Search This Blog

Wednesday, April 21, 2021

PENZI LA MTOTO WA BOSS - 2

   



Chombezo : Penzi La Mtoto Wa Boss  

Sehemu Ya Pili (2)


"Mmmhhh kwa hali hii tatizo hilooo"

(Chris alijisemea moyoni baada ya kuona vailet hali ile)


"Kiukweli nimekuwa sina amani katika mahusiano yangu ya kimapenzi nilipenda mtu na siku ya siku akaniumiza tu baada ya kupata alichotaka"


BACKFLASH -RUDI NYUMA


"Vailet ujue wewe ni msichana mzuri sana, na nimepokea sifa kwa watu wengi unajitunza na hukubali kushawishika kirahisi hilo ndo lilo nivutia kwako"

(Aliongea kijana mmoja mtana shati mwenye umbo pana na alikuwa mrefu kupita vailet)


"Aahh! ni kweli john sipendi kujiingiza katika mahusiano kwasababu naogopa kuumizwa haswa nyinyi wanaume hamridhiki yaani mnapenda kupekuwa pekuwa kama kuku"

(Vailet aliongea kwa kumaanisha haswa kwamba hakulitaka jambo hilo)


"Vailet wanaume wote sio sawa katika maisha kila binadamu anatabia yake kiukweli mimi nina lengo nzuri na wewe namaanisha nakupenda sana vailet"


"Kumbe sifa zote nawe unanitaka, eti unanipenda kunipenda hiyo kwio hemu nipishe huko"

(Vailet alikuwa ni msichana ambae kiukweli alikuwa ajielewa sana)


"Sitoshindwa lazima nitakupata tu labda so john me kivuruge wa wanafunzi na walimu wote"

(John alijisema moyoni na kuondoka zake eneo la tukio)


"Vailet alivyorudi kwao mawazo yakamsakama kuhusu john na kujikuta anamuaza sana john"


"Inamaana ndo nishaanza kumpenda john hapana hapana"

(Hakika ilikuwa ni hivyo yaani siku hiyo vailet hakulala usingizi mzuri)


"Lakini ni kijana mtanashati mzuri pia hata akinioa atakuwa baba mzuri wa familia yangu"


"Ndugu yangu huwezi amini yaani unaweza ukawa unajilinda vipi lakini mwenye ukaja kuzama penzi kwa mtu boya kabisa yaani tena hata halina malengo hayo ndo yalianza kwa vailet kipindi hicho"




"John nae hakuchoka kumfagilia vailet ikapita takribana miezi kadhaa na vailet baada ya kuona bado anasumbuliwa na john akahis anamapnzi ya dhati ndipo alipomkubalia kuwa na mahusiano nae"


"John nimekubali ila sitaki kufanya mapenzi na wewe mpaka tuoane sawa"

(Vailet aliongea)


"Sawa vailet nimekuelewa usijali kwa hilo"

(John aliitikia huku moyoni akisema, hata wezako walisema hivyo hivyo lakini waliishia wapi ngoja uingie kwenye kumi na nane zangu"


"Nimefurahi sana john kumpata mwanaume sahihi kwangu nimefurahi kiukweli yaani"

(Vailet aliongea kwa sauti ya mahaba yenye kuvutia na ukilinganisha na urembo wake daahh hakika john alizidi kupandwa na matamanio)


"Maongezi yaliendelea na kupanga siku ya jumapili watoke wakatembee hapa na pale ili kufurahisha miyoyo yao, huwa ndio ulikuwa mwanzo wa mapenzi ya john na vailet"


"Siku zilizidi kusonga kwa wawili hao bila kuvunja walichokubalian siku moja asubuhi ilikuwa Jumamosi tulivu vailet alitumiwa sms na mpenzi wake aende kwao kwa madai wazazi walikuwa hawapo aje walau wapige stori, na kutokana vailet alishazama kwenye mapenzi ya john alienda na kumkuta john anacheza game"


"Karibu mpenzi wangu"

(John alimkaribisha na kujisema yes ndege kanasa kwenye tundu bovu)


"Asante baby"

(Ile anamaliza asante john alikumbutia vailet n kuanza kupea juice hadimu iliowafanya wawili wale kuwa mbali kifikira)


"Taratibu vailet alianza kuregea baada ya kushikwa sehemu muhimu na john, na kutokana john ni mzoefu basi alimweza sana vailet, dakika kadhaa mbele vailet alichojua nguo zake zote sijui kwanini alifanya vile maana dah utamu ni utamu jamani"


"Aahh! John hakucherewa alianza kuchezea G-sport na kuanza kuinyonya kwa umaridadi haswa hapo ndipo alipomaliza vailet na kutoka miguno ya kimahaba"


"Oohh! my tamuu hivii oohh shii taratibu jamani my"


"Hiyo ndo yalitokea na mwisho wa siku john alifanikiwa lengo lake la kutoa bikra msichana vailet"


"Mpenzi wangu najua umefurahi japo sikutaka nifanye hivi na nimefanya tu kwasababu nakupenda sana na usiende kwa mwengine"

(Hakika mapenzi bana acha tu hisia ni kitu kikubwa sana)


"Sawa mpenzi usijali mpenzi wangu vailet"


"Tabia hiyo haikuishia hapo ilifika wakati vailet alihitaji mwenyewe penzi kutoka kwa john kutokana na john kwa maridadi kwenye soka hiyo"


ENDELEA KWENYE STORI


"Duuhh ilikuwaje sasa kuhusu mapenzi yenu"

(Chris aliuliza)


"Daahh! Baada ya miezi kadhaa nilimfamania na mwalimu wangu tena ofsini wakiwa wanapena romance hakika iliniuma sana na nilivyojaribu kumlalamikia akanijibu kwamba, Mimi ni sawa na wale wanaojiuza tu kwa nimuache"

(Vailet alimaliza hadithi yake huku akilia)


"Daahh! Ama kweli yaani mliopitia mahusiano mna kazi kweli ila ndo dunia usijali cha muhimu jirekebishe kwa ulichofanya na maisha yasonge"

(Chris alimpa moyo vailet)


"Sawa ila pia nimejikuta nina jambo jengine sijui kama utanisaidia"

(Vailet aliongea kwa uyonge)


"Jambo gani"


"Nakupenda wewe Chris nahitaji penzi lako "

(Vailet alizungumza)


"Mmhh! Me siwezi me yashanitokea mengi sana katika maisha yangu kwahiyo sitaki"


"Kama hutaki nasema mlichofanya na dada jana alikuita chumbani"

(Vailet alimtishia kwa staili ile Chris)


"Wewe umetuona"

(Chris aliongea kwa mshangao huku akijisemea moyoni, daahh kazi dada anataka mdogo nae anataka mbona balaa niache kazi kweli na nikiacha sina pa kwenda)


"Ndio na mimi nataka kama dada"


"Duuhh wewe john kakuachia jini mahaba so bure kabisa yaani"

(Chris alistaajabu kutoka na sifa za mrembo vailet)


"Hapana nimekupenda tu au hutaki nikaseme"


"Hapana sasa wewe na dada ake nishafanya nae vile si huoni hatari"


"Dada, dada sio mimi tufanya siri na yeye mtajuana wenyewe ila nataka"


"Mmhh sawa nitafanya hvyo"


"Ilibidi iwe hivyo tu kwa chris kutoka na kuhofia kupoteza kibarua chake"


"Oohh! Naona mpo na vijana wangu"

(Mara mzee Chiza boss wake alitokea na kuwakuta vailet na Chris wakiwa wanacheka na kufurahi)


"Tupo boss, shikamoo"

(Chris alisalimia huku mapigo ya moyo wake yalikuwa hayana amani kabisa)


"Marahaba, pia jiandae tutatoka kidogo leo sawa"


"Sawa boss"


"Na vailet nenda ndani kamwite dada ako aje"

(Vailet alipewa maagizo na mzee huyo)


"Baada ya mda mfupi alifika Dora ambae alipewa maagizo ya kifamilia na mzee wake, maisha yaliendelea na Chris alizidi kuaminika na kuwa sehemu ya familia hiyo"


"Chris na mabinti zangu nitasafiri kwa muda wa siku tatu na natumani nimeacha mwanaume atakae angalia familia kwa muda wa siku hizo tatu"

(Mzee Chiza aliaga familia yake)


"Sawa baba"

(Dora na Vailet Walifurahi na kila mmoja alijisemea moyoni mwake, yes ondoka tu watu tupate raha)




"Siku moja kabla mzee Chiza kuondoka alipigiwa na mtu asiemfahamu na kuelezwa jambo ambalo limshitua sana hakutaka kueleza familia yake, haikujulikana nini sababu lakini ilimbidi tu iwe hivyo"


"Ndo hivyo familia yangu naenda kijiji nimeitwa tu kuna dharura nitarudi"

(Mzee Chiza aliaga familia yake na kuanza safari yake)


"Baada ya mzee huyo kuondoka mambo yalipamba moto kwenye nyumba yake kama kawaida Dora alitumia njia nyingi kumshawishi Chris nae akashawishika haikuwa na budi"


"Asubuhi kulipambazuka kama kawaida ya kijina chris aliamka na kufanya usafi ila alistajabu kumuona Dora mwanamke ambae aliyeridhika na pesa za wazazi wake leo kuamka mapema kiasi kile"


"Heehh! Mwezangu vipi leo kitanda kimevamiwa na siafu au?! "

(Chris alidua baada ya kumuona Dora kaamka asubuhi tena anamsaidia kufanya usafi ama kweli mapenzi humbadilisha mtu tabia)


"Kwani vibaya, au hutaki nikusaidie"


"Aahh! Nashangaa maana si kawaida yako"


"Hapana mtu kumsaidia ampendae so vibaya"

(Ili Dora anamaliza kauli, ghafla vailet alitokea)


"Eehh! Acha wewe leo mama upo ndani ya usafi mbona pambee"

(Vailet aliongea kwa kumalizia na kicheko cha umbea)


"Nawe haikuhusu si ukalale huko"

(Dora alimjibu)


"Aaahh! Tulieni msiaze tena nyumba ikawa na zogo kama tupo Buza"

(Chris aliwanyamazisha na si kawaida mabinti wale kukatazika ila cha ajabu Chris alivyowambia tu walinyamaza)


"Usafi ukaendelea na siku hiyo Chris hakuchoka na alijisemea tu, ama kweli kupendwa raha ingekuwa siku zote hivi ningenenepa mimi"


"Karibu mzee Chiza asante kwa kutii wito kama unavyofahamu mimi ni mwenyetiki wa kijiji hichi na nimepata malalamiko juu yako na kesi ipo mahakamani sema tu kwasababu nakufahamu mzee wangu nikaona walau nikuite kiustarabu tu"

(Mzee Chiza baada ya kwenda safari yake katika kijiji cha lukewe ruvuma kule alipompata Chris kumbe aliituwa kesi haikufahamika kesi gani)


"Upande wa pili Chris na Dora walikuwa ukumbini na nyumba ilionekana kupooza sana baada ya Vailet na Mama ake kwenda kununua mahitaji Hyper market iliyopo mkoni hapo na wawili hao walipata mda mzuri wa kufanya yao hapo ndipo Dora alipoanza kumsogelea taratibu Chris"


"We we weee unasogeaji huku na umemwmbia mama unaumwa"

(Chriss aliuliza)


"Aahh!! Chris mimi nilifanya vile nipate penzi lako mwenzio zimejaa"

(Dora aliongea kwa sauti regevu na macho yake kuonekana kama yupo kwenye hisia kali mno)


"Mmhh! Jamani Dora mbona unataka kuniletea matatizo je akitokea Mama"

(Chris aliongea kwa woga)


"Hamna nimekomea wakija watagonga mlango"

(Dora hakuchoka kumshawishi Chris, huku akimsogelea Chris na kuanza kumpapasa kifuani hali ambayo ilimsababisha chris kuregea na kusahau kama mda mfupi alikuwa anaogopa)


"Chris nipe mavitu chris jamani oohh! nipe oohhh shhiiiii shuka my taratibu, Chris hakuchelewa aliamua kufanya mambo yasiwe mengi mara hii alifanikiwa kuchukua mpira na kuanza safari yake kuelekea golini huku mashabiki wakiwa wanapiga kelele sana hali ambayo ilimsababisha Chris kupata nguvu na kufunga goli"


"Oohh! Asant my jamani tamuu ohh"

(Dora aliregea wote kabla hawajafanya chochote mlango ulisikika unafunguliwa)


"Tobaa Mama huyo"

(Chris alianza kuzunguka zunguka kama mtu alichanganikiwa)


MAMBO NI MOTO JE, NINI KITAJIRI.....

Kumbuka Mzee Chiza nae kaitiwa kesi je, ni kesi gani...




"Mlango ulipofunguliwa Chris alijifanya bize kuangalia Tv wakati huo alikuwa na hali mbaya na kijasho kilikuwa kinamtoka"


"Oohh! Mwanangu nimetoka kidogo tu nimekumiss hatari jamani"

(Mama Dora alizungumza huku akimpa mifuko Dora)


"Vipi Chris"

(Chris alijifanya kuahituka baada ya kuitwa na mama Dora)


"Oohh! Mama samahani"

(Aliinuka na kwenda kuchukua mzigo ile aliyopokea Dora)


"Sina habari Mama hapa hii muvi imenizubahisha samahani"

(Chris alifanya kuzuga)


"Heehh! Naona kama wewe ndo unapigana kwenye muvi hiyo"

(Mama Dora aliongea huku akiweka alama ya mashangao usoni mwake)


"Kwanini mama"


"Kwa hilo jasho na feni linawaka si hatarii hii"


"Ndipo Chris alipofuta na kuona anajasho jingi, akaamua tu kupotezea na kumwambia Mama Dora itakuwa ni afya tu"


"Mmhh! Haya kama ni afya"

(Mama huyo kama alishituka hivi kilichotendeka ila aliamua kupotezea tu)


"Upande wa Mzee Chiza yeye siku ya pili alienda mahakamani huko akasomewa shitaka lake"


"Mtuhumiwa Chiza Kurwa Zigamba unajitakiwa kwa kumiliki pesa kwa njia zisizo za harari hivyo basi mahakama inaamuru kufungwa bank zako zote na nyumba yako kuuzwa na fedha zitakazopatikana itakuwa mali ya serikali"

(Mara baada ya jaji huyo kuhukumu hivyo Ilisikika kama nyundo ikigongwa mezani na watu wakambalatika)


"Mzee Chiza alichoka kweli kweli baada ya kusikia hivyo hakujua sababu nini mpaka iwe hivyo, ndipo alipokaa akatulia akahisi jambo"


"Upande wa pili Chriss alikutana na kizazaa kweli kweli baada ya mdogo wake Dora yaani Vailet kumwambia nae anataka penzi lake"


"Chris alijitahidi kuepusha maana hakuwa na lengo ya kuechezea familia hiyo isipobudi tu alilazimika kufanya hivyo"


"Chris usiponitimizia na mimi leo nakwambia kazi huna"

(Vailet alijitahidi kutumia udhaifu wa Chris)


"Chris hakutaka kupoteza kazi waswahili wanasema, bahati haiji mara mbili"

(Ndipo alipoamua kukubaliana na Vailet kama mida ya saa 1 usiku vailet alienda chumba cha Chris)


"Oohh! Baby vipi"

(Vailet alivyoingia ndani hakucherewa alimdakia Chris na kuanza kupean r*m*nc)


"Chris alikubali kazi maana daahh alivyochikwa tu na Vailet alihisi msisimkokali sana uliomfanya kujihisi wa tofauti na siku zote hakuelewa kwanini lakini nae alijikuta anasahau yote ya duniani na kuingia ulimwengu mwengine kabisa kwa kuatarisha maisha yake"



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG