Search This Blog

Wednesday, January 25, 2023

SITASAHAU JINSI MZUNGU ALITUTUMIKISHA KINGONO MIMI NA MUME WANGU - 3

   


Chombezo : Sitasahau Jinsi Mzungu Alitutumikisha Kingono Mimi Na Mume Wangu 

Sehemu Ya Tatu (3)



 Machozi yaliendelea kunitoka nikiwa nimepoteza kabisa tumaini la kupata msaada nikawa naondoka pale hotelini huku nimeinamisha kichwa chini lakini ghafla mtu akanigusa begani ikabidi nigeuke kumuangalia ni nani? Sikuamini macho yangu alikuwa ni mzungu aise nilishindwa kujizuia Kwa furaha niliyokuwa nayo nikajikuta nimemkumbatia mpaka mwenyewe akashangaa kwani nilihisi nikama zawadi imeshushwa kutoka mbinguni. "Ana Maria nilijua umeondoka" Nilijuta namuonyesha mzungu tabasamu pana huku yale machozi ya kumkosa mzungu yakiwa bado hayajafutika usoni hivyo kilio cha huzuni kikabadilika ghafla na kuwa kilio cha furaha. "Ooh baby, Sikutegemea kabisa kama tutaonana tena na utanipokea Kwa furaha namna hii" Mzungu aliongea Kwa furaha huku akinifuta machozi. Na ghafla tukabaki tunaangaliana mimi na Mzungu ,kama kawaida yake aliniangalia Kwa macho ya mahaba, hapo ndipo nilipoanza kujishtukia kwani nilikuwa nimemkumbatia mzungu. Nikaanza kujitoa kwenye lile kumbatio lakini Mzungu akatumia nguvu nyingi sana kunivuta kiunoni akanititi barabara alafu akanipiga mate Kwa nguvu mbele ya kadamnasi. Nilitaka nijizuie asiendelee kuninyonya mate mbele za watu lakini nikafikiria mara mbili hali ya mwanangu basi nikamuachia anipige mate vizuri bila pingamizi lolote.Watu wote wakatushangaa sisi pale hotelini nikamtoa mdomoni mwangu na kumwambia. "Ana Maria watu wanatuangalia sisi". "Unaona aibu?" Aliniuliza huku akiwa bado kama anatamani kuendelea kunipiga mate. "Ndio". "Basi usijali baby,twende hotelini nilipohamia". Basi tulitoka nje mimi na mzungu tukachukua taksi kisha wote tukakaa siti ya nyuma. "Dereva tupeleke Albright hotel" Mzungu alimwambia dereva kisha akanigeukia mimi kwa tabasamu pana yahaani ni kama anawaza vile jinsi atakavyoniraruwararuwa tutakapofika hotelini.Mimi nikataka sasa nimwambie habari kuhusu mtoto ila nikawa natafuta nafasi ya kuanza kumwambia Mzungu maana kila nikimuangalia usoni huyu Mzungu naona amejawa tamaa za kingono isivyo kawaida.Ikabidi nianzishe mada maana Mzungu muda wote ananiangalia tu kwa matamanio hadi naona aibu. "Niliambiwa na muhudumu umehama hoteli imekuwaje tena ukarudi". "Ulikuwa umesahau simu yako,nami nilishakukatia tamaa nikajua sitokupata tena hivyo niliamua kuja kwaajili ya kuirudisha simu yako Kwa muhudumu Ila bahati nzuri nikakukuta wewe,Na wewe Je ulikuja hotelini kunifata mimi au kuifata simu yako?" Mzungu aliongea hayo huku akiwa amenishika kidevu changu na mkono wake jicho lake likiwa nyanya kabisa (Limezingira na machozi) akisubiri jibu langu Kwa hamu kubwa na jibu langu halikumuangusha na fikra zake za kishenzi alizozifikiria kwani nilimjibu. "Nimekuja kukufata wewe" Hapo Mzungu akanirukia palepale na kutaka kunipa mate tena nami nikamzuia Kwa mikono miwili maana huyu Mzungu Kwa ngono ni kama amechanganyikiwa. "Vip baby,mbona hivyo" Mzungu aliongea Kwa tabu mno ni kama mtu aliyenyang'anywa tonge mdomoni. "Subiri kwanza tufike hotelini, nitakuelezea.Kwanini nilikufata". Hapo ndo nikaona Mzungu anakuwa mpole kisha akatoa simu yangu kwenye pochi na kunikabidhi. Ni kweli mume wangu alishanipigia zaidi ya mara kumi kile kipindi cha majibu pia kunitumia sms lakini sasa ishakuwa ni taarifa zisizo na umuhimu kwasababu nilishazijua ikabidi niweke simu kwenye pochi ila sms ikaingie kuifungua ni mume wangu. "Uko wapi,Wewe rudi nyumbani haraka maana Jack kasharuhusiwa, Mimi nikatafute pesa haraka iwe Kwa kukopa au kuiba,Vinahitajika vidonge kwaajili ya kumfanya Jack aweze kupumua vizuri Kwa siku chache tu na vidonge vyenyewe ni laki nne hivyo unapaswa kuwahi nyumbani mimi nitoke" Sms Ile ilinihuzunisha sana nikajikuta natokwa na machozi. Mzungu akaniuliza "Uko sawa Rosemary".Nikamjibu "Niko sawa". Basi tulifika hotelini na kuingia ndani moja Kwa moja kwenye chumba cha Mzungu ,Tulipofika tu Mzungu alitaka aanze mambo yake lakini akasita kwani hakuniona kwenye hali ya furaha. "Rosemary,mbona unalia kwani tatizo ni nini?". Sikumjibu kitu bali nilimtolea simu yangu ambayo ilikuwa na sms ya mume wangu ile ya majibu kutoka kuwa Jack ana moyo mkubwa na inahitajika operations India au South Africa pia na Ile sms iliyoingia saa hizi ya kuwa inahitajika laki nne ya vidonge.Nami nikaongezea "Hiyo ndiyo sababu iliyonileta kwako Ana Maria naomba unisaidie mwanangu asife" Basi Mzungu akanifuta machozi kisha kusema "Usijali nitakusaidia,Na Mwanao hatotibiwa South Africa au India bali atatibiwa kwenye hospitali kubwa zilizopo Marekani,Ila Tafadhari naomba na mimi unikubalie niwe mpenzi wako na ikiwezekana tufunge ndoa"


. Kauli ya Mzungu ilinichanganya sana kwani ni kauli ambayo imeshikilia maisha ya mwanangu,Ni kauli ambayo sipaswi kusitasita kwenye kutoa maamuzi.Ni kauli ambayo nikisema ndio nimekubali maana yake ndio nimekubali mwanangu atibiwe na nikisema sijakubali maana yake nimekataa mwanangu kutibiwa hivyo sikuwa na maamuzi mengine zaidi ya kusema "ndio nimekubali,Lakini wewe si mchumba wa Kaka yangu?". Ilibidi nimuulize swali ambalo huwenda likanitoa kifungoni Ila mzungu alilijibu kimkato sana "Hayo mambo ya Frank achana nayo mi nakupenda wewe tu, Huwa siwapendi boys mimi ila inapobidi inabidi niwe na boys kidogo" "Inapobidi kivipi?"Ilibidi nimuulize "Inapobidi maana yake pale inapolazimu kuwa na mwanaume nakuwa naye tu,Kwa mfano tangu nimekuja Tanzania nimekuwa nikimtafuta mwanaume mzuri wa kiafrika ili anipe mimba ,na nipate mwanamke mzuri wa kiafrika nifunge naye ndoa" I Jibue la mzungu lilinitetemesha kidogo inamaana alimtumia Frank ili apate mimba na sasa anataka kufunga ndoa na mimi basi nikamuuliza swali lingine. "Kwanini iwe afrika na sio ulaya". "Wanaume wa Africa ni rahisi kuwadhulumu mtoto tofauti na wazungu nami ndoto yangu nikuwa na watoto wawili mmoja wa kumzaa mwenyewe na mmoja wa mwanamke nitakayefunga naye ndoa, na bahati nzuri mwanamke nitakayefunga naye ndoa ndo wewe na tayari unamtoto, Hivyo Jack namuona kama mwanangu kabisa". Mzungu aliongea hayo huku akizidi kunikaribia kabisa na mdomo wake mimi nilikuwa natetemeka kabisa yahaani huyu mzungu utafikiri ni dume fulani basi alimaliza kauli yake kwakunipiga mate kabisa.Nami nikaona acha tu aendelee kujiburudisha tu kwenye mwili wangu huku nikimuwazia mume wangu kuwa kumbe alikuwa anatumika tu mbele ya mzungu na lengo la mzungu ni kujipatia mimba tu kutoka kwake. Basi Mzungu alimaliza kuninyonya mate na lengo lake sasa ikawa ni kuyafyatua maziwa yangu yaliyopo kwenye sidiria ayanyonye hapo nikamzuia "Ana Maria,unajua mwanangu anaumwa sana na vinahitajika vidonge ili viweze kumsaidia apumue vizuri,Tafadhari naomba pesa kidogo ili nikamsaidie mtoto". Basi Mzungu akaamka kwa haraka mno kisha kuvaa nguo zake vizuri huku akijilaumu "Mimi ni mzazi wa namna gani naendekeza mapenzi na kumsahau mwanangu" Kwa kweli nilimshangaa sana huyu mzungu yahaani tayari ashajimilikisha mpaka Jack. Basi nami nikarudishia nguo zangu vizuri kisha tukatoka nje ,Mzungu alionyesha kuchanganyikiwa sana kuliko hata mimi. "Ebu nipe simu yako" Mzungu aliniomba simu yangu kisha akampigia mume wangu kuuliza ni dawa gani zinahitajika.Wakati anaongea na simu mume wangu alikuwa na shobo nyingi sana kwa Mzungu yahaani huyu bila hata kukumbwa na tatizo lolote Mzungu akiamua kuondoka naye ulaya anaweza kuondoka naye saa yeyote kutokana na shobo zake lakini Mzungu alikuwa akimkwepa na kutaka atajiwe dawa tu,Basi alitajiwa dawa na kukata simu hakutaka mazoea sana na mume wangu. Wakati huo mimi nilikuwa nimeonyesha wivu kidogo,Ila ni wivu wa kumuonea wivu Mzungu "Kwanini mume wangu amshobokee kiasi kile?" Ila Mzungu akanielewa vibaya na kuhisi kuwa namuonea wivu asiongee na watu hivyo akaamua kunipoza. "Baby una wivu kweli,mi nishakwambia nakupenda wewe?". "Huyo ni mwanaume na wewe umesema unahitaji mimba,Mimi kama mwanamke siwezi kukupa mimba itakuwaje unafikiri lazima nikuonee wivu"Nilizuga kidogo lakini Mzungu alinijibu jibu lililonishtua kidogo. "Huyu kaka yako nilifanya naye mapenzi bila kinga katika siku zangu za kushika ujauzito,Hivyo nasubiri baada ya siku chache zinazokuja nitaingia kwenye siku zangu, Nisipoziona siku zangu tu nitajua tayari nimeshika mimba hivyo tutamtoroka huyu mjinga asijue chochote" Mzungu alinyamaza kidogo kisha kutoa kiasi kama cha shilingi milioni moja. "Chukua hii pesa kisha fatilia passport na visa ya kwenda USA ndani ya siku hizi mbili uwe umekamilisha kila kitu, Hakikisha humwambii kaka yako ili siku nikikupigia simu tu unakuja wewe na mtoto tu usije na libegi la nguo, ulaya kuna nguo nyingi nzuri utanunua huko huko sawa"


 Mzungu hakufika mbali.Aliishia kwenye duka la madawa kubwa lililo karibu na hoteli anayoishi akaninunulia dawa za mtoto kisha akanisisitizia nisije nikamwambia Frank mpango wetu wa kutoroka pia hakutaka tena kuja nyumbani ili kuonana tena na Frank maana walishamalizana kikubwa ni mimi tu kufanya mpango wa viza na hati ya kusafiria (Passport) kwa Siri.Mzungu aliniambia kama nitamwambia lolote Frank na Frank akaanza kumgasi kuhusu mimba aliyokuwa nayo au anayotegemea kuwa nayo atatoroka peke yake hivyo nitakosa msaada.Basi kila mtu akatawanyika baada ya kununua madawa ya mtoto,Mzungu alirudi hotelini nami nikarudi kwetu. Nilipofika tu mume wangu akanipokea Kwa furaha. "Yuko wapi Mzungu" Hiyo ndo kauli yake ya kwanza isiyokuwa na salamu wala kuonyesha hali ya kutaka kujua dawa za mtoto zimenunuliwa au laa,Nilimuangalia tu Kwa jicho baya na kumjibu. "Kasema haji huku". "Si unaona mke wangu,Mi nilikwambia mzungu Yule anahela cha msingi nikumng'ang'ania tu". Sikumjibu kitu kwani niliona tu nikama vile hajitambui tu maana hajui malengo ya Mzungu huyu,Hivyo nikamchukua Mwanangu na kumnywesha dawa zile za kusaidia kupumua kisha nikaingia jikoni nikamtengenezea mtoto uji safi nikamnywesha uji mwanangu na kumbembeleza alale.Muda huo wote mume wangu alikuwa ananifata nyumanyuma huku akiniongelesha maongezi kuhusu mzungu huku akimsifia sana Mzungu mimi nikawa sina la kusema kwani angemjua huyo Mzungu kiundani wala hata asingemzungumzia. Basi mtoto alilala na mume wangu akaniita kabisa sebuleni ili tuongee sasa Kwa kina kuhusu Mzungu. "Mke wangu,nimekuita hapa ili uniruhusu sasa nimuoe Mzungu,Kama unavyoona Mzungu katusaidia sana hospitalini,Madawa hivyo ni jukumu letu kulipa fadhila,Mimi nitamuoa Mzungu hii itamfanya mzungu atusaidie operation" Aliongea Kwa kujaribu kunishawishi sana juu ya uzuri wa mzungu na umuhimu wa Mzungu katika maisha yetu,Mimi nikawa namuona kama taira vile kwani hana analolijua kuhusu Mzungu na kama akijua chochote atamchukia Mzungu milele nikamjibu kwa mkato tu "Ruksa kumuoa Mzungu mimi nitabaki kama dada yako mradi mwanangu apone". Hapo alifurahi sana na kunikumbatia kisha kuniambia "Naomba nikamfate sasa hivi Mzungu ili nimshawishi kuhusu operation ya mtoto".Nikamjibu tu kiraisi "Ruksa" Hapo nikamuona anafuraha isivyokawaida akaenda kubadilisha shati,viatu viko wapi huyo akaondoka mi nikabaki namsikitikia tu moyoni nikaenda zangu kulala. Baada ya masaa matatu alirejea akanigongea nikamfungulia na kumpokea Kwa kumkejeli kidogo. "Vip, Baba mzungu ushaenda na kurudi mara hii?" alafu nikaendelea na Kejele "Mbagala hadi posta kwenda na kurudi ,jumlisha muda wa kulala na Mzungu umetumia masaa matatu ulienda na fast jet au na hiko kimkweche chako" "Mama Jack ebu kuwa seriasi kidogo ujue Mzungu tumemkosa" "Kivip"Nikajifanya kushtuka kidogo. "Nimeenda mpaka hotelini alipofikia nimeambiwa kashaondoka, nimempigia simu hapatikani Kwakweli tumekwisha mke wangu, Jack wetu tutampoteza"Machozi yalimtoka mpaka nikamuonea huruma ikabidi nimkumbatie kwa kumbembeleza. "Pole ,mume wangu ila jikaze kwa mitihani ya dunia"Kisha na mimi machozi yakanitoka kidogo kwani mume wangu nampenda sana na sikutaka aumie zaidi, Nilitamani kumwambia siri yangu na mzungu ila nikasita kidogo kuwa atavumilia kweli huyu? mzungu asijue kuwa anajua maana Mzungu akijua kuwa mume wangu anajua mpango wetu wa kutoroka hatosaidia tena na nikimuacha hivihivi bila kumfahamisha sababu ya kutoroka atanichukia milele na pengine anaweza jiua kwasababu yangu nami sitaki hilo litokee. Hivyo upande wa kumueleza ukweli kuhusu Mzungu na mpango wetu wa kutoroka ndo niliona unauzito zaidi kwasababu unaokoa mambo mengi zaidi kuliko upande wa kumficha Ila kasoro yake ni moja tu inabidi ajitahidi ili Mzungu asijue kuwa yeye anajua mpango wetu wa kutoroka. Kasoro hiyo niliiona ndogo tu ikabidi nianze kumuandaa kisaikolojia kabla ya kumwambia kuhusu mpango wa Mzungu. "Mume wangu"Nilimuita kisha nikaacha kumkumbatia nikamshika usoni Kwa mikono miwili huku nikimuangalia. "Eehee"Aliitikia. "Hivi unanipenda kweli?". "Swali,gani unaniuliza ndio nakupenda". "Je ,Jack unampenda?". "Ni mwanangu lazima nimpende". "Je ikitokea mimi na Jack tunapaswa kuondoka na kukuacha wewe peke yako ili Jack apone au tubaki wote hapahapa alafu Jack afe utachagua nini"



"Mmh Swali gani hilo unauliza bwana hilo haliwezi kutokea". "Je likitokea?Tufanye mfano limetokea utachagua jibu lipi?". "Mmh nitawaruhusu muende". "Basi kama utaturuhusu tuende kwenye mfano wako,Basi turuhusu tuende basi kikwelikweli" Kauli yangu hii ilimshtua mume wangu ikabidi aniangalie vizuri na kuniuliza. "Kivipi,mbona sikuelewi mke wangu". "Utanielewa tu mume wangu,Hivi unakumbuka Ile siku ya kwanza ulivyonipa habari za Mzungu ulisemaje ili kunishawishi umuhimu wa Mzungu kwetu". "Mmh,Sikumbuki vizuri". "Ulisema kuwa hii ndo nafasi yetu ya kutoka kimaisha,Je kama ulimpa umuhimu vile Mzungu wakati wa umasikini tu,Je wakati huu ambapo Mzungu anahitajika ili Jack apone Mzungu anaumuhimu kiasi gani kwetu" Alijibu "Sana" Lakini akawa bado haelewihelewi kwanini najaribu kuichota akili yake. "Mume wangu,Ebu simama kwenye nafasi yangu hii na mimi nisimame kwenye nafasi yako ,Je Mimi nikiwa kama mumeo nikakwambia nimepata Mzungu wa kike ambaye atatusaidia matibabu ya Jack Ila sharti ni Mimi ni muoe tu,Je wewe ukiwa kama mama utatoa maamuzi gani? Ya kunuruhusu nimuoe mzungu ili Jack atibiwe au nikatae ombi la mzungu alafu tumuangalie mwanetu akifa kwa kukosa msaada" Alifikiri kidogo kisha akanijibu. "Nitakuruhusu umuoe Mzungu ili mtoto atibiwe" "Kama ndo hivyo basi,Naomba uniruhusu nimuoe Mzungu ili Jack atibiwe" Alishtuka kidogo kisha akauliza Kwa mshangao. "Eehe! Kivipi mbona sikuelewi?". "Ni hivi mume wangu,Huyu mzungu ni msagaji hivy...." Kabla sijamaliza Kauli yangu alidakia Kwa hasira. "Hivyo unataka kumuoa mwanamke mwenzako hii ni laana ya aina gani tena unaniletea kwenye nyumba yangu ,We mwanamke mbona unataka kunitia aibu, yahaani watu waseme mkewe ameenda kusagwa ili wamtibie mtoto" Palepale nami nikapandwa na hasira maana nilijaribu kumueleza kwa upole yeye kajifanya kuja juu. "Kwahiyo watu wakisema ndo nini? We unataka watu wasiseme alafu Jack afe,Watu walivyo watasema tu huwezi kuwazuia watu wasiseme hata mtoto akitufia mikononi mwetu watu watasema tu,Huna namna ya kuwazuia watu wasiseme". Nilisema kwa hasira huku machozi yakinitoka nikatoka kuelekea chumbani huku yeye nikimuacha amekaa kwenye kiti huku akitafakari. Baada ya muda Fulani mume wangu aliingia chumbani nilipomuona tu nilifumba macho kujifanya nimelala lakini machozi yakaniumbua kwani yalikuwa yanatiririka tu mashavuni. Mume wangu alinifata mpaka nilipo kisha akanikumbatia na kunibusu mashavuni. "Pole mke wangu, Hukustahili kupata mume mzembe kama mimi, Mume niliyeshindwa kabisa kuipigania familia yangu". Maneno hayo ya mume wangu huwa yananihuzunisha sana kila nikiyasikia na mara nyingi maneno haya huyatoa kila tunapopitia misukosuko ila Leo ndo yalinihuzunisha zaidi kwani ukichanganya na ugonjwa wa Jack na tumetoka kugombana muda si mrefu basi nikajikuta nalia kwa sauti kama mtu aliyefiwa. Basi ilibidi tukumbatiane huku tukibembelezana maana wote tulikuwa tunalia. "Mimi kama mume nimeiangusha sana familia yangu". "Usiseme hivyo,Mume wangu kwani riziki anatoa Mungu" "Hivyo nahitaji kufanya Jambo la mwisho walau kuisaidia familia yangu". Alivuta pumzi kisha kuendelea "Mke wangu Rosemary mi nimekuruhusu uolewe au sijui umuoe huyo Mzungu nyi wenyewe mtajua wenyewe ilimradi Jack wangu abaki kuwa Salama" Kauli Ile aliitoa kwa uchungu mzito hali iliyomsababisha machozi yamtoke nami nikashindwa kujizuia kulia nilivyoona machozi yake yanatiririka kwa uchungu sana. Basi tulikumbatiana nami nikamueleza plan zote za Mzungu mpaka mpango wa Mzungu kutaka kubeba ujauzito kimyakimya na pengine muda huu tunaoongea Mzungu atakuwa kashapata ujauzito. Basi tulilala ila kesho yake asubuhi tuliamshwa na simu kutoka kwa mzungu. "Hallow, Rosemary". "Hallow Anamaria". "Nimebadilisha mpango,Mjulishe kaka yako kuwa anapaswa akusindikize marekani". "Kwanini ,Ana mbona ghafla hivi". "Maelezo ni mengi ila muda ni mchache kwenye simu ni kwamba safari inabidi tusafiri siku chache zijazo nami nimepima ujauzito sina, Hivyo siwezi kuendelea kusubiri mpaka kipindi cha ujauzito tena hapahapa Tanzania,Cha msingi mwambie Kaka yako akusindikize Marekani,Tutamtorokea hukohuko Marekani baada ya mtoto kupona"

***Share Kwa wingi ili tusonge mbele**


 "Ana Maria,Kwa kweli hilo siwezi,Yule ni kaka yangu siwezi kumtelekeza ughaibuni ,Kama unataka kufanya mambo yako bora umalizie hapahapa Tanzania".Niliongea kwa uchungu kwasababu toka awali nilikuwa na uchungu sana kuhusu maamuzi magumu niliyochukua na bado huyu mzungu anazidi kuniongezea machungu. "We unachohofia nini?Kuwa atabaki Marekani au?". Mzungu aliuliza "Ndio". "Siwezi kufanya hivyo mi nitakachofanya nikumuachia pesa ya kutosha aweze kurudi Tanzania na sio tumtoroke tu bila kumuachia chochote" Mzungu akakata simu. Uzuri niliweka loud speaker hivyo mume wangu alisikia mazungumzo yote ya mzungu akanikumbatia ili kunitia moyo. "Usijali kuhusu mimi wewe muangalie mwanao tu mi nitakuwa salama iwe Tanzania au Marekani" Binafsi nilikuwa simuelewi Mzungu mara zote nilikuwa napata hisia kuwa huyu mzungu anaweza kutuingiza kwenye matatizo makubwa zaidi ya haya hivyo nikamwambia mume wangu. "Binafsi simuamini huyu mzungu huwenda akatubadilikia huko Marekani". "Usiogope mke wangu,Sisi sehemu yetu ya kuhakikisha mwanetu anapona tushamaliza,Hayo mambo mengine tumuachie Mungu". "Basi naomba uwe makini huko ulaya maana roho yangu inasita kweli wewe kuongozana na sisi". Mume wangu alinikumbatia kisha kuniambia. "Usiwe na hofu,tulale tu huku hayo mengine tukimuachia Mungu yatajiseti yenyewe". Basi tulilala huku tukisubiri kesho tukafanye mipango ya harakaharaka ya viza na hati ya kusafiria (Passport)


--------------------------------------------------------------

Hayawi hayawi mwishowe yamekuwa Safari ya Marekani ikaiva,Tukakutana na Mzungu Airport ya mwalimu Nyerere iliyopo Kipawa Dar es Salaam. Mzungu alipotuona akatukaribisha Airport kwa kutukumbatia kabisa akatukabidhi tiketi zetu za ndege na mipango ya safari ikaanza. Ilikuwa ni majira ya saa nne usiku ndege ikapaa na hiyo ndo mara yangu ya kwanza kupanda ndege. Katika Safari hiyo mimi na mume wangu tulikaa siti za karibu karibu na mzungu alikaa mbele yetu kidogo, Ila kitu kilichonishangaza Kwa Mzungu kabla hata hatujapanda ndege kunawakati alitoa diary yake na kuandika vitu fulani akiwa kajitenga mbali kabisa na alionekana ni mwenye mawazo kidogo sio yule mzungu wa kuchekacheka muda wote mpaka pale tulipotangaziwa ili tukaguliwe mizigo na kupanda ndege bado yeye alionekana yuko bize mpaka mimi ndo nikamshtua kuwa muda wa safari tayari hivyo alikurupuka fasta na kufunga diary yake haraka na kuficha, Hili lilinipa wasiwasi hivyo kwenye ndege muda wote nikawa namuangalia yeye huku nikimtafakari huyu Mzungu kwenye kile kidiary alikuwa anaandika kitu gani ambacho kilikuwa kikimuumiza kichwa. Basi ndege iliambaa na anga na tukafika sehemu fulani ilibidi tushuke mi nikajua tushafika kumbe tulikuwa tunabadilisha ndege na safari hii Mzungu alikaa kwenye siti ya pembeni na mimi ile Kwa upande mwingine. Mimi nikawa bado namtafakari huyu Mzungu anawaza nini kichwani mwake mbona kile kidiary alikificha ghafla kipi hataki tujue wakati namtazama muda wote mara na yeye akaanza kuniangalia kama kawaida yake akawa ananiangalia kwa macho yake ya mahaba hapo ikabidi nimpotezee na kujifanya nimepitiwa na usingizi ghafla. Safari ya masaa na masaa ndani ya ndege na uchovu tele huku mimi na mume wangu roho zetu tukiwa tumezikabidhi Kwa muumba wa mbingu na ardhi maana hichi tunachokifanya hatuna uhakika kama tunapatia au kukosea iliishia kwenye jiji la Los Angeles nchini Marekani ambapo tulishuka tukapokea mizigo yetu mzungu akaita usafiri tukapanda tukaelekea hoteli moja ipo karibu kabisa na hospital inayofanya operation za moyo Cedar-Sinai mount hospital.Hotel tuliyofikia sisi ilikuwa inaitwa Holiday Inn hotel unaweza ukashangaa kidogo maana ili jina unaweza hisi sio geni kwako hata mimi pia nilishangaa kwani eneo hilo lina hoteli nyingi zenye majina maarufu hapa Tanzania kama Sheraton, Ramada na nyingine kibao hilo halikunishangaza sana ila kilichonishangaza Mzungu mara baada ya kumlipa dereva taksi alitoa diary yake na kuandika kitu.Tulifika kwenye hoteli tukachukua chumba kimoja na kuweka vitu vyetu pia napo Mzungu alitoa diary yake nakuandika. Hili swala la Mzungu kuandika andika kila mara kwenye diary yake lilinipa wasiwasi kidogo na nikawa natamani nimuibie ile diary ili nijue anachokiandika maana huyu mzungu tangu nimemjua sikuwahi kumuamini hata kidogo kwani macho yake ya wiziwizi na muda wote hujichekesha ovyoovyo


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG