Search This Blog

Monday, January 24, 2022

JOMONI NIFUNZE NA MIE - 1

  

IMEANDIKWA NA : CHANDE ABDALLAH 

********************************************************************************

Chombezo : Jomoni Nifunze Na Mie

Sehemu Ya Kwanza (1)


Mimi ni msichana wa miaka 25 nimeolewa na mume wangu ambaye kidogo amenizidi umri, yeye ana miaka 48. Mimi ni mama wa nyumbani na yeye ni mfanyakazi wa serikalini.

Japokuwa sijajaliwa kuzaa naye lakini maisha yetu ni mazuri na ya amani, hivyo ndivyo tunavyoonekana kwa watu, lakini ndani nimekuwa na mgogoro mkubwa wa nafsi.

Ingawa Napata kila ninachokitaka kuanzia pesa, uhuru wa kufanya chochote lakini bado nina tatizo linalowakumba wanawake wengi hasa linapokuja suala la kuridhishwa kimapenzi.

Nimekuwa nikisikia tu kwa wenzangu kuhusu masuala ya kufikishwa kileleni na kuambiwa inavyokuwa, lakini mimi sijawahi kufika hata siku moja.


NAKUPENDA MR X 02

Nimekuwa nikisikia habari za wanaume wanaoweza kufanya mapenzi na wake zao zaidi ya saa moja yaani bandika bandua na jinsi utamu wake unavyokuwa, nimesikia kuhusu wanaume watundu wawapo kitandani kuanzia mambo ya kunyonya huku chini na mambo mengi ya ajabu lakini kwangu yamekuwa ni stori tu kwa sababu kwangu siyaoni.

Nadhani hapa ni vyema nimuongelee mume wangu mtu wa aina gani, yeye ni mfanyakazi kweli yaani hata akiwa nyumbani anakuwa akifungua laptop yake na kukesha akiandika haya na yale. Mimi mara nyingi nitakuwa nimelala kitandani kwa mikao ya kila aina ili mradi mwenzangu avutike lakini mara nyingi huishia kuniambia; “Sorry Honey nipo bize sana, wewe tangulia kulala.”


NAKUPENDA MR X 03

Hiyo huenda na kufikia hata mwezi mzima, lakini pindi anapojisikia hamu yeye ya kufanya mapenzi huja kama kifaru aliyejeruhiwa, hunivamia na manguvu kama mwanaume kweli. Lakini anachofanya nikuniparamia na kutumia manguvu kama ananibaka na hapo kwenyewe hata dakika moja hamalizi na kuniacha nikiwa ndiyo kwanza kama vile nimeamshwa na kukatishwa stimu.

Tena dakika mbili nyingi utasikia anakoroma kiajabu kama vile ametoka kufanya kazi nziiito.

Najua kama mwanamke mwenzangu unafahamu jinsi ninavyojisikia vibaya, lakini nimekuwa mvumilivu sikuzote bila kutaka kutamani maneno ambayo mashoga zangu walikuwa wakiniambia kuhusu hao wanaume wao wa ajabu.

Nilijizuia kwa kuwa niliapa kuilinda ndoa yangu na kutojaribu kuchepuka hata siku moja.


NAKUPENDA MR X 04

Niliendelea na maisha hayo kila siku na nilipomueleza shoga yangu Blandina alinishauri kama sitaki kuchepuka basi ni vema nikatumia njia ya kujichua ili angalau niweze kupoza hamu nilizo nazo. Nilijaribu mara kadhaa na kujisikia raha kuliko ambavyo nilikuwa na mume wangu.

Lakini nikiwa nafanya hivyo nilijikuta nikivuta picha ya mwanaume fulani na kweli nilifikia kilele. Hata hivyo Blandina aliwahi kuniambia madhara ya kujichua na haya yalinifanya niwe nafanya siku mojamoja japo kuwa kila mara nikifanya hivyo nimekuwa sitosheki kwa sababu hamu hunirudia tena kila baada ya siku moja.

Kwa kifupi nikawa mteja wa kujichua, hadi siku moja nilipokutana na huyu mtu anayejiita Dokta Love na kuisaliti ndoa yangu kwa mara ya kwanza. Nakujikuta nikiingia katika ulimwengu wa mapenzi na kujua kila aina ya utundu na kukubuhu kabisa.


NAKUPENDA MR X 05

Nakumbuka siku moja nilikuwa naenda nyumbani kwa shoga yangu Blandina, kwa sababu simu yangu ilikuwa haina chaji nilifika kwake bila taarifa.

Niliona kila dalili za yeye kuwepo ndani na hiyo ikanifanya nipitilize ndani bila kujali, nilifungua mlango ulioonekana kurudishwa tu na kupitiliza hadi sebuleni.

Nilipoona hamna mtu nikaamua nimuite lakini kabla sijafanya hivyo nikasikia miguno chumbani kwa Blandina. Nikanyata taratibu na kwenda kuchungulia nikamuona shoga yangu amepindwa kwelikweli tena huyo mwanaume akionekana na misuli mwili mzima huku jasho likimtiririka na kunifanya nisisimke ajabu.

