Chombezo : Hanithi Mpevu
Sehemu Ya Tano (5)
Tena Renee aliona ni kweli kabisa maana laiti kama angemuibia Mary Mr X wake angemkata kidomodomo chake. Ndiyo ilikuwa na utamu wake bwana. Lakini wakati Renee akiwaza hayo, mwenzie Mercey alikuwa mbali mno, yeye aliwaza hayo yakumfanya mwanaume mtumwa na kumdanga hadi kujengewa majumba loh akajikuta anajidharau na uzuri wake na kujisemea laiti kama yeye angekuwa ndiye Kuruthumu wanaume wamemkoma, angewachezesha viduku-buba wajute.
“Dada Kuruthumu tufundishe jamani, tuwe kama wewe..” alilia Mercey. “ndiyo nawaambieni hiyo ni intro tu nimewapa, nitawafundisheni wawaogope, na hilo jimbo tuliloimba mwanzo lina maana yake na ndiyo ni staili hizo zote za mikunjo na mikunjua ya kitanda. Kesho mtapanda kitandani na kuchezea hapohapo.
Na nitawaonesha mimi mwenyewe kwanza ninavyoimba na kuicheza na nyie mtanifuatisha maana naona mlinichefua tu..haya kavaeni miguo yenu, mimi naenda kudanga kwanza, maana mijanaume isione status kuwa nimefika Dar! Tena naanza na mumewe ummy maana kazidi kunisumbua.. Halafu nyie malaya Msihangaike kunisubiri, sirudi hadi kesho!” alisema Kuruthumu huku akiangaliaangalia simu yake iliyokuwa ikiitaita kila mara tangu alipokuwa akiwaimbisha akina Renee.
Renee akamkata jicho huyo kungwi wake anavyoingia chumbani kujipara na kuondoka, yakamjia akilini sasa yale maneno aliyoambiwa na Dahuu na Ummy kuwa kumbe yalikuwa kweli kabisa kuwa Kuruthumu hafundishi elimu ya mapenzi bali anafundisha ukahaba na kahaba ndivyo anavyoonekana tena kakubuhu haswa.
“Loh masikini Ummy, mumewe leo anaibwa na hili janamke, mh lakini niache hayo siyo yangu, ngoja nione ana kipya kipi cha kunifundisha maana ameanza na mbwembwe hatari” alijisemea kimoyomoyo Renee akivaa khanga yake kwenda kuoga sambamba na Mercey.
Ikawa hawakuona aibu kuoga pamoja maana walikuwa uchi pamoja wakineng’emulishwa na Kuruthumu. Huko bafuni kwenye maji ya kuchuruzika wakawa wakizungumza yafuatayo:
“Renee umeona nilichokwambia eeeh!?” alisema Mercey akiwa amechutama akimalizia kuosha papa.
“kuhusu nini?” aliuliza Renee akijisugua mgongo pembeni ya Mercey.
“kuhusu Kuruthumu na wewe!”
“eeh nimeona, anaonekana hatari, dohh!”
“tena hatari haswa, natamani kuwa kama yeye,”
Mwali saula asogee shabani madobe, saulaa!” alirudia kuimba Kuruthumu hadi pale walipovua wote na kubakia watupu mingaka njeee!
“ooh ujitikise asimame bakari, saulaa..” aliendelea kuimba Kuruthumu, Loh hapo ikabidi kila mtu ajitikise anavyojua yeye. Na Kuruthumu kama kapandwa mashetani vile akawa anapiga na makofi kabisa akifanya mziki wake unoge, loh akina Renee walinyooka kwa kungwi asiye na masihala na mitusi yote yake.
“ooh inama mchungulie kwa chini saulaaa.” Aliimba Kuruthumu, waali wake wakainama kabisa.
“ooh lala chali asichoke kudumbukia kisimani saulaaa..” doh waali wakalala chali.
Wakafanywa kufuata wimbo huo kwa saa nzima. Mara wajibunue hivi mara walale vile, mara wagande tu kama mahayawani. ikawa maneno mengine yalikuwa magumu kuelewa wafanye nini maana kuna mahali Kuruthumu aliimba: mpe ale mbundu saulaa.. sasa mbundu ndiyo nini?
Loh.
Jasho tiritiri, wanawali, viungo viliuma, Kuruthumu aliyekuwa akigida mipombe akiimba akanyamaza kufanya miisho ya wimbo wake. Sasa akawatazama waali wake akawasonya.
“sikieni nyie misungo, sijui kawafunza nini huyo Ummy wenu. Ila nawaambia kabisa kuwa kwangu ukija hata kama kakufunza nani. Kwangu we msungo tu, kwasababu hakuna nyakanga anayeniweza si bara si pwani mamaee zao. Hapa mitusi, hapa kuchanana waziwazi.
“Huko sijui mmefundishwa kupika, kuosha vyombo sijui, hizo ni kazi za dada wa kazi na mwanamke asiyejielewa, mwanamke haswa hafanyi huo upumbavu, mwanamke ni pambo, mwanamke ni malkia, na kwangu, mwanaume ndiyo anafua na anaosha vyombo na kupika. Kama hawezi namfukuza. Mwanaume ni mtumwa wa mwanamke..”
“sasa sheria yangu ya kwanza, sifundi mwali aliyevaa nguo, utakaa uchi mpaka ujue kuutumia uchi wako kumfanya mwaname awe mtumwa wako, ndiyo uwe mwali uliyefuzu mkole wa Kuruthumu.
“kumfanya mwanaume awe mtumwa wako kuna siri zake,yule kijuso hawezi kuwaambia maana hazijui. Nazijua mimi na marehemu bibi yangu wa makorora. kwanza nyakanga sugu haolewi? Kama akiolewa huyo msungo tu kama misungo mingine. “Kwa hiyo mtakaa uchi hivyohivyo hadi siku nawaruhusu mvae nguo kweli mtakuwa mmefuzu haswa
Asubuhi na mapema waliamshwa na honi za gari, ni Ummy kashushwa na bonge la bwana la kiarabu hadi getini. Halafu gari likaondoka.
Mwenyewe akaingia hadi ndani akirusha mkoba kule na viatu kule. Akaenda kulala ziii.
“we Renee, nahisi yule ndiye bwana ake Bi Ummy..” alisema Mercey.
“mh inawezekana! Hebu akija Kurthumu muulize.” alisema Renee. Akamuwazia Bi.Ummy na akamuonea huruma masikini.
Basi wototo wa kike wakaosha vyombo wakafagia nyumba na kudeki, wakapika na kutenga mezani.
Ndiyo hapo huyo nyakanga mdangaji akaamka kwa raha zake akaoga na kujitia nguo kuukuu, akajiunga na waali zake kula asiseme kitu.
“Da,Kuruthumu? Eti yule ndiye mumewe Bi Ummy?” aliuliza Mercey.
‘mlitaka awe nani?” alijibu kwa swali Kuruthumu, Mercey akagongeshana macho na Renee kufanya lugha ya mwili.
“mh,hivi da KUruthumu hautumii limbwata kweli? Maana mume wa kungwi mwenzio unamuibaje kirahisi hivyo?”
“sirogi hata kidogo, nyie si mnataka kujifunza? Tulieni papara ya nini?” alisema Kuruthumu akionekana hana maneno mengi kabisa, ila akinywa tu kinawaka. Renee akajikuta ana shauku na yeye ya kujua kila atakachofunzwa na bi huyu. Tena akabuni jambo akawaza hivi: “kwa kuwa ametukataza kuandika, basi nitarekodi sauti kwa simu na nitaandika mwenyewe kwa muda wangu.”
Kweli bwana; baada ya kula wakajilaza kushusha pumzi na saa kumi jioni ilipotimu ndiii! Kuruthumu akawaamsha wali wake.
“Mercey naomba begi langu leo nimekuja na pombe zangu mwenyewe..” alisema Kuruthumu.
Begi likaletwa, akalipambanua na kutoa konya kubwa, akaigida robo kama kawaida yake, akainama chini kisha akatikisa kichwa, akameza tena robo nyingine kufanya chupa iwe nusu.
Sasa akili yake ikakaa kikazi.
Akainua jicho lake jekundu kuwatazama wali wake waliokuwa wameduwaa macho wakimshangaa akibadilishwa haiba na pombe.
“nyie wasenge, niliwaambiaje kuhusu kuvaa nguo mbele yangu!?” alikoroma kungwi akisimama wima kabisa.
Haraka wakavua khanga zao kuwa utupu maana walimpatia siku hiyo tena mapema waliamua kutovaa mivazi ya kubana.
“aya twendeni chumbani niwaonesheni jinsi ya kutaambaa na mizingo ya kitanda. Kwa kutumia wimbo niliouimba jana. Ona, mwanamke alofundwa anajua kitanda chake hata kama amefumbwa macho, sarakasi zote zinapigwa kwa eneo maalumu, kona ya kusini na kona ya kaskazini, mashariki na magharibi kuna uzio wa ukuta, kuna katikati na kwenye upande wa kichwa. Kuna huku pembeni kwenye mtambaa wa panya, kote unatakiwa upatimue kwa masaa mawili ninayokupa kwenye nyimbo yangu. Mnanitazama nini? Kwani hamjaikariri?!|
“hatujaikariri bado, wewe si ulitukataza tusiandike?” alisema Renee.
“nyie Malaya nini!? hii nyimbo ni lazima muiimbe kichwani mkiwa mnahondomora na wanaume zenu. Kwanza inawakumbusha staili zote ili usizisahau, pili inakufanya usiwe mvivu maana hili ni zoezi tosha la viungo, la tatu ukiimbaimba kunakufanya umudu mchezo wako na unamlegeza mwanaume mapema sana kwa kuwa mawazo yako nusu yapo kwenye nyimbo na nusu kwake, hivyo basi hata kama inabidi ukale vichwa vingine unaweza kwenda vizuri tu. Na amini usiamini na umalaya wangu,hakuna mwanaume anaweza kuumaliza wimbo huu kwa mikao nitakayokuonesha hadi mwisho kabisa asiwe amejikojolea.
Mstari wa kwanza unaurudia mara sita, wa pili mara sita, watatu mara sita na nyingine moja moja kwa ubeti mzima, ukimaliza ni nusu saa ya kwanza ya kazi, ukirudia mara nne ni masaa mawili.” alisema Kuruthumu.
Basi Renee akayadaka hayo, akawaza sasa kama nyimbo ni masaa mawili! Mbona Hermez alishamfikishaga masaa hayo siku ile alipokutana naye tena na kuzidi? Akajisemea moyoni kuwa pengine Kuruthumu hajakutana na mziki wa Hermez. Au labda kama kuna vinogilishi vingine asivyovijua yeye.
Loh baada ya Kuruthumu kusema hayo akivua nguo zake na yeye na kuzitupa pembeni.
Cha kushangaza sasa sura mbaya lakini mwili wake sasa kuanzia shingoni kushuka chini ulikuwa kama wa binti kigori, lainiii. Na alikuwa na ngozi ya kung’ara kabisa, tofauti na rangi yake ya usoni ambayo ilipoa kwa weusi zaidi.
Kwa mara moja Renee akatia akilini maneno ya Kuruthumu aliyoyasema kuwa kujivisha manguo makubwa ya heshima hufanya mwanaume akikuona hata ugoko tu adate. Ni kweli kabisa, tena ukifunikafunika sana mwili wako, huiva hata rangi yake huwa nyeupe na ngozi nyororo.
“loh ila angepata kichwa cha Mercey angekuwa mtamu zaidi,” aliwaza Renee wakati akimtazama vizuri kuruthumu aliyejaliwa kishepu cha mtungi, chuchu dede na kiunoni kajivisha cheni ya dhahabu.
Kajiswafi kishududuche hana kinyoya hata la kwapa kote kweupee!
“nyie acheni kunishangaa, nani atakuwa mwanaume!” aliuliza Kuruthumu. Loh wakatazamana maana hawaelewi waloambiwa.
“Renee kuwa mwanaume!” alisema Kuruthumu na hiyo ndiyo ikawa amri. Sasa hata kujua awe mwanaume ndiyo afanyeje; hajua lakini akakubali tu.
Kuruthumu wakati huo akabwia kwanza pafu la tatu kuifanya pombe yake ibakie robo chupa kisha akaanza kuimba.
“Mwali saula asogee shabani madobe, saulaa!”
“ooh ujitikise asimame bakari, saulaa..” aliendelea kuimba Kuruthumu huku akijitikisa,loh akajitikisa na sio kukatika kiuno wala kutikisa mabega bali alitikisa sehemu zake za nyuma kufanya mitetemo ya nyama zake mtindo mwendo wa bata bukini. Basi Renee akakariri mara moja, tena aliweka simu yake pembeni akihakikisha wimbo huo wote anaunasa vizuri. “ooh inama mchungulie kwa chini saulaaa.” Aliimba Kuruthumu akiinama na kumvutia Renee ambambie maana alizubaa. Renee akawa kama mwanaume anapiga chepuo kwa nyuma, wakati sasa huyo Kuruthumu akiimba na kumkatikia Renee kama vile wanapapachuana haswa. Mercey akawa anachekea kimoyomoyo huku akiiga alichofanya mwalimu wake.
“ooh lala chali asichoke kudumbukia kisimani saulaaa..” safari hii Kuruthumu akajichanua kifo cha mende, na Renee alijua alipaswa kumlalia kwa juu na akafanya hivyo.
Loh wimbo ukaisha kwa ubeti wa kwanza kweli ilikua nusu saa nzima tena wakapitia mastaili yote. Mercey aliyekuwa akiiga tu afanyacho Kuruthumu akajikuta kachoka balaa, na Renee aliyekuwa na kazi ya kubambia akajikuta amechoka zaidi lakini akasisimka ile mbaya akatamani kupapachuana tu na Hermez.
“mmechoka eeh mamaee zenu! sikilizeni sifundi mwali akawa mchovumchovu, inukeni mfanye fundo mpaka mkomae,” alisema Kuruthumu akivaa nguo zake na kuwaacha hao wali wake akiwataka waimbe huo wimbo wenyewe hali yeye anaenda zake kudanga maana simu yake kama kawaida iliita balaa.
“vipi uliikariri?” aliuliza Mercey.
“mh nimekariri wapi, hapa nimerekodi, ngoja aondoke tuweke tuikariri pamoja, doh ila somo la leo nyoko..” alisema Renee akianza kukubali mziki wa Kuruthumu taratibu. Maana si kwa miuno iliyoiona, sio kwa staili alizopigiwa hapo.
“ila wanaume wanaompata Kuruthumu wanafaidi, mweh!” alisema Mercey.
“we acha tu nilitamani ningekuwa mwanaume maana sio kwa umoto ule,” alisema Renee akiendelea kukorofua simu yake aipate ile audio vizuri.
“na mimi nijifunze niyapate madanga, mh yatanikoma, sasa hivi nataka kujengewa kupangishiwa nimechoka,” alisema Mercey.
“mh mimi nataka nijue tu, halafu niwe na ujuzi wangu kiasi kwamba nikiolewa basi niwe najua tu vitu,” “wee! Kumbe unawaza kuolewa! Na mwanaume mwenyewe nani hapa mjini?”
“wapo wengi tu, mimi tu nikiamua,”
“hahaa, olewa halafu watu waje kumkomba bwana ako na maujuzi yako, kama Ummy anavyokombewa na Kuruthumu, mume anajenga kwa hawara anakuacha wewe na ugali dagaa.”
“ila anavyofanya Kuruthumu inaniuma sema basi tu, yaani dada wa watu Ummy mpolee:tuyaache hayo, sisi tuendelee na vyetu,” alisema Renee. Wawili hao sasa wakaanza kukariri wimbo na kufanya kwa vitendo kama alivyofanya Kuruthumu, siku nzima hadi usiku. Wakatoka wamechoka mno, viungo kuuma. Jasho kutiririka.
Wakaoga kisha kuiga ndiyo nao wakavaa mabazee tena no vimini no viskini, walitaka nao kuwa softi huko lindoni kama vile alivyokuwa Kuruthumu.
Usiku huo sasa Renee ndiye akapanga kumtafuta Hermez maana hali yake ilikuwa mbaya maana aliamshwa hisia, japo alichoka mno, akataka kuchomoka mara moja hata wakutane hoteli mbuzi wafukunyuane aridhike.
Lakini alipotaka kupiga tu; ghafla simu yake ikaita.
Akapokea kwa wasiwasi maana ilikuwa ni namba ngeni kabisa.
“hallow.” Ilikuwa ni sauti ya Martin. Yule mwanaume wake aliyetakaga kumuoa kipindi kile akazingua.
“aarr Martin!?”
“ndio ni mimi, Renee, naona umeniblock!’
“samahani itakuwa ni makosa tu,”
“enhe niambie, vipi upo wapi?”
“nipo Dar,”
“shemeji hajambo?”
‘mh sina mbona?”
“huna?! Acha uongo..”
“kweli tena sina,”
“kwani si uliacha ndoa yangu kwa sababu ya mwanaume au?”
“weee hapana bwana, , nilikutwa na matatizo, natamani siku moja ningekuhadithia ili moyo wako usinilaumu. By the way, wifi hajambo?”
“sina mbona?”
“heee Huna!?”
“ndio sina, siwezi kupenda tena, nimeamua tu kuwa Malaya tu kwa jinsi moyo wangu ulivyovunjikavunjika,”
“loh, Martin kuna ukimwi shauri yako?”
“agh tuache hayo, mimi mwenyewe nategemea kuja Dar wiki ijayo nimepata kazi Bandarini, natumani nitakuona unihadithie vizuri yaliyokupata nisije nikakulamu maana nakulaumu sana,”
“mh nisamehe Martin, njoo tu mimi nipo nakusubiri” alisema Renee bila kujua kuwa aidha bado alimpenda Martin ndiyo maana hata sauti yake ililegea? au alikuwa akiitamani ndoa yake irudi? maana mikasa yote iliyomkuta ni kwa ajili ya kutamani kujua mapenzi ili amfurahishe huyohuyo Martin.
Sasa alijua alikuwa ana kibarua cha kumdanganya Martin juu ya kilichomfanya aikimbie ndoa, angalau nusu uwe ukweli na nusu uongo. Tena wiki ijayo itakuwa vizuri maana atakuwa tayari ameshamaliza mafunzo yake na Kuruthumu na hata akimpa pachupachu Martin pindi akija itakuwa haina mbaya.
Basi baada tu ya Renee kuzungumza na Martin, meseji nzuri ya kumtakia usiku mwema iliingia kutoka kwa Hermez. Akajikuta anaghairi kabisa wazo lake la kutaka kukutana naye ili amshushe mapigo ya moyo kwa vile tu moyo wake ulikuwa unakisebusebu cha kurudisha penzi la Martin.
“nani huyo mbona sura inakubadilika!?” aliuliza Mercey.
“agh ni Hermez,” alijibu Renee simu akiitupia pembeni na kuhangaika na rimoti ya tivii.
“hebu niambie huyo Hermez ndiye unayedai atakuoa au?”
“ hamna bwana huyu ni kidumu tu, kwani sikuwahi kwambia?”
“hapana!” alisema Mercey ikabidi Renee amhadithie anachofanyaga na Hermez huku akificha kisa chake cha kuiba hela za watu.
“weee Renee balaa! kwa hiyo unamtestia huyo mkaka wa watu wakati una bwana ako mwingine?”
“ndiyo, tena bwana angu ndiyo niliyetoka kuongea naye sasa hivi, na atakuja Bongo wiki ijayo.”
“loh kumbe na wewe Malaya wa chinichini eee!?” alisema Mercey.
“aggh bwana mimi siyo Malaya, hebu niambie na wewe bwana ako yupo wapi?” aliuliza Renee.
“mh mimi sina mwanaume pamanenti kutokana na kazi yangu..” alisema Mercey.
“mh kazi gani hiyo isiyotaka mwanaume pamanenti!?” aliuliza Renee.
“bwana eeeh haina haja ya kuficha, mimi nilipata dili niliunganishwa na mtu huko Marekani. agh nakwambia lakini ole wako umwambie mtu!” alisema Mercey akimtazama Renee kwa usiriazi uliopitiliza.
“Bwana simwambii mtu na mimi nipe hilo dili tupate pesa,”
“mh sikia, huyo mkaka alinitaka niwe namtumia picha zangu za uchi kwa makubaliano atakuwa ananilipa pesa. Na kwa muda ule nilikuwa sina hela na nilivurugwa kwa kweli ikabidi nifanye hivyo.”
“mh we Mercey!?” alishtuka Renee.
“ndiyo hivyo, alikuwa ananitumia hela nyingi tu, kila nikimtumia picha zangu, lakini kuna kipindi akanitaka niwe namtumia video za uchi kabisa akidai kuwa eti picha haziuzi sana siku hizi kama video. Nikajaribu kuwa najishuti na kumtumia akawa ananipa hela zaidi. Lakini hivi karibuni nahisi nashindwa tena kufanya naye kazi, maana ananitaka niwe narekodi kabisa nikiwa nafanya mapenzi na mwanaume na ameniambia kuna pesa nyingi zaidi, yaani zaidi ya milioni ishirini za kitanzania kwa video moja tu ya dakika tano. Najifikiria hapa sijui nitafanyaje Renee we acha tu, nimekupa siri yangu naomba usimwambie mtu.”
“kwahiyo hizo picha na video zako anazipelekaga wapi huyo mtu? Na je umeshawahi kuonana naye?” aliuliza Renee kwa shauku na hofu.
“hapana sijawahi kuonana naye, alianza kuona picha zangu insta akani-DM na kunipa hilo dili. Ninachojua ana akaunti ya siri snapchat ambayo kawaunga wazungu kibao wanaolipia kwa mwezi kuwatazama wasichana wa kitanzania wanaotuma picha zao uchi. Alinihakikishia kule hakuna kuiba video na kuzisambaza na nimeamini maana kwa miaka miwili niliyofanya naye kazi,hakuna hata picha yangu iliyosambaa mitandaoni,” alisema Mercey,” Renee uso ukamshuka.
“Wee kwahiyo unakaa kabisa uchi unajipiga kisha unatuma ili wazungu wakuone ndo ulipwe!” aliuliza Renee akiyarudia maneno aliyoyasema mwenzake kana kwamba alikuwa anataka kukaririshwa vizuri.
“we unadhani kumudu kupanga hapa ni kitu kidogo! Kwa msichana kama mimi?” alisema Mercey. Renee akazungusha shingo yake kutazama maendeleo ya mwenzake kupima kama samani zilizomzunguka zilikuwa na thamani ya kutosha kusema kiasi kwamba hadi mtu ajikalishe uchi mitandaoni.
Kweli akaona mwenzake ndiyo amepiga hatua kuanzia kila kitu na hakuweza kumjaji maana katika haya maisha alishawahi kuona watu wakifanya kazi za kujidhalilisha kuzidi ya Mercey na hawana maendeleo yoyote ya kujidaia.
“mh ila mimi nina wasiwasi huyo mtu kama alianza kukuomba picha za uchi halafu akakuomba video, nahisi next time atakuomba jambo jingine,” aliongea Renee.
“Lipi kwa mfano?”
“sijui ila nina wasiwasi atataka kitu huyo!” “mh na hata hivyo hapa namsubiria anicheki maana naona wiki moja nzima hajanitafuta kuhusu video mpya, asije akaniacha nikakosa hela mie.”
“sasa we Mercey kama yeye anauza video zako kupitia huko sijui snapchat, sasa kwanini wewe nawe usijifunze ukaanzisha yako mwenyewe uweze kupiga hela zako mwenyewe? Huoni kama unamfaidisha yeye kupitia uchi wako?”
“mh tangu uanze kuongea leo umeongea jambo Renee. Sasa nitafanyaje na mie mitandao siijui? Au wewe unajua?”
“tutafuta mtu bwana, tena mimi nitakuwa sekretari wako,”
“nyoo uchi wangu wewe ukawe sekretari, akuu mwenzangu, kama vipi wewe pambana tu na hali yako na asante kwa wazo zuri, labda na wewe uamue tukae wote uchi,” alisema Mercey, Renee akataka kujibu mkato maana hakuwahi hata siku moja kujifikiria eti akae uchi kwa malipo, Loh ataanzaje binti wa kitanzania alofundwa na makungwi watatu.
Hakuwahi kujibu hata hivyo maana hapohapo, simu ya Mercey iliita, akamshushi Renee. Akapokea simu kwa adabu na kuweka laudspika.
“hallow my Brother, vipi?” alisema Mercey.
“aar poa tu, Mercey.. upo na hali gani?” aliuliza huyo mtu aliyezungumza huko upande wa pili tena akizungumza kwa Kiswahili cha tabu.
“poa tu, niambie kimya?”
“ooh, nimekua kimya kutokana na ule mchongo wetu, bwana, kuna some people, wametaka uongeze kitu, it’s like tumuongeze mwanaume kwenye video yako,”
“what?”
“yah, najua Mercey itakuwa hard, but, huwezi amini ni bonge la hela, dola elfu nne per video, hiyo ni cut yako tu, imagine dollar elfu nne ni shingi ngapi na utafanyia kitu gani,”
“Sikia mimi nilijua tu utaniambia niingie kwenye kucheza filamu za uchi, na hiyo siitaki!” alisema Mercey akimtazama Renee maana alikuwa amebashiri vyema.
“sikia Mercey , mimi nafanya hii kwa ajili yako in such, maana kwenye page yangu nipo na wasichana wengi tu, ila wewe nimekupa kipaumbele coz nafahamu maisha ya Tanzania yalivyo, and I have been there, so kama hautaki hii dili ngoja nimpe mwengine,” alisema huyo mkaka.
“weee kaka sikia subiria kwanza,” alisema Mercey midomo ikimtetemeka akisubiria akili yake ichakate majibu ya moyo na kuwasilisha haraka jibu la ndio au hapana kwenye ndimi zake.
“Merceeey!” alinong’ona kwa sauti ndogo mno Renee akimshtua mwenzake kwa ishara kuwa akatae.
Mercey akatazama simu yake iliyokuwa hewani na kusema: “okeyy nitafanya, lakini huyo mwanaume nitampata wapi?”
“oh okey, kuhusu mwanaume unajua bwana, utampata tu, by the way, hela ninayo hapa tayari fanya video hata kesho nikutumie,” alisema huyo mtu na kukata simu.
“Mercey mkanda wa ngono huo!” alisema Renee akistaajabu ya mwenzake.
“bwana eeh hata hivyo ni dakika moja tu,” alijipa moyo Mercey.
“mh, kazi ipo? Kwa hiyo mwanaume atakuwa nani akukomelee! Masikini na sijui utampata nani akubali?”
“agh, sikia, nitalitafuta tu limwanaume lolote jingajinga,”
“dah mercey kisa hela ndiyo unajirahisisha hivyo, eti janaume jingajinga!”
“sasa nitafanyaje? Mwanaume mjanja atataka hela nyingi,”
“sikia mjanja ndiyo dili, tunalirekodi bila lenyewe kujua kisha tunarusha kwa huyo jamaa, lakini janaume baya hapana kwa kweli.”
“sasa huyo mwanaume smart unaye? Mimi sina?” alisema Mercey, Renee akawa anamtafuta akilini mwake. Jina likamjia. *Doh bashiri atakua nani?
“Hermez hapo anafaa,” alisema Renee.
“Hermez ndo nani?.. anhaa we si ndio huyo kidumu chako au?!” aliuliza Mercey kwa mshangao.
“ndio huyohuyo,”
“we Renee, mimi nawezaje kutembea na bwana ako, wee mie siwezi,”
“sikia kwani namtaka!? nishakwambia mume wangu mtarajiwa anakuja wiki ijayo, sasa huyu naona atanisumbua ila akiwa na wewe itakuwa haina shida, na kusema kweli anafaa mno kushuti video kwa sababu ni Malaya mbwa.”
“mh kwani ni mzurimzuri au?”
“mzuri tena handsome wa maana.”
“Mh! haitakuuma kweli?”
“akuuu, iniume kwa vipi, mimi sijamuweka moyoni we mchukuage tu,” alisema Renee.
“sawa sasa tunafanyaje?”
“we subiri nimpigie nitamwambia kila kitu, halafu yeye ni mjanjamjanja anaweza kufanya na ule mpango mwingine.”
“mpango upi?”
“we bwana! Mpango wa kufungua akaunti yetu wenyewe ya snapchat na kufanya wenyewe biashara hii, na kusema kweli kama kihela kitakuwepo hata mwenyewe naweza kujiunga na wewe.” alisema Renee, nusu akiwa siriaz nusu akijifanya kutania kwa tabasamu la kinafiki.
“sawa basi mpigie, lakni kweli haitakuuma?”
“we mie niumie kisa Hermez? Akuu!” alisema Renee akachukua simu yake na kumpigia Hermez akaweka na laudspika kabisa ili Mercey naye asikie.
“hallow Hermez mambo?”
“poa niambie mtoto mzuri… Mbona unanichunia au sikukukuna siku ile??” alisema Hermez.
“na wee si kiila ukipigiwa unawaza mapenzi tu, sikia hili ni dili, kama unaweza kesho mida ya saa saba njoo hapa maeneo ya Sinza kumekucha,” alisema Renee.
“dili? Mh kuna hela au miyeyusho?”
“hela ipo we njoo bwana acha kuvunga,” “Kwani kazi gani?”
“njoo kama hutaki hela basi kaa!” alisema kwa kukoroma Renee.
“okey kwa ajili yako nakuja.” Alisema Hermez akikubali kujishusha maskini maana pamoja na umalaya wake lakini alinasa vilivyo kwenye penzi la Renee na Renee mwenyewe hata hakumtia Hermez kuwa kwenye uzi wa roho yake, alimfanya kama karatasi ya tishu.
Ndiyo ilivyo hata kwenye mapenzi ya sasa, fanya unavyojua kukuruka kitandani, fanya mkole na ya jandoni, lakini kama hupendwi hupendwi tu.
“umesikia? Huyu hachomoi, tena anaweza kukubali hata hiyohiyo kesho, we utaona.” Alisema Renee.
“mh Renee, basi kwanza nioneshe huyo Hermez mwenyewe na mie nijiandae maana nina kiraruraru hapa hatari,” alisema Mercey.
Renee akachomoa simu yake kutafuta akaunti ya Hermez ya Facebook, akaparangana na kumuonesha Mercey picha za huyo mkaka.
“waaaooh! Kwa hiyo huyu ndiyo wewe umemfanya uwanja wa kujifunzia? Mbona ni hendsome, halafu anakuridishaga fresh tu!”
“ndiyo, ila mimi simpendi bwana!” alijibu kwa kero Renee.
“mh, aya.” alijibu Mercey akiwa na mengi kichwani, mawazo yake yakijenga picha ya huyo Hermez akiwa naye. Akamuona hakika sio tu wa kucheza naye video na kumuacha, angeweza kumtia kibindoni kabisa asimuache awe mpenzi kabisa, au awe mwandani wake kabisa.
Basi taratibu fikra hizo ndani ya Mercey zikamtia moto wa penzi zito likaundwa usiku uleule.
Akalala na kuamka asubuhi, kama kawaida. Kuruthumu akaletwa na gari jingine na kuingia hadi ndani kulala. Akaamka saa tano. Akawapitia waali wake kuona kama wamekariri vizuri ya jana yake. Akaona wamekariri vizuri na wanaiga vyema hata mistepu yake. Akafurahi mno na kutaka kuondoka wakamng’ang’ania awafunde mapya. Akawafunda sasa kuhusu jinsi ya kupaka pafyumu au manukato mwilini maana sio kujipakia tu. Kuna sehemu kwa kufukiza na kufukizana.
“mh tufunde kungwi..” alililia Mercey.
“bwana mie naenda kudanga sasa hivi, mnitazame nikirudi kuoga muone natoka najitia wapi pafyumu.” Alisema kuruthumu akaingia huko bafuni akajiosha na kutoka kisha akavaa vizuri akaanza kujitia pafyumu kwanza kwenye nywele, akapulizia kwa uchache kwenye masikio, ndani ya viwiko vya mkono, kwenye kingo za shingo, kwenye kitovu, nyuma ya mapaja na kwenye visigino, na kama haitoshi akainua gauni lake kuruhusu moshi wa udi uingie humo huku akifanya kama vile ananawa kwenye viganja vyake mvuke wa pafyumu uliobakia.
Kwa haraka Renee akanakiri kichwani sehemu zote alizopaka pafyumu Kuruthumu akaenda kuzitia kwenye daftari lake.
Ikawa saa ile Kuruthumu anaondoka tu, simu ya Hermez hii hapa.
“Hallow ndo nakuja hapo Sinza,” alisema Hermez baada tu ya Renee kuipokea simu yake.
“sawa nakusubiria, ukifika kituoni nishtue,” alisema Renee akamtazama Mercey.
Mercey akakimbilia ndani kuoga akajiremba na kujitia pafyumu kama alivyosema Kuruthumu, lakini akashangaa sehemu zote kazifanya lakini kwapa huyo Kuruthumu hakusema alifanyeje na ndiyo chanzo cha kijasho-dagaa haswa!
“eti Renee, kwapani mbona hajapataja?” aliuliza Mercey kwa sauti.
“mh labda tumpigie..” alisema Renee akachukua simu yake kumpigia huyo kungwi maana siku hiyo aliwakera kuwafunza juujuu na kukimbilia kudanga wakati washamlipa.
“wee msungo unasemaje?”
“samahani da Kuruthumu eti kwapani mbona hujapataja kuwekwa pafyumu?” aliuliza Renee.
“we umeniona mimi nimefanyaje huko kwapani?!” alifoka Kuruthumu huko alipo.
“hujafanya chochote,” “ndio inavyotakiwa, huweki chochote, “
“sasa si kutanuka jasho jamani,”
“jasho lako na kiharufu chake kina ladha yake we mwana weeee.. kunuka mipafyumu kuna kera sehemu nyingine. Tena harufu ya kwapa lako hata halifanani na la mwingine shoga, usije ukajitia pafyumu ya @mary_ unyunyu kwapani mume akaikariri harufu halafu akaisikia imenukia kwa Mwajuma akamfuata na kukuacha. Pafyumu ziishie hukohuko chini lakini kikwapa chako kiwe safi tu na kiharufu chake hivyohivyo, hiko mwanaume anadata nacho kama nini na hata azunguke kwenda mbingu ya saba, hampati mtu mwenye harufuyo. Sasa kazi kwako kama kwapa lako lanuka kama ng’onda ndiyo litie ndimu au jivu au deodorant kidogo liwe na harufu ya asili kwa mbali. Bye usinipigiepigie tena nipo kwenye mishe zangu umesikia!” alisema Kuruthumu. Renee akakata simu nakumhadithia Mercey alichoambiwa.
“weee inawezekana kweli, nishawahi kulinasa danga langu likinusanusa blauzi yangu siku moja, kumbe kiharufu cha kwapa kinamsisimua eeh, basi siweki chochote.
“Mh kumbe ni kweli eeh!?” aliuliza Renee maana alihisi utani.
“kweli tena, Kururthumu hawezi kukudanganya.’ alijibu Mercey haraka Renee akakimbilia kwenye kidaftari chake kuandika naye akaenda kujiosha.
Huku nyuma simu ikaita, Renee akiwa bado bafuni. Mercey akaichukua na kuona imeandikwa Hermez, akaipokea na kuweka sauti yake kimitego.
“hallow?”
“hallow, naomba niongee na mwenye simu?”
“ooh I’m sorry anaoga, kama hautojali niambie tu hata mimi nitakuelekeza,”
“mwambie nimeshafika hapa Sinza kumekucha, namsubiri anielekeze niende wapi?”
“vuka halafu uje na hiyo barabara inayoingia hapo kwenye bar ya Katerero moja kwa moja tukutane hapo njiani,” alisema Mercey.
“mh, kwani upo naye?”
“ndiyo,”
“sawa nakuja,” alisema Hermez. Mercey akajitazama kwenye kioo na kujiweka sawa na dela lake. Akatoka nje akiwa amebeba simu ya Renee. Tena akaikopi namba ya Hermez kwenye simu yake kabisa.
Taratibu kwa pozi Mercey akatembea nje kuangaza upande upi atamuona mwanaume hendsam kama aliyeoneshwa na Renee jana yake kupitia simu yake. Loh huyo hapo mbele yake alivaa kapero, alikuwa mrefu na ndevu zake alizinyoa timberland, alikuwa na pua ndefu na kidevu kirefu kama vile msomali au chotara Fulani.
Roho ikampaa, mapigo ya moyo yakamuendea kasi. Hakika uzuri ule wa picha za mtandaoni ulizidiwa na alivyolivyo mwanaume huyo. Akasimama akishika mihemo yake vizuri na kupunga mkono wake kwa pozi walau alijidhibiti asipaparike. Hermez akagundua ishara ile, akasonga kumfuata huyo mrembo.
“hallow..” alisalimia Hermez akimshika na mkono Mercey.
“hi..”
“wewe ni nanii yake Renee?” aliuliza Hermez akiongozana na Mercey kwa mashaka.
“ni rafiki yake, usiwe na wasiwasi nipo naye ndani.. karibu..” alisema Mercey akiongozana na Hermez hadi ndanindani.
“He! Ukaenda kumpokea kabisa doh wee Mercey mbayaaa!” alisema Renee na kitaulo chake akicheka baada ya kumuona Mercey na Hermez wakiwa sebuleni wamejaa.
“Renee, mambo?” alisalimia Hermez akijitia ustaarabu.
“Poa niambie Hermez, jisikie home huyu ni rafiki yangu anaitwa Mercey nilimwambia kuhusu wewe ndiyo maana amekujua..”
“ooh nilishangaa,” alijibu Hermez akizungusha shingo yake kuangalia humo ndani kulivyopangilika, lakini masikio yake yakiwa hai kusikia kama kutakuwa na sauti ya kiume kutokea humo ndani kwa namna yoyote ile, lakini kupepesa kwake macho kulirudi na kumtulia Mercey aliyekuwa akimtazama tu Hermez akimvutia kasi.
‘unatumia kinywaji gani, mgeni,” alisema kwa adabu Mercey.
“maji tu, sista..” alisema kwa sauti ya kiume na ya kujilazimisha kujiamini Hermez.
Mercey akasimama atembee kwa madaha shingo juujuu akimuiga KUruthumu afanyavyo, akalifikia friji na kuchukua maji na glasi kwenye kabati. Wakati huo Renee sasa naye alifika na kuketi kwenye kochi la karibu na alilokaa Hermez.
Mercey akafika na kummiminia maji mgeni wake mikono ikimtetema, naye akakaa kwenye kochi aliloketi Hermez lakini kwa mwishoni kabisa.
“Hermez kama nilivyokwambia huyu ni best yangu anaitwa mercey, na Mercey huyu ni mshkaji anaitwa Hermez,” alianza kuongea Renee.
“Hermez kwa kifupi hapa bwana kuna dili, ambalo ni hela. Na kusema kweli nimeona hakuna mtu mwingine anayeweza kulifanya isipokuwa wewe. Japo ni ngumu lakini inakufaa kutokana na sifa zako naona haitakusumbua,”
“sifa zangu kivipi?”
“sifa zako kwamba wewe siyo mgeni wa mademu, kwa kifupi Malaya.. na Malaya ndiyo tunayemtaka hapa,” alisema Renee macho makavu. Hermez akababaika sura ikamshuka kwa aibu akishangaa mbona Renee anamuumbua mbele ya rafiki yake!
“mh, Renee mimi ndiyo Malaya kwa hiyo?’ alihamaki Hermez.
“bwanaa ee, acha aibuaibu, hii kazi inamtaka mwanaume Malaya, na kuna hela,” alisema Renee.
“hermez naomba nikutoe wasiwasi, msikilize anachokwambia kwanza Renee halafu ndiyo useme unakubali au unakataa,” alichangia Mercey.
“Hermez kuna mtandao wa kijamii unaitwa snapchat, unaujua?”
“ndio..”
“tumepata dili la kutuma picha kwa jamaa mmoja hivi yupo Marekani, yeye anazirusha humo snapchat na anatutumia hela,”
“picha gani?”
“picha za x, uchi” alijibu Renee. Hermez macho yakamtoka akamtazama Renee na Mercey na kurudisha shingo kwa Mercey tena.
“picha za x za nani? Zenu?”
“ndiyo,”
“sasa mimi ninaingiaje?”
“safari hii tumeambiwa tutume video za kusex kabisa, na kuna malipo makubwa Zaidi, sasa hatuna mwanaume ndiyo nikasema tukutafute wewe..”
“mh, hapana siwezi kufanya hiyo kazi, aisee..” alisema Hermez.
“tutakupa dollar elfu moja Hermez kwa kila video halafu ni fupi clip ya dakika moja tu,” alisema Mercey.
“acha utani, hakuna hela kama hiyo kwa video ya dakika moja,” alisema Hermez.
Mercey akasimama na kwenda chumbani kwake akatoka na dola kama elfu nne hivi, akaziweka mezani: “hizi ni malipo ya picha tu nilizomtumia kwa mwezi sikutanii Hermez.” Alisema Mercey, Hermez na Renee macho yakawatoka.
“so unataka nianze lini?” alisema Hermez.
“jamaa anataka hata leo tumtumie,”
“mimi nawasikiliza nyinyi tu,”
“yaap, nilikwambia Mercey, Hermez ni jembe, sasa mimi nitashika simu na nyie mtafanya mambo yenu,” alisema Renee.
“wait, kwani sio wewe?” aliuliza HErmez kwa mshangao maana alijua atafukunyuana na Renee wake.
“hapana sio mimi ni Mercey,” alijibu Renee. Hermez roho yake ikavyonda, hakuwahi kuhisi kama Renee hampendi kiasi hicho cha kumfanya toi la kulizungusha kwenye dili za mapenzi kiasi hicho.
“sikia, Hermez utakuwa na mimi, Renee atashuti tu, halafu naomba kama unajuajua kuedit iwe video ya dakika moja, tuieditie hapahapa kwenye laptop yangu..”
“okey, nitaedit, ila naomba nikaoge kidogo, halafu naomba nikae kidogo na wewe, tuzoeane, japo kuwa mimi Malaya lakini sichovyi tu kwa mtu nisiyemjua hata kidogo nahitaji hisia..” alisema Hermez. Mercey na Hermez wakaingia chumbani na Renee akasimama sebuleni kando. Akifurahia kuona dili limekua vizuri.
Baada ya dakika tano Mercey akatoka na kumwambia Renee. “sikia nikikuita uje urekodi, mambo yasiwe mengi..”
“woyoo, poa.. anafanya nini?’
“anaoga kwanza, akija amesema tusikujali wewe, tufanye tu kama sisi, wewe ukishuti staili tatu ukimaliza ndiyo utuambie.”
“sawa,” aliitikia Renee akifurahia kabisa.
Mlango ukafungwa.
Hermez akatoka bafuni akiwa mtupuu, akajifuta maji na taulo la Mercey, Mercey kumtazama tu akawa anachanganyikiwa mtoto wa watu. Akawa anatazama chini mara mbele mara juu, akihema na mapigo ya moyo yakidunda kwa kasi.
Hermez akamsogelea taratibu mtoto wa watu na kumvutia karibu yake, wa motoo, mteketeke. Akampandisha kidela chake na kukitupa pembeni. Akaanza kumpitisha ulimi wake mwilini mwa Mercey na kumng’atangata sehemu stahiki kama chatu.
Mercey akavurugwa, akalia akiita kwa sauti dhaifu ya bata jike: “Reneee.. Reeeneee..”
Renee ksa wa mara ya kwanza hakusikia vyema kama alikuwa akiitwa, zilikuwa ni hisia tu zilizomfanya atulie kimya na kusikiliza vizuri nini kilichokuwa kikiendelea chumbani kwa Mercey. Akatembea taratibu kwa kunyata, akasikia sasa zile sauti za kulalamika kwa mwenzake humo chumbani zikiwa za chini mno. Akafungua mlango taratibu ili kuchungulia aone kama wameanza ili yeye arekodi bila kuwabugudhi kama alivyoambiwa kabla.
Loh! Akaona anayofanyiwa Mercey mle ndani akapigwa na halikadhalika zake.
“Renee, anzaa Reneee. Anzaaa kushuuuuu!” alikuwa akilia Mercey maana siyo milalamiko ya kawaida. Renee mikono ikitetemeka akashika simu yake kuanza kurekodi, Doh hakuwahi kuwaza kabisa akilini mwake kama kushuti ingekuwa ngumu kiasi hicho. Kwa sababu alijikuta akijisikia kabisa vidudu vikianza kumnyevua na yeye kwa kasi mwilini mwake.
Maana alivyoshikwa Mercey na yeye alijihisi anashikwa hapohapo, alipokunwa Mercey yeye alihisi panamuwasha pia. Na mbaya Zaidi sasa alivyokuwa akikokonwa mwenzake, vile ngoma ilivyokuwa ikipenya kwenye midomo ya Hadija milenda ndiyo alivurugwa kabisa, akaloana chepechepe.
Lakini akajizua mno, akashuti tu hivyohivyo, akavumilia kuhesabu staili za mwenzake jinsi alivyokuwa akigeuzwageuzwa kama samaki kikaangoni. Loh akajikuta hadi anajuta kwanini alimtoa Hermez kwa Mercey. Maana Mercey alionekana kakolea kabisa palepale kitandani, akimpa ulimi Hermez na kuzungumza maneno ya kukera ambayo Renee hakujua kama mwenzake aliwehuka? au alimfanyia makusudi.
“Hermez, kumbe mtamu hivi, mmh Renee kumbe alikuwa anafaidi peke yake.. uuuuuu aaah kama vipi njoo kwanguu babaaaa, njooo kwangu,, muache Reneee.. mimi nikupeeeendraaaaaah aiiiiiii” alisema Mercey akilimwaga uno unole.
Doh staili tatu zikapitwa sasa kuanzia nichumie tembele, nikunie nazi na hata popo kunyea mbingu. Naye Renee akaona hawezi kuendelea kukaa hapo, maana zilimpanda hatari, akatoka nje ya kile chumba akihema, akaenda bafuni kujitia maji ya uvuguvugu lakini wapi, bado alisisimkwa vibaya na sauti humo ndani hazikukoma kulalamika.
Akajua kwa mziki wa Hermez mbona ndio kwanza robo saa, hapo ni mpaka masaa manne. Akaona hawezi kukaa hivihivi atapata tabu sana.
“Renee vipi?! Renee!?” aliita Martin akidhania mpenzi wake amekutwa na pepo, maana viini macho yake yalimpanda juu jicho likawa jeupe, tena akagalauka kitanda kizima mikono yake akiipitisha mapajani kama mwehu.
Renee masikini akaona hana cha kufanya, akajipambanua na kujipekecha mwenyewe akajisugua na kujishughulisha haswa kwenye mkwechuo wake. Akakutwa na kile kisebusebu chake pindi apandapo vilindi, kukapwita kama kunataka kufanya mpasuko wa jipu, utamu ukamkakamaza viungo, akakakamaa kama anaumwa pepopunda, akashindwa kujishika tena kwa mtekenyo wa ajabu, akabakia akihema taratibutaratibu. Sasa macho yake yakarudisha viini vyake vyeusi katikati ya duara lake mujarabu la jicho jekundu lilliloloa machozi ya kilio kisichoelezeka.
Martin akapigwa na butwaa, hakuamini kama zote zile zilikuwa ni nyeg* tu, loh! Hakuwahi kuonana na Renee kwa miaka mingi mno, tangu atoke kijijini, alijua ni kisichana tu kilekile cha kawaida, lakini alikutana na mdoli haswa, kapendeza na kapendeka. Lakini pia hakutegemea kama angeweza kula dodo kirahisi siku hiyo kama ilivyotokea.
Hata hivyo hawezi kujisifu kama kala embe kikamilivu, wakati alilionja tu na akapata ganzi ya meno mapema yote ile. Ndiyo alikuwa na matatizo ya udindifu na yalikuwa yakimtia sana huzuni na kusema za ukweli baada ya Renee kukimbia ndoa yake enzi zile, hakuoa tena si kwasababu hakuona wanawake wengine. Angelioa lakini je ni mwanamke gani angeweza kumtunzia siri yake na kumvumilia?
Renee alikuwa ni mwanamke aliyedhania kuwa angemvumilia kwakuwa aliamini alimpenda. Maana walianza naye tangu walipokuwa kijijini shule ya msingi. Na waliahidiana mengi pamoja. Alijua pindi upendo wa kweli unapokuwa ndani ya nyumba basi hata kama angekuwa na tatizo gani wangevumiliana.
Alijua Renee yule wa enzi zile angemvumilia, lakini huyu wa sasa na jinsi Renee alivyokuwa mzuri, tena mjanja wa mapenzi, sidhani kama Renee atendelea naye!?.
Akawa anabung’aa macho ameketi pembeni ya kitanda kwa unyonge asijue la kufanya.
Kwa upande wake naye Renee akili ilimrudia sasa. Akaona haya alivyomvamia Martin bila staha, tena akijionesha hana bikra yake.
Akashindwa kumtazama usoni akajifunika dela lake vizuri.
Nusu saa nzima wakawa wanaoneana aibu kila mmoja anashindwa kuongea na mwenzake. Loh ghafla ndiyo Renee akakumbuka ya Hermez na Mercey,. Akatazama simu yake aliyoitupia chini akiwa hajielewi, akaona kuna missed call kutoka kwa Kuruthumu.
Akaona na meseji pia akafungua na kuisoma.
“We msungo, upo wapi? Naona mwenzako kaleta barobaro linamsugua haswa huku ndani.. hadi ananichanganya..”
Doh Renee alichofanya akaingia bafuni haraka kusafisha mtaro maana alikumbuka somo la Kungwi wake Bi Ummy kuwa ukishamaliza kupika ugali kuosha sufuria la ukoko na mwiko ni lazima. Lakini kwakuwa alikuwa anawahi; basi kuosha mwiko siku nyingine, aoshe sufuria kwanza na akimbie haraka huko nyumbani kwa Mercey.
“Renee! Usiniache plizz,” alilia Martin wakati Renee akikimbilia nje. Mwenyewe alikuwa akijua pengine ndiyo anakimbiwa kwa kuwa mdhaifu kitandani, kumbe Renee anakimbia na yake.
“Martin nawahi mara moja tutaongea,” alisema kwa sauti Renee akikimbia mbio.
Nje akapanda pikipiki haraka hadi kwa Mercey, doh akaangalia saa yake na kugundua eti pilikapilika zake zote alizikamilisha ndani ya dakika arobaini tu na hata lisaa halikufikia, wakati huko kwa mwenzake mtanange ulikuwa bado unaendelea.
“shiiii! Njoo hapa uone!” alinong’ona Kuruthumu akimwambia Renee, akiwa dirishani akichungulia chumbani kwa Mercey ambapo mtoto wa watu hadi sauti ilimkauka kwa kutiwa adabu.
Renee akashangaa kwanza kuona Kungwi kawahi kurudi siku hiyo, maana ndo kwanza ilikuwa saa tisa na nusu mchana. “angalia..” alinong’ona Kuruthumu akimsisitiza Renee achungulie.
Renee alikuwa anafahamu kinachoendelea humo ndani, lakini hakutaka Kuruthumu ajue kama naye anajua, akachungulia kidogo na kurudisha kichwa chake nyuma. Loh picha ile aliyoiona ndani ilimganda kichwani mwake kama nukushi ya kamera. Akajizuia asiangalie tena. Walahi alikurupuka kumuweka rehani Hermez, wivu ukamjaa kama wote vile.
“We da Kuruthumu sio vizuri toka au nitawaambia!” alitia mkwara Renee. Kuruthumu akatoka akinyata kusogea alipokuwa Renee akamnong’oneza: “Mamaeee huyu mwanaume namtaka, lazima nimuibe, sijaona akya mungu; sijaona..”
*uwiii achecheee!
MWISHOOOO
0 comments:
Post a Comment