Search This Blog

Monday, January 24, 2022

JOMONI NIFUNZE NA MIE - 4

   

Chombezo : Jomoni Nifunze Na Mie

Sehemu Ya Nne (4)


Kweli baada ya kukata simu akanitumia namba, nikaipokea na nikavaa ujasiri na kutuma meseji ; “Hi!”

Naye badala ya kujibu nikaona ananipigia simu, nikasubiri sekunde kadhaa na kupokea, nikasikia sauti ya kiume ikinipokea kwa uchangamfu ikisema; “hallow Mary, na mimi nimepewa namba yako sasa hivi na Dr.Ben, nipo kwa ajili yako niambie tu saa na dakika nitafika unapopataka.”

Kwa hofu nikajikuta nikibabaika na kutamani kukata simu, kisha yule mtu akarudia tena; “haloow nimeambiwa wewe ni mwanafunzi kwa hiyo najua utakuwa na aibu sana, lakini usijali ukitulia na utakapoona upo tayari nipigie.”

NAKUPENDA MR X 40

Haraka akili yangu ikafanya kazi, sikutaka kuonekana sijui kitu kwenye mapenzi na sikupenda kushushwa kiasi cha kuitwa mwanafunzi mwenye aibu, nikajibu kwa kujikaza; “Hapana sina aibu, nataka tukutane kesho saa nne asubuhi, Sinza Africasana, Maembe Lodge,” Yule mtu akajibu “Ok, madam.”

Nikiwa nataka kukata simu nikajikuta nakumbuka jambo muhimu sana nikamuuliza jina lake nani akanijibu; “Madam mimi naomba uniite ‘MR X’ kwa sababu pamoja na kukutana kwetu sitakuonesha sura yangu na sitakiwi kujulikana,” alisema mtu huyo.

Moja kwa moja nikajua ni yule mtu wa siku ile lakini sauti yake ilikuwa kama ya mtu ambaye anajitahidi kuifanya isijulikane, yaani sauti ya kuigiza, nikapima na kugundua ilikuwa ikifanana fika na sauti ya Dr.Ben nikacheka na kujikuta nikijisemea kimoyomoyo; “Mwalimu anakuwa na aibu kama mimi mwanafunzi Duh!”

NAKUPENDA MR X 41

Mapema siku ya pili nilijiandaa tena kwa kujinyoa majani yaliyoanza kuota katika bustani yangu, nikajipulizia marashi na kuvaa nguo zilizonipa uhakika kuwa Dr.Ben aliyejiita Mr X akiniona lazima adate.

Nikavua pete yangu ya ndoa na kuiweka kwenye pochi na kuelekea moja kwa moja hapo Afrika Sana kwenye ile Logde ya Maembe nikiwa ndani ya bajaji; Usiniulize niliijuaje hiyo lodge.

Nikiwa njiani nilipiga simu ya yule mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mr X, hakupokea lakini alinitumia meseji akisema, “nimeshafika nipo chumba namba 14 Manyara.”

Mke wa mtu bila aibu nikafika na kuingia ndani ya gesti moja kwa moja nikitafuta kile chumba nilichoelekezwa kisha nikafungua mlango uliokuwa wazi na kuingia ndani.

Kama kawaida nilikutana na yuleyule mtu aliyekuja siku ile kunila denda, japokuwa siku hiyo alikuwa na nguo zake lakini maski ilikuwa ileile na hata mikono yake pia. Akafunga mlango na kunibeba kwenye mikono yake kisha akaanza kunipa nyama ya ulimi nikiwa juujuu. Akanigusa kiuno na kuniamsha mashetani yangu nikajikuta natamka jina; “Dr.Ben hapooo…hapoo ashhhhh” mwenyewe akaendelea na utundu wake akisema; “siyo Dr.Ben, Mr X” nikabadili wimbo nikaanza tena; “Ooh Mr X hapoo ndiyooo uwiiii!”



Alinikunja vilivyo kiasi kwamba nilijikuta miguu yangu ikianza kuniishia nguvu, basi Mr X akanidaka na kunikumbatia akaninong’oneza; “leo nitakupeleka kwenye dunia nyingine upo tayari?”

Nikamjibu; “nifanye utakavyo kila sehemu ni yako.” Baada ya maneno hayo akaanza kunivua nguo zangu moja baada ya nyingine, mimi kwa mijihamu niliyokuwa nayo nikaanza kumvua harakaharaka nikijua pengine baada ya kuvua tu ataanza kunikata kiu kumbe lah.

Akanibeba na kunitupia kitandani, akainuka na kwenda kwenye dressing table akawasha simu yake, akaweka wimbo wa Celine Dione unaoitwa Power of love. Mimi macho yangu yakawa yanamtazama jinsi alivyoumbika kifua chake na zaidi mtalimbo wake ambao japo haukuwa umesimama ulikuwa ukineema upande upande kila alivyotembea.

Baada ya kuweka wimbo huo na kuseti sauti akanifuata kitandani na kuniambia, “kitu cha kwanza kufanya unapokuwa faragha hakikisha unaandaa mazingira yanayomfanya kila mtu kabla ya kufanya mapenzi kujisikia huru juu ya mwenzake.

“Usije ukafanya kitendo hiki wakati mazingira yako hayatoi ushirikiano. Kwa mfano huwezi ukafanya mapenzi vitani au wakati unafanya kazi nyingine. Ili kuenjoy vyote unatakiwa kufanya hayo ukiwa kwenye mazingira maalumu,” alisema Mr X japo mimi nilijua fika na Dr Ben.


NAKUPENDA MR X 43

“Cha kwanza lazima uhakikishe mazingira ni tulivu, masafi na ya siri kama haya. Lakini cha pili chumba kinatakiwa kiwe na mwanga hafifu na si mwanga mkali,” akasema maneno hayo, kidogo akawa ananichanganya maana nilikuwa bado nahemea juujuu nikibana na kuachia miguu yangu kwa hamu nikamuuliza; “ kwanini?”

Akaniambia; “Unapokuwa kwenye tendo hili akili yako yote inabidi iwe kwa mwenzi wako na kwenye tendo lenyewe, kunapokuwa na mwanga mkali, macho yako yanavutwa ule mwanga na kupunguza asilimia zaidi ya ishirini za utamu ambao ungejisikia wakati unafanya mapenzi kwenye mwanga hafifu. Pia kelele na uchafu vina madhara hayohayo pia.

Nikatamani nimuulize kuhusu muziki aliouweka kwenye simu yake lakini nikakausha kwa sababu niliona kama anachelewa kunitibu tatizo langu.

Nadhani na yeye alionekana kunisoma na kugundua hilo, akanisogelea na kunila denda tena, huku mikono yake ikinishika kiunoni na kupanda juu hadi tumboni, kwenye kitovu kisha ikapanda juu karibu na chakula ya mtoto, lakini hapo akawa anazungukazunguka tu bila kunishika vinido vyangu kwa dakika zaidi ya tano.

Hamu ikanipanda nikaanza kujishika mwenyewe, akanitoa mikono na kunibana kwa mikono yake, akaendelea na mchezo wake wa kuzunguka, nikajikuta nalia kilio ambacho sikujua kilitokea wapi, “Jamani Mr X unanitesaaa jamanii!”


NAKUPENDA MR X 44

Niliendelea na maneno mengine kibao ambayo hata sikujua yana maana gani, mwishowe akanipoza kiu yangu akaanza kunyonya vinido vyangu nikajilowesha tena huku nikihisi utamu mkali ambao hauelezeki.

Baada ya hapo akashuka chini na kuanza kunipapasa mapajani, nikaona aibu kuwa nimelowa pengine ataniona mimi mdhaifu nikapitisha mkono wangu na kuchukua kanga niliyokuja nayo na kujifuta kwanza.

Akaanza kunipitisha mkono mapajani akashuka na kupanda kama vile anataka kukigusa kiyoni changu lakini akaishia kuzunguka kwenye kuta za bibi. Akafanya hivyo tena kwa dakika nzima, hadi uvumilivu ukanishinda nikataka kujishika mwenyewe lakini akaniwahi tena na kunirudisha mkono wangu akanibana kisawasawa na kuanza kunifanyia utundu wake.

Hapo sikumbuki nilichokuwa nikisema lakini kama sikosei nilijikuta nikimtukana kilugha, kwa utamu aliokuwa akinipa na kunikata stimu. Aliposikia nimesema hivyo haraka akanishika ile sehemu na kuanza kusugua sidii.

Presha ikanipanda kama vile ninakata roho, utamu wa ajabu ulikuwa ukija kuanzia miguuni ukapanda kwenye mbavu zangu na kuja kichwani, kisha ukatawanyika na kurudi alipokuwa akinishika. Nikajikuta nikimng’ang’ania aniingize filimbi yake kwenye midomo yangu ya chini.


NAKUPENDA MR X 45

Mwenzangu ndiyo kwanza alionekana kutojali, akaendelea na mambo yake taratibu, nikamsogelea na kumshikilia nganganga huku nikijinyonganyonga pale kitandani kwa raha zisizosimulika.

Nikawa kama vile nimepandisha mashetani maana sikujisikia kama nipo duniani, nikamuona Mr X akinyanyuka na kufungua mfuko wa suruali yake akachomoa pakiti ya Kondomu na kuvaa. Yote haya nilikuwa nikiona kama vile anachukua mwaka kuyafanya nikajiingiza kidole mimi mwenyewe na kuanza kujimaliza.

Akaniwahi haraka na kunitoa mkono kisha akaanza kunipitisha dyudyumizi lake kama juu ya kiyoni changu kilichosimama kama nini. Akaingiza taratibu, robo robo mara nusu nusu kisha nzima nzima. Sekunde sikuchukua tayari akanifika kunako.

Siwezi kusema kilichoendelea maana sikuwa najitambua kwa kweli, nilikuja kushtuka nikiwa hoi nikapitiwa na usingizi mzito. Nilikuja kushtuka saa kumi jioni nikiwa peke yangu mle ndani.

Nikaoga nakuvaa nguo zangu haraka huku miguu yangu ikiwa haina nguvu kabisa ule msisimko nilioupata mwanzoni ulikuwa ukinipiga kama shoti kila mara nilipokuwa nikiuwazia.

Nikakagua pochi yangu nidhania pengine alikuwa ameondoka kimyakimya ili kuniibia hela zangu. Nikashangaa kuona kila kitu kipo sawa. Nikaondoka zangu nyumbani ili mume wangu asije kugundua kuwa niliondoka. Nikarudi nikiwa na aibu kwa mara ya kwanza nilijiuliza nitamtazamaje usoni mume wangu, dhambi ya usaliti ilikuwa ikiniumbua mno.


NAKUPENDA MR X 46

Nilifika nyumbani vizuri na kuandaa kila kitu kama mwanamke na mume wangu alivyorudi nilijitahidi kumkwepa hasa kukutanisha macho. Niliweza kufanya hivyo na baadaye wakati wa kulala nikawahi kama nini.

Nikawa sasa nawaza matukio ya siku hiyo, nikashangaa jinsi nilivyojisikia, nikafurahi kufikia kilele kwa mara ya kwanza, tena hiki siyo kilele tu bali ni kilele cha mlima mrefu duniani wa Everest.

Hapo nikajua kumbe kuna wanawake wengine hufikia kilele cha kichuguu na kudhania wamefikia kilele cha mlima. Nikafurahi kuona nikijisikia vyema na hata hamu ya kufanya mapenzi sikuwa nayo tena kama siku za nyuma. Hapa nikathibitisha zile dalili za mwanamke kuridhika alizozisema Dr. Ben maana nilikuwa nimezipitia zote.

Nilipowaza haya nikakumbuka pia dalili za mwanaume kuridhika anakuwaje. Nikajikuta nashtuka na kumuwazia Mr X ambaye nilikuwa na uhakika hakukojoa pale wakati anafanya mapenzi na mimi kwa sababu hata dakika moja haikutimia tangu aingize dyudyumizi wake kwangu.

Kwa kuwa maumivu ya kutiwa hamu na kuachwa nilikuwa nayajua vilivyo, nikajikuta namuonea huruma Mr X, nikachukua simu yangu na kutuma meseji kwa Mr X, nikamuuliza; “haloo mbona uliniacha kimyakimya vile?”


NAKUPENDA MR X 47

Meseji ikaingia; “Ulionaje umependa huduma yangu?”

Nikamjibu; “Mh.. wewe sijawahi kuona.

“Asante Madam,”

“Lakini najua wewe haujaenjoy hata kidogo kwa sababu nilikuacha bado kabisa.”

“usijali, mimi mtaalamu na kazi yangu kukufundisha wewe.” aliposema hivi akanifanya nimuulize; “kwa hiyo pale hata haukuwa na hisia na mimi?”

Akanijibu; “ndiyo,”

“mh kwa maana hiyo haukusikia kabisa utamu wangu?”

“ndiyo madam,” aliponijibu hivyo nikajisikia vibaya nikahisi kumbe kwa Dr Ben au Mr X kama anavyojiita, pamoja na sura yangu nzuri na shepu yangu ya kibantu sikumvutia chochote!

Nikajikaza na kumwambia kwa hasira; “ina maana mimi mbaya au?”

“hapana Madam sijamaanisha hivyo, ni kwamba bado wewe ni mwanafunzi kuna mengi ya kujifunza ukiyaweza unaweza ukawa mtamu zaidi ukanikojoza hata mimi, lakini lazima ujifunze sana, kwa vitendo na nadharia,” aliposema hivyo moyo ukashuka nikaona kumbe mwenzangu anahitaji fundi kama yeye ili amkoleze. Nikapata sababu nyingine zaidi ya kuapa kujifunza kwa bidii yote hayo nikimpania yeye.

Nikajisemea kimoyomoyo; “kama alivyonikojoza yeye leo, ipo siku na mimi nitamfanyia hivyo hivyo.”

Nikamtumia meseji tena; “kesho tunaweza kuonana tena palepale muda uleule?”

Akajibu; “ndiyo,”

Baada ya hapo nikakumbuka kuwa japo hakunitajia bei ya darasa lake lakini nilipaswa kulipia, nikamtumia shilingi elfu hamsini kwa njia ya tigopesa jina likaonesha kuwa ni “Nick Jermaine.”

Baadaye akanitumia meseji, “Asante Madam,”

Nikamjibu; “usiku mwema.”

Akanijibu; “na wewe pia tutaonana kesho,”

NAKUPENDA MR X 48

Ama kweli wanasemaga dhambi ni mara moja lakini ukiirudia inakuwa siyo dhambi tena, maana taratibu hukuingia kwenye damu na kuwa tabia yako. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwangu kwa kuwa nilijikuta nikichukulia suala la kutoka nje ya ndoa ni kitu cha kawaida, japo kuwa nilijisikia vibaya sana kumsaliti mume wangu kipenzi lakini ilibidi.

Hata hivyo nikiwa pale kitandani nilianza kuifikiria hiyo siku ya kesho, niliiona ikiwa nzuri kwangu kwa sababu cha kwanza nilitaka na mimi kumuonesha Mr X utundu wangu wa kitandani, kwa sababu nilijua kwa kesho sitakuwa na ile miukwasi ya siku za nyuma. Maana kwa mishinduo aliyonipa mapema siku hiyo nilijua hata ile hali ya kuweweseka nitakapomuona itakuwa haipo tena. Nikawaza kuwa kwa sasa nitaweza kuweka umakini katika kumfanya na yeye anayejichukulia fundi akojoe kwa raha nitakazompa hadi asiamini kama mwanafunzi wake kakubuhu.

Kwa hiyo unaweza kuona kwamba kwenda kwangu kesho kukutana na Mr X pale gesti hakukuwa na jambo jingine bali kumuonesha na mimi naziweza za uswazi na siyo lazima nijifunze kwenye darasa lao la mapenzi.


NAKUPENDA MR X 49

Niseme tu tangu kuanza kujitambua katika ulimwengu wa mapenzi siku hiyo ndiyo pekee niliyoweza kulala vyema kabisa tena nikawa kama nimezaliwa upya kwa kuridhishwa kimapenzi kama mwanamke kamili. “jamani wenzangu kama hamjawahi kufika kileleni mnakosa mambo maana mh siyo kwa raha ile!”

Kama kawaida mume wangu asubuhi hakuwa na tabia ya kuniamsha eti nimchemshie maji ya kuoga au kumuandalia chai. Yeye mwenyewe huwa anajifanyia hivyo vyote tena hata kunyoosha nguo zake.

Hivyo ndivyo alivyonizoesha na hata nikijitahidi kumfanyia mimi, utasikia; “mke wangu una kazi nyingi hizo niachie tu mimi.” Basi na mimi ndiyo nampendeaga hapo tu na si kitu kingine kwa maana kwenye suala la mapenzi simpendi kabisa.

Baada ya mume wangu kuondoka na mimi niliamka na kunywa chai kisha nikajiandaa na kuelekea kule tulipopanga na Mr X, kama kawaida nilimkuta akiwa amewahi kuliko kawaida.

Nilipofika akanitazama na kama kawaida yake akiwa na maski yake usoni akafunga mlango na mimi sikuona aibu nikamuelezea azma yangu ya kutaka kumuonesha Mr X kuwa na mimi ninataka kumuonesha ujuzi wangu wa kumfanya na yeye apate hisia na mimi.



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG