Search This Blog

Wednesday, January 25, 2023

HANITHI MPEVU - 1

  

IMEANDIKWA NA : CHANDE ABDALLAH 

********************************************************************************

Chombezo : Hanithi Mpevu

Sehemu Ya Kwanza (1)


Kama tu kitanda kingalipewa mdomo, hakika usiku ule kingalitabasamu na kucheka kikifurahia kutumika na kingalisimulia mengi juu ya watu hawa wapendanao kwa jinsi walivyojivinjari kimahaba wakifanya walivyotaka, kwa staili walizopenda.

Muda ukawapendelea na sekunde zake zikawahifadhi ili wafaidi walivyoumbiwa kwa kadri ya uwezo wao na kwa kiviwango visichokadirika!


Mwanamke alikuwa yule ambaye jicho la kila binadamu lingependa kumwona, sura nzuri iliyopambwa na tabasamu tamu lenye kuchochea hisia za kila kiumbe dume, aking`arishwa kwa rangi yake ya asili ya hudhurungi mpakuko.

Ni huyu mwenye figa nzuri inayotofautiana na wanawake wengi walio wazuri ambao uzuri wao ni pindi tu wanapokuwa hawajaonjwa na wanaume, lakini ukiwavua tu basi.


Msichana huyu alikuwa ni zaidi ya uzuri maana hata alipotembea na wanaume walichanganyikiwa na kumgombania wakitoana meno na ngeu kwa utamu aliowaonjesha.

Hakika alikuwa ni copy ya malaika wa mwanzo walioumbwa kwa uzuri wa mwangaza wa asubuhi ambao huimba na kucheza huko mbinguni wakimuimbia na kumsifu Muumba wao.

Au waweza sema huyu msichana hakika aliteremka kutokea kwenye sayari ya mapenzi na hatimaye kuletwa duniani awe onjesho lisilolisha hamu yake kwenye ndimi za wanaume marijali waliowahi kumpitia.

Wivu tumuonee huyo mwanaume mmoja aliyebahatika kuwa na huyu msichana usiku huu maana alizifaidi kama matunda ya mfuru hizo haiba na hizo sifa za huyo mwanamwali nilizozianisha hapo juu.

Ni katika uambaza wa kitanda tulivu katika chumba chenye kujitosheleza (self- contained room) ndani ya Ngombale Lodge, loji maarufu jijini Dar es salaam ambapo ndimo watu wenye wadhifa na heshima hujificha humo hata mchana wa saa saba kufanya matusi ya kumtafuta panya kwenye dodoso za mwilini.


Hao niwazungumziao nao walikuwa humo usiku huu wakiwa na jambo moja tu kila mmoja akilini mwake, nalo ni kufanya mapenzi ya aina yake. Kila mmoja alimpania mwenzake.

Nao wakatazama kwa hisia kali, hali wamevua nguo watupu lakini wakipeana muda kuheshimu umbali wa mita moja waliyoichora kwa makaridio kwenye kile kitanda.




Hiyo ilikuwa ni heshima ya mchezo baina ya magwiji wa mapenzi. Wakiruhusu kwanza kabla ya kuparurana wakidhi shauku za macho yao kwa muda wa dakika tano kabla ya kuanza kuvamiana mwilini.

“tayari,” alisema huyo mwanaume akijilazimisha kuhema taratibu, akituliza munkari wa rungu lake la mgambo lililoamka vizuri mno tayari kunyanyasa wamachinga wa Kariakoo.

“tayari, ngoja nikuone unaanziaga wapi?”alisema huyo msichana kwa sauti yake adhimu.

Mwanaume akainua mkono wake kwa tahadhari, akivuka ule mpaka wa mita moja ya kusadikika katikati yao, akautuliza kwenye paja la huyo mwanamwali laini kama sufi.

“hahaaaa, really! Ndio unategemea kuanza hivyo?” alisema msichana mwenye sifa zake akacheka mwanya mwembamba ukaonekana mdomoni mwake na haukufanya chukizo bali tabasamu la kudhoofisha auonaye mwanya ule.

Kwa neno lile mwanaume yule akarudisha mkono wake nyuma, akirudia stepu upya.

“nakusubiri, nataka nione ulichosema unakijua ambacho mimi sijawahi kufanyiwa, nataka nione upya wako upi? Nataka nione kama utaweza kunihimili, nataka nione ufundi wako, ukishindwa vaa ondoka, sitaki kuchafuliwa mimi,” alisema huyo mwanadada kwa maneno ya kudhihaki. Hakika nakuapia japo alizungumza maneno machafu lakini ungesikia kama sauti ya kinanda.

Ninauhakika kama ungekuwa afande halafu ungeungemuona msichana huyu katoka kuua mtu, ndiyo kwanza ungemsaidia kutupa maiti maana aliweza kufuta matendo yake mabaya kwa uzuri wake tu.

“leo hautanisahau, sio kama siku ile, nimejipanga, leo nataka ulie kwa kilugha cha kwenu,” alisema huyo mwanaume naye akionekana kujiamini mno.

“aya mshumaa ule pale, umeshawaka, nataka univuruge uwezavyo, hadi ukiisha niwe nimeshaenda mara moja tu, usipoweza naliendeleza jina lako la Hanithi Mpevu, na safari hii nalitangaza hadi mitandaoni.”

“Okey,” alijibu mwanaume huyo aliyeitwa Hermez, msichana akiitwa Renee.

Ilikuwaje hadi wakafikia hapa, turudi miezi kumi na moja nyuma, wakati yote haya yametokea.



“dada Mage siamini kama leo unaolewa, umesubiria mno nakuombea Mungu ndoa yako iwe kama ulivyoiwaza, umepigania sana kuolewa na Mudy, lakini mtu tu from no where amekupa thamani ya kukuoa, aisee kweli Mungu hakupi unayemtaka bali unayestahili,” alisema Renee hausigeli wa akina Mage akimwambia Mage mwenyewe ambaye kiumri alimzidi sana Renee lakini walikuwa mashoga wakubwa mno huku Renee akimuita Mage dada siku zote na Mage akiumita Renee mdogo wake. “ndiyo hivyo mdogo wangu, hata mimi ujue nimechanganyikiwa mno, yaani kuishi na Mudy miaka mitano bila kunioa, halafu mtu niliyempa penzi siku moja tu kutangaza kunioa kwa umri huu wa miaka thelathini na tano; nako ni bahati aisee, Renee mdogo wangu, jana nimelia kwa furaha usiku mzima nikikumbuka jana Deo alipokuja kulipa mahari kwa baba, aisee, Mungu anilindie heshima yangu hadi harusi ipite, naona kama maajabu,” alisema Mage akiendelea kusaidizana na Renee kuandaa chumba fulani kwa kukifagia na kupanga vitu mbalimbali humo.

“dada mage, hivi ungelia ee kama ningewahi kuolewa mimi kwanza eti ee!?” alisema Renee, binti mdogo lakini tayari alionwa na mwanaume fulani akamchumbia kwa nduguze na ndiyo alikuwa akimalizia tu wiki kadhaa kama hausigelo ili arudi kijijini kwao kwa ajili ya ndoa.

“Renee bwana, mimi mwenzio nilishajikatiaga tamaa, tangu walivyoolewa marafiki zangu wote na mdogo wangu Mary, wala isingeniuma,” alisema Mage.

“mh lakini na wewe umechangamka kama nini hadi umembebea mimba kabisa, lazima achanganyikiwe, kwa hiyo Mudy kalaghabao, muache ajutie kuichezea bahati; lakini vipi ulishamwambia kama unaolewa?” “hapana, muache hivyohivyo, kama alijua anaweza kunipelekesha anavyotaka na kunisubirisha wakati wenzangu wanamakwao, bora ajue kuhusu ndoa yangu hukohuko mtaani; sijisumbui kumtaarifu kwa chochote yeye si mjanja?”

“ila kweli, mtu gani anaweza kusafiri miezi sita bila taarifa kwa mpenzi wake, halafu amerudi ndiyo anakutafuta!”

“yule ni mshenzi, muache aliyejua thamani yangu anichukue,”



“hahaa, hallooow! Sipati picha harusi lako litakavyokuwa la kibabe, mdogo wako Mary ndani ya nyumba na mmarekani wake na wanae, loh! Nakutamania kama nini!” alisema Renee kichwani kama vile alianza kuvuta picha ya jinsi ndoa ya Mage itakavyokua nzuri.

“mh, we acha tu, hata mwenyewe sijui itakuwaje, yaani naota kila siku, nina presha yaani kwa ufupi,” alisema Mage akiendelea kupanga vitu.

Lakini ghafla kidaftari kikadondoka kutoka kwenye kabrasha. Mage hakukiona na Renee akakipuuzia na mwishowe akafagia pamoja na makaratasi mengine tayari kwa ajili ya kuyachoma moto.

Wakati huo Mage akaanza kudeki humo ndani. Renee akatia kwenye kizoleo yale makaratasi na kuyatupa jalalani pamoja na kile kinotibuku kisichokuwa na jina wala dibaji.

Lakini cha kushangaza kile kinotibuku kikakaidi kutumbukia jalalani, kikaanguka pembeni ya pipa la uchafu kikijipambanua kurasa zake za kati.

Renee akakitazama maana alichokiona kwa haraka kilikuwa ni kichwa cha habari kilichoandikwa kwa mwandiko ulionekana kuwa na haraka maana haukutulia hata kidogo. “jinsi ya kukatikia mb**”

Renee akashtuka, akakinyanyua na kukisoma vizuri, na kufungua kurasa nyingine, ikaandikwa: shanga na maana zake. Kadri alivyoenda mbele akajikuta akisoma mambo yaliyomuwehusha kabisa akili zake. Akafungua kurasa kwa harakaharaka na aliona mambo ya kumshangaza yakiwa yameandikwa humo.

Akakibeba hicho kidaftari na kuingia nacho kwa Mage aliyekuwa bado



Basi Renee hakupoteza muda akaenda moja kwa moja chumbani kwake kujifungia kuanza kusoma kile kidaftari.

Akaanza ukurasa wa kwanza kufuata mtiririko, akaona mambo mbalimbali ya mapenzi yakiwemo staili tofautitofauti za kitandani, jinsi ya kula denda, jinsi ya kulinyonya jusi kafiri, miguno na mipapaso; jinsi ya kuamsha hisia zilizolala, jinsi ya kujitengeneza uwe na mvuto hata kama sura haidamshi, umuhimu wa masauti ya mahaba kwenye sita kwa sita, mitego ya mapenzi, kusoma ridhiko la mpenzi wako na jinsi ya kubadili mikao kwenye kikao cha watu wawili.

Yote haya yaliandikwa kwenye sura ya kwanza iliyoandikwa DARASA LA DOKTA BEN; Renee akayasoma hayo na kufunguka akili maana yeye suala la mapenzi alilichukulia kawaida tu, hakuwahi kwenda mbali kiasi hicho na kuona watu wakichambua na kupangilia kila kipengele kuonesha umuhimu wake.

Mh akaguna na kujaribu kuyatafakari kama huyo mumewe mtarajiwa anategemea yeye awe hivyo! akaogopa maana yeye hakuwa na kumbukumbu nzuri za mapenzi na mtu. Kwa kifupi alikuwa bikra; hivyo ni limbukeni kabisa wa mapenzi na tanzu zake.

Akafungua sasa sura ya pili, hiyo iliandikwa DARASA LA BIBI GULULI, akasoma hapo taratibu maana kulikuwa na mambo yaliyomvuruga akili kabisa, kwa sababu yalikuwa yamezidi undani wake.

Akasoma taratibu mada zilizoandikwa kwa mtiririko mzuri ikiwemo hiyo ya kujifunza jando la kimakonde na mizungu yake, matumizi na maana ya shanga, akafikia jinsi ya kujifunza kukata kiuno hata kama kigumu kama gogo, kuwa na kitumbua kinene, mambo matatu ya kumvuruga mwanaume akili akupende, mazoezi yakukaza kipapatio kisipwelepwete, kumfanya mwanaume asikukinai, kumsafisha bibi kwa ustadi na kadha wa kadha.

Renee akasoma hayo na kujitia maswali mwenyewe akijiuliza kama alifahamu hayo mambo kabla, akajikuta alikuwa kichwani patupu, sasa ndiyo akajiuliza alikuwa anaenda kuolewa kufanya nini humo ndani kama si kuumbuana.

“Loh! kumbe wanawake tuna mambo mengi hivi?” alijiuliza Renee kwa sauti, akifungua sura nyingine na kuipima kwa mkono wake akiona ni nzito kidogo kwa kurasa zake.



Kichwa cha habari hapo kiliandikwa kwa kingereza, MR X AND HOW TO BECOME ONE kwa Kiswahili kilikuwa kinamaanisha (MR X na jinsi ya kuwa mmoja wao), lakini wala Renee hakufahamu kiingereza, akajua huko ndiyo ambako dada yake Mage alisema yamemshinda.

Mh! Renee akastaajabu akijiuliza Mary na mumewe wanajua mangapi maana si kwa madarasa hayo yote.

Akakumbuka tu mara kadhaa aliwahi tu kuoneshwa picha ya Mary kwenye simu ya Mage na kusikia wakizungumza mara kwa mara kwa njia ya simu. Mara nyingine akiongea na mama na baba, lakini hakuwahi kumuona uso kwa uso.

Ilikuwa ni miaka miwili tangu aingie kufanya kazi ya uhausigelo kwenye nyumba ya kina Mage, na kipindi hicho chote Mary hakuwahi kurudi Tanzania ila kesho yake atafika kutoka Marekani kwa ajili ya harusi ya dada yake.

Ikamfanya shauku Renee kutamani kumuona Mary maana alikuwa kama shujaa wake kwa sasa maana kwa aliyoyasoma kwenye hicho kidaftari yalimtia wenge.

Sasa akafunguafungua kile kijidaftari akajiona kama vile amemaliza hadi mwisho lakini hatokumbuka pindi akiachiapo. Basi akalazimika kuchukua peni na daftari kubwa akiazimia kukikopi taratibu ili awe nacho na yeye.

Akaandika na kuandika, hadi akasahau kupika chakula cha mchana. Lakini haikujalisha maana mimba changa ya Mage haikutaka chakula cha mchana hivyo haikuwa na shida kwa sababu hata wazee wangelifika jioni.

Basi mwanadada akaandika na kuandika, akikumbukia enzi za shule ya msingi alivyoweza kuwaandikia notisi nyingi mno kwa muda mfupi, basi akaandika kwa spidi kali mno.

Ndani ya nusu saa alikuwa amemaliza kuandika kurasa zote za Kiswahili, akabakiwa na hizo za kiingereza ambazo Mage alimwambia kuwa aliyeandika ni Jermaine mume wa Mary huyo mmarekani.

Basi akajiuliza aandike au aache, lakini akashawishika kuaziandika hivyohivyo pembeni maana alimkumbuka mkaka fulani hapo mtaani ambaye anajua vizuri kiingereza, akajua huyo ndiye pekee atakayeweza kumtafsiria yaliyoandikwa humo, na walikuwa wamezoeana sana kiasi kwamba japo alijua ni matusi lakini aliona akimuuliza yeye itakuwa haina shida.



Hadi ilipofika jioni tayari Renee alikuwa ameshamaliza kazi ya kuandika, akakimbilia haraka jikoni kuandaa maakuli, akakarangiza na kutafakari mambo aliyoyasoma. “Mdogo wangu leo tunakula nini?” aliuliza Mage akitazama huko na huku kuona chochote ambacho tumbo lake litataka.

“Napika ndizi na nyama,” alijibu Renee.

“Agh! Yaani mimi hizo leo sijisikii kabisa kuzitia mdomoni, naomba hilo embe kwanza nilile,” alisema Mage, Renee akampa haraka embe na kisu kingine ajisevie.

“Ila dada, kiukweli nimesoma yale ya kwenye kile kidaftari cha dada Mary, hivi unajua nimejiuliza mengi mno! Hivi ndiyo tuseme anayajua yote yale au?”

“we unadhani Mary mtu wa mchezomchezo eeh! Anajua vitu hivyo hadi basi, mimi mwenyewe ananitumiaga mengi na ndiyo kazi yake kufunda huko Marekani, yaani yaliyomo humo mbona cha mtoto!”

“weee! Dada Mage na mimi nifunde basi,” “mh kwani wewe unajua vingapi?”

“kusema kweli dada mimi najua tu jinsi ya kuoga, hayo mengine ninachojua mimi atanifundisha mume wangu humohumo ndani,”

“mh, kweli kazi ipo, lakini mtu unaweza kuwa bikra halafu ukawa fundi, ni vyema kujifunza lakini, ila nikwambie tu ukweli, mimi sijui kumuelekeza mtu, msubiri tu Mary akija kesho umbembeleze, halafu uzuri anakuja na team nzima, yaani hapa patakuwa hapatoshi.. nimemmiss kweli mdogo wangu,”

“Mh, dada Mage sasa mimi Mary nitaanzaje kumzoea halafu nimuulize mambo hayo! Kweli atanielewa? Mimi nataka wewe ndiyo unifunze bwana, naombaaaa!”

“agh bwana mimi sijisikii vizuri..” alisema Mage na kugeuka ili aondoke, lakini Renee akaacha kabisa na kazi zake akatia huruma mno. Akasema: “jomonii nifunde na mie!”

“Loh umenikumbusha kitu!” alisema Mage kwa sauti akachukua simu yake na kufungua mtandao wa Facebook, akaingia page iliyoandikwa Simulizi za Chande, akapekua na kumuonesha Renee mahala pameandikwa. “Jomoni nifunde na mie!”

“He! Mbona ndiyo maneno niliyoyasema mie sasa hivi!?” alishtuka Renee.


“Ndiyo hahaa, yaani ulivyosema tu nikakumbuka, sasa hii ni stori lakini ni ya kweli kabisa, yanamhusu Mary, sasa soma vizuri utajifunza humohumo,” alisema Mage, Renee kwa kuwa alikuwa na kisimu cha tochi chenye mtandao wa facebook akakopi jina la page na kumalizia kupika.

Alipomaliza akatenga mezani kila kitu na kukimbilia chumbani mwake akajifungia kusoma hiyo stori vizuri, Loh alipomaliza akashusha pumzi na kuwaza.

“sasa kama Mary alimuacha mumewe kwa sababu alikuwa hamridhishi, na mimi nikaolewa na kukutana na majanga kama hayo kweli nitavumilia? Au kama nikienda kwa Martin akawa fundi halafu aone simtoshelezi itakuwaje? kama Mary aliweza kujifunzia kitandani na mtu asiyemjua bila kujali chochote, je mimi kwanini nisitembee na Hermez kwanza kabla Martin hajanioa ili nijifunzefunze kwanza na mimi?” aliwaza Renee. “hapana sitakubali niolewe halafu niumie kama kutoridhishwa kunauma hivi, hapana kwa kweli, acha nimuige Mary hadi na mimi nijue,” alisema kimoyomoyo Renee.

Mara akasikia sauti huko sebuleni akajua tayari baba yake Mage na mama wamefika, basi akaenda kusalimia na kupokea mizigo maana siku hiyo wazazi hao walilazimika kwenda mjini kununua vitu mbalimbali kwa ajili ya mapokezi ya Mary, mumewe na marafiki zake.

Nakwambia hadi kwenye bati lilipolegea palirekebishwa, penye hitarafu pakarembwa, nyumba ikapendeza, tena sio nyumba ile ya kipindi kile sasa hivi lilikuwa jumba haswa na yote hiyo ilikuwa kazi ya Mary, tena alimnunulia baba yake na mama yake gari nzuri ya kutembelea na ndiyo ambayo walitoka nayo mjini siku hiyo kununua mazagazaga wakiendeshwa na kijana wa mtaani hapo aliyeitwa Hermez.

“vipi, Renee njoo basi leo gheto acha kunibania bwana, mimi ninaingiza kichwa tu,” alisema Hermez wakati akitoka nje ya nyumba baada ya kupaki gari vyema.

“poa nitakuja usifunge mlango,” alisema Renee akitabasamu na kuingia ndani, Hermez akashtuka maana kila mara akimzinguaga Renee hupokea matusi, lakini siku hiyo alishangaa kuona mtoto kajibu jibu ambalo hakulitegemea, akaondoka na kiwasiwasi, akajiuliza lakini hakuyaamini masikio yake. Hata kidogo. Loh bahati hizo zakutunukiwa huja kwa nadra sana.



Usiku ule Hermez akashindwa kulala kwa kiraruraru, akajiandaa kwa kuoga, kuvaa boksa yake nyeupe na kutosahau kuacha mlango wa chumba chake wazi. Lakini akajiona mjinga mara kadhaa.

Akatoka nje kabisa kutazama huko na huku kuona kama kuna dalili zozote za Renee kufika ghetto lake, lakini wapi? Hadi saa tano ilikuwa kimya kabisa.

Akarudi ndani kwake na kufunga mlango wake kwa kufuli maana alihofia wezi na mijibwa ya mitaani isije kumvamia wakati amesinzia.

***

Renee wakati huo na yeye alikuwa katika maandalizi. Alisubiria nyumba nzima ikiwa imelala na sasa akaona ni muda mzuri kutoroka bila kushtukiwa.

Suala lililobakia kwake lilikuwa ni kujiandaa kimwili na kisaikolojia kukutana na Hermez. Usidhanie kwamba pengine alimuogopa Hermez kwa chochote; akuu hata kidogo alimuona kawaida tu maana alishamfanya uwanja wa mazoezi na hakuwa moyoni mwake kabisa, aliyekuwa moyoni mwake ni mumewe mtarajiwa Martin tu; yeye alichoogopa ni hayo maumivu wanayoyasimulia ya kutolewa bikra.

Akasimama na kutoka chumbani mwake kwa mwendo wa kunyata, kwenye mkoba amebeba mafuta na khanga kongwe. Akavuka hadi getini na kufunga geti kwa nje kwa ukimya wa hali ya juu, kisha akayoyoma kupiga hatua chache kuelekea kwenye ghetto la Hermez ambalo halikuwa hata mbali.

“ngo..ngo..ngoo!” aligonga mlango Renee.

“Hermez, wee Hermez fungua mimi Renee!” alisema Renee baada ya kugonga hodi muda mrefu kidogo bila majibu.

“eeee, nakuja!” alishtuka Hermez kutoka usingizini, maana japo alilala akiwa amekata tamaa kuwa Renee hatofika lakini kimoyo chake kilikuwa kikidadisi uwezekano, na ndiyo hicho kilichomshtua kutoka usingizini dakika za mwisho kabla mtoto hajaghairi na kuondoka.

Haraka Hermez akalikwachua komeo lake na kufungua mlango wake. “Renee karibu,” alisema Hermez akiwa haamini.

“unakunywa kinywaji gani?” aliuliza Hermez akitahidi kumfanya Renee ajisikie nyumbani wakati akipiga hesabu za kiume kukokotoa umbali kati ya kochi alipokaa Renee na kitanda kilipo na njia za kugawanya vipeuo ili mtoto aangukie kitandani mwake bila kujijua.



“Aagh mimi sitaki chochote,” alisema Renee akimtazama Hermez juu chini na kutazama pembeni kwa aibu.

Hermez naye hakuwa mjinga alijua mwanamke akiona haya hivyo anatakaga nini. Akamvamia na kumpa kinywa chake, Loh Renee matirio yakamshuka kichwani ya ile mada ya jinsi ya kula denda kama alivyosoma kwenye kijidaftari chake, akammung’unya mdomo wa Hermez kama alivyomung’unywa akalaza shingo kushoto Hermez akienda kulia, naye kulia Hermez akienda kushoto. Akatia ulimi juu ya ulimi na kuutaliisha kwenye fizi na meno ya Hermez akienda sawasawia na notisi zake. Akafanya mara chache kuunasa ulimi wa Hermes kwenye mduara wa lipsi zake na kuunyonya taratibu wote. “mhh!” alijishtukia akitoa mlio wa kuguna kwa utamu wa zoezi hilo, ambalo hakuwahi kulifanya kwa vitendo tangu azaliwe. Wakati huo Hermez alijaa kwa mautundu ya Renee maana siku zote alimuona msichana huyo mshambamshamba lakini kwa hiyo amshaamsha ya kabla ya mechi alijikuta akianza kupata hofu kidogo.

Akaona atapoteza kwa goli la ugenini, akaanza kumchojoa Renee ili angalau kama akipoteza mechi na kufungwa iwe basi walau amemla ngwara straika na si kuruhusu kuchezewa chenga kizembe.

Basi Renee akazisoma nguvu za Hermez fasta akajua yajayo ni yapi; akajitoa na kuonesha kwa kidole ishara kuwa Hermez azime taa.Basi Hermez akiwa amesimamwa na jusi kafiri lake, akakimbia mwendo wa radi kuazima taa na kurudi kwenye kochi. Renee akawa bosi wa safari, akamvuta Hermez na kumlaza kitini, Renee akamkalia kwa juu kama anamsimanga, akalichomoa hogo la Chipugila, akalipaka wese na kujitumbukiza kwenye mkubinduli wake. Aking’ata meno kwa maumivu makali, wakati msuguano mkali wa ngozi na kisima kisochakachuliwa cha Renee kikamshinda ustahimilivu Hermez akalimwaga shombo mapema mno hata sekunde tano hazikufika.

Renee akajitoa na kutetema miguu, akajifuta kwa khanga yake. akatoka mlangoni mwa Hermez gizani hivyo na kurudi kwao, akajitupa kitandani akifurahi kutimiza alichokiendea kwa Hermez siku ya kwanza. Pale kwenye somo la jinsi ya kula denda, akatia tiki na akalala unono.




Usiku haukuwa mrefu kwa Renee, usingizi mzito ulimchukua na kuamka alfajiri akajinyoosha mwili wake na kujiona kiumbe mpya kabisa maana ubikra ulikuwa kama vile umemfunga asione vyema; sasa aliona sana kabisa na kwa dakika kadhaa akajiona ameujua ulimwengu mzima na yaliyomo.

Akajipongeza kwa namna alivyoweza kumudu somo la kwanza la jinsi ya kula denda tena kwa utundu wa hali ya juu, akakumbuka mihemo ya Hermez, akajikuta akijipongeza.

Akatoka nje kufagia uwanja, akasafisha vyombo vyote harakaharaka, na kuendelea na kazi ya kudeki ndani kama ilivyo kawaida yake, akapika chai na kufanya kila kazi aliyotakiwa kuifanya. Alipojiridhisha kuwa kila kitu kimekaa sawa bin sawia, akachukua maji akaenda bafuni kuoga; huko akajichungulia kihadija milenda chake na kusikilizia miisho ya maumivu ya jana yake ambayo sasa yalikuwa kwa mbali mno na yakiambatana na muwasho wa ndani kwa ndani.

Siku hiyo kila mtu pale nyumbani alionekana mchangamfu na mwenye furaha kupindukia wote wakiwa na shauku ya kumuona Mary na wageni wengine kutoka Marekani, hata Renee naye alikuwa hivyohivyo.

Mara kadhaa simu yake ikaita, akaipokea na kuzungumza na mumewe mtarajiwa Martin, wakizungumzia jinsi gani wamemisiana na kukumbushana mapenzi yao na uaminifu.

Basi bwana; huko chumbani Renee akakifungua tena kile kijidaftari chake na kukisoma vizuri tena taratibu maana ile siku ya kwanza alikisoma harakaharaka, ndiyo akasoma upengele wa pili wa mada inayosema: Jinsi Ya Kulinyonya Jusi Kafiri.

Akayasoma maandishi yake kwa utulivu na kuyaweka moyoni akikariri kila hatua akipanga kwenda kumfanyia Hermez usiku huo.

Tena basi ili kufanya na mfano akaenda jikoni akachukua ndizi mbivu ya kiguruwe akaichomeka mdomoni na kuigeza kama vile ananyonya mushedede mutukutu.

Mara akashtuka kusikia sauti ya Hermez nje, akakimbilia huko na kugundua kuwa kumbe Hermez alifika kuchukua gari ili kwenda kuwafuata wageni huko Airport.

“mambo?” alisema hermez akimsalimia Renee.

“aaamhh, leo nitakuja tena,” alisema Renee kwa kunong’oneza.



Loh Hermez akafurahia mno moyoni, ila akatoa ishara ya hatari kwa Renee, Renee naye akasoma chezo akazuga anafagia maana Baba Mage ndiye aliyekuwa akitoka nje kuungana na Hermez kwa ajili ya safari ya kwenda kuwapokea wageni.

Baada ya lisaa limoja, waliokuwa wakisubiriwa sasa waliingia, mlio wa honi ulisikika getini, bila kujiuliza wote walitoka mbio kwa furaha kila mmoja akijua ya kuwa huyo ni Hermez alikuwa amewaleta wageni.

Renee alikuwa wa kwanza kufika getini na haraka alilifungua geti kuruhusu gari iingie ndani na kupaki karibu kabisa na mlango wa kuingilia sebuleni. Kila mmoja alikuwa na shauku ya kuwaona wageni hawa.

Hermez akatangulia kushuka kwenda kufungua mlango wa Noah na kufungua buti la nyuma, akigongana jicho kwa jicho na Renee. Akatabasamu na kuzunguka upande wa pili wa gari kufungua mlango wa mbele na ule wa kati ili wageni wateremke.

Uwiii! Kihoro na mchecheto vilimpanda Renee akasisimka aliposikia jina la Mary likitajwa na mwanamke aliyeonekana ni kama vile binti zaidi yake alikuwa mzuri mweupe aliyependeza mno. Loh wakakumbatiana na mama yake, wakilia na machozi ya furaha. Akakumbatiana na Mage pia. Naye Renee akaenda mbele kwa adabu na kumsalimia Mary kwa kujichekesha lakini Mary hakumuona wala kumsikiliza salamu yake maana kelele na mambo yalikuwa motomoto.

Sasa Renee akaona mwanaume mrefu mweusi, lakini umbo na sura yake vilitosha kusema sio mtanzania, na haraka sana Renee akagundua huyo ndiye Mr X, naye akasalimiana na wenyeji kwa bashasha akizungumza Kiswahili kwa tabu kidogo.

“Mtoto yuko wapi? Wapi alipo Kendrick!” aliuliza Mama Mary.

“ooh mama, samahani sana, Kendrick amebanwa na shule, tumeshindwa kuja naye, atakuja safari nyingine, leo tumekuja na Naima, Gululi na wengine but all of them wamekwapuliwa na ndugu zao airport lakini watafika tu kesho,” alisema Mary akiburuzana na Mama na dada yake wakiingia ndani kupiga habari zaidi.

Huku nje Mr X na baba Mage wakaingia nao taratibu. Wakabakia Renee na Hermez wabeba mizigo.



Hermez alikuwa ametumbua macho akiitazama familia nzuri hiyo, akamtazama Renee.

“Renee, natamani tungekuwa mimi na wewe vile,” alitupia Hermez.

“Hahaaa,” alicheka Renee kwa kutotilia maanani maneno ya Hermez maana akili yake ilikuwa mbali sana, ilikuwa kwa Mary, alimpenda na kumtamani kwa kila kitu, hata alivyotembea; hata alivyoongea, hata vilivyo vyake akahitaji kumzoea tu kidogo kama vile alivyomzoea Mage, ili mradi tu ajisikie ameketi karibu na supastaa wake ajifunze mambo mawili matatu.

Basi akabeba mizigo na kuiweka kwenye chumba kilichoandaliwa akipita sebuleni macho pima kwa Mary, Loh alikuwa mzuri mno na hakufanania na aliyoyaandika, “ama kweli watu wanajua vitu hapa duniani! Wanapendezana wenyewe,’ alisema kimoyomoyo Renee.

Jioni yote nyumba ilikuwa imetawaliwa na furaha mno, watu waliongea utani na ucheshi mwingi, wakanywa na kula, macho ya wenyeji hayakuwachoka wageni na wageni hawakuwachoka wenyeji na hiyo tu ilikuwa furaha tosha ndani ya nyumba hiyo.

Lakini wakati kila mtu akizungumza hili na lile, Renee kwake alitabasamu tu na macho yake kumtumbulia Mary, akitazama hata jinsi anavyoshika glasi kwa pozi, jinsi anavyotazamana na mumewe na kucheka, Loh.

Basi jua lilipozama ndipo mada zikaanza kubadilika na kuwa za siriaz sasa, ndipo baba yao akaanza kuleta mada za kuolewa kwa Mage na utaratibu wa sherehe ulivyopangwa kuanzia uchumbio, send off na harusi yenyewe.

Taarifa hiyo ilikuwa nzuri mno kwa wote waliompongeza Mage sana; na Mary na mumewe wakaahidi kuhakikisha sherehe zote hazipungukiwi kitu.

“nashukuru sana mary na shemeji, waaoh, siwezi kuwalipa,” alisema mage akilia kwa furaha.

“usijali shemeji,” alisema Mr X.

“hahaa, Jermaine, mbona kiswahili chako kimekuwa kizuri Zaidi?” alihoji baba mary.

“ahahaaa, nimepata watanzania wenzangu wengi pale nyumbani kila siku tunafanya m azoezi ya Kiswahili,’ alisema Mr X.

Kama kawaida siku hiyo haikuisha muda mrefu kwa wageni walioomba kupumzika mapema kwa ajili ya uchovu wa safari, basi saa mbili tu usiku. Mary na mumewe wakaingia chumbani kwao na saa tatu tu kila mmoja alikuwa ameshalala.




Renee kama kawaida akaosha vyombo vyake na kuweka nyumba safi kisha akapanga mitoroko yake, kwenda kwa Hermez. Akanyata na kutoka taratibu hata sauti ya unyayo wake haukusikika.

Akafungua geti na kulifunga kwa nje, akaenda kumgongea mlango Hermez taratibu, “Hermez…” Hermez! Mi Renee, fungua!” Basi haraka Hermez akaenda kufungua mlango maana alionekana ametega kabisa kilangoni pake kusikilizia sauti ya mtoto Renee. “ooh mke wangu Renee, Karibu.” Alisema Hermez akimruhusu Renee aingie ndani.

“asante ila leo sina muda sana,” alitahadharisha Renee kabla maana yake hapo kama kuna kisima chakukichimba wakichimbege mapema.

Loh Hermez akamvutia kitandani mwanamwali akamchojoa kijora na kutaka kutumbukiza mushedede mutukutu bila kuviamsha vidudu vya kunyevuanyevua.

“mh ngoja kwanza Hermez,” alisema Renee. Akimtuliza wenge Hermez, akampelekea mdomo kwanza kukumbushia somo la denda la jana yake. Hermez akapandwa midadi. Akafanya utundu kutaka kuingia Njopeka haraka. “mh Hermez subiri kwanza, naomba nikunyonye hiyo,” alisema Renee. Hermez akalala na kulitoa mshipi.

Renee alimtazama Hermez machoni bila kupepesa, akaanza kupitisha ulimi wake kwenye kichwa cha mtalimbo. Akaulambalamba kama vile anakula koni ya baridi kisha akakinyonya kwa kuibana midomo yake akalimeza nusu na kulimeza zimazima. Akahakikisha kichwa cha ndonga kimegusa upande wa ndani wa shavu lake na kukisugua kwa ngozi hiyo laini ya ndani.

Kama haitoshi akaing’atang’ata kwa meno na kulisukutua kwenye kona za meno yake, Doh Hermez akalia. “Renee unaniuaaa, Renee ashhhhhhh, tamuuu!”

Basi Renee akamtazama kwa kuibiaibia akiendelea kukumbukia kila stepu ya kunyonya dudu kama ilivyoandikwa na Mary akihakikisha hakosei kipengele.

Miguno ikamzidi Hermez, aliyegalagala kwa utamu kunoga. Hapo Renee akajiwazia moyoni, “Yes, tayari muda ndo huu” Akauchomoa haraka mkurunzinza wa Hermez na kuusugua kwa mkono.

Masikini Hermez, macho yalimtoka. Uzalendo ukamshinda, akashindwa kujizuia! Akarusha kojo kama maji ya shampeni za sherehe, naye Renee akishuhudia kimiminika kikimwagika hewani pasipokuwepo na kikingio.

Renee alifurahi, akajipongeza moyoni kwa kuwa amefaulu tena somo lake la pili.

Akavaa nguo zake




Basi kwa staili ya kunyata Renee akarejea nyumbani kwao, akafungua geti kuu na kunyata akiingia ndani. Akapita nyumba kubwa na kuingia koridoni kwa staili ya nyoka akijizuia asitie kwa nguvu shindo la hatua yake sakafuni ikasikika.

“we vipi!?” ilikuwa ni sauti ya mtu aliyekuwa si mbali na aliposimama. Renee akashtuka nusura adondoke. Akageuka taratibu kutazama gizani ni nani amuitaye.

“nakuuliza we vipi? Umetoka wapi?” alisema huyo mtu akiwasha na taa.

Kumbe alikuwa ni Mary na alikuwa akitokea uwani hapo koridoni. Renee alinaswa na ilimpasa ajitetee.

“aah dada Mary, umenishtua. Nimetokea dukani,” alidanganya Renee. Mary akamsogelea karibu Zaidi na kumtazama vizuri.

Renee akaanza kutetemeka maana alihisi swali litakalofuatia hapo ni: “Umetoka kununua nini usiku huu!?” lakini ghafla mlango wa chooni ukafunguka akatokea Mr X huko, kumbe alikuwa na Mr X uwani na walikuwa wamesindikizana.

“Honey whats going on?” aliuliza Mr X, akiwa kwenye pajama akisogelea aliposimama Mary na Renee.

“ah hamna kitu, nilikuwa naongea tu na dada hapa,” alisema Mary akimuwahi Mr X pale alipokuwa amesimama na kumshika mkono waingie chumbani mwao.

Renee aliyekuwa amebana pumzi hata asiheme, akaishusha sasa na kucheka kimoyomoyo. Maana almanusura yamkute madhira ya kubambwa.

Akaingia chumbani kwake haraka na kujifungia. Kama kawaida yake akawaza aliyoyatenda siku hiyo na kufurahia.

Mara akaanza kusikia vicheko chumba cha pili, na ukuta ukigongwagongwa hivi, akasimama na kuweka sikio lake ukutani kusikia ya chumba cha pili. Akasikia vingereza, mihemo, miguno, sauti za chaga zikisuguana na milalamo.

Akagundua kuwa humo ndiyo chumba alicholala Mary na mumewe, maana kilikuwa sambamba na cha kwake.

Loh akavurugwa akasikilizia tena, sasa akakumbuka kuwa mahali alisoma kuwa kufanya mapenzi ni kutamu kuliko chochote duniani. Akawa na hamu ya kuonja utamu wake maana aliishia kusimuliwa tu na Mage. Na sauti za Mary zilimfanya naye atamani kuonja kwa Hermez utamu huo hata kesho.

“sasa hivi, tu nitaanza kusikia utamu, uzuri bikra imeondoka tayari,” alijiambia mwenyewe bi dada.



Akafungua kijidaftari chake na kutafuta mada yoyote nzurinzuri itakayohusisha mishinduo ili naye akaonje kipipi utamu. Akavuka mtiririko maana mada iliyofuata iliyosema: Jinsi ya kujifunza mitego ya kumtega mwanaume asiye na hamu na tendo.

Akaivuka na kwenda kwenye mada isemayo: jinsi ya kulia kimahaba kitandani na faida zake kwenye kamchezo.

Loh hapo ndiyo alipopapenda akapasoma na kuzisoma hiyo milio minne ya huba.

Akafanya mzaha wa kuzijaribu akacheka mwenyewe. akajaribu kujichezea na kujitia na udole, huku akifumba macho akahisi kuna kuna kautamu kana kuja hasa akichezea hapo kwa juu kwenye kiyoni chake.

Loh akaendelea napo bila kujijua kumbe ndo alijichua tena. Akahisi anaacha ardhi na mwili sio wake, midomo ikaongea kihehe, akatetemeka huko chini kukampwita hatari. Mambo yalimsimama dede. Akapata nafasi na kujiachia akihema kwa nguvu maana raha ilizidi akahisi kutekenyeka kwa ugiligili. Akajiuliza hicho nini kilichomkuta!? Alitiwa jini au?

Mara kidogo mlango ukagongwa akashtuka na kujiweka sawa.

Loh alikuwa ni Mary mlangoni pake na nguo yake ya kulalia.

“we vipi?” aliuliza Mary akimtazama Renee kwa viulizo kibao.

“nini dada?”

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG