Search This Blog

Monday, January 24, 2022

LOVE INTERVIEW - 5

  

Chombezo : Love Interview

Sehemu Ya Tano (5)


Itaendelea.

LOVE INTERVIEW 43

“Samahani John tutakaa vizuri siku nyingine tukijaliwa, leo tumeonana yatosha au siyo! Halafu najua tangu ulivyotangaza kanisani kuwa unahitaji mchumba, wanawake kibao watakuwa wanakupigia, sasa sitaki upokee simu zao tena na kuhakikisha suala hilo linafanyika nitakuwa na kupigia kwa namba za marafiki zangu na kujitongozesha makusudi ili nione kama utafaulu na mtihani huo,” alisema Grace taratibu huwezi amini eti alimaliza kuongea na mimi na alikuwa anaondoka zake, akapanda gari na yule mdada bonge na kuondoka zao.

Moyo wangu uligoma kudunda kwanza, sikuamini nilichokiona mbele yangu, siwezi kumsifia nikammaliza jinsi Grace alivyo, nilitamani mumwone, ndiyo maana nikamwambia mtunzi awatumie jinsi alivyo hapo jana, nadhani mmemwona Grace. Okey na Shose.

Nikawa kama vile nimechanganyikiwa, nikaona hamna mjadala tena, hapo nitakachofanya ni kuandaa utaratibu wa kuoa tu, sina kipingamizi kwa Grace.

Haya moyo tulia sasa usukume damu usije kuniua bure, basi nikaamua nielekee kwanza hospitali kwa mama kumtazama, nilimkuta kidogo akitembea na kufanya mazoezi, alifurahi kuniona lakini alinitazama kwa kukata tamaa muonekano wake ukiongea; “haya mwanangu, si unataka nife, nitakufa tu bila kuona wajukuu zangu, nimeshapata hasara tena nifanyeje.”

Na mimi nikaweka sura yenye tafsiri ya: “subiri kidogo mama, nimepata bonge la mchumba, ukimuona utazimia, utazinduka na kuzimia tena na kadhalika.”

Basi baada ya kutoka hospitali, sasa nilienda kwangu kumkabili Stanis, tena nikitaka kuona kama kweli nyumba yangu ilikuwa safi au ndiyo ameiharibuharibu.

Nikashuka na bajaji na kupiga kengele, baada ya dakika tano nzima eti ndiyo kinakuja kufungua kisichana kimoja kikiwa na khanga kifuani, tena kilijiachia kama kwake, eti kakaniuliza; “wewe ni nani?”

“Mwambie huyo mpumbavu wako aliyekwambia uje kufungua mlango aje hapa.”

Kale kasichana kakarudi ndani huku kamenibetulia mdomo, mara kidogo Stanis akaja aliponiona alinywea nikaingia ndani na kupitiliza moja kwa moja chumbani kwangu, nikaona chumba kikiwa kimefungwa na kuwa kama nilivyokiacha.

Nikarudi sebuleni na kumtaka Stanis anielezee tena kwa kina upumbavu wote aliotaka kuufanya kwa Shose.


LOVE INTERVIEW 44

“subiri kwanza.. we Diana, nenda nyumbani tutaonana baadaye..!” alisema Stanis akimwambia huyo msichana aliyebeba vitu vyake na kuondoka harakaharaka.

“Sikia, John, mimi pamoja na umalaya wangu nilipomuona Shose, nywele zilinisisimka.. hadi leo hii namuota. walahi tena kaka sijawahi kupenda nina miaka zaidi ya kumi, lakini Shose nimempenda ile mbaya..amenivuruga. Hivi sasa hapokei simu zangu, anazidi kunichanganya. Najua umemkataza. Nataka nijue kwanini unakuwa hivyo?”

“Shose ni msichana mzuri, nimepanga aje kuoelewa na mtu mwenye heshima zake, lakini si wewe ndugu yangu. utamharibia tu maisha yake..halafu unadanganyia eti unataka kumtolea posa. Wewe!” nilisema.

“Najua hutaki kuamini lakini ndiyo hivyo, sijui nifanye nini uli uniamini.. enhe niambie vipi watoto wakali umewapata?” alisema Stanis.

Ngoja nikupe siri ya wanaume wakware walivyo. Ni kwamba wao wanakuwa hawawezi kutulia na msichana mmoja na ndiyo hulka yao. Siyo kwamba hawapendi, wanapenda na wanaoa kabisa wawapendao kama Stanis anavyodai kumtaka shose, lakini akioa siyo kwamba atatulia, la hasha bado ataendelea na masebene yake pembeni akifanya siri ya ‘simuni’ huku akimjali mkewe kama kawaida.

Sasa siku zote siri haifichiki, siku itakuja tu kufichuka, sasa hapo ndiyo kuna wanawake wa aina mbili, kuna wale watakaowasamehe waume zao kwa kusema; ah ya nini kujipa presha wakati mimi ndiyo niliyeolewa, mara ooh wanaume hawaridhikagi na mmoja!

Halafu baada ya kusema hayo hukaa nyumbani tulii hata mumewe akisafiri unakuta wanasema: mume wangu unasafiri kikazi miezi mingi, najua lazima utafanya mapenzi, basi utumiage kondomu hizo nimekuwekea kwenye begi.

Huyo sasa ndiyo mwanamke ambaye Stanis anamtaka na sikuwa tayari kumuachia Shose wangu amfanye hivyo.

Aina nyingine ya wanawake ni ile ya wivu mtindo mmoja, wakiona una mchepuko wataanzisha varangati nyumbani hadi kwa mchepuko. Hao ndiyo ninaowataka mimi kwa sababu lazima nao wanakuwa hawana michepuko pia.

Je, wewe upo kundi gani hapo?

LOVE INTERVIEW 45

Niliwaza hayo kabla ya kumjibu Stanis kwa sababu mwisho wa siku ni rafiki yangu wa pekee ambaye tunaweza kuongea mengi kwa muda mrefu.

“Ebwana, kweli nimempata mwanamke anaitwa Grace, aisee ni mzuri dunia. Sijawahi kuona yaani mademu wote wabaya huyo ukimuona utakufa kaka.”

“duh kwa hiyo vipi umemu-interview?” aliuliza Stanis.

“Kaka hata interview yenyewe nimeghairi, nataka kumuoa na nimekuja kukutaarifu kuwa nitamleta hapa nyumbani soon, hivyo jiandae kurudi kwenye pagale lako,” nilisema.

“John! Kule ni kwangu na lazima nirudi, ila huyo msichana umempitisha bila kumfanyia interview? una akili kweli wewe? Si ndiyo yaleyale tuliyokuwa tukiyazungumza zamani! Kwamba unaoa mtu unayempenda? au unaoa mtu anayekupenda?”

“kaka hayo mambo mimi sitaki kuyazungumzia sasa hivi, ila aisee kwa Grace nipo tayari nijifie, kwa sura yake tu hata kama nimfumanie, sitaona akyanani. Kwanza hayo mainterview yatanipotezea muda.. hivi hapa nilipo naona kama vile huko nilipomuacha wenzangu wananipindua!”

“Duh mshkaji umependa hahaahaa! Mama’ke walahi umependa John! yaani mimi nikiwa hivyo kwa mwanamke naomba unifunge kamba unipeleke kwa mganga maana nitakuwa nimerogwa siyo bure. kha!”” alicheka Stanis, nikajiongeza kumbe ile anavyojidai kumpenda Shose siyo kweli bali anataka kumchezea tu. Bora nilivyombania na nitaendelea kumbania hadi akome.

“Utajijua mwenyewe ila, ndiyo hivyo ninataka kurudi hapa ili nimuoneshe hadhi yangu niliyokuwa nayo katika jamii,”nilisema, Stanis akazidi kucheka mno.

“Kaka wanawake siyo wa kuwaamini hivyo, sasa nakuomba acha mitihani yote uliyompangia ila ubakishe mtihani mmoja tu..” alisema Stanis.

“mtihani gani?” niliuliza kwa kunyapianyapia.


LOVE INTERVIEW 46

“nataka unipe namba zake nijaribu kumtongoza kwa ujanja wangu wote, akinikatalia basi atakuwa amefaulu, lakini akikubali, achana naye hakufai,” alisema Stanis. Nikakataa maana hata wazo la kufikiria Stanis akihondomola kitandani na Grace liliniumiza roho nikawa nahisi kama vile ndiyo nimemfumania kimawazo; nitaua mtu mimi!

“Unakataa hujiamini au haumuamini huyo demu wako? sasa oa udhalilishwe na watoto wa mtaa, tena siku hizi wauza urembo tu ndiyo wanatugongea. Wewe ukienda kazini washkaji wanakuja na vikapu vyao vya rangi za kucha na pedicure! Haya oa baba,” alisema kwa kukebehi Stanis.

“Poa namba zake hizi hapa tuone!” nilijikaza kiume na kuanza kumtajia namba za Grace, malaya wa dunia; Stanis.

Akaisevu na kuniambia: “nipe siku tatu na sitaki unibughudhi kwa chochote nitakuwa nakupa tu ripoti. Unataka akinikubalia nimfanyie maombezi ya ufufuo na uzima kabisa au nikustahi?”

Aliposema hivyo nilijikuta namvamia na kumkunja. Nikajishtukia nimepaniki nikamuacha na kutoka zangu kwa hasira nikachukua bajaji hadi Mbagala.

Nikashuka nikiwa na kisebusebu kuwa nimefanya jambo sahihi au siyo sahihi, okey hivi. Vipi basi kama Grace atamkubalia kweli Stanis? Mama yangu, moyo wangu utakuwaje! Sijui nimpigie Grace nimwambie kuwa kuna mshkaji wangu malaya sana atamtongoza baadaye, ili amkatalie kabisa! Mh.. lakini ataniuliza huyo mshkaji wangu amepataje namba yake.

Mh sasa si Stanis ataenda kwa Grace na magari yangu na kumuoneshea nyumba yangu kama yake? hivi sijui Grace atamkatalia kweli Stanis akiigiza utajiri na kuwa na mimi shamba boy? Sijui! Hivi kuna wanawake wa hivyo duniani? Maana mara ya mwisho nakumbuka Mungu aliacha kuwaumba mwaka 1989 kuanzia tisini hapa fujo tu na mabaki ya udongo wa mwisho.

Je, Grace atamkubalia Stanis ili #teamgrace wafunge virago?

Itaendelea..

LOVE INTERVIEW 47

Nikashusha pumzi na kuhema vizuri sasa, nikaelekea kwenye supermarket moja pale njiani kununua mvinyo wenye kilevi. Nilipofika giza la saa kumi na mbili, Shose akanipokea kama kawaida yake tukaingia ndani akanisoma haraka kuwa nina tatizo.

“kaka vipi? Mbona hivyo?” aliniuliza.

“Enhe vipi ulionana na dalali?” nilizuga kwa kubadilisha mada.

“ndiyo nilienda, nimesikia umenilipia wewe, mbona unaharibu hela hivyo wakati wewe mwenyewe una matatizo?” alisema Shose.

“Kwani hela yenyewe ni nyingi basi! chumba kwa mwezi ni elfu ishirini tu. Vipi amekupa ufunguo?”

“ndiyo! Enhee vipi niambie kuhusu huyo wifi, umekutana naye?”

“Ndiyo,”

“hahaa hongera kaka waooh!” alisema Shose na kunikumbatia.

Lakini sikujibu kumbatio lake maana mikono yangu ilikuwa imening’inia tu kama zombi.

“Sasa mbona kama hauna furaha nini tatizo?” alisema Shose.

“utajua tu baada ya siku tatu, sasa hivi sitaki kuzungumza chochote, ila siyo tatizo kubwa bali ni wasiwasi tu..” nilisema.

“Wasiwasi?”

“Ndiyo nina wasiwasi. Ni kama vile unamwachia mfupa wako fisi, unatarajia nini?”

“Ataula tu!” alijibu Shose.

“Ndiyo kinachonipa wasiwasi, naombea asiule mfupa wangu,”

“Mh sijaelewa, kwanini ulimpa fisi mfupa wakati unajua madhara yake?”

“Hahaa! Mfupa wangu ni wa ajabu kidogo, una uwezo wa kukataa kuliwa na fisi ukiamua. Nimeupima mfupa, kama ukipita siku tatu bila kuliwa, nitakuwa na furaha isiyopitiliza tangu nizaliwe,” nilisema, Shose akabakia anaguna tu.

Nikafungua ule mfuko na kutoa mvinyo wangu. Nikaweka mezani.

“Kaka, umeanza kunywa pombe siku hizi?” aliuliza Shose kwa mshangao.

“Hapana, ninakunywa leo tu, kwa sababu nina wasiwasi, chukua glasi tunywe” nilisema.

“hapana kaka sitaki kunywa, pombe nilionja siku moja ni chungu sitaki!” alisema Shose.

Wakati huohuo nikaona simu ikiita kwa namba ngeni, nikataka kupokea lakini nikaacha kwa sababu nilikumbuka mkwara wa Grace kuwa atakuwa akinitesti kwa kunipigia kwa namba ngeni kunipima kama naendelea kupokea simu za wanawake wa kanisani au nimeacha.

Sasa hata simu yenyewe nikawa naogopa kupokea, kwa kifupi Grace alinikatisha nisiendelee kupokea simu za mademu, tena alinikomesha maana interview sasa ni ya kwake tu.


LOVE INTERVIEW 48

Na kama atanasa kwenye mtego wa Stanis maana yake nitafungasha virago vyangu na kuhama jiji maana si kwa aibu hiyo.

Mara kidogo nikapokea meseji kwenye simu yangu nyingine kutoka kwa Stanis ikisema; “kaka ndiyo nachati na mtoto hapa, kanitumia picha zake whatsapp duh ni nyokoo aiseee. Kesho amekubali nikutane naye Sea Cliff, lazima nile mzigo; sasa kama vipi nitumie laki moja basi maana nipo apeche alolo.”

Huyu mseng* nini yaani nimpe hela ya kwenda kunigongea demu wangu, ni chizi nini?; nilijisemea moyoni maneno hayo wakati huo roho yangu ikawa inataka kuchomoka na kurudi tena ndani. Nikamimina mvinyo kwenye glasi hadi juu,nikaubugia.

“Shose mbona tamu, onja!” nilisema Shose akawa kama haamini hivi, akaingia kwenye kabati na kuchukua glasi yake nikammiminia akanywa na yeye akashangaa kuona ni tamu.

Basi mimi nikamaliza glasi nzima harakaharaka na kumimina ya pili na nikammiminia tena Shose naye.

Taratibu pombe ikaanza na kunichota, nikawa sijalewa ila nilikuwa juu (high), kila kitu kilianza kubadilika mle chumbani.

Nilianza kujisikia amani, furaha, halafu nikawa najiamini ile mbaya, nikamtazama Shose, wakati huo nikamuona kwa hakika uzuri wake ulizidi kumetameta, pombe ilinifanya nimchunguze Shose kwa details yaani kipengele kwa kipengele.

Ni kama vile rohomtakafujo akanishushia waraka usemao; “1.Ewe mpumbavu ya nini basi hata utafute mke kwa tabu, wakati nimekuumbia malaika ndani ya nyumba yako mwenyewe? 2. Enenda sasa umtwae awe mkeo”.

Basi upako wa roho mtakafujo ukanitembelea jioni ya leo, na Mikono yangu kamwe haikuwa na uoga tena. Tazama nikaenenda na mpango, mikono yangu ikamgusa Shose mapaja yake myeupe pee huku rangi hiyo ikizidi kukolea na kuwa pinki mpauko kadri nilivyoingia ndani, alikuwa na ngozi laini na ya motoo.

Nikamuona jicho likimuanguka akawa anagugumia tu kwa mbali, naye pombe zilionekana kumkolea sawasawa, akaweka glasi yake pembeni na kunisikilizia nikifanya utalii wa ndani kwenye mwili wake.

Uwii kama ulibeti mkeka umechanika!

Itaendelea..

LOVE INTERVIEW 49

Uzuri wa pombe ukiwa umeonja unakuwa hauna uoga, hata zile hisia unazozificha huwa zinatoka nje na kujionesha bila kujali watu watakuonaje. Mfano siku zote nilikuwa nikimtamani Shose na kuona anawafaa wengine na si mimi, lakini siku hiyo niliona kwa nini mimi nisiwe ndiye mtu nitakayemuoa?

Hisia hizo pia zilikata misingi ya staha za kibinadamu yaani mfano kumkurupukia tu Shose na kuanza kumtomasa, kabla ya kumfungukia hisia zangu kwanza. Nadhani hata yeye mwenyewe alikuwa kama mimi, aibu zake zilimtoka nikasikia akinong’ona kwenye sikio langu.

“aaaaaash kaka Joooohnnn!”

Mkono wangu mmoja wakati huo ukaendelea kufanya upepelezi na kutomasa maembe bolibo yaliyojitokeza kifuani kwa Shose nikipima kama yameiva au bado mabichi.

Ilionekana kwa kumshika hapo ndiyo nilimvuruga mtoto wa watu, akainuka na kunifanya nimpe nafasi ya kunifanya anachotaka, nikaona mikono yake ikihangaika kufungua mkanda wangu wa suruali.

Mikono laini ya Shose ikafika mbali na kumshika bakari-kichwa wangu aliyekuwa mgumu kama mti wa mpingo kama vile sijawahi kuguswa na mwanamke hapo kabla maana nilisisimka hadi nikapata vipele vya baridi kwa mguso tu wa Shose.

Nikajibu mapigo, wakati akinivua suruali na mimi niikaanza na top yake ya juu,nikakutana na bra, nikaanza kutafuta kwa kufungulia. Ikafunguka nikaichia mikanda taratibu ikidondoka yenyewe na kunionesha kifua chake.

Kama vile jahazi linalopelekwa pwani na mawimbi, ndani ya penzi tukaseleleka. Mikono yake sasa ikaanza kunisugua nusu mdudu, wakati suruali yangu ikianguka na kufikia magotini. Nami sikukaa kama gogo nikasilizia utamu huku nikamvamia mdomoni na kuanza kula denda nikashangaa kuwa kumbe naye hakuwa mgeni, alikuwa mtundu zaidi.

Nikatoka mdomoni kwake na kuonja embe sindano zilizosimama kama mwiba ya mchongoma. Wakati huo mkono wangu mmoja ukazama chini na kudili cha ndani ya sketi yake nyepesi iliyojiachia baada tu ya kuigusa. Nikapenyeza kidole changu taratibu kutafuta lipsi zake za chini zilizojificha ndani ya chupi.


LOVE INTERVIEW 50

Nikapima oili na kuzuga kile kidole nikakipitisha puani kwangu bila yeye kuniona ili mradi tu nikinuse kujua kama ni msafi au ni mchafu, kama niingie chumvini au niache.

Huo ni ujanja ambao nilikuwa nikiufanya kila mara ninapokutana na msichana mzuri, lazima niingize kidole na kunusa, nisije kupata fangasi ya mdomo bure maana wengine siyo wasafi ni uzuri wa nje tu.

Huwezi amini kidole kilikuwa hakinuki hata kidogo, nikajisemea moyoni: “Hawa ndiyo ile aina ya wanawake ambayo mtu unaweza kufanya nao mapenzi bila kuvaa kondomu.”

Basi nikaugeuza mchezo nikamlaza yeye kwenye kochi, nikamvua sketi yake na kufungua package iliyofichwa ndani ya boksi la zawadi.

Nilichokiona nilishangaa, maana aliumbika si sura tu hadi huko chini, tena kuna sehemu nilisomaga utafiti wanasema kujua shepu ya kitumbua cha mtoto wa kike, unaweza kutazama midomo yake tu, mfano mwenye midomo minene kama ya Shose basi walikuwa wamejaliwa hadi midomo ya chini, wenye midomo myembamba huwa na midomo myembamba hivyohivyo.

Basi bila kujali, nikazama Uvinza na Ugweno, kama nanyonya embe za Ikwiriri. Nikashtukia tu Shose akiugulia na kuhangaika kama ana kata roho. Akanivuta kwa nguvu nikamlalia juu yake, akasema kwa sauti ya kumi na nne: “Kaka John ulikuwa wapi mda woteee!”

Nikajifanya simsiki wakati ngozi yake ikiwa juu ya ngozi yangu, joto langu juu ya joto lake, ilikuwa kama vile tumemwagiwa maji, nikasikia harufu ya jasho lake na nikaipenda na ikazidi kunichengua.

“Nipe sasa hivii kaka John!” alilalama Shose akinibana kwa miguu yake iliyopita kiunoni, nikashindwa kujizuia, kisu changu kikatoka kwenye ala yake na kuingia kwa shidashida ndani ya himaya ya Shose, kikatoka na kuingia tena, nikisikilizia moto na msuguano hatareee.

Ilikuwa raundi baada ya raundi tukienda kilele cha kwanza na kingine usiku mzima tukapitiliza hadi asubuhi. Nikashtuka nikiwa uchi wa mnyama, Shose akiwa amenilalia kifuani kwangu pale kwenye kochi.

“Mama yangu nimefanya nini?”



Wakati nashtuka tu na Shose naye akashtuka. Naye kama mimi akakimbilia kutafuta nguo zake akiwa utupu kama alivyozaliwa.

“kaka umefanya nini?” alilalamika Shose, hata mimi nikanyanyua mabega kuonesha kwamba sijui chochote, nilichokumbuka kila mtu alijituma kwenye tendo la jana.

“Kuanzia leo sitaki kukaa tena hapa, naenda kuoga halafu naenda kule uliponipangia hapana, sitaki tena kitokee kilichotokea jana!” aliongea Shose kwa aibuaibu na wasiwasi kama vile tulivyonjunjana jana nimeondoka na kiyoni chake.

Akaenda kuoga na kurudi akavaa nguo na kuanza kuondoka, nikamdakia mlangoni, lakini akanipokonyoka na kuondoka zake.

“Shose!” nilimuita lakini hata hakugeuka.

“Mh John vipi za asubuhi!” alinisalimia Zainabu, yule mtoto wa mwenye nyumba mwenye shindu la maana.

“Salama, mmeamkaje?” nilimjibu salamu lakini naye alionekana akinitazama kwa kina huku akimuangalia Shose aliyekuwa akipotelea barabarani.

“Mh! jana wewe na mdogo wako mlikuwa mnapeana wenyewe, hadi ikawa kero nyumba nzima, wenzenu tunawekaga hata wimbo kweye sabufa nyie mlikuwa mnakula tunda chukuchuku yaani ndiyo mlikuwa mnatukomoa au?” alisema Zainabu nikashtuka loh!

Kwa aibu nikaingia ndani kujifungia hata kwenda kuoga nikawa najishtukia nilidhani huko uani kila mtu atakuwa akinitazama mimi nikienda kuoga kwa niliyoyafanya jana.

Anyway, kila mtu na maisha yake; nilienda kuoga na kurudi zangu ndani nikiwa sijali macho ya vidudu mtu wala shilawadu.

Nikakaa kwenye kiti nikianza kutafakari nilichofanya jana. Kusema kweli pamoja na umalaya wangu sikuwahi kula tunda tamu kama la Shose. Tena kumfikiria tu kukamfanya Selebobo wangu asimame wima maana bado nilikuwa na mshawasha wa mahanjam ya jana usiku.

Nikafikiria na kuona kweli, inabidi nimuoe Shose na si mwanamke mwingine yoyote, kwa sababu kwanza Shose alikuwa na mimi siku zote lakini pia alikuwa na sifa zote nilizokuwa nazihitaji, halafu nilimuamini mno kiasi kwamba niliweza kulala naye bila kuwa na hofu ya yeye kunifanyia jambo baya usingizini, kitendo ambacho nilikuwa siwezi kufanya na mwanamke mwingine.


LOVE INTERVIEW 52

Nikajicheka na kuona kwanini nilikuwa napoteza muda siku zote hizo. Ama kweli nikatambua kuwa usiombe Mungu akupe mume mwema, wala mke mwema; Omba Mungu akufungue macho ya rohoni ili umuone mume au mke mwema, maana anaweza kuwa karibu yako kuliko hata mimi na Shose.

Washkaji eeh! nampenda Shose, amefaulu mtihani wangu, sijali kuhusu huyo Grace najua atamkubalia Stanis na nilikuwa na uhakika haitaniumiza hata kidogo.

Basi nikafunga rasmi interview yangu na kupanga nimnunulie pete nzuri ya Tanzanite, Shose na nimvishe kwa sapraiz, na siyo sapraiz za kibongobongo yaani mvishwaji anajua atavalishwa pete siku tano kabla na ukute hata pete yenyewe kanunua yeye, halafu kwenye instagram anajifanya: “Ooh I was really surprised,Gosh I said Yesss!” Nyoooo, toka huko.

Yangu mimi na Shose nilipanga kuwa sapraiz kweli tena nitaifanya New Africa Hotel na huko ndiyo nitamfungukia mbele ya mama yangu, marafiki zangu na ndugu zangu, tena nitaita na Malaika Band ije kutumbuiza halafu kwa kumkomoa nitamuita Grace na Stanis waje kushuhudia, tena Mshereheshaji akinipa kipaza nitawaelezea jinsi nilivyofanya interview yangu mwanzo mwisho.

Tena kuthibitisha nipo siriazi niliongea na meneja wa New Africa, nikabook ukumbi mzima tena alifurahi na kusema hoteli itaandaa mazingira mazuri kuanzia chakula, mapambo na hata malazi kwa watu watakaohitaji kulala, lakini tukio hilo akanitaka tulifanye usiku wa Jumamosi.

Basi kwa kuwa siku hiyo ilikuwa ni Alhamisi, nikapiga hesabu na kuona ni vyema maana ndiyo siku ya Stanis naye kuhama nyumbani kwangu na huyo demu wake Grace. Watajijua wenyewe wataenda wapi maana Shose atakuwa ni mama mwenye nyumba.

“I Love U Shose,” nilisema na kurusha busu hewani.

Mara simu ikaita ni Stanis; “kaka, nitumie basi ile hela ndiyo naelekea hapa Sea Cliff kuonana na mtoto,” alisema Stanis kama vile anataka kuniumiza, lakini alishangaa nikiwa happy tu.

“Okey ngoja nakutumia laki tatu kabisa,” nilisema, jamaa nahisi alibaki mdomo wazi akijiuliza, John leo vepee.

Nikamtumia; na asivyo na shukrani hata hakujibu.

Itaendelea..

LOVE INTERVIEW 53

Nikakaa ndani nikawa napiga hesabu sasa maana kichwa kilikuwa kinaniuma kidogo kutokana na hangover ya jana usiku, nikapanga niende kutafuta supu nzuri ya utumbo kule hotelini ili nikate pombe ya jana.

Huwezi amini ile namaliza kuvaa tu; mlangoni alikuwepo Shose akiwa na poti dogo mkononi, akanikabidhi huku akitazama chini, nikafungua na kuona ni supu ileile niliyoiwaza akilini, loh!

“Asante Shose,” nilisema lakini mwenzangu akaishia mlangoni palepale tena asitake kuingia ndani kabisa.

“Mh tamu umepikaje mbona haraharaka hivyo, nilienda kununua jiko la gesi na baadhi ya vyombo nikajua tu utakuwa na hamu ya supu kutokana na hali yako ya jana ndiyo maana nimekuletea,” alisema na kuondoka na mimi sikutaka kumwambia chochote kinachoashiria mapenzi siku hiyo kwa kuwa nilikuwa nimeiweka sapraiz na yote atayajua kesho kutwa.

Basi nikakaa zangu gheto nikiangalia muvi moja baada ya nyingine. mchana Shose akaniletea wali na Kisamvu na kunitaka nile hadi jioni. Nikamshukuru zaidi lakini kama kawaida hakuingia ndani kwangu. Jua lilizama, usiku nikawa namuwaza yeye tu, uzalendo ukanishinda nikampigia Shose na kumtakia usiku mwema japo niisikie tu sauti yake, akanijibu tu kwa kifupi; “Na wewe pia.”

Nikafumba macho nikiimeza sauti yake na kuiweka rohoni, ilikuwa ni sauti nyoofu ya mwanamke niliyetokea kumpenda kimaajabuajabu, nikikumbuka historia yetu nusura nicheke.

Nikapitiwa na usingizi, hatimaye siku ya pili ambayo ilikuwa ni Ijumaa iliingia nikiwa nimevumilia tu kumwambia Shose ninavyojisikia. Nilijua hata mwenyewe alikuwa akiona namchukulia kama wale mademu zangu ninaowasuuza na kuwaacha kwa siku moja ndiyo maana alikuwa hataki kabisa kunisogelea tena; lakini la hasha. Nikasema kimoyomoyo. “Kesho utaona thamani yako kwangu,” Shose.

Siku ikapita tena na sasa ilikuwa ni asubuhi ya siku ambayo nilikuwa nikiisubiria kwa hamu, nikampigia Meneja wa New Africa akaniambia kila kitu tayari.


LOVE INTERVIEW 54

Nikamtumia meseji daktari wa mama, akasema anaweza kuja na mama kwa kumsapraiz tena akanipongeza na kusema kuwa hiyo itamsaidia hata na mama pia kupata ahueni ya ugonjwa wake. Nikawapigia wafanyakazi wangu ofisini wote wakajiandaa kuja kuona bosi wao nina jambo gani.

Wakati huo nikamuandaa Shose nikimdanganya kuwa tunatakiwa kwenda kwenye harusi ya rafiki yangu fulani, basi nikampa hela ya saluni na mapema sana nikampeleka kwenye maduka ya nguo akachukua gauni zuri mno jeusi la kumetameta kwa kuwa sherehe yenyewe ilikuwa ni usiku pia.

Sasa wakati Shose yupo saluni nikaanza kupiga hesabu, nani ambaye sijamualika, ooh angalia nilivyomsahau Grace na Stanis, ngoja niwaalike maana wote walikuwa kimya kama nini sijui ndiyo walishagongana huko! Watajijua wenyewe.

“Stanis vipi?” nilimsalimia.

“Poa mwanangu,” Stanis alijibu kwa sauti ya kinyonge kidogo.

“sikia, leo saa moja jioni kuna sapraiz party njoo na huyo malaya wako, New Africa Hotel, msikose! Halafu leo ndiyo ujiandae kuondoka, kesho asubuhi unarudi kwako,” nilisema.

“poa haina noma,” alisema kinyonge tena ikabidi nimuulize kulikoni.

“Dah! Kaka kwanza ngoja nikwambie tu ukweli, bwana yule demu wako Grace.”

“Kafanya nini?” niliuliza.

“Yaani bora angenitosa tu moja kwa moja, wakati namnyenganyenga akadai ana mchumba wake, tena mbaya zaidi nilipomuuliza ni nani akanitajia anaitwa John Stephen, yaani alinivuruga, nikatumia kila ujanja ninaoujua lakini alionekana kama vile kaja tu kunisanifu na alivyo mshenzi bili yote hadi yangu alinilipia,” alisema Stanis nikabaki mdomo wazi kama teja ametajwa kwenye listi ya Makonda. Maana huyo John Stephen ambaye Grace amemtajia Stanis, si ndiyo mimi au?

Mh kwa hiyo Grace kashinda mtego wa Stanis? Hapana.

“Kaka kwani ulienda na gari?” niliuliza kupata uhakika.

“Nilienda ile Hilux tena kumuoneshea jeuri nilikuwa nazungusha na ufunguo kidoleni, tena haitoshi nikavaa na ile suti yako ya Dubai, lakini kaka kote huko ni hola.”


LOVE INTERVIEW 55

“Halafu nahisi siyo mtu masikinimasikini kama ulivyoniambia mwanzoni. Kaka mimi nimemshindwa bwana, Grace anaonekana anakufaa maana si kwa misimamo ile, sijawahi kutoswa hata siku moja lakini leo nanyoosha mikono,” alisema Stanis.

“Mh! hebu kata kwanza,” nilisema maana simu yangu ilikuwa ikiita nikacheki namba, ni Grace.

“hallow my John!” alisema Grace.

“hallow!” nilijibu.

“Upo wapi, nipo Mbagala hapa nataka kuja kwako,” alisema Grace nikawa nimeanza kuchachawa.

“Ni..nipo nyumbani, Charambe, Matitu, kwa Mzee Maugado,” niliposema hivyo dakika mbili nyingi, akanipigia simu nimuelekeze, nikamuelekeza kwa njia za vichochoro, unajua alichosema?

“Nakuja na usafiri binafsi naomba nielekeze njia ya gari!”

Kwa mara nyingine nikabaki mdomo wazi kama teja ametajwa kwenye listi ya Makonda, duh hapana nimerudia hii, basi nikabaki mdomo wazi kama.. kama… ebwana eeh utajaza mwenyewe. Ooh mdomo wazi kama #teamshose wanaoona ushindi wa Grace.

Kufumba na kufumbua, Grace huyu hapa alipaki gari aina ya Verossa, na alikuwa akiendesha mwenyewe. Nikamkaribisha ndani kwangu nikiwa nashindwa hata kuhema. Nilishakwambiaga ni mzuri mno, the Black Beauty, sasa siku hiyo alikuwa The Most Black Beauty. Tena kuthibitisha hilo Zainabu alitoka na ndugu zake wote, kama wameona malaika hivi.

“Grace!” nilimuita nikiwa siamini.

“Yah ndiyo mimi, sikia John najua nilifanya siri, lakini ni katika hali ya kukutest tu kama ulikuwa siriaz unahitaji mtu wa kumuoa, nilidanganya kazi yangu makusudi, lakini nilidanganya pia na elimu yangu yote hiyo ni kutaka unipende kama nilivyo kwanza. Mimi naitwa Grace Mackdonald, ni mtoto wa mmiliki wa Hoteli ya Sea Cliff,” alisema Grace and I was like; Whaooooh!

“Soooo..aah.. eeh!”domo lilijaa gundi ya Super Glue.

“ooh kumbe unaishi hapa? Ok sasa nitakupa nyumba nzuri, gari na kukubadilishia maisha, kama utakuwa tayari. Kuanzia leo umefaulu mitihani yangu, je mimi nina vigezo vya mtu unayemhitaji?”

“Ndi..ndii.. ndii.. ndiyooo!” nilisema na kusahau kabisa kuhusu Shose.

Wakati huo ghafla simu ikaita, Grace akaiwahi na kusoma jina, “Shose ndiyo nani?”

“Mdogo wangu!”nilijibu.


MWISHOOOOOOOOOO



0 comments:

Post a Comment

BLOG