda chake cha juu.

“Kwahiyo unataka kusema, Farida naye hachomoi?” Alihoji Anita kwa umakini.

“Labda kama sio Mwalimu James ninayemjua mimi” Alisema Sara huku akinyoosha shuka kuitandika vizuri kitandani kwake kisha akajilaza chali na kitabu cha Ngoswe Penzi kitovu cha Uzembe kikiwa mkononi.

****

Nilifika kwenye mlango wa ofisi ya walimu nikiwa sina hata chembe ya wasiwasi. Niligonga mlango kama ilivyokuwa kawaida ya siku zote mwanafunzi alipokuwa akiingia ofisini kwa walimu ni lazima kubisha hodi. Hata hivyo sikusikia sauti ya kuitikiwa hadi nilipogonga kwa mara ya pili ndipo nikasikia sauti kutoka ndani ikijikohoza.

“Sory Sir, may I come in?” Nilibisha hodi kwa lugha ya kimombo kama ilivyokuwa kawaida.

“Ingia tu mtoto mzuri” Nilisikia sauti ya Mwalimu James ikizungumza kutokea ndani kwa manjonjo.

Nilichungulia kidogo kuhakikisha kama ndani mle kweli kulikuwa na mtu. Nikahisi mapigo ya moyo yakinienda mbio baada ya kubaini kuwa ofisini mle Mwalimu James alikuwemo pekeyake.

“Ingia tu mtoto mrembo” Alisema Mwalimu James baada ya kuniona nikichungulia huku nikisita kuingia.



Nikaingia kwa wasiwasi uliokuwa umechanganyikana na heshima pamoja na woga ndani yake. Kwa kawaida nilikuwa nikiwaheshimu sana walimu wangu kiasi cha kunifanya nihisi kuwaogopa.

“Shikamoo mwalimu” Nikasalimia kwa heshima.

“Hujambo mtoto mzuri” Alizungumza mwalimu hukua kiachia tabasamu.

“Sijambo shikamoo mwalimu” Nikasalimia tena baada ya kuona hakuitikia salamu yangu ya awali yangu.

“Nimefurahi sana kukuona mrembo, karibu uketi kwenye kiti” Aliniambia huku akinioneshea kwa mkono wake kwenye kiti kilichokuwa pembeni yake.

Pasipo kuzungumza neno lolote niliketi kwenye kile kiti kwa waiwasi. Yaani kwa mfano ungepata bahati ya kuniona vile nilivyokuwa nimeketi, ungeweza kusema nilikuwa nimekalia miba.

“Mbona unaonenaka una wasiwasi?”

“Hapana mwalimu nipo sawa tu” nilizungmza pasipo kumtazama Mwalimu James usoni.

“Kaa vizuri basi” alizungumza kwa sauti ya kubembeleza.

“Nipo vizuri mwalimu” nikazungumza kwa mkato pasipo kumtazama.

Alinikazia macho usoni kwa sekunde kadhaa kiasi cha kunifanya nishindwe kuinua sura yangu na kutazamana naye macho kwa macho.

“Farida” Aliita mwalimu kwa sauti ya chini huku akiwa bado amenikazia macho usoni pamoja na kwamba mimi nilikuwa nimejitahidi kwa kadri ya uwezo wangu kuficha sura yangu. Sio kwamba nilikuwa nimefanya vile heti kwasababu nilikuwa namuonea haya, hapana. Bali nilikuwa namheshimu sana kiasi cha kumuogopa.

“Hebu niangalie basi” alisema mwalimu.

Niliinua kichwa changu na kumtazama huku macho yangu yakiwa makavu pasipo na hata chembe ya upendo ingawa sikuwa nimekasirika. Mwalimu James alivuta pumzi ndevu na kuziachia kisha akatoa tabasamu.

“Naomba nikuulize kitu Farida?”

“Bila shaka mwalimu uliza tu” nilizungumza huku nikiwa nimekaza uso.

“Hivi hayo macho umeyarithi kwa nani?”

“Abee….” Niliitika na kujifanya kama vile sikuwa nimemsikia, ukweli ni kwamba sikuwa nimemuelewa.

“Hayo macho umeyarithi kwa nani?”

“Kwani yana nini mwalimu?” nikahoji kwa mshangao.

“Una macho mazuri sana Farida”

“Mnh, mbona yakawaida mwalimu” nikazungumza huku nikiwa na ile sura yangu ya mshangao.

“Hapana Farida, macho yako ni mazuri mno. Nisikufiche huwa nikikuona nahisi kuchanganyikiwa” Sir.James alizungumza huku akifinya kidogo macho yake konesha kuwa alikuwa anasisitiza.

Kauli ile ilinishangaza sana pamoja na kunikera. Sikutegemea mtu ambaye nilikuwa nkimheshimu angeweza kuzungumza maneno ya ajabu kama yale kwa mwanafunzi wake. Nikakunja sura kidogo na kutazama pembeni kwa chuki.

“Vipi mtoto mzuri mbona unaonekana kupoteza nuru ya sura yako nzuri?’ mwalimu alihoji kwa sauti yake nzito ya kubembeleza ambayo ilipenya vyema kwenye masikio yangu na kunisababishia kero kubwa na machungu mengi.

“Nahisi sijakuelewa mwalimu” nikazungumza huku nikirejesha sura yangu kwenye macho yake na kuyakodoa pasipo kupepesa.

“Labda unipe nafasi ya kukuelewesha” Alizungumza mwalimu huku mikono yake ikiwa juu ya meza yake akifanya kama vile anataka kuisukumia kwa mbele.

Nilitulia na macho yangu yakiwa angali kwenye sura yake ambayo ilikuwa ikijitahidi kuachia tabasamu la upendo.

Mwalimu James alijiinua kutoka pale kwenye kiti chake na kuzunguuka meza hadi nlikuwa nimeketi mimi. Alinitazama kwa sekunde chache kisha akainama na kuinua mkono wake akaupeleka taratibu kwenye shingo yangu.

“Ni nini unataka kukifanya Mwalimu?” Nilihoji kwa mshituko huku nikiudaka mkono wake na kuuzuia.

“Nataka nikupe zawadi” Alizungumza Mwalimu James kwa sauti ya kutweta.

“Zawadi?”

“Ndio kwani wewe hutaki zawadi kutoka wangu jamani mtoto mzuri?”

“Zawadi ya nini?”

“Nataka nikufanye ufauru vizuri kwenye masomo yako” Mwalimu yule alizungumza huku akijaribu kuuleta tena mkono wake kwenye shingo yangu.

“Ngoja kwanza Mwalimu……” Nilizungumza na kuuudaka tena mkono ule nikawa nimesimama huku nikiwa nimekunja sura kwa hasira zilizokuwa zimechanganyikana na hofu.

“Unasema utanisaidia kufauru kivipi?” Nikahoji kwa umakini.

“Nitakuwa nakuletea majibu ya mitihani yote wiki mbili kabla ya kufanya mtihani huo” Mwalimu James alizungumza kwa msisitizo na kujiamini.

Niliposikia maneno yale kutoka kwenye kinywa cha mwalimu, nilifumba macho kwa sekunde mbili hivi kisha nikaachia tabasamu na kuuma mdomo wangu wa chini kwa meno ya juu.

Tabasamu nililokuwa nimeliachia baada ya kusikia zawadi ile lilimfanya Mwalimu James kufarijika na kwa kiasi kikubwa akajiona mshindi. Alinitazama machoni na kuachia tabasamu pana huku macho yake akiwa ameyalegeza na midomo akiichezesha.

“Nilijua tu kama utafurahi nikikufanyia hayo, na ninakuahidi mambo mengi zaidi endapo tu utakubaliana na ombi langu” Mwalimu James alizungumza kwa sauti ya chini.

Nilivuta pumzi na kuzitoa kwa mkupuo pasipo kuzungumza neno lolote mbele ya mwalimu wangu yule ambaye nilikuwa nikimuheshimu sana.

“Kwanza hebu nambie, zawadi zangu nyingine ulizipata?” Alihoji huku akichezea kidevu chake kilichokuwa na ndevu chache.

“Zawadi gani?” Nilipoteza tabasamu ghafla na kuhoji kwa sauti kavu.

“Sarah hajakuletea mzigo wowote?”

“Mnh…..” Niliguna baada ya kugundua kuwa kumbe kale kabahasha kalikuwa kametoka kwa mwalimu James. 




“Vipi mbona unaguna, au hujaupenda?”

“Hapana sikupata mzigo wowote” Nilizungumza na kujitahidi kuachia tabasamu la kujilazimisha.

“Haa! Inamaana Sarah hajakupatia?”

“Hakunipatia chochote”

“Pumbavu! Huyu mtoto si nirafiki yako lakini?”

“Ni rafiki yangu sana tu’ Nikazungumza kwa sauti ya chini.

“Okay, tuwachane na hilo mtoto mzuri. Lengo langu ni kukusaidia tu na sio vinginevyo” Alizungumza huku akiinua mkono wake wa kulia na kuuweka kwenye bega langu la kushoto. Alipoona nimetulia alileta mkono wake mwingine na kuuweka nyuma ya singo yangu.

“Hapana mwalimu usifanye hivyo, mie sipendi” Nikazungumza kwa sauti ya chini.

“Sio kama napenda kufanya hivi Farida, bali nahisi umeuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa sana” Sir. James alizungumza huku akiteremsha ule mkono wake wa kushoto na kuuleta usawa wa kifuani kwangu na kunishika kadafu kamoja.

“Aaaa! Mwalimu!....” Nilihamaki na kuruka kwa mshituko kutokana na kuhisi kama vile nilikuwa nimepigwa na shoti ya umeme mwilini mwangu.

“Mnh pole jamani mrembo, unaonekana una hamu sana” Sir James alizungumza huku akinisogelea na kunishika kiunoni kwa mkono wake wa kulia. Nikahisi kusisimkwa zaidi kwenye mwili wangu.

“Mwalimu mie sipendi!” Nikazungumza kwa msisitizo.

“Hupendi nini hebu njoo huko” Alisema na kunikamata kwenye kiuno kisha akanivutia kwake. Nilijitahidi kujinasua kutoka kwenye mikono yake lakini mwanaume yule alinibana kisawasawa na kufanikiwa kunidondosha chini.

Waswahili wanasema mfa maji heshi kutapatapa, nilijaribu kukukuruka na kutaka kupiga yowe lakini Mwalimu James aliniziba mdomo kwa mkono wake wa kulia huku mkono wake mwengine ukijitahidi kupandisha gauni langu nililokuwa nimevaa.

“Mnnhnnn!…..mnhnnhh!” Nlijitahidi kutoa sauti lakini sikufanikiwa na kubakia kugugumia tu kwa maumivu.

Sir. James alikuwa kama vile amepandwa na pepo, alinibana sawia kiasi cha kunifanya nishindwe hata kutikisika. Alileta midomo yake kifuani kwangu na kurarua gauni langu. Chuchu zangu zilizokuwa zimetuna kama pulizo na kunona kama jongoo kwa mafuta niliyokuwa nipepaka, zilizidi kumtia wazimu.

Nguvu ziliniishia na kujikuta nikishindwa hata kuinua mkono kwa namna Sir James aliyokuwa amenibana. Nilihisi pumzi ikikata na mapigo ya moyo yakinienda mbio. Jamani nyie kuna wanaume makatili!

Mwanaume yule alifanikiwa kupandisha gauni langu juu, na kuanza kujaribu kuvua taiti yangu huku midomo yake ikiwa tayari imekwisha kukamata chuchu yangu ya upande wa kushoto.

Machozi ndiyo pekee yaliyokuwa yakifanya jitihada za kuniokoa kutoka katika mikono ya mwanaume yule katili. Nguvu zote zilikuwa zimeniishia, naweza kusema kuwa nilikuwa nasubiri huruma yake tu ndiyo inisaidie.

Mwalimu James alipoona taiti yangu ilikuwa ikimchelewesha aliamua kuirarua kwa kuikamata maeneo ya kwenye lastiki ya kiunoni na kuivuta kwanguvu pasipo kujali kama nilikuwa naumia au la.

Masikio yangu yaliweza kusikia nguo yangu ile ikiraruka na kuningi’nia kipande chini na kipande kingine kikiwa mwilini. Pumzi zilizidi kunienda mbio na kukata tamaa ya kuchomoka nikiwa salama kutoka kwenye mikono ya mwalimu yule.

Baada ya zoezi lake hilo alipitisha mkono wake wa kulia katiakati ya miguu yangu na kuhamishia midomo yake kutoka kifuani kwangu na kuikutanisha na midomo yangu. Alijilaza juu yangu huku mkono wake mmoja ukifungua zipu ya suruali yake na kuchomoa bunduki iliyokuwa tayari imejikoki kwa mashambulizi.

Hadi kufikia hatua hiyo nilikuwa tayari nimekata tamaa ya kupokea huruma kutoka kwa Mwalimu James. Nilichokibaini ni kwamba kila alipokuwa akiona sehemu za mwili wangu ndivyo alivyokuwa akizidi kuchanganyikiwa na kuwa kama nguruwe kwenye shamba la miwa

Nilihisi kitu laini kikipapasa kwenye mapaja yangu huku mkono wake ukijaribu kurarua kufuli la hazina yangu. Amakweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu”

“Ashssss! Farida nakupenda sana” Alizungumza Sir.James kwa sauti ya kunong’ona huku akiwa juu yangu.

Katika maisha yangu hakuna kitu ambacho nilikuwa nakiogopa kama kubakwa. Nilichokifanya ni kufumba macho na kumuomba Mwenyezi mungu aweze kuniokoa kutoka kwenye balaa lile.




Naweza kusema kuwa Mungu kweli ndiye pekee awezaye kumsaidia kiumbe wake. Kwani ilikuwa ni kama muujiza ambao ulikuwa umetokea katika mazingira yale. Nilimsikia Mwalimu James akitoa ukelele mkali wa maumivu utafikiri alikuwa amelimwa shoka ya kichwa, kisha akaniachia na kudondokea pembeni.

Nilipofumbua macho yangu kwa hofu na mashaka, nilimkuta Babu mlinzi ameinama akimtandika Mwalimu James kirungu kwenye magoti na sehemu nyingine mwilini.

“Aaaaa! Utaniua mzee…utaniua…..” Alilalamika Mwalimu James baada ya kuona virungu vikimshukia mwilini kama matone ya mvua za masika.

“Kufa shetwani mkubwa weye!” Alizungumza mzee yule huku akiendelea kumteremshia kipigo mwanaume mwenzake.

Nilijiinua kutoka pale chini na kujikunyata kwenye kona ya ofisi ile huku nikilia kwa sauti na mikono yangu nimeikumbatia kifuani.

“Nisamehe babu, nitakupa chochote kile usinikamatishe” Mwalimu James alizungumza kwa kubembeleza.

“Tulia Ibilisi maji weye, kumbe nyie ndio mnaowaharibu watoto wawatu hapa shuleni, leo utakuwa fundisho kwa wenzako” Alizungumza Babau mlinzi kwa hasira na kutishia kumtandika kirungu cha kichwani. Mwalimu James akajikunja huku mikono ameiweka kichwani kujikinga na kirungu alichokuwa amebebeshwa.

“Basi mzee nimekoma!” Mwalimu James alisihi huku akijiinua na kusimama pembeni.

“Siku nyingine ukirudia nitakupasua bichwa lako hilo” Alizunguza mzee Makwacha huku akiinua kirungu chake na kutishia tena mwalimu yule.

“Sirudii mzee nimekuelewa”

Kwakweli kilikuwa ni kitendo cha aibu sana hasa kwa Mwalimu James. Kwa upande wangu mimi nilijiona ni shujaa kwa kufanikiwa kushinda mtihani ule. Na kwa upande mwingine nilimshukuru sana babu mlinzi kwa jitihada alizozionesha kuniokoa kutoka kwa yule baradhuli Mwalimu James.

****

Sarah na Anitha walikuwa wakilaani kitendo changu kile cha kujinasua saama kutoka mikononi mwa Mwalimu James. Walikuwa wakinisakama kiasi cha kunifanya nisitamani kukaa nao bwenini.

Nakumbuka nilikuwa nikitokea darasani ambako nilikuwa nikijisomea masomo ya jioni. Nilipofungua mlango tu nikakutana na sura za Sarah pamoja na Anitha. Walionekana kama vile walikuwa wakizungumza kitu Fulani ambacho kilikuwa kikinihusu mimi kwa namna ambavyo walishituka na kunitazama.

“Habari zenu” Niliwasalimia huku nikielekea kwenye kitanda changu.

Sarah na Anitha walitazamana huku wakibinua midomo yao juu kwa kebehi. Nilimtazama Sarah na kumuona akijitikisa utafikiri alikuwa ameona kituko gani sijui. Nikageuza shingo yangu na kumtazama Anitha, yeye alivuta midomo yake mbele na kutazama pembeni huku macho yake akiwa ameyarembua kwa dharau.

Kwakuwa nilikuwa nimewazoea sikupata taabu sana juu ya jambo lile. Niliketi kitandani kwangu na kuvua viatu ambavyo nilikuwa nimevaa. Niliachia tabaamu ambalo lilikuwa likinifariji mwenyewe na kujiona shujaa wakati wote.

Anitha na Sarah walitazamana kisha wakaachia kicheko kwa sauti. Niliendelea na shughuli zangu kama vile sikuwa nimewasikia. Nilibadilisha mavazi niliyokuwa nimeyavaa na kuvaa sare za bwenini.

Sarah alinitazama nilipokuwa nikibadilisha nguo, macho yake yalikuwa yametua kwenye lile zigo langu la madafu ya nyuma. Kisha akamtazama Anitha ambaye alikuwa akimtazama yeye.

“Vipi naona unajiburudisha nafsi kwa kutazama zigo lililokwenda shule” alizungumza Anitha kiuchokozi.

“Mwee! Zigo Bongo, au wewe hujaona mazigo nini?” Alisema Sarah kwa dharau huku akibinua midomo yake kwa nyodo na kebehi.

“Mtoto ameumbika huyo, we mwenyewe huoni hadi walimu wanababaika kwaajili yake” Sarah alizungumza.

“Hana lolote, watu kama hawa ndio huambulia kuliwa na vibaka”

“Mwenyewe anataka kuolewa akiwa na kikombe chake kipya kabisaaa” alizungumza Anitha kwa kejeli.

“Unafikiri kuolewa na kikombe mchezo nini” Sarah alisema.

“Mwenzio ndio anacho sasa”

“Labda cha bati”

“Hata kama kingekuwa cha mbao, ndio anacho hivyo”

“Una uhakika gani kama kikombe chake hakijavunjwa?”

“Na wewe unauhakika gani kama kimevunjwa?” Anitha alihoji kiuchokozi.

“Kikombe akitoe wapi wakati Babu Makwacha amekwisha kukivunja” Sarah alizungumza huku akimkonyeza Anitha kwa nyuma.

“He kumbe mlinzi ndiye anayechukua zigo?”

“kumbe we ulijua ni nani?”

“Makubwa basi, kwa staili hiyo nimeamini ndege mjanja hunaswa na tundu bovu” Anitha alizungumza.

“Mwenzangu we”

“We unafikiri ni kwanini babu alimfuatilia kule ofisini kwa Sir, James” Sarah alihoji.

“Wivu, nakwambia zee lilishindwa kuvumilia na kumfuatilia mchuchu wake”

“Nakwambia alipomkuta amebananishwa, mzee alichanganyikiwa” Sarah alizungumza kisha wakaangua kicheko cha dharau na kejeli.

Nilipoona maneno yao yalikuwa yamezidi kipimo nikajikuta nikishindwa kuvumilia na kuwageukia.

“Hivi ninyi mende mnajielewa kweli?” Nikahoji kwa jazba kwakuwa sikuwa nimenogewa na maneno yao yale ya uchokozi.

“He mwenzetu we vipi?” Sarah aliacha kucheka na kuzungumza huku wakitazamana na Anitha.

“Mwenzangu hata mimi nashangaa” alijibu Anitha.

“Sikilizeni niwaambie…..” Nilizungumza huku nikifunga vishikizo vya blauzi yangu na kuwageukia.




Sarah na Anitha wakatulia kwa mapozi ya kishambenga wakinisubiria kwa hamu nizungume kile nilichokuwa nataka kukizungumza ili wapate kunishushua. Niliwatazama kwa jazba na hasira kiasi cha kujikuta nashindwa kuzungumza neno lolote. Niliwatolea macho kwa hasira pasipo kuzungumza, nilipoona hali ile nikavuta hatua mbili taratibu kurudi nyuma. Nilijitupa na kuketi pasipo kutazama kitanda.

Anitha na Sarah walitazamana kisha kama kawaida yao wakaangua kicheko kilichokuwa kimejaa shari na ushambenga.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG