Search This Blog

Wednesday, April 21, 2021

JAMANI ANKO - 5

  Chombezo : Jamani AnkoSehemu Ya Tano (5)"likuneeeeeeee""lile jimama niliowaambie linalompenda joshua, sasa anataka kumuoa joshua"Aliongea mama Kipenga"weeeee acha utani""haaaaaa mie tena nina utani na nyie toka lini""enheee, ndoa lini hio""bado nime waacha wanaelewana ila lile jimama lile, linaonekana limedata kwa joshua... Mana yupo tayari...

JAMANI ANKO - 4

  Chombezo : Jamani AnkoSehemu Ya Nne (4)"we mshenzi ulikua wapi, na kwanini uchelewe kurudi nyumbni... Uhuni umeanza. Lini... Na leo usiniambie umeokota hela"Aliongea mama Kipenga, huku Kidundo akisema,"sasa hata nikiona hela nisiokote""kwanza naomba uniambie, ulikua unapata wapi pesa""mama, mi nilikua naokota kweli""hapana.. Utanieleza...

JAMANI ANKO - 3

  Chombezo : Jamani AnkoSehemu Ya Tatu (3)Mama Kipenga alirudisha upendo wake kwa watoto wake, aliona tamaa za maisha ni mapito, kila mmoja hupewa riziki yake kwa wakati wake, pengine kwa upande wao bado wakati wao wa kubarikiwa riziki kubwa kubwa, hivyo kwa sasa mama Kipenga kakubaliana na hali ya maisha yao yalivyo, kwani awali alikua hakubaliani...

JAMANI ANKO - 2

  Chombezo : Jamani AnkoSehemu Ya Pili (2)Joshua Aliongea kwa msisitizo ili mwanamke huyo amuelewe,..."ok nimekuelewa joshua... Naomba nikubusu kisha nikushushe kwenye mapaja yangu, kuanzia sasa nitakua nakuheshim kauli yako yeyote"Aliongea mwanamke huyo huku joshua akiwa katulia tu,.. Mama sudi akapeleka mdomo mdomoni mwa joshua na kumnyonya...

BLOG