Search This Blog

Monday, January 24, 2022

MCHEPUKO WA ZANZIBAR - 4

   

Chombezo : Mchepuko Wa Zanzibar

Sehemu Ya Nne (4)


“mkeo aja lini naona wateseka hata kupika,” aliniuliza Sabrina. Nikakumbuka kuwa nilimdanganya mzee Abdullah kuwa nilikuwa nimeoa, ili mradi tu nisikataliwe kupangishwa humo ndani hivyo kila mtu alijua nimeoa kumbe hapana.

“atakuja tu, nataka nipate hela mwezi wa kumi na mbili nimtumie,” nilisema.

Nikaenda zangu kuoga na kutoka haraka maana tayari jua lilianza kuchomoza kwa mbali.

“utaniwekea nguo hapo koridoni,” alisema Sabrina.

“sawa, halafu nitakuletea na zawadi usiku ukinifungulia mlango,” Damian alisema, Kasabrina kakafurahi vimashavu vyake vyeupe vikimpanda juu, hakika kalikuwa kazuri na kameiva.




Damian kwa sekunde kadhaa, akijiuliza: hivi si haka katoto nikaoe tu kwani dini nini bhana. Naifathy wa nini!”

Basi akavaa nguo na kuchagua vizuri nguo za kumuwekea Sabrina afue, akaziacha nguo za ndani na zile alizofutia udelele tu. Akazitia kwenye ndoo pale koridoni na kuweka sabuni. Akaenda zake kidukani kwake akiwa na furaha iliyoje.

Kwa bahati mbaya sana, siku hiyo Bushiri hakuwepo kwenye marikiti yake. Akajiona mpweke mno, hata siku nzima iliisha akijiuliza Bushiri yu hali gani.

Giza liliingia na yeye akawasha kandili yake na kuzuga akiyasoma magazeti kadhaa ambayo huyatumia kufungia wateja bidhaa wanunuazo.

Siku hiyo kama kawaida, wakaja wateja wengi wamama kwa watu wazima, wasichana kwa vigori, Damian akawahudumia vyema lakini macho yake yakipepesa tu kuhakikisha kama atamuona Naifathy.

Loh asiwaze jambo, mara Habiba huyo na Shahida, wakipekuapekua, wakafika dukani mwa Damian wakijichekesha kwanza.

“Damwani eti Bushiri leo hajaja?” aliuliza Shahida.

“hajaja,” alisema Damian.

“mh aya,” alisema Shahida akijitenga kidogo, wakati huo Habiba akasogea kwenye mlango wa duka la Damian, Damian akalitia loki kwa ndani.

“vipi kwani!?” alishtuka Habiba.

“sikia jana uliingia ukaiba seti ya chupio, ulidhani sitagundua au? Sikia leo huingii humu! Kwanza nakudai nilipe.” Alisema Damian.

“hahaa, we Damwani mimi mwizi! Utakosa vingi wewe, leo nilitaka nikupe kitu kingine sema ndiyo hivyo umejikosesha bahati limbukeni.” “kwani umemaliza siku zako?” aliuliza Damian kwa shauku.

“akuu namalizia kesho,”

“sasa ungenipa kingine kipi?”

“Kwani nina matundu mangapi?” alisema Habiba, Damian akatumbua macho, akijiongeza kuwa anachomaanisha hapo Habiba ni mambo ya Sodoma tu. “Sikia Habiba naomba uondoke dukani kwangu, sitaki mambo ya dhambi mimi, ondokeni!” alifoka Damian maana aliwahi kusoma kwenye vitabu tu vya dini kuwa Mungu aliuchoma mji wa Sodoma kwa watu kufanya dhambi hiyo ya kugeuzana. Naye hakuwahi kuona mtu akiongea bila hofu kama Habiba, akamuogopa na kumkinai. “mfyuu, mshamba, huyoo!” alizomea Habiba na kuondoka na dada mtu Shahida wote wakimbetulia midomo.



Doh siku hiyo ilimkera Damian akahisi ni gundu hata kukaa peke yake lisaa limoja mbele, akafunga duka lake ikiwa ni saa mbili tu usiku, akaanza kutembea kuelekea nyumbani, lakini mara akakumbuka zawadi aliyomuahidi Sabrina pindi akimfungulia mlango usiku.

Ikambidi arudi dukani na kuchukua biskuti moja, akafunga duka lake na kupanga kichwani sasa, kuwa kama atawahi basi Sabrina hatokuwa na haja ya kumfungulia mlango na hotapata nafasi ya kumpa zawadi ile, sasa bora achelewechelewe. Lakini aende wapi usiku huo?.

Akapata wazo la kutembeatembea kwenye kijiji hicho ambacho wateja wake wanatokea ili ajionee maajabu ya wanaume kushinda baharini na wanawake kubakia majumbani.

Lakini Zaidi ya yote kimoyo kilimsukuma kusema, atafute nyumba atokayo Naifathy. Basi akazunguka zake, akitembea taratibu giza likimkumbatia na macho yakimuongoza kufuata vinuru vya vibatari vya vijumba. Akatembea taratibu pua zake zikishibishwa na harufu za udi ambao ulifukizwa karibia kila nyumba.

Sasa alikuwa katikati ya vijumba vingi, akasikia sauti za kike humo na vicheko, mara zote alikuwa akipenda sauti za wasichana wa kizanzibar wakichekacheka, kwani vilimsisimua mno na ni nadra kuvisikia. Basi akili yake ikachambua kati ya sauti hizo na kugundua moja ilikuwa ya Habiba na nyingine ya Shahida hakika.

Akaitazama ile nyumba na kuiepuka, akaenda mbele Zaidi, na huko akaona kijumba kilichopakwa chokaa nyeupe, hapo ndiyo moyo wake ukamzubaisha na kutuama bila kujua kwanini.

Loh, mara akatoka msichana, amejivisha khanga tu mabegani, mweupe na nywele za singasinga, mkono huu kibatari, mkono ule ndoo ya maji. Loh! alikuwa ni Naifathy.

Damian akatumbua macho maana kuona mabega ya mtoto wa kike Jambiani ni sawasawa na umeona uchi kabisa huku bara. Uzuri giza totoro lilimlinda akajishindilia kwenye vichaka vya mnazi. Akaminya hapo akishuhudia Naifathy akisaula ile khanga yake na kuipachika kwenye kamba, akawa mtupuu.

Doh! Damian akapata mfadhaiko, Naifathy akainama na kujimwagia maji akioga, akajipapasa na povu la sabuni kuzungukia tamu za mwili wake.



Damian akafadhaika Zaidi, pale alipojificha selebobo wake akataka kuchana suruali kwa udindifu. Akalazimika kumfungulia zipu apumue nje bila kuweka jicho lake pembeni asimtazame Naifathy aliyejisinga na kujisugua pale nje bila hofu yoyote akidhani wanaume hawapo kijijini kumbe Damian alikuwepo pale tena kajaa tele akila video ya asili.

Loh sasa Naifathy, akamaliza kujiosha sehemu za nje, ikabakia sehemu za mgodini, machimboni huko kwenye vito vya lulu na ulanga. Akajitiliza dole akijichambua kwa maji safi.

Damian akahusianisha, moyo wake ukimdunda kwa kasi, akajikuta amelitemea mate joka lake na kulichua sanjari na afanyavyo Naifathy, ambaye alitumia muda mwingi kujiosha hapo kama vile alifanya makusudi.

Damian akapata tabu sana, akapambana na hali yake mno, joka lake likatapika chefu lake huku sauti ya afueni ikamtoka Damian,” aaaaahshhhh!” kisha kuti alilolishikilia wakati akifanya uziduaji wake likamdondoka naye maana stamina za miguu zilimlegalega. ikasikika tu Puh!

Loh Naifathy akashtuka na kujitia khanga begani haraka, akasogea na kibatari chake kwa wasiwasi kutazama kuna jambo gani hapo.

“He Damwani!? unafanya nini hapa! Ulikuwa unanichungulia!?” alisema Naifathy kwa sauti ya chinichini, tena akazima na batari lake.

“hapana nilikuwa nikipita tu, nikakuona, Naifathy, ulinipumbaza kwa uzuri wako; Naifathy wewe mzuri, sijawahi kuona, ukivua nguo ndiyo unazidi kuwa mzuri,” alianza kuropoka Damian.

“mhh, nilijua tu wanitaka,” alisema Naifathy akimsogelea Damian akambana kwenye shina la mnazi, akamkumbatishia mwili wake wa baridi. Damian haraka akapitisha mkono wake kwenye pasuo la khanga ya Naifathy na kuiachanisha akigusa ngozi ya Nafathy kwa mara ya kwanza.

“mmmhhh, Damwani, huogopi?” alisema Naifathy kwa sauti ya vinanda vya winta sonata, Damian akaongea kwa huba: “niogope nini!”

“uchawi wa mzee Salum!” aliposema hivyo, Naifathy akamtoa mkono Damian na kujiweka kando.

“siogopi bwana Naifathy njoo,” alisema Damian akimvutia Naifathy kwake, Naifathy akajitoa.

“we mgeni huku, hujui habari ya mume wangu ndiyo maana, Damian sitaki upotee,” alisema Naifathy kisha akakimbilia kwake akinmuacha Damian pale kichakani.

Itaendelea..


Njia nzima Damian alitembea akiwaza yaliyomtokea usiku huo, wala hakujali kuhusu onyo la Naifathy kuhusu mumewe. Yeye ubongo wake uliirudia ile picha ya Naifathy akioga pale nje, tena akaicheza ile kumbukumbu taratibu kichwani mwake, kisha akakumbuka jinsi mtoto wa baridi alivyomkumbatia pale chini ya mnazi, na yeye kumshika kiuno chake ngozi kwa ngozi.

Walahi alichanganyikiwa Damian, akajikuta anatembea bila kutazama mbele akashtuka kujikuta anapita kinjia cha kuelekea baharini badala ya kuelekea kwake, loh! Akarudi na kutembea sawasawa akiendelea na mawazo yake kuhusu Naifathy, akajiapiza hata arogwe lazima amle Naifathy.

Basi akafika nyumbani na kukuta mlango umefungwa kama kawaida, akazunguka dirisha la Sabrina akaona kuna mshumaa unawaka, akaita: “Sabrina!”

“rabeeka!”

“mimi Damian,”

Haraka Sabrina akafika na kumfungulia, akampatia na nguo zake alizozikunja vyema, Damian akamshukuru na kumpatia Sabrina biskuti. Sabrina akasema asante zake na kurudi chumbani kwake.

Damian akaingia chumbani mwake na kushindwa kupata lepe la usingizi. Akili yake ikimchezea shere kwa taswira za Naifathy. akachukua mafuta na kujichua tena.

***

Wakati yote haya yanaendelea nyumbani kwa mke wake mdogo, Mzee Salum bin Salum alikuwa baharini, yeye tofauti na wavuvi wengine, alikuwa akivua peke yake. Alikuwa na mtumbwi wake na chemli yake peke yake, na alikuwa akienda maji ya peke yake kuvua.

Na Kila asubuhi piga ua. Lazima arudi na samaki wanne tu, pweza mkubwa, shana, changu na kuku wa bahari almaarufu ngisi. Samaki hao siku zote huwagawa kwa nyumba za wakeze, akiweka zamu kila nyumba na samaki tofauti kila siku.

Mzee huyu hakuwa mtu wa mchezomchezo, ujana wake alikuwa ni mganga wa mizimu akifanya kazi za Sultani Barghash wa ngome kongwe. Mzee huyu alitibu na kuagua mizimu enzi hizo akawa tajiri na kununua eneo kubwa la kijiji cha wavuvi hapo Jambiani na maeneo ya Mwanakwerekwe huko. Sultani alipoondoshwa na mapinduzi ya Karume, akakosa Amari, akauza maeneo yake, akaisha hadhi na kuwa mtu wa kawaida tu


Lakini jina lake liliharibiwa na hizo habari kuwa huwaroga mabinti wadogo na kuwaoa wakiwa hawajijui, pindi wakizundukana hujikuta tayari wameshafungwa na uchawi wake na kushindwa kutoka.

Unaweza kukubali mara moja habari hizo maana wake za mzee Salum wote ni wazuri tena washiraz haswa. Halafu umri wake ni mara mbili kwa mkewe mkubwa, mkewe wa kati kamzidi miaka karibia ishirini na tano na mkewe mdogo ambaye ni Naifathy, alimzidi miaka thelathini mizima.

Naifathy mzuri kuliko wake zake wote na hata mji mzima wa Jambiani alimchanganya akili Mzee Salum, akamzingira na dawa zake na kumuoa, akamjengea nyumba ya peke yake pembeni ya wake zake wote na kumtilia chokaa.

Lakini uzee wake ukamrudi, akishindwa kusimamisha mrumerume wake; akajawa Wivu wake ukamfanyia dawa Naifathy, wanaume wasimlalie, maana yeye mwenyewe hakumfaidi binti huyu; akaishia kutamani kurudi ujana kumfaidi lakini wapi! ndiyo kwanza mbu mbaya akamng’ata na kumtia shipa, linalomfanya atembee kwa shida.

Akawa anafika kwa mkewe na kumwambia nilalie nipate joto lako niridhike, naye Naifathy akamlalia na kumchukua kidole chake akakikalia akidanganya kumridhia mumewe, lakini wapi? Hakuwa amefika miisho ya haja zake. Na hata Mzee Salum alijua Naifathy alimdanganya. Hivyo akaongeza kirogo.

Wanne waliomthubutu kumuingiza walau kichwa tu Naifathy wakafia kifuani pake, wakazikwa maiti zikitoa jasho; ndio hapo habari za wake za Mzee Salum kuogopwa zikaenea.

“Shomari sitaki huyo Pweza mdogo, zama tena, kalete mkubwa mwanaharamu wewe! Hiyo ndiyo adhabu ya kutaka kumlala mke wangu!” alikoroma mzee Salum akiongea peke yake hali amekaa tu kwenye mtumbwi wake katikati ya bahari iliyotulia mara kukasikika pwaa! Kama vile mtu amerukia kwenye maji humo.

“Hamisi! Piga kasia twende mbele hapa, hatuwezi kumpata shana. Shehe Sadiki na Yusufu, mtatandaza wavu mie nalala, mkileta ujinga siwapi chakula leo!” alisema tena Mzee Salum akiongea na watu wengine wasiokuwepo naye pale kwenye mtumbwi. Lakini mtumbwi kimaajabu ukaelea kusogea mbele zaidi



Wakati huo Mzee Salum bin Salum pande la jitu likalala likikoroma kwa muda lakini ghafla likashtuka, likahisi kuna jambo sio jema. Shipa lake likambana na kuachia. Likakasirika na kucheka: “Hahaa Naifathy mke angu unataka kumuongeza mwingine si ndiyo!? Namsubiri,” alisema mzee Salum. ***

“Mjukuu wangu unaenda sehemu za watu, umekataa kupokea uganga sawa, lakini jua tu mizimu imekuchagua wewe na daima itakulinda na kukufundisha dawa zetu za kimila, nakushauri uzifuate maana zitakulinda vyema huko ugenini” Hayo yalikuwa maneno ya bibi yake Damian, Bibi Ansila kipindi kile Damian anaamua kuondoka kijijini kwao huko Arusha.

Hakuupenda uganga aliuchukia, na hata alipoondoka ndoto za ajabu usiku akielekezwa na mtu asiyejulikana dawa mbalimbali zilimuandama mno alikerekwa na akapuuzia; lakini ndoto aliyoiota usiku huo ilimtisha mno ilionekana mizimu yake ilimuonesha kuhusu Naifathy na mzee Salum bin Salum.

Akaamka asubuhi ile akaoga na kwenda dukani kwake, njiani akichuma jani la kisamvu, hayo ndiyo maelekezo aliyopokea kutoka ndotoni na mizimu yake.

Sasa unaweza kuona wapi Damian alitoa kiburi chake akijiona hawezi kurogeka.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG