Search This Blog

Wednesday, April 21, 2021

PENZI LA MTOTO WA BOSS - 5

   



Chombezo : Penzi La Mtoto Wa Boss  

Sehemu Ya Tano (5)



"Win wengi wananijua kwa jina la Christopher Jumbe ila kiukweli Jumbe ni baba mlezi tu yeye ndo aliyenifukuza sikutaka nikwambie siri mpaka utakapokuwa mke wangu halali ila inabidi niwambie halaki nzima ili mfahamu na kujifunza kuhusu aliyotenda baba yangu kwa mama yangu"


"Watu wote walikaa sawa kwa kusikiliza historia fupi ya Chris huku mzee Denis john yeye akiwa analia tu"


BACK FLASH-RUDI NYUMA

******************

"Baba angu alikuwa ni mchimba zahabu katika mgodi wa geita kipindi hicho nilikuwa mdogo sana, walikuwa takribani vijana watatu ambao ni Baba angu mimi Denis John na wengine wawili ambao mama hakubahatika kuwajua majina yao mara nyingi baba alikuwa akimueleza tu mama kwamba ana marafiki zake"


"Siku moja mmoja katika yao alibahatika kupata madini ya samani kubwa tu ambayo baba na rafiki yake walimuonea donge sana na kutamn wamiliki wao, ndipo baba akamueleza mama"


****************

"Mke wangu"


"Beeh! mume wangu"


"Kuna rafiki yetu mmoja alipata madini leo yenye samani ya million 200 cha ajabu katupatia 25 kwa 25 tu mimi na mwenzangu wakati sisi tulikuwa bega kwa bega"


"Mume wangu Denis Sasa hiyo ela ndo haikutoshi ukiamua kuipangilia acha basi kuwa na tamaa isiokuwa na mbele wala nyuma mume wangu"Mke wake Denis ambae alikuwa mama Chris alijaribu kumshauri mumewe


"Yaani kupata mwanamke asiekuwa na akili ni ujinga kweli yaani nikajua utanishauri cha maana ni upumbavu tu"Baba chris alifoka vile


"Sasa mume wangu unataka ufanye nini"Mama Chris alihoji


"Nimefanye nini hapa tushapanga na rafiki yangu tunaenda kumvamia mida mida tunambakishia ya nauli tu"Baba Chris aliongea kwa ujasiri


"Heehh! Mume wangu kwanini muogope mungu basi eee rizika na ulichonacho"


"Mama angu alijitahidi sana kumuelewesha baba lakini hakuelewa na tamaa yake akaenda kumvamia rafiki yake huyo ambae nae machale kama yalimcheza alihama siku hiyo hiyo, kwa kitendo kile mama hakutaka kukaa na mwanaume mnyama kiasi kile aliamua kuondoka kabla baba hajarudi kufanya tukio hilo"


"Baba alivyorudi hakumkuta mama na wala hakusumbuka kumtafuta yeye alijali pesa ndo kila kitu"


"Mama alinichukua kwenda kuhamia katika kijiji chengine huko maisha yalikuwa magumu sana mpaka nafikia umri wa miaka 15 niliishia la 7 baada ya kukosekana fedha ya kuniendeleza wakati huo mama angu alikubali kuolewa na mzee mmoja wa hapo kijijini ili tu walau maisha yawe afadhali mzee huyo alikuwa anaitwa Jumbe alikuwa ni mkulima tu maisha yake yalikuwa si mazuri ila kwa mlo tu ilikuwa afadhali"


"Siku moja baada ya kuishia la 7 mama alinieleza maisha yetu yote na aliniambia baba angu anamsikia tu yupo dar tena ni tajiri alinionesha picha ake kwenye walau nikipata nafasi niende kwa mzee wangu na kunisisitiza kwa licha ya yote huyo ni baba angu tu"


"Kwa kuwa nilimchukia sana baba katika maisha sikutamani nimfahamu hata kuonana nae bahati mbaya sikutaka pale nilipoaanza kufanya kazi kwa mzee mmoja na kufanyiwe vitimbwi na bint yake Nuru mzee wangu wa kunielea akanifukuza ndo maisha yangu yakawa ya shida mpaka hii leo nipo hapa"


TUENDELEE...

"Chris alisimulia mengi kwa uchungu sana watu wote walimuonea huruma ndipo mzee Denis akashuka chini na kumshika mwanae"


"Mwanangu Samahani kwa niliyokutendea mengi ya kukukera najua mengi nimeyafanya katika dunia hii ambayo sitahili kusamewa"Mzee Denis ndipo alipoanza kukumbuka masaa machache kabla hajaingia kwenye ukumbi ule


"Yule kama namfahamu hivi"Mzee Denis aliongea huku akimwambia dereva wake ageuze gari


"Hahahahaa sikuhizi unachoma ndizi walau vile vipesa umeapata mtaji eee"Aliongea mzee Denis


"Alikuwa anamcheka rafiki yake Chiza ambae mienzi michache walimdhuruma mali zake zote"





"Mzee Denis alizidi kumcheka Mzee Chiza, ilikuwa hivi"


"Baada ya mzee Chiza kudhulumiwa mali zake aliamua kuondoka na familia yake na kuja dar kwaajili ya kupanga nyumba maisha yake yalikuwa so mazuri sana baada ya familia yake kupata maradhi ya hapa na pale pesa nazo zikaisha ndipo alipoamua kuanza biashara ndogo ndogo Maeneo ya siku hiyo kama ilikuwa bahati kwake baada ya kuonana na rafiki yake wa zamani ambae ni Denis akiingia kwenye hotel yenye ukumbi mkubwa hapo ufukweni baada ya dakika kadhaa alionekana Chris akiwa na mke mtarajiwa Win"


"Hey dereva simama kidogo"Chris alimpiga piga dereva asimamishe gari huku akiangalia nje na kumuona mtu ama anamfahamu


"Kuna shida gani Chris mda huo"Win aliuliza


"Samahani Win kuna mtu namfahamu yule niliyekuhadithia ambae alinisaidia na kunipeleka morogoro


"Win baada ya kumwambia vile nae akaamuru dereva asogeze gari kwenye sehemu husika, ndipo Chris alichuka na kwenda kumkumbatia mzee chiza ambae hakuamini alibaki kumwaga machozi tu


"Ama kweli njia rahis ya kujibiwa maombi yako ni sadaka pekee mbele za mungu wako"Mzee Chiza alizungumza na kumfanya Chris aulize


"Kwanini Mzee unasema hivyo"


"Ndio katika maisha yangu sikuacha kumsaidia mtu hata pale nilipofilisika nilikuwa naimani chochote nikitoacho mungu atanizidishia leo hii naliona hili"


"Ndipo mzee chiza alianza kumwadithia yote yaliomtokea mpaka yeye kuwa masikini"


"Ndipo Chris akashituka, heehh kumbe huyu ni moja ya wale niliohadithiwa na mama na kwahiyo baba nae kaja kwenye ukumbi huu, Chris alijIuliza maswali bila majibu ila akaamua asiseme kwa mda ule"


"Duuhh! Mzee wangu pole sana na nisamehe kwa yote yalitokea"Chris aliomba msamaha


"Me najua Chris wewe hun kosa na kilichotokea nyumban yote nayajua"


"Chris alishituka sana baada ya kusikia vile"


"Ila usijali huna kosa mimi nishakusamehe"mzee chiza alizungumza


"Ndipo Chris na Win wakaingia ndani ya ukumbi huku Chris akijinamia chini kwa hasira maana alijua anaenda kuonana na mtu mbaya maisha mwake"


"Hivyo ndo ilivyotokea jamani katika maisha yangu na kudhulumiwa watu muhimu"Chris alimaliza kuelezea umati wa watu na kuanza kumshangaa sana Denis


"Daahh! Pole sana mkwe cha kufanya msamehe baba ako na tuendelee na party"Baba Win alizungumza


"Hapana baba lazima arejeshe mali za watu"Chris alizungumza


"Ndipo Chris alipoamua kumchukua mzee Chiza na kumleta ndani ya ukumbi"


"Huyu ni nani"Watu waliuliza


"Huyu ndo aliyenisaidia mimi walau nami kuwa mjanja na kupendwa na bint yako"Chris alizungumza na kuanza kuelezea yalitokea nyuma


"Mzee Denis yeye alibaki hoi tu hakuwa na la kusema wakati watu wanataharuki na matukio yanayotea kwenye ukumbi mara hafla wakaingia polisi watatu na bunduki zao"


"Sisi ni polisi kutoka kituo cha hapo chini tumeletewa taarifa na kupewa kibali cha kumkamata Mzee Denis kwa kosa la kudhulumu haki ya mtu"Aliongea police mmoja wa wale watatu waliofika


"Watu walishangaa imekuwaje"


"Mzee Chiza nae akashangaa mali za nani kadhulumu tena"


"Najua mnamaswali mengi, afande hemu mlete mtuhumiwa"yule askari wa mwanzo akamrisha


"Ndipo watu wakafanya kama kugeuka na kupisha njia alionekana fred ambae walishirikiana Denis kupora Mali za Mzee Chiza hatimae marafiki watu wakutana mmoja akiwa mtuhumiwa na pigu mkononi na mwengine akiwa tajiri na waliomzulumu akiwa amechakaa kwa vumbi na moshi"


"Denis unamfahamu huyu"afande akauliza




"Ndio namfahamu"Mzee Denis akajibu


"Ndipo Chris akatambua yule ndo muhusika wa pili na kuamua kuuliza"


"Afande kwani ilikuwaje"Chris aliuliza


"Ilivyokuwa siku chache kabla baada ya kupata Mali upande wa fredy hakuridhika na utajiri ule akaamua kujiingiza kwenye biashara za magendo na kuipa pembe za ndovu na kuuza, ndipo baada ya kufanya biashara hiyo bila kumshirikisha Denis kwa kipindi kirefu hatimae kamanda wa jeshi la police siro anamtia nguvuni yeye na watu wake wote alihojiwa kuhusu utajiri wake akatoa siri zote ndipo akamtaja na Denis na jinsi walivyo honga mawakili ili kesi ionekane ya mzee chiza"


"Hatimae Fredy akabanwa na kutoa information hadi anapoishi Denis, police walienda kwake na kumkuta mfanyakazi ndipo mfanyakazi akawaelekeza walipo"


"Duuhh! Ama kweli malipo yapo hapa hapa duniani akhera kuhesabiwa"Chris aliongea vile huku akishusha pumzi


"Ndo nazani mmeelewa"afande akauliza


"Ndio afande mchukueni muhusika wenu na aliyefanyiwa kitendo ni huyu hapa"Chris bila moyo wa huruma aliongea


"Hapana mhusika yeye atakuja police mwenyewe ili atoee taarifa sisi mamlaka tuliopewa ni kumchukua huyu"wale police walimchukua Denis na Fredy wakaondoka


Chris akapanza sauti na kusema "Tuache yote kwa mda huu tuendelee na yaliyotulita"


"Sherehe ikaendelea na Win na Chris wakawa wachumba rasmi na baraka zikatolewa na tarehee ikapangwa ya ndoa"


"Siku chache badae Chris alimchukua Win na kwenda kijijini kwa mama ake"


"Ooh! Mama"Chris alifika na kumkumbatia mama yake na kufanya mama alie sana"


"Mwanangu za siku nyingi"baada ya kumbembeleza wakaketi sehemu


"Kiukweli Mama Chris alikuwa amechakaa sana kiasi ya kwamba utasema ni mzee wa miaka 50 kumbe laa ila maisha yalimfanya aonekane hivyo"


"Mama mimi nipo japo yametokea mengi sana ila huyu ndo anapaswa ashukuriwa"


"Huyu ni nani mwanangu"Mama Chris aliuliza


"Ni mkweo anaitwa Win yeye pekee aliyenipenda japo kwa hali yangu duni"


"Oohh! Mkwe wangu mzuri sana"Mama alimkumbatia Win nae Win bila hiyana licha ya mama kuwa mchafu alimkumbatia kwa furaha


"Basi Chris alianza kuelezea mama yake yalimkuta yote mpaka kufikia hapa"


"Pole sana mwanangu yote ni maisha sasa umekuwa mwanangu"


"Hamna mama kwako sikui hapa nimemiss kunyonya ziwa lako"


"Utani ukashika tamati na Win akampa nguo takriban begi zima mama mkwe wake na siku ya smartphone, viatu na kila kitu anachotakiwa apewe mwanamke akapendeza"


"Baada ya mlo mama Chris alienda kukoga na kuvaa nguo aliyoletewa na mkwewe hakika alipendeza sana na kurudi kama mwari mtu mzima"


"Asante sana sijui nikishukuru vipi"


"Usijali Mama yote ya kupita zawadi pekee uliyonipa wewe ni kunizaliwa mtu muhimu maishani mwangu"Win aliongea kwa hekima


"Chris nae akaongezeaa na sapraizi, mama baba kesho anaenda kuhukumiwa kutoka na makosa yake na kesho kutwa ni harusi yetu mimi na win"


"Mama Chris alistaajabu ndipo akauliza kosa la mumewe wa zamani kufungwa, Chris hakuacha kitu aliendelea kusema yote"


"Afadhali acha azibiwe"Mama Chris alifurahia sana baada kuskia hivyo kubwa zaidi alifurahi aliposikia mwanae anaenda kuoa


"Siku inayofata Mama, Chris na Win waliondoka na kwenda dar ndipo saa 10 wakawasili mahakamani na kukuta hukumu ndo inatoka"


"Ulikuwepo wapi chris mbona hujaja kumsaidia baba ako"baba mkwe wa Chris alizunhumza


"Chris alipayukwa kwa sauti mbele ya jaji na kusema mzee Denis ahukiwe kwa kulingana na kosa lake"


"Watu wote walishangaa na mzee huyo akahukumiwa miaka kumi jela yeye akiwa na miaka 55 Akitoka jela atakuwa na miaka 65 kwa kosa la kuidanganya mahakama kwaajili ya kupata Mali kwa upande wa Fredy yeye alikutwa na hatia mbili ya kudhulumu na kujiuhusisha na biashara haramu mahakama ikamfunga miaka 25 jela"


"Denis alibaki kulia na kuangalia familia yake ambayo bila huruma walimwacha aende huo ndo ukawa mwisho wa Denis na Fredy na Mali zote akarejeshewa Mzee Chiza"


"Asante sana Chris mungu awajalie maisha marefu wewe na mkewe na mjaliwe kizazi chema"

Mzee chiza alimshukuru sana Chris na familia yake


"Hatimae hayawi hayawi yamekuwa Chris ndani ya suti na Win ndani ya shera bila uchawi wala ndumba"


"watu wengi waliudhulia akiwemo mzee Biku ambae kama utamkumbuka alimfukuza Chris baada ya Nuru kumshutumu Chris anataka kumbaka"


"Mzee huyo alienda mbele na kushika maiki kuongea mengi"


"Mimi ni mzee biku ambae naweza sema kwa magumu aliyopitia Christopher Denis na mimi nikiwemo naomba msamaha kwa Chris kwa kumtendea unyama wote"


"Mzee Huyo aliongea mengi mpaka watu wakaona harusi ya maajabu maana daah bwana harusi kapitia vibwanga"


"Ilikuwa badae ya Chris kuondoka kijijini Mzee biku aliishi na familia yake mwisho wa siku bint yake alipata ujauzito na alimtia mimba kukimbia kijijini alipohojiwa alipaki kuumia tu na kueleza mengi aliyokuwa akifanya na kumsingizia Chris hapo ndipo mzee huyo aliona kafanya kosa alipojaribu kwenda kwa wazazi wake Chris alimkuta baba ake mlezi Chris ambae ni jumbe alishapoteza maisha akabidi amuombe msamaha mama Chris ndipo mama Huyo alimsamehe bila hiyana"


"Mzee biku alijitahidi amchukue mama Chris akaishi nae mama huyo alikataa alisema atakaa hapo mpaka mwanae arudi"


"Maisha yaliendelea siku mpaka aliporudi Chris, mama Chris alimueleza mzee biku na kumualika kwenye sherehe"


"Mzee wangu usijali yote niliyopitia ndo yaliyonifanya leo nami najiona mtu muhimu sana na mwenye samani kwa yeyote aliyenikosea nishamsamehe"


"Watu wakafurahi na kupiga makofi kwa wingi na sherehe ikaendelea, baba mkwe wa Chris alitoa zawadi ya nyumba kubwa na gari mbili na kumkabizi mkwewe mama Chris nae akaenda kuishi kwa mwanae Chris nyumba ilikuwa kubwa


"Baada ya harusi wenyewe wanasema kwenye saba za mwanzo Chris aliamua kuonesha udume wake kwa mke wake Win"


"Oohh! Mme wangu hapo hapo aahh sshii kandamiza mume oohh rahaa oohh usiende mbali my ingiza uboo jamaan ooh nakujoa"Hizo ndizo zilikuwa sauti zikisika kwa Win ambae alimpongeza mumewe na kujisema


"Ama kweli wewe ni Topha mashughuli kiasi ya kwamba wanawake wakupiganie ila sasa umekuwa wangu"


"Baada ya siku tatu alionekana Win akitoka kwenye meza ya chakula na kwenda kutapika"


"Mwanangu mjukuu huyo"Mama Chris aliongea na kumfanya Chris atabasam


"Win alirudi mezani na kueleza kinachomsibu kutokana ilikuwa ni usiku asubuhi walienda hospital na kugundulika win Ana mimba"


"Familia ya Win ilifurahi na Mama Chris alifurahi sana huo ndo ukawa mwanzo wa maisha ya Chris na familia yake bila kumsahau rafiki yake Denis alimpa support na kushirikiana"


"Baada ya miezi tisa Win alijifungua mabacha wa kike na kiume, mmoja akampa jina la Irene na mwengine akampa jina la Chiza"


Furaha ikazidi kila jambo ni ustaamilivu tu na siku zote hakuna magumu yasikuwa na suluhisho cha msingi jipange na upambaene ukiamini ipo siku mungu atakubariki


MWISHO....


0 comments:

Post a Comment

BLOG