Search This Blog

Wednesday, January 25, 2023

NYOO NIPE MUMEO - 1

 

IMEANDIKWA NA : CHANDE ABDALLAH 

********************************************************************************

Chombezo : Nyoo Nipe Mumeo

Sehemu Ya Kwanza (1)



Najua wengi mnanifahamu kwa jina la Mary, hasa baada ya kuwaelezea mikasa ya Mr X na mambo niliyojifunza kwenye ulimwengu wa mapenzi kiasi cha kuweza kumridhisha kimapenzi gwiji la mahaba ambaye ndiye ‘Mr X’ yaani mume wangu wa ndoa, “Jermaine”.

Mara zote nilikuwa nikifurahia sana maisha yangu ya ndoa ya Jermaine tukiwa Marekani kiasi kwamba sikudhania kama kuna misukosuko itatokea na kutupima kwenye ndoa yetu tumesimamaje.

Nasema hivyo maana kwa yaliyonikuta siyo tu kwamba yamenifunza, bali yalinitoa kabisa kile kiburi nilichokuwa nacho kuwa mimi ni kati ya wanawake wanaojua mapenzi duniani, na zaidi kule kujiamini kuwa eti mimi ndiyo napendwa na mume wangu kiasi kwamba hatoweza kunisaliti na mwanamke mwingine.

Hakika mapenzi hayana mwenyewe, hayo nimejifunza. Maana ilifikia hatua nikajua kuwa kumbe kwenye mapenzi ndiyo kwanza nilikuwa kurasa ya pili kama siyo ya tatu ya kitabu chenye kurasa mia moja. Na mbaya zaidi nikakutana na wajanja ambao wanajua mapenzi zaidi yangu kiasi cha kuyumbisha ndoa yangu.

Kisa kizima kilianza baada ya kilanga changu nikimtaka Jermaine turudi nyumbani Tanzania kwa ajili ya kuwasalimia wazazi wangu. Wakati huo nilikuwa nikiwasiliana nao kila mara kwa simu na walionekana kunimiss sana tena miaka mitatu mfululizo ilikuwa kweli ni muda mrefu, hata mimi niliwamiss pia.

Ooh nilitaka nisahau, katika ndoa yangu na Mr X nilibahatika kuzaa naye mtoto mmoja wa kiume tulliyempa jina la Kendric . Hilo pia lilinifanya nimfosi Mr X wangu turudi Tanzania hata angalau baba na mama wamuone mjukuu wao.


NYOO NIPE MUMEO 02

Basi kweli Jermaine akakubaliana na mimi na kwa mwezi mzima tukaanza kuandaa safari yetu, si unajua tena kwa wenzetu huwa wanakuwaga na maandalizi ya safari kwa muda mrefu na siyo kukurupuka tu. Hivyo baada ya kuhakikisha tumenunua zawadi za kutosha na kuwekeza fedha za kuweza kutumia tukasafiri haooo hadi nyumbani Bongo, Tanzania.

Baba yangu akiwa wametokea nyumbani Tegeta alikuja kutupokea pale Air Port, tena baba alihangaika kweli hadi kutukodia usafiri wa taksi.

Kwa mara ya kwanza japo ilikuwa usiku, nikajisikia kweli nilikuwa kwenye ulimwengu wa kizamani mno. Maana kila kitu nilikiona kidogo na cha zamani au kimechakaa mno, kuanzia nyumba, magari, joto hadi watu tofauti na Marekani ambapo kila kitu kilikuwa kikivutia kwa ukubwa, usafi na staili, hata watu wake walikuwa wazuri na nadhifu mno.

Nilistajaabu kuwa kumbe hata wazungu wakitokaga kwao huwa wanatuonaga kama mimi nilivyowaona Watanzania wenzangu.

Wakati wote huo nikiwaza, baba yangu alionekana kuchanganyikiwa kweli na mjukuu wake tena wakicheza mno, tena baba akawa anaombea tufike mapema ili na mama amuone mtoto huyo mzuri na mchangamfu sana.

Mume wangu aliyekuwa akielewa kiswahili cha kawaida, alionekana kufurahia sana kujifunza maneno mapya kutoka kwa baba yangu, wakawa saa nyingine lugha gongana lakini mwishowe wakawa wanaelewana hivyohivyo. Na mimi baadaye nikajishtukia kuwa kumbe hata nikiongea, mara nyingine huwa najisahau na kuongea kiingereza mwanzo mwisho.


NYOO NIPE MUMEO 03

Hatimaye baada ya kudundadunda mashimo ya lami za bongo tulifika nyumbani na kuingia ndani, japo kuwa ilikuwa usiku mno lakini watu walikuwa macho kutusubiri. Maana nilipofika tu wakaanza kuimba na kunikumbatia kama sherehe.

Nilipokuja kutulia, nikagundua kuwa kumbe hadi ndugu kibao na majirani zetu wa zamani sana walikuwepo hapo. Namjua mama alikuwa na tabia ya kuzungumza sana, huenda alikuwa amewaambia watu kuwa mimi nipo Marekani, nimeolewa na siku hiyo ndo nafika kuwasalimia, maana si kwa nyomi lile.

Tulipokelewa mizigo na kukaribishwa ndani ambapo baba na mama na wadogo zangu wengine walikuwepo.

Niliwakumbatia mama, dada, na ndugu zangu wote kisha nikaenda kuambatana na mume wangu maana alikuwa mpweke. Wakati huo Kendrick alikuwa amesinzia kutokana na uchovu wa michezo, hivyo mama hakumfaidi ikabidi ampeleke moja kwa moja chumbani kulala.

Basi baadaye wajomba na mashangazi wakamuweka kitimoto Jermaine, ilikuwa ni taratibu za mila kwa Jermaine kuomba radhi kwa kitu kinachoitwa kunitorosha, yaani kuishi na mimi kama mke na mume wakati hajaomba ridhaa ya wazazi kwa ajili ya ndoa, hivyo akalazimika kutoa faini ya shilingi laki moja. Aliyoitoa palepale kwa dola lakini.

Baada ya hapo, baba akaanza kuongea kuwa lazima tufanye sherehe ya utambulisho, jambo ambalo hata mimi nilikuwa nikilitarajia na nilijiandaa kwa bajeti nzima.

Basi wanaume wakatoka nje na kuagiza pombe yetu ya kienyeji ‘mbege’, wakinywa na wale majirani na ndugu wangine waliojaa pale uani, Jermaine hakutaka kupitwa na yeye akajiunga na kunywa nao.

Sijui walienda kulala saa ngapi lakini mimi na mama tuliwahi na wao tuliwaacha nje.

Itaendelea..


NYOO NIPE MUMEO 04

Kesho yake asubuhi utaratibu ukawa uleule, baba hakutaka kabisa mimi na Jermaine tukae mbali naye, ndugu walizidi kuja na kunitazama kama nimegeuka picha ya maonesho, yaani hata yule ambaye alikuwa akinichukia alikuwa akiongea na mimi kwa heshima kweli.

Baadaye nilipata nafasi ya kukaa na marafiki zangu wa usichana hapo mtaani ambao wengi wao walikuwa wameshaolewa na kuzaa, hapo nikawa nakumbuka jinsi enzi zetu tulivyokuwa tukitawala mtaa mzima kwa uzuri wetu.

Mimi, Catherine na Getrude lakini nakumbuka tulikuwa na rafiki yetu mwingine aliyeomba urafiki tena kwa kujipendekeza kweli, ambaye hakuwa mzuri wa sura kama sisi na hata hadhi yake haikuwa kama yetu sisi, alikuwa akiitwa Fatuma.

Fatuma japo kuwa alikuwa haendani kabisa na sisi, tulikuwa tukimtumia kutusaidia mambo yetu mengine hata kumtuma dukani na yeye alikuwa akifurahia na hata akiwepo hamna mtu anayeshughulika naye alikuwa kama vile haonekani.

Marafiki kama hao wapo hasa kwenye vikundi vya wasichana, unakuta kuna yule msichana mzuri mno yeye ndiyo anakuwa kiongozi, halafu kuna wengine wanaoendana naye uzuri kidogo wanafatia chini yake na yule mbaya kabisa anakuwa ndiyo boya la kundi.

Kwetu mimi ndiyo nilikuwa kiongozi wao na Fatuma alikuwa boya letu na hilo linathibitishwa kwa mimi kuwa ndiyo wa kwanza kuolewa kwenye kundi letu tena na Mr George yule mume wangu wa kwanza.

Baadaye akafuatia Catherine na Getrude, yaani kama vile ndoa ilikuwa ikitufuata kutokana jinsi uzuri wetu ulivyozidiana, ingawa kama nilivyobashiri, Fatuma nilimuacha akiwa hajaolewa na nimerudi sidhani kama hata ana mwanaume.


NYOO NIPE MUMEO 05

Na wote siku hiyo walikuwa mbele yangu tukipiga stori kibao kama kawaida, Catherine, Getu na mimi ndiyo tulikuwa waongeaji Fatuma siku zote alikuwa mkimya na hukaa tu pembeni yetu akisikiliza na kuchangia kucheka au kusikitika kuendana na aina ya mudi ya stori zetu.

“Mary, hongera hongera shosti yake, yaani hadi nakuonea wivu.” alisema Getu akinitazama jinsi nilivyokuwa nimependeza.

“Mh, mary una bahati mwenzetu, Mmarekani Duh umemtolea wapi!” alichangia Cathe.

“mh, siyo bahati jamani, nimefanya kazi sana kumpata siyo kitu kidogo,” nilianza kujikweza.

“mh ulimuendea kwa babu nini?” alisema Getu wote tukacheka hapo nikasikia kicheko kibaya cha Fatuma, mtazame hata kucheka kwa pozi hajui.

Alikuwa bado hajabadilika sana, alikuwa mwembamba umbo la penseli, mweusi tii halafu kinachonichekeshaga hata akijiremba hapendezi. Na siku hiyo alikuja na manywele yake kama katoka kulala tena alivaa kiskini jinzi kibayaa.

Sikushangaa hata aliposema hajaolewa bado, hata wanaume nadhani nao wanaangalia bwana, amuoe nani msichana mbaya kama huyo.

“mapenzi shoga, nimemchanganya Mmarekani hadi kanipeleka mamtoni,” nilisema nikimpotezea Fatuma.

“mapenzi? Mapenzi hayahaya au?” aliuliza Getu nikawa nimeshamuelewa maana kwenye kundi letu yeye ndiye alikuwa akijifanya kutufundishaga mambo kibao ya mapenzi, sasa kwa mimi kuzungumzia mapenzi, hapo nadhani alikuwa tu haelewi kama mwenzake nimekuwa masta kama siyo mkufunzi wa mapenzi mara mia zaidi yake.

“Ndiyo mapenzi hayahaya!” nilisema kwa uhakika.

“Mary bwana, hebu kuwa siriazi tuambie mwenzetu ulimpa nini?” aliuliza Getu kwa mshangao.

“yaani shoga yangu usinichukulie poa unajua? Mimi mbaya I’m fuckin’ awesome in bed,” nilijikuta nikipitiliza na kuchanganya na Kimarekani nikajishtukia na hawakuwa wameelewa nikawaomba msamaha kwa hilo, Fatuma akaonekana kufurahi macho yake yakitamani kuwa mimi.


NYOO NIPE MUMEO 06

“shoga unatutisha mh! Mara tukasikia umeachwa na mumeo, mara ghafla eti Marekani, hebu tupe mastori umekutana naye vipi huyo Mmarekani?” alisema Cathe.

Basi nikajitikisa lesswigi langu kichwani lililosetiwa vizuri na kuwatazama wenzangu kama vile nawafunda. Nikaanza kuwahadithia mwanzo mwisho, wote midomo ikawashuka.

“mh! kwa hayo shoga yetu wewe hatari, mume wangu akupitie mbali,” aliongea Cathe, Getu akatikisa kichwa tu najua alikuwa akijiona anajua sana mapenzi, lakini kwa niliyomueleza nilikuwa nimemvuruga mno najua lazima achukue tu baadhi ya ufundi wangu, wale waliosoma Mr X Part One wanafahamu ninachozungumza hapa.

Mara kidogo nikamuona mama akija na mwanangu Kendrick maana alikuwa akinililia, nikampakata na kuanza kumnyonyesha. Basi wakamshangaa mtoto alivyokuwa mzuri, nywele zake za singasinga na macho yake kama ya paka.

“Mh shoga mtoto wako mzuri,” alisema Getu wakati huo mwenzangu mwanaye alikuwa mkubwa kidogo na alikuwa akichezeachezea tu uchafu huko barabarani. Wangu alikuwa msafi mno.

“Mary?” ilikuwa sauti ya Jermaine aliyekuwa akiniita kutoka nyuma yangu.

Basi nikasimama na hata mashoga zangu wakasimama kwa heshima kweli. Nadhani walikuwa wakiogopa kuwa Jermaine atawaongelea Kiingereza.

“Hellow?” alisema Jermaine baada ya kugundua kuwa wasichana hao wote walikuwa rika langu.

“shikamoo shemeji!” aliamkia Fatuma kwa kupiga goti na kuupeleka mkono wake mwembamba kwa mume wangu.

Jermaine alimchangamkia sana, hadi akaniudhi.

Basi nikawatambulisha marafiki zangu nikamruka Fatuma na kutambulisha wakina Getu na Catherine peke yao.

“na huyu! Please!” alisema Jermaine akitaka eti nimtambulishe na Fatuma.

“ahh huyu ni Fatuma.” Niliongea kwa kifupi kiasi hicho kisha nikawaaga wenzangu na kuondoka na mume wangu. Huko nyuma wote najua walikuwa wakiwivuka ile mbaya.


NYOO NIPE MUMEO 07

Nikarudi zangu nyumbani nikiwa namnyonyesha mwanangu, ilipofika jioni mume wangu alitaka kutusapraizi kwa kutupeleka familia nzima kwenye baa moja ili kunywa pombe, lakini alinisisitiza na mimi kuwaleta rafiki zangu aliowaona ile asubuhi.

Basi nikawataarifu marafiki zangu Catherine na Getrude, mida ilipofika wakaja lakini nilisahau kabisa kuwaambia wasimwambie kimbelembele Fatuma, maana alikuja tena kwa kuwahi kuliko wote akiwa amechana minywele yake na kuifunga na kilemba.

Baadaye walikuja akina Cathe wakiwa wamependeza mno mawigi ya bei mbaya, magauni yao wakionekana kama vile wamevunja kabati. Na mimi nikaamua kuingia zangu ndani, nikajikwatua ile mbaya na mipodozi yangu ya Kimarekani nikatoka nikiwa poa sana hadi kila mtu akanitamani.

Mume wangu alipoingia ndani alinisifia tu mara moja kisha akawasalimia mashoga zangu lakini aligeuka na kumtazama Fatuma kwa muda tena akatabasamu kabisa. Hilo nililiona likanikera mno.

Basi pamoja tukatembea tu nakuelekea kwenye baa ya Kivulini na kupozi zetu tukazungusha meza kama nane hivi nakufanya mzunguko mkubwa, mama alikuwepo, dada zangu, wajomba, mashangazi, rafiki zangu, baba na majirani kibao, basi zikaanza raundi. Wasio kunywa bia wakaishia kwenye soda tu.


NYOO NIPE MUMEO 08

Mimi nikawa nakunywa Savannah taratibu huku tukiwa tunaongea lakini taratibu akili yangu ikaanza kufifia kwa ulabu nikasinzia kabisa palepale mezani. Nilikuja kushtuka usiku nikiwa chumbani, nikajua lazima Jermaine atakuwa amenirudisha nyumbani kwa kunibeba kama ambavyo huwa ananifanyiaga mara zote nikilalaga kwenye kochi.

Lakini nikageuka na kuangalia mle ndani nikaona kupo kimya mno na nilikuwa nimelala na mwanangu Kendrick tu, wakati hua tunalalaga na mama na dada yangu kwa sababu kulikuwa na vitanda viwili chetu kilikuwa sita kwa sita.

Niliamka nikiwa bado nayumbayumba lakini akili yangu ilikuwa imara, nikatoka chumbani na kuanza kusikia watu wakipiga kelele kwa mbali huku mziki ukiendelea kupiga. Nikajua lazima watakuwa bado wapo kule kwenye baa na mimi ndiyo wamenirudisha nyumbani peke yangu kwa kuwa nilikuwa nimelewa.

Dakika chache nikiwa ninayumbayumba kutoka pale mlangoni, nilianza kusikia vishindo vya watu kama vile wanakuja kule kwetu , maana nyumba yetu ilikuwa bondeni kidogo. Nikajibana kwenye kiambaza na kuwatazama, nikagundua kuna watu wawili wakiwa wanayumbayumba. Baadaye nikasikia kwa uzuri kuwa sauti moja ilikuwa ni ya Fatuma nyingine sikuijua lakini ilikuwa ya kiume.

Wakafika kwenye midizi fulani iliyopandwa kwenye kiwanja cha jirani yetu na kuzama hapo. mara kizunguzungu kikanifika nikaanza kujisikia kichefuchefu kikali mno, nikakimbilia chooni ndani na kutapika mfululizo, nikanawa na kurudi zangu ndani kulala.


NYOO NIPE MUMEO 09

Asubuhi niliamka nikawaona mama, dada yangu na mwanangu Kendric, wote walionekana kulala fofofo kutokana na pombe za jana. Nashukuru niliamka nikiwa na nguvu, nikambeba mwanangu aliyekuwa akichezacheza pale kitandani, na kwenda kumbadilisha pampasi, nikamuogesha, kisha na mimi nikaoga ili kupata nguvu mpya.

Niliporudi ndani nikamnyonyesha kidogo Kendrick , lakini nilitamani kumuona mume wangu, nikagonga chumba cha kiume ambacho huwa analalaga, baada ya dakika chache akafungua mlango inaelekea alilala na nguo zake zote.

“unasemaje wife? Ulilala vizuri?” alisema kwa sauti ya kilevi.

“nenda kalale naona bado una usingizi, nitakuandalia supu,” nilimwambia Mr X wangu huku nikimpiga kikofi cha takoni, kama ambavyo na yeye huzoea kunifanyaga hivyo. Akiwa anarudi ndani kichwani kwake nilimuona akiwa na majani yakiwa yamemgandaganda nikajua lazima jana atakuwa alidondoka sehemu alipokuwa akiteremka mlima na ulevi wake.

Sikujali nikarudi zangu ndani kupika supu nyingi kwa ajili ya familia nzima. Baadaye waliamka na kunywa zao, nikafurahi jinsi Mungu alivyonibarikia kuwa na familia yenye furaha kiasi hicho. Jamani tena nilijisikia vizuri kweli Mr X wangu alikuwa amekubalika kweli pale nyumbani.

Itaendelea.


NYOO NIPE MUMEO 10

Basi kama kawaida mchana nikaenda zangu kupiga stori kwa rafiki zangu, nikawakuta wamejaa tele tena na Fatuma naye alikuwepo lakini siku hiyo alikuwa tofauti sana, alionekana mwenye furaha na amejaa maneno mdomoni kweli.

Nililigundua hilo nikapanga kumshusha kwa sababu mkuu wa kundi nilikuwa nimeshafika tena kila kona nikipewa sifa kuwa nimeolewa na Mmarekani, yaani nilionekana kama vile shujaa kwenye jamii nzima ya wanawake pale mtaani.

“jamani mamboz!” niliwasalimia tukakaa na kuanza kupiga stori za jana kuhusu kule baa.

“mh mimi si unajua nalea, yaani pombe nilikunywa muda kweli basi jana ile kuonja tu zikanibeba,” nilisema.

“mimi mwenzenu aku! Nilikunywa hadi mwisho, nadhani hata kreti nililimaliza,” aliropoka Fatuma akichekacheka. Na kweli kwa kile kiumbo chake chembamba acha amalize kreti, hajaolewa, hajazaa anapresha gani! Niliwaza akilini lakini nikataka kumshushua kwa maneno pia ili aache kidomodomo.

“unajua Fatuma saa nyingine nakuonaga kama una matatizo? hivi umeshawahi kwenda kwa mganga angalau akujalie upate bwana, utakaa na bibi hadi lini?” nilipiga dongo makusudi.

“Mungu ndiye anayepanga, kama amenitaka nizeeke peke yangu sawa, kwani kuolewa kitu gani bwana!” alisema kwa kujiamini.

“au inawezekana mwenzetu mambo ya sita kwa sita huyajui ndiyo maana, watu wanakukimbia tu,” alisema Getrude.

“inawezekana hahaaa! Shoga njoo nikufunze,” nilisema na mimi basi wote tukagonga mikono tukicheka Fatuma, badala ya kukasirika na kuzila kama kawaida yake, akasema; “NYOO NIPE MUMEO!”


NYOO NIPE MUMEO 11

Nilishangaa kwa jibu lake, kwani haikuwa kawaida yake na kusema kweli tangu nimerudi Bongo sikuwahi kujibishwa kama hivyo, akawa amenivuruga kweli. Lakini kwa kuwa mimi ndiyo mkubwa wa kundi sikutaka kuonekana kama nimeshindwa, nikamshikia mikono kiunoni.

“unasemaje Fatuma!” niliuliza kumtaka arudie alichokisema muda mfupi.

“ndiyo hivyo kama nilivyosema,” Fatuma akarudia maneno yake tena akiwa amebetua midomo.

“hivi, unadhani kumpata mwanaume kama yule akakuoa na kukuweka ndani ni jambo la mchezomchezo tu eeh, wenzako tunaangaliwa sura, shepu, halafu mchezo wa kikubwa upoo, eti nikupe mume wangu, utambebea tako gani kwa ulivyopasi nyoo, “ niliongea kwa jazba.

“Mary basi,” alisema Catherine akigundua nimejaa hasira.

“Tena Fatuma sikia, wewe sio wa kujilinganisha na sisi kwa chochote, tena kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kukuona unakuja nyumbani kwangu, you stupid whore!” nilimchana lakini nikashangaa akainuka kwa dharau na kujikung’uta vumbi akaondoka lakini akanipa dongo moja.

“Tutaona utafika wapi!”


NYOO NIPE MUMEO 12

Hata mudi ya kuendelea kuongea na wenzangu ilikatika nikaamua zangu nirudi nyumbani nikatulie na mwanangu na mume wangu.

Nilifika nyumbani na kucheza na mwanangu Kendrick hadi aliposinzia, japo kuwa ilikuwa ndiyo kwanza mchana, na mimi nikaenda naye kulala lakini niliota ndoto mbaya mno hadi nilishangaa.

Niliota nipo kwenye nyumba moja kubwa mno na nzuri sana, halafu Kendrick alikuwa anachezacheza wakati mimi nikiwa napika jikoni. Mara nilisikia sauti nikiitwa kwa amri, nilipoenda nilimuona Fatuma akiwa ameketi sebuleni na Jermaine wakiangalia televisheni. Wakaniambia nikamuogeshe mtoto kwa kuwa walikuwa wanataka kuondoka naye, basi nikamchukua Kendrick kama siyo mwanangu na kwenda kumuogesha.

Aliyenishtua alikuwa ni mama aliyeniona nikiwa na weweseka pale kitandani.

“Mary nini, mwanangu!” aliniambia mama nikakaa pale kitandani bado mawenge ya ile ndoto yalikuwa yakinizunguka na kunifanya nichanganyikiwe kidogo. Nilipogundua nipo kwenye ulimwengu wa kawaida nikajisemea kimoyomoyo; afadhali, kisha nikashusha pumzi.

“mama nimeota ndoto mbaya kweli, “ nilimwambia mama na kumhadithia ndoto mwanzo mwisho.

“Mh mwanangu kwanza huyo mtu uliyemuota si ndo yule shoga yako nisiyempenda, wale mimi nawaonaga kama wachawi, kutwa nzima na bibi yake, asije akakuroga mwanangu akachukua ulichonacho,” alisema mama akionekana kuhofia mno masuala ya kishirikina.

“amchukue mume wangu aanzie wapi?” nilisema.

“lakini mwanangu usije kujiamini sana, hasa kwa wakati kama huu uliopo,”

“wakati gani mama?”

“wewe si unalea sasa hivi? Unaweza ukajisahau ukashusha mapenzi kwa mumeo na kuhamishia yote kwa mtoto. Wanaume wa sasa wanachepuka kirahisi, na hiyo haijalishi Mtanzania wala Mmarekani.” Alisema mama nikaduwaa.




Maneno ya mama yakanikumbusha mambo mengi sana, maana alikuwa akisema mulemule, nilianza kuwaza kipindi ambacho nilikuwa na mimba, nilitokea sana kumchukia mume wangu kiasi kwamba sikutaka kukaa naye hata karibu na hatukufanya mapenzi kabisa karibia miezi mitatu mizima.

Lakini cha kushangaza kipindi hicho sikuwahi kujiuliza mume wangu alikuwa akifanya mapenzi na nani wakati huo wote, kwa sababu nilijua kuwa kiasili mwanaume hawezi kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi hivyo lazima tu alimtafuta mtu sehemu ili apunguze hamu zake.

Hapa niwape somo dada zangu na wadogo zangu ambao eti wana mapenzi ya mbali ‘long distance relationships’ na eti miezi hata sita na wanaamini kabisa wapenzi wao kuwa wao wapo peke yao, siyo kweli wanachepuka.

Lakini cha kuwapongeza wanaume ni kwamba, wao huchepuka na kusaliti ndoa kwa ajili ya starehe zao tu, na siyo kama wamewapenda kweli hao wanawake, na ushahidi ni kwamba mwisho wa siku hurudi nyumbani kwa wake zao, tofauti na wanawake ambao wakisaliti ndoa wamesaliti kwa moyo na akili, nadhani ndiyo maana hata Mungu aliwafanya wanaume wawe wagumu mno kusamehe mwanamke anayechepuka kuliko kwa mwanamke kumsamehe mwanaume anayechepuka.

Lakini hata hivyo tatizo huwa pale ambapo mwanaume wako anaanza kukuletea dharau na kukuoneshea wazi kuwa anakusaliti, hapo ndiyo ujue fika kuwa mwanaume wako hajakusaliti kwa mapenzi tu bali amependa kabisa au umezidiwa ufundi.

Haya tuache hayo turudi kwangu sasa, nakumbuka pia hata wakati nimejifungua Kendrick kufanya, mapenzi kwetu ilikuwa ni mara moja moja sana na hata tukifanya inakuwa siyo kama enzi zile, maana kwa wiki ilikuwa tunajinyosha hata mara nne, iwe mchana, jioni, usiku, asubuhi, kwenye kochi, sakafuni, bafuni, kweli ilikuwa raha sana. Lakini sasa hivi mh hapana. Na tatizo lilikuwa ni mimi kubezi kwa mtoto. Hivyo maneno ya mama yakanifanya niamue sasa kurudisha enzi zetu na Mr X wangu.


NYOO NIPE MUMEO 14

“Mary mwanangu, nakwambia hivyo maana nyinyi ni vijana na mara nyingi mnakosaga uvumilivu na kuishia kuachana tu harakaharaka, sisi wa mama wa kizamani tunavumilia vingi sana, unakuta mume wako kabisa anatembea na kitoto kidogo kama mwanaye, lakini unavumilia sasa sijui kama ingekuwa wewe unaweza kuvumilia,” alisema mama lakini nikagundua machozi katika macho yake yakiwa yanalengalenga.

“Mama kwani kuna nini?” nilimuuliza lakini hakuendelea kujibu akaanza kutokwa na machozi tu. Lakini hakufungua mdomo kabisa, na mwishowe akaondoka zake. Nilimuacha kwa sababu huwa namjua kwa kuficha siri hajambo na hapo kusema kinachomsibu ni mpaka aamue mwenyewe.

Nikakaa pale kitandani na kuanza kujifikiria mwenyewe, sijui nini kilinifanya nikumbuke ile siku ambayo nilikuwa nimelewa na kumsikia Fatuma akiwa na mwanaume pale kwenye midizi ya karibu na nyumbani.

Basi nikaenda hadi pale kwenye kile kichaka cha midizi, nikakuta chini kuna majani fulani makavu yamelala kama vile yalikaliwa, lakini nilipocheki vizuri nikagundua kulikuwa na kondomu iliyokwisha tumika. Nikajiuliza kuna sehemu niliwahi kuyaona hayo majani, niliyaona wapi? Nikashtuka kuwa majani hayo nilimuona nayo mume wangu asubuhi yakiwa kichwani kwake.

Nikaanza kuchanganyikiwa, nikahisi kuwa lazima Jermaine alikuwa hapo na Fatuma usiku ule, nikajihisi kuchanganyikiwa kwa kweli. Tena nikiyamix na yale maneno ya Fatuma aliyoniambia siku hiyo nikawa nimeshushuka ile mbaya.

“hapana, haiwezekani?” nilitembea kuelekea nyumbani nikiwa nalia.s


NYOO NIPE MUMEO 15

Nilifika na kufuta machozi kidogo na kuanza kufikiria nifanye nini, nikaona kama kweli Mume wangu alikuwa ametembea na Fatuma nitauficha wapi uso wangu, yaani bora angetemba na Catherine au Getu, Fatuma? Hapana.

Lakini huenda alikuwa amezidiwa kama binadamu na si kingine, Mr X wangu hawezi kumpenda mwanamke mbaya kama Fatuma.

Sasa nikapanga kwa hasira nimfanyie Mr X mambo niliyomfanyia mwaka jana, kwanza nikamsubiri alipofika tu, kutoka kwenye matembezi yake nikambeba na kumtaka twende mahali. Huwezi amini nilimpeleka gesti ileile tuliyokutanaga mara ya kwanza pale Sinza Afrikasana.

Alipoona hivyo akashtuka sana, lakini nikiwa na hasira zangu, nikaingia naye ndani tena uzuri tukapata chumba kilekile. Niligundua alionekana akiwa na maswali mengi mno lakini na mimi nilionesha uso wa mbuzi.

Nikaweka Bigijii mdomoni na kuanza kuitafuna kwa nguvu, nikamsukuma Mr X kitandani, akadondoka kama mzigo nikachukua sidiria yangu na kumfunga nayo mikono yake pale kitandani, akawa hawezi kuchezesha mikono. Kisha nikachukua mtandio wangu na kumfunga nao machoni naye hakupinga wala nini badala yake akatulia tu kwa sababu ni mjuzi wa mapenzi alijua ninachotaka kumfanyia hivyo akatulia kimya.

Nikafanya makusudi kuweka wimbo wa mziki wa kisingeli ambao nilikuwa nikiusikia sana mtandaoni nikiwa Marekani ni wa Manfongo unaoitwa Hainaga Ushemeji Tunakulaga.

Nikavua nguo zangu na kuanza kumfuata taratibu pale kitandani nikifuata mirindimo ya wimbo huo, siku hiyo nikijiapiza kufanya ufundi wangu wote ili mradi nirudishe heshima ya ndoa yangu ambayo ilionekana wazi kuwa kuna kidudu mtu ameingilia.

Itaendelea..


NYOOO NIPE MUMEO 16

Nikampandia na kumkalia kwenye miguu yake, kisha nikamshika selebobo wake nikawa kama vile namnyonganyonga lakini siyo kwa nguvu. Kusema kweli nilijikuta siku hiyo nikimtazama Mr X kama vile alikuwa mpya kwangu yote ni kwasababu tulikuwa hatujafanya mapenzi kwa muda mrefu mno.

Kuna kitu kichina kinaitwa ‘Jing’ hii ni nguvu ya muungano wa mapenzi ambayo wapenzi huwa nayo na wanaikuza kila mara wanapofanya mapenzi ni kama vile bond fulani yenye nguvu mno, na pindi wapenzi wanapokuwa hawajafanya mapenzi kwa muda mrefu hii Jing huvunjika na upendo taratibu hupungua na kama msipokuwa makini mnaweza mkaachana kwa kila mmoja kumchoka mwenzake.

Kwangu mimi na Mr X nilihisi Jing yetu ilikuwa ikikaribia kuvunjikia kwa Fatuma. Nikadhamiria kurudisha hiyo Jing yetu tena. Basi nikaanza kumsugua taratibu bakari-Kichwa wake, nikienjoi ngozi ya juu ya Selebobo ilivyoteleza juu ya mti nyama wa ndani ambao ulianza kuwa mgumu na kusimama kadri nilivyokuwa nikimsugua.

Nikaona japo kuwa alikuwa akijikaza lakini hisia zake zilionekana kuwa karibu sana kipindi hicho, akawa anahema haraka akitaka tuanze kusosomola. Tena Mtinyama wake ulivyosimama wima sana ukaanza kutoa vimajimaji fulani hivi. Nakumbuka nilisomaga sehemu kuwa maji haya yana kemikali maalumu aidha asidi au alkali ambayo katika kufanya mapenzi huingia kwa mwanamke na kutengeneza hali nzuri ya mbegu kusafiri vizuri hadi kutunga mimba.

Kuna baadhi ya wanaume huwa na ugonjwa wa kutokuwa na huu umajimaji na kama hawana maana yake mbegu zote hufa kabla ya kufika mji wa uzazi.


NYOO NIPE MUMEO 17

Kwa hiyo furahini mkiona haya majimaji kwa waume zenu ni dalili pia kuwa umewaamsha ile mbaya na wapo tayari kukojoa muda si mrefu.

Basi baada ya kuhakikisha nimemjaza sumu vizuri nyoka wake, nikageuka kuelekea miguu yake, nikamshika miguu na kumwachia msambwanda kwa nyuma huku nikiukatikia mdyudyu wake uliokuwa ukipita katikati ya mfereji wa Ikweta hadi kuelekea kwenye mzinga wangu wa asali.

Nikatulia kwa muda nikimfanyia hivyo, yeye alionekana kupandisha sana mzuka kwa mchezo wangu huo huku nikinogeshea kwa kukatika harakaharaka kama ule wimbo wa Manfongo ulivyokuwa ukienda.

Nikasikia akiugulia.nikajua tu anataka nisiendelee kumchezea bali niruhusu koni yake iingie kwenye mgodi wangu.

Basi nikailengesha na ikaingia taratibu. Lakini nikataka isiingie yote, nikaimeza kichwa tu na kukianza kukizungushia. Taratibu juisi ya mahaba ikaanza kunitoka na mimi huku dudumizi wake alivyokuwa akinigusa kwenye mashavu yangu ya ndani akizidi kunikoleza.

“Baby iingize yote!” alilalamika Mr X, nikamtazama na kutamani kumuuliza kwa Fatuma alifuata nini? Lakini nikaamua kukausha.

Nikajibinua kidogo basi kama vile Mr X alijua akajinyanyua ikaniingia yote pyuuuuu! Juisi nyingi ya mahaba ikanitoka. Nikaanza na mimi kumchekecha cheketua mimi nikiwa nimeshikilia usukani juu yake.

Sikutaka anishike popote na hivi alikuwa hanioni ninachofanya nikafanya ninavyotaka bila kuona aibu ya jinsi sura yangu inavyokuwa pindi ninaposikia aina mbalimbali ya utamu wa mchezo huo wa kikubwa.

Baadaye nilianza kumuona akinizidi nguvu na kung’ang’aniza kuitoa mikono yake pale kwenye kitanda tena huku akilalamika niongeze spidi. Hapo nikajua kuwa lazima alikuwa akikaribia kukojoa.


NYOO NIPE MUMEO 18

Nikajichomoa na kuanza kumnyonya mtalimbo wake kwa mdomo, kweli ile chumvi chumvi niliyokuwa nasikiaga kwa wenzangu nilikuwa nikiisikia ile mbaya. Kumbe wanaume wakisema wanaingia chumvini maana yake chumvi hii.

Basi nilinyonya bila kuona kinyaa, tena nilipanga kumeza na uji wa mtoto wote, maana nilipokuwa Marekani nilisikiaga kutoka kwa rafiki zangu kuwa wanaume hupenda sana wakifanyiwa hivyo. “ahhhhh “ alisisimkwa Mr X wangu, uji ukimripuka kama mlima wa volcano, nikaubana na kuumeza wote, nikikubali kufanya yote hayo kwa mara ya kwanza na kwa sababu tu nilikuwa nikimpenda na kutaka kurudisha penzi langu.

Nikajiuliza kama Fatuma aliweza kumfanyia hayo yote. Nikamfungua ule mtandio wangu na ile sidiria na kumtaka anifunge mimi kama nilivyomfunga yeye muda wa raundi ya pili. Alinitazama kama vile alitaka kuniuliza swali lakini alisita.

Basi ikawa zamu yangu, ikawa mwendo wa kutwanga na kupepeta tu, hadi tukamaliza jionijioni hivi. Tulipanda gari na kurudi nyumbani njia nzima akinisifia mno. Kama kawaida nikaenda zangu chumbani kulala na yeye akaenda kulala chumba cha wanaume.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

BLOG