Search This Blog

Monday, January 24, 2022

JOMONI NIFUNZE NA MIE - 3

   

Chombezo : Jomoni Nifunze Na Mie

Sehemu Ya Tatu (3)


Lakini siku hiyo nililala nikiwa na mtazamo mpya kichwani mwangu kuhusu suala zima la mapenzi. Tayari nilikuwa nimeishaanza kuamini kuwa raha ya mapenzi ni kumpata mpenzi anayejua mapenzi, nikahisi nimekosea hata kuolewa mapema nikajisema bora ningekutana na Dr.Ben kwanza.

NAKUPENDA MR X 29

Niliendelea na kazi zangu nyumbani nikila na kunawili na kwa wakati huo hata vichocheo vyangu vya mwili vilikuwa vimeamka na kunifanya kila baada ya siku chache nijisikie msisimko ambao mume wangu hakuwa mkunaji.

Hauwezi amini nikawa kila nikiwaza namuwaza yule mwanaume aliyekuja na ile maski usoni. Ilifikia wakati kila nikiona mwanaume wa hivi hata kwenye televisheni nikawa namkumbuka yule mwanaume.

Siku zikakatika hatimaye wiki, nikaanza kufikiria kumpigia Blandina ili anipe ratiba ya darasa. Nilipompigia akaonekana kunichangamkia lakini nilipomwambia kuhusu darasa akaniambia kuwa Frank anaumwa mafua hivyo yeye hatakuwa kwenye mudi lakini akama nikitaka kama kufika kwa ajili ya mafunzo ya kawaida basi nakaribishwa kwa kuwa darasa ni siku hiyo.

Basi mie nikajifanya naenda kwa mawili, la kwanza kumpa pole shemeji Frank la pili ni kujifunza mada mpya.


NAKUPENDA MR X 30

Nilifika na kuingia ndani nikawakuta wakiwa wamekaa sebuleni wote, shemeji yangu Frank akionekana kweli ana mafua sana maana hata sauti yake ilikuwa haitoki vizuri.

Kama kawaida baada ya kufika tuliinuka na kuingia kwenye kile chumba chetu cha makamuzi, na mimi siku hiyo nikiwa mwenyeji haswa.

Lakini macho yangu yakawa yakimuangalia Dr.Ben muda wote huku nikimtamani hasa kwa ile staili aliyokuja nayo ya kujificha uso wake. Lakini mwenyewe alikuwa haoneshi dalili zozote za kumtazama Mary hasa kutokana na kitendo chake cha jana yake cha kumkimbia wakiwa kule korokoroni.

Mary akaanza kuwa na wasiwasi kuwa pengine hakuwa Dr.Ben ambaye aliingia mle chumbani. Akamtazama mume wa shoga yake lakini akaona hakuwa yeye na uwezekano ulikuwa kwa Dr. Ben pekee.

“Leo tutajifunza kuhusu ‘sexual fantancies’ kwa kiswahili sina maana kamili lakini ni kama matamanio ya kuona kitu kwa mfano wa taswira uliyoiumba wewe mwenyewe, hiyo ndiyo fantancy. Linapokuja suala la sexual fantancies maana yake hizo taswira umbishi zinahusu mapenzi tu. Na si kitu kingine.


NAKUPENDA MR X 31

“Hapa unaweza ukakuta mtu anapenda kumuona mpenzi wake akiwa ndani awe uchi tu hata kama anafanya kazi nyingine ambayo haihusiani na mapenzi. Lakini mwingine unakuta anapenda kumuona mpenzi wake akiwa amevaa kanga moja tu na wengine huenda mbali zaidi kwa labda kupenda kufanya mapenzi na mpenzi wake porini hata kama wananyumba na vyumba vya kutosha.

“Kupenda huku kunamjengea mtu huyo kuwaza mpenzi wake akiwa hivyo na fikra hizo hukaa kichwani na kuwa hiki kitu kinachoitwa sexual fantancies. Mbaya zaidi ni kwamba mtu anakuwa nazo lakini hazisemi kumwambia mpenzi wake naye akakubali na kufanya kama mwenzake anavyotaka. Lakini nyingi kati ya hizo hushindikana kufanyiwa kazi na kuishia kwenye fikra za mtu bila kutoka nje kwa kuwa mpenzi mmoja huona aibu kumwambia mwenzake na kuishia kujinyima utamu wa mapenzi.

“Sasa kama hautamwambia mpenzi wako unachojisikia kutakuwa na mapenzi kweli hapo?” Aliuliza Dr.Ben tukajibu hapana, hapo nikiwaza mgogoro wangu na mume wangu ambaye kila siku sexual fantancy yangu ni kumuona akifanya mapenzi na mimi huku akinibeba mikononi wimawima lakini siku zote nimekuwa nikiambulia kifo cha mende, na kweli siwezi kumlaumu kwa sababu siwezi kumwambia kwa aibu.

Baada ya hayo Dr.Ben akatuuliza maswali ya kuhusu sexual fantancy ya kila mmoja wetu na kila mmoja wetu alitoa yake hadi nikashangaa kuwa kumbe ni mada na ina mantiki yake.

Je, Mwenzangu ‘sexual fantancy’ yako ni ipi kuhusu mpenzi wako? Funguka kwa kukomenti hapo



Baada ya mada hiyo Dr. Ben alitutazama na kutuuliza swali moja akasema “Je, Utajuaje kama mpenzi wako ameridhika baada ya tendo la ndoa?” kisha alitulia muda mrefu akisikilizia majibu yetu lakini kitu cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyetoa jibu.

Akacheka na kusema kuwa si kwamba hatuna majibu ya maswali hayo ambayo yanaendana na ukweli bali hatujawahi kujiuliza swali hilo. Akasema kuwa ni rahisi kwa mwanamke kujua mwanaume wake ameridhika na tendo la ndoa baada ya kumuona amekojoa, lakini ukweli ni kwamba kuridhika kwa mwanaume ni zaidi ya hapo.

Nikatamani kujua alivyosema; kuridhika kwa mwanaume ni zaidi ya hapo, alimaanisha nini? Hivyo nikanyosha mkono na kumuuliza. Dr. Ben akatabasamu na kuniambia ; “Mary..mwanaume kukojoa hakumaanishi ameridhika na tendo la ndoa.”

Kwa jibu hilo nikajikuta nimejifunza kitu, maana kila mara nimekuwa nikijua sisi wanawake tu ndiyo tuna tatizo la kutofikishwa, kumbe hata wanaume?

NAKUPENDA MR X 33

Akasema; “Kwa bahati nzuri wanaume wengi hawajui kama nao hawafiki kileleni tofauti na wanawake, hivyo kufanya suala hilo kutopewa ukubwa unaostahili japo kuwa dalili zake ndizo hupelekea mwanaume kujikuta akimuacha au kumsaliti mpenzi wake na kuhamisha mapenzi kwa mwanamke mwingine ambaye ndiyo humfikisha.”

“Wengine kama ni wanandoa utakuta wanajificha na kufanya usaliti lakini asilimia kubwa hutokana na kutoridhika kimapenzi, hivyo cha kufanya ni kujua dalili zipi zitakufanya ujue kama mwanaume wako ameridhika na wewe baada ya kila tendo la ndoa,” alisema Dr Ben.

Mmimi nikawa nasubiri kwa hamu nizijue dalili hizo ingawa hazikunihusu moja kwa moja lakini nilitaka kujifunza zaidi. Nikafungua mkoba wangu na kutoa kikaratasi na peni na kuanza kuandika niliyokuwa nikielekezwa.

Akaanza: “suala la mtu kujua mpenzi wake kama ameridhishwa au lah! lina mtazamo mpana sana. Wengi wamejikuta wakimwagwa au kusemwa vibaya na wapenzi wao yote ni kwa kutojua dalili zipi zinaonesha kama wapenzi wao wameridhika au bado.

“Wanaume wao ni wepesi kusomeka kuwa wameridhishwa kwa kuwa tu wao hufikia ridhiko lao kwa kukojoa. Ni nadra sana mwanaume kushindwa kukojoa kwenye tendo la ndoa kwa sababu maumbile yao hayawezi kuhimili tendo hilo bila kukojoa kwa muda mrefu.

“Hata hivyo wanaume huwa wana mtindo wao wa kuridhika mbali na kukojoa, wao wanajali wanakojoaje? Maana hata kwenye punyeto au ndoto nyevunyevu za usiku huwa wanakojoa lakini hawaridhiki kuzidi pale wanapofanya mapenzi na mwanamke anayewajulia,” alisema Dr Ben mimi nikabaki hoi kwa somo hilo.


NAKUPENDA MR X 34

“Hapa ndiyo unakuta mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke fulani hujikuta akimsifia kuwa ni mtamu sana au ni wa moto sana kuliko mwingine.

“Ujanja hapa ni mmoja tu, wakati mwanaume anakaribia kumwaga, huwa anaingiza na kutoa kwa spidi sana au huanza kulalamika na kukushikilia kwa nguvu. Unachotakiwa hapa ni wewe kukatikia kwa spidi ileile tena hapa ndiyo unatakiwa ulalamike haswa hadi pale anapomwaga.

“Japo kuna vitu vingi vya kuvifanya kabla ya tendo la ndoa ili kufikia hali hii, lakini unatakiwa ukimaliza hapo kujua kama ameridhika utaona dalili zifuatazo: Macho yake yatakuwa kama mtu ambaye anashindwa kutazama mbele vizuri, yaani yamesinyaa (hali hii huchukua sekunde chache sana hivyo unapaswa kuwa makini kumtazama) dalili nyingine ni kwamba Baada ya nusu saa hujikuta akitamani kulala au kusinzia na atalala usingizi mzito sana.

“Ukiona hivyo jipongeze kwa kuwa umefikia malengo yako,” aliongea Dr.Ben nikatabasamu maana wa kwangu akimaliza kunipalazapalaza na kunichafua husinzia kama pono tena mara nyingine anaona kazi hata kutoka kifuani kwangu.

NAKUPENDA MR X 35

Baada ya kumaliza upande wa wanaume akaja kwetu, hapo akawa kama ananigusa mimi, kwani kila alichokisema nilihisi cha kwangu, hapo akaanza; “Wanawake wengi huwa hawaridhishwi baada ya kufanya mapenzi na mwanaume ambaye siyo fundi na hawasemagi, hii inatokana na saikolojia ya mwanamke ya kutokuwa wazi kusema mambo ya siri kama vile kufunguka kuwa hajafikia kilele chake (wanaofunguka hongereni).

“Wanawake wengi wana sifa ya kujua mapema sana kuwa mwanaume huyu hajui kitu kwa hatua za kwanza kabisa za jinsi utakavyomuanza kumvua nguo zake na kumchezea sehemu mbalimbali za mwili wake.

“Hivyo basi na wao hujiandaa kudanganya tena wanaigiza sana sauti za mahaba wawapo kitandani, unakuta mwanaume anahisi kama vile anamkuna mpenzi wake kumbe uongo mtupu Wakati unatoka ukijisifia, mkeo anakunanga kuwa hujui kitu na mwishowe anamtafuta mwanaume yule ambaye anaweza kumkuna vizuri zaidi yako,” aliposema hivi nikajikuta namtazama shoga yangu Blandina maana namuitaga malkia wa masauti, maana kwa kulalamika hajambo, sasa sijui huwa anadanganyaga au lah.


NAKUPENDA MR X 36

Hapa Dr. Ben akaendelea tena na kuzitaja dalili za kuangalia kama mwanamke ameridhika, hapo nikatega peni yangu kwa makini nikawa naandika nisije nikaachwaa na kuwa mbumbumbu kwenye darasa hilo muhimu kwangu.

Akasema; “mwanamke akiwa anafikia kileleni kuna hali inakuja kwake, anakuwa kama vile amepandwa mashetani, wakati mwingine kuna wengine huwang’ata wapenzi wao na wengine huwapiga kabisa makofi, wengine huchukuliwa na spidi ya kali na wengine hupiga makelele na kuongea maneno yanayoeleweka au yasiyoeleweka.

“Lakini baada ya hali hiyo hulala kitandani kwa wastani wa dakika nzima kama mzigo tena huku akiwa amefumba macho akiusikilizia utamu ambao ameupata kutoka kwa mwanaume hata akifungua macho hushindwa kuamka mpaka dakika tano au zaidi kutegemea na umuhimu wa jambo litakalomfanya aamke.”

“Hapo utaona macho yake yatakuwa kama mtu aliyetoka kulala au kuchoka sana na dalili kubwa zaidi utaona hataki tena kuendelea kufanya mapenzi au ataomba apumzike kwanza. Sauti yake inakuwa inatoka kwa shida na huongea taratibu kuliko kawaida. Dalili nyingine kubwa ni kwamba baada ya siku chache hata ukimuomba mzigo tena, atakuja haraka akijua atapata utamu uleule,” alisema Dr. Ben nikajikuta nikitamani kufikia hali hiyo maana nilikumbuka siku ile nilipojichua nyumbani, nilijihisi kwa mbali dalili hizo lakini nilikuwa nina hamu yakufikishwa na mwanaume anayejua zaidi, kama Dr.Ben mwenyewe.

Itaendelea.

NAKUPENDA MR X 37

Wakati akiwa anafundishha nilimtazama kwa jicho la kumtamani na kumuonesha kila dalili za kumtaka kimapenzi, lakini bado Dr.Ben alionekana hajali kila nilichokuwa nikimfanyia. Nikajaribu bahati yangu ya mwisho, nikamuomba namba yake ya simu akanipatia.

Siku hiyo sikuwa nimeridhika kabisa na darasa hilo kwa sababu japo kuwa tulikuwa tumejifunza mambo mengi lakini nilitamani kungekuwa na somo la vitendo ili na mimi nikutane na Mr. X wangu anifundishe kufikia kileleni na mimi kujionea dalili hizo kwa vitendo zaidi.

Nilijua pengine Dr.Ben alikuwa akiona aibu kujionesha sura yake moja kwa moja ndiyo maana alijitahidi kujificha kwa kuvaa ile maski, labda ndiyo maana amekuwa akinikwepa kila nilivyomtega hivyo nikamjaribu kupitia simu.

Usiku nikiwa nyumbani, nilimtumia meseji Dr.Ben nikamwambia; “Hi! Dr.Ben nina swali naomba nikuulize,”

“Uliza tu Mary,” alisema Dr Ben.

“Naona aibu lakini naomba usinicheke,” niliandika

NAKUPENDA MR X 38

“Usijali we niulize tu sitacheka nakuapia.”

“eti mimi nilikuwa nauliza mbona dalili ulizosema mimi sina?”

“dalili gani Mary?”

“za kufika kileleni”

“oh basi utakuwa haujapata mtu wakukufikisha Mary , mtafute unakosa mambo mengi.”

“Mh basi ticha nitafutie mimi nitajuaje kama anajua au hajui. hadi nimpate si nitakuwa malaya tena.”

“mh… basi usijali ngoja nimtafute mtu mmoja,” alinitext Dr Ben kisha akaniuliza kama nina tatizo jingine nikajibu hapana.

Nilipomaliza kuchati naye roho yangu ilienda puta nikatamani kumwambia namtaka yule mwanaume aliyevaa maski wa siku ile, lakini nikajiona mkosaji kufanya jambo hilo lakini kama mwanamke, niliona sina budi lazima nipate mtu wa kuniridhisha maana nimechoka kuguswaguswa na mume wangu.

Nikajikuta nasubiri siku nzima na hatimaye wiki ikakaribia kukatika lakini Dr. Ben hakunipigia tena kama amepata mtu ikabidi nimtumie tena meseji.

“mambo Dr Ben?”

Badala ya kunijibu kwa sms nikaona ananipigia nikapokea kwa aibu na kusikilizia;

“vipi Mary mzima wewe,” alisema Dr.Ben sauti yake ikazidi kunichanganya.

NAKUPENDA MR X 39

“Poa tu mh..” nilijiikuta nikishindwa kumuulizia kuhusu mtu aliyeahidi kunitafutia nikaanza kujichekesha mwenyewe nikiamini shida yangu anaijua.

“Ah. Mary nimekumbuka tena, yule mtu nimeshampata vipi unataka kukutana naye wapi? Darasani keshokutwa au?” aliniuliza Dr.Ben lakini kwa kuogopa shoga yangu na shemeji wasijejua kama namsaliti mume wangu tena mbele yao, nikakataa kuonana naye kule darasani.

Nikamuomba anipe namba yake nimpange kwa kukutana naye, tena kwa mahanjamu yalivyonipanda nikatamani kukutana naye kesho.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG