Chombezo : Nyoo Nipe Mumeo
Sehemu Ya Pili (2)
Mapema asubuhi niliamka, na kwenda kuandaa kifungua kinywa, jikoni, kwa mbali kwenye chumba cha baba nikasikia majibizano, nilijua tu pengine wazazi wangu wamekwazana jambo, nikawaacha waendelee na yao maana hata mimi mwenyewe nilikuwa na makwazo yangu.
Nilipomaliza nikaona cha msingi niwaite mashoga zangu Catherine na Getu mchanamchana ili niwachunguzechunguze kama siku ile nilipolewa na kurudishwa nyumbani, wao walikuwa wakijua nini kilichokuwa kikiendelea kati ya mume wangu na Fatuma.
Itaendelea..
NYOO NIPE MUMEO 19
Alianza kuja Catherine, nikaanza kumbana anielekeze nini kilichotokea juzi usiku huku nikiwa makini kutomtaja moja kwa moja mume wangu wala Fatuma.
“Mh kwani Mary una maanisha nini? kwa sababu siku ile kulikuwa na vituko vingi sana,” alisema Catherine.
“kama vituko vipi?”
“Mh kama mumeo kuanza kuongea kingereza baada ya kulewa, kingine wewe kulewa savannah nne na kulala,” alisema Catherine lakini sikutaka hayo, nilitaka aniambie kuhusu Fatuma, basi nikatengeneza swali ili mradi tu asinishtukie maana yangu kuwa eti ninahisi naibiwa mume na Fatuma maana itakuwa aibu.
“Niambie kuhusu Fatuma, alikuwaje siku ile.” Niliuliza tena.
“mh sijui kama nitakumbuka vizuri maana mimi mwenyewe nilikuwa nimelewa kweli, lakini Fatuma alikuwa mtambo noma! alikunywa ile mbaya na ilivyokuwa chukuchuku yule lazima aliondoka na mtu pale baa.”
“Chukuchuku ndiyo nini? aliondoka na nani?” nilijikuta nauliza harakaharaka huku mapigo ya moyo wangu yakinidunda kwa kasi.
“shoga na wewe, huo umarekani umekukosesha mengi! Chukuchuku maana yake ni msichana rahisirahisi kuwavulia nguo wanaume,” alisema Catherine moyo ukanifanya “Pah!”
“kwa hiyo aliondoka na nani?” niliuliza tena maana hakuwa amenijibu swali hilo muhimu.
“Aliondoka na nani nini?” aliongea Getu akiwa amedandia treni la maongezi kwa mbele basi akatusalimia na kukaa chini ikabidi niulize swali langu upya.
“Mh shoga mimi nilikuwa nimelewa kiukweli hata sikumaki vizuri, ila Getu wewe si ulikuwa hadi mwisho?” alijibu Cathe na kumuuliza Getu ambaye badala ya kujibu alianza kuzugazuga, lakini kwa jicho nililomkata ikabidi aongee mwenyewe.
“mh nani mimi mwenyewe nililewa mapema tu, nakumbuka nilimuacha baba yako, Fatuma na shemeji tu ndiyo walikuwa wakiendelea kunywa,” alisema Getu, kichwani nikawa nimeshapata jibu japokuwa niliamini pengine walikuwa wakinificha kuniambia moja kwa moja kwa kuogopa kuniumiza hisia zangu.
NYOO NIPE MUMEO 20
Huwezi amini nilijisikia vibaya mno, yaani mtu niliyekuwa nikimdharau kumbe ndiye mbaya wangu. Nikawatazama akina Catherine kama vile wasaliti kwa kuwa macho yao yalionesha wanajua kilichokuwa kikiendelea lakini walikuwa wakinificha.
Hata hivyo nikaapa kupambana na Fatuma kumuonesha mimi ni nani. Kiburi hicho nilikipata kutokana na kauli niliyojifunzaga sehemu kuwa ukiona mtu amekuibia mpenzi wako, usikurupuke kukasirika tu na kuchukua uamuzi mbaya, jifunze kupitia mbinu za huyo mbaya wako kisha rudisha heshima yako.
Swali likawa hizo mbinu za Fatuma alizonichukulia mume wangu ninazipataje? Basi nikawa na kazi moja kubwa, kumtafuta rafiki wa karibu wa Fatuma nje ya sisi.
Kwa siku tatu mfululizo nikiwa nawaza nimtafute nani wa kunisaidia ndipo nikamkumbuka msichana mmoja anayeitwa Hadija, huyu tulikuwa tukisomaga naye zamani. Naye alikuwa akitamani kupinga urafiki na sisi lakini tulimkataa kwa sababu ya alivyo mbaya.
Niliipata namba yake kwa mbinde kweli na kumpigia simu, aliposikia ni mimi alishangaa kweli inaonekana hakuwa akitegemea hata siku moja kama mimi ningeweza kumtafuta kwa shida yangu.
Japokuwa nilihisi hatanisaidia kwa maringo niliyokuwa nikimleteaga, lakini daima uzuri wa mtu hasa msichana humfanya apate kitu anachokitaka kirahisi zaidi kuliko mtu mwingine yoyote, basi nadhani uzuri ukichanganya na hadhi yangu vilimfanya hata yeye kukubali kuonana na mimi, tukapanga siku na saa.
Siku hiyo nakumbuka ilikuwa jumapili moja hivi, tukakutana maeneo ya Mango Garden pale Kinondoni, huwezi amini tofauti alivyokuwa zamani, Hadija wa leo alikuwa mweupe, ana shepu la kufa mtu, mzuri, msafi, nikagundua anamiliki duka la nguo za wanawake pia ni MC/ mshehereshaji.
NYOO NIPE MUMEO 21
Naye aliponiona alinishangaa kama mimi nilivyomshangaa yeye, huwezi amini mimi ndiyo nilimfuata na kumkumbatia huku nikiongea naye kwa furaha mno kama vile tulikuwa marafiki tuliomisiana kwa muda mrefu sana.
“Enhe shoga nasikia upo Marekani siku hizi!” Alianza kuniuliza. Ikabidi nimjibu lakini si kwa kujishaua kama hapo awali, maana Mmakonde mmoja tena mshamba wa Dar nikimaanisha Fatuma alikuwa amenishusha kweli.
“Ndiyo, mh umekuwa ng’aring’ari siku hizi,” nilianza kumsifia akacheka kidogo na kuniuliza tatizo langu.
Ikabidi nizugezuge lakini mwishowe nilianza kumuuliza kuhusu Fatuma.
“Najua Fatuma rafiki yako, ndiyo maana nimekuja ili unisaidie mambo mawili matatu kuhusu yeye,”nilianza.
“kwanza ngoja nikukatishe, Fatuma siyo rafiki yangu kabisaaa! Aliyekwambia kakupoteza, simtaki hata kumsikia!” alisema Hadija.
“Huo urafiki wenu umeishaje, nyinyi si mlikuwa kama mapacha?” niliuliza nikiwa nimepigwa na butwaa.
“Ndiyo tena tumetoka mkoa mmoja, tumechezwa wote, lakini alichokuja kunifanyia sitaki kumsikia hata kidogo, yule shetani siyo mtu!”
“kwani kakufanyia nini?”
“Yule siyo wakutembea na mume wangu mimi, we acha tu Mary kama umekuja kwa ajili ya huyo paka shume hata sitaki kuongea! Kwa heri,” aliwaka Hadija na kutaka kuondoka akionekana wazi nimemkwaza.
Nikaona haina haja ya kumficha kwa sababu tatizo lake linafanana kabisa na langu.
“sikia Hadija nimekuja kwako kwa sababu na mimi kanifanyia hivyohivyo!” niliongea kwa aibu basi akiwa amesimama akageuka na kunitazama vizuri.
“Nini! ..aaah.. hapana.. yaani ndani wa wiki moja tu kashakupindua kwa Mmarekani?.. jamani. Si rafiki yenu yule wenyewe!” aliongea kwa sauti Hadija hadi nikaona aibu maana watu walikuwa wakianza kutuangalia, akajishtukia na kukaa vizuri kwenye kiti.
“Enhe shoga, hebu nikae vizuri sasa unataka mimi nikusaidie nini? unataka tumfumanie? Maana nina namba ya Gea, Issa Mnally, @dahuuofficial @edsonmkisi77 @soudybrown na mapaparazi kibao!” alisema Hadija.
NYOO NIPE MUMEO 22
“Hapana sitaki nimfumanie, maana nitajidhalilisha mimi na mume wangu.”nilijibu harakaharaka.
“sasa unataka nini tumpigie kigoma au?” alisema Hadija akionekana kushadadia kweli.
“sikia mimi nataka kitu kimoja tu kutoka kwa Fatuma, nataka kujua alifanyajefanyaje hadi akamchukua mume wangu,”
“mh, shoga mbona makubwa! Unasemaje?”
“ndiyo hivyo, nataka kujua hivyo tu, pengine kanizidi ujuzi au kosa labda ni la kwangu nimeshindwa kumdhibiti mume,” niliongea taratibu, Hadija akanitazama akiwa haaminiamini kama nilikuwa nipo siriaz.
“mh kwahiyo unataka mimi nikusaidie ujue ujuzi wa Fatuma akiwa kitandani si ndiyo?”
“Ndiyo shoga yangu, hilo tu hata kama utataka hela nitakupa,” nilisema ili lengo langu litimie.
“sikia mimi nitafanya kitu kimoja, nitamtuma mwanaume akamtongoze Fatuma, halafu nitamtaka atuhadithie kila kitu atakachofanyiwa na Fatuma hadi wakiwa wanafanya mapenzi. lakini shoga sijui kama unachokitafuta utakipata,” alishauri Hadija nikaona huo mpango wake ni mzuri.
Nikiwa na uhakika kuwa mambo yote yataenda poa, siku hiyo nikampa shilingi elfu hamsini, na yeye akanihakikishia kazi imekwisha.
Nikaagana naye kwa yeye kuniambia atanipa taarifa ya kazi hiyo, na mimi nikashauri kuwa mtu atakayemtuma anapaswa kuwa mtu smati kiasi kwamba hata Fatuma akimuona asisite kumfanyia utundu wake wote ili mradi tu na sisi tumsome vizuri.
NYOO NIPE MUMEO 23
Basi mtoto wa kike nikiwa sijiamini kabisa, nikarudi zangu nyumbani na kukuta kuna kikao, nikasikia tu walikuwa wakiongelea maandalizi ya sherehe yetu ya utambulisho kwa ndugu, Mr X wangu pia alikuwepo.
Kwa kuwa walikuwa wanaume tupu, nikawasalimia kwa kupiga goti kisha nikaingia ndani nikienda kumuangalia mwanangu maana hayo masaa mawili tu ya kwenda kuongea na Hadija niliona kama vile sijamuona Kendrick siku nzima.
“mmaaa,” aliongea mwanangu neno lake la kila siku na kuripuka kwa furaha aliponiona, nikambeba na kuanza kucheza naye nikimuimbia nyimbo za kitoto za Kimarekani, ikiwemo Twinkle Twinkle Little Star na Row Your Boat Gently Down The Stream.
Siyo siri nampenda sana mwanangu kuliko chochote, nilijiwazia ikiwa siku nikamkosa na kwenda mbali naye sijui itakuwaje. Nikawaza kama ile ndoto siku moja ikatimia kweli na Mr X wangu akamuoa Fatuma halafu Kendrick akawa mtoto wa kufikia. Mh Mungu aniepushie.
Nikaapa lazima nipambane. Kurudisha changu.
NYOO NIPE MUMEO 24
Basi baada ya siku mbili tu nilipokea simu kutoka Hadija akinitaka nikaonane naye, nikajiandaa harakaharaka na kwenda zangu mbio.
“Eeh shoga mambo yameiva,” alisema Hadija akiwa anaongea, ghafla alikuja kijana mmoja mzuri hivi, akaketi palepale tulipokaa na Hadija huku akinisalimia.
“Mary, Huyu ni yule kijana tuliyemtuma atembee na Fatuma, anaitwa Steve, Steve huyu ni Mary.. Enhe tusimulie ilikuwaje? kwanza vipi ushakula mzigo?” alisema Hadija.
“sasa mimi nimshindwe yule? Mbona mwepesi tu,” alianza kuongea kwa mbwembwe Steve.
“siku ileile sista alivyonicheki tu, nikamuibukia Fatuma mtaani kwao, nikamtongozatongoza pale nikajifanya ileile, kimtindo alijifanya kuchomoa, lakini nikamtuliza baa ya pale Kivulini, akaona nimefika kweli yaani. Si unajua yule chukuchuku hasumbui.
“Lakini jamani yule demu muoneni hivyohivyo kwa nje alivyokuwa mbaya, ndani yule ni ‘asali’ aisee, anakunjuka hadi raha, halafu kitu kimebana ileile,” alisema Steve akionekana alichokipata huko ni noma.
“sikia kaka, mimi nataka uniambie huo uasali wake upojeupoje yaani, bado sijakuelewa?” niliuliza maana niliona anamsifia tu wakati mimi nataka kipengele kimoja baada ya kingine.
“kwahiyo unataka nikupe mkanda mzima?” aliuliza Steve kwa mshangao.
“Ndiyo maana yake, tueleze mwanzo mwisho pale kitandani ilikuwaje?” alishadadia Hadija. Steve akajikohoza kidogo kusafisha koo na kuanza kutuelezea. Kipengele hadi kipengele alipomaliza nikamuinulia mikono Fatuma.
Je, unataka kujua Steve aliongea nini kuhusu Fatuma?
“Siku ile baada ya kuongea naye akakubali kuingia gesti kirahisi, na mimi sikuwa na hili wala lile nilitaka tu kupiga zangu na kuondoka, si unajua demu mwenyewe hata mvuto hana!” alianza kusimulia Steve.
“tukaingia ndani nikafunga mlango, kwa sababu sikutaka hata muhudumu wa gesti aje kunisumbua au pengine kuja kufumaniwa halafu eti nikutwa na demu wa kawaida kama Fatuma.
“kwanza kama kawaida, alienda kuoga akatoka na taulo bafuni, akaenda kufungua mkoba wake ulioonekana kujaa shanga kibao za rangirangi na nyingine nyeusi, nyeupe na nyekundu, lakini aliangalia vizuri na kuchukua za rangi nyeupe, akavua taulo lake na kuvaa zile nyeupe, huku akizivua zile nyingine zenye rangi mchanganyiko.
Kisha akaja kitandani na kunitaka nisivue nguo zangu kwanza nisimame nje ya kitanda nimuangalie.
Nikaanza kujiuliza anataka kufanya nini huyu demu nikainuka. Basi hapo kitandani akajilaza kwa kunigeukia mimi na kutanua miguu yake, Mh nilishangaa kuona akiwa na bonge la kitumbua yaani kimevimba ileile halafu alikuwa msafi kweli huko kwa bibi.
Tena kifua chake kilikuwa na vinido vilivyojaa ileile halafu vimesimama ile mbaya. Sasa alinivuruga alipoanza kufanya kama vile anajinyoosha viungo vyake vile, maana alianza kuinama akajipinda mgongo kama vile anajikunja taratibuu akarudi nyuma na kuniachia sehemu yote ya nyuma ikiwa upande wangu kitumbua chake kikiwa kimenichungulia kwa chini.
Kisha akalalia mgongo akiwa katika pozisheni hiyohiyo akainua miguu yake yote miwili na kuipitisha nyuma ya kichwa chake, huwezi amini mzinga wa asali ulikuwa juujuu umebinuka huku yeye akiwa katika mkao mmoja wa ajabu ambao sikuwahi kufikiria angeweza kuufanya maana nawaonaga wacheza sarakasi tu.
Huwezi amini alikuwa ameniwasha ile mbaya, kwa kuangalia tu jinsi alivyokuwa akijinyumbua pale kitandani. Nikaanza kupata uoga hivi kweli nitaweza kumkamua huyu mtoto maana alionekana fundi kweli.
NYOO NIPE MUMEO 26
Baadaye akarudisha mguu mmoja chini huku ule mwingine ukiwa vilevile, kile kitumbua kikatengeneza engo ya mbinjuko, michirizi ya utamu ikaanza kunitoa udenda.
Basi akaonesha ishara ya kuniita kwa kidole kuwa nisogee. Nikasogea pale kitandani huwezi amini hadi hapo alikuwa ameshanikata kile kiburi kuwa mimi ni bora kuliko yeye yaani kile kiburi cha kumuona yeye demu tu wa kawaida sikuwa nacho tena.
Nilipofika akaanza yeye mwenyewe kunivua shati, kisha akafungua mkanda wangu wa suruali na kuingiza mkono wake ndani ya boksa yangu akimtafuta selebobo wangu huku akisema.
“ngoja tuone ni mkono wa mtoto au kipisi tu!” Akamkamata mdyudyu wangu na kumvuta juu huku akiishusha boksa yangu huwezi amini akaanza kucheka.
“sasa unafikiri utaniridhisha mimi kwa hiki kinyoka cha mdimu?”
“Huwezi amini kidudumizi changu kilinywea palepale, nilishangaa inakuwaje wanawake wote nilionao wanisifie kuwa nina pindingu lakini yeye eti aseme sina kitu. Sio kwa kunidhalilisha huko maana nilijikuta nikishindwa kufanya chochote.
“ooh jamani, hahhaaa kananywea wakati hata dozi sijakapa,” aliongea Fatuma na kuanza kukichezea kisoseji changu kilicholegea kwa kukifanya kama kimdoli huku akijipigapiga nacho usoni.
“Fatuma, kwani ukubwa ndiyo nini wewe nitanulie uone mziki wangu!” nilijikaza na kusema maneno hayo ya kishujaa.
“haya ngoja tuone una nini?” alisema Fatuma na kufungulia kibubu chake nitupie hela.
Lakini huwezi amini kila nilipojaribu kuusimamisha mlingoti wangu nianza kupiga mzigo nilishindwa, akacheka; “unaniogopa?”
“Nilijikuta na kigugumizi, basi akasogea pale nilipokuwepo na kuanza kunikumbatia huku akinipapasa kiuno na kuninyonya vinido vyangu nikawa kama vile mimi ndiyo demu na yeye mwanaume maana alikuwa akijua ramani ya mwili wangu ile mbaya.
NYOO NIPE MUMEO 27
“Huwezi amini baada ya muda tu kidogo, nikasimama ndindindi. Basi mwenyewe akanishika nakuona tayari nipo imara, akajilaza kwa staili ya kifo cha mende lakini kama vile anacheza sarakasi akainua miguu yake yote na kuipitisha nyuma ya kichwa chake kama vile alivyofanya mwanzo, basi kibubu chake kikabenjuka hivi kwa juu, akasema; “haya ingiza ila sitaki unichezee kokote maana mtu mwenyewe unaonekana hujui kitu, bora umwage uondoke zako.”
Nikaona hapa siyo pa kuharibu, nikampandia kwa juu kama vile napiga pushapu, mpenenge wangu ukaanza kuingia taratibu kwenye kishimo cha madini ya Tanzanite, hadi ukadidimia wote breki mwisho, nikaukandamiza ili kuhakikisha nagusa hadi kunako.
“Halafu nikauchomoa taratibu nikisikilizia msuguano wa ajabu, maana kwa likitumbua lile nilihisi huenda labda alikuwa na bonge la shimo kumbe lah! Alikuwa kawaida tu maana niligusa hadi mwisho.
“Nikaingiza tena lakini nilishangaa nikihisi kama namung’unywa ndani kwa ndani yaani kama vile mdomo unavyonyonya pipi ya kijiti.
“Nikajisikia raha ya ajabu, nilidhani pengine hisia zangu tu, nikaingiza tena na kumuangalia usoni nikaona kadri nilivyomshindua yeye alikuwa akibanabana na kufanya mmung’unyuo huo, tena alionekana hata yeye kusikia raha maana jicho lake lilimlegea ileile.
“Ule mmung’unyo wa ndani kwa ndani ukawa unazidi na saa nyingine akawa kama vile amenibana mashine yangu kwa ndani na kuiachia taratibuuu mwenyewe.
Nikaendelea kushindua kwa spidi, huku kadri anavyobana na mimi nafumua mulemule, Kha nikaona anaanza kulalamika, Jamani yule mtoto anajua jamani,kwa alivyojikunja nikajua hawezi kuchezesha kiuno, mama yangu alikuwa akizungusha taratibu hadi nikadata yaani tena ilikuwa kiuno feni.
“Steve ole wako umwage mapema! Ahh ashhhh,” alilalama Fatuma nikajikaza nisije kuzidiwa nikaumbuka maana nilihisi anaanza kunikubali baada ya kunidharau.
Sasa nikambadilisha staili mimi nikamkunjua na kumbong’olesha, akaniinamia ileile.
Itaendelea..
NYOO NIPE MUMEO 28
“Jamani mtoto anaweza kula koni yule, yaani alikuwa akiimeza yote na kukatikia kwenye kichwa huku akiendelea na mtindo wa kubanabanua taratibu kama vile anakuna nazi nyembamba ili wakati wa kukamua tui likolee vizuri.
Huko kote alikuwa akilalama kwa mtindo wa kunionya ole nisimwage mapema. Sasa kwa utamu ule uzalendo nusura uanze kunishinda nikatumia tekniki yangu ya kitambo nikajibana ulimi ili mradi tu maumivu ya kujing’ata mwenyewe yasinifanye niusikilizie utamu wa Fatuma.
Lakini nikaona haisaidii, nikaongeza kujifinya mbavuni tena kwa kucha kabisa, hiyo kidogo ikaniongezea maumivu yaliyokuwa sawasawa na asilimia za utamu niliokuwa napewa na Fatuma.
Baadaye akabadilisha pozi mwenyewe akaniweka kwenye kona ya kitanda miguu yangu ikiwa chini, halafu yeye akanikalia kwa juu akawa anautafuna muwa kama vile chura anayenesanesa nikapiga tako zangu kama arobaini hivi. Mtoto akajigeuza kinyume chake akiwa vilevile akawa amenishika magoti yangu na kuyashikilia kama balansi huku nyuma akiwa ameniachia msambwanda wote mimi huku akiendelea kunesanesa vilevile.
Huwezi amini mengine nilikuwa naonaga kwenye muvi tu na kwenye video za simu, yule mtoto alikuwa akikatika na zile shanga zake kiunoni hadi nikaamini kuwa kweli duniani kuna kitu kinachoitwa kiuno feni maana!
Sasa kuna kipindi alikuwa akichezesha tako moja akilipandisha juu na jingine likishuka chini. Wakati huo nilikuwa nimejing’ata ulimi hadi ukawa unatoka damu, nilijifinya mbavu hadi nikahisi nimejichana kwa kucha, lakini ule msuguano wa Fatuma ukanifanya nijisikie utamu mkali ulionipanda kama shoti ya umeme kuanzia miguuni hadi utosini nikashindwa kuvumilia aisee.
Nikaanza kupiga tako harakaharaka, akya shangazi sikuwahi kuwa vile tangu nimezaliwa, yaani sijui niliongea nini lakini Fatuma anakaninyongea na kunipa nyongeza kwa utamu ushuzi ukanitoka kabla yakukojoa, sasa hiyo ile nashuka tu KilimaNyege na yeye ndiyo alikuwa anakaribia kukipanda.
NYOO NIPE MUMEO 29
Alining’ang’ania tena huku akinipiga makofi ya mgongo na kuning’ata, nikamuwahi kumshikilia nikaona akiwa amefumba macho huku akijing’ata meno hadi nikasikia “kakakaaa!” Baada ya hapo akanilalia kifuani, kwa dakika nzima vijasho vyembamba vikitutoka kwa shughuli pevu tuliyokuwa tumetoka kuifanya.
Lakini uzuri sikutia aibu nilishuhudia hivi, kwa macho yangu Fatuma akifika kileleni, japo kuwa mimi niliwahi kukojoa lakini kabla ngamia wangu hajashusha shingo yake, na Fatuma ndo alikuwa amefika, hivyo angalau mpira uliisha kwa penalti ngoma ikawa droo.
Huwezi amini baada ya kimoja hicho, kilichochukua nusu saa nilijisikia kutosheka sana, huku nikisikia kama shotishoti zikipiga mwilini mwangu. Mwenyewe akanifata na kuniambia “pole mpenzi!” nikamuuliza kwanini? Akasema kwa ajili ya utamu alionipa tena akanicheka eti nilijamba.
Ikabidi nimuulize kama yeye aliridhika, akaitika kwa sauti ya puani kuwa alifika nyang’anyang’a tena akaniambia hajawahi kukunwa hivyo kwa muda mrefu mno na mwishoni akanisifia nilivyokuwa nimejaliwa Selebobo.
Ndio nikagundua kuwa kumbe zile za kujifanya ananishushua mwanzoni ni uongo tu. Alikuwa akitaka kunishusha kiburi changu anivuruge kiakili kwanza kabla ya tendo.
Hapo ndiyo nikaamini kuwa ama kweli wanawake unaowaona wabaya ndio watamu kuliko hata wale wazuri, kwa sababu wazuri wanajiona wametosha kwa kuwa na shepu na sura nzuri, wakati mademu ambao wanajiona hawana mvuto hujihangaisha kujifunza utundu mwingi wa mapenzi na uzuri wao huwa chumbani tu kama Fatuma.
Anhaa! kumbe ndiyo maana wanawake wengi wazuri hawaolewagi, eti jamani ndiyo sababu ni hii au?” alisema Steve lakini kwa aliyokuwa ametoka kuyaongea wote tuliganda kama mabozo bila kujibu chochote.
NYOO NIPE MUMEO 30
“Basi nikainuka pale miguu yangu ikiwa haina nguvu kama vile nimebemendwa nikaingia bafuni kuoga na kuachana na Fatuma huku nikimuachia elfu kumi ya nauli na mimi kuondoka zangu nikirudi gheto lakini kusema kweli hadi leo nimekuwa nikimuwaza ile mbaya hadi saa nyingine dyudyumizi wangu anasimama nikiwaza niliyofanyiwa jana,” alimaliza kuhadithia Steve na kweli nilipomchungulia kwenye fraizi yake ya suruali nilimuona akiwa ametutumka kinoma.
Nikaanza kujiuliza katika vitu vyote alivyosema Steve kuhusu Fatuma mimi kipi ambacho sikijui, nikaona kuna hilo suala la shanga, ambalo siku zote mimi nachukuliaga ni mambo ya kiswahili na kama ukivaa naona kama inatafsiri ya umalaya hivi.
Lakini kingine ni hilo swala la Steve kusema kuwa kisima cha utamu cha Fatuma kilikuwa kikimmung’unya pipi yake, nikajiuliza hivi inawezekanaje?
Cha tatu hayo masarakasi ya Fatuma kujibinuabinua, Mh kwangu nitayawezea wapi?
Cha nne hilo suala la kuchezesha tako moja juu jingine chini, Kha! Huyu Fatuma ni huyuhuyu au?
Cha tano ni suala la yeye kuwa na kitumbua kinene, nilivuta picha nikagundua kuwa kweli wanawake tumetofautiana na wanawake wengi wana maumbile tofauti ya sehemu zao za siri, lakini swali langu likawa je, ni kweli wanaume wanapenda vitumbua vinene? ****Commenti hapo chini kumjibu Mary, @kinambari @charles13jr @rittakonga na wengine haya uwanja wenu kumjibu Mary.
NYOO NIPE MUMEO 31
Wakati najiuliza maswali hayo nikamuona Hadija akiwa yupo mbali kweli kimawazo, ikabidi nimshtue kwanza.
“we Hadija vipi?” nilimgusa akaonekana kurudisha akili yake kwenye maongezi yetu.
“Yaani shoga ndo nakumbuka aisee, sikutarajia!” alisema Hadija nikatulia bila kumuuliza mwenyewe akafafanua: “sikia, Fatuma na mimi kama nilivyokwambia hapo mwanzoni, tulichezwa unyago pamoja, na hayo mengi aliyomfanyia Steve naona aliyatoa kule unyagoni. Nilikuwa najuaga ni utani kumbe ni ya ukweli, Mh!” “we Hadija kwa hiyo kweli kuna mtu anaweza kufundisha hayo mambo mtu akawa kama Fatuma?” niliuliza kwa shauku.
“Ndiyo wanafundisha, mimi na Fatuma tulifundishwa tukiwa wadogo hivi nakumbuka mimi nilikuwa na miaka 7 na Fatuma alikuwa na miaka 14 , tukiwa wote Masasi,” alinijibu, Steve akawa anashangaashangaa tu akili yake ikiwa ipo kwa Fatuma tu, ikabidi tumruhusu aondoke wakati huo mimi na Hadija tukaanza kuongea mambo ya kujenga.
“Sasa Hadija mimi nilikuwa nataka sana kufundishwa na huyo Kungwi kama yupo popote nipo tayari kwenda,” nilimwambia Hadija akashangaa kuona nipo siriazi ile mbaya.
“Mh, sidhani kama kwa mtu mzima kama wewe atakubali, lakini mimi ninachojua kwetu Wamakonde wanafundisha kuanzia umri wa miaka 7 hadi 15 siyo kwa mtu aliyeolewa kama wewe.” Alisema Hadija.
“Naomba nikuulize swali, Hadija.. Sasa kama wewe na Fatuma mlienda unyago sehemu moja mbona kakuzidi?”
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment