Search This Blog

Sunday, April 18, 2021

HOUSEGIRL WA KITANGA - 2

   


Chombezo : Housegirl Wa Kitanga 

Sehemu Ya Pili (2)



“Mwenzio nina jambo”


“Haya lijambe” dada alisema na kunifanya niangue kicheko kutokana na vile ambavyo alinijibu.


“Sasa unacheka nini?”


“Una maneno wewe!”


“Mimi tena”


“Sasa mimi nakwambia nina jambo we unanambia nilijambe”


“Eeh, kama una jambo we jamba tu” alisema dada Bupe huku akisuuza jagi la kuhifadhia juisi.


“Hivi mimi nina utoto gani ukiniangalia?” nikahoji.


“Kivipi labda?”


“Kivyovyote vile”


“Mi nakuona mkubwa mwenzangu, huna utoto wowote”


“Sasa basi nikuchekeshe”


“Haya nivunje mbavu mwanamke mwenzio”


“Siku moja kaka Imran alikwenda hukoo kazunguuka akarudi na zawadi”


“Zawadi za nani?”


“Kaniletea mimi”


“Enhee”


“Basi nilipozifungua ndani nilicheka!” nikazungumza huku nikijichekesha kwa lazima na mwisho nikajikuta nikicheka ukweli kiasi cha kunifanya nipaliwe na mate.


“Sasa mbona unakufa mbavu mwenyewe mimi sijapewa ucheshi huo?” dada alizungumza huku akitabasamu. Nilijitahidi kuacha kucheka na kuendelea kuzungumza.


“Basi bwana”


“Haya nipe basi mwenzio nina hamu”


“Unajua vinguo vya wa toto? Yaani havinienei kabisaaa” nikazungumza na kucheka huku dada naye akiangua kicheko.


“Sasa imekuwaje Imran naye akakuletea vinguo vya watoto?”


“Yaani dada we acha tu”


“Kwahiyo umevifanyaje?”


“Nivifanye nini? Vipo ndani, nasubiri nikienda kwetu niwapelekee watoto wa ndugu zangu”


“Kwani vipoje si uniuzie mimi nina mtoto wa dada yangu ni mdogo”


“Yaani kale kamoja ni kasketi, nikikavaa kanaishia huku kwenye mapaja, na kale kengine ni kablauzi lakini na kenyewe huku mgongoni kapo wazi yaani vimkanda viwili tu ndio vimepita humu kwenye mabega” nikazungumza kwa kusisitiza na vitendo.


“Mnh! Una uhakika hizo nguo ni za kitoto?” dada Bupe aliacha kusugua yombo na kunihoji kwa makini.


“Kweli dada Bupe, yaani ukiziona mwenyewe utabroo”


“Hebu kazilete, si umesema zipo ndani?”


“Ngoja nikakuletee” nilizungumza na kuinuka pale kwenye kiti na kuelekea nyumbani mbio.


Niliona kulikuwa na ulazima wa kituko kile kushea na mtu ili nipate wa kushangaa na kucheka nye. Hata wewe ndugu msomaji ungeshangazwa na vituko vile, nakwambia ungeviona hivyo viwalo utafikiri alikuwa amenunuliwa mwanasesere.


Baada ya dakika kama mbili hivi nilirejea nikiwa nimekamatia zile nguo nilizokuwa nimenunuliwa na kaka Imran. Dada alizipokea kwa hamu kubwa na kuzifunua moja baada ya nyingine akianza na ile sketi. Aliitazama kwa makini na kuipindua pindua nyuma na mbele.


“Mnh! Nguo zenyewe ndio hizi?” dada alihoji kwa mshangao.


“Si nimekwambia mimi, yaani ni vituko”


“Hebu na hiyo” dada alisema huku akiitupia begani ile sketi na kunyoosha mkono kupokea ile blauzi niliyokuwa nimeishika.


“Yaani hiki ndio kichekesho kabisaaa” nikazungumza huku nikicheka cheka.


Dada Bupe aliitazama kwa makini blauzi ile na kuigeuza geuza. Aliinua macho yake na kunitazama usoni kwa kama vile kunakitu alikuwa anakishangaa.


“Basi mwenzangu hivyo ndivyo viroja nilivyoletewa na huyo kakaangu mimi” nilizungumza huku nikiketi na kuchukua ungo wa njegere kuendelea kuchambua. Dada alikuwa bado akinikodolea macho kwa mshangao utafikiri nilikuwa nimefanya kitu gani sijui cha ajabu.


“Mdogo wangu una masihara wewe!” dada Bupe alizungumza kwa upole.


“Sio masihara dada, we mwenyewe si unaona vituko hivyo”


“Eh! Mbona haya tena makubwa!” dada alizungumza kwa kuonekana kuchoka.


“Makubwa tena sio kidogo bali ni maburungutu” nikaongezea nikiamini alikuwa ananisapoti maneno yangu.


“Mdogo wangu, kaka yako sio mjinga” dada Bupe alizungumza kwa upole.


“Kumbe ni chizi, hata mimi nilijua tu?” nikazungumza.


“Yaani mambo haya yanaendana kabisa na hilo umbo lako”


“Eboo! Dada nawewe”


“Kweli mdogo wangu yaani kwa taarifa yako hapa mjini hatuvai magunia kama unavyojifunika wewe muda wote” alisema dada Bupe huku akionekana kumaanisha kwa alichokuwa anakizungumza.


“Yaani mimi navaa magunia?” nikahoji kwa kuhamaki


“We mwenyewe huoni? Kwa taarifa yako warembo huwa hatufichi vile tulivyobarikiwa na mwenyezi mungu” alisema dada Bupe.


“Mnh” nikaguna kwa mshangao


“Sasa unaficha unamfichia nani? Tena kama wewe vile ulivyo, nakwambia ukitupia vitu hivi mwenyewe utajikubali. Hapa mjini mama” dada Bupe alizungumza na kunirushia vile vinguo na kuelekea kwenye vyombo vyake kuendelea kuviosha.


Nilizinyaka zile nguo kisha kwa mshangao wa hali ya juu nikawa namtazama dada Bupe. Nilivuta pumzi na kuzitoa kwa nguvu, nilidhani dada Bupe angeniunga mokono kumbe naye akili zake zilikuwa hazimtoshi kama kaka Imran.


“Lakini dada umeona nikivaa ninavyo chekesha?” nilizungumza kwa upole na umakini baada ya kukosa wa kuniunga mkono.


“Acha ubwege we mtoto wa kitanga”


“Dada kumbe we hujaniona ngoja nivae unione jinsi ninavyokuwa mwanasesere” nikazungumza huku nikiinuka na kuelekea jikoni. Nilivaa vinguo vile vya ajabuajabu na kujitazama mara mbilimbili. Nilipobaini kuwa sikuwa nimependeza nilichukua kanga yangu na kujifunga kiunoni kisha nikatoka nje.


Dada Bupe aligeuza shingo kunitazama. Nilipeleka mikono yangu usoni huku nikicheka cheka kwa aibu.


“Sasa hilo likanga la nini? Hebu fungua huko” alisema dada Bupe.


“Haa dada wewe!” nilizungumza kwa mshangao.


Dada Bupe alinifuata haraka sana na kuivuta ile kanga niliyokuwa nimejifunga kiunoni.


“Aaaah dada” nilipiga kelele lakini hazikusaidia kwani dada alikuwa tayari amekwisha nivua kanga ile. Mtoto wa watu nikabakia nimeziba macho kwa aibu.


“Unaona sasa wacha wehu wewe mtoto umependeza”


“Dada mwenzako siwezi kukaa hivi”


“Hebu ondoa ujinga wako hapa, we unadhani mimi ningebahatika kuwa na umbo kama lako ningelifichaficha kama unavyofanya” dada alizungumza huku akielekea jikoni kupeleka ile khanga yangu aliyokuwa amenivua.


“Dada bwana nipe kanga yangu mwenzio nivae” nilizungumza kwa sauti ya kudeka huku nipigapiga miguu chini.


Tulipokuwa tukiendelea kubishana mimi na dada nilisikia muungurumo wa gari ukielekea getini kwetu. Niliamini alikuwa ni Fadhili amerudi kwaajili ya kupata chakula cha mchana. Niliingia jikoni mbio kwa lengo la kwenda kubadilisha zile nguo nilizokuwa nimezivaa lakini nilipofika jikoni sikuweza kuamini. Dada Bupe alikuwa amezihamisha nguo zangu na kuzificha.


“Dada nguo zangu ziko wapi nivae?” nikahoji huku nikitafuta hapa na pale mle jikoni mwake.


“Uvae kwani hapo ulipo upo uchi?” dada alihoji huku akiendelea na kazi zake akiwa hana hata chembe ya wasiwasi. Kule nyumbani gari ilikuwa ikiendelea kupiga honi. Kwa kiasi Fulani nikahisi kukasirika na kutamani kulia.


“Dada usinifanyie hivyo mwenzio nataka kwenda kufungua geti” nilizungumza kwa sauti ya kubembeleza masikini ya mungu lakini dada Yule hakuonesha kunijali hata kidogo.


“Nenda bwana mwenzio anataka kufunguliwa geti huko” Dada alizungumza huku akianika kitambaa kidogo cha kufutia meza.


Kutokana na kelele za honi kuzidi ilinilazimu mtoto wa watu kutimua mbio kuelekea nyumbani kufungua geti.


Nilipofika getini sikuweza kuamini macho yangu, kumbe hakuwa Fadhili kama ambavyo nilifikiria. Alikuwa ni kaka Imran. Nikazidi kupatwa na mshituko hasa kutokana na zile nguo ambazo nilikuwa nimezivaa.


Kaka Imrana aliniona nikitokea kwa Bupe, hakuweza kuamini macho yake. Nilimuona akivuta pumzi ndefu na kuzitoa. Macho yake hayakubanduka kwangu hadi nilipofika geniti na kasheshe ikaja pale nilipokuwa natakiwa kufungua komeo la juu. Nilipoinua mkono wangu juu ile blauzi yangu ilipanda na kupelekea sehemu za tumbo langu kuonekana.


Kaka Imran alinikazia macho sehemu za kati hasa huanzi kwenye kiuno na kushuka chini. Kale kamzigo kangu ka madafu ya uwani kalifanya kasketi nilikokuwa nimekavaa kabinuke juu mithili ya breki ya trekta. Alipoteremsha macho yake chini kidogo alikutana na guu la nguvu lililokuwa limenona na kuvutia zaidi hasa kutokana na rangi ya ngozi yangu laini. Nilipofungua geti kaka Imran akawa bado ameduwaa akinikodolea macho. Nilimpa ishara ya kuingia lakini utafikiri alikuwa hanioni kumbe macho yake yalikuwa kwangu.



Kitendo cha kaka Imran kunikodolea macho sana kilinifanya nijitazame mwenyewe. Nikabaini nilikuwa kama vile sikuwa nimevaa nguo kutokana na namna ambavyo vinguo vyenyewe vilivyo. Sasa kama mjini kuvaa vile ilikuwa ni kawaida sasa kwanini kaka Imrani anishangae kiasi kile? Nikajiuliza swali ambalo jibu lake sikuwa nalo.

“Kaka ingia” nilipaza sauti ya wasiwasi.

Nikamuona kaka Imran akishituka utafikiri nilikuwa nimemshitua kutoka usingizini. Aliwasha gari na kuingia ndani. Nilifunga geti haraka sana na kugeuka kwa lengo la kukimbilia ndani kwenda kuvaa mavazi ya stara.

“Mwantumu” kaka Imran alipaza sauti baada ya kuniona nikielekea ndani.

Nikahisi nguvu zikiniishia niliposikia sauti yake. Niligeuka nyuma na kumtizama pasipo kuitika.

“Hebu njoo” kaka Imran akaniita nirudi kule alipokuwa amepaki gari.

Moyoni nikajiwa na dukuduku kubwa sana huku nikilaani kitendo alichokuwa amenifanyia dada Bupe. Nikajuta kumfahamu.

Nilitembea kwa mwendo wa haraka huku nikijifananisha na katoto ka nyani ambako hakakuzoea kuvaa nguo. Nilijitazama tena kifuani na kuzidi kuchanganyikiwa baada ya kuona kiasi kikubwa cha mashina ya madafu yangu yalikuwa wazi.

“Hakuna siku uliyonifurahisha kama leo” alisema kaka Imran mara tu nilipomkaribia. Sikutoa jibu lolote wala kuuliza swali lolote ingawa sikuwa nafahamu nilikuwa nimemfurahisha kwa lipi. Mavazi niliyokuwa nimeyavaa yalinichanganya kabisaa na kunifanya niwe kama mjinga.

“Yaani umependeza, utafikiri malaika” alizungumza kaka Imran huku ameegemea mlango wa gari yake ambao ulikuwa wazi. Niliinamisha macho yangu na kujitazama kwenye kale kasketi. Muonekano wa mapaja yangu ulinipotezea amani kabisa. Nikahisi kaka Imran alikuwa ananikejeli.

“Nipe siri ya urembo wako mama” alisema kaka Imrani huku akitabasamu

“Abee” nikaitika kwa aibu.

“Sasa mrembo kama wewe, kule kijijini ulikuwa unasubiri nini?” alizungumza kaka Imran huku akinikodolea macho hasa maeneo ya kwenye madafu yangu madogo ya kifuani na kushuka chini. Nilisimama na kuinamisha shingo chini. Kwa aibu niliyokuwa nayo sikuweza kumtazama kaka yule usoni.

Kaka Imran akanisogelea na kunishika kwenye mabega huku akinikodolea macho usoni. Masikini ya mungu kitoto cha watu nikawa kimya uso chini utafikiri nilikuwa nimejichafua kwa haja kubwa hadharani.

“Tumu” akaniita kwa sauti ya chini.

“Abee”

“Unajua kuwa wewe ni mzuri sana?”

“Abee” nikajifanya kuitika huku aibu ikiwa menijaa pomoni, pamoja na kwamba nilikuwa naona aibu lakini ile kauli yake ya kuniambia mzuri kusema kweli ilininogea sana. Nikatamani sana Fadhili ndio angenitamkia maneno kama yale, lakini haikuwa hivyo.

“Nataka twende wote kazini” kaka Imran alizungumza kwa sauti kavu.

“Aka mi naogopa”

“Unaogopa nini sasa wakati upo na mimi?”

“Je mama akirudi sasahivi”

“Wala hatuchelewi kurudi”

“Mi naogopa”

“Haya basi nenda ndani ukaniletee mkoba wangu mweusi” kaka Imran akanambia. Kwa kiasi fula nikashukuru sana kuondoka pale mbelaya macho ya mwanaume yule na kuingia ndani.

“Upo kwenye nini?” nilihoji huku nikivuta hatua kuingia ndani.

“Nenda chumbani kwangu chini ya kabati” akanambia kaka Imrani huku akinikodolea macho jinsi nilivyokuwa nikitikisa kamzigokangu ka nyuma hasa kutokana na kale kanguo kafupi nilikokuwa nimekavaa.

Moyo wangu ulisita kidogo kwasababu haikuwa kawaida yangu kuingia chumbani kwa kaka Imrani. Afadhali hata kwa kaka Fadhili nilikuwa naingia kumfanyia usafi mara kwa mara. Lakini kaka Imran mara zote alikuwa akifanya mwenyewe usafi chumbani mwake. Hivyo sikupata nafasi ya kuingia chumbani humo. Hata hivyo kwakuwa alikuwa amenituma mwenyewe sikuwa na namna nikaenda.

Nilifungua mlango kisha mojakwamoja nikaelekea kwenye kabati lile na kuangalia kwenye droo. Masikini nikiwa sina hili wala lile na kale kanguo kangu niliinama na kuacha utamu huku nyuma ukionekana. Sikuwa na wasiwasi kwakuwa niliamini nilikuwa pekeyangu chumbani mle.

Kaka Imran aliingia ndani taratiibu na kusimama kwenye mlangowa wa chumbani kwake. Alikuwa akinitazama namna ambavyo mtoto wa kike nilikuwa nikijimwayamwaya mbele ya macho yake. Sijui kama yale maeneo yake mengine yalikuwa salama, maana nilikuwa nimebarikiwa mtoto wa kitanga.

“Tumu” kaka Imran aliita kwa sauti ya chini na kunigutusha.

“Uuuiii! Kaka Imran” nikashituka na kuruka kwa kusimama.

“Enh pole jamani, kumbe muoga hivyo”

“Haa we kaka Imran umenishitua” nikalalamika mtoto wa kike kwa aibu. Sikupenda kaka Imran anione nilivyoshikuta kwa woga.

“Samahani, basi haya nitolee”

“Mie siuoni” nikajibu kwa ufupi.

“Wacha masihara bwana, hebu tazama hapo kwenye kabati la chini” alizungumza huku macho yake yakiwa kwenye madafu yangu ya kifuani. Niliinama na kuchungulia kwenye lile kabati. Nilikuwa nimesahahu kabisa kama nguo nilizokuwa nimevaa hazikuwa za kawaida na kumuachia tena utamu kule nyuma kaka wa watu.

Nikiwa najitahidi kutafuta tafuta kwenye kabati lile nikahisi kushikwa kiunoni na kunifanya nishituke kwanguvu. Kaka Imrani alinidaka kisha kwa kitendo cha haraka sana akanichota na kuniweka kitandani, kabla sikujitambua alipeleka midomo yake na kunyaka dafu langu la kushoto na kulinyonya.

“Oooh! kaka Im..ngoja….nitakup…atia mwenyewe” Sikujitambua nilichokuwa nakizungumza kutokana na kile kitendo cha kubana dafu langu kwa lipsi zake na kulinyonya.

Mikono ya kaka Imran Ilitembea kwa haraka sana sehemu za mapaja yangu hadi kushuka chini nyuma ya magoti.

“Assssccscc!! Ngoja…kaka…wewe….tara…taratata!” sikumbuki nilikuwa nataka kuzungumza nini lakini hayo ndiyo maneno niliyokuwa nayatoa. Siwezi kumsifia sana kaka Imrani kwasababu sikuwa nimekubaliana naye kufanya kitendo kile, lakini kama ningekuwa nimekubaliana naye, basi ningesema kuwa anayajua majambozi. Kwa mwanzo ule tu niliweza kubaini mwanaume yule alikuwa ni mtaalamu wa mambo.

Sauti ya honi ya gari getini ilitushitua na kumfanya kaka Imran kuniachia haraka kabla ya kufanikisha kile alichokuwa amekikusudia. Na mimi kwa haraka ileile nikachomoka chumbani mle ambako tangu nilipokuwa nimefika nyumbani pale nilikuwa sikuwahi kuingia. Moja kwa moja nilikwenda getini na kufungua huku nikiamini kuwa alikuwa ni kaka Fadhili. Kumbe sikuwa sahihi kifikra kwani aliyekuwa akipiga honi alikuwa ni baba.

Baada ya baba kuingia nilifunga geti na kukimbia haraka ndani kwa lengo la kwenda kubadilisha nguo. Lakini nilipofika kwenye korido nikakutana na kaka Imran akitoka na ule mkoba wake aliokuwa amenituma nimtafutie. Kusema kweli mwenzenu niliona aibu sana nikajiinamia na kutamani nipishane naye pasipo kutazamana naye usoni.

“Sasa mrembo” kaka Imran alinisemesha na kunifanya nisimame.

“Abee” nikaitika.

“Jioni usifunge mlango basi nataka nije nikupe mautamu” akanambia.

Namie kwakuwa nilitaka kupishana naye haraka nikatikisa kichwa kukubali. Tukaachana naye akatoka nje nami nikawa nataka kuelekea chumbani kwangu lakini kabla sikufika chumbani baba aliniita.

“We Tumuu”

“Abee baba’

“Hebu njoo”

Baba alikuwa ameniona pale nilipokuwa nimesimama hivyo ikawa ngumu kumpuuza na kuingia chumbani kwangu. Nikavuta hatua kumfuata kule sittingroom. Kaka Imran alisalimiana na baba Kisha akatoka na baba akaenda kuketi kwenye kochi.

“Shikamoo baba” nikasalimia kwa wasiwasi kutokana na mavazi niliyokuwa nimevaa.

“Marahaba hujambo” baba aliitikia pasipo kuonekana kujali yale mavazi niliyokuwa nimevaa.

“Sijambo baba”

“Ebu niletee maji ya kunywa ya baridi sana” baba aliagiza huku akijiweka vizuri kwenye kochi.

“Nilikwenda kwenye kabati ambalo lilikuwepo palepale sittingroom kwa lengo la kuchukua glasi. Kumbe kule nyuma baba alikuwa akinitazama nilipokuwa nainama. Masikini ya mungu mzee wa watu akajikuta akiasama mdomo baada ya kuona kamzigo kangu kakiwa kamesitiriwa kihasarahasara.

“Mungu wangu!” alihamaki huku akiuma meno na kuweka nne kwa mguu wa kulia kuupandisha juu ya mguu wake wa kushoto.

Nilitoa glasi kwenye kabati na kumimina maji kutoka kwenye dumu moja lililokuwemo kwenye friji na kumpelekea baba. Kitu kilichonishangaza ni kwamba wakati nampa maji yale macho yake yalikuwa yametua kwenye kifua changu ambacho kutokana na nguo niliyokuwa nimevaa baadhi ya sehemu za madafu yangu zilikuwa wazi.

‘Baba” nikamuita

“Naam mwanangu” baba alishituka.

“Maji haya”

“Asante sana” Alijibu baba nakupokea maji.

Wakati baba alipokuwa anapeleka kinywani birauli ile nikaona ni vyema nitumie mwanya huwo kwenda kubadilisha nguo.

“Tumuuu” baba akaniita.

“Abee” nikaitika na kurudi.

“Unakwenda wapi sasa?”

“Nakwenda ndani”

“Kufanya nini hebu njoo uketi hapa” baba alizungumza huku akinielekeza kwa mkono kuketi pembeni mwake.

“Mungu wangu nini tena hiki!” Kusema kweli moyo wangu ulisita, lakini ningetoa sababu gani ya kukataa kuketi naye wakati yeye ni baba yangu, pamoja kwa kwamba hakuwa baba wa kunizaa lakini ndani mle yeye ndo alikuwa baba yangu.

Masikini ya Mungu kibinti cha watu cha kitanga nikaenda kuketi pembeni mwa baba. Kale kasketi nilikokuwa nimekavaa kakazidi kupanda juu na kuzidi kuonesha sehemu kubwa ya mapaja yangu. Nilitamani ardhi ipasuke niingie na kufia humo.

“Umependeza sana leo mwanangu, kumbe nguo kama hizi na wewe unavaa?” baba alizungumza huku akinikata jicho kwenye mapaja yangu. Nikabaki kimya huku nikihofia kumwambia kuwa nguo kama zile huwa sizivai na siku ile ilitokea tu kama ajali.

“Halafu mwanangu kumbe wewe ni mrembo kiasi hiki?” baba alizungumza huku akiegemea kochi na kuweka mkono mmoja nyuma yangu.

Mwenzenu nikajawa na hofu na kuhisi kuwa lile lilikuwa ni jaribu lingine lilikuwa likinikimbilia. Nikabaki nikichekacheka usoni huku ndani ya moyo wangu kukiwa kumejaa hasira dhidi ya dada Bupe, maana yeye ndiye aliyesababisha yote yale yatokee.



“Mbona hunijibu mtoto mzuri” baba alizungumza huku mkono mwingine akiupeleka kwenye shavu langu la kushoto na kulipapasa kamavile kulikuwana kauchafu anakaondoa . Mkono ule wa baba uliteremka taratiibu hadi kwenye usawa wa madafu yangu ya kifuani na kutulia. Nikahisi mapigo ya moyo yakinienda mbio. Nikaushika ule mkono wake na kujaribu kuuondoa lakini baba alipoutoa kifuani pangu mojakwamoja aliuweka juu ya paja langu la kulia na kuanza kunipapasa taratiiibu. Nikahisi kama vile natambaliwa na wadudu ndani ya ngozi yangu. Nikakaza misuli kujizuia nisionekane kama nilikuwa nasisimka.

“Kwanini leo umechelewa kuamka?” Baba alihoji kuku ule mkono wake pale kwenye paja langu ukiendelea kutambaa na kukivutavuta kile kisketi nilichokuwa nimekivaa.

“Heti mtoto mzuri mwenye umbo la mvuto, mbona hunijibu?” baba akahoji tena na ule mkono wake kuupandisha maeneo ya tumboni baada ya kuniona nimetulia.

Katika mwili wangu hali ilizidi kuwa mbaya kwakweli, nilishindwa kujizuia na kuushika ule mkono wa baba na kuuinua kuuweka pembeni.

“Sasa mbona unatoa mkono wangu, kwani kukugusa kuna ubaya?” baba alizungumza huku akinitazama usoni kwa tabasamu la mahaba. Ule mkono wake uliokuwa juu ya kochi kwa nyuma yangu aliuteremsha na kunishika kwenye mabega.

“Baba mi naogopa” Nikazungumza kwa wasiwasi huku mapigo ya moyo nikihisi yakienda kasi zaidi.

“Unaogopa nini sasa, kwanza vipi mshahara unaopewa unakutosha?” Baba akahoji. Nikatikisa kichwa kukubali kuwa mshahara niliokuwa nalipwa ndani mle ulikuwa unanitosha.

“Unalipwa shilingi ngapi?”

“Elfu Arobaini” nikajibu huku nikitazama pembeni.

“He! Kwanini? Mbona mimi sijui kama unalipwa kiasi kidogo hivyo?” Baba akajifanya kushituka, heti alikuwa hafahamu kiasi cha pesa ambazo nilikuwa nalipwa kama mshahara wangu.

“Sijui” nikazungumza huku nikichezea vidole vya mikono yangu.

“Sasa sikiliza mtoto mzuri” baba alizungumza na kurudisha tena mkono wake pale kwenye paja langu. Kwa kiasi fulani nilishituka ingawa niliweza kujizuia baba asigundue hali ile.

“Nitazame basi” alisema huku akiinua kichwa changu nimtazame machoni. Nikajaribu ingawa aibu niliyokuwa nayo ilikuwa haipimiki nikajikuta nikirejesha machoyangu chini.

“Nitakulipa shilingi laki moja kila mwezi” baba alinambia.

Nikajikuta kama vile nilikuwa nimepigwa na shoti ya umeme kwa jinsi nilivyoshituka na kumtazama baba usoni. Nikawa siamini kwa ambacho nilikuwa nimekisikia.

“Ndio, Nitakulipa hivyo. Na ukinifurahisha zaidi nitakuongezea kila mwezi shilingi Elfu Ishirini” baba alinambia. Furaha ilijijaa na kunikuta nikishindwa kujizuia kuionesha mbele ya baba.

“Kweli baba? Inawezekana kweli?”

“Kwanini isiwezekane?”

“Asante sana baba, Mungu atakuzidishia” nilizungumza huku nikisimama na kurukaruka. Woga wa kuvaa vinguo vya nusu uchi nikajikuta nimeusahau. Nilitembea hapa na pale sebleni pale kuonesha namna ambavyo nilikuwa nimefurahi.

“Hebu njoo basi, hatujamaliza mazungumzo yetu” baba aliniita.

Nikaenda kuketi pembeni yake huku nikitamani kumkumbatia na kumshukuru, lakini kwakuwa sikuwa nimezoea kufanya hivyo nikatulia kwenye kochi.

“Sasa sikiliza mtoto mzuri.”

“Ndio baba”

“Kama nilivyokwambia kuwa nitakuongezea mshahara, ila naomba unisaidie kitu kimoja” akanambia huku akinikazia macho kiasi cha kunifanya nitazame pembeni.

“Sawa baba haina shida we nambie tu mi nitakusaidia chochote kile ambacho nakiweza” nikazungumza kutokana na furaha ambayo nilikuwa nayo.

