Search This Blog

Tuesday, April 13, 2021

KIFO CHA MENDE - 5

  


Chombezo : Kifo Cha Mende 

Sehemu Ya Tano (5)


Mo Jay.. "Unajua kwamba mkeo anatoa penzi lake nje?. Bwana Rajabu akajibu "Sijui ndugu". 

Basi mkeo anatoa penzi nje yako bila ya wewe kutambua hebu mfuatilie katika mambo yake, anayokwenda". Bwana Rajabu. "Daah.. Kwa hili nitafanya hivyo, ili nihakikishe kama ni kweli". 

Hapo hapo Mo Jay, akatoa simu na kumuonyesha bwana Rajabu picha ya Hemedi. Kisha akamwambia "Ndiye huyu jamaa anayetembea na mkeo, lakini nataka nikupe ujasiri. Kwanza kabisa ingia naye urafiki bila ya yeye kutambua wewe ni mtu wa aina gani, kwani huu ndio urahisi wakujua wala usimuulize mkeo". 

Bwana-Rajabu akamshukuru sana Mo Jay, na kumwambia "Asante sana ndugu, maana nilikuwa nishakata tamaa moyoni kwakuwa umenipa ujanja basi nitakupa zawadi". 

Baada ya kutulia kidogo, bwana Rajabu akauliza swali. "Mbali na hayo, huyu jamaa nitampata wapi?". 

Mo Jay akamjibu "Huyo jamaa yupo katika Hotel ya "FURAHA HOTEL" ndipo anapofanyia kazi ya uhudumiaji". 

Bwana Rajabu akamwambia "Asante sana ndugu nitalifanyia kazi". 

Baada ya dakika chache, wakaamua kurudi nyumbani. Kwani kulizidi kuwa giza zaidi. 



Bwana Rajabu, alifikishwa nyumbani mara moja. Huku mawazo yakizidi kumzonga katika kichwa chake, geti lilifunguliwa na kuingia na gari lao, iliingia saa Nne za usiku Halima akiwa bado yupo sebuleni. Alimkumbatia mume wake bwana Rajabu na kumwambia "Pole sana mume wangu kwa uchovu, karibu ukae". 

Bwana Rajabu, akamjibu huku akikaa katika sofa. "Asante sana mpenzi", kwa upande mwengine Mo Jay akitafuta sehemu kisha akajipumzisha. Bwana Rajabu akamuuliza, "Vipi leo utalala hapa?". Mo Jay akamjibu kwa tabasamu "Ndio boss itabidi nilale tu kwani usiku ni mwingi". 

Halima akamuita Husna. Husna alikuja mara moja. Na kuitikia "Abee mam, nimekuja niambie Shkamoo".

Bwana Rajabu. Akajibu salamu ya Husna "Marahaba mwanangu".  Ila cha ajabu alivalia kanga moja tu iliyomfanya Mo Jay kutekwa akili ya mawazo machafu ndani yake. Lakini kwa macho ya Husna yalilenga moja kwa moja hadi kwa Mo Jay. Kwa kumkonyeza. Kabla ya kutaka kutumwa kile alichoitiwa, Halima hakupoteza muda akamwambia "Waandalie chakula mara moja". Husna akafanya kama alivyoambiwa. 

Halima, akazidi kumsogelea Mume wake. Kwa macho ya mlegezo huku akimuonyesha tabasamu la kiaina,  na kumwambia "Mume wangu, sichoki kukupenda, leo nimekuandalia mazuri chumbani, kula ushibe ukaote kisha uje". Bwana Rajabu. Akamjibu "Sawa mpenzi tusubiri muda ufike kwanza". 

Kabla muda haujapotea, Husna aliandaa maakuli mezani na matunda mbali mbali yaliyoiva. 

Wakati huo Halima akiwa na furaha moyoni mwake, lakini alitegea jambo kwa bwana Rajabu. Na Bwana Rajabu anategea jambo kwa Halima, wote wanategeana. 

Wakati wote wapo mezani wanakula na kuangaliana uso kwa uso. Husna alijisikia hamu na Mo, na kuanza kumrushia miguu katika mapaja yake kisha kumtazama kwa haiba ya mahaba. Hili lilimfanya Mo, kujinasua lakini iikuwa nadra kwake. Kwa gafla Halima akamshtukia Husna, na kumwambia "Husna unamatatizo gani?". Husna akamjibu "Hapana mam nipo kawaida tu". Bwana Rajabu. Akaingia kati na kumfokea Husna, "Husna hatulii kwa kawaida, sijui ana matatizo gani". Mo Jay akaingiza maneno yake na kusema. "Labda ananiogopa nikimtazama". "Hahaha" vicheko vikatawala hewani na kila mmoja kufurahia. 

Muda haukuwa msumeno, bali ulizidi kupotea. Na kila mmoja akamaliza kula, hapo hapo Halima na Bwana Rajabu. Wakaondoka maeneo hayo bila shuruti, akabakia Mo Jay na Husna sebuleni. Yani chui wanamuachia mbuzi ailinde. Lazima italiwa tu,

Halima pamoja na bwana Rajabu waliingia chumbani baada ya kuoga na kila mtu kutakata. Halima alimshika mume wake na kumlaza kitandani, na kumpandia kwa juu huku akiwa na kanga iliyotoswa na umaji umaji. 

Mtoto ana kiuno mithili ya nyigu, na kuuacha msabwanda kutikisika. Kisha akamwambia Mume wake huku akimvulia kanga na kumuonyesha chuchu zilizomvutia Bwana Rajabu. "Leo baby, nipe utamu wa asili. Nishike popote. Aaaaaiiiissssss.."

Hatimaye, bwana Rajabu. Alijihisi midadi ikimkolea moto. Na kutaka kutumika, Halima alikuwa mwenye maujuzi mtoto huyu. Alianza kumnyonya mume wake kifuani taratibu, kwa ulimi ulivyo talii maeneo hayo. Huku bwana Rajabu, akianza kujisahau mwishoe akatoa sauti za miguno. Alimtembeza taratibu mpaka tumbo na kuchanganya na kitovu chake. "Aaaaauuuchh aasssssss....mmmmmnhh... Tamu kwelikweli ooooohh...aaaaaaaiiiiiisssshhh...". 

Halima, alizidisha kumpa mume wake utamu wa mahaba. Huku chumba kikinukia udi na marashi ya kizanzibar, walimaliza tendo lao. Na mwishoe Halima akamwambia mume wake "Baby, kesho naenda kwenye harusi ya rafiki yangu. Naomba uniruhusu sitokaa sana". Bwana Rajabu. Kwa upole wake hakukataa alimkubalia kwa kumtamkia "Sawa mke wangu wala usijali". 

Rajabu, hakuona ubaya bali alichotaka ni ukweli tu. Na simulizi yote anaijua tu kumuhusu Halima. 

Kwa upande mwengine, Husna alimjia Mo. Katika chumba alicholala na kuanza kumgongea mlango kwa utaratibu. Kwani Husna alijawa na midadi isiyopimika. Kumtamani Mo kwa kumpa utamu, Mo alishtushwa kwa mbisho mlangoni akaamua kuufungua ile kufungua akamuona Husna amesimama mlangoni akiwa amevalia kanga na macho ya kusinzia. Kwa gafla alimsukuma Mo ndani zaidi na yeye akaingia kisha akaufunga mlango na kumsogelea Mo huku akimwambia "Vyenye nakumiss Moo, sitaki maswali nataka kut*mbwa mwenzio". 

Mo akiwa na wasiwasi mithili ya muwasi, Husna hakujali ila anachojali ni kupata utamu. 

Husna alimshika Mo bukta yake kwa mpapaso wa mahaba kisha akampa busu la gafla hapo ndio mwendo ulizidi kupamba moto. Husna na Mo walionyeshana minyonyano ya kutamaniana kwa hamu na hamamu yake.. 

Husna, alizidiwa na utamu. Na kuanza kuivua bukta ya Mo huku akitoa sauti za mahaba ndani ya chumba "aaaaaaaaaiiiiisssss...mmmmmmnnhh...aaaaah..uuuuuiiiissshhh. "Mo kwa utaalamu wake akampitishia ulimi shingoni mwa Husna mpaka masikioni Husna ndio akazidi kupotea na mwili kujiachia lakini Mo akimzuia na kuzidi kumpa mtekenyo shingoni. 

Huku akishuka na kuivuta ile kanga, Husna akabakia kama alivyotoka sayari ya tumboni. Mo akafakamia chuchu na kuanza kuzitalii kwa kupitisha pembe. 

Husna ndio apendavyo michezo ya Mo, "Aaaaaaaaaaaaaaaassssssssssshhhhhhh.....mmmmmmmmmmmnnnhhh. Oooooooooiiiiiiiiisssshhhh. " babyyyy taratibu. 

Mo alipoona haitoshi, akampeleka hadi kitandani kisha akamsogeza kwake na kuzidi kumtembezea ulimi taratibu.. Husna alianza kujikunja mithili ya nyoka aliyejeruhiwa, kumbe ndio utamu unazidi kuchochewa. 

Hapo hapo, bao la Husna aliliachia na hakutaka tena. "Baby basi, tena nimetosheka."

Mo Jay, akamshangaa na kuanza kumwambia "Wewe tayari mimi bado, mbona hivyo". Husna alimuacha Mo na nyege zake akaondoka bila kusema kitu. Hili lilimkera sana Mo. Hakupenda. 

Siku ya pili, iliwadia Halima akiwa hayupo nyumbani kama alivyopatiwa ruhusa kuondoka. Halima akaanza kuwasiliana na Hemedi akielekea harusini

Halima akimpigia simu Hemedi lakini haikupokelewa. 

Bwana Rajabu,  Na Mo wakiingia katika Hotel ya FURAHA hotel. Kumtafuta Hemedi, lakini kwa mbali walimuonea kwa mbali akiingia katika gari lake. 

Bwana Rajabu. Na Mo, wakaamua kumfuata lakini kwenye njia nyengine kwani Mo alikuwa mjanja kwelikweli na boss wake kumuamini. 

Huku Halima, alifika kwa mashoga zake wakiwa ndani ya ukumbi mwa Bibi Harusi. 

Halima akiwa amekaa na mashoga zake, hatimaye Hemedi akampigia simu Halima. 

Halima hakuogopa bali alipokea. 

Hemedi.. "Hellow Halima, niambie. 

Halima.. "Nipo harusini njoo mara moja, katika maeneo ya BARIZI HALL barabara ya kwanza tu".

Hemedi.. "Sawa dear nakuja mara moja". 

Daah..!! "Kumbe, simu ya bwana Rajabu, Ina record simu ya Halima kwa kile atakachoongea." Bwana Rajabu, akicheka kwamba ni mazuri. 

Mo alimshangaa boss wake na kumuuliza "Boss vipi tena, mbona unacheka badala ya huzuni". 

Bwana Rajabu. Akamwambia "Hapana, kwani nifuraha kumshika mtu mwerevu wakati wewe anakuona mjinga". 

Mo, alipitia njia ya tofauti mbali naya Hemedi. 

Walifika na kupakia pembeni kabisa, kwani kulikuwa na magari mengi hadi unaweza changanyikiwa lakini hawakushuka walimuona Hemedi akiingia katika Hall hiyo, nje kukiwa na walinzi wenye sura za hasira na miili yao iliyotuna.  

Kabla muda kuwa lelemama, Halima na Hemedi walitoka kisha wakaingia ndani ya gari la Halima. 

Huku wakionekana kwa jicho la tatu, bila ya wao kujua. Kisha wakatoweka. 

Na Mo akawasha gari, kwa haraka na kuwafuata kupitia njia nyengine.. 




Hili lilimfanya Bw-Rajabu kuwa mnyonge na kutoweza kumuamini tena mke wake Halima. Wakati wakiwa ndani ya gari kwa haraka Mo alimhenezi kwa maneno ya polepole kabisa, na kumwambia "Boss huyu mwanamke bora uachane nae, la sivyo atakuja kukuua mbeleni". 

Bw-Rajabu hakuwa na usemi, japo anaumia kindani ndani hadi maini yanamkatakata kwa ndani huku ubongo ukimtokota mithili ya maji ya uvuguvugu.. Bw-Rajabu hakuwa na raha, hasira zilimtinga usoni. Hatimaye wakina Halima na Hemedi walipotelea njiani. 

Mo na Boss wake walistaajabu kwelikweli. Na kuanza kujiuliza maswali hainati, njia panda zilijitokeza kama Mwenye Enzi anavyopanga mikakati yake. Akawaonyesha njia, na akili ya Mo ikamtuma kwa haraka haraka pitia njia ya kushoto. 

Bw-Rajabu, hakumuelewa Mo. Na wala hakuwa na maswali alimtazama tu kwa macho ya pembe, Bw-Rajabu aliamini kwamba njia ya muongo ni fupi wala haina mwisho wake. Au ni sawa na kusema siku za mwizi ni arobaini. Mo akizidi kutembeza gari bila wasiwasi. 

Walifika katika sehemu yenye kupakiwa magari. Pembeni kukiwa na halaiki ya watu, wakiwa katika harakati za biashara. Na wengine wakicheza michezo ya dumna. 

Kwa himahima Bw-Rajabu alimwambia Mo. "Hebu ipaki gari pembeni nikanunue sigara mara moja." Mo alifuata amri akalipaki pembeni, kwa gafla ya macho wakaliona gari la Halima, Mo akamuuliza boss wake. "Boss tazama hii gari sio ya mke wake Halima?".. Bw-Rajabu akaitazama vyema kwani anaijua kuanzia nje hadi ndani, kisha akamjibu. "Gari ndio hii kabisa, acha tushuke tuwaulize wenyeji wa mji". Basi walishuka huku watu wakishikwa na butwaa ya gafla, kwani gari iliyopakiwa sio ya kimasihara. Na watu kuanza kuhisi ni mkubwa flani. 

Kwani Mo alikuwa ametinga miwani myeusi na viatu vyeusi na T-shirt nyeusi na suruali nyeusi. Hili liliwashtua waja waliokuwa maeneo hayo, boss akiwa amevalia kikawaida tu. 

Bila ya kupoteza wakati, waliamua kuwauliza vijana hao waliokuwa karibu. Mo ndio mwenye kauli akaamua kuwauliza, "

Mo.. Vipi jamaa..." Masela wakajibu "Safi boss". 

Mo akauliza.. "Nauliza wenye hii gari mumewaonea wakielekea njia gani?" Masela wakataka kukaba hawakutaka kusema. Wakati jua linazidi kuwa kali sana, Mo kwa akili nyingi. Akawatolea kitita cha pesa mfukoni akawaambia "Yeyote atakayesema au kutuonyesha zawadi yake hii hapa". 

Masela kwa kuwa njaa zimewazidia na hakuna mishemishe, na hawana hili wala lile. Mmoja akaamua kunyanyuka na kuwaambia, "Mimi nitawapeleka pale walipo". Pesa mbaya kweli, zinaweza vunja hata mlima. 

Kwakua mmoja amejitokeza na wao wakataka wapeleke. 

Bw-Rajabu, akiwa pembeni anasikiliza na kuona. Mo akawaambia "Itabidi twende wote, kwani kila mmoja atapata elfu ishirini ishirini." Masela kusikia hivyo waliamua kunyanyuka kwa rabsha na furaha. "Twendeni twendeni". 

Waliongozana, huku Mo na Boss wake wakiwa nyuma. Hatimaye walifika katika Hotel inayoitwa WELCOME HOTEL. Masela wakawaambia akina Mo, "Boss hapa ndipo walipoingia, sasa tuachie chetu tusepe". Mo akawaambia "Subirini hapa nje au mtusubiri kule kilingeni tutakuja kuwapatia." Masela wale, hawakupinga kwani wanajua gari liko kule na kuamua kurudi 

Hatimaye waliingia katika Hotel hiyo, watu wakishangaa na kuwatazama kwa kina. Moja kwa moja mpaka kwa mwenye hotel, Mo akasalimia 

"Habari yako boss?. 

Akajibu, "Safi.." Mo akatoa picha ya Halima na Hemedi na kuuliza "Hawa watu tunaambiwa wameingia katika hii Hotel ni kweli?. 

Akajibu kwa kudanganya, "Hapana hata siwafahamu kwakweli."

Mo akamwambia "Boss acha kutuficha, unajua ukitudanganya tunaweza kukufunga sasahivi. Na hii biashara yako tukaifunga mara moja. 

Jamaa akauliza, "Kwani nyie ni akina nani". Mo akamjibu "Usitake kujua, sisi tutakaa tuwasubiri hapa. Tukiwaona wametokeza ujue tunakufunga na kazi yako tunaifunga tumeelewana?."

Jamaa, alipoona sio kwema tena. Akaamua kuwaonyesha chumba kwa namba 456. Mo akamwambia "Asante sana, ubarikiwe. 

Mo na boss wake, waliamua kuongozana kwa kupanda ngazi mpaka chumba cha namba 456. Walifika mlangoni, na kuanza kugonga mlango kwa nguvu. 

Kwa upande mwengine, Halima na Hemedi wakipeana mautamu huku Halima akiwa amekunjwa ipasavyo na kuegemezwa ukutani. 

Kwa gafla, ya kugongwa mlango. Walishtuka kwa hamaki kuu. 

Hemedi pumzi kumuishia, na kujifunika na taulo na kuanza kuuliza huku akikaribia mlangoni "Ni nani?" Mo hakujibu, akiwa kimya tu. Na akagonga tena mlango. Hemedi akauliza tena "Ni nani, mbona husemi?". 

Halima akiwa amejificha kabatini huku jakajaka la moyo kumuenea. Na kutetemeka kwani alihisi mgongaji mlango sio wa kawaida. 

Hemedi akaamua kufungua mlango ili aangalie nani anayegonga ile kufungua. Akakutana na Mo kwa mara nyengine tena, lakini Mo hakutaka maelezo mengi zaidi kuparamia mlango na kumvuta Hemedi kwa mikono hadi nje ya chumba, kwa upande mwengine akakutana na Bw-Rajabu mwenye mali yake. 

Hemedi alipotaka kutoa matamshi kinywani, akazimwa na kofi la uso mpaka sakafuni na Bw-Rajabu huku akiambiwa "Wewe ndiye unayejifanya kidume, tulia na ukae chini kabla kichwa chako kuwa halali yangu." 

Hemedi, akijitetea huku kwa kusema "Jamani, mbona mnanipiga nimefanyaje."

 Mo akimzuia chini na Bw-Rajabu kuingia ndani ili amuone mke wake Halima. Bw-Rajabu akizidi kumtafuta mpaka chini ya uvungu mwa kitanda. Ile kupiga jicho pembeni mwa ukuta, akaona viatu vya Halima.

Halima akiwa ndani ya kabati kubwa la nguo, jasho likimtoka mwili kumtetemeka mithili ya kifaranga aliye nyeshewa na mvua. Bw-Rajabu akaanza kuita jina la Halima kwa kusema. 

"Halima...Halima...Halima.. Halima. Jitokeze kwa usalama wako kabla sijachukua hatua yoyote ile." 

Halima alisikia sauti ya Bw-Rajabu ndio mwili ukaendelea kushikwa na mshtuko wa gafla, Hatimaye Halima alijitokeza akiwa anatoka uchi wa mtoto wa kuzaliwa ndani ya kabati huku machozi yakimdondoka na kusema kwa kigugumizi. "Ja...ma...ni, muu..me wangu....Na..o.mba msa..ma..haaa.." Halima aibu na ghadhabu kwa mume wake Rajabu, huku Hemedi akitokwa na macho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango mkuu. 

Bw-Rajabu, akamwambia kwa upole na ukarimu kwa kuwa ni mke wake. Na uchungu wa nafsi kwani kila kitu Halima alipewa anachotaka hakosi anapewa bila hiyana 

"Kwanza nyanyuka na uvae nguo zako na ukae kitandani".  Halima alivaa nguo, kisha Bw-Rajabu akamwambia Mo "Mlete huyo mpumbavu mwengine." Hemedi, alinyanyuliwa na Mo kisha kusukumwa mpaka ndani na kukalishwa karibu na mzinzi mwenzie Halima. 

Kisha Bw-Rajabu, akamwambia Halima mke wake huku akijifuta machozi machoni mwake. "Halima nilikuamini sana kwa utashi wako mwanzoni. Lakini maji ukayavulia nguo bado kuyaoga kwa sasa. Halima, nilikupenda na bado nitakupenda kwani siwezi kukuchukia. Halima, nilikuthamini lakini ukaona thamani yangu ni kama zawadi ukipewa ndio basi imepotea. Halima, vingi nimekufanyia na bado nitakufanyia kwani mtu fukara hawezwi kuachwa bila ya kupewa akiomba. 

"Halima, umetoka kwenye bahari yenye kukutakasa. Lakini ukaona na matope yakuchafue, Halima....Halima...Halima.  Sina la zaidi, ukihitaji msaada nitakusaidia pia pamoja na mwenzio."

Bw-Rajabu, hakuongeza maneno akamwambia Mo "Ndugu twende zetu nguo nishazivaa bado safari." Ile Bw-Rajabu kutaka kuenuka Halima, akamrukia Bw-Rajabu na kuanza kulalamika kwa kumbembeleza huku akilia kwa machozi. 

Halima. "Jamani, mume wangu usiniache nikateseka bado nakupenda darling." Bw-Rajabu alimsukuma Halima hata hakutaka kumsikiliza kisha akamwambia "Wewe ni najisi na shetani muasi, usijaribu kunisogelea mbwa mwenye laana". Bw-Rajabu na Mo wakaondoka na kushuka mpaka chini. Hasira zilimvaa usoni mpaka kwenye ubongo. 

Halima, akaanza kulia huku akijilaumu na kumlaumu Hemedi. 

Kweli maji, yakimwagika hayazoleki. Kwa shetani mbaya wa Halima alimtuma ajitupe chini ya ghorofa, kwani ni aibu kubwa kurudi nyumbani na kusamehewa ndio basi. 

Fikra za Bw-Rajabu alimfikiria sana Halima, kwani alimpenda kwelikweli. Yani alimganda moyoni kama ulimbo, Bw-Rajabu na Mo walisikia makelele ya gafla na kamsa za watu wakisema "Usijiue wewe....!! ". Kutazama ni Halima anataka kujitupa juu ya ghorofa. 

 Bw-Rajabu na Mo, walirudi haraka upesi. Na Mo kukimbilia katika chumba ili amzuie, huku Bw-Rajabu akimbembeleza na Hemedi kashakimbia. Kwa bahati ya nasibu, Mo alimfikia na kumshika mkono Halima wakati ndio amejiachia kwenda chini. Halaiki ya watu walijaa watoto kwa wazee, wamama kwa wababa. Halima nguvu zote alimuachia Mo, kung'ng'na kumuokoa kwa kumvuta Hatimaye alifanikiwa huku Bw-Rajabu akiwafikia. 

Halima, alitaka kujiua. Ilipita miezi miwili walisameheana na kuendelea na maisha yao. Huku Halima akijaaliwa mtoto baada ya miezi tisa kuisha. Mo akamuoa Husna, na maisha yakawa vyema kabisa.... 


*MWISHO WA SIMULIZI.*


0 comments:

Post a Comment

BLOG