Search This Blog

Wednesday, January 25, 2023

SITASAHAU JINSI MZUNGU ALITUTUMIKISHA KINGONO MIMI NA MUME WANGU - 5

   


Chombezo : Sitasahau Jinsi Mzungu Alitutumikisha Kingono Mimi Na Mume Wangu 

Sehemu Ya Tano (5)



Nilijikuta nimeanguka chini na kuzimia palepale tena Kwa kishindo kizito hali iliyomshtua Anamaria akaja haraka pale nilipo na kucheki kama napumua akagundua napumua . Akanilaza chini na kuunyanyua mguu wangu mmoja kisha kuukunja na kuusukumia usawa wa kwenye moyo. Nilikuja kuuliza baadaye nilipozinduka nikaambiwa hiyo ni huduma ya kwanza Kwa mtu aliyezimia. Kitendo cha kuzimia maana yake damu imeshindwa kusafiri vizuri kwenye ubongo hivyo yeye alichokifanya kwanza nikuangalia kama napumua vizuri akagundua napumua vizuri ndipo akaupinda mguu wangu kuelekeza kwenye moyo ili moyo usafirishe damu maeneo ya kichwa ,Ana Maria anasema kama ningekuwa sipumui vizuri basi angenifanyia CPR wakati huo amepiga emergency call kwaajili ya msaada Kwa wasiojua CPR ni kitendo cha kuushtua moyo ili uweze kusukuma damu kitendo hiki unaweza kikifanya Kwa kumuwekea mgonjwa viganja vyako viwili na kujaribu kupump. Basi niliamka nikamkuta Mzungu akiwa na hofu kubwa juu yangu. "Rosemary ,uko sawa kweli" Nikamjibu "Niko sawa". "Sasa kwanini umezimia ghafla kuna kitu umekiona kikakushtua au?" "Hamna basi tu nimejishangaa nimeanguka" Ilibidi nizuge ili asigundue kuwa nimesiki baadhi ya mipango yake lakini Mzungu ni kana kwamba alijua mimi tayari najua kidogo kuhusu mipango yake. Basi tulirudi hotelini na Mzungu alinitaka nipumzike kidogo nayeye nimuache atangulie hospitali. Nilimsisitizia sana twende pamoja hospitali lakini yeye aliniambia. "Rosemary umetoka kuzimia muda si mrefu baki hotelini kwanza kama lisaa limoja hivi ndo uje hospitali" Mzungu alisema hayo kisha kutoka na kuelekea hospitali huku mi akinibakiza na mawazo.Niliwaza sana kama robo saa hivi ndipo nikagundua kumbe mimi kubaki hotelini kwa lisaa limoja ni janja ya Mzungu ili apate nafasi nzuri ya kumshawishi mume wangu kuhusu kufanya operation ya uume Basi ikabidi nitoke haraka ili kwenda kunusuru hayo maafa yanayoenda kutokea yasitokee . Ila cha ajabu nilipofika kwenye chumba cha binti yangu pale hospitalini kabla hata sijafungua mlango nikasikia sauti ya mume wangu akimwambia Mzungu. "Unajua nakupenda,Sana Anamaria". Sikuamini masikio yangu ikabidi nichungulie kupitia kitundu cha mlango. "Nakupenda pia Frank,ndo maana nimeamua kumsaidia dada yako mpaka dakika hii.Matatizo yote yakiisha naomba tufunge ndoa". Dah Kwa kweli sijaamini kwamba yale maneno yanatoka Kwa mzungu ilibidi niingie ghafla ili nivuruge maongezi yao. "Eehee ,Rosemary umefika mapema mno"Mzungu aliongea kwa kujichekesha mimi nikawa sicheki safari hii.Nikamchukua mume wangu na kumvuta nje tukamuacha mzungu yuko peke yake kwenye chumba. "We unajua,Huyu Mzungu sio mtu mzuri?".Nilimwambia mume wangu Kwa sura ya hasira kidogo. "Mimi sasa naanza kutokukuamini, Kwasababu ulisema tulipokuwa Tanzania kuwa huyu Mzungu anakutaka wewe hivyo atasafiri na wewe tu kinyume chake tumesafiri wote,Bado ukasema mipango ya mzungu nikunitelekeza mimi hapa Marekani kinyume chake mzungu anataka tufunge ndoa". Dah kwakweli nilimshangaa mume wangu ikabidi nimpige kibao kimoja ili akili yake ikae sawa kidogo. "Hivi ,Frank unaakili kweli we mwanaume,Siku Ile simu ya Mzungu imepigwa mbele yako kuwa Mzungu kahairisha sisi kukutoroka Tanzania na badala yake tutakutorokea Marekani alafu unasema mimi nimekudanganya". Machozi yalikuwa yakinitoka kwasababu nilijua huyu mwanaume kwa kuelekea kutokuniamini kunaweza kutuletea matatizo makubwa. "Bado siaminiamini hayo usemayo maana kama Mzungu sio mtu mzuri kwanini atusaidie kumtibia mwanetu?" Bado aliendelea kusisitiza upuuzi wake, Mimi nikabaki namshangaa tu nikamwambia kwa upole. "Mume wangu naomba uniamini, Huyu Mzungu sio mtu mzuri naomba mwanetu akishafanyiwa operation tutoroke tuutafute ubalozi wa Tanzania ulipo utusaidie kurudi nyumbani kinyume cha hapo mambo mazito yatatukuta". Frank akacheka tu, kisha akasema. "Rosemary mke wangu mi nakuona unaona wivu tu,Hii nafasi mi siwezi kuiachia, huku ni kutoka kimaisha huku .Huyu Mzungu ana miliki makampuni mi nikimuoa nakuwa shareholders.Sasa wewe sababu ya wivu wako unataka unirudishe Tanzania nikaendeshe taksi" Nilijaribu kumshawishi mume wangu kuwa tutafute nafasi ya kutoroka lakini akawa anielewi hivyo ikabidi turejee kwenye chumba cha mtoto bila muafaka. "Rosemary,hukupaswa kuwepo hapa wewe ni mgonjwa" Mzungu alisema huku akinishikashika nywele zangu. "Nimejikaza ili nije kumsaidia kaka akapumzike leo" Yahaani bora hata nisingetumia neno nimejikaza kwani kupitia kauli yangu hiyohiyo Mzungu alipata point. "Hutakiwi kujikaza, unatakiwa kupumzika,kuhusu nani atampumzisha kaka yako mimi nipo Leo nitawasaidia kukaa na mgonjwa" Kauli hii ya Mzungu iliniogopesha sana ikabidi nijibu harakaharaka. "Hapana haiwezekani". "Haiwezekani kwanini mi sifai kukaa na mtoto?". Mzungu aliuliza mara Frank akadakia. "Rosemary ,ebu acha ubishi Anamaria kasema atakusaidia kukaa na mtoto wewe unapaswa kupumzika ,Licha ya hivyo nimeambiwa wewe ni mgonjwa hivyo unapaswa kupata usingizi mzuri na kupumzika". Hoja nikawa sina Kwakweli na wakati huo mzungu akanisogelea huku akinishikashika shavuni na kusema. "Usiwe ,na hofu Rosemary Jack atakuwa salama". Sikuwa na hoja nyingine maana ilionekana kama kung'ang'ania kubaki pale hospitali nikutokumuamini Mzungu. Mzungu alizama kwenye pochi na kutupa Dola mia kila mmoja kwaajili ya matumizi ya chakula cha usiku. Ila kabla ya kuondoka alikuja nesi akiwa na karatasi ya kusainisha "Are you Rosemary,mother of the child" (Wewe ni Rosemary mama wa mtoto) "Yes"(ndio). "Sign here" (Sign hapa). Nesi alinionyesha karatasi ya kusign ili mwanangu afanyiwe operation nikashangaa Ila ilibidi nisign hivyohivyo nikamuuliza operation ni lini Ila Ana Maria akawahi "Tomorrow" Najilaumu sana nilikuwa mjinga sikuikagua karatasi vizuri na Nesi akaondoka. Mzungu akasema "Rosemary nenda kapumzike ili kesho asubuhi saa tatu uwahi hospitali Jack atakuwa ndo anafanyiwa operation". Hapo nikamuona mume wangu anajipendekeza Kwa Mzungu mbele yangu Kwa kumkumbatia mzungu. "Tunasukuru sana Kwa msaada wako bila wewe tusingefikia hapa". Mzungu aliitikia kwa ufupi tu "Thanks" Nami nikapaswa nimshukuru Mzungu lakini nikawa nasitasita maana hadi sasa hivi huyu Mzungu mipango yake haieleweki,Nilisita Sana mpaka Frank akanipa ishara kuwa natakiwa kumshukuru Mzungu ndipo nikamshukuru Kwa kumpa mkono lakini Mzungu akanivuta na kunikumbatia huku mimi nikiachia mikono kuonyesha sijakubali kumbatio lake la kinafiki. kishainong'oneza Kwa sauti ya chini kabisa. "See you in lesbian Paradise the day after tomorrow" (Tuonane katika Pepo ya wasagaji siku baada ya kesho (Kesho kutwa)).


. Maneno ya Mzungu yalinipa wasiwasi mkubwa kuhusu huyu Mzungu nini alichokusudia kufanya baada ya operation. Nilitaka kugoma kuondoka pale hospitalini lakini mume wangu akanizuia na kunivuta kwa nguvu ili kunitoa kwenye chumba wakati huo Mzungu aliniangalia huku akitabasamu na kunipa ishara yake ya busu. Tulifika nje bado tukawa tunaendelea kugombana mimi na mume wangu mpaka askari mmoja akatuambia tuache kupiga kelele hilo ni eneo la hospital na hapo ndo rasmi sasa mimi na mume wangu tukaondoka pale hospitalini Ila bado njia nzima tuliendelea kugombana "We Rosemary ebu acha utoto bwana unajua tuko nchi ya watu hapa" Mume wangu alifoka mara baada ya kutoka hospitali alivyoniona bado naendelea kuleta ubishi.Basi ikabidi niwe mpole maana haijalishi natumia nguvu kiasi gani kuleta ubishi na Frank naye alikuwa anatumia nguvu hizohizo kuzuia ubishi wangu nikamuuliza ili kumchota akili yake nione inafikiria nini? "Hivi we mwanaume huyu mzungu unamuamini sana? ". "Mzungu hana shida huyu,Jana tu alinipa Dola elfu tatu na chakula ni dola 50,Hivyo sinahofu naye hata chembe ,Angekuwa ni mbaya asinge mtibia mwanetu". "Frank ebu jitambue basi kidogo, Mzungu anania mbaya nahisi anataka tucheze picha za ngono". Hapo Frank akacheka kweli kweli alafu akajoki "Kama anataka tucheze picha za ngono sio mbaya hata mimi natamani tucheze picha za ngono nasikia unakuwa tajiri kwa muda mfupi" Hii kauli ya Frank ilinikera kweli na nikakosa maneno mengine ya kumwambia tena ilibidi nikae kimya tu maana kiazi kama hiki sijui utakishawishi vipi. Tukafika hotelini tukaagiza msosi ambapo tuliletewa chumbani tukala kisha mimi nikatoka kuelekea bafuni kwenda kuoga lakini Frank akanifata nyumanyuma nikaufunga mlango wa bafuni kwa haraka. "We Rosemary ,Fungua bwana tuoge wote" Mimi sikumjali huyu mjinga kwasababu niliamini wazi pale tulipo kuna kamera Mzungu anatucheki movement zetu zote licha ya kuwa yeye yuko hospitali sisi tuko hotelini na nilijua kabisa kumueleza Frank Kwa harakaharaka kuwa Mzungu katega kamera hawezi kunielewa basi aliendelea kusisitiza mlangoni nifungue nami nikawa simjali naendelea na shuguli zangu. Baada ya kumaliza nikatoka. "We mwanamke toka umekuja ulaya umebadilika sana" Alisema Frank Kwa hasira alafu huyo akaingia bafuni kwenda kuoga. Mimi nikachukua suruali yangu ya kubana nikaivaa.Frank baada ya kumaliza kuoga na kujifuta na taulo kila kitu tena akiwa uchi wa unyama akajitupa kitandani mi nikamwambia. "Frank ebu acha ujinga kavae nguo kwanza" Frank akashanga "Eehee,makubwa sikuelewi unajua we mwanamke". "Kipi usichokielewa kama ulikuwa hujui hiki chumba chote Mzungu kafunga kamera hivyo pamoja yupo hospitali anaona kila kitu kinachoendelea hapa hospitali". Frank akacheka kidogo. "Yahaani siamini kama umenibadilikia hivi ulaya Kwa kisingizio cha Mzungu" "Yahaani bado tu uniamini,Endelea tu kutoniamini Ila mambo yakiharibika ndo utakumbuka huo ujinga wako uliokuwa ukiuwaza eti utafunga ndoa na Mzungu naye atakupa umiliki wa hisa zake kwenye kampuni yake, Na laiti ungejua Mzungu anania gani na wewe sasa hivi ungeshakuwa ubalozi wa Tanzania unaomba msaada wa kurudi nyumbani". Frank akajichekesha kidogo kisha kusema. "Rosemary naona wewe umechanganyikiwa si bure" "Mimi sijachanganyikiwa bali wewe ndo umechanganyikiwa na hivi navyokwambia Mzungu anampango wa kukufanyia operation ya uume" Frank akashangaa. "Uume ". "Ndio unachoshangaa ni nini sasa hapo we si umejifanya uko tayari kuigiza picha za ngono sasa unavyojiona hiko kidude chako kitavutia kikipigwa kamera". Hapa Frank akakasirika akataka kunipiga nikakwepa nikamwambia "Tena naomba uniache ukithubutu kunipiga hata Kofi moja zitalia ngumu hutasahau mpaka kwenu". Frank akacheka. "We mwanamke unachekesha kweli" Basi mi nikanyanyuka na kuanza kupekuwa begi langu,Lengo langu kubwa kuhakikisha hati yangu ya kusafiria (Passport) ipo salama ili kuanzia kesho mara tu mtoto atakapokaa sawa nimbebe na kutoroka naye ili jitu zima lisilojitambua acha libaki hapahapa Marekani . Basi nilitafuta Passport kwenye begi langu pasinamafanikio mpaka nikachoka ikanibidi nianze kupekua begi la mume wangu huwenda labda Passport tumeziweka humu maana tuliweka kwenye begi moja lakini hola. "Unatafuta nini we kwenye begi langu?" Frank aliniuliza. "Passport". "Passport". "Ndio". "Nimempa Mzungu ,Kasema anataka kututafutia vibali vya kufanyia kazi hapa Marekani



 Aise nilikasirika sana Frank kuniambia maneno kama yale nilitamani nimrukie lakini nikashindwa nikajikuta nimeishiwa nguvu huku machozi ya kinitoka. "Hivi Frank unaakili kweli?" Nilimuuliza huku nikiwa seriasi sana mpaka Frank akaogopa . "Kwanini?Unasema hivyo". "Hapa tumekuja kufanya kazi au kumtibia mtoto?". "Kumtibia mtoto,Ila kama inatokea nafasi ya kazi si tunafanya tu". "We unahisi hapa kuna nafasi gani ya kazi inayokufaa mtu mjinga kama wewe". "We ,mwanamke acha kunitukana". "Lazima nikutukane ili akili yako ikukae sawa maana umekuwa mtu wa kudanganyika sijapata kuona". "Kivipi, mbona mi naona sawa tu". "Ana Maria ni raia wa nchi gani". "Mmmh,Aaah, Sweden". Alijikuta anababaika kutoa jibu. "Sasa hapa tuko wapi?". "Marekani". "Kwa hiyo unatafutiwa kibali cha kufanya kazi Marekani alafu Anamaria anarudi kwao Sweden". Akabaki anajiumauma tu alafu akatoa mwenyewe jibu dhaifu kabisa "Unawezekana yeye ni mkazi wa huku" "Tungefikia hotelini?" Nilimuuliza kwasababu niliona anatetea upuuzi mpaka sasa kashazitaifisha passport kwa Mzungu alafu hana wasiwasi wowote. Basi akaendelea kutetea upuuzi wake "Labda yeye sio mkazi wa loss Angles ndo maana tumefikia hotelini". Nikabaki namuangalia tu simmalizi maana ujinga kichwani ndo umemjaa. Basi nikamtupia suruali yake. "Haya vaa hiyo tulale ". Alitaka kuleta ubishi ubishi lakini akaniona namuangalia kwa jicho baya akabidi avae kisha ndo tukalala. Basi tukalala mpaka asubuhi mzungu wa nne,Saa Kumi na mbili asubuhi nilishtuka nakumshtua Frank. "Ni muda wa kwenda hospitali huu". "Muda bado,kwani saa tatu tayari" Kauli yake ilinishangaza kabisa kwani kama mzazi siku ya Leo inabidi uwe na wasiwasi mkubwa kuhusu mtoto kwani Leo ndo anaingia kwenye operation ya moyo na lolote linaweza kutokea hivyo kama mzazi unapaswa kufika mapema walau kumkumbatia mwanao kimwishomwisho kabla hajaingia kwenye harakati za kupambania maisha yake. Mi nilivyomuona amekuwa mzito kuamka kutokana nakupigwa na ubaridi wa Aice mi nikaona acha nijiandae haraka niwahi hospitali. Wakati nimeshuka tu pale hotelini kwa chini hospitali unaiona Ile nikamuona Ana Maria akiwa nawatu kadhaa wamembeba mtoto na wameshikilia dripu yake ya dawa mkononi wanaingia kwenye gari. Nilipata mshtuko mkubwa na nikaanza kuikimbilia gari isiondoke lakini nilikuwa mbali sana sikuweza kuifikia Ile gari hata wao hawakuweza kuniona. Nikajikuta napiga kelele kuita Kwa nguvu "Ana Maria,Ana Maria" Machozi yakaanza kunitoka "Oooh Jack wangu mie". Pamoja na kumuona Anamaria akiwa na watu kadhaa wamembeba mtoto na dripu yake huku nikihisi kuwa yule mtoto huwenda atakuwa Jack lakini bado ilibidi nikahakikishe kwenye chumba cha Jack kama yupo au laa. Basi nilienda na presha kubwa sana huku nikiomba Mungu ajaalie kile nilichokiona kiwe ndoto au kama kikiwa cha kweli basi yule asiwe Jack. Basi nilienda mchakamchaka mpaka kwenye chumba cha mtoto Ile kufungua tu hamna mtoto. Basi nilijikuta naanguka chini kwa kilio "ooh ,Jack wangu,Maskini mwanangu". Nesi mmoja akanifata na kuniambia kwa kingereza "Dada haturuhusu mtu kupiga kelele hapa,kama una tatizo lolote unaweza ukaniambia nikusaidie". "Samahani dada,Huyu mtoto aliyeko hapa kaenda wapi". "Huyo alifanyiwa operation jana saa nne usiku". "Eehee" Nikajikuta nimeshtuka. "Ilibidi alale hapa lakini mlezi wake kalazimisha kuondoka na mgonjwa wake". Hapo nikapata presha mara mbili yahaani mlezi wake ni nani?Zaidi ya Ana Maria . Basi nikawa natoka huku kichwa nikiwa nimeinamisha chini machozi yakinitoka. Muhudumu mapokezi akaniita "Madam are you Rosemary". ( Madam wewe ni Rosemary). "Yes ". (Ndio) "We have something for you" (Tuna kitu kwaajili yako). Muhudumu wa mapokezi akatoa kifurushi kidogo na kunikabidhi. "From whom?" (Kutoka kwa Nani) Niliuliza Kwa taharuki kwani nitegemee kitu kutoka kwanani tena zaidi ya Kwa Anamaria,ndio nikutoka Kwa Anamaria.Basi muhudumu akajibu "From Anamaria"( Kutoka kwa Anamaria) Basi moyo ulinilipuka paah



Moyo ulinipasuka nakuanza kuifungua Ile bahasha harakaharaka kujua huyu mpuuzi kaweka nini humu . Nikashangaa kukuta simu kubwa ya smartphone ikiwa imeandikwa kwa juu "See you in lesbian Paradise Rosemary". (Tuonane kwenye Pepo ya wasagaji Rosemary) Basi sikufanya hajizi niliiwasha Ile simu haraka sana nikakuta tayari kuna line ndani yake nikawa nimeishikilia huku natetemeka nikiamini muda wowote huyu mpuuzi atanipigia simu. Ilibidi nirudi zangu hotelini nikamkuta Frank bado kalala anapigwa na kiyoyozi. "Frank,Frank amka ". Nilimuamsha Kwa kumtikisha kwa nguvu naye akaamka kama mtu aliyelewa. "Nini we mwanamke ,muda bado bwana". "Mambo yashaharibika". Ikabidi sasa aamke vizuri na kuniuliza. "Kivipi?". "Mzungu kamuiba mtoto" Akashtuka. "Unasemaje". "Ndo hivyo baba, Mzungu kamuiba mtoto alafu katuachia simu hii hapa sijui anampango wa kufanya nini". "Eehee" nikamuona kashtuka isivyokawaida. "Sasa ,tutafanya nini?". "Ndo hivyo ,itabidi tusubiri tu maana katuachia simu inamaana atapiga kutupa maelekezo".

Basi Frank alichanganyikiwa kusikia vile huku naye machozi yakimtoka kama mimi tukaungana kwenye kilio cha msiba hapo mara ghafla simu iliita iliyotunyamazisha. "Hallow". "Hallow we mshenzi Anamaria mwanangu umempeleka wapi?". "Tulia baby mwanetu yupo salama, Hata mimi ni mama wa huyu mtoto hivyo nina haki pia ya kumuhamisha hospitali moja kwenda nyingine kwaajili ya matibabu zaidi". "Huyo sio mwanao ebu niambie umemficha wapi Jack wangu yupo salama". "Usijali baby ,Jack yupo salama Ila ili umpate Jack inapaswa umshawishi Frank akafanyiwe upasuaji WA uume" Mzungu alimeza mate kisha kuendelea. "Najua huyo ni mume wako na wala sio Kaka yako hivyo nyinyi kama wazazi mnapaswa kushauriana katika hili mfanye huo upasuaji au msahau kuhusu Jack,hilo la kwanza" Uzuri nikwamba niliweka loud speaker ili wote tusikie.Mzungu akameza mate kisha kuendelea. "Mumeo akifanikiwa kufanya upasuaji wa uume wake mtakuwa mmejishindia nafasi ya kumuona Jack kupitia video call". "We mshenzi nikukumata nakuuwa" Nilisema Kwa hasira,Anamaria akacheka. "Aahaa,Mnapaswa mfate maelekezo vizuri ili mpate kurejea kwenu Salama,Baada ya upasuaji mtapaswa mcheze picha za ngono ili kufidia gharama zangu zote za kuwasafirisha kutoka Tanzania mpaka Marekani na kama mkibisha Jack atalipa hizi gharama zote". "We mshenzi lolote likimkuta Jack nitakuuwa" Anamaria alikata simu tukabaki tunaangaliana Mimi na mume wangu yahaani hatuamini kinachotokea katika maisha yetu. Mara sms ikaingia kwenye ile simu "Titiii" Mlio wa meseji nikaufungua fasta nimeseji inatoka Kwa Anamaria. "Frank anapaswa kuwahi hospitali kabla ya saa tatu kwaajili ya operation yake". Tulisoma sms wote Kwa pamoja nakubaki tunatazamana.Frank akaniambia huku machozi yakimtoka "Mke wangu naomba nisamehee toka mwanzo sikukuuamini na nimejikuta nikiiangusha sana familia yetu". Basi tukajikuta tunakumbatiana huku tunalia. "Ni muda wa mimi kama baba kuhakikisha Jack anakuwa salama, Usijali mke wangu nipo tayari kufanyiwa hiyo operation wanaotaka wao pia nipo tayari kufanya lolote ilimradi Jack na wewe mbaki kuwa salama". Kauli hii ya mume wangu ilinipa moyo kuona kama kweli nina mume ilibidi nimkumbatie mume wangu ili twende wote tulikabiri hilo tatizo. Basi ilibidi tujiandae kwaajili ya kwenda huko hospitali kwaajili ya operation ya uume. Wakati tunatoka Anamaria akapiga tena simu "Rosemary nadhani unakijua vizuri kitengo ambacho kinahusika na mambo hayo kwasababu siku Ile ulinisindikiza hadi Kwa daktari,Sasa cha msingi Leo msindikize mumeo kwa daktari yule yule niliyemuona mimi siku ile kila kitu kishalipiwa cha msingi mumtajie jina langu tu" Alisema hayo kisha akakata simu. Mimi nikamuongoza mume wangu mpaka kwenye kitengo cha uume ambapo tulimtajia yule daktari jina la Anamaria yule daktari akacheka. "Silcon dick"(Uume wa silcon). Basi mume wangu akachukuliwa na daktari kwenda chumba maalumu kwaajili yakumfanyia hiyo operation ambapo Kwa mujibu wa daktari watachukua madini ya silicon na kuyapandikiza kwenye uume wa Frank



Basi aliingizwa kwenye chumba cha upasuaji ambacho kipo kama kwa chini hivi alafu kimefunikwa na vioo ambapo kwa juu wanakaa watu kushuhudia upasuaji jinsi unavyooendelea.Nami nilikaa kwa juu nikashangaa watu wanakuja na makamera makubwa kurekodi tukio la upasuaji kwakweli huku ni kudhalilishana ila nilishindwa kuwakemea hawa watu au kuwazuia hawa watu kwasababu sikujua wanatoka wapi. Basi kwa mara ya kwanza nilishuhudia upasuaji wa kutisha katika maisha yangu kwani mume wangu alichanwa karibia na uume kisha wakaanza kuchoma madini ya silicon kupitia sindano kwenye eneo walilolipasua kisha nikawaona nikama wanaisukumiza ile silcon kupitia mikono kwakweli zoezi lile liliisha salama Ila wakati natoka nikashangaa nimewekewa kamera kwaajili ya mahojiano kabla sijafanya mahojiano yeyote simu yangu iliita kuangalia alikuwa ni Ana Maria. "Hallow baby Rosemary". Nilikasirika sana kusikia sauti ya huyu mpuuzi ikabidi nimwambie kwa hasira. "Mlete mwanangu zoezi lenu lishakwisha". "Hapana ,halijakwisha kwani mimi nawadai pesa nyingi sana na hapo mmejiongezea Deni tena kwa kufanya upasuaji wa uume" Nikakasirika na kumjibu. "Huu upasuaji ni juu yenu". "Hapana ni juu yako na mumeo kwani mumeo angekuwa na saizi ya kupendeza kwenye kamera tusingefanya huo upasuaji ,Sasa inapaswa sasa uanze kulipa madeni yangu Rosemary,Deni la kwanza kulipa ni hilo la upasuaji unapaswa kuwaambia watangazaji kuwa "Toka uolewe na mume wako hukuwahi kufurahia saizi ya mumeo hivyo mmekubaliana mtoke Tanzania kuja Marekani kufanya upasuaji katika hilo,na sasa unafuraha"" Maneno ya Anamaria yaliniumiza sana eti niseme mimi ndiye mwanamke nisiyeridhika namna hiyo mpaka nimshawishi mume wangu aje kufanya upasuaji.Nikamuuliza Anamaria kwa uchungu. "Anamaria ,Kwanini unanifanyia mimi hivyo" Anamaria akacheka. "Aahaa,Hupaswi kulalamika wala kulia unapaswa uwe na furaha na uelezee furaha uliyonayo baada ya mumeo kufanya upasuaji,Ukifanikiwa chini ya kiwango cha furaha basi mwanao hutamuona tena,Tutamlea na akikuwa atacheza filamu za ngono ili kufidia madeni wanayodaiwa wazazi wake". Baada ya kuongea ujinga wake akakata simu ,Alafu akaja mdada mmoja wakizungu kuja kuniuliza maswali kuwa najisikiaje baada ya mume wangu kufanyiwa upasuaji. "Hey , Rosemary how do you feel after penis enlargement surgery to your husband"(Rosemary unanisikiaje baada ya upasuaji wa kuongeza uume Kwa mume wako). Aise yule mdada aliyejifanya muandishi wa habari hatonisahau kwani nilishindwa kuzizuia hasira zangu kinyume na matakwa ya Anamaria.Nilimrukia yule dada na kumpiga vichwa,Makofi na mabao mpaka Askari wakaja sikusita kumpiga mateke akiwa chini. Askari walivamia eneo la tukio na kunizuia maana kwa hasira niliyokuwa nayo nilisahau kabisa kama hapo nipo nchi ya watu. Pamoja na kukamatwa na askari bado nilikuwa mbishi mbele ya askari ilibidi wanitulize na virungu vyao vya shoti ya umeme ndo nikawa mpole. Askari walitaka kunipeleka kituoni lakini ajabu ni kuwa yule mdada niliyempiga aliwaambia polisi waniache "Leave her"(Mwacheni). Basi polisi wakaondoka tukabaki mimi na yule dada. "Naitwa Isabella nawe ni Rosemary Je nimepatia" Yule mdada alijitambulisha kwa Kiswahili jambo ambalo lilinishangaza na kuanza kuhisi huyu na Anamaria Lao ni moja. Wakati bado namshangaa yule dada Kiswahili amekijulia wapi mara ghafla simu ikaita tena. Alikuwa ni Anamaria mwanamke asiye na haya na safari hii simu alipiga whatsaap kabisa ,Kumbe hii simu iliconnectiwa na whatsaap tena video call. Nikaipokea Ile simu nikamwona Anamaria amelala kitanda kimoja na Jack,Japo Jack alikuwa yupo kwenye madripu. "Rosemary,Rafiki yangu mbona unataka kuyafanya mambo yawe magumu kwa upande wako,Rahisisha mambo acha ubishi usio wa lazima au hutaki kumuona mwanao wewe". Nilichafukwa na roho nikataka nifoke lakini akawa ashakata simu nikamgeukia yule dada wakuitwa Isabella. "Pole , Rosemary Kwa matatizo yako Ila mimi nipo tayari kuwasaidia wewe,mumeo na Jack ili muweze kurudi Tanzania,Ila chamsingi ukubali kwanza hiki anachotaka Anamaria kisha mimi nitakutafutieni njia ya kuondoka ili msipate matatizo zaidi"



"Hapana siwezi kufanya hivyo" Nilimjibu Isabella ambaye alikuwa akinishawishi kuhusu kurekodi video "Rosemary,Ebu fikiria mara mbili katika hilo ,Mumeo katoka kufanyiwa operations sasa na hivi navyokwambia mumeo hayupo tena hospitali" Taarifa hiyo ya Isabella ilinishtua Sana. "Unasemaje Isabella?" "Ndo hivyo kama navyokwambia mumeo Kwa sasa ni mali ya kampuni ya ngono inayoitwa xyrporn nasasa watakuwa wapo kwenye harakati ya kumtibia apone mapema aanze kazi". Isabella alivuta mate kisha kuendelea "Wewe pia ni mali ya hiyo kampuni na kwasasa wanayopicha yako moja ya wewe kusagana na Anamaria". Nilijikuta nashangaa zaidi kumbe siku Ile nilivyokuwa na Anamaria tayari walisharekodi movie yao ya ngono. Yule Mzungu akaendelea kusema Maneno ya kunistaajabisha. "Kampuni ya xyrporn ni kampuni changa ya ngono inayomilikiwa na Anamaria". Hii ikanishtua. "Eehee". "Hivyo anachokifanya Anamaria nikuinyanyua kampuni yake kiuchumi Kwa kutumia wafanyakazi wa bei rahisi kutoka Africa". Ikabidi niulize. "Je nikienda kumshtaki kwenye vyombo vya dola au nikishtaki ubalozini". Isabella akacheka "Unaujua ubalozi wa Tanzania ulipo hapa Marekani". Nilitikisa kichwa ishara kuwa siujui ulipo. "Ubalozi wa Tanzania upo Washington Dc kutoka hapa ni mwendo wa masaa 39 mpaka 40 kwa gari,Ni safari ndefu isivyokawaida na ukifika huko mpaka upate msaada wa kupata mtoto wako Anamaria kashakutoroka huyu dada ni Mafia wa hatari yeye ni mmarekani lakini watu wote kama nyie anawaleta kwenye kampuni yake hujifanya ni msweden,mdenmark au mnorway lakini hana lolote nimuamerika na mcheza picha za uchi mstaafu we search kwenye Internet honey maquino hilo ndo jina lake la kisanii". Ilibidi nibaki mdomo wazi. "Wewe na mume wako kashawatengenezea story ambayo ataitumia kuhamasisha watu wafanye upasuaji wa uume na story yenyewe ni kuwa wewe ulichoka kuishi na mwanaume mwenye kidude kidogo hivyo rasmi ukajiingiza kwenye usagaji ,baadaye mkashauriana na mumeo aje kuongeza saizi na sasa unafuraha baada ya mumeo kuongeza saizi". Maneno ya Isabella yaliniingia sio kidogo bali ni sana ikabidi nimuulize swali. "Kwa hiyo utanisaidiaje baada ya kwisha kurekodi hii?". "Nitakutajia mahali alipo mwanao, Nawe utakuja na askari kuja kumkamata Anamaria". "Kwanini, Usiniambie walipo ili niwapelekee askari sasa hivi?" Nilimuuliza Isabella baada ya kuridhika na baadhi ya maelezo yake. "Kwasasa siwezi kupajua mpaka nirekodi video alafu niwapelekee walipo". "Nitakuamini vipi sasa kama wewe ni mkweli?". "Usijali,nitaiwekea simu ya track kwa simu yako". "Ukibadilisha simu Je?". "Usijali polisi wa huku wakishanitrack mara moja tu hata nikibadilisha simu watanikamata,baada ya kurekodi hii video utaenda moja kwa moja kituo cha polisi ambacho kipo hapo nje ,mtaanza kunifatilia wakati tunapeleka hii video Kwa Anamaria". "Kwanini unafanya hivi?We si mtu wa Anamaria". "Anamaria namchukia toka zamani yeye ndo kasababisha mpaka Leo nakuwa kama muandishi wa habari hivyo nataka aishie ndani". Maelezo ya Isabella yalikuwa mazuri nami nikakubali kurekodi Ile video kisha nikaenda kurepoti polisi nikiwa na simu yangu kama track . Polisi waliitumia hiyo simu nami nikabaki kituoni nasubiri. Baada ya masaa sita polisi waliniita kwenye hospital ya good Samaritan ambapo walimlaza mwanangu nikaenda kumuona pia nikakutana na balozi wa Tanzania ambapo aliniambia kuwa walishindwa kumsaidia mume wangu kwani walimkuta katika hali mbaya. Yale madini ya silcon hayakukaa vizuri hivyo amepoteza maisha na Anamaria amekamatwa anatuhumiwa na kufanya biashara haramu ya binaadamu. Kwa kweli nilihuzunika sana kuhusu kifo cha Frank ikabidi tuzikie kulekule Marekani.Na serikali ya Marekani ikanipa fidia ya kiasi cha Dola milioni moja sawa na bilioni mbili za kitanzania. Nilikaa Marekani mpaka Afya ya mtoto ilipotengemaa ndo nikarudi Tanzania , Kwakweli kila nikirikumbuka hili tukio siwezi kulisahau kutokana na mambo manne kwanza kifo cha mume wangu pili uzima wa mwanangu tatu utajili nilionao sasa nne jinsi tulivyohenya Marekani.


MWISHO


0 comments:

Post a Comment

BLOG