“Kweli?”

“Haki ya Mungu vile”

“Haya basi hauna ulazima wa kuapia Mungu, sasa nisikileze kwa makini”

“Sawa baba” nilijibu na kuketi vizuri pale kwenye kochi.

“Mshahara nitakao kuongeza nitakuwa nakulipa mimi, lakini mama yako naye atakuwa anakulipa mshahara wako wa siku zote”

“He inamaa na nitakuwa nalipwa mara mbili kwa mwezi mmoja?” nikahoji kwa mshangao uliochanganyikana na furaha.

“Haswaa, Ila mshahara ambao nitakuwa nakulipa mimi sitaki mtu yoyote humu ndani ajue” baba alizungumza kwa msisitizo lakini kwa sauti ya chini.

“Hata mama?” nami nikahoji.

“Nimekwambia mtu yeyote”

“Sasa kwanini mama asijue?” nikahoji kwa mshangao

“Au we hutaki kuongezewa mshahara?” Baba alihoji huku akijifanya kukasirika kidogo.

“Nataka baba, naomba unisamehe” nikaomba radhi, chezea kuongezewa mshahara weye! Kama imekuuma mimi kuongezewa mshahara utajiju!

“Haya sogea huku nikwambie” Baba alizungumza huku akinivuta mkono nisogee zaidi pale alipokuwa amekaa yeye. Ilikuwa ngumu kidogo kuelewa kwasababu nilikuwa karibu sana, sasa akanambie heti nisogee zaidi. Makubwa!

Kwakuwa nilihofia kumuudhi bosi wangu ambaye alikuwa amepanga kuniongezea mshahara mtoto wa kike nikasogea. Nilipofika karibu zaidi baba alinishika nyuma ya shingo na kuniinamia huku mkono wake mwingine ukinipapasa kwenye mapaja yangu.

‘Oohhh! B a b a a a!’ Nikashituka zaidi ule mkono wake uliokuwa kwenye mapaja yangu ulipoamia maeneo ya kifuani na kushika madafu yangu.

“Pole mtoto mzuri” baba alinambia huku akisogeza kichwa chake karibu zaidi na uso wangu. Ndevu zake zikanichoma kwenye kifua na kunifanya nihisi kama vile nilikuwa natekenywa.

“Ngoja….gonja….Subia…..Ooh aaah baba taaaminaa” Nilizungumza maneno ambayo sikuyafahamu hadi leo yalikuwa ni ya lugha gani ingawa maana yake nilikuwa naifahamu, sina uhakika sana lakini nahisi nilikuwa nayafahamu ingawa ukiniuliza sielewi nilikuwa namaanisha nini.

Kusema kweli jamani sikuwa vile kwa kupenda, bali mikono ya baba yule ambaye kwa kumtazama ungesema ni mtu mzima ilikuwa ikinitia wazimu. Mikono ilikuwa na chaji utafikiri nyaya za umeme bwana.

“Usijali mtoto mzuri, nitakufanya uishi kwa raha hapa nyumbani na ikiwezekana nitakupandisha cheo na kukupangia nyumba yako na nitakuletea mfanyakazi na wewe” baba alizungumza huku tayari midomo yake ikitambaa maeneo ya kwenye mashina ya madafu yangu ya kifuani. Masikini ya mungu mtoto wa watu nikajikuta nikidata. Utundu wa baba ulikuwa umezidi ule utundu wa kaka Imran ingawa wote walikuwa wakali.

“Oooshsss! Baba nishike hapa!…..yes!....yes!….hapo!…no!…..yeahmnhm!” mtoto wa watu nikajikuta nikizungumza kizungu utafikiri ndionilikuwa nimeteremka kutoka marekani. Nilijikuta nipo katikati ya ulimwengu wa huba nikielea huku duniani sikuwepo na wala akhera pia sikuwepo.

Baba alipoona nimedata akaongeza vitimbi na manjonjorinjo, masikini ya mungu mtoto wa watu nikalowa chapaaaaa kwa kijasho kilichokuwa kikinitoka. Mtoto wa kike nikaishiwa na nguvu, jicho likanitoka utafikiro roho ndiyo ilikuwa inasepa, joto likakolea mwilini utafikiri nilikuwa nimebanikwa. Hii yote ilikuwa imesababishwa na baba. Jamani baba ni baba, wacha baba aitwe baba, Mnh!

“P i piiiiii” ilikuwa ni sauti ya honi ya gari getini.

Baba alikurupuka na kukimbilia chumbani mbio. Yani ndugu msomaji kama ungepata fursa ya kumuona mtu mzima yule alivyokuwa akitimua mbio, nafikiri ungecheka hadi ufe. Masikini ya Mungu hakuelewa gari iliyokuwa inapiga honi getini ilikuwa ni ya nani. Akilini mwake alihofu sana na kufikiri pengine ingekuwa ni gari ya mke wake Bi Fatma.

Masikini mtoto wa watu nikajizoa zoa pale kwenye kochi na kusimama. Nilipiga hatua mbili nikajikuta nikishindwa kutembea na kujitupa kwenye kochi na kulala chali. Nguvu hazikuwepo kabisa mwilini mwangu. Nikalaani ujio wa gari iliyokuwa ikipiga honi getini. Nikakumbuka mikono ya baba namna ilivyokuwa ikitambaa kwenye ngozi yangu kiufundi na ustadi wa hali ya juu, nikaishiwa nguvu kabisa na kujikuta nikipitiwa na usingizi palepale kwenye kochi

***

Fadhili ndiye ambaye aliyekuwa getini akipiga honi. Alipiga tena na tena lakini hakupata jibu lolote. Aliamua kuteremka kwenye gari na kufungua geti dogo kisha akazunguuka na kujifungulia mwenyewe geti kubwa. Aliingiza gari yake na kuipaki pembeni na pale ilipokuwa imepaki gari ya baba.

Fadhili aliteremka kwenye gari na kuingia ndani. Alikunja kulia kwa lengo la kwenda kuchukua maji kwenye friji. Macho yake yakamtoka pale aliponikuta mtoto wa watu nimelala chali fofofo kwenye kochi mguu mmoja kusini na mwingine magharibi. Ukiongezea na vile viwalo nilivyokuwa nimepiga siku hiyo ndio balaa.

“My God! What is this?” Fadhili alihamaki na kunisogelea karibu zaidi.

Aliruhusu macho yake yautarai mwili wangu kuanzia kwenye kidole gumba cha mguu wa kushoto na kupandisha juu taratibu. Alipofika maeneo fulani juu ya magoni yangu alikaza macho yake kufaidi kile kilichokuwa kinafanana na sinema. Kwakuwa kale kasketi nilikokuwa nimekavaa kaliishia juu kabisa mbali na magoti kaliruhusu sehemu kubwa ya mapaja yangu kuonekana. Hipsi zilizokuwa zimejichora vizuri zililazimisha macho ya Fadhili kuendelea kunitazama juu zaidi.

“Mama yangu! Huyu ni binadamu au malaika?” Fadhili alizungumza huku akipeleka mkono wake kwenye bunduki yake na kuikamata maana alihisi ilikuwa inataka kumletea ukorofi.

Macho ya Fadhili yalikuwa yamefika maeneo ya juu kidogo ya kiuno changu ambacho kiliachanisha tumbo langu dogo na nyonga yangu pana. Kablauzi nilikokuwa nimekavaa kalipanda juu na kupelekea kitovu changu kilichokuwa na kashimo fulani hivi kamdura kuonekana.

Fadhili alianza kuhisi mapigo ya moyo wake yakiongezeka spidi hasa baada ya kunipandisha juu zaidi na kuona maeneo ya madafu yangu ya kifuani ambayo nayo yalikuwa wazi jinsi yalivyokuwa yametuna. Shingo yangu iliyokuwa na pingilipingili ilimfanya kunitazama usoni ili kufaidi zaidi. Midomo yangu mipana kidogo na iliyoonekana kuwa myekundu kutokana na rangi ya ngozi yangu ilizidi kumchanganya mtoto wa watu. Akakumbuka maneno niliyomwambia asubuhi kuwa anyonye madafu yangu halafu yeye akajifanya mgumu na kuingia mitini. Udenda wa tamaa ulimtoka na kujikuta akichafua nguo masiki ya mungu.

“Nakaona katoto kumbe kanavutia kiasi hiki” Fadhili alijisemea huku akipumua kwa nguvu.

Uzalendo ukamshinda kijana yule na kunisogelea zaidi pale kwenye kochi. Aliinama na kunipiga busu kifuani. Nilishituka kidogo lakini nilipomuona Fadhili nIkatulia na kujikuta nikitetemeka. Siku zote nilikuwa natamani sana kitendo kile kitokee kati yangu mimi na Fadhili. Sasa mwenyewe alijileta na kunipiga busu la kifuani.





“Mbona umelala kihasara hasara hivyo?” Fadhili alihoji huku akiketi kwenye kochi nililokuwa nimelala. Alichukua miguu yangu na kuipakata kwenye mapaja yake. Nikapeleka mkono wangu na kujifanya najiziba heti asinichungulie.

“Mbona umechelewa kurudi?” nikahoji kwa kudeka.

“Ndio nimechelewa we asubuhi si umeninyima chai” alizungumza Fadhili huku akinitazama kwa kuibia kwenye mapaja yangu.

“Mnh we muongo, mi si nimekupa maziwa ukakataa”

“Sasa hayo maziwa yako yana kitu kweli?” Fadhili alihoji huku akinitazama kifuani kwenye madafu yangu yaliyokuwa yametuna kiuchokozi.

“Haa ungenyonya ili uamini” nikazungumza kwa sauti ya huba ambayo tayari ilikuwa imekwisha chongwa ikatiwa nakshi na baba kwa kushirikiana na kaka Imran. Yaani alichokuwa amebakiza Fadhili kilikuwa ni kama kumsukuma mlevi.

“Nipe basi ninyonye sasahivi” Fadhili alizungumza kwa uchu.

“Nyonya” nikamjibu kwa ufupi.

“Kweli?”

“Unaniuliza mimi wakati wewe ndiye unayetaka kunyonya?” Nilizungumza huku nikigeuza shingoyangu pembeni kumuachia ajiamulie mwenyewe.

“Mnh! Vipi baba amerudi muda mrefu enh?” alihoji kwa sauti ya chini huku akitazama upande ambao chumba cha baba kilikuwepo.

“Shauri yako” nikamjibu kwa sauti yangu ya kubembeleza mtoto wa kike.

“Twende chumbani kwangu basi” Fadhili aliniambia.

“Akaaa mie naogopa” nikajishaua huku nikijiinua pale kwenye kochi na kukaa kitako. Nilikuwa namtamani sana Fadhili, sijui hata imekuwaje hata siku hiyo akalainika mwenyewe kiulainiii.

“Sasa unaogopa nini mrembo?” alihoji huku akinisogelea na kunishika kiuno.

“Kwani hapahapa huwezi kunyonya?”

“Si unajua mzee yupo bwana?”

“Mzee ndo anakukataza kunyonya?”

“Mnh! Naona unanitesa tu mwenzio”

“Nakutesa na nini sasa?”

“Si njaa”

“Kama njaa inakuuma si uende mezani nimeshaandaa chakula?”

“Sitaki chakula chako”

“Kumbe unataka chakula cha nani?”

“Nataka kunyonya maziwa” Fadhili alizungumza huku akichezesha chezesha miguu kwa kupiganisha mapaja yake na macho yake yakiwa kifuani kwangu huku midomo yake akiig’atang’ata kwa hamasa.

“Maziwa gani?”

“Si hayo hapo! Ona yanavyo vutia”

“Mnh Fadhili wewe!”

“Sijui nani kakuambia kuwa ukivaa hivyo huwa unapendeza. Leo umenifurahisha sana Mwantumu, uwe unavaa hivihivi” Fadhili alizungumza huku nikimuona akimeza mate ya tamaa kwenye koromeo lake.

Maneno ya Fadhili yalinifanya nijihisi kama vile nilikuwa nimemwagiwa maji yabaridi mwilini. Kusema kweli nilikuwa nampenda sana mwanaume yule lakini yeye ndio alikuwa anajifanya haelewi. Sasa nikaona siku ile mwenyewe ameingia mtegoni. Kwa kiasi fulani nikaanza kumshukuru dada Bupe kwa ushauri wake wa kuvaa nguo zile na kunifichia nguo zangu za heshima.

“Nikwambie Fadhili” Nilizungumza huku nikimshika kidevu.

‘Enhe….”

“Twende chumbani kwangu” nikazungumza kwa sauti ya kubembeleza

“Inuka basi twende” kaka Fadhili alionekana kama vile alikuwa amechanganyikiwa. Aliniinua na niliposimama akanipiga busu la kwenye midomo. Nikahisi mwili ukisisimka. Nikamkumbatia na kumbana kwanguvu.

“Oooooh!...... Tumuuu!” nikamsikia akitamka maneno hayo kwa sauti ya kutokea kooni na kuzuiwa kidogo kwenye ulimki kabla ya kuachiwa taratibu kwenye midomo yake. Kama nilivyofanya mimi na yeye akanivuta na kunibana zaidi huku mikono yake ikiwa imekikamata vyema kiuno changu.

Pumbavu kabisa, nikajikuta nikikasirika ghafla na kunga’ta meno yangu kwa hasira.

Ndugu msomaji huwezi kuamini hii sasa ni mara ya tatu, kila jaribio la mauaji lilipokuwa likitaka kutokea honi za magari zilikatisha zoezi. Na hivyo ndivyo ilivyokuwa nilipokuwa na Fadhili.

Sote wawili tulishituka kutoka kwenye lile pozi tulilokuwa tumekaa na Fadhili. Tulikurupuka mithili ya paka aliyefumwa akiramba kijungu cha mboga jikoni. Nilimuona Fadhili akikurupuka na kuelekea chumbani kwake. Namimi kwa haraka sana nilijiinua na kuuendea mlango wa jikoni ambako nilitoka nje na kuelekea nje kufungua geti.

Nilikuwa kama vile zezeta, sijui teja, au zombie kutokana na akili yangu pamoja na uchovu niliokuwa nao kutokana na shughuli ambazo nilikuwa nimekabiliana nazo tangu asubuhi ya siku hiyo.

Nilipofungua geti mama aliingiza gari na kupaki kisha akaniamuru nisiondoke. Niliogopa sana hasa kutokana na mavazi ambayo nilikuwa nimeyavaa yalikuwa ni tofauti na yale ambayo mama alizoea kuniona nayo. Lakini pia hali yangu niliyokuwa nayo nikahisi pengine angenishitukia kwa kujaribu kuvunja amri ya sita na wanaume wa familia ile.

Mama Alipoteremka kwenye gari alinitanzama kwa jicho la udadisi huku akiwa ameshika kiuno na funguo za gari ameningi’iniza kwa kuzizunguusha kwenye kidole cha kati mkono wa kushoto.

“Mwantumu” akaita kwa sauti ya chini.

“Abee mama” nikaitika kwa heshima huku macho yangu yakiangalia chini kwa aibu. Nilikuwa nahisi kama vile purukushani zote zilizofanyika ndani mle kuanzia asubuhi mama alikuwa ameniona, kumbe ulikuwa wasiwasi wangu tu. Nikasikiliza kwa makini alichokuwa anataka kukizungumza mama.

“Hivi naota au ni macho yangu?” alizungumza mama huku akinikazia macho kwa makini zaidi.

“Abee mama” nikaitika kwa wasiwasi huku nikiwa bado kuelewa mama alikuwa anamaanisha nini.

“Wewe ni Mwantumu ninayemfahamu mimi au ni mtu mwingine?”

“Kwanini mama?”

“Unaniuliza kwanini! Umeanza lini kuvaa nguo za hivyo?” Mama alihoji kwa makini na wasiwasimkubwa. Ndio lazima awe na wasiwasi kwasababu alikuwa anaifahamu vizuri sana familia yetu kule kijijini Tanganyika. Hakuwahi kutegemea kama siku moja angeweza kunikuta nikiwa nimevaa mavazi kama yale. Wakati wote alikuwa akiniona nimevaa magauni marefu na kichwani nimejitanda kwa ushungi ama khanga ndefu.

Basi lile swali lake likanifanya nipoteze muelekeo kabisaaa, Nikapeleka mkono kichwani na kujikuna pasipo kujibu kitu. Sasa ningejibu ninindugu msomajihebunisaidie, hakuna.

“Si nakuuliza wewe, au umekuwa kiziwi?” mama akahoji kwa sauti ya ukali kidogo.

“Aam mama..mimi…nina, nina…” nilishindwa hata kujitetea kwa kuzungumza uongo.

“Hee! Hii ya leo kali” mama alizungumza huku akipiga piga makofi kuashiria mshangao.

Nilibaki kimya huku nikiwa nimetawaliwa na aibu na haya. Unafikiri ndugu msomaji ningezungumza nini? Au ningejitetea vipi mbele ya mwanamke yule ambaye yeye pekeyake ndio hakufurahishwa na mavazi yangu, wengine wote waliyapenda na kunisifia nimependeza.

“Kwanza hebu sogea hapa” alizungumza mama kwa msisitizo huku akiniita kwa mdomo pamoja na ishara ya mkono.

Nilishituka kidogo na kumtazama kwa kuibia huku nikijawa zaidi na wasiwasi, nikaona sasa kiama kilikuwa kimenifikia, kiranga chote kwisha, uchovu wote kwisha, ulegevu legevu wote kwisha.

“Hebu niangalie usoni unakwepesha nini?” mama alizungumza huku akinishika kidevuni na kuniinua kichwa changu nimuangalie usoni.

“Haya niambie, umetoa wapi hizi nguo?” mama aliendelea kuzungumza kwa sauti ya chini lakini iliyokuwa imejaa msisitizo na ukali.

Niliinama chini huku nikihofia kumwambia kuwa nilikuwa nimenunuliwa na kaka Imran. Ningeanzia wapi unafikiri kumtaja kaka Imrani? Thubutuu! Hata akili ya kujiongeza nikose.

“Si nakuuliza wewe?” mama alizungumza kwa sauti ya juu zaidi baada ya kuniona nimekaa kimya.

Mungu hamtupi mja wake ndugu msomaji, baba aliweza kusikia mke wake akinihoji maswali yale yaliyokuwa yakihitaji akili nyingi sana kuweza kuyajibu kwa ufasaha.

“Kuna nini tena?” baba alihoji huku akiwa amesimama mlangoni.

“Sekiza mume wangu umeona hiki kituko?” mama akazungumza huku akinioneshea kidole pale nilipokuwa nimesimama.

“Wewe mwanamke unawezaje kumuita mtoto wa mwenzako kituko?” Baba alizungumza kwa sauti kali huku akionekana wazi hakuwa amependezwa na kauli ile ya mama.

“Inamaana unaona sawa tu hivi alivyofanya” mama alihoji huku akiwa amepunguza jazba kutokana na kukatwa makali na mume wake.

“Amefanya nini?”

“Inamaana mume wangu huoni mambo haya anayoyafanya huyu binti, kweli mume wangu?”

“Mambo gani sasa, si uzungumze?” baba akazidi kuzungumza kwa ile sauti yake ya ukali.

“Haya mavazi na Mwantumu ni wapi na wapi?” mama akazungumza kwa kulalamika na kuhisi mume wake alikuwa akimuona mkosaji.

“Ah! Kama ni mavazi si maamuzi ya mtu bwana, utamlazimishaje mtu kuvaa mavazi ambayo hayapendi” Baba alizungumza kwa sauti ya polepole.

“Lakini mume wangu, wazazi wake wakimkuta hivi binti yao si itakuwa uhasama mkubwa?” mama alijaribu kufafanua na kuitetea hoja yake ionekana kuwa na nguvu.

“Hakuna bwana, huyo naye ni mtu mzima anafahamu bayana zuri” Baba aliendelea kuzungumza kwa kunitetea.

Jamani nyie kumbe baba alikuwa na roho nzuri kiasi kile, sikuweza kuamini kwakweli. Kama wababa wote Tanzania wangekuwa na roho kama ya mzee Sekiza, nafikiri nchi yetu ingekuwa na maendeleo. Mungu ambariki baba kwa roho yake ile.

Wakati baba na mama walipokuwa wakiendelea kunijadili, Fadhili naye akafika kutokea ndani na kusimama hatua chache kutokea pale tulipokuwa.

“Heti Fadhili mwanangu, hebu nisaidie hili jambo” mama alizungumza baada ya kumuona Fadhili amefika pale.

“Kuna nini mama” Fadili alihoji kwa wasiwasi baada ya kuniona nimejiinamia kwa wasiwasi mbele ya watu wale.

“Hivi huyu Mwantumu ndivyo alivyokuja hivi?” alizungumza mama.

“Kwani amekuwaje mama?” Fadhili akahoji kama vile hakuwa ameelewa alichokuwa anakimaanisha mama.

“Hizo nguo kule kijijini kwao anaweza kuvaa kweli?” mama alihoji kwa msisitizo.

“Ah kule ni kijijini mother, huku ni mjini mwache aendane na mazingira” Nikamsikia Fadhili naye akizungumza kwa kunitetea.

“Inamaana na wewe unaunga mkono upuuzi huu?” mama akazungumza kwa mshangao.

“Sio hivyo mama, mbona sister Naya anavaa hivyo hivyo?” Fadhili alizungumza kwa kumtolea mfano binamu yake Mainaya.

“Mainaya ni binti yetu, lakini huyu ni mtoto wa watu Fadhili” mama alizungumza kwa msisitizo.

“Mama nawe unapenda ku-complicate mambo ambayo hayana hata maana” Fadhili alizungumza na kumfanya mama kupoteza makali yote aliyokuwa ameingia nayo.

“Njoo uchukue mizingo hii upeleke ndani” mama alibadilisha mada na kuzungumza huku akitoa mifuko iliyokuwa na vyakula ndani na kuiweka chini. Huku nikiwa na aibu kibinti cha watu niliinama na kuchukua mizigo ile na kuipeleka ndani.

Muda wote huo baba alikuwa amesimama kimya akimsikiliza mke wake Bi. Fatma alivyokuwa akibishana na Fadhili. Kila mara alikuwa akitoa tabasamu hasa Fadhili alipokuwa akimjibu mama yake. Alipoona mama amepoa na kubadilisha mada, baba akajivuta taratiibu kuingia ndani.

Nilishukuru sana uwepo wa Baba na Fadhili katika sakata lile, sijui ingekuwaje kama siku hiyo ningekuwa pekeyangu nyumbani pale. Nilipokuwa naingiza mizigo ile ndani nikamtazama Fadhili kwa jicho la kuibia. Kumbe Fadhili naye alikuwa akinikodolea macho muda wote huo, hivyo nilipomtazama tu, macho yetu yakakutana. Fadhili alibonyeza jicho moja kunikonyeza na kuachia tabasamu kwa mbali ambalo lisingeweza kuonekana na mtu mwingine yoyote zaidi ya mimi. Namimi baada ya kuona mwanaume niliyekuwa nampenda akinikonyeza kimahaba nami nikamjibu kwa kuuma midomo yangu ya chini na kuunganisha na tabasamu huku macho nikiyazunguusha utafikiri nilikuwa nataka kukata roho.

Nilipokuwa nikiingia ndani na mizigo huku nikiwa nimejawa na furaha ya kuuteka moyo wa Fadhili nikakutana tena na Bi. Fatma amesimama kwenye korido akinisubiri. Kwa jinsi alivyokuwa amesimama kwa hasira nikapatwa na hofu tena.

“Hivi wewe unanitafuta nini?” mama lihoji kwa hasira.


ENDELEA

“Mama yangu! Huyu ni binadamu au malaika?” Fadhili alizungumza huku akipeleka mkono wake kwenye bunduki yake na kuikamata maana alihisi ilikuwa inataka kumletea ukorofi.

Macho ya Fadhili yalikuwa yamefika maeneo ya juu kidogo ya kiuno changu ambacho kiliachanisha tumbo langu dogo na nyonga yangu pana. Kablauzi nilikokuwa nimekavaa kalipanda juu na kupelekea kitovu changu kilichokuwa na kashimo fulani hivi kamdura kuonekana.

Fadhili alianza kuhisi mapigo ya moyo wake yakiongezeka spidi hasa baada ya kunipandisha juu zaidi na kuona maeneo ya madafu yangu ya kifuani ambayo nayo yalikuwa wazi jinsi yalivyokuwa yametuna. Shingo yangu iliyokuwa na pingilipingili ilimfanya kunitazama usoni ili kufaidi zaidi. Midomo yangu mipana kidogo na iliyoonekana kuwa myekundu kutokana na rangi ya ngozi yangu ilizidi kumchanganya mtoto wa watu. Akakumbuka maneno niliyomwambia asubuhi kuwa anyonye madafu yangu halafu yeye akajifanya mgumu na kuingia mitini. Udenda wa tamaa ulimtoka na kujikuta akichafua nguo masiki ya mungu.

“Nakaona katoto kumbe kanavutia kiasi hiki” Fadhili alijisemea huku akipumua kwa nguvu.

Uzalendo ukamshinda kijana yule na kunisogelea zaidi pale kwenye kochi. Aliinama na kunipiga busu kifuani. Nilishituka kidogo lakini nilipomuona Fadhili nIkatulia na kujikuta nikitetemeka. Siku zote nilikuwa natamani sana kitendo kile kitokee kati yangu mimi na Fadhili. Sasa mwenyewe alijileta na kunipiga busu la kifuani.

ENDELEA…

“Mbona umelala kihasara hasara hivyo?” Fadhili alihoji huku akiketi kwenye kochi nililokuwa nimelala. Alichukua miguu yangu na kuipakata kwenye mapaja yake. Nikapeleka mkono wangu na kujifanya najiziba heti asinichungulie.

“Mbona umechelewa kurudi?” nikahoji kwa kudeka.

“Ndio nimechelewa we asubuhi si umeninyima chai” alizungumza Fadhili huku akinitazama kwa kuibia kwenye mapaja yangu.

“Mnh we muongo, mi si nimekupa maziwa ukakataa”

“Sasa hayo maziwa yako yana kitu kweli?” Fadhili alihoji huku akinitazama kifuani kwenye madafu yangu yaliyokuwa yametuna kiuchokozi.

“Haa ungenyonya ili uamini” nikazungumza kwa sauti ya huba ambayo tayari ilikuwa imekwisha chongwa ikatiwa nakshi na baba kwa kushirikiana na kaka Imran. Yaani alichokuwa amebakiza Fadhili kilikuwa ni kama kumsukuma mlevi.

“Nipe basi ninyonye sasahivi” Fadhili alizungumza kwa uchu.

“Nyonya” nikamjibu kwa ufupi.

“Kweli?”

“Unaniuliza mimi wakati wewe ndiye unayetaka kunyonya?” Nilizungumza huku nikigeuza shingoyangu pembeni kumuachia ajiamulie mwenyewe.

“Mnh! Vipi baba amerudi muda mrefu enh?” alihoji kwa sauti ya chini huku akitazama upande ambao chumba cha baba kilikuwepo.

“Shauri yako” nikamjibu kwa sauti yangu ya kubembeleza mtoto wa kike.

“Twende chumbani kwangu basi” Fadhili aliniambia.

“Akaaa mie naogopa” nikajishaua huku nikijiinua pale kwenye kochi na kukaa kitako. Nilikuwa namtamani sana Fadhili, sijui hata imekuwaje hata siku hiyo akalainika mwenyewe kiulainiii.

“Sasa unaogopa nini mrembo?” alihoji huku akinisogelea na kunishika kiuno.

“Kwani hapahapa huwezi kunyonya?”

“Si unajua mzee yupo bwana?”

“Mzee ndo anakukataza kunyonya?”

“Mnh! Naona unanitesa tu mwenzio”

“Nakutesa na nini sasa?”

“Si njaa”


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG