Search This Blog

Monday, January 24, 2022

JOMONI NIFUNZE NA MIE - 2

   

Chombezo : Jomoni Nifunze Na Mie

Sehemu Ya Pili (2)


NAKUPENDA MR X 17

“Shemeji, Ben huyu ni rafiki yangu anaitwa Mary nadhani jana tulionana lakini siyo rasmi,” alisema Blandina baada tu ya kuiona.

“Nashukuru kukufahamu,” nilimsalimia kwa kumshika mkono huyo Dr Ben niliyeambiwa kuwa eti yeye ni mtaalamu wa mapenzi.

“Nashukuru kukufahamu pia mrembo, natumaini tutakuwa wote darasani leo,” aliniambia Dr Ben. Nikajikuta nikimuitikia kwa kichwa.

Kweli baada ya kunywa juisi nikamuona Blandina akiinuka na kuingia kwenye kile chumba cha jana yake na kurudi akitupa taarifa kuwa kila kitu kilikuwa tayari.

NAKUPENDA MR X 18

“usisahau kufunga mlango tu yasije yakawa kama jana,” alisema Frank na wote tukacheka; nilijua huo ulikuwa utani kwa ajili ya niliyoyafanya wiki ile niliyokuja bila taarifa.

Wote tuliingia ndani ya kile chumba na leo yule dr. Ben alianza kufundisha kuhusu sehemu zinazozalisha hisia na sehemu zinaonesha hisia. Mwenyewe kitaalamu akaziita Extreme parts that cause Extreme Lust.

Nikiwa ninashauku kutokana na upya wangu kwenye darasa hilo ndiyo tukaanza kufundishwa sehemu za mwanaume ambazo akishikwa lazima awashwe.

Hapa akaanza kututajia mambo ya ajabu ambayo nitakuambia maana nimeyanasa yote.


NAKUPENDA MR X 19

Wakati huo akamtaka shemeji Frank avue nguo zake zote ili sehemu hizo Blandina na mimi tujifunze kwa kuzigusa, mimi sikuweza kumshika shemeji yangu nilimuachia kazi hiyo Blandina maana kwangu kumuona tu shemeji yangu akiwa uchi ni kinyume na dini na mila zetu.

Kufumba na kufumbua macho Frank alivua nguo zake na kunitazama akasema bila wasiwasi; “Shemeji usiogope njoo.” Lakini nilipokaa sikujaribu kusogea niliamua kutazama tu.

“Haya kwanza nitaitaja sehemu ya kwanza ambayo ni midomo yake, hapa tutazungumzia sehemu za ndani na za nje zote zinazozalisha hisia. Swali ni kwamba unazifikiaje sasa hizo sehemu?” aliuliza Dr. Ben.

“kwa mdomo na ulimi wangu,” alijibu Blandina.

“Umepatia,” alionekana kupongeza Dr.Ben.

Mimi nikabaki macho kodoo!

Itaendelea…


NAKUPENDA MR X 20

Basi Dr. Ben akaendelea na safari hii akamtaka Blandina ajaribu kutuonesha jinsi ambavyo watu wa kawaida hutumia midomo yao kufikia sehemu mbalimbali zenye hisia zilizopo mdomoni kwa mwenza wake.

Shoga yangu bila aibu akaanza kumla denda kwa manjonjo baby wake, Frank wakati huo huku akimpapasa nyuma ya shingo yake. Nikaona shemeji Frank naye akitoa sapoti vilivyo hadi nikaanza kuhisi huenda walikuwa wakinikomoa mimi kwa kunifanyia makusudi.

Lakini nikazipuuzia hisia hizo kwa kuwa anayejua kama nyumbani sipewi mambo adimu kama hayo ni Shoga yangu Blandina tu na sikudhani hata kidogo kama aliwaambia hao watu wake.

Basi shoga yangu nikaona anaendelea safari hii nikaona jicho limemlegea akaanza kuugulia kama vile ameingizwa mpini, nikajisemea kimoyomoyo; “Mh huyu anafanya makusudi sasa denda gani hadi kelele!” nikaona ameacha mdomo akaanza kushuka chini huku akimbusubusu Frank sehemu mbalimbali hadi akashuka kama vile anaenda kumnyonya nonino yake, nikatamani kukimbia lakini kumbe hata yule mwalimu aliliona hilo akasema: “Blandina Stop!”

NAKUPENDA MR X 21

“Nimekwambia utuoneshe mfano wa ambavyo watu wa kawaida hutumia midomo yao kufikia sehemu mbalimbali za mdomo wa mwenza wake, mbona unapitiliza?” alisema Dr. Ben.

Akaanza kufafanua kwa maneno haya ambayo aliyazungumza kwa utaalamu mno hadi nikanyosha mikono kuwa huyu mtu kweli ana midigrii yake kwenye masuala ya malavidavi. Akaanza kwa herufi kubwa;

“JINSI YA KULA DENDA/ FRENCH KISS

“Denda ni moja ya vikolombwezo katika mapenzi vinavyoonesha jinsi gani wapenzi wanapendana, denda ambalo wengi kibongobongo huliita romansi huwa ni jambo gumu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya.

“Na kwa wale wapenzi waliozoeshana tendo hili hujikuta wakipata tabu pindi wanapopata wapenzi wapya ambao hawajui, hawawezi au pengine hawataki kabisa denda kwa sababu mbalimbali ikiwemo kinyaa,” aliongea Dr Ben nikajikuta moja kwa moja nikimuwazia mume wangu ambaye kwanza hajui denda maana yake nini na japo ananipenda mno lakini hajawahi hata siku moja kunipa ulimi. Nadhani hapa mwalimu alikuwa sahihi kuwa pengine anaona kinyaa.


NILIPOISHIA


NAKUPENDA MR X 22

“Denda kwenye mapenzi ndiyo njia sahihi ya kufikia sehemu mbalimbali zenye hisia katika mdomo wa mpenzi wako, wanasayansi wa masuala ya mapenzi sexologist wamegundua kuwa kwenye midomo hasa ya mwanamke na mwanaume kuna vichocheo vya hisia ambavyo huamshwa hasa kwa denda,” alisema Dr. Ben akili yangu ikitamani kuhisi hizo hisia zilizotajwa maana japokuwa nilishawahi kuliwa denda huko nyuma lakini kwa maneno yake nikajikuta kama nilikuwa nikikosea au kukosewa kuliwa vizuri.

“Lakini ni jinsi gani mtu anaweza kujifunza kula denda na kugusa sehemu hizi ninazozizungumzia? Hatua muhimu ni hizi: Kwanza hakikisha midomo yako ni milaini aidha kwa kunywa maji au kuilanisha kwa kuilamba,” aliposema hapa nikajikuta nikiilamba midomo yangu na wale wenzangu wakafanya hivyohivyo.

“Hatua ya pili hakikisha mdomo wako ni msafi na hautoi harufu mbaya ili usimkere mwenzako. Hatua ya tatu hakikisha umemshika mpenzi wako kwa ukaribu uliosahihi mkiwa faragha; hatua ya nne hakikisha unagusanisha midomo ya mpenzi na yako, huku ukianza kuamsha hisia za nje ya midomo yake kwa kuinyonya taratibu hasa lipsi; za juu na za chini.”



“ hatua ya tano hakikisha unaingiza ulimi wako ndani ya mdomo wake ukizungusha hasa sehemu za ndani za mdomo wa juu na sehemu nyingine huku ukisikilizia kuhema kwake kujua sehemu anazopata hisia zaidi na hapo ndipo unapotakiwa kuzungukia,” alisema Dr.Ben nikaanza kuvuta kumbukumbu kama nimwashawahi kufanyiwa kitu kama hicho , ubongo wangu ukakosa kumbukumbu maana sikuwahi.

“kinachofuata hapo ni manjonjo kati ya wapenzi wenyewe kwa mfano mwingine anaweza akafurahia kunyonya ulimi wa mpenzi wake kwa mdomo wake lakini cha muhimu ni kumpa naye nafasi yeye kukufanyia kama ulivyomfanyia wewe. Kingine nisisahau denda hufanyika wote mkifumba macho,” alisema Mr X na kuonya kuwa kamwe mtu asiingize ulimi wake mbali ya sehemu alizozitaja asije akasababisha mwenzake kupaliwa bure.

“Ukifata hatua hizi na kujaribu kumfanyia mpenzi wako kama hajawahi kula denda, atakuganda kila siku,” alihitimisha Dr. Ben na kumtazama Blandina na Frank kisha akamwambia Frank aanze kumla denda Blandina kwa vitendo kama alivyoelekeza.

NAKUPENDA MR X 24

Basi bila kuuliza shemeji Frank akiwa vilevile uchi wa mnyama akaanza kufanya yale aliyoambiwa, na alipofikia hatua ya kuanza kuingiza ulimi wake mdomoni mwa Blandina nilianza kuona shoga yangu akihema kwa fujo kweli na kuonekana kaishiwa haiba maana alimng’ang’ania kweli shemeji yangu.

Yaani huwezi amini japo maelekezo yalikuwa mafupi lakini wenzangu waliendelea hadi nusu saa nzima, ni wazi walikuwa wakijisikia utamu wa ajabu. Na mimi nilikuwa nikitamani kufanyiwa hivyo lakini nikaanza kujifikiria nani anifanyie.

Wakati nikifikiria hayo,Dr Ben aliyeonekana hababaiki na hisia zozote bali alisimamia kazi yake alimtaka Blandina naye ajaribu mafunzo hayo mapya kwa Frank. Nikaona akimgeuza yeye na kuanza kumla denda yaani huwezi amini sekunde chache tu zilizofuatiwa niliona mlingoti wa shemeji ukisimama kwa kasi na kuonesha wazi jinsi alivyojaaliwa. Siyo siri nilitamani sana.

Shemeji Frank akionekana amekolewa kwa aliyokuwa akifanyiwa na Blandina si ndiyo akaanza kumvua nguo shoga yangu. Kufumba na kufumbua wakawa watupu huku kila mmoja akionekana anahamu na mwenziye. Ama kweli walikuwa wakinichanganya kweli, hali yangu ikawa mbaya nikatamani nimpate mtu anitibu, tena muda huohuo.

Nilipokuwa nawaza hayo nikamuona Dr. Ben akinitazama akasimama na kuninyanyua mkono akinitoa kwenye kile chumba sikujua alikuwa amenisoma mawazo yangu au lah lakini nikatamani hata yeye anifanye atakavyo na nilikuwa tayari kulala naye kwa muda huo maana shetani wangu alikuwa ameshanipanda.

NAKUPENDA MR X 25

Tulitoka na kwenda kukaa sebuleni, Dr. Ben akikaa karibu na mimi na kuanza kuniongelesha; “ Mary najua utakuwa umeshangaa kuona tunachokifanya hapa, lakini najua umeshajua kuna elimu kubwa ipo ndani yake ambayo wengi hawaijui. Si ndiyo?”

Nilijikuta nikiitikia kwa kichwa maana aliyoyaongea wala sikuwa nikiyaelewa hata kidogo, cha zaidi mimi nilikuwa nikimtazama jinsi alivyo kijana mzuri, tena mikono yake minene alionekana anafanya mazoezi sana. Lafudhi yake ya Kiswahili cha tabu na maneno ya rejareja ya kiingereza yalikuwa tayari yamenichanganya. Midomo yake ilionekana asilimia mia kuwa inafaa kunila denda mimi na hata kuninyonya sehemu nyingine.

Nikainama chini huku nikimtazama kwenye fraizi yake ya suruali nikaona ikionekana ndefu, hiyo ilinifanya nivute hisia za saizi ya mpini wake. Kwa kifupi nikawa mbali kimawazo.

“Mary! Mary!” alinitingisha begani Dr.Ben nadhani alihisi kuchenguka kwangu nikamtazama kwa jicho la robo mwezi akanichukua na kuniingiza kwenye chumba kingine kilichoonekana kuwa na kitanda tu akaniacha nimekaa pale akatoka nje.

Ndani ya dakika mbili nikamuona mtu akiingia, mtu huyo cha ajabu alikuwa amevaa maski usoni iliyomuacha macho na midomo pekee huku mwili wake wote akiwa uchi wa mnyama.

NAKUPENDA MR X 26

Japokuwa nilikuwa nina wasiwasi na hofu juu ya mtu huyo lakini uoga wangu ulimezwa na hamu ya kusuuzwa ile mbaya nikajikuta nikimwacha mtu huyo hata aliponisogelea na kuanza kunibusu kuanzia shingoni na sehemu nyingine za mwili wangu kiasi cha kuniwasha moto uliokuwa umezimwa kitambo.

Nikamuona akija mdomoni mwangu japokuwa nilijifanya mgumu kwa sekunde kadhaa lakini hamu ya kunitaka kuhisi nilichojifunza siku hiyo ilinijaa, nikamuachia midomo yangu wazi nione.

Yule mtu akaanza kuninyonya midomo yangu taratibu kisha akaingiza ulimi wake ndani ya mdomo wangu akaanza kunigusagusa juu ya mdomo wangu kisha chini, hisia kali ikanipanda nikamng’ang’ania kwa nguvu mtu huyo nadhani hata yeye mwenyewe alijua.

Tena alionekana kuwa fundi kweli maana kunikipindi alinigongesha meno yake kwa meno yangu, tena akaning’atang’ata kiuchokozi nikajikuta naingiza taratibu mkono wangu ndani ya suruali yake kumtafuta Bakari-Kichwa.


NAKUPENDA MR X 27

Ghafla sauti ndogo ya dhamira yangu ilianza kuishinda sauti kubwa iliyonitaka niendelee na ujinga ule, ikanisumbua kwa muda mrefu. Amini kuwa tangu nizaliwe sikuwahi kuwa kwenye mtihani kama siku ile. Nikajikuta namsukuma yule mwanaume na kuondoka zangu mbio hadi nje.

Nikachukua bajaji hadi nyumbani nilipofika nilibwaga kila kitu nikahakikisha nimefunga mlango wangu na kwenda moja kwa moja kitandani nikajilaza na kuanza kujichezea ili nimalizie ngwe yangu maana nilikuwa nimeachwa njiani.

Kwa kifupi sikuwa nikifikiria vizuri, picha za yule mwanaume akiwa uchi wa mnyama mbele yangu, taswira ya shemeji yangu Frank na babu wake akiingia na kutoka kwenye bibi wa Blandina vyote vilinichanganya.

Nikakimbilia ndani ya friji na kuchukua ndizi mbivu, nikaivalisha kondomu iliyokuwa kwenye kabati la mume wangu na kuianza kujiingiza taratibu huku mkono wangu mmoja nikijichezea kiyoni changu.

Ilikuwa balaa na ni kama kumsukuma mlevi maana hata dakika sikuchukua, nilichoshtukia ni kupoteza fahamu na kubaki pale kitandani kama mgonjwa mahututi huku raha za ajabu zikipanda na kushuka kichwani na kwenye mbavu zangu na kifupi kila sehemu.

Nilichokuja kujua baadaye ni kwamba nilipitiwa na usingizi mzito mno kiasi kwamba niliamshwa na hodi kwenye geti. Nikaamka haraka na kusafisha kila nilichokifanya na kwenda kufungua mlango loh alikuwa mume wangu.


NAKUPENDA MR X 28

Baada ya kumpokea na kumpikia na kumpakulia kama kawaida nilitangulia kulala na kumuacha mume akiendelea na makazi yake ya makompyuta. Mimi nikalala zangu kimya huku nikiwaza na kuwazua kichwani nikiwa na maswali kibao.

La kwanza lilikuwa ni kumfahamu yule mwanaume aliyekuja pale chumbani ni nani? “Atakuwa Dr Ben nini?” nilijiuliza kwakuwa nilijua tu kama siku moja na mimi nitakubuhu kufikia kufanya aliyokuwa akiyafanya Blandina basi sitakuwa na chaguo zaidi ya kufanya na mwalimu ambaye ni Dr.Ben.

Nikatamani hata yule mwanaume aliyekuja mle chumbani awe ndiye yeye. Nikaanza kumvutia picha ya jinsi alivyokuwa nikajikuta nikimfananisha kila kitu na Dr.Ben.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG