Chombezo : NinahSehemu Ya Tano (5)“sikia, sipo kwa ajili ya fedha kwa mr Edgar, na nitakuthibitishia hilo, kwa kuwa nitaolewa naye akiwa hivyohivyo, na sitataka hata robo ya mali zenu,”nilisema Tsoza akanitazama vizuri kisha akasema: “ nakupa fursa ya mwisho, wewe kahaba, nitakuongeza dollar 2000.”Aisee kusikia neno hilo nilikasirika...
Search This Blog
Kenya Story Pages
Monday, January 24, 2022
NINAH - 4
Chombezo : NinahSehemu Ya Nne (4)Nilijipigilia pombe za kutosha na nikalia kwa sauti hadi kila mmoja pale ndani akageuka na kunitazama mimi, bahati nzuri Mr Edgar aliniwahi akanikokota hadi kwenye gari tukaondoka.Bado nilikuwa na kidonda rohoni, lakini yule mzee acha kabisa, maana alinibembeleza na kuniahidi kunitunza na kunifanyia...
MCHEPUKO WA ZANZIBAR - 5
Chombezo : Mchepuko Wa ZanzibarSehemu Ya Tano (5)Akafungua duka lake na kutazama wavuvi wakitoka ufukweni wakielekea mnadani na wengine majumbani mwao, lakini mara akapita Mzee Salum bin Salum, mkononi na samaki wake wanne.Tofauti na siku zote mzee huyu siku hiyo akasimama kwa muda kutazama kiduka cha Damian akikikata jicho kali,...
MCHEPUKO WA ZANZIBAR - 4
Chombezo : Mchepuko Wa ZanzibarSehemu Ya Nne (4)“mkeo aja lini naona wateseka hata kupika,” aliniuliza Sabrina. Nikakumbuka kuwa nilimdanganya mzee Abdullah kuwa nilikuwa nimeoa, ili mradi tu nisikataliwe kupangishwa humo ndani hivyo kila mtu alijua nimeoa kumbe hapana.“atakuja tu, nataka nipate hela mwezi wa kumi na mbili nimtumie,”...
MCHEPUKO WA ZANZIBAR - 3
Chombezo : Mchepuko Wa ZanzibarSehemu Ya Tatu (3)“ndiyo tena ni gwiji, anaogopwa hapa,”“mimi simuogopi!” alisema Damian.Kama kawaida asubuhi na mchana haikuwa ya kusisimua kwa kina Bushiri na Damian. Wateja walewale wanaume walifika na kuondoka.Wakati jua likizama na wavuvi kuondoka zako baharini, wakina Damian na Bushiri wakachekelea;...
MCHEPUKO WA ZANZIBAR - 2
Chombezo : Mchepuko Wa ZanzibarSehemu Ya Pili (2)Hata kazi zake hakuziwaza vizuri tena kila aalipofunga kope aliota vipochi vya manyoya, kila alipoalala aliota vitwangio na kinu.Asubuhi alfajiri kama kawaida aliamka na kujiona mnara umesimama vilivyo tayari kunasa mawasiliano, akachukia na kuupindia kwa juu ya kaptula lake.Akaingia...
MCHEPUKO WA ZANZIBAR - 1
IMEANDIKWA NA : CHANDE ABDALLAH ********************************************************************************Chombezo : Mchepuko Wa ZanzibarSehemu Ya Kwanza (1)Mtu akitaja neno Zanzibar, kinachotakiwa kuja kichwani kwako haraka ni harufu ya karafuu, mandhari ya mji mkongwe na fukwe nzuri, ndiyo; hiyo ni kwa wanaoijua Zanzibar...
Subscribe to:
Posts (Atom)