Niliendelea kuwaangalia na kujikuta nikimuonea wivu shoga yangu kwa vitu adimu alivyokuwa akipewa kwa sababu, ukweli ni kwamba sauti ya mwanamke ya kuridhika inajulikana na ya uwongo inajulikana na kwa nilivyomuona na kumsikia Blandina alikuwa kwenye kiini cha mautamu ya kufa mtu.


NAKUPENDA MR X 06

Shoga yangu alikuwa amefumba macho kwa hisia huku nikishuhudia akivunja dafu la uhakika maana alijilowesha ile mbaya, hadi akanifanya na mimi nianze kujipapasa kwa stimu. Nilijikuta miguu ikianza kuniishia nguvu nikajikaza na kuweza kusimama lakini ghafla nikaona mkono mzito ukinishika nyuma yangu.

Moyoni nikasema; mama yangu nimebambwa?

Nilipogeuka nilijikuta nikitazamana uso kwa uso na mwanaume mmoja mtanashati, nilimuona akiwa na kitabu kikubwa mkononi mwake lakini cha ajabu alinipigapiga tu begani kama rafiki kisha akaingia ndani ya kile chumba ambacho Blandina alikuwepo.


NAKUPENDA MR X 07

Yule mtu kama alijua nilichofikiria, akasema; “Oh mgeni karibu ukae hapa unaweza ukajifunza vitu.”

Aliposema hivi nikamuona Blandina na shemeji yangu Frank wakigeuka na kunitazama kwa mshangao lakini hawakutoka pale walipolaliana, kitendo hiki pia kikanishangaza.

Lakini baadaye Blandina alitabasamu kuniona nikikaa pale kwenye kiti kingine na kuwatazama.

“haya tunaendelea nataka mfanye hivyo kwa robo saa, Frank jitahidi kupumua taratibu ili kupunguza nyege, sitaki umwage kabla nataka Blandina afikishe raundi ya tatu,” alisema yule mwanaume niliyekaa naye akionekana kama mwalimu wao.

Nikajikuta nikishangaa.


NAKUPENDA MR X 08

Basi wakaanza mambo yao, hapo nikawa na mambo mawili woga na nyege zilizonijaa mwili mzima, kweli hisia kitu cha ajabu maana japo kuwa yote hayo niliyaona na kunishtua lakini nilikuwa nimechanganywa kweli kwa jinsi walivyokuwa wakisuguana pale kitandani.

Macho yangu na jinsi nilivyokuwa nahema nikajuafika kuwa vilionekana lakini nilijizuia na kujifanya nawaza mambo mengine. Lakini macho hayana pazia, jinsi mlingoti wa Frank ulivyokuwa ukiingia kwenye pachupachu za Blandina nilijisikia siwezi kuangalia tena nikafumba macho lakini hata kwenye giza la mboni zangu nilikuwa kama vile nikihisi kuona tukio zima.

Sauti za mahaba za Frank zilinichanganya na kunifanya niloweshe chupi yangu kwa nyege kali.


NAKUPENDA MR X 09

Sauti za Frank zilinifanya nishindwe kukaa nikainuka na kuondoka zangu nikiwaacha wakiwa wanaendelea na mambo yao. Nikatoka nje na kupanda bajaji haraka nikarudi nyumbani na kukimbilia kitandani kwangu. Zile kumbukumbu za niliyoyaona zikinisumbua mno.

Nikavua nguo zangu taratibu na kuanza kujipapasa kwenye chuchu zangu zilizosimama kwa shauku, nikajichanua na kupitisha mkono wangu katikati ya mapaja nikaanza kujichezea kinena changu, nikajisikia mapigo yakienda kwa kasi mno.

Utamu wa ajabu ukaanza kunipanda nikaingiza vidole vyangu na kuanza kujisugua kila kona yenye utamu. Nikajikuta nikipiga kelele kwa utamu wa ajabu ambao tangu nizaliwe sijawahi kuusikia.


NAKUPENDA MR X 10

Wakati namaliza hivyo ghafla nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukifunguliwa, nikiwa nimekaa vilevile nikashtuka akiwa ni mume wangu, Mr. Ben.

Alionekana kuwahi kurudi mapema siku hiyo kuliko kawaida yake. Alikuwa ameshtuka kuniona nikiwa katika hali hiyo, hata hivyo alitulia na kunisubiri nivae kabla hajazungumza chochote lakini nilimuona akiwa amekasirika mno.

Nilijizoazoa na kujisemea moyoni; “Bora anione, si haniridhishi sasa nifanyaje, nichepuke?”

Nilipomaliza nikaenda sebuleni nilipomuona akiwa amekaa na mimi nikaenda kimyakimya na kukaa pembeni yake nikiinamisha uso wangu kwa aibu kwa sababu sikutaka anikute nikiwa kwenye hali ile.


NAKUPENDA MR X 11

“mke wangu ulikuwa unafanya nini?” alianza kusema.

“kama ulivyoniona.” Nilijibu kijeuri.

“nashindwa kuelewa kwanini hakunisubiri nije ilitufanye mapenzi, kwanini unaamua kujichua hivi haujui kuna madhara?”

“nilijisikia sana leo na wewe nilijua leo kama kawaida yako upo bize ndiyo maana nikaamua kujimalizia haja zangu mwenyewe.”

“basi usijali mke wangu nitakuwa kila siku nafanya mapenzi na wewe ili uridhike,” alisema kwa unyonge kama vile ameelewa kosa lake.

Lakini kumbe hakuwa amenielewa badala yake tangu siku hiyo ikawa akirudi kila siku ananipalazapalaza tu na kuniacha nikiwa nimekolea ile mbaya. Nikajikuta nikijuta kwanini hata nilimwambia awe anafanya mapenzi na mimi kila siku.


NAKUPENDA MR X 12

Tuliendelea hivyohivyo kwa wiki nzima, nikamuona mwenzangu hata hivyo jogoo wake alikuwa akizidi kupungua makali na siku nyingine akashindwa kupanda mtungi kabisa.

Nilimuonea huruma lakini naye taratibu alianza kusahau kuhusu zoezi letu la kufanya mapenzi kila siku na mwishowe akarudia tabia yake ileile ya ubize.

Nikajikuta nikiyakumbuka yale mambo niliyoyaona kwa Blandina siku ile, nikaamua kumtafuta kwenye simu; akapokea nikamuona tukutane na kweli tulikutana maeneo ya Posta na nikaanza kumuuliza maswali kibao.




“hebu niambie mbona nimejionea mauzauza, unafanya nini siku hizi?” nilimuuliza Blandina maana nilijua huenda yeye na shemeji Frank walikuwa wameamua kuingia kwenye kucheza sinema za ngono.

“najua utakuwa umechanganyikiwa sana kuona tukiwa katika hali ile, lakini ni kitu ambacho mimi na Frank tumekuwa tukikifanya siku hizi,” alisema Blandina bila aibu.

“yaani siku hizi mnajianika mbele ya mtu na kufanya mambo ya siri hadharani, Kweli Blandy?”

“hapana siyo kama unavyofikiria, yule ni Dr. Ben ni mtaalamu wa mapenzi ‘sexiology’ ni mkufunzi pekee wa masters huko Marekani ni rafiki yake Frank amerudi Bongo muda si mrefu.”


NAKUPENDA MR X 14

Kwa maneno hayo nikajikuta nikicheka; “nini mapenzi yanasomewa siku hizi si ndiyo?”

“ndiyo hivyo, kwa wenzetu wanajua mambo mengi na Frank alitaka atufundishe ili tuenjoy maisha yetu ya mapenzi na kweli tangu aje ametufundisha mengi mno ambayo kwa mtu kama wewe hautaelewa,” alisema Blandina akionekana hana chembe ya mzaha hata kidogo.

“Blandina unayoyaongea ni kweli?”

“ndiyo na kesho tuna darasa tena kama unaweza kuja njoo uone?” alisema Blandina akiniongeza ustaajabu nikawaza kumbe pale walikuwa darasani?


NAKUPENDA MR X 15

Nilirudi nyumbani na kumpikia mume lakini nikawa ninawaza hayo mambo aliyoniambia Blandina, nikajikuta nikicheka nilipowaza eti kuna mtu ana Masters ya mapenzi yaani kitaalamu Sexiology.

Nikastaajabu mtu huyo anajua vingapi, kidogo nilikuwa nina shauku lakini nilijisikia nipo sehemu salama kwa sababu kumbe mtu mwenyewe ni rafiki yake shemeji yangu Frank.

Nilipomuwaza Frank nikajikuta nikimvutia picha jinsi alivyokuwa akimchambua Blandina, nikatamani awe ananifanya hivyo mimi lakini nikalikemea wazo hilo nikiajiambia; “we yule ni shemeji yako usimtamani hata kidogo.”

NAKUPENDA MR X 16

Nililala usiku mzima nikiwaza hiyo kesho itakuwaje hata nilipoamka nilijikuta nikiwa na kumbukumbu za ndoto kibao nikiota nimekunjwa kunjwa na mimi nikipewa dozi za kufa mtu.

Siku hiyo nilijiandaa mapema na kuandaa nguo ambayo itanistiri hata nikijilowesha na nikanyoa vizuri bustani yangu na kujiweka swafi. Nikiwa nanyoa nikajiuliza mwenyewe kwanini nilifanya vile lakini sikuwa na jibu nadhani ni akili za kike ndio zilikuwa zikinipelekapeleka.

Nilipomaliza nilisikia simu yangu ikiita, niliangalia ilikuwa ni meseji kutoka kwa Blandina akiniambia; “Mary njoo tutaanza sasa hivi.”

Kwa maneno hayo nilivaa harakaharaka na kuchukua bajaji hadi mtaa wa akina Blandina, nikaingia hadi ndani, nikawakuta wote wamekaa sebuleni.



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG