Search This Blog

Wednesday, April 21, 2021

PENZI LA MTOTO WA BOSS - 1

  


IMEANDIKWA NA : IBAAH JUNIOR

*********************************************************************************

Chombezo : Penzi La Mtoto Wa Boss  

Sehemu Ya Kwanza (1)


Ni asubuhi tulivu katika kijiji cha lukewe mkoni morogoro vijiji katika nyumba moja yenye muonekano uliochoka kiasi ya kwamba kwa mtu yeye asingetaman kuishi humo, anaonekan kijana mmoja akiamka katika kijumba hicho na nguo zilizochakaa na kukunjana kunjana kama zilizoliwa na ng'ombe, kama kawaida yake kijana huyo alijulikana kwa majina Christopha Jumbe alikuwa kijana mwenye umri miaka 24 ambae alikuwa ni mchechi na mpole na mchapa kazi mpaka wana Kijiji walimpa jina na kumwita topha mashughuli "


"Hey wana vipi"

(Topha alivyoamuka asubuhi kama kawaida yake alienda masikani ili kuangalia utaratibu wa kazi)


"Safi topha niaje mzee mashughuli"

(Vijana wale wa masikani walimpa hai topha)


"Safi yaani, ila sema nini wana hali kwangu mbaya sana sina kitu mnaweza nisaidia buku hapo"


"Aahh! Topha daahh tumechacha kinoma yaani toka kukuche tumekomaa tu hapa hakuna ishu yeyote"

(Wale vijana walimueleza topha hali ambayo ilimchanganya sana na kuona siku imekuwa mbaya kwake lakini kama zari vile akatoka jamaa)


"Mambo vipi wana"

(Yule jamaa mwenye muonekano nazifu aliwasalimia wale kina topha)


"Safi boss kuna utumwa au"

(Wale vijana waliitikia na mmoja wao aliuliza, waliukuwa takribani vijana watano)


"Ndio nilikuwa naitaji kijana mmoja akanibebe ndizi zangu shamba la hapo juu kwa mzee nanii huyu**.."


"Kwa mzee sing'ombi "

(Topha alidakia vile)


"Eeehhh hapo hapo, kuna ndizi nataka nikazitoe shambani nipakie kwenye gari kama nne hivi"


"Kutokana na hali ya kijana Topha aliwaomba wenzake wamwachie kazi ile japo ilikuwa sio utaratibu wao ila kutokana na kuishi kwa upendo kijiweni hapo walimwachia kijana wao akafanye kazi"


"Ujue yule mwezetu hali ngumu sana yaani"


"Halafu sijui katokea wapi yaani maisha yake hayaeleweki sijui hana ndugu yule"

(Hayo ndo yalikuwa mazungumzo ya vijana wale wa masikani baada ya Topha kuondoka)


"Kijana asante sana, mimi naitwa Chiza john naishi hapo morogoro mjini huku kwa babu tu sasa nilikuja kuwapa hai na kuchukua zawadi ndogo kwa familia yangu"

(Aliongea yule boss ambae alimchukua topha kwenda kumsaidia mzigo wake, alikuwa mzee wa makamo kama miaka 45-50)


"Usijali boss mimi nikushukuru kwa kuja kutupatia riziki vijana wako"

(Aliongea topha)


"Ok usijali kijana chukua kiasi hichi kidogo kitakusaidia"

(Yule boss alitoa kiasi kama cha Tsh10000/= ambayo topha alishangaa maana kwa kazi ile si pesa yote ile)


"Aahh! Boss ni shilling elfu mbili tu mbona umenipa kubwa"


"Usijali topha wewe ni kijana mmoja mstaarabu na kama utakuwa na shida yeyote chukua hizi namba usisite kunitafuta na karibu moro bana"

(Hakika yule boss alikuwa mchangamfu sana na mwenye hekima kiukweli topha alimshukuru mungu na kuondoka kuelea masikini na kiwaeleza vijana wenzie)


"Duuhh! Bonge la zarii yaani topha ila ndo bahati yako"

(Aliongea kijana yule ambae alikuwa alijulikana kwa jina la jofu)


"Utani ukatamalaki na vicheko vya hapa na pale vikaendelea na siku zikasonga sana siku moja asubuhi mapema topha akiamka na kuelekea masikani lakini alikuta watu hawapo na kupewa maelezo ambayo yalimsononesha nafsi na kuamua kumpigia simu rafiki yake jofu, na kwenda kukutana nae"


"Mambo vipi jofu"

(Topha aliazisha mazungumzo)


"Safi mwana niaje"

(Jofu aliitikia)


"Safi naona leo masikani hamna mtu na habari niliyoambiwa ni kweli"


"Ndio kuna vijimama havipendi kabisa maendeleo ya wezao yaani wameenda polisi wamesababisha masikani yetu kufunga kwa madai et tunavuta bangi tunawakera watoto wa kike na hapa ninavyokueleza tunatofutwa balaa tupu"

(Jofu alimuelezea rafiki ake kwa ufupi kiasi ya kumfanya Topha ajawe na simazi maana pale ndo ilikuwa sehemu yake kidogo anaendesha maisha japo hakuwa anapata mlo wa kutosha, hakukuwa na budi siku hiyo alienda kwenye banda lake na kuanza kuwaza atafanya nini kama mwanaume ndipo alimpokumbuka yule mzee Chiza Jumbe aliyempa namba zake na kujiseme"


"Yes, nimepata wazo naamini mzee yule atanisaidia"


"Alichukua namba ile na kwa kuwa hakuwa na salio aliamua kutuma tafadhali nipigie mzee yule baada ya masaa machache alipigiwa simu"


"Oohh! Topha vipi kijana mambo yanasemaje"

(Yule boss baada ya kugundua nani anaeongea nae alionesha tabasamu)


"Daahh! Boss hali ngumu yaani naomba msaada wako"

(Topha alimwelezea yote yaliyomkumba na Mzee yule akamjibu)


"Usijali hata hivyo ilikuwa natafuta mfanyakazi wa nyumbani yaani mfungua mageti na kutunza bustani yangu na niliwaza kuhusu wewe sema sikuwa na namba yako kama mungu tu yaani hapa ilikuwa nataka nimpigie kijana ila ndo nikaona sms yako"


"Kwahiyo boss kazi nitapata"

(Topha alidakia maongezi)


"Usijali kijana utapata na nitakutumia nauli kesho uje uanze kazi"


"Sawa boss asante"


"Ok usijali tunasaidia tu,,pia utakuja na nguo utakayovaa tu shopingi nitakufanyia huku nataka upendeze kijana"


"Ok asante boss acha nijiandae na safari"

(Topha alifurahi na kupiga magoti kwa mungu na kumshukuru na alienda kuaga marafiki zake na siku iliyofata aliaanza safari)


"Safari ilikiwa ndefu kutoka morogoro kijiji hadi mjini takribani masaa matano walichukua kufika Moro mji topha alishuka na mavazi nazifu kabisa na mzee alikuwa ashafika na kumpokea na kuondoka nae kwenda kwake"


"Wakiwa njiani boss Chiza alianzisha mazungumzo kwenye gari"


"Nina watoto wawili, wote wa kike mkubwa anaitwa Dora na mwengine anaitwa vailet ambae ni mdogo, mkubwa anasoma chuo mwaka wa tatu sasa anamalizia na mdogo yupo kidato cha nne, na ninaishi na mama yao kwahiyo wewe utakaa nyumbani kama moja ya familia wala usijali"

(Boss Chiza alimalizia mazungumzo yale na Topha hakuwa la kusema aliitikia tu na safari ikasonga Mwendo wa nusu saa walifika getini na mlango ukafungua na msichana mmoja ambae japo kwa mbali ukimuona basi unasema yes yule ni mwanamke kweli aliyekamilika alikuwa na sura nzuri, body nzuri na wale wazee wa wowwo alikiwa nalo kweli kweli msichana huyo"


"Topha hii ndo familia yangu kama nilovyokwambia njiani huyu ndo Dora aliyefungua mlango na huyu ndo vailet na huyu hapa ni mke wangu"

(Utambulisho ulimaliza na macho ya topha na Dora yalikutana hali ambayo ilisababisha utofauti kwa Dora)



"Dora alimwangalia sana topha kwa mavazi yake na moyoni mwake alijikuta anamchukia tu kwa kuwa kijana topha alikuwa mchafu mchafu"


"Yaani yule kijana kwanza mchafu halafu wa kijiji kabisa yaani sijui baba kamuokotea wapi"

(Dora alibaki kuwaza tu bila kupata jibu lolote)


"Aahh! Kijana wangu pole kwa safari kapumzike kesho mapema tuenda kutembea hapo chini na nikakununulie mavazi"

(Boss Chiza aliongea huku akitabasam)


"Sawa boss nashukuru sana kwa msaada wako"

(Kiukweli kama unavyojua tena mtu ukizoea maisha ya shida huijui feni wala umeme unapaki kuona kwa jirani na kama unavyojua topha alikuwa kijana masikini sana hata nyumba yake ilikuwa na hadhi ya kulala mbuzi leo hii anakaribishwa kwenye mjengo mkubwa fully kiyoyozi asishangae alibaki kutazama tazama huku na kule imradi ushamba umtoke hakika kijana huyo ndo maisha mapya yalianza mule ndani na siku hiyo alilala kwenye kitanda kizuri sana na kumka mnono sikumbwii ndoto alizoota maana utacheka tu haya bana acha tuendeleaa na utamu)


"Asubuhi iliyofata walienda kufanya shoping ya nguo kama ahadi yake mzee huo kwa mara ya kwanza ndo tunaona umbo halisi na bodi halisi ya kijana huyo machachari aitwa Topha hakika alipendeza hadi boss alimtania "


"Daahh Nitakupa mwanangu mmoja"

(Boss Chiza aliongea huku akifanya Topha kufurahi na kumshukuru sana)


"Sawa boss ila asante na na na"


"Na na nyingi vipi kuna tatizo"

(Boss aliuliza baada ya kuona Topha anajitafuna huku akiangalia pembeni upande ambao aliona raba kali sana)


"Acha uonga mimi sio boss tu kwako yaani kama mzazi wala usijali chagua unayotaka"

(Boss baada ya kugundua hitaji la Topha alimpa fursa si unajua ukiwa mgeni halafu mtu mwenyewe boss tu lazima uone aibu ukizingatia hela ndo anatoa yeye)


"Daahh! Yaani boss sijui nikushukuru vip ila asante naamini mungu atakava nafasi nyengine zaidi kwa ulichotoa kwangu"

(Topha aliongea kwa sauti ya upole yenye kushukuru)


"Ok usijali tunaweza kwenda nyumbani si ushamaliza mahitaji au bado nini"

(Boss alimuuliza Topha)


"Aahh! Boss nitake nini tena vinanitosha tunaweza kwenda"

(Boss alilipia pesa na kuondoka)


"Dora alistaajabu na kushikwa na bumbu wazi baada ya kuona Topha alivopende, alikuwa kijana mtana shart na body ilijengeka daahh hkik pesa inampendezesha mtu ndo ilivyokuwa kwa Topha hakika alioneka kijana mtanashati"


"Sasa Topha sio Topha tena jina lako unaitwa Christopha Kiufupi utaitw chriss kijana kijiji achana nalo"

(Mama Dora alizungumza na rasmi Topha anajulikana kwajina la mjini Chris haikujulikana kwanini mama huyu aliamua kumwita hivyo)


"Siku zikasonga wiki zikapotea na Chris akazoea mazingira"


"Mambo chriss"

(Dora alimsalimia Chris ambaye alikuwa anafisha mazingira ya humo ndani)


"Safi dada niambie"

(Chris alimjibu Dora)


"Aaahh! Acha zako hizo"

(Dora alizungumza kwa lengo la kukataa salamu)


"Kivipi dada Dora"


"Usiinite dada bhana mimi na wewe tulingana mbona na Pengine unanipita"


"Ah ujue Dora mimi napenda tu kumuheshimu kila mmoja ila kama unataka nikuite hivyo usijali"


"Sawa handsome boy"


"Aahh! Dora mimi nikiwa hivyo wengine watakuaje"


"Yaani sikufichi Chris mwanzo nilivyokuona nilikuwa nakuchukia sana yaani lakini baada ya siku kadhaa yaani najikuta nakupenda sana hakika ni kijana mmoja ambae mwanamke rijali atamani kuwa na wewe"


"Mmhh! Dada mbon nipo kawaida sana"


"Maongezi yaliendelea katika Dora na Chris na mwisho wa maongezi Dora alionekana kuvutia na kijana Chris hata Chris alilitambua hilo ili kuepusha tamaa na kukosa kazi aliamua kuondoka na kukatisha maongezi"


"Siku moja asubuhi mapema kwenye chumba cha Dora kilikuwa na chumba cha Chris ilisikika sauti ikimwita Chris kwa kuashiria kuna tatizo ndani humo"


"Vipi Dora kuna tatizo gani"

(Chris aliingia ndani na kumkuta Dora na kanga moja huku akionyesha kidole chini ya uvungu)


"Kuna kuna panya"

(Dora aliongea kwa wasi wasi na kumfanya Chris acheke huku akingalia chini ya uvungu)


"Mbona hakuna kitu"

(Chris alivyonyanyuka kutoka chini ya uvungu na kumuona Dora amekaa kwenye kiti cha ndani humo akitabasamu na huku akipandisha kanga yake juu)


"Hakika alikuwa ameumbika sana Dora alikuwa na paja nzuri na alivyoregeza kanga kwenye matiti ilimfanya Chris apate bubuwazi na Dora hakucherewa alimsogelea na kupapasa Chris kwa mda ule hakuweza kujielewa alijikuta anamvuta kitandani Dora na kuanza kubadilisha ladha ya midomo yao hali iliyomfanya Dora kuchanganikiwa kabisa"


"Chris hakuwa mzembe alishuka chini na dodo za Dora na kuanza kupapasa taratibu hapo sasa ndipo alipommaliza Dora"


"Sijui nini kilimwingia Chris na kujisahau vile alijikuta kwenye ulimwengu mwengine kabisa"


"Oohh! baby taratibu utauwa mwenzio oohh shiii ta, ta, tamuuu jamani"

(Kelele hizo zilisikika pindi tu Chris alipohamia kwenye G-sport na kuchezeaa kwa umaridadi)


"Mara ghafla Chris alishituka na kusimamisha alichokuwa anakifanya hali ambayo ilimuumiza sana Dora si unajua tena ukatishwe utamu"




Baadae ya Chris kusimamisha tendo hilo ndipo alipoona anafanya kosa kubwa maana yeye amesaidiwa tu kuishi hapo leo hii mtoto wa boss amfanyie vile huku akitafakari sana aliamua kuondoka chumba kile haraka sana, ile anatoka tu na kuingia chumbani kwake amanusura afumaniwe na mama wa Dora ambae mda huo huo nae alienda kuingia ndani kwa mwanae"


"Daahh! Mungu wangu leo ningekutwa mimi na kibarua nisinge kuwa nacho hata sijui ingekuwaje"

(Chriss alijiongelea kwa hofu kiasi ya kwamba akajutia kwa alichokifanya ndipo akakumbuka kilicho mtokea miaka michache iliyopita)


BACKFLASH -RUDI NYUMA


"Ni kipindi ambacho Christopher alipokuwa anaishi kwenye nyumba moja kijiji kwao hapo aliajiriwa na boss mmoja aitwa mzee biku aliajiriwa kwa kazi ya ufugaji wa kuku, mzee huyo alikuwa na binti mmoja aitwae nuru binti alikuwa mzuri kweli kweli yaani kiasi ya kwamba wanaume wa kijijini hapo walikuwa wanamsumbua ndipo mzee biku alipoamua mwanae kutotembea ovyo bila mtu Aidha mama ake au mtu mzima yeyote lakini hakufanikiwa ilikuwa hivi"


"Christopher wewe ni kijana ambae nimekuchagua uje unifugie mifugo yangu pia kuna jengine kama utanisaidia itakuwa vyema"

(Boss huyo ambae alikuwa mzee maarufu kama mzee biku aliomba asaidiwe na Christopher ambae sisi tunamfahamu kama chriss handsome boy)


"Boss ongea usijali wewe ni boss wangu"

(Chris aliongea)


"Kama unavyojua Chris nina mtoto wa kike yaani vijana wa hapa wanamsumbua sana binti yangu na mimi sitaki kuharibiwa binti yangu kwahiyo naomba uwe kama mlinzi wa siri kwa binti yangu lolote litakalojiri utanijulisha"


"Boss kwa hilo usijali nitamlinda dada nuru bila shaka nitakwambia"

(Kijana Chris enzi hizo alikuwa kijana ambae kiukweli chupavu na mwenye umakini wa hali ya juu na alikuwa mpole sana kiasi wenzake walimchukulia kama boza(mjinga)


"Siku zikasonga na kazi aliyopewa na boss mzee biku aliitekeleza na mwisho wa siku binti nuru aliingundua hilo na kumwita chris"


"Christopher mambo"

(Nuru alimsalimu chris ambae alikuwa akiwapa chakula mifugo yake)


"Powa dada niambie"

(Chris alimjibu huku akiendelea na shughuli yake)


"Safi ila samahani unaweza ukaacha unachofanya tukazungumza kidogo"


"Aahh! Dada basi acha nimalize halafu Tutaongea maana akija boss akikuta hivi atasema sana na unamjua tena baba ako"


"Sawa malizia mpenzi"

(Nuru alimwita mpenzi sijui kwanini Chris hakumjibu tena na akabaki na kuwaza kwanini binti yule akasema mpenzi baada ya shughuli zake chris kuisha ndipo maongezi yakaanza)


"Chris ujue nin"


"Sijui Nuru niambie"


"Mimi nilishatambua mlichopanga na baba angu juu yangu"


"Heehh nani aliyekwambia jamani"


"Nilimfata baba na kumuuliza na akanieleza yote kwasababu nilikuona ukinifatilia na baba alikuwa ananigombeza sana"


"Ndo hivyo nuru ujue kila mzazi anatamani mwanae apite njia sahihi ambayo itamsaidia na kumuongoza yeye binafsi na ndicho mzazi wako anachotaka na mimi kama mfanyakazi ilinibidi niheshimu maamuzi ya boss"

(Chris alimua kumueleza kiundani kidogo Nuru ili aelewe zaidi)


"Sawa Chris ila ujue nami mtu mzima nahaki yangu ya kuwa na mahusiano na kuchagua mweza wa maisha yangu yanini lakini pia ujue nina mtihani sana saivi na sijui nifanye nini ili unielewe"

(Nuru aliongea kwa hasira na kumalizia kwa uzuni kama alikuwa na jambo likimtesa moyoni mwake)


"Mmh! Inaonesha kuna jambo linakutesa dada nini shida"

(Chris aliguna na kumuuliza Nuru)


"Dada nini mbona hivyo kwani wewe huoni, nakuuliza huoni umekalia tu kuniita dada"

(Nuru aliongea kwa hasira na kusababisha Chris kujiuliza ana nini huyu mwanamke)


"Kuna nini Nuru hemu nieleze"


"Nikueleze nini Chris hujui kama nakupenda nakupenda chris wewe pekee moyo umekuchagua"

(Nuru aliongea huku akiwa anatoka na chozi la uchungu)


"Una,, unase.. Unasemaje"

(Chris aliongea kwa kigugumizi)


"Ndo hivyo natamani penzi lako chris"

(Nuru aliongea huku akimsogelea Chris)


"Hapana Nuru haiwezekani, haiwezekani nakuheshimu kama mtoto wa boss wangu aje ajue boss nina mahusiano na wewe si

nitafukwanzwa mie"

(Si kwamba chris alikuwa hamtaki Nuru ila aliogopa hadhi yenyewe ya mfuga kuku na ukizingatia kubwa zaidi yule ni mtoto wa boss ilitakiwa amuheshimu)


"Hatojua mtu kwasasa kwanza wewe si ndo unaenilinda na baba anakwamini sana kwahiyo hatoshita"

(Nuru aliongea vile kwa kumshawishe Chris kama unavyojua tena ata Hawa amlimshawishi Adam na kula tunda hapo ndo utakapoona mwanamke ni nyoka na ukizingatia na mapenzj ni uchizi daahh usipokuwa makini unajikuta kama Ngoswe)


"Maongezi yaliendelea lakini Chris hakukubali kushawishika ukizingatia maisha yake yalikuwa magumu leo akose kazi ataenda wapi alimua kukataa na Nuru aliondoka kwa kuchukia sana"


"Siku moja ilikuwa ni mida ya saa 2 usiku watu wote kwenye nyumba ya mzee biku walikuwa wamelala na siku hiyo Nuru alimpigia simu Chris aje chumbani kwake anatatizo, kutokana na heshima ya chris kama mtoto wa boss kumwita alimuamua kwenda ndani ndani nakumkuta Nuru mapaja wazi huku kavaa nguo ya kulalia iliyomchoro umbo lake vizuri, na siku hyo wazazi wa Nuru walitoka na kusema watacherewa kurudi nyumbani, ndipo Nuru akatumia chasi hiyo alimvuta kitandani Chris na kuaza kumpa romance japo chris alikuwa anampapatua kumchomoka asifanye hivyo"


"Mara halfa milango ikafunguka ya ukumbi na mzee biku na mkewe wakaingia ndani"


"Baba ananibaka ananibaka"

(Nuru alipiga kelele baada ya kuona wazazi wameingia)


"Sijui aliwaza nini kufanya vile na Chris hakutegemea kabisa na alichoka kabisa maana ukizingatia alikuwa hataki kufanya vile hapo ndipo binadamu anapoitwa Mbwa kwa mambo anayoyafanya"


"Mzee biku alikimbia ndani na mkewe alikuwa nyuma, kuna nini mwanangu"

(Alimkuta chris anatoka jasho na binti ake akilia akiwa amekaa kitandani huku akijisema)


"Kwisha habari yako wewe yaani umekaa kuchunguza na kukwamisha mipango ya watu nenda kalime huko"

(Nuru Alijisemea kwenye nafsi yake hakika bint huyo aliamua kumfanyia ubaya Chris)


"Yaani Chris wa kunifanyia hivi mimi nilikuwa nakuamini sana leo unifanyi haya daahh"

(Yule mzee biku aliongea kwa moyo wa hasira)





"Hakika kidume kilitoa machozi na kuwaza mengi sana kwanini yote yamtokee yeye hapo ndipo akakumbuka msimo usimao, Dunia sio mbaya ila walimwengu wabaya, hakika alilia sana na kujaribu kuomba radhi kwa mzee biku"


"Mzee wangu naapa kwa viapo vyote ni binti yako ananilazimisha tu nifanye hivi ila kiukweli sikuwa na lengo mzee wangu naomba unisamehe"

(Chriss aliomba msamaha huku akilia kwa kwikwi kiasi ya kwamba ungebahatika kumuona na kosa alilopewa utasema anaigiza)


"Ama kweli nimeamini mfadhili mbuzi lakini binadamu ana mauuzi yaani leo hii siamini kabisa kijana niliekumia ukafanya yote"

(Mzee biku aliendelea kuwaka kweli kweli)


"Chriss hakuwa na jinsi na hakuwa na budi aliamua kunyamaza tu maana hata akisema hatoeleweka na kesi ile ilimfika mwenyekiti wa kijiji hicho bahati nzuri alipewa adhabu ya kuhama kijiji na kwenda mbali hata familia yake hakutaka kumuona kabisa ndipo alipoamuani kuwa, matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu usiombe usipate matatizo bali omba ujaliwe mpate matatizo yatakayoweza kuyakabili"


TUENDELEAA.....

"Hayo ndo alikuwa anayawaza sana chris jinsi alivyopitia mitihani katika maisha yake kisa mtoto wa boss leo hii tena hukuwa na lengo nae, Chris alikatishwa kumbukumbu hiyo baada ya kuitwa na mama mwenye nyumba"


"Naaam mama nakuja"

(Chris aliitikia kwa uoga sana na kujiwazia, mama kaniona nini)


"Vipi mbona kijasho, ndani hakuna feni"

(Mama Dora alimuuliza chris)


"Aahh! Mama nawe ipo sema tu umeme ulikata Nikazima nikahofia litaungua"

(Chris alidanganya bila kufimiria madhara ya alichokisema kama kina ukweli ndani yake)


"Umeme kuzimwaaa"

(Mam Dora aliuliza kwa mshangao)


"Ndi, ndi, ndiooo mama"

(Chriss aliongea kwa woga ndipo akatokea Dora na kumsaidia kujibu)


"Aahh mama huyo ana mawenge ya usingizi tu, kaka chris hemu kakoge"

(Dora alisawanisha mambo fasta)


"Ndio kabisa hata mimi naona maana kutwa nipo kwenye laptop nasoma simulizi za IBRAAH JUNIOR sijaona laptop yangu kuzima umeme ulikuwepo mda wote"

(Mama Dora aliongea)


"Mama nawe kwa simulizi haya acha nikapumzike"


"Hivyo ndivyo alipo ponyea chupu chupu kijana Chris"


"Daahh! Afadhali Dora amenisaidia maana ilikuwa naenda kujinyea kwa uoga"


"Ndipo matatizo kwa Chris yakaanza upya kabisa, siku ambayo Dora alimwita Chris ndani Vailet aliwaona na alifatilia kinyume nyume mpaka mlangoni akaenda kusikiliza huwezi amini kumbe hata msichana mdogo vailet alikuwa anataka mapenzi na Chriss"


"Daahh! Chriss kuna jambo nilikuwa nataka nikueleze kama hutojali"

(Vailet aliongea kwa sauti ya upole)


"Hamna tatizo kama kuna kazi nipe tu nitaifanya"

(Chris alizungumza)


"Hapana Chris sio kazi"


"Kumbe nini vailet"


"Vailet aliaza kukata kucha utasema hizo kucha zenyewe zilikuwepo kwenye vidoleni ilimradi"



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG